Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

PENZI LA MCHORA TATTOO-2



LATIFA NTANGA
0719618409
"Oh shit Lisa baby kwanini umeamua hivyo lakini?" Alisema Romeo huku akiwa hana raha kabisa.
"Dah nifanyaje sasa?" Alijiuliza Romeo bila kupata jibu, kiukweli alikuwa akimpenda sana Lisa lakini pia alikuwa akihitaji kufanya kazi. Hakujua achague lipi kati ya kazi au mapenzi.
Ghafla simu yake ikaanza kuita alipoangalia mpigaji ni Cruz.
"Oyaa nambie mwamba" alisalimia Cruz.
"Fresh babu inakuaje?" Alijibu Romeo.
"Aaah barida mkali, sasa fanya tuonane basi mshikaji" alisema Cruz.
"Hamna noma mwamba, nitakukuta wapi sasa?"
"Huku Dream Inn si unapapata maeneo ya msasani kwa sababu ofisi yenyewe ipo huku so fanya mpango uje tuanze kazi" alisema Cruz.
"Dah ila mshkaji shem wako si kakaza mwanangu. Hataki kabisa kusikia nakuwa mchora Tattoo" aliongea kwa huzuni Romeo.
"Jamaa angu unazingua, kwanini mtoto wa kike akupande kichwani? Acha hizo mwamba, wewe njoo tupige kazi tafuta pesa achana na mwanamke babu" alisema Cruz.
"Dah mshikaji hujui nampenda sana Lisa amenisaidia mengi sana yani kwangu ni kama mke kabisa" alilalamika Romeo.
"Sawa mwamba najua jinsi gani mapenzi yalivyo ila nakushauri piga kazi, huyo wako ukitulia unaongea naye mbona fresh tu anakuelewa" alisema Cruz.
"Sawa hamna shida ngoja nijiandae nitoke"
"Barida mwana"
Waliagana baada ya hapo Romeo akajiandaa nakutoka.
Safari yake ilishia msasani pembeni ya hoteli moja ya kifahari inaitwa Dream Inn.
Basi alifika akakutana na Cruz na kwa pamoja wakaingia kwenye nyumba kubwa ipo pembeni kwa nje ukiangalia utaweza kujua ni nyumba ya kawaida tu ila kwa ndani ilikuwa ni kama ofisi ambayo kazi yake kubwa ni kuchora tattoo. Kila kitu kilikuwa kipya kwa Romeo aliingia ndani kwa uoga sana. Waliwakuta wanaume wengine wawili ambao miili yao yote ilikuwa imejaa matattoo mengi sana, mikononi, vifuani kila sehemu. Walisalimia na baada ya hapo Cruz akamtambulisha Romeo kama mfanyakazi mpya. Siku hiyo ikawa ya mafunzo kwa Romeo ambaye alikuwa bingwa wa kuchora sana haikumpa shida kwenye uchoraji siku hiyo alishinda hadi jioni akaondoka kurudi kwake, bahati nzuri alikuwa amepanga chumba Ubungo, kutoka msasani hadi Ubungo hakukuwa na umbali mrefu sana.
"Mke wangu naomba ulale salama, for real nakupenda sana" Romeo baada ya kuoga na kupumzika kitandani alimkumbuka sana Lisa, akajaribu kupiga simu lakini haikupokelewa alichoamua ni kumtumia meseji.
Lisa alikuwa na hasira sana hata simu ilipopigwa hakutaka kupokea. Ila badaa ya kusoma meseji alijikuta moyo wake unapoa na kufunguka juu ya mpenzi wake. Akachukua simu na kumpigia Romeo ambaye aliipokea haraka.
"Baby..I'm sorry usinichukie nakuomba" alisema Romeo.
"Nakupenda mume wangu sikuchukii" alisema Lisa kwa upole sana.
"Asante mke wangu, uko poa?" Aliuliza Romeo
"Niko poa mume but am not happy" alisema kwa sauti ndogo kudeka Lisa.
"Why baby?" Aliuliza Romeo.
"Coz I miss you honey" alijibu Lisa kwa sauti ya madeko huku akiwa na mahaba yote.
"Oh don't worry my wife, nipo kwaajili yako"
"Asante mume wangu"
"Nambie mke wangu umevaa nini hapo?"
"Mh baby unaaanza uchokozi!"
"Sio bwana tell me umevaaje mke?"
"Ile night dress yangu ya pink"
"Oishhh ndani je?" Aliuliza Romeo huku sehemu za siri zikianza kusimama kwa sababu ya msisimko alioupata.
"Baby hamna kitu" alijibu Lisa.
"Jamani unaniumiza mwenzio"
"Polee mume" Lisa aliongea kwa sauti mahaba sana na kuzidi kumsisimua mpenzi wake.
"Mke!"
"Mume!"
"Nimezidiwa mama, imesimama...Inauma" alisema Romeo kwa sauti ndogo nzito ya chini.
"Oh polee baby jamani"
"Mmh sitaki pole yako njoo uilalishe"
"Jamani natamani sana nije"
"Njoo sasa"
"Baby natokaje mimi"
"Wife naumia"
"I know love, but vumilia tomorrow nikitoka chuo nakuja"
"Mmh baby hadi kesho jamani?"
"Pleaseee love, vumilia I beg you"
"Sawa mke, coz I love you navumilia"
"Usichepuke!" Alisema Lisa na kutoa kicheko kidogo.
"Mh cheko lako miye hoi"
"Ha-haa toka hapa"
"Ok natoka naenda kuchepuka"
"Baby..baby mimi nitakufa"
"Kwanini sasa si umesema nitoke"
"Ndio uchepuke kweli sawa tu ngoja niandike barua nijinyonge"
"Enhee ndio vizuri na mimi ngoja nikanunue shela na pete nije nikuvishe kwenye jeneza"
"Romoe stupid you! Ha-haaa" Lisa alicheka kwa sauti sana na kumfanya Romeo na yeye acheke. Walikuwa wapenzi wanaopendana sana. Waliongea mengi mwisho wakaagana sasa.
"Sleep well my love"
"Thanx darling"
"Fumba macho nikupe zawadi"
"Tayari baby nipe"
"Sogea karibu yangu"
"Nipo hapa kidume"
"Ha-haaa haya nikumbatie"
"Mh tayari baby unajoto zuriiii"
"Mmh jamani, unaharaka wewe"
"Lazima haraka coz nakupenda baby hebu toa ulimi wako"
"Mmh love acha uchokozi"
"Toa bwana..oooishhh ulimi wako wa moto huo ngoja niupoze na wangu wa baridi"
''Baby bwana"
"Nini mke?"
"Tulale pleasee naumia"
"Ok love.. Mwaah mmmwaaahh mwaaah mwaaa"
"Dah hadi nimeanguka sio kwa mabusu hayo"
"Hahhaa..lala huko"
"Haya mume wangu uniote."
"Nikuote unafanyaje?"
"Nimeikalia huku nimekulalia kifuani nachezea garden zako za kifua"
"Mmh wewe mtoto unahatari sana"
"Tena huku nakukatikia taratibu"
"Aah toka zako unataka kuniumiza tu kwaheri huko"
"Hahhaa haya mume lala salama, ilove you"
"Thanx love, I love tooo, nice night"
Baada ya hapo maongezi yakaisha kila mmoja akalala kwake huku akiwa na furaha sababu ya kuongea na mwenzie. Hakuna kitu kizuri kama mapenzi haswa uwe kwenye uhusiano na mtu unayempenda ni raha sana.
Asubuhi ilifika, Romeo akaamka cha kwanza akampigia simu Lisa wakasalimiana na kutakiana asubuhi njema baada ya hapo akatoka kitandani na kwenda kujiandaa kwaajili ya kwenda kazini kwake.
Hadi saa mbili ilimkuta Romeo yupo msasani, akakutana na Cruz wakasalimiana pia wakapata kifungua kinywa pamoja.
Baada ya hapo, kuna gari moja kali likaingia hapo ndani. Akatelemka msichana mmoja mwembamba mweupe sana, alikuwa amevaa kitop juu na chini alikuwa na kipensi kifupi. Akawasalimia na moja kwa moja akaingia ndani kwenye chumba kimoja wapo.
"Romeo wa kwako huyo" alisema Cruz na Romeo akainuka na kuingia kwenye hiko chumba.
"Tattoo ya Apple.." Alisema huyo msichana na kuvua kipensi chake akabaki na bikini ndani, kwa makusudi akalala kifudifudi na kumwambia Romeo amchore kwenye kalio lake moja.
Itaendelea.
Jipatie kipande kinachofuata kwa sh 250 tu. 0719618409 lisa ntanga.

Post a Comment

0 Comments