Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

PENZI LA MCHORA TATTOO-46



LATIFA NTANGA
0719618409
Alicia mtoto wa mjini mwenye mapozi yote, alikuwa mrembo sana mwenye hips matata, zaidi lips nene rangi yake ilikuwa nyeupe haikujulikana ndio alivyozaliwa au ni mkorogo katumia. Alicia alikuwa msichana mwenye kupenda starehe sana, wapo ambao walizani anaishi kwenye hoteli kwa sababu picha zake nyingi alizokuwa akipost mitandaoni alikuwa yupo hoteli tu akila bata. Alikuwa anatoka kimapenzi na vigogo mbalimbali mjini na kumpa jeuri ya pesa wanasema tembea na wenye pesa na wewe uwe na pesa ndivyo ilivyokuwa kwa Alicia. Alikuwa na jeuri sana ya pesa alivaa anachotaka anakula atakacho tena bila wasiwasi wowote! Waliosema mjini msingi kiuno hawakukosea na Alicia alijua kutumia vizuri kiuno chake kwa wanaume mbalimbali bila kujali kama kuna magonjwa wala nini. Aliwahi kugombana na Belinda kwa sababu alitembea na kigogo mmoja ambaye aliwachanganya wote wawili wakafumaniana na kupigana sana tangu hapo ikawa Alicia na Belinda haziivi kabisa chui na paka.
Alicia aliposikia sifa za Romeo akajiapiza lazima atembee naye na kweli alifanikiwa kupata namba ya Romeo akamtafuta ili aonane nae tena na kweli Romeo alikubali akamueleza nyumbani kwake na Alicia hakutaka kupanda gari lake aliona anachelewa alikodisha bodaboda ikampeleka hadi nyumbani kwa Romeo na kumuacha hapo nje.
"Nimefika nipo nje hapa" Alipiga simu Alicia kumwambia Romeo.
"Ok nakuja" Alisema Romeo na akatoka ndani kwake hadi nje ambapo alimuona msichana mrembo mzuri sana amesimama nje ya hiyo nyumba aliyopanga, kwanza akataka kuchukua simu na kumpigia ila alishangaa huyo msichana alimsogelea na kumkumbatia.
"Waooo Romeo, nimefurahi kukuona!" Alisema Alicia na kuzidi kumkumbatia Romeo ambaye alibakia akishangaa tu hakutegemea kuonana na mwanamke mzuri hivyo ambaye wala hakusumbuka kumtafuta au kumtongoza.
"Hata mimi nimefurahi sana kuonana na wewe mrembo, karibu ndani" Alisema Romeo na wakaingia hadi ndani kwake.
"Karibu sana unatumia kinywaji gani?"Aliuliza Romeo.
"Chochote tu baba!" Alijibu Alicia ambaye alikuwa na sauti laini tamu hatari yani anaongea huku Romeo ameshadinda.
"Dah kweli nina kismat yani watoto wazuri wananileta wenyewe hahhaa!" Romeo alijisema moyoni mwake na kujikuta akifurahia sana.
"Dah tatizo hapa sina vinywaji mama labda niende dukani, unakunywa nini?" Aliuliza Romeo akiwa amesimama.
"Kanichukulie savanna" Alijibu Alicia na Romeo akatoka nje na kwenda hadi kwenye pub ya karibu akanunua savanna tano na kurudi nyumbani kwake. Alipofika akafungua mlango na kuingia ndani ambapo alipigwa na butwaa nusu adondoshe savanna alizobeba.
Alicia alikuwa amelala kitandani mtupu kabisa hana nguo hata moja mwilini tena alilala kifudifudi na kufanya makalio yake makubwa yatune juu tena kwa makusudi alipomuona Romeo ameingia ndani alijibinua kidogo juu na kumuangalia kwa mahaba Romeo.
"Karibu mpenzi" alisema Alicia na kufanya nyoka wa Romeo avimbe kwa hasira sana hapo hapo Romeo akaweka savanna chini akavua nguo zake fasta yani kwa haraka kama yupo kwenye mashindano ya kuvua nguo vile, akumrukia Alicia kitandani.
Buku mwendelezo hadi mwisho. 0719618409,0763361677. Jina lisa ntanga.

Post a Comment

0 Comments