Alirudi ndani Cholo na kuanza kucheka kwa sauti.
"Ha ha ha haaa daaah! ku*amaaake unajua wee Dudukila tulikuwa tunaaibika hapa na yule kum* namjua vizuri kichwa chake biloa kukichetua na chako hamuendi hata kidogo. Na ugomvi huu najua haujaisha sasa hapa tupotee mwanangu ikiwezekana hata leo tupite kavu." Aliongea huku akivaa kipensi chake na shati kubwa ya jezi. Kabla Dudukila hajajibu kitu mlango uligongwa kwa nguvu. Wote walitazamana kabla ya kujibu na kufungua na kupeana ishara ya utayari kwa hatari nyengine mpya. Walijua huenda sasa Nuru Kapu kaja na kundi lake la 'Mcharuko' kuendeleza timbwili.
Dudukila alibana kona kufungua Mlango huku dogo Cholo akijiandaa kuungurumisha vibanzi kwa mbao ndogo aliyoikamatia sawia mkononi.
Lakini hamad! ile mlango unafunguliwa ghfla almanusura wampasua baba wa watu.
"Nyieee vipi? Alaaa!" Aliwaka mzee na kuwanyong'onyeza kina Cholo.
"Dingi ukigonga mlango utoe na sauti ujitambulishe kha!"
"Kausha Cholo! shkamoo faza."
"Nani Faza wako? hebu mwite huyo Jaba nawe uje." Aliongea mzee yule aliyevalia msuli huku juu akiwa na vest nyeusi sambamba na kibaraghashia. Alikuwa ndiye baba mwenye nyumba wao. Uso aliukunja kuonesha siku hiyo hakuja kimasihara kabisa.
Dudukila alimfata na kusimama nae kwa nje.
"Haya mwezi wa pili sasa umekatika hamjatoa hata kodi ya mwezi mmoja! sasa mwambie mwenzi nimewapa siku tatu tu! siwataki tena maana msije niletea hekaheka humu. Hela hamna bado hamuishi kufanya fujo na kupigana na watoto wa kike. Mwambie kbisa huyo Jaba siwataki nimechoka. Taarifa zenu tayari mjumbe anazo na mwenyekiti wa mtaa. Na tukio mlilolifanya leo ndio kabisaaaa mmenitibua."
"Lakini fazaa!"
"Full stop! nimemaliza." Aliondoka mzee na kumuacha katika taharuki Dudukila.
Chumba kile walikuwa wanachangia kulipa kodi na Mc Jaba ambaye sasa ulikatika mwezi wa pili na ushee tokea atokomee asijulikane wapi alipo.
Alirudi chumbani kiunyonge kichwa chini mikono nyuma. Cholo hakuonesha kujali wala kustuka na habari zile zaidi ya kujipigia mruzi.
"Dudukila mi nishazoea maisha ya kuwanga kama popo. Fata nyuki ule asali mambo madogo haya. Manyara pale kweupee hakuna kodi hakuna nin. Kimata broo wetu. Tuuze hivyo vijombo tusepe hapa kabla hujaaibishwa. Jaba kashatuzika tayari." Huo ndio ulikuwa ushauri wa Cholo.
********
||CHALINZE ||
Mang'umang'u tililalila usiku huo ndani ya Bar moja kubwa iliyosifika kwa burudani chalinze na mkoa mzima wa Pwani shangwe zilisikika. Ulikuwa ni usiku wa milindimo ya Pwani ambapo bendi maarufu ya mduara 'Chuchu Sound' ilikuwa inatumbuiza.
Shangwe hizo hazikutokana tu na utamu wa ile bendi tu iliyokuwa inaendelea kupiga mule ndani hapana. Bali ni mabinti watatu waliokuwa wanatoa 'show' katika Bar hiyo huku kivutio zaidi kikiwa kwa binti mmoja ambaye alionekana bado mgeni Chalinze lakini kwenye mauno hakuwa powa kabisa. Alinyonga na kutingisha wowowo haswaa.
Walivaa nguo ndefu aina ya Madela mepesi huku wakiwa hawana vitu vya ziada ndani zaidi ya chupi tu. Watu waliwatunza hususani yule mgeni wengi walionekana kukolea naye haswa.
"Daah! huyu binti ni nyoko jamani eeeeh! mamaaaa!" wengine walisikika wakipaza sauti zao wakati show ikiendelea.
"......Haya tena mpaka chini..chini chiniiiii chinichiniii chiniiii...haya peleka juuu..juuu kwa juuuu juuujuuuuuuu...halohalohalooooooow...."
Mwimbaji naye alizidi kuchombeza kwa vionjo vilivyowaongezea midadi ya kucheza wale mabinti watatu.
Show ilipoisha walikusanya pesa zao na kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia huku wakiacha nyuma kelele na viluzi vya kuwapongeza wakati burudani zaidi zilkuwa zikiendelea.
Moja kwa moja mpaka chumbani.
"Safi shost nilijua ungeniangusha! kumbe ni hodari zaidi hata ya mazoezini? kweli sio powa." Sauti ya binti mmoja ambaye ndie alikuwa kiongozi ilisikika akimpongeza yule binti mgeni ambaye alipofika chumbani alijitupa kitandani na kukaa huku akijiinamia kufikiria jambo. Ingawa alionesha kuwa yeye ni fundi kwenye kucheza lakini alipokuwa chumbani lugha ya mwili wake ilitafsiri tofauti kabisa. Haikuonekana kama alifurahia kile alichokifanya. Taratibu alinyanyua uso binti na kumtazama mwenzake. Aaaaaassssshhh!
Hakuwa mwengine bali ni Tausi. Tausi yuleyule nduguye Jerida.
"......Haya tena mpaka chini..chini chiniiiii chinichiniii chiniiii...haya peleka juuu..juuu kwa juuuu juuujuuuuuuu...halohalohalooooooow...."
Mwimbaji naye alizidi kuchombeza kwa vionjo vilivyowaongezea midadi ya kucheza wale mabinti watatu.
Show ilipoisha walikusanya pesa zao na kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia huku wakiacha nyuma kelele na viluzi vya kuwapongeza wakati burudani zaidi zilkuwa zikiendelea.
Moja kwa moja mpaka chumbani.
"Safi shost nilijua ungeniangusha! kumbe ni hodari zaidi hata ya mazoezini? kweli sio powa." Sauti ya binti mmoja ambaye ndie alikuwa kiongozi ilisikika akimpongeza yule binti mgeni ambaye alipofika chumbani alijitupa kitandani na kukaa huku akijiinamia kufikiria jambo. Ingawa alionesha kuwa yeye ni fundi kwenye kucheza lakini alipokuwa chumbani lugha ya mwili wake ilitafsiri tofauti kabisa. Haikuonekana kama alifurahia kile alichokifanya. Taratibu alinyanyua uso binti na kumtazama mwenzake. Aaaaaassssshhh!
Hakuwa mwengine bali ni Tausi. Tausi yuleyule nduguye Jerida.
Alinyanyuka Tausi pale alipokaa nae kuelekea kwenye bafu lililokuwa mulemule chumbani na kuoga kabla hajarejea kubadilisha nguo.
Mawazo na akili zake yalikuwa yanafikiria mengi kuhusu mustakabali wa maisha yake ya baadae.
Alikumbuka siku ile ya tukio lake kule kwa Mdoti hata kukimbia na kufikia pale alipofika na kuwa kwenye ukumbi ule wa burudani mkoa wa Pwani kama mcheza show matata.
"Sina chaguo, acha niiishi maisha haya inaweza kuwa tatizo kurudi nyumbani nikakamatwa kwa kosa la mauaji huenda hata dada kashakamatwa kwaajili yangu. Potelea mbali!" Alifikiria hayo na kuamua hivyo Tausi.
Huo ukawa mwanzo mwengine wa maisha ya Tausi ndani ya Chalinze. Huo ndio ukawa mwanzo wa kutumia pombe kwa Tausi ili mradi kufuta klumbukumbu zake za nyuma hususani juu ya tukio la kumuua Mdoti kama alivyoamini ingawa ukweli ni kwamba Mdoti bado alikuwa mzima.
Kadri siku zilivyoenda ndivyo Tausi alizidi kubadilika na kuwa maarufu kwa jina la Qtext.
Jina hili aliliibua palke akitaka kulipoteza jina lake la ukweli ili kama anatafuytwa na kufananishwa basi isiwe rahisi kwake. Taratibu vilevi na kucheza mziki nusu utupu vilizidi kuwavuta wanaume wa kila aina waliokuwa wanaenda kwenye burudani pale na hatimaye alijikuta naye anaangukia kwenye mlolongo wa wachuna buzi hadi kufikia kuuza mwili wake pasipo kujitangaza. Ndio! Kile kilichomkimbza kwa dadaake alijikuta anakifanya taratibu na kudumbukia pasipo kutaraji. Maisha ghali naye hakuwa na kazi zaidi ya ile kucheza. Uzuri wake ulikuwa kichocheo kikubwa cha ngono. Kila mwanaume alimtamani naye akajikuta anatamanika na maisha yake kuanasika.
Mc Jaba bado hadithi yake ilizidi kuwa fumbo hakuonekana wapi alikimbilia wala kujulikana alipo. Maisha yaliendelea kwa kina Dudukila ambapo mwishowe walifukuzwa pale walipokuwa wanaishi kwa kushindwa kulipa kodi na wakauza kila kitu kabla ya kuhamia ndani ya Manyara Park kwa Kimata kuendelea na makazi hapo huku wakikomaa kwenye harakati za burudani za mziki wa uswahilini kila siku za mwisho wa wiki.
******
||MIEZI 6 BAADAE||
Harakati zilipamba moto burudani zilichachamaa ndani ya Manyara Park. Watoto wa uswahilini kuanzia Kigogo, Manzese, Mburahati, Tandale, Mwananyamala, Mabibo na sehemu jirani walikusanyika Manyara Park siku za mwisho wa wiki kwa show kabambe zilizowagusa vilivyo za mziki wao waupendao hususani Mchiriku na mziki wa radha ambao ndani yake ulizaliwa mziki mwengine waliouita 'KIDUKU' huku wengine wakisema mziki wa machizi.
Mashindano ya kucheza baina ya Mandondo na Kisingeli yalizidi kuwa maarufu Tandale na sehemu zenginezo za jiji la Dar. Kisingeli ndiye aliyeonekana kuteka zaidi hisia za wapenzi wangi hususani aina zake za uchezaji. Madj mbalimbali nao walianza kufanya vitu kama alivyokuwa anavifanya Dudukila kwa program ile ya 'Vitual Dj' na hata mamc wengi wakaanza kuimba kama alivyokuwa anaimba Mc Jaba ambaye sasa hakuwepo na aina ya muziki wake ilikuwa inafanywa na dogo Cholo ambaye alizidi kuvuma na kuteka hisia za watu hasa pale alipojiongeza na kujiita yeye ni Mwamba.
Jina hilo lilitokana baada ya siku za mbele kuungana na Mancholo ambaye aliamua kuwa dj kama Dudukila kwenye mziki mmoja maeneo ya Kwa alimaua na kwa kuwa Dudukila hakuwa na sehemu maalum ya kupiga basi Cholo akawa na Chongo na kuzidi kuzunguka mitaani kwenye kigodoiro nje ya Manyara kujizolea umaarufu kwa mziki ule wa kichizichizi.
"Hiiii hapa teeeeenaaaaaa sauti ya Cholo Mwambaaaaaa weeeeee dj ManChoooongooo weeeeeekaaa weeeeka bahariaaaaaaaaaaa....... Kamatia chini kwa chiniiii na Kisingeliiii... Sijaooona weee cheza kama Singeeeeliiii haya kama Kisingeeeliii chezaaaaaa..... Kisingeeeeliiii nmamamamamamaaaaaaaa"
Watu walizidi kuchizikka na burudani hususani uchizi wa Choloo jukwaani na kujikuta taratibu mziki wa Kiduku ukibadilika jina na wengi kuanza kuuita mziki wa Kisingeli ikiwemo wale ambao walikuwa hawamjui Kisingeli mwenyewe mbali ya kuwa kauli za uimbaji wa Cholo Mwamba na mamc wengine walikuwa wanawataka mashabiki wao wacheze kama anavyochezaga Kisingeli lakini kimapokeo ikawa kinyume chake na mwisowe aina ya mziki wao ndio ikawa inaitwa Kisingeli.
"Oyii mwanangu leo Kisingeli wapii?"
"Daah! Manyara babu ndio kila kitu."
"Kweli mwanangu acha na mimi niimbe maana daa unaniingia akilini sana mziki huu kuliko hata radha."
"Kweli dogo Black niga."
"Nitaenda kumuomba bro Kimata."
"Fanya hivyo mkali wangu."
Yalikuwa ni maongezi ya vijana wawili wakiwa wanaokota chupa mitaani na hata majalalani wakijadili huku mmoja wao ambae alikuwa mfupi mweusi akionesha nia yake ya kuimba mziki ule waiouita Kisingeli. Dogo huyo aliitwa Black niga huku mwenyewe akimpenda sana msanii wa Jagwa aliyeitwa Jack Simela na kutamani siku moja kuwa kama yeye hata kufikia kwenye kuimba kwake kwenye vigodolo akijiita yeye ni dogo black niga simelaa.
Haikuishia huko tu bali Kisingeli ilizidi kuwa gumzo kitaani na wengi wakamiminika kwenye burudani hizo na huo ukawa mwanzo wa kumbi nyingi kuanza kuandaa burudani hiyo hususani maeneo ya kigogo katika kushindana na Promota Kimata.
Meneja Ndangala naye taratibu alianza kuona kuna uwezekano wa kupiga hela kwenye burudani hizo za kitaani endapo atatia fungu lake katika kuwanyanyua vijana ambao walionekana kuwa gumzo wakati huo uswahilini.
"Hapa itabidi nianzishe kituo changu cha redio iwe maalum kwa vijana hawa ili hata nitapogombea nafasi kwenye serikali vijana wawe rahisi kuniunga mkono." Hayo yalikuwa mawazo ya Ndangala Ndangala baada ya kuona mitaa haielewi juu ya burudani zile ambazo zilionekana za kichizihcizi lakini kadiri siku zilivyosonga mbele zilizidi kuwateka vijana wengi zaidi na zaidi.
Siku moja Ndangala akiwa katika kutembeloea sehemu zake za biashara ndipo aliamua kwenda Chalinze kwa rafiki yake ambaye ndiye alikuwa mmiliki wa sehemu ambayo Tausi alikuwa anacheza usiku nusu utupu.
Siku hiyo ilikuwa siku maalum kwa marafiki hao huku rafiki wa Ndangala akipania kumuonesha mwenzake mtoto mpya aliyempata ambaye amekuwa gumzo chalinze nzima na kumvutia wateja wengi.
"Leo lazima nikushangaze Ndangala Ndangala! hivi ushawahi kumuona binti mrembo mwenye figa matata halafu akikata mauno mnato na kucheza kama mwali wa kizaramo mwenye asili ya kimakonde?" mAlijitapa rafikiye huku Ndangala akiwa na kiu iliyojaa hamu ya kuona kile kisemwacho pasipo kujua kama binti mwenyewe ndiye Tausi.
Binti aliyempenda na kumtamani kwa muda mrefu pasipo kumpata wala kulijua joto lake mbali ya kuwa karibu naye kwa muda.
Siku moja Ndangala akiwa katika kutembeloea sehemu zake za biashara ndipo aliamua kwenda Chalinze kwa rafiki yake ambaye ndiye alikuwa mmiliki wa sehemu ambayo Tausi alikuwa anacheza usiku nusu utupu.
Siku hiyo ilikuwa siku maalum kwa marafiki hao huku rafiki wa Ndangala akipania kumuonesha mwenzake mtoto mpya aliyempata ambaye amekuwa gumzo chalinze nzima na kumvutia wateja wengi.
"Leo lazima nikushangaze Ndangala Ndangala! hivi ushawahi kumuona binti mrembo mwenye figa matata halafu akikata mauno mnato na kucheza kama mwali wa kizaramo mwenye asili ya kimakonde?" mAlijitapa rafikiye huku Ndangala akiwa na kiu iliyojaa hamu ya kuona kile kisemwacho pasipo kujua kama binti mwenyewe ndiye Tausi.
Binti aliyempenda na kumtamani kwa muda mrefu pasipo kumpata wala kulijua joto lake mbali ya kuwa karibu naye kwa muda.
Macho yalimtoka Ndangala akishindwa kuamini kile alichokuwa anakiona pale jukwaani. Haikuwa tabu kwake kumfahamu Tausi ingawa haikuwa rahisi pia kuamini kama ndiye. Tausi alikuwa nusu utupu kabisa akicheza kwa mvinjaro wa hatari sambamba na wenzake. Tayari alionekana kama yeye ndie kiongozi pale jukwaani pia hakuonesha ile aibu wala haiba aliyokuwa naye kipindi Ndangala anaanza kumfahamu.
Baada ya show kuisha rafikie Ndangala alicheka kwa kumuona mwenzake muda wote hakuwa sawa kumshangaa yule binti akiamini kapagawa naye.
"sikia kwa niaba yako rafiki yangu, nimekuandalia kitu maalum usiku huu. Najua utafurahi twende."
Alisema na kunyanyuka. Walielekea upande wa pili kulipokuwa na nyumba ndogo maalum ambayo ilikuwa na vyumba vizuri lakini vilitumika kwa dharula maalum kwajili ya mmiliki wa ile kumbi ikitokea anataka kupumzika ama ama kulala pale pasipo kurudi nyumbani.
Waliingia ndani ambapo mazingira yalikuwa mazuri huku kukionesha wazi kuliandaliwa kabisa siku hiyo.
"Tulia hapa rafiki yangu Ndangala ule maisha mi naelekea tena kule ila nitarudi."
Aliaga jamaa na kumshangaza kiasi Ndangala ambae mshangao wake uliishia kucheka tu baada ya kukaa sofani. Sofa maalum nusu kitanda.
Dakika chache baadae mlango ulifunguliwa na waliingia wahudumu wawili mmja akiwa amebeba chupa kubwa ya wisky ambayo aliipenda sana kunywa Ndangala huku mwengine akiwa na plate kubwa ya kukuchoma, mbuzi Paja na mazaga mengine kama pilipili, visu, umma, chumvi, kachumbari n.k
Waliandaa kwa heshima na kuondoka zao eneo lenye meza maalum ya chakula na kufunika kwenye vyomba maalum vilivyoandaliwa ambavyo vilikuwa ahavipozi chakula.
Ndangala alicheka sana na kutikisa kichwa akitazama picha kubwa ya rafikiye iliyokuwa ukutani. Lakini kabla hajafanya chochote mara mlango ulifunguliwa. Na hapo ndipo moyo wake ulipostuka tena. Ilitangulia harufu nzuri za manukato puani mwake kabla hajamtazama bintio mrembo aliyebadili muonekano baada ya kumuona siku hiyo saa chache nyuma akikata mauno jukwaani. Alikuwa ni Tausi ambaye alishaoga na kubadili nguo ambapo safari hii alivaa nguo maalum ya ujiuji ya kulalia. Ilikuwa nyepesi na ilimuonesha maungo yake ya ndani na kuchagiza macho ya yeyote aliyemtazama. Kijungu chake matata mbinuko, miguu mizuri, sura ya mvuto, kiuno matata, kifuani ndio loooooool hakika mtoto bado alikuwa mashaalllah mbali ya kuwa tayari alikuwa kipoozo cha wengi.
Kwa mwendo wa Twiga Tausi pasipo haiba wala kujali hata yeye alishamtambua Ndangala lakini alipotezea na kujifanya hamjui kabisa wal;a hajawahi kumuona na zaidi alishazoeleka pale kwa jina lengine tofauti na hakuna aliyejua yey ni nani.
Mziki laini uliokuwa unasikika mule ndani ulikuwa unamuongoza kwa mwendo wa kimiss huku akimsogelea Ndangala aliyetulia kama kapigwa shoti ya umeme.
Tausi alipomfikia pasipo hata kumsalimu alionesha alichokuja kukifanya ndicho alichokitamani Ndangala kwa muda mrefu. Alianza kumkatia mauno akicheza na kumkalia huku akimbusu na kuramba. ndangala pumzi zilimbadilika na kujikuta akimkamati aTausi na kumnyonya nyonya kila kona. mambo yalianzia palepale sofani. Mtu mzoima alizidiwa kwa utamu na kutamani sasa kuthibitisha mvunjiko wa mari ya sita.
Lakini kabla ya hapo alizuiwa na ndip[o Tausi alielekea pembeni kidogo mwa kile chumba ambacho alionesha kukijua vizuri na kuchukua kondomu maalum za bei mbaya zenye kuongeza msisimko wa tendo. Alimvisha Ndangala na mechi kali ilifatia kati yao. Ndangala hakuamini hadi anavunja dafu la kwanza. Alipagawishwa na viuno vya Tausi na zaidi zile kelele za kuitikia mjeledi kadri ulivyochapa.
Walifurahi walikula walikunywa na mechi ziliendelea mpaka karibu na asubuhi ambapo walilalala hoi.
Huo ukawa mwanzo mpya wa kufahamiana baina ya Ndangala na Tausi ambaye alijikana mpaka Ndangala akaamini kuwa amemfananisha. Alimpa ofa ya kuja jijini Dar akitaka kumzunguka rafikiake tena akimuahidi kitita kikubwa cha pesa endapo angekubali. Tausi alimpa muda na kuchukua mawasiliano.
**********
Saa mbili usiku ilionekana pikipiki iliyokuwa ikiendeeshwa na Dudukila huku nyuma akiwa kampakia dogo Cholo ilizidi kukata mitaa taratibu maeneo ya Mwenge. Dogo Cholo alikuwa makini kutazama kila wanayepishana naye huku Dudukila akiwa makini kupita jirani yao.
Mbele yao karibu na barabara kuu walimuona dada mmoja mrefu aliyevaa nguo za bei mbaya akishuka kwenye Prado ambayo iliondoka baadae kabla naye hajavuka barabara kuelekea upande ule waliokuwa wanatokea wao. Mkononi yule dada alionekana kushika mkoba mkubwa ambao walipomtazama na kuutathmini kila mmoja tamaa ilimvaa.
"Dudukila usifanye makosa bao hilo!" Aliongea Cholo.
"Mwake mwake." Dudu alijibu na kuongeza kasi kidogo ya pikipiki na wakati wanamkaribia yule dada akiwa ahana hili wala lile ghafla Dogo Cholo ama Cholo Mwamba kama alivyopenda kujiita, alimkwapulia ule mkoba kwa nguvu na ustadi wa ajabu yule dada.
"Mungu wanguuu! Weeeeziiiii..!"
Dada aliita huku mikono akiwa kashika kichwani huku watu wa eneo lile wakishuhudia tukio lile ambapo Dudukila aliongeza mafuta ya chombo na kuitafuta barabara kuu ili waishie.
Lakini hamad kwa bahati mbaya kabla hawajaingia barabara kuu Dudukila aliyumba na kujikuta pikipiki inamshinda na kudondoka karibu na mtaro.
"Waaalee, wameangukaaaa jamaniii weziiii kamataaa ua wezii haooooooo"
kelele zilisikika na kuwastua watu wa maeneo ya jirani na pale walipoangukia.
\"Tuheeepeee Dudu achana na pikipikiiii.." Cholo aliiimbia huku akimtahadharisha Dudukila aliyekuwa anaingia mtaroni kuinyanyua pikipiki kipindi hiko watu wenye hasira kali walikuwa wanawahi kuwapa chakula yao.
"Pikipiki ya watu siwezi kuaicha kizembe!" alijipa moyo dudukila na kuinyanyua pikipiki haraka huku akikaza msuri kuitoa mtaroni mwenyewe.
Cholo alisimama kwa mbali na kuita huku moyo ukimuenda kasi.
"Duduuukilaaaaaa! achaaaaa" lakini sauti yake haikumzuia Dudukila kuhangaika na pikipiki kuitoa mtaroni peke yake swala ambalo alifanikiwa. Alipiga kiki moja tu chombo iliitika huku akitabasamu kumtazama mwenzake kwa mbali. Lakini bahati haikuwa yake Dudukila. Watu wenye hasira kali walishmfikia hususani njemba moja aliyekuwa amebeba jiwe kubwa la kipande cha zege. Kabla hata udukila hajatia gia tayari jiwe lilimkuta kichwani huku Cholo akishuhudia kwa mbali mwenzake anavyoenda tena chini na kuzungukwa na raia wenye hasira.
Alikimbia zaidi Cholo na kukata vichocholo na kutokomea eneo lile.
Dudukila alitamani sasa kunyanyuka na kukimbia mwenyewe lakini hali ikawa si hali kwake kwani watu walishamzunguka na kipigo hevi kilimshukia.
Walimpiga kama wanaua nyoka. Mawe, vitofa na wengine walikuwa na vipande ya nondo walizoziokota chini ya ghrofa moja lililokuwa linaendelea klujengwa eneo la jirani.
"Huyu achomwe moto kabisaaa!" watu walisikika na kukubaliana baada ya Dudukila kuwa taabani mwili mzima damu akiwa amevimbiana akishindwa kufanya kitu chochote cha kujitetea.
Nuru ya fahamuzake ilianza kufifia huku kumbukumbu za maisha yake tokea mtoto zikijirudia akilini na kumletea taswira yote ya maisha yake.
"Umekwisha Dudukila!" sauti ilimwambia nafsini na chozi la mwisho lilimdondoka baada ya kuhisi kitu kizio zaidi kikiegemezwa kifuani mwake.
Ilikuwa ni pikipiki ile aliyoanguka nayo. Raia waliichukua na kumbebesha kifuani mwake ambapo walifungua mdomo wa tenki ya mafuta na kuanza kumwagikia na ndipo mmoja wa raia alipowasha kibiriti cha gesi na kukirusha pale.
'Vuuup!'' Moto ulilipuka raia wakatawanyika Dudukila akapapatika na pikipiki yake pasipo kumudu kujinasua. Akawaka kama kuni huku nafsi yake ikijuta na kuumia kwa mateso makali kbla haijaacha rasmi mwili ule ambao haukuwa na hadhi tena ya kuishi nao.
Dudukila alifariki rasmi palepale huku mwili wake ukiteketea kwa moto. Alikufa akiwa kijana mdogo mwenye kipaji kikubwa. Kipaji chake hakijamtimizia ndoto za maisha kama aliyofikiri. Changamoto za kitaa zilimfunika ubongo wake. Raia walitawanyika huku upande wa Cholo alionekana akikimbia huku akimkumbuka Dudukila tangia siku za nyuma. Aliamini ule ulikuwa mwisho wa Dudukila rafikiye kipenzi wa muda mrefu na urafiki ulikomaa zaidi tangia alipoondoka mc Jaba ambaye hakujua mpaka wakati huo kama mzima au amekufa. Na je yuko wapi?
Alipokaribia na maskani yao Manyara park ambapo pia kulikuwa na burudani ya Jagwa ikiendelea kabla ya burudani ya visingeli kuanza ambapo wengi walikuwa wanamkubali Dudukila kwenye mashine na hata Kimata huyo ndiye alikuwa tegemeo lake kubwa katika kuchizisha watu ukumbini.
":DUDUKILAAAAAAAAA!" Alipiga yowe Cholo Mwamba na kuutupa hewani mkoba ule waliopora huku akipiga magoti na kulia mwenyewe kwa maumivu makubwa ya nafsi na majuto ya kumpoteza rafikiye.
- MWISHO -

0 Comments