Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

Chombezo: Singeli kitaa sehemu ya nane (08)



Sauti ziliambaa kwenye spika. Midundo ya ngoma ilisikika ikipambwa na kinanda kidogo kilichokuwa kinapigwa kwa ustadi huku sauti ya visturi na madebe nazo hazikuwa nyuma kadiri muimbaji alivyopanda na kushuka. Hao walikuwa ni Jagwa siku ya uzinduzi wa ukumbi wa Manyara Park.

Watu walijaa sana huku wakicheza na kuruka jagwa. Huo ulikuwa ni mziki wa mchiriku ambao ulichukua nafasi kubwa sana mitaani hususani uswahilini. Ulibaki kuishi huko zaidi toka umeanzishwa ingawa pia uliwavuta mpaka watu wa nje na uswazi lakini bado hawakuweza kuucheza kama watoto wa kiswazi wenyewe watoto wa kitaa.

Kimata alifurahi sana kila alipotazama wingi wa watu ndani ya ukumbi ilimjengea picha kubwa sana ya mafanikio kwa kile alichokianzisha.

Jagwa walitumbuiza vya kutosha na walipomaliza sasa ikawa zamu ya waimba mziki wa kitaani ulioitwa mziki wa radha ambao uliimbwa kwa kudakia biti za taarabu.


"........Historia ya kweliii mamaaaa........ naijuaaa!

..Hiistoriaaa ya kweliiii..dada...ilitokeaaaa....!

Maaamaaa kamuacha mwana dadaa...eti kisa mdundiko...!

Yeee kakimbilia ngomaaaa mamaa...Ndani kaaacha mtotoooo....!

Mwaaana analialiaaa mama...hajui mamaaa alipooo...!

Na katika kutafutaaa mwana...akalifikia jikooo....!

Jiko lile la kichina tena....lenye uji wa mtotoo...!

Aliobandika mama yule.... alofata mdundiko...!

Mtotoo bila kujuaa...mama akajikwaa na jiko....!

Vibaya akaunguaaaa dada..... na uji ule wa motooo...!

Jiko likamwaga mafuta mara...ukalipuka na moto....!

Ukadaka mapaziaaa tena....nyumba ikashika motoo..!

Yule mamaa anarudi mamaaa................

..........................''


Burudani za radha ziliendelea na watu walizidi kufurahia. Ingawa walicheza lakini wahuni wengi walikuwa hawaelewi sana wala hawapendi kusikiliza sana kama ilivyo mziki wa radha. Tayari ubungoni mwao waliupenda mziki aliokuwa anaimba Mc Jaba ambao wengi waliopenda mziki wa radha waliuita mziki huo mziki wa kichizi. Mziki wa kudata. Lakini kukosekana kwa Mc Jaba kuliwapa pengo wahuni wengi wakicheza ilimradi tu.

Kimata aligundua hilo lakini hakukuwa na mtu aliyeaminika anaweza kufanya uchizi kama wa Jaba.

"Dudukila! kama vipi mdogo wangu tekenyatekenya zile biti zako alizokuwa anaimbia Jaba ili watu wacheze si unaona wahuni wamepowa!" alishauri Kimata kwa kumwambia Dudu kila aliyekuwa sambamba na dogo Cholo huku pembeni yao Manchongo naye alikuwepo akinyonga mjani.

"Nitekenye tekenyee?"

"Eeeeh tekenya kama vipi muhuni." alidakia Mwanawajoo na kumchekesha sana Manchongo.

"Ndio hivyo kwa sababu sasa hivi kinachofata ni mashindano ya kucheza atacheza Mandondo akishindana na Kisingeli, kwa hiyo si unajua wale wanacheza kichizichizi! midundo ile ndiyo yenyewe Dudukila tekenya tuwarushe wahuni, pia mdogo wangu Manchongo utawarusharusha hata kwa kuibia ibia pindi Dudukila akitekenya mambo yake." aliongezea Kimata.

"Daah! kaka mkubwa ujue toka niache udj ndio hata kuimba kwenyewe sielewi sasa nitamuimbia nini Mandondo na huyo Kisingeli?" Aliuliza Manchongo akionesha kila dariri za kukataa.

"Acha uboya wewee! na wewe Tekenya tekenya kama Dudukila tuuu si unaibiaaa!" alidakia tena Mwanawajoo na kumchekesha zaidi Manchongo mpaka akapaliwa.

"Kwa hiyo na mimi nitekenyetekenye?" aliuliza

"Eeeeh! tekenya." walijibu kwa pamoja Kimata, Dudukila na Mwanawajoo pasipo kupanga na kushangaa.

"Basi na Cholo naye etekenye..!

"Eeeeh nitatekenya. ile arrrrr..."

"ha ha ha haaaa!" walicheka kwa pamoja baada ya dogo Cholo ambaye muda mwingi alikaa kimya alipodakia na kuongezea ile 'arrrrr'

Basi walijadili kipindi hiko mziki wa radha ukiendelea kumwaga mahistoria ya kweli kama wale walioupenda mziki ulioitwa wa kichizi ambao wenyewe waliuita 'Kiduku' walivyouita mziki wa radha kuwa ni mziki wa 'historia ya kweli' kwa kuwa kila aliyeimba aliona ili awapagawishe mashabiki zake basi aimbe historia ya kweli kama ambavyo alifanya mkali wa mziki huo ambae ndie alikuwa anatumbuiza kwa muda huo.


Ndipo baada ya kushuka mkali wa radha, Kimata alishika kipaza sauti na kuwatangazia wadau waliokusanyika kuwa kifuatacho ni shindano la mkali wa kucheza kati ya Mandondo na Kisingeli.

"Na atayeanzaaa ni MANDONDOOOOOO"

Watu walishangilia na kukaa tayari kuona burudani za wakali hao ambao walijulikana vizuri mitaani. Dj Dudukila kama kawaida alikamata mashine na kuanza kudundisha midundo yake iliyoleta amsha amsha zaidi.

Manchongo naye alikamata kipaza sauti huku akiwa hajajiandaa aimbe nini kipindi hiko Mandondo akifanya yake kw 'style' za hatari hatari na ndipo Manchongo alipokiimba kile kilichokaa akilini mwake akiyanukuu maneno yaleyale waliyokuwa wanazungumza na kina Kimata.

"Arrrr tekenyaaaaa! tekenya tekenyaaaaaa.........

....Mwanawajoo tekenyaaaaaaaa......tekenyaaa...

..Promota Kimataaa....tekenyaaaa...we tekenyaaa.....

haya..Mandondo tekeeeeeeenyaaaa...tekenya tekenyaaa..

...weee Mandondooooo tekenyaaa...tekenya tekenyaaaa.....''

Masihara ikawa wimbo! Mwanawajoo alisimama na kupandisha mizuka huku akiitikia 'tekenyaaa' na kuwaambukiza wengine ambao ndio ilikuwa mara ya kwanza kusikia wimbo wa namna ile. Utundu wa Dudukila ulinogesha kila Manchongo alipoimba na kusema 'tekenya' basi naye alichombeza dundo.

Watu wakashangilia Mandondo ndio kabisa alichizika na kuonesha yeye ni mkali zaidi.

Lakiniiii ndipo muda uleule shangwe zikaripuka mara mbili zaidi baada ya Kisingeli naye kuvamia kati akiwa kitumbo wazi kwa lengo la kumfunika mandondo. Wote walishaweka madini ya bangi vichwani mwao.

Hakika style alizoingia nazo Kisingeli ziliwafanya hadi wengine wacheke na kuzidi kubanana kusogea pale walipokuwa wanacheza.

"Weeekaaaaa..weeeeeekaaaa!...weeeeeeeeeeeeeeeeeeeekaaaaaaaaaaaaaa!..."

Uzalendo ukamshinda dogo Cholo na kumnyang'anya kipaza Manchongo ili na yeye amuimbie Kisingeli tena kwa amsha amsha na mizuka ambayo hakuna aliyeamini hata Dudukila mwenyewe alishangaa kuona Cholo akipiga amsha amsha zilezile za Mc Jaba.

".....Hayaaaa cheza Kisingeliiiiii......

..Kisingeliiiiiii mamamamaaaaaaaa.... Kisingeeeliiiiiii.... cheza Kisingeeeeliiiiiiii....

...weeekaaaa Kisingeliiiii...Kisingeliiiiii cheezaaa Kisingeeeliiiiiiiiiiii....."

Ilikuwa ni zaidi ya 'mzuka' wahuni walipuliza miruzi shangwe zilishamiri zaidi na zaidi hata Kimata mwenyewe hakuamini na kujikuta machozi yakimdondoka huku uso wake ukiwa umechanua tabasamu la haja.





"Weeekaaaaa..weeeeeekaaaa!...weeeeeeeeeeeeeeeeeeeekaaaaaaaaaaaaaa!..."

Uzalendo ukamshinda dogo Cholo na kumnyang'anya kipaza Manchongo ili na yeye amuimbie Kisingeli tena kwa amsha amsha na mizuka ambayo hakuna aliyeamini hata Dudukila mwenyewe alishangaa kuona Cholo akipiga amsha amsha zilezile za Mc Jaba.

".....Hayaaaa cheza Kisingeliiiiii......

..Kisingeliiiiiii mamamamaaaaaaaa.... Kisingeeeliiiiiii.... cheza Kisingeeeeliiiiiiii....

...weeekaaaa Kisingeliiiii...Kisingeliiiiii cheezaaa Kisingeeeliiiiiiiiiiii....."

Ilikuwa ni zaidi ya 'mzuka' wahuni walipuliza miruzi shangwe zilishamiri zaidi na zaidi hata Kimata mwenyewe hakuamini na kujikuta machozi yakimdondoka huku uso wake ukiwa umechanua tabasamu la haja.


'Show' ilizidi kunoga watu walichizika zaidi na zaidi. Dudukila alizidi kuwa mtambo kwenye mashine.

"Jamaani Dudukilaaaa aaaaaah.." alipagawa binti mmoja kutoka kundi la washawasha.

Baada ya kina Kisingeli kumaliza kucheza na hatimaye uwanja ukawa wa kujimwaga kila mtu kwa nafasi yake. Hakuna Mc aliyekuwa anaimba kwa muda huo wote nao walikamatiwa na washawasha waliopagawa.

Lakini mara...... 'Pwaaaaaaaaaaaaa...!'

mvunjiko wa chupa ulisikika.

"Maamaaa aaagggggg!"

Yowe la binti lilifatiaaa. Ghafla njemba mbili zikakunjana.

Mziki haukuwa mziki tena sehemu ya kucheza ikawa mtafutano. Chupa zikaanza kurushwa matusi yalipepea kama bendera kwenye fukwe. Kilinuka!

Muda ulishakuwa nje ya kibali. Saa nane usiku. Polisi wakavamia ukumbi wakiwa na silaha na kamata kamata ikaanzia hapo.

Kuna baadhi ya watu wengi walifanikiwa kutoka katika purukushani ile huku wengine wakiishia mikononi mwa polisi na kuchezea kibano.

"Dudukilaa...dudukilaaa" sauti ya kike ilisikika ikiita huku miguu ikichapachika kwa mbio.

Alisimama Dudukila na kugeuka uchochoroni baada ya kufanikiwa kuwakimbia polisi.

"Vipi wewe?!" Aliuliza Dudukila huku akimkodolea yule binti aliyekuwa anamkimbilia akiwa amebakiwa na kitopu tu cha juu kilichoficha matiti yake huku chini akiwa na bikini pekee.

"Daah! nisaidie sina ujanja wa kuhepa hivi nitafir*** hadi nichanike. Bora ningekuwa na wenzangu." Alitweta binti huku akimtazama Dudukila. Alikuwa ni mmoja wa mabinti wanaocheza wakiwa na kanga moja huku kundi lao likijulikana zaidi kama kanga moko.

"Poa twenzetu." alishikwa mkono na Dudukila na kuelekea naye getto ambapo hapakuwa mbali na pale walipokuwa.

"Waseng* kweli wale mwela, daa" alilaumu na kutukana binti baada ya kufika getto na Dudukila. Kanga yake ilikwapuka pindi alipokuwa kwenye purukushani pale mlangoni Manyara. Dudukila kila alivyomtazama alijikuta Dudu lake likimtamani.

"Sasa naomba basi hata pensi yako mshkaji nisindikize."

"Usikonde ila sio muda huu, subiri kwanza." alijibu Dudukila huku akimsogelea na kumshika makalio yule binti.

"Mmmmh! Dudukila na wewe?" aliongelea puani bila hata kumzuia nayeye binti akampokea Dudukila na kumvuta kwake.

'Tipwaa' wakajitupa chini ya kigodoro huku wakinynyana ndimi kwa fujo.

Dudukila lenyewe lenyewe lilizidi kufutuma kwenye pensi ya Dudukila kila alivyobimbilishana na yule binti wa kangamoko pale chumbani.

Binti alijaribu kupeleka mkono ikuluni mwa Dudukila ili aanze kulipapasa Dudu na kulishikashika lakini machale yakamcheza Dudukila na kumzuia mikono.


ITAENDELEA

Post a Comment

0 Comments