Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

Simulizi: Mamdogo Lisa sehemu ya nne (04)



Mtoto wa kitanga alikuwa mtaalamu sana katika swala hilo la kucheza na mic mdomoni, ukimtazama kwa haraka jinsi alivyo na muonekano wake, huwezi kuamini kuwa anaweza kufanya mambo makubwa kama yale. mzee wa watu aliinuliwa miguu juu na kushushwa chini, alilazwa kiubavu na kurudishwa ubavu wa upande wa pili huku bado kitu kikiendelea kuchezea ndani ya mdomo wa Hasina.

Haikuchukua muda mrefu mzee wa kazi akawa tayari kwa mtatange mwingine. Hasina hakutaka kulaza damu kwani bado vitu vilikuwa bado vikimnyevuwa na alikuwa na kiu sana, akapanda juu na kuuzamisha mche wa mzee Bisu ndani ya mdomo wake wa chini kisha akaanza kujihudumia mwenyewe, alifanya yote hayo ili angalau na yeye aweze kupata ushindi japo wa bao moja tu.

Mzee Bisu alikuwa akilalamika huku alikitaja jina la Hasina bila kulipatia ipasavyo maana tayari alikuwa kwenye ulimwengu mwingine, hakusikia wala kuelewa kitu katika dunia hii. Dozi aliyokuwa akiipata kwa Hasina ilitosha kumsahaulisha kila kitu katika ulimwengu huu.

Hasina hakupenda kuona kuwa chombo kilichopo ndani ya mdomo wake wa chini kikipungua nguvu, alikichomoa haraka na kukiingiza kinywani mwake bila kujali kuwa kilitoka katika mdomo wake wa chini, alianza tena kukifyonza mpaka pale anapohakikisha kinarudisha nguvu zake ndipo alipokirundisha katika mdomo wake wa chini. kitendo hicho kilizidi kumpagawisha Mzee bisu na kujikuta akianza kutweta na akakaanza kuongea kwa sauti.

"... nakuja nakuuuu.... nakujaa teeeeena...."

baada ya kusikia kauli hiyo Hasina naye alizidisha spidi na kuongeza manjonjo zaidi…

... Alizidisha manjonjo baada ya kuhisi kuwa mzee huyu tayari alitaka kuvunja dafu kwa mara nyingine hivyo naye hakutaka kubaki nyuma angalau afanikishe japo moja. Mzee Bisu alianza kupaparika na kuukaza mwili kitendo kilichomuhakikishia Hasina kuwa tayari anataka sasa kuangusha mzigo wakati yeye alikuwa ndo analisaka hivyo akaamua kuuchomoa haraka na kujiweka pembeni huku akimbusu mzee huyo masikioni na huku akimpulizia pumzi za puani kwake katika masikio, mara mzee Bisu alisikika akiongea kwa kuhema.

"... ahh... we mtoto unafanya nini..."

swali ambalo halikujibiwa badala yake alihisi ulimi wa moto wa mtoto huyo wa kitanga ukizama masikioni mwake na kuanza kuchezeshwachezeshwa.

Mihemko ilizidi na kujikuta akianza kugumia kwa raha.

Baada ya kuhisi kuwa mambo yatakuwa yamerudi nyuma, Hasina uliushika tena ukuni wa mzee Bisu na kuuzamisha mdomoni kwake akaanza tena kuimba nao kama kwa dakika mbili nzima na huku akiwa anayachezea taratibu mapera yaliyochini ya ukuni wa mzee huyo.

BOFYA HAPA KUJUA MBINU ZA KUANZISHA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO

Mze Bisu alikuwa akilalamika kama mtoto mdogo, na utu uzima wake wote alikuwa akipelekwa puta na kibinti hicho cha kitanga ambacho umri wake haulingani hata na mwanaye wa mwisho.

Hasina alikuwa akipigania kupata bao angalau moja tu nay eye ajisikie vizuri, ukizingatia ni muda mrefu sana hajafanya mchezo huo, yaani toka alipoanza kufanya kazi nyumbani kwa mzee huyo hakuwahi kukutana na mwanaume, ukweli ni kuwa Hasina aliana kuwajua wanaume akiwa bado mdogo. Kipindi anaanza alikuwa na umri wa miaka kumi na tano tu.

baada ya kuuchezea kwa muda ukuni wa mzee huyo Hasina alijilaza katika mkao wa kula kisha akamvutia mzee huyo kifuani kwake, mzee wa watu hakubisha alipanda na kuuzamisha ukuni mahala pake huku akianza kusakata sebene.

Hasina yeye alikuwa akipepeta kwa nguvu zake zote huku akiwa amemng'ang'ania mzee huyo na huku akiwa anamyonya shingo katika hali ya kuleta raha.

Mtoto alikuwa akizunguusha kiuno kama hakuwa na mfupa, alizidisha spidi ili angalau wakutane na mzee Bisu wakati wa kuvunja dafu.

jitihada zake zilizaa matunda kwani wakati mzee Bisu anatangaza bao la ushindi tayari Hasina naye alikuwa kwenye eneo la hatari hivyo wakajikuta wamefika juu ya mlima wa kilimanjaro wakiwa sambamba, hata hivyo ushindi ulibaki kuwa wa mzee Bisu kwani yeye alishinda mawili wakati Hasina ndo lilikuwa ni la kwanza.

Baada ya kumaliza mzee huyo alijitupa pembeni huku akihema kwa nguvu, alikuwa akimuangalia Hasina bila kuamini kuwa yule aliyelala pale pembeni yake ndo yule mfanya kazi wake wa ndani kwani raha aliyoipata hakuwahi kuipata hata kwa mkewe.

Baada ya kumaliza kipute hicho, ile hali ya aibu kwa Hasina ilirudi, aliinuka pale kitandani na kukaa huku akiwa ameinamia chini, hakutaka kabisa macho yake yakutane na ya mzee Bisu. ni kama alikuwa akijutia kitendo alichokifanya na mzee huyo.

Baada ya kupumzika kwa muda mzee Bisu ni kama alikumbuka kitu, alikurupuka akaangalia saa kwenye simu yake, simu ikamuonesha kuwa ni saa saba na nusu. akakurupuka na kuingia bafuni huku akimuhimiza Hasina afanye haraka waondoke.

"... we Hasina, mi na kwenda kuoga na wewe fanya haraka tuondoke si unaona muda umekwenda..."

aliongea mzee Bisu huku akiingia bafuni. Hasina hakujibu kitu aliendelea kujiinamia pale alipokuwa kakaa. mpaka pale mzee Bisu aliporudi kutoka bafuni ndipo na yeye alipoinuka nakuingia bafuni huku akionekana ni mwenye aibu sana.

BOFYA HAPA KUJUA MBINU ZA KUANZISHA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO

**************************


Gari la mzee bisu lilipaki njee ya duka kubwa la nguo lililoko kinondoni studio nyuma kidogo ya kituo cha mabasi. walishuka mzee Bisu na Hasina kisha wakaingia ndani ya duka hilo linalouza nguo za kike chini ya umiliki wa kijana mmoja ambaye ni rasta na anayetumia jina la Man Toke. baada ya kuingia mzee huyo alisalimiana na Man Toke kisha akamuomba amsaidie kumtafutia Binti yake nguo.

"... kijana,..naomba umsaidiye dada yako kuchagua nguo za kisasa..."

"... usijali mzee wangu hapa amefika kwa man Toke..." alijibu Man toke huku akianza kumchaguli Hasina nguo za kisister du.

"... lakini naomba ufanye haraka maana tuko nyuma ya muda sana..."

walisaidiana kuchagua nguo nzurinzuri na zilizomkaa vizuri sana Hasina pale alipokuwa akizijaribu, yaani kila nguo aliyokuwa akiijaribu ilimkaa vizuri sana kutokana na umbo lake zuri.

Baada ya kupata nguo walizozitaka, wakasogea mbele kwenye kiduka kinachouzwa simu akamchagulia simu ndogo nzuri na ya kisasa, Hasina alifurahi sana baada ya kupata vitu vile alivyonunuliwa.

Muda ulikuwa umekwenda sana kwani ilikuwa tayari ni saa nane na dakika kama ishirini na sita ndio Hasina alikuwa akiingia nyumbani huku akiwa amebeba kapu la vyakula walivyonunua asubuhi na Bi. Pauline mke wa Mzee Bisu na huku mkono mwingine akiwa na mfuko mkubwa uliolosheheni nguo na viatu alizonunuliwa na mzee Bisu.

Mpaka muda huo alikuwa hajaanda chochote kwa ajili ya chakula cha mchana...




BOFYA HAPA KUJUA MBINU ZA KUANZISHA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO

... Mapigo ya moyo yalikuwa yakimuenda mbio, aliamini kabisa kuwa Bi. Pauline alikuwa tayari karudi na alikuwa akijiuliza cha kumuambia pale atakapoulizwa alikokuwa muda wote ule toka walivyoachana kule sokoni.

amwambie kuwa baba alimuambia waende guesti, weee!!! kama hajitaki athubutu kusema hivyo aone balaa lake.

alizidi kuusogelea mlango wa kuingilia ndani huku kichwani akiwa hajajua atasema nini pale atakapoulizwa alikokuwa. mapigo yalizidi kumuenda mbio pale alipokishika kitasa na kutaka kukizenguusha ili kuufungua mlango, lakini ghafla aliona kitasa hicho kikizunguuka na mara mlango ukafunguliwa, ilikuwa kidogo atoke mbio kwani alijuwa ndo tayari anakabiliana ana kwa ana na Bi. Pauline. lakini ghafla moyo wake ulitulia pale alipomuona aliyefungua mlango huo sio aliyemtegemea, kwani alikuwa ni Denis mtoto wa mwisho wa mzee Bisu.

"... we dada unatoka wapi saa hizi..."

Denis alimuhoji mara tu baada ya kukutana naye pale mlangoni.

"... natoka sokoni..."

alijibu Hasina huku akiwa anaingia ndani baada ya Denis kumpisha

"... sokoni ndo mpaka saa hizi?.. sasa utapika saa ngapi na watu tule saa ngapi..."

"... sasa hivi tu naanza kupika na chakula kitakuwa tayari ndani ya muda mfupi..." alijibu Hasina huku akielekea jikoni ambako aliliacha lile kapu lenye mahitaji kisha akachukuwa fuko lake lenye nguo akaingia nalo chumbani kwake.

Denis alikuwa akimuangalia tu bila kuongeza neno,. alikuwa akitamani kumuuliza maswali mengi kulingana na kuchelewa kwake kutoka sokoni pia na kuhusiana na lile fuko lakini aliamua tu kukaa kimya. alitoka zake nje na kuondoka kwenda kwenye mambo yake mengine.

huku ndani Hasina hakupenda kupoteza muda, aliingia jikoni na kuanza kukorofisha harakaharaka, aliangalia chakula ambacho anaweza kukiandaa na kikawa tayari ndani ya muda mfupi ili watu au Bi. Pauline asije akaleta utata.

hata hivyo pamoja na kuwa muda ulikuwa umekwenda sana hakuna mtu aliyewahi kurudi nyumbani siku hiyo, hata Denis alivyoondoka ilikuwa kimoja, hakurudi tena kwa ajili ya chakula. Bahati ilikuwa upande wake kwani mtu wa kwanza kurudi nyumbani siku hiyo alikuwa Bi. Pauline na ilikuwa tayari ni saa kumi jioni, Hasina alikuwa tayari keshapika chakula na kukihifadhi vizuri, hivyo Bi. Pauline alipoingia, hakuwa na maswali zaidi ya kumwambia Hasina ampe chakula kwani njaa ilikuwa ikimuuma.

bila kuchelewa Hasina alimuandalia chakula na kumtengea vizuri kisha yeye akarudi zake jikoni kuendelea na mambo mengine.

pamoja na kuwa tayari alikuwa ameokoka katika tatizo la kuchelewa kurudi nyumbani, lakini bado moyoni mwake alikuwa na hofu, alikuwa akijihisi kukosa amani kila alipokutana na Bi. Pauline kwani kila alipofikiria kile alichokifanya na mzee Bisu, alijikuta akimuogopa Bi. Pauline kitendo hicho kilimfanya akae jikoni muda wote bila hata kutoka kama inavyokuwa kawaida yake mara atoke aingie huku na kule, alikuwa akiogopa kukutanisha macho yake na ya Bi. Pauline aliyekuwa amekaa muda wote pale sebuleni akiangalia tv.

saa kumi na moja na nusu mzee Bisu aliingia akasalimiana na mkewe kisha akaingia chumbani ambako alibadilisha nguo na kuja kukaa sebuleni na mkewe.

"... mmeshindaje hapa leo?.. alihoji mara baada ya kukaa kwenye sofa lililokuwa jirani na lile alilokalia mkewe huku wote wakiwa wameelekea kwenye tv.

"... tumeshinda salama tu.."

"... vipi wanao wote hawajarudi?.." aliendelea na maswali huku akiangaza angaza huku na huku kama atafanikiwa kumuona Hasina lakini hakuambulia kitu.

"...hawajarudi hata mmoja na wala hata chakula cha mchana hapa hakijaliwa..."

mzee Bisu alishituka kusikia chakula cha mchana Hakijaliwa, katika akili yake akajua kuwa labda hali hiyo ilijitokeza kulingana na kuchelewa kwa Hasina, akajua hapa soo, Hasina kama atakuwa amehojiwa maswali anaweza akawa ameropoka. akajaribu kumuangalia machoni mke wake aone kama kuna kitu kitamfanya ang’amue kitu chochote cha hatari lakini haikuwa hivyo, akatuliza kwanza akili yake na kuhoji.

"... unasema chakula cha mchana hakijaliwa?.. tatizo ni nini?.."

"... tatizo si wanao wenyewe hawajarudi, kwa hiyo chakula kimepikwa hakijapata walaji..."

mzee Bisu akashusha pumzi ndefu japo kimyakimya, kisha akajiweka sawa pale kwenye sofa.

"...na Hasina yuko wapi?.."

"... yuko jikoni huko, na leo naona kajijimbia huko jikoni hataki kutoka..."

"... hee niitie aniletee maji ya kunywa..."

ukweli sio kama alikuwa akihitaji maji ila alitaka tu amuone Hasina amlinganishe tena na kile alichomfanyia muda mfupi uliopita. Mpaka sasa alikuwa bado anashindwa kumpatia picha Hasina kulingana na udogo wake na mambo yake ya falagha yalivyokuwa makubwa.

"... Hasinaaa!!!" aliita Bi. Pauline.

"... Beee..." sauti ya Hasina ilisikika kutoka jikoni.

BOFYA HAPA KUJUA MBINU ZA KUANZISHA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO

ITAENDELEA

Post a Comment

0 Comments