Hasina alipoufikia mlango alisikiliza kwa makini lakini hakusikia kitu zaidi ya sauti ya tv aliyokuwa ikisikika kutokea sebuleni, taratibu akaufungua mlango na kuchungulia sebuleni, akakuta mzee Bisu yuko pale pale alipomuacha na akiwa Bize na tv huku akibadilisha stesheni mbalimbali.
Alirudi chumbani na kwenda kuendela na shughuli yake. Huku sebuleni Mzee Bisu aliendela kutafakari ni jinsi gani ampate mfanyakazi wake huyo ambaye tayari ameuteka moyo wake, akajipa ujasiri na kuamua kufanya jambo.
… Alijiweka vizuri pale kwenye sofa kisha akajikohoza kidogo akaanza kuita kwa sauti.
"... Hasinaaa... Hasinaaa..."
huku chumabani Hasina aliisikia sauti ya boss wake ikimuita, akavaa nguo harakaharaka kisha akiitikia pia kwa sauti.
"... Bee baba..."
"... Njoo mara moja..."
alimalizia mzee Bisu huku akijiweka vizuri pale kwenye sofa na huku akipanga kichwani mwake maneno Ya kumwambia Hasina lakini maneno yalikuwa hayaji kichwani maana alikuwa hajui aanze kuongea nini. mara mlango wa chumba cha Hasina ulifunguliwa na Hasina akatoka.
alisogea mpaka jirani na pale alipokaa mzee Bisu akasimama kwa heshima zote.
"... Bee baba..."
Mzee Bisu aligeuza shingo na kumuangalia, ghafla alijikuta akikunja uso wake baada ya kugundua kuwa Hasina alikuwa kavaa tena kile kinguo ambacho hakioneshi kabisa mwili wake ulivyo wakati yeye alishajipanga kuongea naye huku akilitizama umbo lile la binti wake wa kazi.
alimuoneshea kwa alama ya kidole huku akimwambia kwa sauti nzito.
"... kaa hapa..." alijikuta akiongea kama kwa jazba baada ya kutokuona kile alichokitarajia.
Hasina alisogea taratibu na kukaa kwenye sofa huku mapigo ya moyo yakimuenda mbio, alikuwa akijiuliza ni kitu gani alichoitiwa kwani hata siku moja hakuwahi kukaa na boss wake huyo kama walivyokaa siku hiyo. alikuwa akihisi labda kuna kosa alilifanya, lakini kila akitafakari kosa lenyewe hakuliona.
Mzee Bisu naye kwa upande wake, alikuwa akitafakari ni jinsi gani aanze kumuingia mfanyakazi wake huyo aliyeupagawisha moyo wake ghafla. baada ya kutafakari kwa muda kidogo akapata ni wapi pa kuanzia.
"... Hasina,.." alianza kuongea huku macho yake yakiendelea kuwa kwenye luninga iliyokuwa mbele yake.
"... bee..."
Hasina aliitikia kwa sauti ya upole.
"... hivi wewe huna nguo nyingine zaidi ya hilo gauni lako?.."
aliuliza swali la kizushi na ambalo hata Hasina kakulitegemea, alijikuta akijitazama, kisha akajibu kwa upole.
"... nguo zingine ninazo lakini sio nzuri pia..."
alijibu Hasina huku akivivunjavunja vidole vyake.
"... ina maana gauni hilo ndo zuri kuliko nguo nyingine zote ulizonazo?..."
"... hapana ziko nyingine zuri kidogo lakini zinanibana..."
Mzee Bisu alikaa kimya kwa muda kisha akajiweka sawa pale kwenye sofa na akawa kama anamsogelea kidogo huku dalili zot zikionesha kuwa alikuwa kajawa na uchu.
"... sasa sikiliza Hasina... kesho nataka twende wote sehemu nikakununulie nguo zuri ili na wewe upendeze sawa?.. maana hii miguo unayoivaavaa sio hadhi yako sawa?.."
aliongea Mzee Bisu kwa sauti ya taratibu na nzito kidogo. Hasina alikubali tu kwa kichwa na huku macho yake yakiendelea kuvitazama vidole alivyokuwa akiendelea kuvivunjavunja.
"... unasikia Hasina, wewe ni msichana mzuri na unatakiwa uvae vizuri ili usichana wako uonekane, usiwe unavaavaa vinguo vichafu kama hivyo wakati wewe ni msichana mzuri na unaishi na sisi, tutaonekana kuwa hatukupendi,.. sawa?.."
Hasina alitabasam na huku akiendelea kukaa kama alivyokuwa na kisha akajibu.
"... sina zingine ndio maana na vaa hivi..."
"... sasa usijali, kesho utakuwa mpya, sawa Hasina?.."
"... sawa baba..."
"... sasa sikia..." aliongea Mzee Bisu huku akiinuka kutoka pale kitini alipokuwa na kumfuata Hasina pale alipokaa, alikaa kwenye mkono wa sofa sehemu ile ya kuwekea mikono kisha akamshika mabegani.
"... sikia,.. wewe… una simu?.."
alimuhoji huku akimpapasa taratibu mabegani.
"... sina..." alijibu Hasina kwa sauti iliyojaa kitetemeshi na huku akiwa na wasiwasi akijiuliza ni nini kimempata Baba huyo mpaka anaanza kumpapasapapasa jambo ambalo hakulitarajia na wala hakuwahi kulifikiria maana siku zote alimuheshimu sana na kumuogopa maana alikuwa sio muongeaji sana.
"... basi kesho ntakununulia na simu... lakini usimuambie mtu yeyote humu ndani sawa?.."
"... sawa..." alijibu kwa kitetemeshi.
"... hata hizo nguo nikikununulia usiseme kama mimi ndo niliyekununulia sawa?.. sema umenunua kwa pesa yako ya mshahara, sawa Hasina.."
"...sawa... "
alijibu tena Hasina na huku akijaribu kuutoa mkono wa Mzee Bisu uliokuwa ukiendelea kumpapasa mabegani kwake…
"... lakini baba mbona unanishika hivyo?..'
alihoji Hasina kwa Hofu huku akianza kuhisi kuwa kuna kitu Mzee Bisu anakitaka kutoka kwake.
Mzee Bisu hakujibu kitu ila aliendelea na kile alichokuwa akikusudia kukifanya, alikuwa tayari ameanza kumpapasa papasa Hasina sehemu za mabegani na huku akiwa anashuka taratibu kuelekea chini.
"... baba,.. baba..."
aliita Hasina huku akiendelea kujitingisha mwili wake ili Mzee Bisu asiendelee kufanya kile alichokuwa akikifanya, lakini Mzee Bisu wala hakuacha na wala hakuitikia mwito wake, na kama aliitika basi sauti ilikuwa ikiishia tumboni bila kutoka nje.
Hasina alipoona Mzee Bisu anaendelea kumpapasa na huku mkono ukianza kuelekea kifuani kwake na bila kuitikia mwito wake, akaanza kujivuta ili asimame.
"... baba mi sitaki hicho unachotaka kufanya..."
hatimaye Hasina alijitutumua na kuongea. Mzee Bisu aliacha kwa muda kumpapasa Hasina akamtazama kwa macho ya uchu kisha akaongea.
"... sikia Hasina, hebu twende kwanza chumbani kwako...""
... chumbani kwangu kufanya nini baba?.."
"... kuna kitu nataka nikakuoneshe huko..."
"... kwa nini usinioneshe hapa hapa baba?.."
"... hapa sio pazuri, hebu twende chumbani..."
aliongea Mzee Bisu huku akiinuka na kuanza kumvuta Hasina ili asimame waongozane kwenda chumbani.
"... Baba mi siwezi kwenda huko chumbani na wewe... naogopa..."
alijubu Hasina huku akiweka mgomo kuinuka pale alipokuwa kakaa.
"... unaogopa nini sasa, kwani mimi zombi?.."
Mzee bisu alihoji huku akionekana kuwa tayari alianza kuchukizwa na misimamo ya Hasina wakati yeye alitegemea kuwa asingewekewa mgomo na mfanyakazi wake wa ndani, hali ilikuwa mbaya kwa upande wake, sungura wake alikuwa tayari kwa vita na alioneka dhahiri alivyokuwa katuna ndani ya bukta lake kubwa alilokuwa kalivaa, na ni hicho kilichomuogopesha zaidi Hasina kwani tayari alishajua kuwa Boss wake huyo alikuwa akitaka kula tamtam.
Mzee Bisu alitamani atumie nguvu kumvutia Hasina chumbani, lakini akaogopa kwani alihofia kuwa Hasina anaweza kupiga kelele na kujaza watu. akaamua kutumia tu mdogo kujaribu kumlainisha japo alishagundua kuwa Hasina hakuwa tayari kufanya kile alichokitaka yeye. akaona bora ajaribu kwanza kumuogopesha labda mtoto atalainika. Akabadilisha muonekano wa sura yake na kuujaza jazba kasha kwa sauti nzito na yenye madaraka akaongea.
"... sikia Hasina, kama utaendelea kugomea hiki nnachokitaka kwako basi na mimi ntakuwa sina bubudi kukufanyia ubaya..."
aliongea mzee bisu akiwa bado kamshikilia mkono Hasina aliyekua bado kakalia sofa lilelile na huku mzee Bisu akiwa kasimama mbele yake. macho ya Hasina muda wote yalikuwa yakiangalia kwenye Bukta la Mzee Bisu lililokuwa limetuna kwa mbele kuashiria kuwa kitu kilichokuwa ndani kilikuwa kimetuna vibaya na kilikuwa kikihitaji kupata mwenzake. aliinua macho yake na kuyatumbua huku akimuangalia Mzee Bisu machoni baada ya kusikia kauli yake ile, aliogopa zaidi. alijiuliza ni ubaya gani ambao Mzee Bisu alikusudia kumfanyia kama ataendelea na mgomo wake.
"... atanibaka kwa nguvu?.. au... ataniua... au ni ubaya gani sasa ambao anauzungumzia huyu mzee...? mawazo yalipita akilini mwake, mara akagutushwa tena na sauti ya mzee Bisu.
"... ujue hapa uko kwangu, na hapa, mimi ndio nnayekulipa mshahara na mimi ndo kila kitu humu ndani... sasa utachagua Moja kati ya haya mawili..."
aliendelea kuongea mzee Bisu huku Hasina akiendelea kumtumbulia macho na kusubiria kuambiwa ni mawili gani hayo anayotakiwa kuchagua moja.
"... unafungasha vitu vyako sasa hivi unaondoka kwenu, tena bila kupewa hata shilingi tano, au ukubali kwenda na mimi chumbani kwako unipe nnachotaka kwako ili uendelee kufanya kazi hapa na nikutimizie ahadi nilizokuahidi kukununulia tena na mambo mengine mengi nikupe..."
Hasina alishitushwa na kauli hiyo, akamtumbulia macho Mzee Bisu na huku akiwa kaachia mdomo wazi asijue cha kuchagua. alikuwa akitafakari harakaharaka kichwani mwake nini achague.
akikataa kuingia chumbani na Mze Bisu, ina maana kwamba yeye aingie chumbani humo akusanye kilicho chake na atoweke pale nyumbani tena bila kupewa hata senti moja. Au akubali kuingia chumbani humo na Mzee Bisu afanye kile ambacho Mzee Bisu anakitaka ili aendelee kukaa na bado atatimiziwa mengi aliyoahidiwa na mzee huyo.
"... nikisema niondoke hapa na viguo vyangu ntakua sina pa kwenda zaidi ya kupanda gari na kurudi Tanga... na huko Tanga ntaendaje wakati hata shilingi kumi sina?.."
aliendela kuwaza Hasina.
"... lakini nikimkubalia huyu mzee kama anavyosema ataninunulia kila alichoniahidi... tatizo sasa kutembea na mzee mtu mzima kama huyu pia si sawasawa nakutembea na baba yangu?.. hapana... Mungu wangu nifanye nini sasa mimi?.. " aliendelea kuwaza Hasina.
… Lakini ghafla aligutushwa toka mawazoni na mkono wa mzee Bisu uliomshika ghafla na kisha kuanza kumvuta kuelekea chumbani kwa kwake, yaani chumbani kwa Hasina mwenyewe.
Bila kujielewa na kama vile alikuwa ametokwa na fahamu, Hasina alijikuta akimfuata Mzee Bisu kama mbuzi apelekwaye machinjoni bila kujijua kuwa anakwenda kuchijwa.
Ni kama tayari alikuwa amekubaliana na ombi la Mzee Bisu bila yeye mwenyewe kujijua kuwa alikuwa tayari kwenda kufanya kile walichotaka kwenda kukifanya au la. waliongozana mpaka walipoufikia mlango wa chumba cha Hasina huku Mzee Bisu akiwa bado kamshikilia mkono.
Mzee Bisu akausukuma mlango huo ambao haukuwa umefukwa kisha akamtanguliza Hasina kuingia ndani ya chumba hicho na yeye akawa anafuata nyuma huku akiangalia huku na kule kama kuna mtu ambaye alikuwa akiwaona, uso wake ulitawaliwa na furaha kwani alijuwa sasa anakwenda kuua. Alitamani kupiga ukulele wa kushangilia lakini akaona itakuwa kujizalilisha mbele ya mfanyakazi wake.
Lakini kabla hajaingia kabisa Mzee Bisu alisikia sauti ya mtu ikiongea nje, alisimama ghafla na kusikiliza kwa makini sauti hiyo ni ya nani na ilikuwa ikitokea upande gani. Mle chumbani Hasina naye alisimama na kumkodolea macho yule mzee aliyekuwa na uchu. alijiuliza ni kitu gani kimetokea mbona mzee amesimama ghafla wakati yeye ndo aliyelazimisha waingie chumbani humo, ukweli ni kuwa Hasina naye alikuwa tayari kwa kile kilichokuwa kinakwenda kufanyika, alishaamua afanye ili apate kile alichoahidiwa.
Ni kweli kuna mtu alikuwa akiongea nje ya nyumba hiyo, au tuseme kuna watu walikuwa wakiongea nje ya nyumba hiyo. aliposikiliza kwa makini, Mzee Bisu aligundua kuwa ilikuwa ni sauti ya mke wake lakini hakujua alikuwa akiongea na nani. haraka sana akarudisha kichwa mle chumbani na kumuangalia Hasina ambaye naye alikuwa akimkodolea macho.
"... Hasina, mambo yalishaharibika... sasa sikiliza kesho asubuhi tutakwenda sehemu nikununulie vile vitu kama nilivyo kuahidi sawa?.."
Hasina aliitikia kwa kichwa.
"... nafanya hivyo kwa vile ulishanionesha moyo wa kunikubalia... sasa kesho saa nne asubuhi wakati unakwenda sokoni, utanikuta kwenye kile kibaa cha pale kwa Mangi sawa?.."
aliendelea kuongea haraharaka Mzee Bisu kabla mkewe hajaingia na kumkuta chumbani kwa Hasina.
"... kwani baba wewe kesho huendi kazini?.." Hasina alijikuta akipata ujasiri wa kuuliza swali.
"... kazini ntaenda lakini ntatoka mara moja ili twende nikununulie nilichokuahidi alafu ntarudi tena kazi..."
"... sasa ukirudi si uje unichukue hapa ndio twende?.."
"... nilishakuambia sitaki mtu yeyote ajue kuwa mimi ndo ninaye kununulia hivyo vitu, kwa hivyo nikija hapa kukuchukua kila mtu atajua..." alimalizia Mzee Bisu kisha akachungulia mlangoni haraka, hakuona mtu, akamgeukia tena Hasina.
"... tumeelewana?..."
ITAENDELEA

0 Comments