Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

Chombezo: Bao tatu za mgeni sehemu ya nane (08)



Mzee Mtata alikuwa ni mtu mwenye misimamo yake,wanakijiji walimjua!Kuna kipindi alishawahi kumpoteza mtoto wa tajiri pale kijijini kisa kamtukana,na kumtoa ilibidi baba yake atoe ng’ombe ishirini!


Mama Zubeda hakuwa mgeni kabisa alijua lazima upo ugumu kumpata Lukas,iila hakuwa na jinsi ilikuwa lazima afanye kila awezalo ili ampate!


“Shemeji naomba tuliongee hili suala,huyu kaka ni mgeni jamani hajui lolote siyo kama kafanya makusudi!”


“Shemeji mkono mtupu haulambwi!”


“Unamaanisha nini shemeji na unajua mume wangu kasafiri kaenda kwenye biashara zake mi pesa nitatoa wapi!”


“Hahahahaha!shemeji bhana basi tumsubiri arudi!”


“Jamani si unajua anaweza kumaliza hata miezi sita tunaishi kwa pesa ya maziwa shemeji!”


Mzee Mtata alimuangalia sana Mama Zubeda akamtathimini jinsi alivyo mzuri akajikuta ameingiwa na tamaa!Aliinama akamnong’oneza!


“Shemeji lakini situnaweza tuka…..tukaaaa…eeeeh…tukananii!”


“Khaa!siwezi shemeji yani bado unanitakaga tu,siwezi kwa kweli una wake zako wanne hawakutoshi?”


“Sasa usiongee kwa sauti,kwani unamtaka ndugu yako humtaki!”


Swali lile lilimfanya mama Zubeda ajifikirie mara mbili,alikumbuka mapenzi matamu ya Lukas akajikuta yupo njia panda!


“Vipi sasa umekubali?”


“La..la..lakini shem!”


“Lakini nini sasa mimi siibandui naiacha hapo!”


Mzee Mtata alisimama akiwa na uchu mkubwa wa ngono,akaanza kumpapasa Mama Zubeda ambaye alikuwa kasimama wima kama mlingoti!


“Hayo ndo mambo sasa shem uanipa kidogo namuachia mdogo wako!”


“Tunafanyia humu?”,aliuliza kwa mshangao mama Zubeda!


“kila kitu tunamaliza humu humu na kijana wako unatoka naye humu!”


Hakuwa na namna mama Zube alilvulishwa nguo akabaki mtupu,akaamua kudhalilika kuokoa maisha ya Lukas!


Mzee Mtata alipomvua nguo akamlaza kwenye ngozi ya mbuzi kisha akafungua mshipi wake mweusi na kubaki utupu!


Mzee Mtata na ubabe wake wote alikuwa na bakora kama ya mtoto,wanasema mganga hajigangi kabisa,mama Zube alijua atakutana na kombola la alqaeda kumbe wapi!


Mzee Mtata hakuwa na mambo mengi alipiga goti akazamisha kibamia chake kisha hazikupita hata dakika tano akashusha mzigo wake!


Mama Zubeda aliamka akavaa nguo zake akimuangalia mzee Mtata kwa aibu aibu,Mzee Mtata naye alikaa kwenye kiti chake kisha akamuuliza!


“Umesema anaitwa nani?”


“Lukas!”


“Lukasiiiiiiii lukasiiiiiiii!”


Mzee Mtata alifanya manyanga yake kisha baada ya dakika tatu alitokea mtu tofauti na Lukasi,mzee Mtata akamuuliza!


“Ndiyo huyu?”


“Hapana!”


Mpaka anatokea Lukas mwenyewe walikuwa wametokea watu kama watatu tofauti huku wengine wakiwa na nywele ndefu wanatisha hatari!


Lukas alitokea akiwa amekaa kwenye kigoda kainama akiwa anaonekana hana ufahamu kabisa!


“Ni huyu?”


“Ndiyo jamani Lukas pole babaangu!”


“Acha kelele huyo hakusikii hana ufahamu,atakaa hapa wiki mbili nimzindue maana nilikasirika sana nilitaka nimfanye msukule kamili!”


“Jamani si ulisema naondoka naye?”


“Unabishana na mimi sasa?”


“lakini hayakuwa makubaliano yetu!”


“Basi mchukue ukamtibu mwenyewe!”


Mama Zube hakuwa na jinsi alimuacha Lukas kwa mganga ili atibiwe,ilibidi aondoke japo roho yake ilikuwa inamuuma sana!




*********




Lukas alishtuka akiwa kwenye kijumba cha nyasi chini kalalia ngozi ya ng’ombe,mazingira ya kile kijumba ndiyo yaliyozidi kumpa wasiwasi!


Kulikuwa na vitu vingi vya kutisha kama pembe za wanyama mbalimbali,ngozi za simba na chui zilikuwa zinang’inia,kijasho kilimtoka kwa hofu akainuka ila kabla hajafanya lolote aliingia mwanamke mtu mzima kiasi japo si sana,alikuwa mrembo kiufupi alivutia sana!


“Oooh!umeamka?”


Cha ajabu alipotaka kuuliza chochote alishindwa ulimi wake ulikuwa mzito sana,jambo lile lilimchnganya akajiuliza inakuwaje anashindwa kuongea!


Yule mwanamke alikaa na alikuwa na bakuli lenye dawa akampa akimwambia anywe,Lukas kumbukumbu zake zilipotea hakujua kafikaje sehemu kama ile!










Habari za Lukas kubaki kwa mganga zilileta huzuni kubwa katika familia ya mzee Jomo,kila mtu alisikitikia moyoni,mama Zubeda aliumia sana,Zubeda naye alikuwa na kio chake moyoni,Selina na Suzy nao walikuwa na huzuni yao!


Alibaki mmoja tu ambaye hakuwa na uchungu na Lukas,naye ni Johari,huyu binti hakuwa na muda na mambo ya nyumbani,kwanza akiamka asubuhi tu anaondoka zake kurudi ni mpaka jioni!Alikuwa ni binti fulani anayejielewa na mchapakazi!


“Mama kwani mzee Mtata kasemaje?”,aliuliza Zubeda!


“Kasema inabidi amtibu sababu alikuwa amemtolea ufahamu tayari!”


“Sasa amesema atakuwa sawa lini?”


“Wiki mbili!”


“Wiki mbili!!!???”,Selina na Suzy walidakia kwa pamoja!


“Hey nyie vipi mbona mnamsikitikia sana,si atarudi hata hasiporudi kwani ndugu yenu?”


Alisema Johari huku akiendelea kula maana wengine hata hamu ya kula hawakuwa nayo kabisa,Johari hakuwa na habari kwake arudi hasirudi sawa tu!


Hakujua kuwa mgeni ni mchepuko wa mama yake na kama haitoshi ameshatembea na ndugu zake wote,na wanammiss sababu ya penzi lake!


Mama Zubeda hakula kabisa siku iyo aliondoka zake akiwa na mawazo akajifungia chumbani,wengine nao wakakiacha chakula na kumuacha Johari peke yake!


“Laleni mi nakula mnanisusia kisa mgeni,mgeni mwenyewe mpotea njia!”




*******




Mazingira yalikuwa mageni kabisa kwa Lukas,alijaribu kuvuta kumbukumbu zake lakini hazikuja,bado hakupata jibu amefikaje kwenye kile kijumba!


Mwanamke aliyeingia na bakuli la dawa alimfanya ajiulize maswali mengi,lakini hakuwa na namna zaidi ya kumuuliza yule mwanamke!


“Hapa ni wapi?”


“Kwa mganga mzee Mtata!”


“Kwa mganga?kwani mi naumwa?”


“Kunywa hiyo itakusaidia kukumbuka kila kitu!”


Alisema yule dada kisha akainuka na kupiga hatua ila kabla hajatoka akasimama na kugeuka kisha akamwambia Lukas!


“Siku nyingine jifunze kukaa vizuri ukiwa na mimi!”


Alisema vile kisha akaondoka,Lukas akajiuliza kwani amekaaje?alipojiangalia hakuamini yaani bakora yake ilikuwa inaning’inia nje ya pensi!


“Ayaaa huyu mama kanichungulia kudadeki!aah atajua mwenyewe!”


Lukas alijisemea kisha akainua lile bakuli la dawa,alilisogeza mdomoni lakini harufu kali ya dawa ile ilimfanya alitue bakuli chini!


Lakini alipokumbuka kuwa eti ile dawa itamsaidia kukumbuka akajikaza na kufumba macho akaimimina ile dawa mdomoni!


Baada ya hapo alihisi kizunguzungu kikali sana macho yakakosa nguvu kabisa akapitiwa na usingizi mzito sana hakujua kinachoendelea!




********




Yule mwanamke baada ya kutoka kwenye kijumba kile alirudi na kuingia jikoni,kulikuwa na wanawake wengine watatu!


Alifika akakaa kisha akawa anaguna guna tu,jambo lile lilizua maswali kwa wale wanawake wengine wakataka kujua kulikoni!


“Vipi mwenzetu kulikoni?”,aliuliza mmoja kati ya wale wanawake!


“Ebhu tuambie maana naona unagunaguna tu!”


“Mhh!macho aya yanaona mengi shoga zangu!”


“Weeeh!kwani umeona nini kwa huyo mgonjwa!”


Yule mwanamke aliwasimulia jinsi alivyopeleka na dawa na kuiona bakora ya mgonjwa yule ikiwa imetoka nje ya pensi!


“Mhh!sasa shoga unatutia majaribuni maana kwa kibamia cha mzee Mtata mmh!”


“Mhh!nigune mie!”,mwingine alidakia!


“Mi nina wazo kila mtu anajua kibamia cha mzee Mtata,na vile ambavyo anatuchunga,naimani kila mtu hapa ana wazo kama langu!”


“Wazo gani?”


“Kuchepuka!”


“Uwiiih Mzee Mtata atatuua!”


Kilipita kimya kirefu wote walionekana kutamani sana kuchepuka ila walishindwa wataanzia wapi?


“Ivi jamani mnajua mi sielewi niliolewaje na mzee Mtata!”


“Mhh!hata mimi nilijikuta tu!”


“Yni mimi ndiyo sijui kabisaaa siku ile naambiwa mzee Mtata kaleta posa sijui nilikubalije!”


“Huyu mzee mchawi msishangae ila nawaambia mi ndiyo mke mkubwa hapa na ndiyo nitaanza mimi kuchepuka kama ananiua aniue mimi,mkiona nimechepuka mimi nimekufa basi msichepuke,mwanaume gani miaka yote hata mtoto hakuna,ukisikia mganga hajigandi ndiyo hii,anatibu watu wanapata watoto yeye hata wa kusingiziwa hana,MIMI NASEMA HIVI NACHEPUKA NA MGOMJWA!”


“Mimi nitafuatia,nachepuka na mgonjwa!”,wa pili naye alidakia wawili wakabaki wanaangaliana!










Mzee mtata ni kama alimchukua fisi na kumfungia buchani,kitendo cha kusema Lukas akae pale kilingeni kwa wiki mbili,ilikuwa ni kosa kubwa ambalo angelijutia maisha yake yote,ila kwake hakuwa na wasi sijui aliwaamini wake zake au ni vipi?


Kikao cha wake wa Mzee Mtata kilikuwa kigumu mpaka wakati huo wawili wamedhamiria kufanya mapenzi na mgonjwa ambaye ni Lukas,huku wawili wakiwa bado hawajasema chochote!


Wawili waliobaki walitazamana,ni wazi walionyesha hofu kubwa,walihofia maisha yao wakiamini mzee Mtata anaweza kuwafanya kitu kibaya,ila walipokikumbuka kibamia chake kiliwafanya wawaze nje ya boksi!


“Mimi nitakuwa watatu kuchepuka!”,mwingine naye alidakia!


“Mimi nitamalizia!”


Hatimaye wanawakwe wote wanne waliunganisha nguvu na kudhamiria kumsaliti Mzee Mtata,baada ya kuona lao limekuwa moja wakaamua kupanga mipango!


“Tunaanza lini?,aliuliza Veronika ambaye ndiye mke mdogo kabisa wa mzee Mtata!


“Tunaanza leo hatuna kusubiri,hatujui anaondoka lini!”,alijibu Chiku ambaye ndiye mke mkubwa kabisa wa mzee Mtata,mke wa pili anaitwa Rusia au Rusi na wa tatu anaitwa Lolenza!


“Sasa ngojeni niwape mbinu,kama mnavyojua Mzee Mtata kila siku analala kwa mke mwingine kwa hiyo sisi tutaenda kinyume na ratiba yake,yaani akiwa kwangu leo basi Vero unaenda kwa mgonjwa usiku,yani sijui mmenielewa?”


Walikubaliana na ratiba ikapangwa ila zamu ikaangua kwa mke wa tatu ambaye ni Lole au Lolenza sababu siku hiyo mzee mtata atakuwa kwa mke mdogo kabisa!




********




Lukas hakuwa akijua chochote kile kinachoendelea,hakujua kama tayari wake wa mzee Mtata wameshamtengenezea ratiba!


Baada ya kuletewa chakula cha usiku alikula kisha akapewa dawa ya kuoga akaoga japo hakujua bado kwanini anaoga madawa,kumbukumbu zake bado zilikuwa hazishiki vizuri!


Usiku akiwa amelala alishtuka baada ya kusikia anapapaswa,mwanzo alihisi kama anaota lakini haikuwa ivyo,alikurupuka usingizini akamkuta mwanamke kamkalia yuko uchi wa mnyama!


“Shiiiiiiiihh!usipige kelele!”


Alisema yule mwanamke Lukas akabaki ameduwaa hasijue nini kinaendelea,mwanamke yule alianza kuipapasa bakora yake kwa madaha,lakini tofauti na siku zingine Lukas hakuwa na hisia!


Ni kama mwili wake uliingia ganzi kabisa wala bakora yake haikuwa ikisimama kabisa,hali ile ilimshangaza Lukas,hakumbuki kama aliwahi kuwa na matatizo yale!


Lolenza alijitahidi sana kufanya kila kitu ila hakuna kilichotokea,bakora ya Lukas iligoma kabisa kuwika,mtarimbo ulilala doro kabisa!


“Una matatizo?”,ilibidi Lole amuulize Lukas!


“Si…sijui!”


“Au wewe ni shoga?”


“si…sijui!”


Lukas hakuwa na kumbukumbu yoyote,hivyo hajui kama yeye ni shoga au ni rijali,hajui kama alishawahi kufanya mapenzi au kitu chochote!”


Lole baada ya kuona imeshindikana aliondoka zake kwa hasira,bakora aliitamani na ni kubwa kweli lakini ndiyo hivyo tena ,jogoo hawiki kabisa!


Lukas alilala zake akiwa hajui chochote kiufupi alikuwa kama zoba zoba fulani ivi




******




Kulikucha huku wale wanawake wakiwa na shauku kubwa ya kutaka kujua kilichotokea kwa Lolenza!


Siku ile Lole alichelewa kuamka sana,jambo lile liliwafanya waamini moja kwa moja kwamba kilichomlaza ni penzi zito la mgonjwa!


Alipoamka tu wote walikimbilia jikoni kujua kulikoni,walikuwa na shauku kubwa ya simulizi juu ya mechi nzuri ya mgeni!


“We vipi unalala ivyo,hujui tunataka umbea?”


“Kuna umbeya basi shagalabagala tu!”,alijibu Lole!


“Unaamanisha nini?”


“Yule sijui shoga sijui ndiyo siyo ridhiki mi sielewi!”


“Sasa tueleweshe vizuri hatukuelewi!”


“Jamani yule kaka hasimamishi,nimeilamba nimefanya kila kitu imelala doro,kiufupi nimelala na hamu zangu sijaguswa kanichosha tu!’


Ukimya ulipita kila mtu alikuwa na mawazo yake,hakuna aliyetaka kuamini kwamba mpango wao umefeli!


“Ulimuuliza kama ni shoga au lah!”,aliuliza mke mkubwa!


“kila kitu hajui,ukimuuliza sijui,sijui,sijui!’


“Sikilizeni,yule Mzee Mtata siyo mjinga atakuwa kuna kitu kamfanya yule kaka,na ndiyo maana anaturuhusu tumhudumie kuna kitu kakifanya nahisi yule kaka siyo shoga,yule anadinda ngoja niingie kilingeni kuna dawa ntampa Vero,leo si ndiyo zamu yake akampake halafu isiposimama basi ni shoga!”,alisema Chiku mke mkubwa wa mzee Mtata!


“Jamani sasa mimi zamu yangu je?”,aliuliza lole?


“We inabidi usubiri yajayo yanafurahisha!”


INAENDELEA


Post a Comment

0 Comments