Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

Chombezo: Bao tatu za mgeni sehemu ya kumi na moja (11)



Hakuna chenye mwanzo kilichokosa mwisho,kila barabara ina mwisho wake,!Maigizo aliyofanya Lukas yalifikia mwisho,kwa jinsi yule mzee alivyomshughulikia kama angesema hajapona lazima angeshtuka!

Mzee Mtata baada ya kufanya manyanga yake aliamua kujaribu kuona kama tiba yake imefanya kazi,aliamua kumuita kwa nguvu!

“Lukasiiiiii!”

“Naaaaam!naitwa Lukas Mdafu mama yangu anaitwa Jenifa ni mnyakyusa wa mbeya nilizaliwa katika kijiji cha….!”

“BASIIIII!”

Mzee alimkatisha baada ya kuona kijana anataka kutaja mpaka kijiji alichozaliwa,ilionyesha kumbukumbu zilirudi kwa kasi isiyoelezeka,hata Lukas alibaki anajishangaa kwa jinsi alivyoropoka!

Kwa namna yoyote pale hata kama angepanga kuficha kuwa hajakumbuka angeumbuka tu,Mzee alimuangalia kisha akacheka akionyesha kufurahi!

“Kijana sasa umekumbuka utakaa hapa leo na kesho ya tatu watakuja kukuchukua au utaondoka mwenyewe!”

“Sawa mzee!”

“Unaweza kwenda kupumzika!”

Mzee Mtata alimuita mkewe mkubwa kilingeni ili ampe maelekezo,Chiku aliingia akiwa na uso wa huzuni!

“Nimekuita nikuambie huyo kijana kapona tayari,atakaa hapa siku mbili ya tatu ndugu zake watamuijia,kwahiyo endelea kumpa dawa!”

“Sawa mume wangu!”

“kingine naondoka naenda safari kidogo kwa siku mbili,nina kikao kongo kinshasa leo na kesho nitakuwa Nigeria,kwahiyo utabaki kilingeni watibu utakaoweza watakaokushinda waambie wanisubiri!”

“Sawa mume wangu!”


********


Taarifa ya safari ilirejesha tabasamu kwao,wakaona kama wautumie muda ule kuenjoi na Lukas!Baada tu ya Mzee Mtata kuondoka zake kimiujiza kwenda zake kongo,walianza mikakati huku mwenyekiti akiwa Chiku!

Walikubaliana hakuna tena mambo ya zamu,walikubaliana kwa vile zimebaki siku chache wafanye wote tu kwa pamoja!

Kama kuna kitu Mzee Mtata alikosea ni kujaribu kumfanya Lukas msukule,ni mara mia angemuua kabisa hasionekane,kuliko kumsamehe kwa rushwa ya ngono ya mama Zubeda!

Lukas alikuwa ndani anawaza maisha baada ya kutoka pale,ni wakati huo alionekana kuimiss sana familia ya mzee Jomo hasa Selina!

Kati ya wote Selina ndiyo alikuwa moyoni mwake ,bila kujua kuwa Selina ndiyo roho ya mzee Jomo!

Hata yeye hakujua kwanini hisia zake ziko kwa Selina tu,wengine wote ni kama aliwatumia ila kwa Selina ilikuwa tofauti!

Lukas alishindwa kusimamia misimamo yake,kila akisema anaacha kutembea na wanawake wanaomumweka kwenye hatari shetani anajitokeza na kuvunja misimamo yake!

Lukas alikuwa mtu wa kucheza michezo ya hatari kila siku,michezo iliyomkimbiza mjini na kumleta kijijini!


Muda nao ulitaradadi sana,jua likajichimbia mawinguni giza likachukua nafasi yake!Lukas hakujua kuwa usiku ule ni usiku wa vita!

Wake wa Mzee Mtata wamepanga kufanya naye mapenzi wote bila zamu tena kama walivyofanya mwanzoni!Wanafanya vile sababu anaondoka kesho kutwa!

Akiwa usngizini alihisi kama anapapaswa,hakushtuka sababu alishazoea ile hali,ndiyo maisha anayoishi na wale wanawake!

Alijua moja kwa moja muda umefika wa kulipa kuku na supu wanazompa kila siku,alitulia akajifanya amesinzia!

Shuka lilitupiliwa mbali pensi yake ikavuliwa kisha bakora yake ikaanza kupapaswa,tofauti na siku zote alihisi anapapaswa na mikono mingi sana!

Alishtuka alichokiona hakuamini!Wake wote wa mzee Mtata walikuwa ndani ya kile klijumba wakiwa watupu wakiongozwa na Chiku!

“Shiiiiiiiiiih!usiogope mzee hayupo,leo utatupa wote baba sawa neeh?”

Aliongea Chiku lakini Luka hakujibu kitu alichokiona kilimfanya apigwe na butwaa!Kushangaa kwake hakukuwafanya wanawake wale waache kufanya walichodhamiria!

Waliendelea kumgusa sehemu mbalimbali mwingine akimnyonya bakora mwingine kifua mwingine shingo,yaani ilikuwa balaa!

Kwenye kumbukumbu zake anakumbuka mechi kama ile alishaifanya mjini ila kwa wanawake watatu,lakini sasa hii kaongezeka mmoja!

Lukas alitabasamu na kujisemea moyoni,”hivyo ndivyo Lukas vitu anapenda!”

Akiwa hana hili wala lile Vero alimkalia na kuizamisha bakora yote mpaka ndani,alishaizoea sasa siyo kama mwanzoni!

Alianza kuikatikia huku anatoa milio iliyozidi kuwaongezea hisia wake wenzie,alikinyonga kiuno huku anauma meno na kufumba yake!

“Aaaaaaahsssiiiiiiihh jamaniiiiiii tamuuuuuu mmmhhhh…nakojoa!”

Vero alishusha dafu lake kisha akatulia kifuani,akasahau kama kuna wenzake wanaitaka bakora,Lolenza alimvuta na kumuweka pembeni kisha akataka kuikatia ila Luka akakataa,alisimama akamuinamisha kilichofuata hapo ni wimbo usio n kiitikio!

Ilikuwa vuta nikuvute patashika nguo kuchanika,mechi ilikuwa kali mpaka nyasi zilijutia kuotea pale,ilikuwa panda shusha,shuka panda!

Raha kulia mpokezane,ndivyo ilivyotokea akitoka huyu analizwa huyu,Lukas alikuwa kishoka siku ile,kama ni mchezaji basi alikuwa ni messi anapiga chenga na kufunga kama Ronaldo!

Siraha zake alizoziamini ni bao tatu tu za nguvu,siku ile alikuwa mgumu sana,mpaka anavunja dafu mbili wale wanawake wote walihisi kama asali zao zinawaka moto!

Lukas kawaida yake ni mpaka aangushe madafu matatu ndiyo kiu yake iishe,alivunja mbili la mwisho kila mtu alikuwa akimgusa anasema nimechoka!

Lukas hakukubali alimvuta Chiku ili abebe mizigo ya wengine,Chiku alikuwa vizuri mno,umbo lake lilikuwa si kubwa sana,alikuwa na bambataa lenye ushawishi!

“Jamani nimechoka mimi we kaka!”,alijitetea lakini Luka aliziba masikio,walianza shoo usiku lakini sasa kulikuwa kunataka kukucha huku Lukas akiwa bado wamoto!

Chiku aliomba aachwe lakini kashachaguliwa,wenzie walipoona mambo yamekuwa magumu walitoka na kuacha Chiku anapelekewa moto!

“Lukasiii nimebwana mkojooo jamaniiiii wee kakaaa!”

Lukas hakuwa na cha msalia mtume,alikuwa bize analitafuta bao lake la tatu kukamilisha hesabu yake ya siku!

Chiku alilia mwisho akanyamaza akasubiri tu Lukas amalize amuachie!Mpaka anashuka Chiku alikuwa hoi hajiwezi na usingizi ukamchukua moja kwa moja akalala mle mle ndani!


*******


Zubeda hakuwa na furaha ,alilimiss sana penzi la mgeni,kwa muda wa wiki mbili zile aliamua kumrudia mpenzi wake,lakini ilikuwa ni kazi bure,mpenzi wake alikuwa kama jogoo kupanda na kushuka!

Msiri wake alikuwa Zahara,ndiye aliyekuwa anamuelezea jinsi alivyommiss mgeni,bila kujua kuwa wote wanampenda mwanaume mmoja!

Hakujua kama Zahara pia alikuwa anatoka kimapenzi na mgeni,tena chanzo kikiwa yeye mwenyewe,Zahara alihamasika kutembea na mgeni sababu ya sifa alizoziskia kuhuhsu bao tatu za mgeni!

“Sasa shoga yangu wewe siku ile tumeenda kwa Mzee Mtata umetoka kilingeni bila hata kusema alichokuambia,umenificha mpaka leo!”

“Mhh!shoga yule mzee mashenzi alinambia eti kama nataka amzindue nimpe penzi!”

“Tobaaaaaa!kile kibabu kilikutaka?”

“Ndiyo ivyo shoga!”

Zahara aliwaza kitu baada ya kusikia kuwa mzee Mtata alimtaka Zubeda,akaona amtumie shoga yake tu,amshawishi ampe penzi mzee Mtata ili mgeni atoke!

“Ila shoga ningekuwa mimi ningempa tu mzee Mtata!”

“Unaongea nini wewe!”,alifoka Zubeda,kitendo cha kumtaka akubali kutembea na mwanaume mwenye umri pengine kuliko baba yake kilimchefua!

“Sasa shoga wewe unafurahi mpenzi wako anateseka huko,utakuwa humpendi wewe,mi nampenda mtu nishindwe kuvua nguo siku moja tu kumuokoa jamani!?”

Maneno ya shoga yake yalimchoma moyoni na kujikuta anashawishika kufanya mapenzi na mzee Mtata kumuokoa mpenzi wake!Bila kujua anaokoa danga la jamhuri!

“Sawa mi ntafanya naye ila siku moja tu!”

“Sasa kwani ameomba mara ngapi jamani ni mara moja tu!”

“Sawa ntafanya!”

“Kwahiyo nikusindikize saivi au?”

“Weeh leo simba wanacheza nadhani ntamaliza kesho twende keshokutwa!”

“Sawa!”

“Ila usinicheke!”

“Sa nikucheke nini na huku unafanya ushujaa kutuokolea mume wetu!”

“Umesema!!!!?”,alijisahau Zahara akaropoka!

“Haaaaa shosti namaanisha unamuokoa shemeji!”

Zubeda aliondoka huku akiwa ameahidiana na Zahara kuwa atampitia kesho kutwa waende kwa mganga kufanya kitendo cha kishujaa,mganga anataka rushwa ya ngono!


*********


Safari ya Mzee kwenda Congo ilifanikiwa kwenye kikao chao cha kichawi,lakini safari ya kwenda Nigeria ilihairishwa,hivyo ilibidi arudi zake nyumbani asubuhi!

Kama kawaida alipanda usafiri wake akatua kilingeni,alibadili nguo kisha akatoka nje,kitendo cha kutoka tu wake zake wakamuona walishtuka sana!

Mpaka muda huo Chiku alikuwa kwenye kijumba cha mgeni kalala hana habari,akiamini mumewe ana safari ya kwenda Nigeria bila kujua mipango siyo matumizi!

Mzee Mtata licha ya kuwa na wake wanne ila upendo ulikuwa kwa mke wake mkubwa,sababu ndiyo msiri wake mkubwa!

Wake zake walimsalimia akaitikia huku moja kwa moja akielekea kwenye nyumba ya Chiku,alifika akaingia akakuta patupu!

“Chiku yuko wapi?”,lilikuwa ni swali kwa wake zake wadogo wote wakaangaliana!

Mzee Mtata hakuwa na hofu baada ya kumkosa Chiku kwenye nyumba yake,ila alipata hofu baada ya uwauliza wake zake wengine wakamjibu kwa hofu na kujikanyaga!

Hakutaka kuamini kabisa kwamba mawazo yake yapo sahihi,kwamba Chiku ameanza kumsaliti,ni kitendo kisichowezekana kwake!

Aliamini mke wa Mzee Mtata hakuna anayeweza kuthubutu kumgusa kabisa achilia mbali kumtongoza tu,wote walikuwa wanamuogopa sana mzee yule katili!

“Mnasema hamjui halipo?”

“Ndiyo!”

Mzee Mtata alihisi kichwa kinauma,anajua alishatega alam yake hili jambo likitokea tu ajue lakini mbona mke wake hayupo na hana habari?

Aliingia ndani akatafuta jembe ila wakati anatoka alishangaa kumuona mkewe akiwa amebeba mfuko wa viazi!

Haikujulikana alikuwa anataka kwenda wapi na lile jembe,ila kitendo cha kumuona Chiku akiwa na mfuko wa viazi kilimshangaza na kumpoza!

“Mume wangu umerudi?”

“Ulikuwa wapi?”

“Nilimiss viazi nikaenda shamba mume wangu!”

Mzee Mtata alirudisha jembe ndani akatoka na kiti akakaa,akawasha kiko yake akaanza kuvuta!


********


Chiku alishtuka baada ya kusikia sauti ya mume wake ikimuulizia,alikurupuka hakuamini kama alilala kwa Lukas mpaka asubuhi,yaani siyo kumekucha tu bali ni asubuhi kabisa!

Mapigo ya moyo wake yaliongezeka kasi akajua siku hiyo ndiyo mwisho wa maisha yake,na siyo yeye tu hata Lukas pia!

Muda ule Lukas alikuwa hoi kalala,sifa alizofanya usiku hazikumuacha salama kabisa!Chiku hakutaka kumuamsha Lukas alitaka acheze mwenyewe mchezo ule wa kikomandoo,mchezo wa kifo au kuishi!

Wakati mzee Mtata ameingia ndani kuchukua jembe,Chiku alitoka kama umeme mpaka jikoni kulikuwa na mfuko wa viazi akatoka nalo haraka!

Wake wenzake waliona picha nzima ila walikausha kutokana na kwamba wanashirikiana,na walishaamua kuwa tatizo la mwenzao ni lao!

Chiku alicheza kama pele akafunga kama Ronaldo!wenzake walitamani kucheka lakini walijizuia!


***********


Lukas aliamka akiwa hana hili wala lile,alijinyoosha kutokana na uchovu mkubwa aliokuwa nao!Aliinuka na kukaa kitako huku anapiga miayo ya njaa!

Alikiangalia kile kijumba akavuta picha na kukumbuka filamu ya jana yake,moyoni alisijisemea kama ingekuwa picha ya ngono ingeuza sana,na bila shaka kama ni shujaa wa mchezo angekuwa ni yeye!

Alikumbuka jinsi alivyowasulubisha wake wa Mzee Mtata mpaka wakasalimu amri,

“Lukas!mwanaume wa shoka!”,alijisemea huku akitabasamu!

Alizichua nguo zake na kuzitupia mwilini,aliishukuru sana bakora yake kwa kumuheshimisha japo kuna muda hiyo heshima inamuweka matatani!

Alipomaliza kuvaa alitoka nje huku anapiga mluzi akiimba wimbo wa zuchu hakuna kulala,alishtuka baada ya kumuona mzee Mtata kakaa nje kwenye mlango wa Chiku!

Alikumbuka Chiku alimwambia kuwa mume wao kasafiri,alijiuliza karudi sangapi na kwanini kakaa nje na siyo kawaida yake kabisa!

Mapigo ya moyo yalimdunda kwa kasi huku kijasho chembamba kikimtoka,hakuwa na namna zaidi ya kwenda alipo yule mzee!

“Shikamoo mzee!”

“Marahaba kijana vipi unajisikiaje?”

“Niko vizuri nimekumbuka kila kitu!”

“Hhahahahaha safi kwa hiyo umekumbuka kama uliingiza ng’ombe kwenye shamba langu?”

“Ndiyo mzee samahani sana ni bahati mbaya mimi sijui kuchunga ni mgeni!”

“Aaaah usijali kijana,Vero mkewangu mletee kiti kijana,anaonekana mstaarabu sana!”

Vero alileta kiti Lukas akakaa huku presha yake ikiwa imepungua sana,alijua labda mzee yule kagundua kuwa amelala na wake zake wote usiku wa jana,tena amewapa dozi mpaka wakamkimbia!

“Usijali kijana kesho asubuhi utaondoka hapa,utachagua mwenyewe kusubiri wakufuate au uondoke mwenyewe mi nitakuwa nimekuruhusu!

Walikaa wakapiga storina mzee Mtata ambaye kumbe jkuna muda anakuwa binadamu,Lukas alipata bahati ya kumjua mzee Mtata siku ile!

Aligundua ni mcheshi sana maana stori zake alikuwa anamsimulia anaishia kucheka sana,zilikuwa zinafurahisha sana!

“Kijana unawaonaje wake zangu?Hujawatamani kweli?”

Lilikuwa ni swali la ghafla ambalo hakutegemea kabisa kutoka kwa mzee yule,hakujua kwanini mzee yule amemuuliza swalin gumu namna ile!

Swali lile halikumshtua Luka peke yake ,hata wake wa mzee Mtata walishtuka sana!Hakuna hata mmoja aliyetegemea kama mzee atauliza swali lile!

Mapigo ya moyo yalienda mbio,swali lile lilimfanya Lukas awaze mengi,aliaza pengine yule mzee kashagundua mchezo wake,alipojumlisha na tukio la kurudi ghafla na huku alisema anasafiri siku mbili ilimtia hofu sana!

“Vipi kijana unawaonaje mbona unababaika!”

“Aaah!ni wazuri sana,hongera mzee unajua kuchagua!”

“Hhahahahahahaha!kwenye hii dunia jitahidi sana upate vitu viwili!”

“Vitu gani mzee?”

“Uwezo na umaarufu!ukikosa kimoja uwe nacho kimoja utaishi vizuri,ila ukitaka kuishi kwa amani epuka vitu viwili!”

“Vitu gani mzee!”

“Dhuluma na wake za watu au waume za watu!”

Moyo wa Luka ulipasuka kwa hofu sababu kama wake za watu yeye ndiyo fundi wa kuwachukua,hata wake zake kapita nao wote!

“Sawa mzee wangu hakika nimepata somo kubwa sana leo!”

“Hasiyefunzwa na mamaye ulimwengu upo kwaajili yake!”

Mzee Mtata aliongea vile kisha akaondoka zake na kumuacha Lukas akiwa na maswali mengi,alishindwa kuelewa yale ni maongezi ya kawaida au ni nini?Sababu Mzee Mtata alikuwa kama anamsema!

Lukas alijizoa akaingia bandani kwake akiwa na mawazo mengi sana,siku ile hata chakula alikula basi tu,maneno ya yule mzee yalimpa hofu kubwa!

Usiku wa siku ile hakuna aliyetokea kabisa kwenye gheto lake la muda,nadhani waliogopa maneno ya mzee Mtata au dozi ya jana ilikuwa kubwa!

Lukas alishukuru sana kutokutokea kwao maana kama wangetokea siku ile ingekuwa utata sababu hakuwa na hamu kabisa!


Kulikucha asubuhi Lukas akaamshwa na Mzee Mtata mapema,alitoka akamkuta kajifunga msuli wake anamsubiri!

“Shikamoo mzee!”

“Marahaba kijana,leo ni siku ya kuondoka hapa nimekuamsha nikufanyie dawa!”

“Sawa mzee wangu!”

Mzee Mtata alianza kumfanyia dawa huku na anamchapa na usinga muda huo Lukas ametulia tuli,alipomaliza akaenda naye kilingeni huko akamfanyia madawa yake kisha akamruhusu kuiondoka!

“Mzee samahani!”

“Vipi kuna shida gani tena Lukas!”

“Mzee mi shida yangu nilitaka kujua kama una dawa ya kumsaidia mtu kama alifanya jambo baya sehemu akakimbia hata akirudi sehemu yaani wasahau kabisa wasi…..!”

“Hhahahahahaha!kijanaaaa nishakuelewa mimi ndiyo mzee Mtata hilo kwangu ni jambo dogo sanaaaa!”

“Nisaidie mzee wangu!”

“Kuna jamaa alikuja hapa kachafua hali ya hewa huko mjini,alikuwa jambazi muuwaji anayetafutwa kila kona ya jiji,alikaa hapa siku mbili tu nikamuambia rudi mjini,mpaka sasa anaishi hakuna anayemfanyia fujo!”

“Mzee nisaidie hata mimi nimechafua sana mjini,hapa naishi roho juu juu!”

“Usijali nenda urudi hapa baada ya wiki moja!”

“Sawa Mzee!”

“Ila ukiwa humu unaweza kuaga na kuongea,lakini ukitoka kwenye hii ngome hakikisha ugeuki nyuma na huzungumzi na yoyote mpaka unafika!

“Sawa Mzee ila tatizo sipajui nyumbani vzuri!”

“Usijali utafika wala usiwe na hofu,ila chonde usiongee na mtu usigeuke!”

Lukas alitoka akaingia kwenye kile kijumba punde tu Chiku akaingia huku uso wake umetanda simanzi kubwa,alifika akawa anamuangalia Lukas kwa huruma!

“Kwahiyo ndiyo unaondoka?”

“Ndiyo!”

“Jamani sasa si utakuwa unakuja lakini?”

“Nitakuja msijali!”

Machozi yalimtoka Chiku,ilikuwa ni habari mbaya sana kwao,yeye na wake wenzake ni kama walikuwa wamemgeuza Lukas mume wao!

Maneno ya Mzee Mtata bado yalikuwa akilini,aliogopa lisije likamkuta jambo,alichofanya taratibu akazipiga hatua akatoka kwenye kile kijumba na kumuacha Chiku kasimama!

Wake wengine wa Mzee Mtata walikuwa nje wakamsindikiza Lukas kwa macho na kumuona akitokomea zake kurudi kwenye makazi yake!

Huzuni aliwatawala lakini kila chenye mwanzo kina mwisho,ingawa bado walijipa tumaini kuwa bado Lukas ataendelea kuwapa penzi kama kawaida!


Lukas kama yalivyokuwa maelezo ya mganga alisonga na kukata mitaa akiwa haelewi anakokwenda,isipokuwa nafsi ilimpeleka akiamini anakopita ni njia ya kwenda nyumbani!

Akiwa njiani ghafla anakutana na Zubeda na Zahara ambao walikuwa wanaenda kule anakotoka,Zubeda alipomuona Lukas alishindwa kujizuia ,alimkimbilia na kumkumbatia kwa furaha bila kujua kapewa masharti na mganga!

Zubeda hakujua kuwa Lukas amepewa masharti kwa mganga,kwake kumuona ilikuwa ni furaha isiyo kifani,alishangaa Lukas hakumchangamkia zaidi alimsukumia mbali akaendelea na safari!

Zubeda na Zahara walibaki wanashangaa na kuangaliana kwa zamu wasiamini kilichotokea,wakiwa wanashangaa Lukas alikuwa anachapa lapa bila kugeuka hasivunje masharti!

“Shoga huyu jamaa hajapona na nina wasiwasi katoroka kwa mganga!”,alisema Zahara na Zubeda naye akakubakliana naye!

“Sasa anaenda wapi jamani,twende tumfate tuone!”

Walimkimbilia na kumkuita Lukas yuko bize anakata mitaa,hawakuwa na namna

“Lukas mpenzi ina maana hunikumbuki kabisa?”

“Jamani Lukas mimi ni Zubeda mpenzi wangu!”

“Kumbuka basi hata kidogo jamani!”

Aliongea sana Zubeda lakini hakuna alichojibiwa,akaona isiwe tabu alitenbea haraka akasimama mbele ya nia na kunyoosha mikono akiitanua akasema?!

“Hupiti hapa Lukas,mpaka uniambie umenikumbuka!”

Lukas alisimama akamuanagalia Zubeda kwa hasira akiamni anapoelekea anaenda kumvunia masharti yake kabisa!

Alichokifanya alijaribu kupita kwa ustaarabu lakini haikuwa rahisi Zubeda alitanda njia nzima,aliamua kheri lawama kuliko hasara!

Alimsukuma Zubeda akaangukia pembeni kwenye majani Zahara akamuwahi,hata yeye alijiuliza Luka kapatwa na nini?

“Limerogwa hili likaka achana nalo shoga yangu!”

“Hapana siwezi Zahara niacheee,lazima nijue anakoenda!”

Zubeda alisimama wakaanza kumfuata nyuma Lukas lakini safari hii hawakumghasi kwa lolote,walichotaka ni kujua safari ya Lukas itaishia wapi?

Kilichowashangaza ni kuona Lukas anashika barabara ya kwenda kwao,wakajiuliza kazijuaje njia zile huku hajawahi kuzipita!

Hawakuwa na majibu waliendelea kumfuatilia Lukas ambaye sasa alionekana hakuna sehemu anaenda zaidi ya kwa kina Zubeda!

“Anaenda nyumbaniiiiii!”,alisema Zubeda baada ya kumuona Lukas anaingia kwao!

Hatimaye Lukas alifika kwa Mzee Jomo,moja kwa moja akaingia kwenye kijumba chake,Zubeda alipoona Lukas kaingia kwenye kijumba chake alikimbilia ndani na kuwaita ndugu zake!

“Mamaaa!mamaaaa!”

Furaha aliyokuwa nayo haikuelezeka,akaingia ndani bila hodi na kuwakuta wenzake wanakula!

“Weee!vipi mbona tunashtuana?”,aliwaka Johari!

“Mamaaa Lukas karudiiii,mgeni karudi nimemuonaaaa!”

Kauli ile haikuwa na maswali mama Zubeda aliinuka kwa kasi,Selina akafuatia na wa mwisho akiwa Suzy,aliyebaki ndani ni Johari tu ambaye hakuwa na habari kabisa na mgeni!

“Ivi nyie mna akili kweli?mnaacha kula sababu ya huyo mpuuzi anayechunga ng’ombe kwenye mashamba ya wachawi?”

Alisema Johari huku akiendelea kula bila kujali habari zile ambazo hazikuwa na mashiko kabisa kwake,kuacha kula kumkimbilia Lukas kwake ulikuwa ni upuuzi ulipita viwango vya kimataifa!


Familia nzima ilitoka nje kasoro mgumu mmoja tu,wote macho yao yalikua kwa Zubeda wakimuuliza yuko wapi huyo Lukas!

“Mama yupo ndani nimemuona kabisa kaingia!”

“Una uhakika?”

“Nina uhakika kabisa,nimemuona kwa macho yangu muulizeni hata Zahara!”


Lukas alipofika ndani alihema kwa nguvu akiamini amefanikiwa kufika salama bila kuvunja masharti ya mganga,japo Zubeda alitaka kuharibu kila kitu!

Akiwa ndani alisikia sauti ya mama Zubeda inamuita kwa nje,alinyamaza mpaka walipomuita mara tatu!

“Naam!”

Hakuitika tu bali pia alitoka nje kabisa,kitendo cha kutoka nje tu,Selina alipomuona alimrukia akafuatia Suzy na Zubeda pia!

Mama yao ilibidi ajikaze ili hasionekane kummiss sana mgeni,ila kitendo cha wanae kumrukia kilimpa maswali mengi sana,akajiuliza mbona wanae wanampenda sana?

Aliyapotezea mawazo yale aliamini labda wanampenda sababu anaishi nao,hakujua kuwa nyuma ya pazia anashea mwiko mmoja na wanae!

Hata wanae hawakujuwa kuwa wanashea isipokuwa ni Selina na Suzy tu ndiyo wanajuana kabisa,sababu mara ya mwisho anapotelea shambani ni kwa sababu alikuwa anawapa dozi machungani!

Walifurahi sana siku ile na kumkaribisha tena Lukas nyumbani,kwa muda mfupi aliokuwa kwa mganga kwao ilikuwa kama mwaka mzima!

Siku ile alishikwa jogoo mkubwa aliyenona akachinjwa kumkaribisha mgeni tena nyumbani,ilikuwa faraja kwa mgeni,sababu mwanzoni alipokelewa kwa hofu na maswali mengi ila sasa alipokelewa kwa jogoo mkubwa aliyenona!

Mgeni alipakuliwa mapaja na kula kwa raha zake,nyama zote tamu alikula yeye siku ile,kitendo kile kilimkera Johari!

Kama ni damu kupishana basi Luka na Johari walipishana damu,siku ile ndiyo Lukas aligundua Johari anamchukia!Baada ya kumaliza kula Lukas alitoka nje,hapo hapo Johari akainuka na kumfuata nyuma,alitaka akampe vidonge vyake!

INAENDELEA

Post a Comment

0 Comments