Kiukweli sikua na
jinsi zaidi ya kumkubalia tu yule jini ili ayaongoze maisha yangu, yule jini
alinisogelea karibu na kuja kunifuta machozi huku akinikumbatia.
"Kwa hakika
umefanya maamuzi mazuri ambayo hutakuja kuyajutia kamwe..!" Alisema yule
jini.
Hee.. Mwenzangu..
Eti yule jini alisimama mbele yangu na kuanza kuniangalia kwa muda mrefu mpaka
nikaanza kuogopa, mara ghafla yule jini akaanza kuwa mrefu zaidi, taratiibu
akaanza kubadilika na kuwa bonge la joka lenye vichwa saba, joka hili lilikua
kubwa na kujaa chumba chote mule ndani.
Aaah.. Asikwambie
mtu bwana, uhai mtamu..
Unaambiwa niliruka
kutoka kitandani hadi chini na kutaka kufungua mlango nikimbie, lakini
nilishachelewa, kwani lile joka lilinivuta kwa kutumia mkia wake na kunibeba
juu juu.
Lile joka
lilininyanyua juu kabisa na kuniweka usawa wa vichwa vyake saba huku akiwa
ametanua midomo tayari kwa kunimeza..
Ni ukweli
usiofichika kuwa nilikua nikihitaji kufa, lakini sio kifo cha namna hii, looh..
Unaambiwa nilipiga
kelele za kuomba msaada hadi sauti yangu ikawa haitoki tena..
Moyo wangu ulikufa
ganzi na kuhisi sasa leo ndio ahadi yangu imetimia, taratibu nikafumba macho
huku nikihisi ndio naingizwa katika mdomo wa lile joka, nikaanza kusali kuomba
msamaha kwa makosa yangu yote, nikaanza kukumbuka matukio yangu yote niliyowahi
kuyafanya kuanzia zanziba, tanga, dar es salaam, oman na sasa arusha na moshi,
hapo nikaona kweli kifo ndio haki yangu.
"Unadhani
naweza kukumeza ilihali wewe ndio chaguo langu..?" Ilikua ni sauti ya lile
joka ambapo nilijikuta nafumbua macho na kushangaa kujikuta eti nipo juu ya
anga napaa ambapo lile joka likiwa limenizonga kwa mkia wake huku likiwa
limeota mbawa tunaruka hewani.
Lile joka lilizidi
kwenda juu angani zaidi huku likizidi kuniambia kuwa eti hawezi kunidhuru ila
alikua akijaribu kunionyesha uwezo wake mkubwa wa kufanya vitu vya kutisha.
Hee.. mwenzangu,
nilishangaa sana baada ya kuona lile joka linapenya na kupasua anga hadi
mawinguni na kufanikiwa kuingia katika mbingu ya kwanza.
"Hii pia ni
miliki yangu, ufalme wa hapa niliachiwa na babu yangu ambae yeye ndio alikua
akiamuru wachawi waweze kupaa angani au laa, ilitegemea ni maombi ya namna gani
mkuu wa kikosi cha wachawi alikua akiomba kwa babu yangu..!" Alinihadithia
mambo mengi kiasi hofu ya kufa sasa ilishanitoka na kujikuta nikiwa na hamu ya
kujua mambo mengi zaidi kuhusu ufalme wa mbinguni..
Tulikuja kushuka
chini ilikua tayari kulishakua usiku, ambapo alinipeleka hadi nyumbani na
kuniacha pale kitandani kwangu nikiwa nimelala bila hata kujielewa, nilikuja
kushtuka ilikua tayari ni saa9 usiku na kilichonishtua ni sauti ya mwanamke
aliyekua amelala chumba cha pili kutoka chumba changu, ambapo yeye alikua akipiga
kelele za kupandisha mashetani, eti alikua akisema chumbani kwangu kuna jini.
Basi watu walijaa
nje ya chumba changu huku yule mwanamke akizidi kupiga kelele na kugonga mlango
wa chumba changu ili nifungue, basi sikua na jinsi nilitembea hadi mlangoni na
kufungua mlango wangu na kuushuhudia umati mkubwa wa watu wakiwa wananitazama
huku yule mama akiendelea kuninyooshea vidole kuwa mimi ndio niliyemuua jose
yule kaka wa mapokezi, yule mama aliweza kuelezea machafu yangu yote
niliyoyafanya pale gesti bila kuacha kitu chochote, mwisho aliingia mzee mmoja
akiwa amevaa msuli na kumshika yule mama kichwani, alimshika yule mama hadi
akapoteza fahamu, kisha akaamuru watu wamnyanyue na kumuingiza chumbani kwake.
Na mimi niliingia
chumbani kwangu kwa aibu huku watu wakiwa wananiangalia kwa jicho kali la
hasira.
Baadae kidogo
mlango wa chumba changu uligongwa tena, lakini safari hii uligongwa kistaarabu
kabisa, nilipoufungua mlango nilimuona yule mzee aliyevaa msuli pamoja na mtu
mwengine wakiwa wanaomba kuongea na mimi.
Niliwakaribisha
ndani na kuanza kuwasikiliza, ambapo yule mzee mwenye msuli alijitambulisha
kuwa yeye ni mtaalamu wa maswala ya viumbe wasiokua binaadamu yaani majini, pia
alimtambulisha na yule mtu mwengine kuwa yule ndio mmiliki wa ile gesti
tuliyokua tunaishi, hivyo baada ya kifo cha kijana wake jose sasa ameamua kuja
kukaa pale mwenyewe.
Yule mzee mtaalamu
alijitambulisha kwa jina la mzee Chuma, hivyo alianza kwa kusema kuwa mimi sio
mbaya ila nina kiumbe ambae ndio chanzo cha mabaya yangu, mzee chuma
alinichambulia kila kitu kuhusu maisha yangu bila kuacha kitu chochote, huku
akisema nimetafuta dawa kwa muda mrefu bila mafanikio.
" Kwani wewe
umenijuaje kama ninasumbuliwa na huyu jini..?" Nilijikuta nauliza kwa
shauku.
"Muda ukifika
nitakujulisha, ila kwasasa huyu mwenye gesti anasema utoke kwenye gesti yake,
maana wateja wake washaingia na hofu juu ya uwepo wakohumu ndani"
alimaliza mzee chuma.
"Siwezi
kutoka kwa sasa..!" Nilijibu kwa kujiamini kidogo
"Hapana dada
hii ni biashara yangu, nitapoteza wateja wangu..!" Aliendelea kuniomba
kistaarabu yule mtu mwenye gesti.
Sikutaka kuongea
maneno mengi, nilinyanyuka na kuivuta pochi yangu na kutoa fedha na kumkabidhi
yule mwenye gesti, ilikua ni milioni moja.
Hee.. unaambiwa
yule mwenye gest alisimama na kumshika mkono yule mzee chuma na kumwambia kuwa,
"Huyu dada
wanamsingizia tuu, ni mtu mzuri kabisa wala hana tabu, hebu tuondoke mzee
chuma..!" Yaani kweli pesa mwanaharamu.
Mzee chuma hakuwa
na jinsi zaidi ya kufuata kauli ya bosi wake, walisimama na kuanza kuondoka ila
mzee chuma aligeuka nyuma alipofika mlangoni na kuniambia.
" Ukiwa
tayari kuwa binadamu kamili usisite kuniona, ni lazima utolewe hiyo bikra yako
kwanza..!" Alisema maneno hayo mzee chuma na kufunga mlango.
Nilikaa pale
kitandani kwa muda huku nikiwaza juu ya ile hali yangu, kidogo nilijiona ipo
siku kumbe naweza kuwa binadamu kamili.
Nilisimama na
kutaka kwenda kuufunga mlango ili nikajilaze, lakini kabla sijaufunga nilisikia
ukigongwa tena, na nilipoufungua nilimshuhudia yule mmikiki wa gesti akiwa
amesimama mbele ya mlango wa chumba changu huku akiwa amevaa taulo.
"Naomba
tuongelee kwa ndani tafadhali..!" Aliniomba yule mwenye gesti.
Nilimpisha apite
kisha nikausindika mlango.
Hee.. jamani haya
leo mapya, eti yule mmiliki wa gesti alisima kutoka pale kwenye sofa na
kunifata hadi kitandani nilipokua nimekaa.
"Nimeambiwa
wewe ni bikra na mzee chuma hivi nikweli.. maana mwenzio napatwa na kichaa
nikisikia bikra kwa mrembo kama wewe.. halafu eti wanakusingizia kesi za
ajabuajabu.. wamenikera sana..!" Nilichoka hoi kumuona huyu mmiliki wa
gesti alivyokua dhaifu wa bikra kiasi cha kujifanya ananitetea..
"Ooooh..
shiiit.. noooh.. yees..!" Hee.. yaani hata sijui ilikuaje nilijikuta
nikiguna kwa utamu baada ya yule mmiliki wa gesti kuingiza kidole kwenye uke
wangu, aah.. usinitanie wewe nyege kitu chengine, unaambiwa nilijilaza chali,
na kujitanua manuu.. ili nimpe uhuru huyu mmiliki wa gesti naye ajaribu bahati
yake..
Nilianza
kujigunisha na kujinyonganyonga ki mahaba huku nikiushuhudia ule mshedede wa
mmiliki wa gesti jinsi ulivyokua mkubwa.
"Yees..
aish.. uuwwiii.. ooh my go..d.. ingiza ba..sssiii...!" Unaambiwa nilipiga
kelele mpaka nikatamani aniingize uume wake mapema.
Mmiliki wa gesti
wala hakua na haraka, aliendelea kuninyonya na kunisugua kisimi changu taratibu
mpaka nikaanza kuhisi nafika kileleni, hapo nilianza kuifinyafinya mito na
kuvutavuta mashuka huku nikijinyonganyonga kwa utamu niliokua nikiusikia.
"Oongeza
spidi.. yeah.. ndio.. unaweza baby.. yes.. oooops.. comon.. oooh.. shiiit..
naf..ka..... Usichomoe.. weee...!" Nilipiga kelele mfululizo mpaka
nikakojoa .
Baada ya
kuhakikisha kuwa tayari nimeshakojoa, ndio yule mmiliki wa gesti aliponiweka
mkao wa kifo cha mende ili naye ajisevie, aah.. wapi..
Hata sijui
ilikuaje, ila nilimshudia tu yule mmiliki wa gesti akidondoka chini kabisa
sakafuni huku akiwa amejishika kooni na kupiga kelele za kishujaa.
"Umewaua
haohao.. mimi huniwezi mjinga wewe.. na nilikuja humu makusudi ili nikupate..
sasa leo umeingia kwenye mikono yangu lazime nikutie adabu..!" Yule
mmiliki wa gesti alikua akiongea kwa kujiamini huku akiwa bado amelala chini na
kujishika kooni kwake.
Mara ghafla mlango
wa chumbani kwangu ulivunjwa na kumshuhudia yule mzee mganga naye akiingia huku
akiwa amejifunga mashuka rangi nyeupe na nyekundu, akiwa ameshika kikapu na
usinga.
"Usimuachie
mshenzi huyo, hapo ulipomshika hawezi kukufanya kitu chochote, leo ndio siku
yake imefika..!" Alisema mzee yule mganga huku akiwa anamwaga madawa yake
kwa kuchora duara kumzunguka yule mmiliki wa gesti.
Kiukweli sikuweza
kuamini kwa kile nilichokua nikikiona, niliweza kumshuhudia yule jini wangu
akiwa anajitokeza na kuondoka huku akipiga kelele za maumivu, mara akaanza
kubadilika na kuwa sura za watu mbalimbali aliowaua, wengine niliwajua na
kukumbuka matukio yao, mwisho kabisa tuliweza kumshuhudia akijigeuza na kuwa
moshi mkubwa sana ukiwa unaingia ndani ya chupa aliyokua ameishika yule mzee
mganga.
Kimya kikatawala
na hatimaye yule mmiliki wa gesti alitulia na kurudi katika hali yake ya
zamani.
Baada ya ule mishi
wa jini kuingia wote kwenye chupa, yule mzee mganga aliifunga chupa ile.
Chaajabu mwili
wangu ulikua mwepesi kuliko kawaida, yaani hakuna siku niliyokua nikijisikia
nina afya njema kama siku hii ya leo, nikajihisi kabisa nimepata mabadiliko
mwilini mwangu.
"Binti yangu
sasa upo huru.. jini wako tumemhifadhi humu kwenye chupa, kinachotakiwa ni wewe
kushirikiana na sisi ili tuweze kumrudisha kwao..!" Alisema yule mzee
mganga, huku na mimi nikijivuta na kujifunga kanga maana nilijisahau kabisa
kama nilikua uchi looh..
"Hatuwezi
kumuua kwa sasa, ila tukimrudisha baharini ndio hatoweza kutoka tena humu ndani
ya chupa, nawewe utaweza kuishi kwa amani na uhuru..!" Aliendelea kutoa
ufafanuzi yule mzee.
"Hatahivyo
umepata bahati sana..!" Alisema yule mzee kuniambia mimi.
"Kivipi?"
Nilishindwa kuvumilia nikajikuta nauliza kwa kutaka kujua.
"Yule jini
ameondoka na vitu vyake vyote hapa duniani, ila amesau kuchukua na hiyo pete
yake kwenye kidole chako, hiyo ni pete ya bahati, unachokihitaji utakipata
kupitia pete hiyo..!" Alimaliza kunitolea ufafanuzi yule mzee kisha
akatoka na kusema atakuja kesho saa saba mchana ili twende pamoja baharini
tukamalizie kazi.
Alivyotoka yule
mzee mganga, alituacha mimi na yule mmiliki wa gesti tukiwa bado tupo chumbani
tunaangaliana, kiukweli hata sikuamini kama kweli nilikua nipo huru kufanya
yangu.
Yule mmiliki wa
gesti akiniangalia kwa jicho la kuniibiaibia kumaanisha sasa alikua akihitaji
pambano letu liendelee..
Kwa upande wangu
pia nilitamani tuendelee ili nithibitishe kama kweli nilikua nipo huru.
Basi nilimfuata
pale kwenye kochi na kukaa kwa juu kwenye mapaja yake huku nikiwa nimeshafika
mdomoni mwake na kuanza kupata juisi ya mate yake, taratibu naye akaanza
kunipapasa kiustadi wa hali ya juu huku akiingiza kidole chake cha mwisho ukeni
kwangu.
Looh.. hii haikua
utamu tena, bali niliruka na kujichomoa pale kwake kwa maumivu niliyokua
nikiyapata ukeni kwangu.
"Hapana
hatuwezi kuendelea, huku kunauma sanaa..!" Nilimwambia yule mmiliki wa
gesti ambapo alinitoa hofu na kuniambia kuwa hiyo ndio kawaida ya bikra.
"Ni mwanzo tu
ukizoea utaanza kusikia raha sana kama unabembea vile..!" Alisema maneno
hayo yule mmiliki wa gesti ambapo kidogo nilitabasamu na kujiona sasa nimekua
binadamu kamili.
Tulienda kitandani
sasa kuianza mechi yetu rasmi, ambapo nilikaa mkao wa kifo cha mende kutokana
na uoga na ugeni wa bikra, unaambiwa yale machachari yangu yote yalipotea, hata
sijui nilikuaje yaani nilijiona mgeni kweli kwenye tendo hili.
Wakati yule
mmiliki wa gesti anajipaka mate kwenye kichwa cha uume wake ili aanze mechi,
mara ghafla...
Mara ghafla
akaingia tena yule mzee mganga huku akihema juujuu na kuja kumvuta na kumtoa
pale kitandani mmiliki wa gesti huku akianza kumsema.
"Wewe si
nimekwambia usifanye mapenzi na huyu binti hadi tukiimaliza kazi iliyobakia ya
kesho? Unaona sasa kilichotokea..! Ile chupa ilikua inatingishika kama inataka
kupasuka, yaani kama nisingewahi kuja hapa asaivi tungekua tunaongea mambo
mengine..
Hemu acheni nyege
zenu hizo za kijinga, subirini kesho tukishamaliza kazi mtapakuana mpaka
mchunike, msiniletee ujinga mimi..!" Hee.. yule mzee alituchamba huku
tukiwa tumeinamia chini kwa aibu, akatoka na kufunga mlango na kutuacha
tukiangaliana kwa aibu.
"Kwahiyo..!"
Aliniuliza yule mmiliki wa gesti baada ya kutoka yule mzee mganga.
"Kesho
utafaidi..!" Nilimjibu kwa mkato huku nikisimama na kujifunga kanga yangu
na kuingia chooni kujimwagia maji.
Nilipotoka
sikumkuta yule mmiliki wa gesti, nikajua labda atakua ameenda chumbani kwake.
Baada ya kama nusu
saa kupita alikuja tena yule mzee mganga chumbani kwangu na kumuulizia yule
mmiliki wa gesti.
"Alitoka muda
mrefu sana, ila sijajua ameenda wapi..!" Nilijibu
"Sasa atakua
ameenda wapi, maana hata chumbani kwake pia hayupo na chumba chake pia kipo
wazi..!" Yule mzee mganga alizidi kunitia hofu.
"Kuna sehemu
tulitakiwa twende wote watatu.. au itakuwa karudi kwake mara moja..!" Yule
mzee alijiuliza bila kupata jibu.
Baadae
tulikubaliana twende sehemu tukatafute dawa kwaajili ya kufanya maandalizi ya
kesho kummalizia yule jini wangu, tukirudi tutampa tu mrejesho mmiliki wa gesti
juu ya nini tulichokifanya.
Wakati tunatoka
nje ya ile gesti tukiwa kama umbali wa mita kadhaa za hatua kufikia pale gesti,
tuliweza kulishuhudia gari la polisi likipaki nje ya ile gesti na askari kadhaa
wakiingia mule ndani, ilibidi tujifiche kidogo ili tuweze kujua ni nini
kilichokua kikiendelea pale.
Baada ya muda
kidogo wale askari walitoka nje na kuifunga ile gesti kwa makufuli yao na
kuanza kubandika picha za yule mmiliki wa gesti ukutani, picha zile zilikua
zimeandikwa maneno machache tu ambayo ni, "MHALIFU ANATAFUTWA..!"
Hapo tulichoka
hoi, hatukujua ni uhalifu gani alikua ameufanya yule mmiliki wa gesti, ila
tuliamini kuwa alikua ni mtu mwema sana.
Basi tuliendelea
na safari yetu hadi maporini ambapo tulifanikiwa kupata baadhi ya dawa na
kuanza kurudi, ilikua tayari ni saa moja usiku.
tukiwa njiani
maeneo ya maporini karibu kufika katika barabara kuu ya lami tuliweza kusikia
sauti ya risasi zikilia angani, mara ghafla tuliweza kuona mtu akiwa
anakimbilia njia hii ya maporini tuliyokua tunaipita sisi huku nyuma yake akiwa
anakimbizwa na askari wanne wakiwa na mbwa wawili huku wakiwa wanaendelea
kupiga risasi hewani.
Yule mtu alipozidi
kutukaribia ndipo nasi tukashtuka baada ya kumuangalia usoni, huwezi kuamini
kuwa aliyekua akikimbizwa alikua ni yule mmiliki wa gesti, kuona hivyo yule
mzee mganga alisimama mbele na kumpiga mtama yule mmiliki wa gesti na kudondoka
chini.
"Tulia
hivyohivyo wala usitingishike..!" Alisema yule mzee mganga kumwambia yule
mmiliki wa gesti kuwa asiinuke pale alipodondokea.
Mara ghafla yule
mzee alianza kuongea maneno ambayo hata hatukuyaelewa maana yake, ghafla
ikaanza kunyesha mvua kubwa sana iliyoambatana na radi, huku wale mbwa wa
askari wakageuza na kuanza kutimua mbio kurudi walipotokea, kuona hivyo wale
askari nao wakaona pengine usalama ushakua haupo, pia na wao walirudi walipotokea.
Baada ya muda
kidogo mvua ilikata na sisi pia tulitoka mule msituni, tulienda kuingia kwenye
gesti moja iliyokuwepo pembezoni kidogo mwa mapori yale.
Ambapo yule
mmiliki wa gesti alianza kutuhadithia mkasa wenyewe kwa kusema kuwa.
"Nilipotoka
pale katika gesti yangu, nilienda nyumbani kwangu mara moja, sasa nilipofika
nyumbani nilimkuta mke wangu akiwa anamkatikia viuno mwanamme mwengine, tena
juu ya kitanda changu, hasira ilinizidi nikajikuta nikiwakatakata mapanga wote
wawili..!" Alimaliza kuhadithia yule mmiliki wa gesti.
Yule mzee mganga
alimpa pole na kumwambie asiwe na wasiwasi, kwani kesi yake ni ndogo tu kwake.
"Sasa nyinyi
leo mlale humu ndani, mimi naenda kufanya dawa ya kuziondoa nguvu za yule jini
kwenye chupa, ili kazi ya kesho iwe ni rahisi tu..!" Alimaliza kutoa
maelekezo yule mzee..
Ilikua ni saa tatu
usiku, ambapo tukiwa tumeshakula chumbani, mimi pamoja na mmiliki wa gesti
tulianza kuangaliana kimahaba, huku nikiwa nina hamu ya kutaka kutolewa bikra
yangu ili nionje utamu wa mapenzi nikiwa binaadamu kamili.
Yule mmiliki wa
gesti alinifuata na kunibeba hadi kitandani, kisha akanilaza kifo cha mende na
kuanza kunipapasa mwili mzima, wala hakua na haraka huyu kaka wa watu, mambo
yake aliyafanya taratibu.. yaani mpaka nashangaa ni kwanini huyo mkewe
alimsaliti mtu fundi kama huyu.
Unaambiwa
alininyonya maziwa yangu kiustadi wa hali juu, alipitisha ulimi wake hadi
katika tundu za masikio yangu, looh nilihisi kama napigwa shoti vile.
"Ooh..
yeesss... Yeah... Ooohhh my..!" Nilianza kupiga kelele za mahaba alipofika
maeneo ya kitovuni na kuanza kunilamba kitovu changu.
"Ooooh...
Ndiooo... Baby... Commooon.. tia basi...unani..." Aaah jamani huyu kaka
fundi nyie, unaambiwa nililia hadi machozi yakawa yananitoka kwa utamu baada ya
huyu mmiliki wa gesti kuingiza kidole chake cha mwisho katika uke wangu uliokua
tayari umejaa ute wa kutosha tayari kwa pambano.
Baada ya kugundua
kuwa tayari uke wangu ushalainika vya kutosha, ndio akaniwekea mto chini ya
mgongo wangu ili anikamatie vizuri, kisha akapaka mate katika uume wake
kuongeza kuteleza, taratiibu akaanza kumleta nyoka pangoni, wakati kichwa cha
uume wake ndio kinaanza kuingia tu, ghafla..!
Mara ghafla
nilimshuhudia yule mmiliki wa gesti akipiga kelele za kufa huku akidondoka na
kutupwa hadi chini.
"Nakufa..
jamani..!" Alipiga kelele huku nikishuhudia damu nyingi zikimtoka puani
pamoja na masikioni.
Ghafla nikaaza
kuushuhudia ule moshi ukiingia ndani na kutengeneza umbo kubwa sana kama la
binaadamu, hapohapo ukabadilika na kuwa jitu kubwa sana linalotisha ajabu.
"Unadhani
mnaweza kunipoteza kirahisi hivyo..!" Lilisema jitu hilo kumwambia yule
mmiliki wa gesti ambae alikua akiugulia maumivu pale chini.
Ghafla mlango wa
kile chumba ulivunjwa na kumshuhudia yule mzee mganga akiingia ndani huku akiwa
amevalia mashuka yake ya rangi nyeupe na nyekundu, huku akiwa ameishika ile
chupa aliyewekewa jini hapo mwanzo, safari hii chupa ilikua tupu ndani yake.
"Leo ndio
mwisho wako wewe, kila kiumbe kina ufalme na umiliki wake, huku duniani sisi
binaadamu ndio tuliopewa mamlaka ya kuuongoza ulimwengu, leo lazima tukurudishe
ulipotokea ukawatawale hukohuko lakini sio hapa..!" Alisema yule mzee mganga
huku akiendelea kuimba nyimbo na kuongea maneno yake ya kiufundi ambayo hata
sikuyaelewa maana yake.
Hee.. huyu mzee
kweli alikua kiboko, yaani hata dakika mbili hazikuchukua taratibu lile jitu
lilibadilika tena na kugeuka moshi ambao uliingia kwenye ile chupa ya yule
mzee.
Baada ya
kuhakikisha kuwa ule moshi wote umeshaingia ndani ya chupa, yule mzee aliifunga
ile chupa.
Chaajabu yule
mmiliki wa gesti alisimama tena na kuanza kujinyoosha, yaani alikua mzima
kabisa huwezi amini.
"Hii ndio
mara ya mwisho kuokoa maisha yako, mngekufa wote nyie leo kwa ujinga wenu wa
kuendekeza nyege na mihemko ya kijinga..! Yaani ushukuru tu ndugu yangu masawe
uliisaidia tu familia yangu kipindi cha nyuma, laasivyo leo ningekuacha tu
ufilie mbali..!" Aliongea kwa hasira kweli yule mzee mganga, ni hapo ndipo
nilipolijua jina la yule mmiliki wa gesti kuwa kumbe alikua akiitwa masawe.
"Sasa hapa
hakuna kulala tena, usiku huuhuu tunaelekea baharini kuimalizia hii kazi, maana
dawa niliyoitumia asaivi ni ya kumpunguzia makali tu huyu jini, tena inadumu
kwa masaa mawili, ikizidi hapo na tukiwa bado hatujafika baharini huyu jini
atatoka na kuwa na nguvu ambazo sitoweza kumzuia tena, tutakufa wote..!"
Alitoa maelekezo yule mzee.
"Sasa hivi ni
saa nne, inamana isifike saa sita ya usiku tunatakiwa tuwe tumeshaimaliza hiyo
kazi..!" Niliuliza kwa mshangao kidogo.
"Haswaa..
hemu vaeni tuondoke tusipoteze muda hapa..!" Alijibu na kutoa maelekezo
yule mzee, yaani tulichanganyikiwa hadi tulisahau kabisa kama tulikua tupo uchi
kama tulivyozaliwa.
Yule mzee
alitangulia kutoka nje na kutuacha sisi tukiwa tunavaa, tulivaa harakaharaka na
kutoka nje.
Mungu wangu..!
Hii leo sijui
itakuwaje, tulipofika nje yule mzee mganga hatukumkuta, ila badala yake
tuliweza kuwaona askari wengi zaidi ya kumi wakiwa wameizunguka ile gesti huku
wakiwa wametuelekezea midomo ya bunduki upande wa mlangoni tulipokua tumesimama
kwa kuduwaa.
"Mkitingishika
tu tunawafyatulia risasi, tulieni hivyohivyo..!" Ilikua ni sauti ya kipaza
sauti kilichokua kwenye moja ya magari ya askari yaliyokuwa yameegeshwa mbele
ya gesti hiyo huku taa za magari hayo zikitumulika usoni.
Ilibidi tutii
sheria, tulitulia na askari wawili walifika pale tulipo na kutufunga pingu, wakati
huo ilikua ni saa tano kasoro.
Walituchukua na
kutuingiza ndani ya gari lao na safari ya kuelekea kituo cha polisi cha Arusha
mjini ilianza.
Gari iliyotubeba
mimi na mmiliki wa gesti, ilikua nyuma na kutanguliwa na gari nyengine ya
polisi hao, hapo ndio nilipogundua kumbe msafara huu ulikua ni mkubwa kiasi cha
kutumia gari mbili za polisi.
Nilikua najaribu
kuwaza ni wapi alipokwenda yule mzee mganga, na itakuwaje kama tutashindwa
kufika baharini kumuangamiza yule jini, maswali haya yalinifanya nishindwe
kuizuia chuki yangu dhidi ya yule mmiliki wa gesti, ni kweli yeye ndiye
aliyesaidia kumpata yule jini, lakini pia ni kutokana na maamuzi yake ya
kijinga ya kumuuwa mkewe kwa panga ndio yanatuharibia mpango wetu wa
kumuangamiza jini.
"Huu wote ni
usen**ge.. wako..!" Nilijikuta nikimtukana yule mmiliki wa gesti kwa sauti
ya juu mbele ya askari huku machozi yakinitoka kwa hasira.
Tulipofika maeneo
ya USARIVA, ilikua tayari ni saa5 na nusu usiku, barabara ilikua kimya sana,
ghafla ikaanza kunyesha mvua kubwa kupita kiasi, hadi dereva wa gari
tuliyoipanda alilazimika kuegesha gari pembeni kwanza hadi mvua itakapopungua,
lakini haikua hivyo, mvua ilizidi kunyesha tena kubwa ajabu, radi zilipiga na
kuvunja vioo vya gari la polisi pamoja na kuweka shoti ndani ya gari, ghafla
gari ikazima, kiza kikatawala kila mmoja akijaribu kutulia kimya bila kusema
jambo lolote kwa hofu, nilipoiangalia saa yangu ya mkononi ambayo ilikua ikitoa
mwangaza kwenye kiza, hapo nilichoka hoi, kwani ilikua ni saa sita kasoro
dakika kumi na tano usiku, akili yangu ikaenda mbali sana nikahisi ndio siku
yetu ya kifo imeshafika.
Tukiwa kwenye
mawazo hayo mara ghafla tuliwashuhudia askari waliokua kwenye gari la mbele
wakija huku kwenye gari letu wakiwa wameshika tochi zao huku wakiwa wanakimbia.
"Shukeni
mkimbie jamani.. kuna nyoka tayari ameshawameza askari wenzetu wawili, ni nyoka
mkubwa sana kimbieni..!" Alisema mmoja wa askari hao lakini kabla
hajamalizia kusema kitu chochote tulimshuhudia na yeye akibebwa juujuu na mkia
wa joka hilo, hee kumbe joka lile lilikua na vichwa saba.! Nilipoiangalia saa
yangu ilikua ni saa sita kamili usiku, hapo nilishajua ni nini kilichokua
kikiendelea, nilianza kusali kimoyomoyo kabisa, maana niliamini kuwa mwisho
wangu ulikua umeshafika..
Lile joka
lilimmeza yule askari kisha likageukia katika gari yetu na kuanza kuja
wanguwangu..
Lilipofika katika
gari yetu, likaanza kuitingisha gari yetu ili kuipindua atupate kwa urahisi,
mara ghafla nilihisi kama majimaji nimeyakalia pale nilipo, nilipozidi kupapasa
ndio nilipogundua kuwa kumbe ni askari aliyekua pembeni yangu alikua amejikojolea
kwa uwoga.
Lile joka
lilitulia kutingisha gari na kuanza kumkimbiza askari mmoja aliyekua kwa nje
ambae alikua akijaribu kumpiga risasi nyoka huyo na kufanikiwa kutoboa jicho
moja la kichwa cha pembeni.
Lile joka
lilimkimbiza askari yule huku likiwa linaunguruma kwa hasira ya kutobolewa
jicho lake.
"Jamani
tufungueni tukimbie kabla hajarudi huyu nyoka, mkifanya masihara tutakufa wote
humu..!" Nilijaribu kuwashawishi wale askari, lakini sikupata jibu kwani
ukimya ulitawala mule ndani ya gari, nilipojaribu kuwagusa na kuwatingisha hapo
ndipo nilipogundua kuwa kumbe kwenye vita ile nilikua nipo peke yangu, kwani
watu wote mule ndani ya gari walikua wamezimia huku mikojo ikiwa imetapakaa
gari zima.
Mungu saidia,
wakati napapasapapasa nilifanikiwa kupata ufunguo katika mfuko wa shati la
mmoja wa askari wale waoga waliozimia, nilijifungua pingu na kumfungua na yule
mmiliki wa gesti, kisha nikamuamsha yule masawe mmiliki wa gesti kwa kummwagia
vimikojo usoni.
Tulitoka ndani ya
ile gari na kuanza kutimua mbio huku kila mmoja akielekea na njia yake,
nilianza kuingia njia za ndanindani na kuja kutokea katika daraja la MAJI YA
CHAI, nilijificha pale chini ya daraja pembezoni mwa mto wa MAJI YA CHAI kwa
muda mrefu huku nikisikia kelele za maji ya mto huo tu yakiwa yanapita, lakini
ukimya ulitawala sana.
Nilipoiangalia saa
yangu ya mkononi ilikua tayari ni saa tisa usiku.
Nilianza kuomba
mungu kimoyomoyo huku nikizidi kutetemeka kwa hofu iliyochanganyika na baridi
ya kukaa pale mtoni chini ya daraja kwa muda mrefu.
Ilipofika saa kumi
alfajiri nilisikia adhana ikiadhiniwa katika msikiti uliokua karibu na maeneo
yale ya MAJI YA CHAI, hapo sikusubiri ruhusa nilisimama na kuanza kutimua mbio
kuelekea msikitini nikiamini nitakua katika mikono salama.
Kweli niliuona
msikiti na kuona mtu mmoja akiwa kwa nje amevaa kanzu nyeupe, mtu huyo alikua
akivua viatu vyake ili aingie msikitini, lakini kama mungu alimwambia ageukie
upande wangu na kuniona natimua mbio.
Nilishangaa
kumuona yule mtuu akiwa ameduwaa huku akiweka mikono yake kichwani, nilijaribu
kuwaza kwanini anishangae kiasi kile cha kuanza kuniogopesha hata mimi.
Nikiwa nakaribia
kufika pale msikitini, ilikua ni kama hatua kadhaa tu nimfikie yule mtu
aliyevaa kanzu, ghafla nilimshuhudia yule mtu aliyevaa kanzu akidondoka chini
na kupoteza fahamu, hapo nilizidi kuchanganyikiwa, sasa ilinibidi nigeuke
kuangalia nyuma yangu ili nijue kunanani zaidi yangu.
Mungu wangu.. hata
sikuweza kugeuka nilijikuta nikipigwa mtama na kitu kama mkia wa nyoka mkubwa
na kunidondosha hadi chini karibu na yule mtu aliyevaa kanzu na kuzimia.
Nilipomuangukia
yule mtu aliyevaa kanzu ndio kama nimemuamsha vile, kwani aliwahi kusimama na
kukimbilia ndani ya msikiti ambapo adhana ndio ilikua inaishia kuadhiniwa.
Nilipokua pale
chini nilimshuhudia yule nyoka mkubwa mwenye vichwa saba akisogea karibu yangu
kabisa, kisha akapanua mdomo yake na kutapika watu wawili karibu kabisa na pale
nilipokua mimi chini, mwanzoni sikuweza kuwajua ni watu gani wale waliotapikwa
kutokana na kinyaa cha miudenda nilichokua nikikiona, lakini baadae nikakaza
moyo na kufumbua macho ili kuangalia vizuri.
Mungu wangu..
hakika sikuweza kuamini kwa nilichokiona, watu wale waliokua wametapikwa na
joka lile kumbe alikua ni yule mzee mganga pamoja na masawe mmiliki wa gesti
ambae tulitengana na kila mmoja kukimbilia na njia yake.
"Hao si ndio
waliokua tegemeo lako..! Huu ni ulimwengu wangu, hakuna atakaenishinda..
Sasa kwakua
haukutaka kuungana na mimi wacha leo nikupoteze.. nilikuja huku duniani kwakua
mama yako aliingia mkataba na mimi, na haya leo ndio malipo ya kuvunja
mkataba.. ni kwa tamaa zenu nyinyi binaadamu hamridhiki na mlichopangiwa
kupata..!" Lilisema lile joka ambalo ndio yule jini.
"Sasa kama
mkataba uliingia na mama yangu ambae pia tayari umeshamuua mbona unaniadhibu na
mimi ambae hata sihusiki..? Sawa niuwe tu kwanza nishachoka maisha haya ya
kukimbiakimbia kila siku, niuuweee.. mbona unachelewa..!" Nilisema kwa
ujasiri mkubwa pamoja na hasira huku machozi yakizidi kunitoka.
Hee.. kumbe ndio
kwanza nilizidi kujichongea, unaambiwa lile joka lilininyanyua juu zaidi kwa
kutumia mkia wake na kuniweka usawa wa kichwa chake kikubwa na kutanua midomo.
"Kwakua wewe
ni jeuri nitahakikisha kila kichwa changu kinapata nyama yako..!"
Lilijisifu hivyo lile joka na kutanua midomo yake yote saba.
Kiukweli
nilishachoka maisha ya kukimbiakimbia kila siku, nilitamani siku moja niishi
maisha ya kawaida kama binaadamu wengine, hata hivyo niliona huwenda maisha
haya ndio niliyoondaliwa na mwenyezi mungu ili liwe kama ni fundisho kwa
binaadamu wengine, pengine kupitia mimi wengi watajifunza, basi niliikubali
hatma yangu na kuanza kusali kimoyomoyo sala zangu za mwisho.
"Ewe mwenyezi
mungu, hakika ya mimi ni kiumbe dhaifu sana kwako, kama ni kweli hatma ya
maisha yangu inaamuliwa na kiumbe huyu basi nimeridhia, lakini kama ni kweli
upo na wewe ndio kiongozi wa mbingu na ardhi pamoja na ufalme wa ulimwengu huu,
basi nayakabidhi maisha yangu mikononi mwako..!" Niliongea maneno hayo
huku nikifumba macho tayari kwa kupokea matokeo.
Taratibu nilianza
kuhisi naingia kwenye marenda ya midomo ya lile joka..
Ghafla nikasikia
watu wakiongea kwa lugha ambayo sikuweza kuitambua hapo awali, nilishangaa
kuona hata lile joka likiwa halinimezi tena limenigandisha tu kwenye mirenda
yake pale mdomoni, hapo sasa ilinibidi nifumbue macho ili nami nijionee ni nini
kilichokua kikiendelea.
Kwa hakika
sikuweza kuamini, kumbe sauti zile zilikua zikitoka pale katika mlango wa
msikiti, Imamu wa msikiti alikua ameshafika na alikua akisoma Qur-ani ambayo
ilipelekea yule nyoka kuganda vilevile kwanza.
"Bismillahi
rahmani rahim..!" Ni maneno hayo tu ndio niliyoweza kuyakumbuka kwa
haraka, kwani baada ya kugundua kuwa kuna msaada ulikua umeshafika hata sijui
nini kilikua kikiendelea, ila ninachokumbuka ni kuwa nilipoteza fahamu tu.
Nilipokuja
kuzinduka, nilijikuta nipo katikati ya kundi kubwa la wakina mama ambao nao
walikua wakisoma dua huku mimi nikiwa nimevalishwa majuba rangi nyeusi.
"Takbir...
Takbiiiirrrr..!" Ilikua ni sauti ya mama mmoja ambae alisema maneno hayo
baada ya kugundua kuwa tayari nimeshaamka na nilikua nikijinyoosha.
"Allahu
akbar..!" Ilikua ni sauti kubwa ya wakina mama hao ambapo waliitikia kwa
pamoja na kuzidi kunishtua.
Niliamka nikiwa
kama mtu mwenye mawenge vile, mara kimya kikatawala na kumshuhudia mzee mmoja
akiingia katika sehemu ile ilyojaa wanawake na kuja kunichukua na kuniingiza
katika upande wa pili ambapo niliweza kuuona umati mkubwa zaidi wa wanaume,
hapo sasa ndipo nilipogundua kuwa kumbe nilikua msikitini nikisomewa dua.
"Imamu wa
msikiti alinishika kichwa na kuniambia nipige magoti, nami nilitii, kisha yule
imamu akaanza kusoma dua huku akiwa bado amenishika kichwa.
Alisoma mpaka
nikawa nahisi kichwa changu kinapata moto, joto lilinizidi mwilini na kujikuta
nikianza kupiga kelele za kupandisha mashetani.
"Lete mafuta
ya mzaituni..!" Yule imamu aliagiza, baadae mafuta ya mzaituni yalifika na
yule shehe alinipaka usoni mwangu huku akiendelea kusoma dua yake, mwisho
kizunguzungu kikanishika na kujikuta nikipoteza fahamu kwa mara nyengine tena.
Nilipokuja
kuzinduka nilijikuta nipo kitandani nimelala, tena kiza kilishaingia japokua
sikujua ilikua ni saa ngapi.
Mara akaingia
binti mmoja wa makamo kama umri wa miaka kumi na tano hivi ukimkisia.
"Asalam
alaykum..!" Alisema binti huyo huku akiniangalia mimi.
Niliishia
kutingisha kichwa tu maana hata sikujua nimjibu nini, kiukweli nilikua na jina
zuri tu la kiislamu lakini nilikua nyuma kweli hata kujifunza salam zao.
"Chakula
tayari twende tukale..!" Alisema binti huyo huku akinishika mkono
kuniongoza njia.
Tulipofika katika
meza ya chakula yule binti alipakua chakula kisha tukala wote mwanzo hadi
mwisho, yaani nilikula hadi nikaongeza tena mara mbili, kiukweli sikuwahi kula
sana kiasi hiki.
Baadae aliingia
mzee mmoja wa makamo akiwa amevaa kanzu nyeusi, nilipomuangalia vizuri ndipo
nilipomkumbuka kuwa ni yule imamu wa msikiti.
"Unaendeleaje
binti yangu..!" Alisema yule imamu baada ya kuona kuwa nimeshamaliza
chakula pale mezani.
"Najiona mwepesi
sana kwakweli nawashukuru sana..!" Nilijibu kwa upole sana.
"Inaelekea
ulipitia mitihani mikubwa sana kwenye maisha yako.. pole sana..!" Alisema
maneno hayo yule imamu ambapo ndio kama alinikumbusha kufanya tathmini ya
maisha yangu, ghafla machozi yakaanza kunitoka, nikaanza kuhadithia juu ya
mkasa wangu kuanzia mwanzo hadi mwisho.
"Pole sana..
Allah atakufanyia wepesi..!" Alisema imamu huyo huku akimwambia yule binti
yake akanitandikie kitanda.
"Kwahiyo sasa
hivi nimepona kabisa..!" Niliuliza kwa shauku ya kutaka kujua hatma ya
mwili wangu.
"Wewe ulikua
unasumbuliwa na majini, lakini kwa sasa hamna atakaekusumbua kwani binaadamu
pamoja na majini wote tumeumbwa na Mungu mmoja, na lengo la kuumbwa kwetu ni
kuja kufanya ibada, haya mambo mengine ni ziada tu.. kubwa zaidi usiache
kumuomba mungu akuongoze kukuonyesha njia iliyokua sahihi..!" Alimaliza
kuelezea imamu huyo, kisha akaniruhusu niende kulala.
Tukiwa chumbani
kitandani, mimi pamoja na yule binti ambae nilishamjua alikua akiitwa Samira,
tulikua tukipiga hadithi mbalimbali kuhusu nyumbani kwao, ni hapo ndipo
nilipogundua kuwa kumbe yule binti ndio mtoto pekee wa yule imamu na kwa bahati
mbaya mama yake alishafariki tangu akiwa mdogo.
"Pole
sana..!" Nilijikuta nikimpa pole yule binti kisha nikamfuta machozi, hata
sikumbuki tulilala saa ngapi.
Nliishi pale
nyumbani kwa imamu wa msikiti kwa muda wa miezi kadhaa, ambapo tayari kila mtu
alikua akiifahamu historia yangu, wengi walinipenda na kunionea huruma, haswa
wanaume ndio walikua kero kwelikweli, yaani walikua wakinisumbua kuhitaji
wanioe, ila niligundua kuwa wengi hawakua waowaji ila waliitamani tu bikra
yangu.
Kweli nilikua
mzuri na kukamilika kila idara, kuanzia sura, umbo hadi macho na nikisema
nikurembushie kidogo tu, wee lazima ukubali, lakini vyote hivyo havikua na
faida kama tu sitojitunza na kuilinda heshima yangu, kweli nilishadhalilika
sana katika maisha yangu yaliyopita.
Hivyo nilihitaji
maisha mengine kabisa tofauti na yale, lakini pia nilihitaji kuwa na mume ambae
atakaeyasafisha maisha yangu mabovu yaliyopita, ni hapo ndipo nilipokubali ombi
la imamu wa msikiti ambalo alilokua akiniomba kwa muda mrefu kuwa anioe ili aendelee
kuniongoza.
Kweli, baada ya
siku kadhaa tulifunga ndoa ya kiislamu tena harusi ilikua kubwa sana, hadi
shehe mkuu wa Arusha alihudhuria katika ndoa yetu.
Watu walikula na
kunywa pia, viongozi na waumini wa misikiti pamoja na vyuo mbalimbali walikuwepo,
kwa hakika nilizidi kupata umaarufu kupitia ndoa hii.
Kila mmoja
alimsifia imamu kwa maamuzi mazuri na sahihi aliyoyafanya, hasa baada ya watu
wengi kuijua historia ya maisha yangu yaliyopita.
Basi kama
tunavyojua tena, usiku wa ndoa unavyokua, tukiwa chumbani mimi na mume wangu
imamu ambae alikua akiitwa imamu Salum, katika kitanda chetu cha futi tano kwa
sita, tayari kwa kuianza mechi.
Mume wangu
aliniandaa vizuri sana, hata mimi pia nilimpokea vizuri tu, taratibu akaingiza
kichwa cha uume wake katika pango langu.
"Tobaaaa...!"
Nilijikuta nikipiga kelele huku nikishuhudia damu zikiruka na kuchafua shuka..
Mara ghafla
nikasikia maumivu makali sana katika uke wangu, hapo sasa ndipo nilipogundua
kuwa tayari bikra yangu ilishatolewa.
Taratibu nilianza
kuizoea ile hali huku nikiendelea kuyavumilia maumivu, ghafla nikaanza kupiga
kelele hata sijui ilikuaje, maana nilikua nasikia maumivu yaliyochanganyika na
utamu kidogo, hapo ndipo nilipogundua kuwa kumbe tulikua tukifika kileleni.
Wala hatukutaka
kuchoshana, kimoja tu kilitosha kupitisha furaha ya ndoa usiku ule.
Tulichukuana hadi
bafuni na kuanza kuogeshana, kwa hakika nilikua ni mwenye furaha sana.
Hata sikumbuki
nililala saa ngapi, kwani nilikuwa nikiwaza usiku kucha juu ya maisha yangu
yaliyopita huku nikiendelea kumshukuru mungu kwa kunionyesha njia sahihi.
Nilikuja kushtuka
ilikua ni saa moja asubuhi, ambapo nilishtushwa na sauti ya yule binti mtoto wa
mume wangu imamu salum, alikua akisema kuna wageni walikuja kumsalimia imamu
wao.
Nilitoka nje huku
nikiwa nimejitanda kanga, nilikwenda kuwakaribisha wale wageni ambao walikua
wametoka katika uongozi wa msikiti, walikuja kutusalimia pamoja na kutupatia
sadaka ya waumini waliyomchangia imamu wao baada ya ndoa.
"Kweli ndoa
tamu, mpaka asaiv imamu salum hajaamka..!" Alitania shehe mmoja wakati
naingia chumbani kwenda kumuamsha mume wangu.
"Mume
wangu..! Mume wangu..!" Nilijaribu kuita kwa sauti ya upole lakini mume
wangu wala hakuitikia, ambapo ilinibidi nisogee kitandani ili nimtingishe.
"Mume wangu
kuna wageni wako.. amka bwana..!" Nilimtingisha huku nikimuamsha lakini
pia hakuitikia wala kushtuka.
Kidogo nikaingiwa
na wasiwasi, hapo ilinibidi nimfunue shuka alilokua amejifunika hadi usoni.
Mungu wangu..
Hakika sikuweza
kuamini kwa kile nilichokiona, nilimshuhudia mume wangu akiwa anatokwa na damu
nyingi katika tundu za pua pamoja na masikioni.
"Mume wangu
umepatwa na nini..!" Nilijikuta nikipiga kelele huku nikiwa nalia kwa
huzuni, kusikia hivyo wale wageni nao walikuja ndani haraka kutoa msaada.
Tulishachelewa,
mume wangu alikua ameshafariki.
Watu walizidi
kupeana taarifa juu ya kifo cha imamu wao, ambapo baada ya muda mfupi kupita
tayari umati mkubwa ulishajaa nje ya nyumba yetu, maiti ilipelekwa hospitali
kupimwa na kuonekana haikua na tatizo lolote, ni hapo ndipo watu walianza kuwa
na mashaka na mimi, na hasa baada ya kuijua historia yangu iliyopita.
Binafsi nilianza
kuziona chuki za waziwazi kwa baadhi ya ndugu wa marehemu mume wangu, walikua
wakilia huku wakilitaja jina langu kuhusika na mauwaji ya ndugu yao.
"Ewe mungu
wangu.. mbona bado unaendelea kunipa mitihani ambayo hata sijui majibu
yake..!" Nilijikuta nikimlalamikia mungu kwa sauti ya huzuni huku
nikijisahau kuwa nilikua nipo katikati ya ndugu wa marehemu mume wangu.
"Unajifanya
unalia mnafki mkubwa wewe.. muuaji wa kaka yangu na utaona mshenzi
wewe..!" Ilikua ni sauti ya wifi yangu Mwajuma dada wa marehemu mume wangu
akinisema kwa sauti hadi nilijisikia aibu na kuamua ninyanyuke na kwenda
kulilia ndani.
Kwahakika kwangu
ulikua ni msiba mkubwa sana, sikujua ni kwanini nilikua najaribiwa kiasi hiki,
kama ni jini si tayari alishaangamizwa, kama ni bikra tayari nilishatolewa,
sasa tatizo lilikua ninini?
Mmh.. mwenzenu
nilikua majaribuni.
Basi baada ya
mazishi kupita tulikutana na kukaa kikao cha familia pamoja na viongozi wa
msikiti, ambapo mvutano uliokuwepo ni kuhusu mimi kuendelea kuishi pale hadi
nimalize eda yangu, wakati ndugu nao waliona sina sababu ya kuendelea kuishi
pale.
Mwisho kabisa hata
mimi sikupenda kuendelea kuishi tena katika mji ule hali ya kuwa kila mmoja
alikua akiijua aibu yangu, nilikabidhiwa fedha kiasi nikaanze maisha yangu
binafsi kwani sikuwa na ndugu wa aina yoyote ile.
Baada ya siku
mbili nilisafiri na kwenda hadi MOSHI, nilienda kuishi kijiji cha MARANGU, hapo
nilipanga chumba na kuyaanza maisha yangu mapya.
Nilikaa pale kwa
muda kama wa wiki mbili ambapo taratibu nilianza kuhisi mabadiliko ya mwili
wangu, kutapika mfululizo, kichefuchefu ndio usiseme, hapo sikuuliza mara
mbili, nilifunga safari hadi hospitali na kuambiwa kuwa nina ujauzito wa mwezi
mmoja.
Kiukweli nilijawa
na furaha moyoni mwangu japokuwa sikuwa na uhakika wa maisha.
Nilianza kufanya
biashara ya kuuza pombe ya kienyeji inayotengenezwa kwa kutumia ndizi mbivu
pamoja na maparachichi, nilifanikiwa kiasi cha kuyaendesha maisha yangu na
kuweka akiba ya mtoto wangu mtarajiwa.
Nakumbuka ilikua
tayari imeshafika miezi nane na nusu ambapo siku hiyo nilikua nimeumwa sana
usiku, kulipokucha nilimuomba mama mmoja ambae yeye ni mwalimu anipeleke
hospitali.
Kweli tulienda
hospitali na nikapatiwa vipimo.
Wakati napokea
majibu ya vipimo, ghafla niliishiwa nguvu na kujikuta nikipoteza fahamu na
kudondoka chini.
Nilikuja kuzinduka
baada ya masaa mawili, nikiwa nimepakatwa na yule mwalimu.
"Pole
sana..!" Alisema yule mwalimu.
"Asante..
vipimo vinasemaje..!" Niliitikia na kuuliza pia.
Kabla yule mwalimu
hajanijibu, aliingia nesi na kuanza kunipima tena kisha akaanza kusema.
"Mwanzo
tulijua wewe ni mja mzito, lakini kulingana na vipimo vya leo, tumegundua kuwa
wewe sio mjaamzito bali una pande la damu tumboni mwako na unatakiwa ukafanyiwe
operesheni katika hospitali kubwa, kwani kila siku zinavyozidi kwenda ndio na
hilo pande la damu linazidi kukua zaidi..!" Alisema nesi huyo.
Maneno hayo
nilishindwa kuyavumilia na kujikuta nikipoteza fahamu kwa mara nyengine tena.
Nilikuja kuzinduka
nilijikuta nimelala nyumbani kwangu nje kwenye mkeka, baada ya kuamka yule
mwalimu aliniaga ya kuwa anaelekea shuleni kwani yeye anaingia zamu ya mchana,
huku nyuma na mimi sikuona haja ya kuendelea kukaa nyumbani hali ya kuwa bado
sijaijua hatma ya mimba yangu, basi nilijikongoja hadi moshi mjini katika
hospitali ya wilaya, nilipimwa na kusubiri majibu.
Hee.. majibu
niliyoyapokea hapa ndio yaliyozidi kunichefua kabisa..
"Hongera sana
dada una mimba ya mwezi mmoja...!" Nilishindwa hata kuvumilia kusubiri
nesi aendelee kunipa majibu yangu, ghafla nilijikuta nikidondoka na kupoteza
fahamu kwa mara nyengine tena..
Kuona hivyo, yule
nesi Alipiga kelele na kuomba msaada kwa wenzake, walikuja na kunipakiza kwenye
machela kisha wakaniingiza chumba cha ICU kuokoa maisha yangu, kwani tayari
damu zilikua zikinitoka puani, masikioni pamoja na katika sehemu zangu za siri.
Ni katika jitihada
hizo za kuokoa maisha yangu ndipo ilimbidi mganga mkuu wa hospitali hiyo Dr.
Frank aweze kuja kunikagua na kuanza upya vipimo vyangu.
Wakati napewa
huduma hiyo ghafla nikashtuka na kufumbua macho.
"Just relax
okey..!" Aliniambia mganga mkuu Dr. Frank kuwa niendelee kutulia wakati
anamalizia kunipima.
Ni hapo ndipo
alipoligundua tatizo langu na kuwaambia wale wasaidizi wake, nilichoka kweli
baada ya kusikia majibu ya huyu Dr. Frank.
" Kadi yake
ya kliniki iko wapi..?" Aliuliza Dr. Frank
"Hakuwahi
kuhudhuria kliniki..!" Alitoa maelezo yule nesi aliyenipokea.
"Dada hii ni
hatari, wewe una mimba kubwa tena iliyopitiliza muda, mimba yako inaelekea
katika mwezi wa kumi sasa, na wala haujawahi kuhudhuria hata kliniki unadhani
tungejuaje maendeleo ya mtoto wako..? Sio vizuri unahatarisha maisha yako
mwenyewe..
Haya mpelekeni
kule wodini mkampime na joto lake lipo nyuzi ngapi, kama yupo mbali afanyiwe
operesheni..!" Alimaliza kusema yule Dr. Frank ambae ndio mganga mkuu wa
hospitali ile ya wilaya kisha akatoa maelekezo kwa wasaidizi wake.
Nilipewa chai mara
kwa mara ili nizidi kuongeza joto mwilini mwangu, na hatimaye ilipofika saa8 ya
usiku bado nikiwa katika wodi ya wazazi, ndio ghafla uchungu ulinishika
maradufu, nilipiga kelele kama mtoto mdogo.
Walipoingia
wauguzi tayari mtoto alikua mlangoni zamani.
Mungu saidia
nilipata mtoto wa kiume, ila kutokana na uzito wa kilo nne wa mtoto pamoja na
kujifungulia kwa njia ya kawaida kwa mtoto mkubwa kama yule, lakini pia maneno
ya vipimo vya awali vya baadhi ya manesi kuwa eti nilikua sio mjamzito nina
minyama tumboni, na yule nesi mwengine naye alisema nina ujauzito wa mwezi
mmoja, basi nilijikuta nikiwa siamini kama kweli nilikua nimejifungua mtoto
tena wa miezi kumi, ghafla nguvu ziliniishia na kupoteza fahamu..
Nilipokuja
kuzinduka ilikua tayari ni saa kumi na mbili asubuhi, na ndio muda maalumu wa
kuangalia wagonjwa.
"Leyla..
jamani hongera..! Japo uliondoka bila kuniambia lakini nimeuliulizia mpaka
nikakupata, pole sana mwanangu" Ilikua ni sauti ya yule mwalimu jirani
yangu, alikua amekuja akiwa ameongozana na watu wawili ambapo mwanzoni
sikuwatambua, lakini nilipowaangalia vizuri ndipo nilipowagundua kuwa walikua
ni miongoni mwa wale wifi zangu kutoka kwa marehemu mume wangu imamu Salum,
hapo sasa ndipo nilipochoka hoi.
"Huku mmefata
nini jamani, na ilihali mimi na nyinyi hatuna uhusiano wowote..? Kwanza
mmejuaje kama nimejifungua wakati sikuwahi hata kuwapa taarifa, au ndio mmekuja
kuniulia mwanangu baada ya kuvuka mateso na vikwazo vyenu vyote vile..?"
Nilijikuta nikiwapokea kwa maneno hayo huku nikiwa na hasira za hali ya juu,
machozi yakichukua nafasi yake.
Ghafla nikakosa
nguvu na kujikuta nikipoteza fahamu tena..
Nilipokuja
kuzinduka, nilijikuta nipo nyumbani kwangu sebuleni nikiwa nimelala kwenye
mkeka, nilishangaa kuwaona viongozi wa kijiji cha marangu pamoja na viongozi wa
msikiti aliokua akiswalisha marehemu mume wangu imamu Salum, wote hao wakiwa
wanaitikia dua nzito iliyokua ikisomwa na viongozi hao.
Walipogundua kuwa
nilikua nimeshaamka, waliniletea mwanangu na kuniambia niende ndani kwanza
nikamnyonyeshe mtoto, halafu ndio nirudi wanielezee ilikuaje kwani waliniambia
kuwa nilikua nimezimia kwa siku tatu mfululizo.
Chaajabu maziwa
yalitoka vizuri tofauti na mwanzo, mwanangu alinyonya hadi akalala kabisa, hapo
ndipo nilipotoka kwenda kusikiliza viongozi.
"Haya nyie
wakinamama hemu ingieni..!" Ilikua ni sauti ya mwenyekiti wa kijiji
akiwaita wale mawifi zangu waliokua wakisubiri nje ya nyumba yangu.
"Jamani hapa
tumepokea ugeni wa msikiti kutoka msikiti wa MAJI YA CHAI uliopo Arusha, sasa
wageni karibuni muje mtuelezee..!" Alimaliza kuelezea yule mwenyekiti wa
kijiji.
"Mimi jina
langu naitwa shekh Ismail, ni imamu msaidizi katika msikiti aliokua
akiuswalisha marehemu imamu Salum ambae ndio aliyekua mume wa huyu binti
LEYLA..!" alikua akitoa ufafanuzi, kisha akaendelea.
" Siku ya
ijumaa usiku, nilioteshwa ndoto na marehemu imamu Salum akinilalamikia kuwa
nimeshindwa kuiunganisha familia yake, lakini pia alisema kwanini naitesa
familia yake na ilihali taratibu za kiislamu ninazitambua..?
Kiukweli maneno
katika ndoto ile yalinitisha sana, nilipoamka nikiwa najiandaa kwenda msikitini
ndio na hawa wadada wawili walikuja nyumbani kwangu na kusema kuwa dada yao
mkubwa ambae ndio wa pili kuzaliwa baada ya imamu Salum, amepatwa na ugonjwa wa
kupooza viungo vyote kwa ghafla, hivyo anahitaji kuniambia jambo..
Basi nami
nilikimbia hadi nyumbani kwao na kujionea ile hali aliyokuanayo, alianza kwa
kuomba radhi kwa makosa aliyoyafanya, alisema kuwa alizitamani mali alizokua
akizimiliki marehemu kaka yake kwa muda mrefu, hivyo alikua akitafuta njia ya
kumuua kaka yake, ndipo siku hiyo alipoambiwa na mganga wake kuwa njia ya
kumuua kaka yake ni kumtegea akiwa hana udhu, kwani mara nyingi dawa zake
zilikua zikidunda kutokana na dua za imamu baada ya kushika udhu.
Sasa siku ambayo
imamu alikua amefunga ndoa ndio siku ambayo imamu alilala bila kushika udhu, na
hii ni baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa, hivyo aliitumia nafasi hiyo
wakati imamu akiwa mchafu na kumtupia jini wake ambapo asubuhi yake kweli
tulimkuta imamu wetu amefariki.
Sasa mbaya zaidi
dada yule ndio aliokua akieneza habari kuwa huyu LEYLA ndio aliyemuua kaka yao,
ni hapo ndipo ndugu wakamfukuza huyu binti wa watu.
Lakini pia dada
yule, hatujui alipataje taarifa ya kuwa huyu LEYLA ni mjamzito, ila yeye
mwenyewe amesema alikua akimfanyia vituko LEYLA ili asijifungue salama, sasa
baada ya mimi kuoteshwa ile ndoto ndipo nilipoamka usiku ule na kusoma dua
kubwa sana, ndio asubuhi napata taarifa ya kuwa dada wa marehemu imamu wetu
amepatwa ugonjwa wa kupooza mwili mzima.
Juzi wakati tupo
kule hospitali kumfata LEYLA, ndio tumepoekea taarifa kuwa baada ya LEYLA
kujifungua tu, hivi sasa dada yule pia ameshafariki

0 Comments