IMEANDIKWA NA : UNKNOWN
e" alisema mmoja wa marafiki zake
"sina hela shoga angu, ipo kwenye Tigo pesa halafu hamna
wakala hapa" alisema Christina ambaye kwa kifupi walizoea kumuita Tina
"sasa sikiliza Tina" shoga mwingine alidakia
"mimi mama ameniagiza nimsaidie kupeleka hela yake kwa mama Shanta
ningewalipia, hivyo cha muhimu kama unataka kutulipia basi nakupa hizi za mama
halafu ulipe ili baadaye tukitoka ukaweze kutoa iliyoko kwenye simu unigee
nipeleke nilipoagizwa"
"mmmh sawa" alisema Tina
Basi walifanya kulipia walichokitaka halafu wakaelekea mpaka sehemu
ambazo kulikuwa na wavuvi wengi waliokuwa wakivua na walikuwa ni wanaume kama
ilivyozoeleka hii kazi wanawake ni mara chache sana
"broo nisevu nipate hii kazi man nina shida sana"
alisema kijana mmoja mchafu mchafu sana aliyekuwa akibembeleza kupewa kazi ya
uvuvi maana hakuwa na vifaa vya kuvulia.
"bwana mi sina kazi mzee vipi mbona huelewi?" yule
mwenzake alimjibu kwa hasira na kupanda ngalawa wakaanza kuzama katikati ya
bahari na kuanza kufanya mambo
Ghafla lilitokea bonge laa nyoka lilikuwa likikatiza mitaa ile,
sasa Tina alipoliona aliogopa sana akaanza kukimbia bila kujali anakimbilia
wapi.
Mwisho wa siku alizama hadi kwenye maji baharini
"Nyokaaaa" alisema mmoja wa mashoga zake, ndipo yule
kijana alipogeuka na kukutana na bonge la nyoka
Ilibidi yule kijana atafute lirungu halafu akaanza kulikandamiza
kichwani joka lile mpaka likafa
"daaah asante kaka yangu" alisema msichana mmoja pale
"usijali" yule kijana alisema huku akiifuta mikono
yake na kuanza kutembea.
"Tina yuko wapi?" alisema msichana mmoja ambaye
alikuja na kina Tina
Wote walishtuka wakaanza kupiga kelele baada ya kumuona Tina
akitapatapa kwenye maji, walianza kupiga kelele
"jamani Tina anakufa auwii, Wee kaka njoo msaidie
mwenzetu" walisema wakipiga kelele
Yule kijana aliekuwa akitembea aligeuka na kumuona binti huyo
Tina akiwa anajaribu kujiokoa kwenye maji lakini anashindwa, ilibidi jamaa avue
suruali yake akabaki na bukta la Chelsea halafu akavua tisheti yake na kuingia
ndani ya maji kwa ajili ya kwenda kumuokoa binti
Aliogelea mpaka pale binti alipokuwa akitapatapa akaanza
kumsaidia kwa kumvutia kifuani mwake.
Binti yule ambaye alikuwa ameshalegea kwa kunywa maji alijikuta
akimuangukia kifuani kijana yule kwa bahati mbaya akajikuta amepitisha mkono
kwenye bukta la kijana huyo akakutana na kipande cha ndizi kilichokuwepo
ndani.
Aliutoa mkono wake haraka halafu akajiegesha vizuri ili kijana
yule ambebe mpaka kule ufukweni mwa bahari.
Kweli kijana alimtoa akampeleka nje ya maji na kuanza
kumkandamiza tumboni ili atapike maji.
*
Jioni kila mtu alikuwa amesharudi katika makazi yake ya kudumu
Tina bado alikuwa na rafiki yake ambaye alikuwa anaishi kwake kwa muda maana
walisoma naye.
"Shoga yangu ungekufa ujue" alisema binti yule aliyefahamika
kwa jina la Jane
"jamani acha tu Jane nimepagawa eti yani sijui hata
nilishindwaje kuogelea pale karibu hivyo"
"mi mwenyewe nilishangaa"
"hivi yule kijana aliyenisaidia ni wa wapi?" Aliuliza
"sijui, itakuwa ndiyo kakuibia simu yako alipokuwa
anakuokoa"
"sio kweli haiwezekani" Tina alikata katakata
"kweli vijana wale wahuni sana si unaona hata alivyo
mchafu"
"ila kweli Jane, ila haina shida labda ndiyo mshahara wake
wa kunikomboa kesho nitanunua nyingine kipindi nikienda kurenew laini
yangu?"
"sawa shogaa" Jane alisema
Baadaye walipolala, usiku usingizi ulikuwa wa taabu sana, kila
mara Tina alikumbuka jinsi ambavyo kijana yule alivyomuokoa akajikuta
anamshukuru kimoyo moyo
'Mungu ampe nguvu apate kazi anayoitaka jamani kaka watu'
alitafakari binti kimoyo moyo
Alikumbuka jinsi kijana yule alivyomvuta kwa bahati mbaya
akajikuta ameshika pingili ya mua ya kijana yule
'mh mwembamba lakini ana ndizi mshare kabisa jamani' Binti
alipata tabu sana kutoka na jinsi jamaa alivyomsaidia 'mmh kesho ntaenda
kumuona kama atakuwepo'
Alijikuta amemuwazia mtu ambaye ndiyo mara ya kwanza kumuona
yaani mpaka akaaishia usingizini akiwaza imekuwaje kijana yule akajitokeza kama
mkombozi.... Je ITAKUWAJE (usikose sehemu ya pili)
#Tulipoishia
Alijikuta amemuwazia mtu ambaye ndiyo mara ya kwanza kumuona
yaani mpaka akaaishia usingizini akiwaza imekuwaje kijana yule akamsaidia....
#Endelea sasa
Asubuhi na mapema Tina aliamka huku akiwa ameimiss Instagram
yake, alitakiwa pia aende maeneo ya Makumbusho kuna video alikuwa akacheze huko
yeye na msanii Harmonize
Ilibidi afanye kujiandaa haraka haraka yeye pamoja na Rafiki
yake Jane wakachukua bajaj na kuelekea maeneo ya Makumbusho, walifika moja kwa
moja hadi katika ofisi kuu za Tigo kwa ajili ya kurenew line ya Tina iliyopotea
jana kwenye simu
"Naomba namba ya NIDA tafadhali" alisema mhudumu
"19960218312540000322" Tina aliitaja na yule muhudumu
alimsaidia kufanya process za kurudisha laini ile
"Njoo weka kidole cha pili hapa"
Tina alisogea taratibu na kufanya kama alivyoagizwa
Baada ya kumaliza kila kitu yule kijana alianza kumchokoza
"Christina"
"Abee"
"Na mimi nichukue hii namba nini?" aliuliza kijana
yule baada ya kumuona binti anavyong'aa
"Haina shida" alijibu binti
"Poa basi nitakucheki"
Binti na rafiki yake waliondoka moja kwa moja na kuchukua tena
Bajaj hadi maeneo ya Kariakoo ili kuweza kununua simu mpya na kali
"Sijui tutawahi kurudi"
"Kwanini tusiwahi? ni chapu tu bana" Jane alisema
Walienda hadi Kariakoo na kuvuta simu nzuri ya laki nne halafu
Tina akatia laini yake na kuunga bando ili kui-update
"Samahani Tina hatutafanya video leo tutafanya kesho"
alituma sms Jose wa Mipango ambaye ni Rafiki wa karibu sana wa Harmonize
"Jamaaniii hawafanyi ile video leo" alisema Tina
"Whaaat" Jane aliuliza
"SMS hii hapa" alisema Tina huku akimuonyeshea ujumbe
Jane
Basi ilibidi waondoke na kurudi mitaa ya kwao huko Kimara lakini
wakiwa njiani Tina alianza mbwembwe
"Jane, twende zetu kule kwa wavuvi tukasafishe macho"
"Mmmh shoga angu, kule tena umepapendea nini?"
aliuliza
"We twende tu nataka nikamshukuru yule kijana aliyenisaidia
jana"
"Makubwa shoga angu, wewe ni wa kummiss kijana yule
mchafu?"
"Wewe twende bana au wewe tangulia nyumbani ukapike mi
nakuja" alisema Tina
"Aya mi naenda nyumbani bwana nimechoka zangu"
"Powa basi"
Baadaye kidogo kila mtu alifuata mambo yake, Jane nyumbani na
Tina Baharini kuwaona wavuvi
Leo Tina alipofika mule alimkuta yule kijana akiwa amejiinamia
analia sana, leo alikuwa amevalia pensi ya rangi ya Maziwa, na fulana nyeusi
"wewe kaka mambo" binti aliongea kwa mshtuko baada ya
kumuona mtaalam akilia
"Safi da.. Da kwema" alisema huku akijifuta uso na
kufuta machozi ili binti asishtuke
"Kwema, mbona unalia" alisema
"Hapana silii dada angu"
"Haulii vipi wakati unaonekana macho mekundu na sauti ni ya
huzuni hiyo, niambie ukweli kaka"
"Daaah dada yangu ni wiki sasa ninahudhuria hapa sipati
kazi, nina njaa sana sijala tangu jana asubuhi najihisi kufa eti" kijana
yule alisema
"Oooh jamani, pole sasa usilie, twende hivi" alisema
binti na kumshika mkono akaanza kumvuta, jamaa lililegea kwa njaa
"Kwanza unaitwa nani kaka?" binti aliuliza
"Naitwa Tino" alisema "Kwa kirefu Agustino"
alimaliza
"Ahaaaa mimi mwenyewe naitwa Tina, haha kwa kirefu
Christina" alisema na kutabasamu huku akimuangalia yule kijana ambaye naye
alitoa tabasamu kwa mbali sana "Kwa hiyo Tino na Tina" binti alisema
"haya sawa, sasa unanipeleka wapi?" mtaalam aliuliza
"Ukale"
"No hizi hoteli ni za ghali sana dada angu"
"usijali mimi ndiyo nalipia"
Basi walienda hadi hotelini wakala wote, binti akalipa hela za
kutosha, halafu akamchukua Tino wakatoka hadi nje ya hoteli
"Wewe umeshiba sasa Tino?" binti aliuliza huku
akimkagua mtaalam kwa macho legevu yaliyoonesha kumjali sana mshikaji
"ndiyo nimeshiba sana dada yangu asante" alisema jamaa
na kuinama kidogo kwa nidhamu ya hali ya juu
"Haya basi powa, unakaa wapi?" aliuliza binti huku
akiwa anafungua pochi yake na kutoa noti moja ya 5000
"Boko" alijibu Tino
"Haya hii itatosha nauli na kula Maana nahisi hauna mke
wewe" binti aliongea akiwa anatabasamu huku akimkabidhi ile noti
"Asante jamani, mimi sina mke pia"
"Haya, samahani unaweza chukua namba yangu halafu
ukaniandikia message hata na simu ya rafiki yako maana kesho kutwa nataka nije
nikusalimie nione unapoishi wewe" alisema binti kisha akachukua kitambaa
na kujifuta kidogo usoni
"nitajie tafadhali"
"Una pakuandika?" aliulizia
"wewe taja tu"
"Hee unaweza kushika kichwani kweli?" binti aliuliza
"We taja usiwaze" Tino alisema akiwa anatabasamu
"Haya, 0654433281" alitaja binti haraka haraka
"Poa" Tino aliongea binti akashtuka
"Tino, haupo serious kama hutaki namba yangu wewe sema wala
sikulazimishi ah" binti alisema kwa hasira huku akiifunga pochi yake na
kuondoka kwa hasira
"Vipi kwani Tina?" Jamaa aliita kwa mshangao
Tina alipoondoka alikuwa akifoka sana kwa hasira
"Mwanaume mwenyewe huna chochote halafu unaringa, unahisi
mimi nakutaka au, yani mshenzi kweli mfyuuuu" aliondoka binti kwa hasira
na kupanda bajaji huyo akasepa zake nyumbani.
"Ehee niambie shogaangu" alisema Jane baada ya kumuona
mwenzake "Haiwezekani Tina haiwezekani, yaani wewe umempenda masikini kama
yule"
"nani kakuambia nimempenda na we mi silipendi lipumbavu
lile, mwanaume gani hana hata nguo za kung'aa naweza kupiga naye hata picha
kweli?" binti alisema huku akiwa anavua hereni zake akiwa bado ana hasira
na Tino alivyomtambia kuandika namba yake
"umemuona lakini?" Jane aliuliza
"Usinitajie yule mpumbavu bwana taja watu wenye hela
zao" Binti alisema kwa hasira
"Oooh ningesahau shoga, Mheshimiwa kanipigia anadai
hupatikani eti kwenye voda" alisema Jane
"Aaaah Voda si imepotelea kwenye simu jamaani, ile mi
nilisajili kwa kitambulisho cha mtu ndo maana nashindwa kurenew" alisema
binti
"ahaa, nilimueleza kwamba umepoteza simu sasa kasema eti
mkutane JingoMoja Hotel usiku wa leo" alisema Jane
"mmmmmh nitampiga kizinga atakoma" alisema Tina
"sasa unafikiri hatotaka mfanye"
"Hata akitaka ni kimoja tu si najua lizee lile haliwezi
kunichosha mimi bado mbichi, embu hujapika shoga?" Tina aliuliza
"Nimepika mwaya check kwenye Hotpot, kitu kitamu we"
"Hahahaaaaa, nakukubal Baby Jane huuuu kelele ya kwanza kwa
Shoga ake" waliongea maneno mengi huku wakiwa wananyoosha vidole vitatu
juu si unajua waswahili tena
"wee" Jane alijibu wote wakacheka
**
Usiku saa nne kamili Tina alipanda gari na kwenda mpaka,
JingoMoja Hoteli ikiwa ni bonge la hoteli mjini hapo.
Binti alikuwa amependeza balaa, na leo alitakiwa kwenda kuonana
na lizee liheshimiwa ambapo katika serikali hii alikwa ni Waziri wa sanaa na
michezo, Mh Regnald Mwasoka Kalumbile
"Hey, 072" binti alikutana na wapambe wa muheshimiwa
wakamuelekeza chumba cha kwenda kumkuta mheshimiwa kwa signal.
Binti alienda moja kwa moja akaingia chumbani huko alikuwa
ameandaliwa vizuri na alikuwa anahitajika amburudishe muheshimiwa kwa siku hiyo
usiku kucha kwa bei ghali.
Hizi ndo zilikuwa kazi za mabinti hawa wawili na ndizo ziliwaweka
mjini, walifanya pia kazi ya kucheza video za mastaa mbali mbali hata kwenye
wimbo wa Darassa uitwao Muziki walionekana.....ITAENDELEA
Kisa chenye ukweli ndani yake
??©?
Mida ya asubuhi Tino aliwahi kuamka, akachukua simu ya mwenzake
na kutoa lock maana yeye hakuwa na Simu
Kama utani aliandika namba ya Tina ambayo alikuwa ameikariri
alipotajiwa na Tina ilikuwa 0654433281
"Mambo" aliitumia sms namba ile wakati huo Tina alikuwa
akivaa nguo kwa ajili ya kwenda kwenye video shooting huko Makumbusho.
Binti aliisoma sms na kujibu "Poa nani?" alijibu kwa
mbwembwe
"Tino"
Kwanza cha kwanza binti alipoisoma ile message aliushika moyo
wake kwa sababu uligonga kwa kasi ya ajabu. Hakuamini kama kijana angeshika
namba yake kiurahisi wakati alimtajia mara moja tu namba
"Haupo serious Tino" alimtext huku akiketi vizuri
"Kwanini?" Tino aliuliza
"Kwa sababu haiwezekani wewe uishike namba yangu kirahisi
rahisi vile"
"hahaa mbona kawaida na wee" alisema Mtaalam
"Hahaa Genius" binti aliandika kwa furaha
"Whose number is this?" aliuliza kwamba namba
anayotumia tino ni ya nani maana alimwambia kwamba hana simu
"Unasemaje mbona sijaelewa kiingereza" Tino alisema
"Daaah, Samahani sikujua jamani nimekuuliza hii namba
unayotumia ya nani?" alisema binti halafu akamgeukia Jane "Hahaa
Shoga angu nachati na Tino hajui kiingereza hata kidogo" binti alisema kwa
dharau kidogo
"Tino ndo yupi?" aliuliza Jane
"Yule kijana mvuvi na we" binti alisema
"Hahahaaa"alicheka tena
Mara tino alijibu message "sawa, simu ni ya mshikaji wangu
aitwaye Dickson"
"Powa, nitakucheki mida naenda kishuti video ya
Harmonize"
"Harmonize???" mshkaji alishtuka sana
"Ndiyo mbona kama umeshtuka"
"Msanii mkubwa sana huyo mbona" alisema mtaalam
"Kawaida" alijibu binti "Byee mwaya baadaye
nitakutafuta"
Ilibidi Tino amrudishie simu Dickson, bila hata kufuta namba ya
Tina.
Dickson akaweka simu mfukoni na kuelekea zake kwenye Jobu lakini
Tino akaketi zake chini huku akitafakari namna ya kupata kazi
Hata hivyo Tina na Jane wakiwa kwenye bajaj walikuwa wakipiga
story za kudanga
"ina maana jana Mheshimiwa alionyesha shoo au ndo hamna uno
kabisa" Jane aliuliza
"Kimoja tu chali nikasepa mimi"
"Bila hela?" Jane alipenda hela sana
"Weee alinipa hela yangu, ila Unajua Tino ni mstaarabu
sana?" Binti alisema alijikuta akimchanganya Tino kwenye story
zisizomuhusu
"Toba, Tino katoka wapi tena huku? We Tina nimeshtuka
ushampenda yule kijana mchafu bila kujua" Jane aliongea
"Hapana siwezi nikampenda yule, mimi sipendagi mwanaume
wewe"
"Haya tutaona" Jane alisema
Safari yao ilishia katika maeneo ya Derm Plaza, hapo ndipo
walitakiwa washuti kideo cha wimbo mpya wa Harmonize ambao pia jina
halikujulikana kwa watu wengi maana ulikuwa haujatoka.
Kulikuwa na shamra shamra Hanscana huyu hapa, Jose wa Mipango,
Konde Boy huyo hapo, Ibraa Tz n.k
"Mtotooo" Hanscana alianza mbwembwe
"Hahahaha, wewee Hanscana ushaanza" binti
alisema
"Nikumbatie basi jamaniiiiii" Hanscana alimtania
"Sitakiiiiii" Alisema binti
"sawa, na ntamwambia kaka Kondeboy asikulipe shauri
yako"
"Hahaha bwana, embu kwanza nitumieni wimbo huo niusikilize
kidogo"
"Weee ukausambaze wakati hautoki siku za karibuni,
utasikilizia hapa na kuuacha hapa hapa" Alisema Konde
"Haya bwana"
"Tushuti vipande vya kwanza sasa, wee nendeni mkabadilishe
mavazi" Hanscana alisema
Basi ilikuwa ni shamra shamra za kuchukua video tu mpaka usiku
ndiyo waliweza kurudi nyumbani
"Mambo" Tina alituma sms kwenye namba ya Dickson ajue
kama ataweza kuchat na Tino
"Safi, samahani Sipo home nikifika nitampa Tino achat na
wewe" alisema Dickson mara Binti akampiga
"Hallooo mambo kakaa angu, usisahau please and please
unisaidie niongee naye" alisema binti
"Usijali maa" mtaalam alijibu
"pouwaaaah" Alisema Tina na kukata simu
"Daaaaah kudadadeki huyu demu gani ana sauti kama hii,
halafu ndo anamsumbua Tino kudadadeki" Alisema Dick kwa mshangao
Ilibidi aingie whatsapp aangalie DP ya huyo binti ili ajue ana
kasoro gani hadi amtafute Tino
ITAENDELEA
0 Comments