LATIFA NTANGA
0719618409
Mwanakombo akamshika mkono Romeo na kwenda naye hadi kitandani. Baada ya hapo akamkalia juu Romeo, akaishika fimbo yake iliyovimba kwa nguvu akaiweka mdomoni na kuanza kuinyonya taratibu,
"Asssssssssshhh" Romeo sauti ilimtoka pale Mwanakombo alipokipapasa kichwa kidogo lakini chenye maamuzi magumu kuliko vichwa vingine, kwa ulimi tu Mwanakombo alikuwa kama anakitekenya na kukilamba chote, mara akakizamisha mdomoni na kuanza kunyonya kwa fujo sana na kufanya Romeo apagawe zaidi, alikuwa akihema kwa nguvu sana.
Hapo hapo Mwanakombo akapanda kwa juu na kuikalia ikazama yote, akaanza kucheza baikoko sasa, maana watoto wa kitanga kwa baikoko ndio zao, Mwanakombo alizungusha kiuno haswa kilikuwa chepesi sana, aliruka hadi kichura chura juu ya Romeo ambaye kazi yake ilikuwa kushikilia kiuno cha Mwanakombo. Shughuli ilikuwa pevu sana huku anayemiliki uwanja ni Mwanakombo pekee! Romeo alitulia tuli na kufaidi ujuzi wa huyo msichana. Hadi goli linafungwa Mwanakombo aliibuka mshindi.
"Oh pole mume wangu, pole sana mpenzi wangu jamani!" Alisema Mwanakombo baada ya Romeo kufika mwisho.
"Dah umenikomesha mama! Sijawahi kukutana na mwanamke fundi kama wewe" alisema Romeo na kumfanya Mwanakombo afurahi sana kwa sifa alizopewa. Basi wakainuka pamoja na kuingia bafuni huko wakaoga na kufanyiana michezo mingi ya kimahaba mwisho wakatoka na kukaa kwenye sofa humo ndani. Mwanakombo akainuka na kuweka matunda kwenye sahani akamuwekea Romeo ambaye alikula yote, akanywa na maji mengi sana. Siku hiyo Lisa alisahauliwa kwanza Romeo alikuwa bize na toto la kitanga Mwanakombo! Msichana mwenye umri wa kati miaka ishirini na tatu au nne hivi, alikuwa mfupi kiasi mnene wa wastani. Mwenye mwili uliojaa huku akiwa na makalio makubwa kiasi.
"Vipi baby unawaza nini?" Aliuliza Mwanakombo baada ya kumuona Romeo amekaa kimya.
"Dah nafikiria utundu wako" alisema Romeo.
"Jamani utundu wapi mbona kawaida tu"
"Hamna sio kawaida wewe mtoto ni hatari sana!"
"Hahaa Romeo bwana kwani mpenzi wako hakufanyii hivyo?" Aliuliza kwa mtego Mwanakombo nia yake asikie Romeo akimdanganya hana mpenzi.
"Sitaki nikufiche kwa sababu sisi tupo jirani na hata nikikuficha utajua tu sababu mimi ninaye mpenzi tena nampenda sana anaitwa Lisa na nimetoka naye mbali mama sikufichi hapa anakuja mara nyingi sana naomba isiwe siku akaja ukafanya fujo naomba tuwe na uhusiano wa siri" alisema Romeo na kumfanya kidogo Mwanakombo achukie.
"Sawa nashukuru umeniambia ukweli sina jinsi nitamuheshimu mpenzi wako" alijibu Mwanakombo.
"Nashukuru kusikia hivyo mpenzi" alisema Romeo na hapo hapo akamvamia Mwanakombo. Romeo akaanza utundu wake ambapo alimnyonya sana shingo na kumfanya Mwanakombo ajinyonge kama nyoka, akaona haitoshi akambeba na kumlaza kitandani wote wakiwa watupu mwilini. Romeo ilikuwa zamu yake sasa kuonyesha kuwa na yeye ni hatari kwenye mapenzi sababu mwanzo aliwahiwa na Mwanakombo. Akaanza kumlamba mwili mzima Mwanakombo ambaye alikuwa akilalamika sana. Alimnyonya sana shingo akashuka chini na kunyonya chuchu zake, haikutosha akahamia tumboni akaanza kuling'ata tumbo kimahaba sana huku akiwa anampulizia hewa flani hivi. Alishuka zaidi hadi mgodini. Akajaza mate mengi mdomoni na kuanza kupiga deki. Mwanakombo alizidi kupagawa. Ila cha ajabu na ambacho Romeo hakutegemea. Mwanakombo hakukojoa kabisa pamoja na kudeki bahari sana. Alishusha pumzi nzito akachukua mashine yake, na kuanza kumsugua taratibu.
"Ooh baby..hapo...hapo...ingiza..mumee..yeeessss...baby ...yote yakooo ...uuuuuuwiiii, utaniua mimi...baba nikuzalie watoto wangapi?...jamani mume nambie....ooossss unajua kunisugua wewe jamani....oooooshhhh..mumeee tamuuu.." Mwanakombo alikuwa akiongea tu na kumfanya Romeo ashangae sana, kwa sababu alizoea mwanamke akimfanyia katerero lazima akojoe tena maji mengi yamtoke, na maneno aliyokuwa akiongea Mwanakombo hakuonyesha kama akasikia utamu wowote ilikuwa ni wizi mtupu.
"Dah huyu demu vipi kwani? Kahaba nini kazoea za kila aina hata hisia hana.. Ila sikubali leo atakojoa tu" Aliwaza moyoni Romeo na kujifikiria inawezekana Mwanakombo alikuwa ni changudoa ambaye alizoea kulala na wanaume wengi, kwanza akakumbuka ule utundu aliomfanya akapataa uhakika na mawazo yake kabisa, pia maneno aliyokuwa akiongea Mwanakombo yalikuwa ya kuibia hakuwa na hisia zozote zile. Inawezekana alikuwa ametoa mimba nyingi hivyo amezoea kuchokonolewa sehemu zake kiasi kwamba hata hisia hana mwanaume akimshika. Romeo aliwaza sana, akakosa amani ila hakutaka kukata tamaa. Akaacha kumfanyia katerero Mwanakombo akamgeuza kifudifudi na yeye akampandia kwa juu akaanza kumnyonya shingo yake kwa nyuma, akateremka hadi chini, kwenye uti wa mgongo akaanza kupitisha ulimi wake hapo na kumlamba kama nyoka.
Mwanakombo akaanza kujinyonga kama nyoka. Romeo akaendelea kumnyonya zaidi na kumlamba akashuka hadi kiunoni nakuanza kupitisha ulimi wake hapo.
"Oosssshhhh.." Sauti ilimtoka Mwanakombo bila kupenda. Tena sio ya kuigiza sauti ambayo ilionyesha kaguswa mahali sahihi. Romeo akaanza kutabasamu moyoni akaendelea kumlamba kwenye uti wa mgongo hadi chini kiunoni kote, alipoona goma limekolea moto hapo hapo akasukuma mtwangio wake kwenye kinu na kuanza kukata mauno yale ya haraka haraka huku akiendelea kulamba shingo ya Mwanakombo, ghafla Mwanakombo akaanza kulia kwa sauti na kutetemeka sana huku akikakamaa haswa, Romeo akazidisha kasi hapo hapo, maji mengi yakamtoka Mwanakombo na kufanya godoro lote liloane.
Kwa Romeo ulikuwa ushindi mkubwa sana!
Akamgeuza chali Mwanakombo akaweka mto chini ya kiuno chake, akainua miguu yote na kuiweka begani kwake ikawa kama amempakata Mwanakombo sababu alikuwa juu ya mapaja yake,baada ya hapo akaingiza taratibu na kuizamisha yote.
"Baby give me romance!" Alisema Romeo kwa sauti nzito haswa iliyojaa hisia kali. Kilichotokea hapo ni kilio kwa Mwanakombo, na ilikuwa mara yake ya kwanza kukojozwa na mwanaume, Romeo alimpa mauno ya hatari Mwanakombo alisikia raha ya ajabu sana alihisi kama anapaa vile kelele za kila aina alitoa hadi Romeo anashuka mwilini mwake, Mwanakombo alikuwa hajiwezi hata macho hayafunguki. Romeo alibakia akicheka sana!.
Itaendelea.
Lipa sasa kipande kimoja 250, buku vipande saba. 0719618409, lisa ntanga.
0 Comments