Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

PENZI LA MCHORA TATTOO-9









LATIFA NTANGA
0719618409
"Hapana mama" Alisema Romeo na hapo hapo mhudumu akafika akiwa na sinia aliloweka mchemsho. Akamuwekea Romeo na kuondoka zake,
"Karibu mamy!" Romeo alimkaribisha huyo mwanamke.
"Asante endelea tu" alijibu huyo mwanamke na hapo hapo mhudumu akafika akiwa na sinia la nyama choma pamoja na ndizi akamuwekea huyo mwanamke.
"Boy karibu" alisema huyo mwanamke.
"Dah asante mamii"
"Naomba niite Anti Carolina" alijitambulisha.
"Ok worry out, na mimi Romeo"
"Wao unajina zuri"
"Kama wewe vile na jina lako tamu!"
"Hahha yani wewe!"
"Nimefanyaje mom jamani?"
"Unavituko bwana!"
"Hebu maliza uje tule wote huku"
"Mh nitavimbiwa sana"
"Hakuna shida mimi nipo"
"Mmh utafanyaje?"
"Romeo mtu mzima dawa, hebu kula uko"
Waliacha kuongea wakaendelea kula Romeo alipomaliza, akajumuika na Anti Carolina wakaanza kula nyama choma.
"Naomba nikulishe" Romeo akaanza uchokozi wake.
"Jamani" Anti Carolina aliona aibu.
"Pleaseeee mamii" Romeo akaanza sasa maana alimuona mwanamke mwenyewe sio mgumu hakuona shida kutupa kete yake alijua itazama tu.
"Haya nilishe" alisema Anti Carolina. Na Romeo akachukua nyama moja akaweka mdomoni akamsogelea Anti Carolina, akamlisha kwa mdomo na kwa makusudi akamnyonya kidogo na kufanya Anti Carolina afumbe macho kwa hisia sana.
"Pole mamy" Alisema kwa upole Romeo
"Mh wewe mtoto mbona huna adabu hivyo?" Aliuliza Anti Carolina huku akiwa haamini kama Romeo ni mtundu kiasi hicho.
"Hahha nimefanyaje mamy jamani, unanionea"
"Yani wewe mh ninyamaze mie" alisema Anti Carolina wakaendelea kula na Walipomaliza mhudumu akaenda kuchukua vyombo, vyakula vyote alilipa pesa Anti Carolina na baada ya hapo wakakaa na kuangaliana.
"Mami kesho job, naomba nikampumzike" alisema Romeo.
"Sawa mpenzi hakuna shida, ila naomba namba yako kuna siku nitakutafuta" Alisema Anti Carolina ambaye hakutaka kumpoteza Romeo.
"Mh jamani unitafute nimepotea?"
"Hahha Romeo huna adabu nitakuchapa!"
"Ukinichapa nitalia sinyamazi tena nalia huku nimelala kifuani kwako"
"Mh Romeo wewe, utaamsha vilivyolala hebu nipe namba tuondoke maana hali mbaya" alisema Anti Carolina na kumfanya Romeo acheke sana, baada ya hapo wakabadirishana mawasiliano na kila mmoja akaondoka zake. Romeo alifika nyumbani akampigia simu mpenzi wake Lisa, wakaongea sana na kutakiana usiku mwema baada ya hapo kila mmoja akalala zake.
***
Asubuhi na mapema romeo aliamka akajiandaa na kutoka kwenda kwenye kazi zake.
Aliipenda sana kazi yake, na kikubwa Romeo alikuwa na malengo mazuri japo kuwa alikuwa mhuni sana kupenda wanawake lakini hakuwa muongaji, yani aliye faidi pesa zake ni Lisa tu kwa sababu ndio mwanamke anayempenda sana na pia amemsaidia sana kwenye maisha yake.
Tabia yake ya kubadirisha wanawake aliendelea nayo kwa siri sana hakuacha. Alizidi kumpenda Lisa na kumjali sababu kwake alimuona ni mke sio mwanamke wa kumpitia na kumuacha.
"Baby unajua inatakiwa uweke pesa ununue kiwanja na baadae huko uanze ujenzi usifikirie leo tu angalia na kesho yako" Siku moja Lisa alimwambia Romeo.
"Sawa mke wangu nimekuelewa"
"Sio umenielewa tu pia ufanye, halafu inabidi utafute biashara mume maisha magumu jamani, Usitegemee kazi pekee"
"Dah nashukuru mke wangu kiukweli upo tofauti sana na wasichana wengine"
"Mmh baby bwana mie nipoje?"
"Yani wewe ni mwanamke wa nguvu haswa sio msichana sababu unakili za kiutu uzima haswa"
"Sawa naomba ufanyie kazi sasa, weka pesa za kiwanja na uweke pesa ya biashara sawa?"
"Sawa mke wangu"
"Nashukuru kwa kunielewa"
"Napenda utakaponioa tuishi kwenye nyumba yetu sipendi tuje tukae nyumba za kupanda hivyo jipange mapema"
"Sawa mama hamna shida" Romeo alikuwa akiitikia tu kila analoambiwa na Lisa. Na hata pale ambapo Romeo alikuwa akikosea na kufanya vitu tofauti alikuwa akigombezwa sana na Lisa ambaye alitokea familia yenye uwezo mkubwa kifedha lakini alikuwa na akili sana na maisha hakutaka kujilegeza wala kuringia pesa za wazazi wake.
Romeo alifanya vitu vingi si kwa akili yake bali kutokana na ushauri anaopewa na Lisa, ndio maana alifanya uhuni wake ila moyoni alijua mke wakuoa ni Lisa pekee!
**
Ilikuwa siku ya jumatatu Romeo akiwa kwenye gari anaenda kazini kwake, maeneo flani hivi abiria aliyekaa nae siti moja akishuka. Na hapo hapo akapanda msichana mmoja mzuri hivi, alionyesha ni mpole mwenye aibu sana. Alipanda na kwenda kukaa siti ya pembeni na Romeo.
"Dada mambo" Romeo alianza salamu alishindwa kubaki kimya yani akae na mtoto wa kike mzuri halafu asimsemeshe kweli! Ingekuwa dhambi kubwa sana kwake.
"Safi" alijibu hiyo msichana huku akiona aibu kwa mbali.
"Sorry unaitwa nani?" Aliuliza Romeo.
"Naitwa Asma"
"Oh jina zuri sana, please naomba namba yako!"
"Jamani wewe kaka!"
"Nimekuheshimu sana tafadhari naomba" alisema Romeo kwa kubembeleza na Asma akamtajia namba yake Romeo akamdip na kuisave hiyo namba.
"Hahhaa umekwisha wewe mtoto!" Alisema Romeo moyoni mwake huku akitoa tabasamu pana lililomchanganya sana Asma.
Itaendelea.
PENZI LA MCHORA TATTOO-10
LATIFA NTANGA
0719618409
Romeo alishuka kwenye gari wakaagana na Asma, baada ya hapo alienda kazini kwake.
Baada ya wiki moja kupita Romeo alikutana na Asma na akafanikiwa kutembea naye kimwili. Hiyo ndio ilikuwa tabia ya Romeo kila siku alibadirisha wanawake tu. Japo kuwa alimpenda sana Lisa ila tabia ya kutembea na wanawake wengine hakuweza kuiacha.
Siku moja alikuwa yupo nyumbani hakutoka kwenda kazini kwake, basi wakati wa mchana alitoka nje na kwenda zake dukani. Alinunua mahitaji yake na kurudi ila alipigwa na butwaa baada ya kumuona msichana mmoja mdogo kiasi alikuwa amevaa kanga imeloa maji na alitembea kwa haraka na kuingia ndani kwenye chumba kimoja, mate ya uchu yalimtoka Romeo.
"Demu mkali huyu dah!" Aliwaza Romeo akiwa amesimama nje bado akishangaa tu.
"Huu utakuwa uboya sasa ngoja.." Alisema Romeo akaenda hadi mlangoni kwenye chumba alichoingia yule msichana akagonga mlango.
"Nani jamani?" Sauti ya kike ilisikika, rafudhi yake ilikuwa nzuri sana haikuwa ngumu kugundua huyo msichana wakutokea pwani. Ghafla mlango ukafunguliwa akatokea huyo msichana akiwa amevaa kigauni kifupi na kufanya mapaja yake yote yawe wazi.
"Oh jirani karibu!" Alisema huyo msichana.
"Dah asante, mambo"
"Safiii karibu ndani"
"Mh naogopa nitapigwa"
"Hapana bwana kuwa huru mie nipo single mbona?"
"Ila wewe mgeni humu eeh?"
"Hapana mie mwenyeji sana na wapangaji wote nawajua humu tatizo natokaga asubuhi sana na kurudi ni usiku"
"Oh dah sawa jirani mie nakusalimia tu"
"Jamani ingia ndani upate hata maji"
"Asante jirani nitakuja badae"
"Jamani kweli utakuja?"
"Niamini nitakuja mama"
"Haya hivi unaitwa nani?"
"Naitwa Romeo"
"Okay miye naitwa Mwanakombo"
"Oh nafurahi kukufahamu jirani yangu mzuri"
"Ha-haaa jirani unamaneno wewe!"
"Kawaida tu usiogope wala nini"
"Sawa basi badae usikose nitakuandalia vitu vizuri"
"Hamna shida mama" Baada ya hapo Romeo akaondoka na kurudi chumbani kwake huku mawazo yote yakiwa kwa Mwanakombo tu.
**
"Mh yule kaka mzuri jamani, nilikuwa namtamani siku nyingi leo akiingia humu ndani simuachi" alijisemea Mwanakombo huku akiwa anafanya maandalizi ya kumpokea Romeo. Basi akaanza kupika mapema na kuandaa chakula baada ya hapo akatandika kitanda chake shuka zuri. Ndani akachoma udi huku mwingine akijifusha mwilini mwake. Chumba kizima kilianza kunukia vizuri na yeye pia akawa ananukia utamu tu. Baada ya hapo akafungulia mziki laini sauti ya kawaida tu. Alifungua friji na kutoa wine akaanza kunywa taratibu tena kwa pozi zote huku akiangalia movie ya mapenzi.
"Oh shit, ningechukua namba yake jamani nimekosea kweli" alijilaumu Mwanakombo. Basi akabakia mnyonge huku akitamani kama Romeo angeenda muda huo.
Romeo na yeye alikaa mawazo yote na akili zipo kwa Mwanakombo tu.
"Dah mtoto mtamu yule, mweupeee paja paja duh" aliwaza huku akimkumbuka Mwanakombo jinsi alivyo na kufanya suruali yake iinuke maeneo ya mbele.
"Wewe nawe hebu tulia huko" alisema Romeo na kuingiza mkono wake ndani ya suruali na kumtuliza nyoka wake aliyeanza kuvimba.
Ghafla simu yake ikaita, mpigaji alikuwa Lisa.
"Haloo mke wangu"
"Mume uko poa, leo nilienda kanisani mwenzio ukaona kimya"
"Sawa mke wangu umeniombea na mimi?"
"Yani we mwanaume nikuombee umekufa au?"
"Mmh jamani baby!"
"Romeo umezidi yani wewe ukifa moja kwa moja motoni kwanini hutaki kwenda kanisani jamani wenzio kila jumapili tunaenda wewe unashindwa nini lakini?"
"Basi mke wangu jumapili ijayo nitaenda"
"Ndio zako kusema hivyo kila siku na bado hauendi mimi unaniuzi sana huna muda wa kumuabudu Mungu kabisa" Alisema sana Lisa ambaye alikuwa amechukia haswa.
"Basi mama nisamehe nitaenda usijali"
"Utajua mwenyewe bwana nimechoka mimi kila siku"
"Yaishe mke wangu najua unanipenda ndio maana unaniambia nifanye mema"
"Sawa bwana"
"Baby vipi utakuja leo?"
"Hapana labda kesho sijui nitakujulisha"
"Sawa mama watoto"
"Toka hapa uzae na nani watoto baba gani huendi kusali"
"Eeh basi jamani mke wangu unaongea sana"
"Romeo unaniuzi sana basi tu"
"Yaishe mke wangu nitajirekebisha"
"Kwanza umeacha pombe?"
"Baby jamani"
"Nijibu umeacha Romeo wewe kanisani huendi wewe ni pombe tu na sijui kama huendi club wewe ndio mume unioe mimi kweli Romeo?"
"Dah mke wangu nisikie nitabadirika niamini nikikuoa kila kitu nitaacha mama"
"Romeo mimi sipendi kumbuka umri unaenda haurudi nyuma usifanye vitu kama mvulana jitambue kama mwanaume mimi nakupenda sana nahitaji uwe na maisha mazuri ya kumpendeza Mungu naomba ubadirike"
"Nimekuelewa mke wangu usijali kwaajili yako nabadirika kuanzia leo"
"Nashukuru mume wangu, naomba nikuache badae basi"
"Haya mama ushinde salama" baada ya hapo simu ikakatwa, maneno aliyosema Lisa yakaingia upande wa kushoto na kutokea kulia baada ya hapo yakaanguka chini hakuna neno hata moja Romeo aliliweka kichwani. Ndio kwanza mawazo yakawa juu ya Mwanakombo. Na kila alipomfikiria tu mashine yake ilisimama kwa nguvu zote.
"Daaah huu uboya sasa ngoja niende sasa hivi" Alisema Romeo akainuka na kujiweka vizuri baada ya hapo akatoka hadi mlangoni kwenye chumba cha Mwanakombo akagonga mara moja tu mlango ukafunguliwa Mwanakombo akatokea akiwa na mtandio mfupi mwepesi lainii, macho ya Romeo yakaganda na kushangaa sana huku akijiisi kama shoti imepita mwilini mwake. Kwa makusudi Mwanakombo akamshika mkono Romeo na kumvuta ndani baada ya hapo akafunga mlango na funguo akamgeukia Romeo na kumkumbatia kwa mahaba sana.
Romeo hakuamini!
"Ama kweli mbuzi kafia kwa muuza supu" alijisemea Romeo moyoni na kutabasamu, akapeleka mikono yake hadi nyuma kwenye milima miwili mikubwa kiasi na kuanza kuibinya taratibu.
Kipande kimoja 250, buku vipande vitano. 0719618409. Lisa Ntanga.

Post a Comment

0 Comments