Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

CHOMBEZO :* *DADA BINAMU** 11

 SIMULIZI YA KUSISIMUA..







Mtunzi: mejah plan maker.
Mtindo: mtindo wa moja kwa moja/mtindo rejea..
Mahali: dar-es-salaam.
WhatsApp: 0712563243.

©EPISODE 11.

TAHADHALI.
ISOSIMWE NA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA🔞
👁❌👆🏽)..

Ilipoishia...
Mara akasikia mtu anamuita kwa mbali "mejah mejah njoo" aligundua huyo alikuwa tupokigwe alipotazama saa yake ilikuwa saa sita usiku, alifungua mlango kwa tahadhari "vipi wewe mbona usiku hivi?? Aliuliza masara
" unajua mejah nimekosa usingizi nimeona bora nije nikuone tu" aliongea tupokigwe huku anatazama huku na huku

"Bora umekuja nina nyege mno, twende bafuni basi" aliongea masara

"Kwanini tusiende ndani? Akauliza tupokigwe

" rebecca si yupo? Aliongea kwa machale
"Khaa!! Sasa nyege zimetoka wapi wakati umetoka kutomba sasa hivi au unanipima? Aliongea tupo

" uwezi amini sijawahi hata siku moja" aliongeaa masara kumshangaza tupokigwe

SONGA MBELE..
"Umewezaje kulala nae kitanda kimoja bila kumfanya chochote?? Aliuliza tupokigwe

" we acha simuelewi kweli huyu dada ila tuachane nae"

"Lakini uwez jua labda hayuko sawa" aliongea kitu kikubwa tupo kilichomfanya masara akae kimya kwa muda kutafakari.

Waliendelea kupiga soga tupokigwe akiwa ameegemea kifuani kwa masara wakiwa wameketi chini ya mti "aiseee kuna baridi kali" aliongea masara

"Mmh kwa mbeya hili sio baridi ule mwezi wa sita kuelekea wa nane ndio kunakuwa na baridi haswaaa" wawili hao waliendelea kuliwazana huku wanapeana joto na kutomasana huku na huku.

Muda ulizidi kwenda taratibu masara alimuacha tupokigwe afanye alichotaka alifungua zipu ya masara akatoa mboo nje na kuanza kuinyonya vijana wa kileo wanaita kula koni, masara nae hakuwa nyuma alipembua kanga ya tupokigwe na kukutana na chupi akaibinua pembeni na kupapasa kuitafuta kuma ya tupokigwe loh! Ilikuwa imelowa vilivyo masara alichezea mashavu ya ile kuma huku tupo akiendelea kunyonya mboo kwa umaridadi mkubwa. Baada ya kuona tupokigwe amepata moto akamvuta na kumkalisha kwenye mboo ikawa mwendo wa kutwanga kisamvu taratibu uko mche ukitwanga kulia kushoto na katikati.
***********
Matamanio ya masara ilikuwa ni kuwa na tupokigwe kwasababu alijikuta amempenda mno kuliko ilivyo kwa rebecca japo hakutaka kuliweka jambo hilo wazi ila mara zote alikuwa ni mwenye furaha sana anapokutana na tupokigwe kuliko rebecca.
Masara alianza kujifunza udereva ili apate nafasi katika kampuni yakina rebecca ambapo rebecca alikuwa ni HR(human resource) kwahiyo ingekuwa rahisi kwake kupata kazi.

Baada ya kuhitimu mafunzo hayo aliandika barua za kuomba kazi ya udereva katika kampuni hiyo na barua ilikuwa inaenda kwa rebecca mwenyewe. Baada ya muda aliitwa kufanya interview akapita na jumatatu alitakiwa kuripoti kazini rasmi.
Masara alifurahi sana siku hiyo alikuwa wa kwanza kufika ofisini tofauti na watu wengine wote walimkuta akiwa pale. "Karibu sana" aliongea rebecca baada ya kugonga hodi ofisini kwake, walipokuwa hapa walijifanya kama watu wasiofaamiana na mara zote rebecca alionekana serious kuliko alivyokuwa nyumbani.
"Naomba ufanye kazi kwa bidii mme wangu sio uanze kutamani vidada hapo chini tutagombNa" aliongea rebecca

"Hilo ndilo lililonileta wadada wazuri nimewaacha dar huku nimekuja kutafuta maisha" aliongea masara kwa kutania kidogo

Walimaliz na akamuomba amepeleke usangu alikuwa na appointment na mtu, kwakuwa yeye ndio dereva wa ofisi alimchukua akaingia kwenye gari wakaondoka, njiani masara alimuona rebecca kama bosi wake hivyo hakuongea chochote mpaka pale rebecca alipomuuliza "umekula leo??
" ningekula muda gani na wakati muda wote tupo wote? Alijibu kwa swali
"Sawa basi tupitie sehemu tupate chakula ila niambie yule mwanamke unampenda? Aliuliza rebecca

" mmh tupokigwe?? Aliuliza pia masara
"Ndio unadhani nani mwingine"
"Haapana sio sana" alijibu masara

"Mhh sawa ila kuwa makini nitaua mtu onhooo"

Baada ya kumaliza kula masara alimuuliza rebecca kama wangerudi tena kazini ila akamjibu kuwa muda ulishakwenda hivyo ingekuwa bora warudi nyumbani tu.

Aliwasha gari wakaendelea na safari. Mtaa alikaa masara watu wengi walimshangaa kwasababu hapakuwa na mtu anayemiliki gari hivyo wengi awakujua kama lile gari si lake bali lilikuwa la ofisini kwao, wadada wengi walianza kujigonga kwa masara na wengine walitamani kupata nafasi ya kupiga nae story hata kwa dakika moja tu.
*************

Zawadi(mama angela) hakuwa na furaha hii yote ilitokana na kutomuona mtoto wake angela, mara kadhaa aliongea na mume wake mzee sule lakini hakuonyesha kujali sana zaidi alijibu "hapa nyumbani kwao iko atarudi tu" kauli hii ilimvunja moyo sana zawadi ila alivumilia tu na mara zote alizojaribu kumpigia simu mwanae alikuwa ni wa kuahidi nitakuja kesho ni kesho na kesho tu.

Michael mchumba wa angela alijitambulisha kwao na angela na alipanga kumuoa tu baada ya kujifungua, japo furaha ya angela aikuweza kujirudia kama alivyokuwa hapo awali pamoja na juhudi zote alizokuwa akizifanya michael.

Baada kimya kirefu kupita pasi kupokea jumbe wala simu kutoka kwa mwanae mama yake masara alianza kujisikia vibaya akawa anamsumbua mjomba wake na masara mzee sule lakini bado jibu lilikuwa lilelile "sijamuona nina muda mrefu, toka alipotoka kwangu" kauli hiyo ilimuumiza mama yake na kujisemea moyoni "ni kitu gani kimemkuta mtoto wake"

Katika pitapita yake mtandaoni siku hiyo masara alibahatika kumuona vickie rafiki yake angela alifurahi sana akaamua kumtumia ujumbe ili atakapofungua atauona. Alizima mtandao na kuendelea na shughuli za hapa na pale.
*********

Masara aliamua kuishi pamoja na rebecca baada ya wawili hao kuafikiana kufanya hivyo lakini tatizo kubwa ilikuwa ni tendo la ndoa, masara alijitahidi kadri alivyoweza kumuuliza rebecca alikuw na tatzo gani maana kila alipofanya nae alikuwa analalamika anaumia na hata mara zote hizo alimuona alivyokuwa anapata tabu.
"Una tatizo gani kwani??aliuliza masara baada ya kukatishwa na kelele za binti kuwa anaumia

" niko sawa tu baby" alijibu rebecca

"Wewe unalijua tatizo lako ila utaki kuniambia sawa ila unatak ndoa je vipi kuhusu ili tatizo?? Aliuliza masara

" nitakuwa sawa tu mpenzi ila kuna wakati najihisi kuchukia mwanaume tu na kabla yako nilikaa zaidi ya miezi nane bila kusikia hamu ya kufanya tendo hilo" aliongea rebecca

"Ina maana unaona ni sawa t?? Aliendelea kuuliza masara

" tuyaache hayo mpenzi wangu, kaka yangu anakuja jioni ya leo na mke wake na mtoto wao, ingekuwa vyema tukaenda kuwapokea maana watafikia hapa kisha kesho wataenda nyumbani"

"Sawa" alijibu masara huku ananyoosha nguo zake.

Mambo yalikuwa mengi kiasi kwamba masara alishindwa kufika muda sahihi alipokwenda kupeleka bidhaa kyela, hivyo rebecca alimjulisha kuwa angekwenda yeye kuwapokea wageni pindi atakaporudi atapitiliza nyumbani.

Saa mbili jioni masara alirudi nyumbani, nyumba ilionekana kuchangamka na yeye aliposhuka kwenye gari aliona mtoto mdogo wa kike ambaye alikuwa ndio anajifunza kutembea "jamani kitoto kizuri" alijisemea moyoni. Alikwenda akambeba yule mtoto na kuingia nae sebureni.
Masara akuamini macho yake baada ya kumuona angela mbele ya macho yake alishangaaa.

USIKOSE SEHEMU IJAYO 

Post a Comment

0 Comments