Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

CHOMBEZO **Dada binamu sehem ya 12**

 "


maana hata mwili wangu ulikuwa una sisimuka"🎇💥👉👉 songa nayoo,,,,,,,,,nilijikaza kiume nikajisemea. wacha nipokee harafu nimuulize yeye ni nani" baada ya kujisemea hivo nilipokea kabla hata hajasema neno moja" nika muuliza wewe ni nani" Joshua usitake kunijua jua tena ukome" kuniuliza"
harafu tabia yako siipendi kuanzia Leo uache na nisikuone tena unanipigia simu demu huyo aliongea kwa sauti ya ukali kisha akakata simu"
duuh ukisikia maajabu ya dunia ndiyo haya' nilisema hivo kisha nikaiweka simu pembeni" nikalala" huku nikiwa najiuliza Nina tabia gani Mimi " wakati huo dada amina nae alikuwa chumbani kwake" anawaza kisho takuwaje mhh" inamana kweli kesho ninaondoka hapa nyumbani nirudi shule sasa Joshua nitamuacha na nani natamani hata nisiende " Dada binamu alijisemea hivo harafu akajifunika shuka akaanza kuusafa usingizi" usiku huo ulipita kesho yake mida ya SAA 3 tulikuwa mezani tunakunywa chai mjomba aliniambia tukisha maliza kunywa chai ana'nipeleka katika duka lake la vinyaji" nilikubaliana nae tu mimi sikuwa na kipinga mizi hata kidogo" baba hivi Leo nitarudi shule au"
hapana mwanangu huwezi kwenda kusoma tena huko mbali sana itabidi nikakuchulie uhamisho" ili usome shule za hapa mtaani ilikusudi uwe unawahi kurudi nyumbani unatupikia nasema hivo kwa sababu*. Najua mama yako hawezi kurudi Leo ama kesho, mjomba alimjibu" Dada amina alifurahi sana
kwa sababu alitamani sana asirudi tena kule kwenye shule ya mbali' tulikunywa chai tulipo shiba" Mimi na mjomba tuliondoka hapo nyumbani mjomba alinipekea mpaka kwenye lile duka" tulipo fika hatukukuta MTU yoyote pale hata duka lilikuwa halija funguliwa" Joshua unaona sasa mambo anayo yafanya huyu yani mpaka sasa hivi, hajafungua duka anategemea nini" mjomba alisema harafu akatoa simu yake mfukoni kisha akampigia" hallo" wily, vipi wewe mbona hujafika kazini mpaka sasa hivi unafanya nini'
boss nakuja nakuja Niko hapa kwenye kona" alijibu huyo wily aliye pigiwa simu" fanya haraka mjomba, alisema" kisha akakata simu tuliendelea kumsubili. Baada ya dakika 15: aliweza kufika alikuwa mtu mzima kidogo tofauti Mimi" wily' unachelewa sana kazini"sasa kama tulivyo ongae Jana naomba unikabidhi funguo yangu kisha unipe mahesabu yako ya pesa unazo nidai nikulipe usepe" mjomba alimwamba hivo wily
basi walifanya mahesabu na kila kitu walimalizana wily akaondoka zake" mjomba alifungua duka tukaingia" akanielekeza kila tu"nikamwelewa"sasa Joshua nazani kila kitu umejua" ndiyo mjomba ila vipi kuhusu chakula cha mchana'. haha haha nilikuwa nimesahau kuhusu chakula kunahoteli huku nyuma kama utahisi njaa utafunga duka kisha utazunguka huku nyuma' utakuta hoteli moja nzuri sana pia ina mademu wakali sana. Nakuomba uwe nao makini sana". maana wanapenda pesa sana" we ukiende kula kuwa bize nao wasi kuletee mazoea sana" sawa Joshua " mjomba aliniambia hivo basi nikakubali kisha yeye akaondoka akaniacha Mimi " hapo dukani. Kazi ya kuuza vinyaji ilianza wateja walikuja kununua na kuondoka" mpaka ilipo fika mchana nikafunga duka kisha nikaenda kwenye ile hoteli aliyo nielekeza mjomba" nilifika nikaingia" nikakuta watu wanakula na Mimi nikakaa kumsubili mhudumu aje nimuagize wakati nikiwa nimekaa Mara ghafla alikuja Dada mmjo mzuri yani alikuwa mtoto kweli. wewe Joshua unafanya nini' alikuja akaniuliza hivo nikashangaa amenijuaje jina langu wakati Mimi simjui hata sijawahi kumuona". Nimekuja kula, nilijibu" joshua
naomba uondoke. hautakiwi kwenye hoteli hii"
wewe Dada vipi mbona sikuelewi kwanini niondoke wakati nimekuja kula istoshi wewe mwenyewe umenikuta tu * Joshua nasema uondoke hapa mbona unapenda kunifata kama usipo ondoka nitakutia mwizi sasa hivi" hunijui Mimi ety
yule Dada alisema huku akionekana amekasilika sana*_ikabidi niondoke tu maana limesha kuwa tatizo tayali" nilirudi dukani nika fungua kisha nikakaa kusubili wateja huku nikiwa mwingi wa mawazo". Nilikuwa najiuliza huyu mwana mke ni nani" mbona Mimi simujui" nilikosa jibu ikabidi nipuuzie zitu" SAA ya kufunga duka ilikuwa saa 4 usiku. Nilifunga nikarudi nyumbani nilienda kwa miguu kwa sababu haikuwa mbali' nilifika nikawakuta mjomba na Dada amina wanatazama tv nili wasalimia wote kisha nikaanza kutafuta chakula nilikuwa na njaa sio ya kitoto" nilipo kiona chakula nilikula kama nahama. mji badae nikashiba" tumbo ilikawa" fureshi nilienda kujumuika na wenzamgu vipi Joshua kazi umeionaje" mjomba aliniuliza. Hivo* kazi ilikuwa nzuri wateja wengi sana" nilijibu hivo mjomba akafurahi sana tuliongea mawili matatu kisha yeye akaenda kulala" akatuacha Mimi na Dada amina "
Joshua Mimi Nina hamu nataka. Unitolee Dada binamu aliniambia hivo" nikam,tazama kisha nikamuuliza hamu gani tena dada" hamu ya mapenzi Dada alijibu,
Love*

Post a Comment

0 Comments