MTUNZI-LATIFA
0719618409
"Ro...me....e.....oooooh....naaaaa...kuuuuupe....ndaaaaa, assssssss...iiiii....i..i..ilo...veeee you....ooooishhh.. Romeo usiniache...Romeo naaaaa...uuuuuuhhhh...mamaaaaa!"
Utamu ulimkolea Livia, alipiga kelele sana akilalamika haswa, PENZI LA MCHORA TATTOO lilimnogea sana. Aliongea maneno mengi sana ambayo hata kama angetokea mtu na kumuuliza jina lake nani asingeweza kulijua. Romeo alikuwa akimkatia mauno ya nguvu na kuizamisha mashine yake yote na kuchimbua madini hadi ndani kabisa, Livia alikuwa akiugulia kwa utamu anaousikia. Mchezo uliendelea muda mrefu hadi pale Romeo alipofika mwisho wa safari yake.
"Ooopssss!" Alihema kwa nguvu Romeo baada ya kutoka juu ya Livia.
"Mh we mwanaume kiboko!" Alisema Livia huku macho yake yote mekundu.
"Hahhaa na kiboko na yeye atakuwa nani?" Aliuliza kimasihara Romeo.
"Huyo atakuwa joka la kibisa!" Alisema Livia na kumfanya Romeo acheke sana kwa nguvu.
"We mwanamke acha kunichekesha" Alisema Romeo akachukua taulo na kwenda bafuni akajimwagia maji, aliporudi alimkuta Livia anakoroma na kuachia mishuzi ya usingizini. Romeo alicheka sana kwa nguvu, akafungua friji lake na kutoa chupa kubwa ya maji akafungua mfuniko na kuyanywa mengi sana sababu alikuwa na kiu kubwa. Baada ya hapo akakaa kwenye kochi na kupumzika huku akiangalia muvi nzuri ya mapenzi.
**
Hadi inafika saa nne usiku ndio Livia aliamka akiwa mchovu sana.
"Naomba ukaoge unajua maji yanaongeza nguvu mwilini" Alisema Romeo akainuka na kumshika mkono Livia akampeleka bafuni. Akamuogesha na wakatoka pamoja na kurudi ndani ambapo Romeo aliandaa chakula na kwa mahaba makubwa sana, Romeo alianza kumlisha Livia tena Romeo alikaa kwenye sofa na Livia akamkalia kwa juu yake. Romeo alijua kumteka mwanamke alimlisha chakula Livia ambaye alikuwa kama kinda la ndege akitafuniwa na kulishwa na mdomo kazi yake ilikuwa kumeza tu. Kwa Livia yalikuwa zaidi ya mapenzi alijikuta moyo wake unakufa na kuoza haswa juu ya Romeo alitokea kumpenda sana na ndio kawaida ya wanawake akifanyiwa kitu kidogo tu hata kiwe cha kijinga ila anatokea kumpenda sana mwanaume wake. Kwa mwanaume unaweza kuona hiki kitu cha kipuuzi kumfanyia mwanamke kumbe hujui laiti ungefanya ungezidisha upendo kwa mpenzi wako.
"Baby panua...." Alisema Romeo.
"Mmh acha matusi nipanue nini?" Aliuliza Livia na kumpiga kibao cha mahaba Romeo.
"Asssshhh kibao chako kitamu nipige tena!" Alisema Romeo.
"Hahahahaaa toka hapa!" Alicheka Livia.
"Basi baby..panuaa niingize" Alisema Romeo.
"Matusi bwana nipanue nini?"
"Jamani si upanue mdomo nikulishe chakula wewe ndio unamatusi unafikiria mambo mabaya" Alisema Romeo kwa utani, wakaendelea kulishana hadi chakula kilipoisha chote.
"Asante mpenzi wangu!" Alisema Livia ambaye Romeo wala hakupata shida ya kumtongoza yani kiulaini Romeo amejipatia mwanamke tena kisu haswa! Livia alikuwa mzuri tena sana yani Editha hampati Livia hata chembe.
"Hahha mie shemeji yako jamani" Alisema Romeo kwa utani.
"Stop it! Romeo wewe ni wangu yani kwa penzi lako nimekuwa kichaa kwa mahaba yako nimevurugwa haswa sioni sisikii and ilove you more much," alisema Livia.
"Jamani na kuhusu Editha je?" Aliuliza Romeo kiunafki maana yeye hakuwa na mpango wa kudumu na mwanamke mmoja kama mama yake mzazi sababu mama tu ndio huwezi kumbadirisha, ila wanawake wengine hata kila baada ya wiki moja unabadirisha au kila siku kama nguo sawa tu.
"I swear natangaza vita na Editha, Romeo sikuachi baba kwako nimefika!" Alisema Livia na kumfanya Romeo acheke sana.
"Wewe cheka tu nipo serious baba, Editha ajipange haswa yani sikuachii hata iweje na sitaki shikorobo yoyote yule akuzoee!" Alisema Livia akimaanisha sana penzi la Romeo lilimpagawisha alikuwa tayari kugombana na rafiki wake wa damu Editha ila sio kumkosa Romeo. Patamu hapo sasa!.
Itaendelea.
Lipia elfu mbili upate mwendelezo hadi mwisho.
0719618409, 0763361677 jina lisa ntanga,
0 Comments