Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

PENZI LA MCHORA TATTOO-41



LATIFA NTANGA
0719618409
Kuanzia siku hiyo, mapenzi yakachanua kwa Livia na Romeo. Editha tena akasahaulika, hata pale ambapo alikuwa akimpigia simu Romeo hakuwa akipokea wala meseji zake hazikujibiwa. Editha alishangaa sana kipi kimemkuta Romeo siku moja akaamua aende nyumbani kwa Romeo ambapo alishangaa sana baada ya kumkuta Romeo na mwanamke tena kibaya zaidi huyo mwanamke ni rafiki yake Livia.
"Livia! Romeo nini kinaendelea kati yenu?" Aliuliza Editha.
"Kusoma hujui hata picha huoni?" Aliuliza Livia kwa nyodo sana.
"Livia usinijibu ujinga mimi nitakupiga" Alisema kwa hasira Editha.
"Nini? Thubutu kunyanyua mkono wako!" Alisema Livia na yeye kuonyesha kuwa sio mpole akaonewa.
"Romeo niambie kwanini napiga simu zako hupokei sababu gani na huyu Livia anafanya nini kwako muda huu?" Aliuliza Editha.
"Unachekesha kweli bibi wewe hutakiwi loh!" Alisema Livia.
"Nyamaza mjinga wewe nani hatakiwi?" Aliuliza Editha na kumvamia Livia wakaanza kupigana. Ugomvi ulikuwa mkubwa hadi kujaza majirani kushuhudia kwani walikuwa ndani ila walitoana hadi nje na kupigana sana. Watu walishangaa sana kuwaona hao wasanii wa bongo wakapigana. Mwanzoni walijua wamefumaniana na mwanaume mmoja ila hawakuwaona vizuri kama hao wasichana ni Editha mwigizaji bongo muvi na mwengine ni Livia muimbaji wa bongo fleva. Basi ilikuwa bonge la habari wenye simu za smartphone wakaanza kuchukua video na kusambaza muda huo huo mitandaoni. Umbea ukaanza kushika kasi kwenye mitandao ya kijamii, na waliokuwa maeneo ya karibu na wao wakasogea hapo na kushuhudia huo ugomvi ambao ulikuwa moto sana.
"Malaya mkubwa wewe haukujua Romeo ni shemeji yako hadi ukaanzisha uhusiano nae?" Aliuliza kwa hasira Editha.
"Koma malaya mwenyewe kaona humridhishi ndio maana amekuja kwangu!" Alisema kwa jeuri Livia na ngumi zikaendelea zaidi. Waandishi wa habari wakazipata hizo habari za ugomvi kwa haraka mno waliwahi eneo la tukio na kufanikiwa kuwakuta bado Livia na Editha wanapigana, kumbe muda ambao walitoana nje na kupigana Romeo alifunga mlango wake na akakimbia akawaachia ugomvi wao wenyewe bila yeye kuhusika wala kuwagombelezea. Basi ikabidi wale waandishi wa habari wasuluishe huo ugomvi na kuwaachanisha wasipigane.
"Mbona mnapigana hivyo tatizo nini kwani, hamuoni aibu nyinyi ni kioo cha jamii?" Aliuliza mwandishi mmoja.
"Inaniuma mimi kwanini Livia amchukue mpenzi wangu. Alijua Romeo ni mwanaume wangu yeye amenipindua akamchukua kwanini?" Alisema kwa kilio Editha.
"Haya tunarudi kwako Livia kwanini ukamchukua mwanaume wake Editha?" Alisema huyo mwandishi.
"Weee usiseme kabisa nakwambia, Romeo anajua mapenzi haswa hakuna mwanamke ambaye hatamani kuwa na mwanaume anayejua mapenzi kama Romeo yupo romantic haswa! Anajua kumbembeleza mwanamke akajihisi yeye ndio Malkia wa dunia nzima, anamaneno matamu haswa! Romeo anayo dudu tamu uwiii sijaona dunia nzima, yani inaasali, inachokleti, inamaziwa na utamu wote duniani, tena anajua kusugua uwiiii hapa hadi yangu inawasha ute unanidondoka mie ngoja akanikune Romeo baby mume wanguuuu" Alisema Livia ambaye alikuwa kavurugwa haswa na penzi la Romeo. Editha yalimchoma sana maneno ya Livia akaondoka kwa hasira na kupanda gari lake huku waandishi wa habari wakimpiga picha na wengine kurekodi video.
"Romeo nashukuru sana kwa kuniumiza moyo wangu!" Alisema Editha akaweka gia na kulitoa kasi gari lake, moyoni mwake alikuwa akijisikia maumivu makali sana ambayo hayasimuliki, kwake Romeo alimuona ndio mume wake mtarajiwa ila ikawa tofauti Editha aliumia sana moyo wake.
Waandishi wa habari walibakia shida yao wamuone huyo mwanaume anayegombewa ila walishangaa hawakumuona wakabakia wakijiuliza yupo wapi,
Livia alienda hadi chumbani kwa Romeo, alishangaa kuona mlango umefungwa ila hakujali hilo ndio kwanza alikaa mlangoni chini na kumsubiria Romeo arudi. Bahati nzuri alikuwa na simu yake aliiweka kwenye sidiria na hata wakati wakipigana na Editha haikuanguka.
"Baby hebu rudi nipo mlangoni hapa nakusubiri yule malaya ameondoka tayari!" Alituma meseji Livia kumtumia Romeo.
"Oya sikia nisikukute kwangu ondoka kabla sijarudi wewe ni malaya kama malaya wengine sitaki kukuona kwangu tena kuanzia leo na ukiniona pita mbali usinisogelee wala kunijua, mjinga wewe!" Romeo baada ya kutumiwa meseji na Livia na yeye akatuma yake hiyo, Livia hakuamini alichokisoma aliangua kilio kama amefiwa. Waandishi wa habari wakaitana na kusogea karibu alipokaa Livia chini.
Kipande cha 50 mwisho kupost humu fb lipa sasa elfu moja tu nikutumie mwendelezo hadi mwisho. 0763361677, 0719618409 namba zote jina Lisa Ntanga.

Post a Comment

0 Comments