Romeo hakutaka kukata tamaa kabisa, moyoni mwake alijiwekea mwanamke mmoja tu ambaye ni Lisa ndio atakuwa mke wake, alishatembea na wanawake wengi sana wazuri kumzidi hata huyo Lisa ila ilikuwa tamaa na siku zote mwanaume kaumbiwa tamaa hawezi kutulia na mwanamke mmoja ndio ilikuwa kwa Romeo, alikuwa kicheche haswa ila moyoni mwake Lisa ndio alikuwa mwanamke wa pekee.
Baada ya mwendo mrefu kiasi hatimaye gari la Lisa lilifunga breki kwenye geti moja kubwa na hapo Lisa akapiga honi na geti likafunguliwa na mlinzi baada ya hapo akaingiza gari lake ndani. Yote hayo Romeo aliyashuhudia na moyo wake ukaridhika baada ya kupajua anapoishi Lisa, baada ya hapo aligeuza gari na safari ya kurudi kwake ikaanza. Njiani alimuona msichana mzuri akitembea akapunguza mwendo na kusimamisha gari lake.
"Dada..mamboo!" Alisalimia Romeo.
"Safi" Alijibu huyo dada na kuzidi kutembea tena kwa makusudi huku akitingisha makalio yake makubwa.
"Jamani mtoto mzuri unaenda wapi nikupeleke?" Aliuliza Romeo.
"Ha-ha asante kaka usijali naenda naniliu tu hapo sio mbali" Alisema huyo mdada.
"Aaah jamani vibaya hivyo hebu njoo najitolea bure kabisa nakupeleka hadi unapoenda" Alisema Romeo.
"Jamani sasa kama naenda gesti?" Aliuliza huyo mdada.
"Mama wee nakupeleka bila shida!" Alisema Romeo huku kamoyo kanamuuma flani, akimuangalia mtoto kaumbika kiuno chembamba zigo lakuvunja chaga dah hadi mashine yake ilisimama.
"Jamani wewe kaka" Alisema kwa aibu za kike.
"Please mamii naomba ingia kwenye gari nikupeleke nakuomba mama'ngu" Alisema Romeo kwa sauti flani ya kubembeleza sana na mahaba yote tena Romeo alivyokuwa na sura nzuri jumlisha na sauti yake na macho flani hivi mazuri kama anasinzia hivi alifanya dada wa watu apande kwenye gari bila kupenda.
"Naomba nikufunge mkanda!" Alisema Romeo na hakusubiri jibu akamsogelea huyo mdada na kumfunga mkanda huku kwa makusudi mikono yake iliyokosa adabu ikamgusa tumboni na kumbinua kiuno chake.
"Aaaaahhh..we kaka" Alisema kwa sauti ya puani huyo mdada.
"Jamani pole mamii, ila nimependa umevaa shanga jamani!" Alisema Romeo na kufanya huyo mdada aone aibu.
"Jamani wewe!" Alisema huyo mdada.
"Kwanza nambie unaitwa nani?" Aliuliza Romeo.
"Mimi naitwa Beauty" Alijibu huyo mdada.
"Waoo jina lako zuri sana, nikuombe kitu mpenzi" Alisema Romeo huku akijiramba midomo yake.
"Jamani kitu gani?" Aliuliza Beauty.
"Naomba nione shanga ulizovaa tafadhari" Alisema Romeo na kuwa kama anahema.
"Jamani!" Beauty alikuwa sitaki nataka anajifanya hataki huku amelegea.
"Please mom hadi nilie jamani!"
"Lakini hapa sio pazuri utaonaje sasa!"
"So nitafute sehemu ukanionyeshe?"
"Ndio ila unaona shanga tu sio vingine"
"Usijali mama nakupromise nionyeshe shanga tu basi" Alisema Romeo na hapo hapo akatia gia na kuliondoa gari robo saa nyingi walikuwa wamefika kwenye Lodge moja nzuri wakashuka na kuingia ndani, Romeo akachukua room baada ya hapo wakaingia ndani sasa.
"Jamani unaharaka sana!" Alisema Beauty baada ya Romeo kuanza kumvua nguo zake.
"Romeo subiri" Alisema Beauty lakini muda huo Romeo jini mahaba wake limempanda asikii kitu, yani Romeo alikuwa na pepo la ngono haswa, hapo hapo akamvamia Beauty akamdondosha kitandani hakuchelewa akamsahula nguo zote na kubakia mtupu. Alipoziona shanga Romeo alipagawa haswa mzuka ukazidi kupanda hakuchelewa hapo hapo akavamia kifua cha Beauty na kuanza kucheza nacho huku mikono ikitalii sehemu nyingine.
"Oooooisssssss......aaaaaahhh....mmmmmmh..." Sauti ilimtoka Beauty bila kupenda alilalamika sana, Romeo sauti ulikuwa ugonjwa wake mwengine yeye mwanamke anayekaa kimya hampendi basi aliongeza ujuzi zaidi hajazama hadi chumvini na kumpagawisha zaidi Beauty aliyevunja madafu ya maana. Baada ya hapo Romeo akavua nguo zake na kuingia kazini sasa. Alimbua kama samaki Beauty aliyeishia kulia sana. Masaa mawili Romeo yupo kifuani hadi Beauty akaomba poooooo!!
***
Lisa alikuwa na hasira sana yote kwa sababu ya Romeo aliendesha gari lake kasi sana hadi alipofika nyumbani kwake nakuingiza ndani. Akashuka na kumbeba mwanae akaingia naye ndani,
"Mom what's wrong with you?"
(mama unatatizo gani) Harris alimuuliza mama yake ambaye alikuwa na hasira sana hata hakuweza kujibu zaidi ya kulia sana tena kwa uchungu mkubwa mno.
"Mama unalia nini?" Aliuliza Harris akamsogelea mama yake na kumkumbatia na yeye akaanza kulia. Harris alimpenda sana mama yake aliumia kuona analia. Lisa na yeye akamkumbatia mtoto wake na kuongeza kilio haswa!!.
"Kwanini Romeo umerudi kwenye maisha yangu kwanini? Nilishakusahau Romeo nimeolewa nina mume mimi nampenda mume wangu, Oh my God Romeo n.aaaa.k.u.p.e..eee..n.daaaa piaaaa.aaah" Alisema Lisa na kuzidi kulia tena kwa uchungu mzito.
"Mama Romeo ni nani?" Aliuliza Harris.
Itaendelea.
0 Comments