Scola alikuwa chini bila nguo hata moja,juu yake alikuwepo kijana wa kiarabu naye akiwa mtupu wanavunja amri ya sita!!!
Nilitoka nje nikaufunga mlango nikakaa chini nikitafakari maisha yangu!!
Kibaya zaidi kilichoniumiza nilimsikia Scola akimwambia yule kijana!!
"Achana naye hawezi kufanya kitu,tuendelee!!"
Machozi yalinibubujika kama maji sikuwa na nguvu hata ya kutembea!!
Nilitamani niingie nikawauwe lakini sijui kwanini wazo hili lilipinganana nafsi yangu!!
Haukupita muda yule kijana alitoka,nadhani alishangaa kunikuta pale mlangoni!
Aliponiona alikimbia nusu avunje mguu,nilikuwa naweza kumkamata lakini sijui kwanini nilimuacha aende!!
Niliinuka nikaingia ndani Scola alikuwa bafuni anaoga!
Nilichukua kibegi changu na vitu vyangu vya mhimu wakati natoka Scola ndiyo alikuwa anatoka bafuni!!
"Masu!Masu!"
Aliniita lakini sikumuitikia,niliwahi nikapata boti!
Ndani ya boti nilikuwa kimya nikionekana kuwa na mawazo mengi sana!!
Nilikaa nikaanza kumuwaza mwanamke.
Mwanamke ni kiumbe wa aina gani?mwanamke analizishwa na nini??
Kama pesa ninazo,mapenzi nampa tena tani yake,nampa kila anachotaka nampenda na kumthamini Sana!!
Kwanini nasalitiwa??
Niliikumbuka kauli ya mama aliyoniambia siku ile najiandaa kwenda shule!
"MWANANGU HAKUNA MWANAMKE WA KUKUPENDA KAMA MIMI MWANAO!!"
Machozi yalinitoka,pengine ningeyashika maneno yale nisingefika hapa nilipo!
Lakini pia nilimlaumu mama pengine alichelewa kuniambia maneno yale!!
Maana wakati ananiambia tayari Scola alikuwa kashaingia moyoni mwangu miaka miwili nyuma!!
Nilifika Dar nikamtafuta dereva wa kunipeleka kijijini kwa hali niliyokuwa nayo sikuweza kuendesha gari kabisa!!
Nilimpata dereva akaniendesha mpaka kijijini!
Nilifikia hospilini nikampigia yule aliyenipigia simu kunijulisha kuhusu kuvamiwa nyumbani!!
Alifika akanikuta nimesimama nimeegemea gari langu!!
"Masu!"
"Naam!"
"Mimi ndiye niliyekupigia simu!!"
Sikuamini macho yangu kabisa,alikuwa ni Diana kama mnamkumbuka niliwahi kukutana naye kisimani,kipindi kile Scola hayupo kijijini!
Ilikuwa bado kidogo tu nifanye naye mapenzi Ila nikasita baada ya kuniambia yeye ni bikra hajawahi kufanya mapenzi na mwanaume!!
Tukaagana tukiambiana tukutane uwanjani jioni ya siku ile ahadi ambayo sikuitimiza na wala sijui kama aliitimiza!!
Ni kama Diana aliniona nilivyopatwa na mshangao!
Akanishika mkono huku akiniongoza kuingia hospitali!
"Sorry Masu hatuna muda kabisa hali ya mama si nzuri!!!"
Tulitembea mpaka wodini ambapo nilipoingia na kuiona hali ya mama haraka nilimfuata daktari akaniruhusu kumuamisha mgonjwa!!
Tulipanda gari la wagonjwa (ambulance)huku nikimuimiza dereva kukimbiza gari!!
Nilikuwa na maswali mengi sana juu ya wavamiaji wale,kwanini wamvamie mama walitaka nini?
Ndani ya gari alikuwemo pia Diana mwanamke aliyejitoa kumhudumia mama yangu kwa moyo wote!!
Ukimya ulitawala,haukuwa muda wa kusemeshana kila mtu alionekana mwenye mawazo sana!!!
Tulifika salama Dar katika hospitali ya Mhimbili!
Mgonjwa alipokelewa Salama na kuanza kupatiwa matibabu mara moja!!
Sikutaka kurudi nyumbani kwangu,nilipachukia mno!
Nilienda kwenye nyumba yangu niliyoijenga Kigamboni ambayo haikuwa na kitu ndani maana ilikuwa mpya imekamilika kila kitu!
Nilikuwa na mpango wa kuipangisha lakini niliamua kuitumia kwa muda!!
Nilinunua fenicha na vitu vyote vya ndani nikawa nakaa na Diana japo si kimapenzi kila mtu alikuwa na chumba chake!!
Matibabu ya mama yalishindikana Mhimbili wakasema tumsafirishe tumpeleke India maana damu imevujia kwenye ubongo!!!
Tulifanya utaratibu tukasafiri mimi,mama na Diana!!!
Tulifika Salama India mama akafanyiwa upasuaji ambao ulikwenda salama!
Kutokana na kazi nilizokuwa nazo na majukumu mengi ya kusimamia kampuni zangu na biashara Ilibidi nimuombe Diana abaki na mama India mimi nitangulie nyumbani!
"Diana mi inabidi niwahi nyumbani nikaangalie biashara yangu!"
"Mmh!Masu unaniacha na mama!"
"Nakuamini Diana kuhusu pesa usiwe na shaka kabisa ntakuachia za kutosha mpaka mtakaporuhusiwa kurudi!!"
"Sawa Masu usiwe na shaka mama yuko kwenye mikono salama!"
"Nashukuru Diana!"
"Lakini Masu unajua una kesi na mimi?"
"Kesi???"
"Ndiyo usijifanye umesahau!"
"Kesi gani?"
"Hukumbuki kule kisimani?"
"Aah!Diana ule utoto bhana achana nao!!"
Nilisema nikigeuka niondoke Diana akanishika mkono!!!
"Masu!!mi mwenzio mpaka leo nipo pale uwanjani nakusubiri!"
"Unamaanisha nini Diana?"
"Masu sijawahi kumruhusu mwanaume aniguse siku zote nimeishi nikiwa na imani ya kuwa ipo siku utakuja kuchukua usichana wangu!"
"Diana uko serious!!??"
Ilinishangaza kuona kuwa Diana hajawahi kufanya mapenzi akinisubiria!!!
"Yes Masu! nakupenda sana!!"
Neno ambalo Scola Scola alinitamkia Mara moja tu kwa miaka yote Karibu Saba niliyoishi nae Diana alilitamka bila kupepesa macho akionyesha kumaanisha kile anachofanya!!!
"Diana!!!"
"Nakupenda Masu tafadhali niamini nimeishi nikikusubiria siku zote!!"
Nilimhurumia sana binti yule sababu sikuwa na hisia naye kabisa japo alikuwa mrembo tena mrembo haswa!!
Siku zote binadamu tunapenda tusipopendwa na kupendwa tusipopenda!!
"Sawa Diana nimekuelewa!"
"Masu nipo tayari hata leo uuchukue usichana wangu ni zawadi yako!!"
Alisema Diana huku ananipapasa kifuani!!
"No!Ukirudi nyumbani Tanzania tutafanya kila kitu usijali!!"
"Sawa Masu hata ukisema miaka kumi nakuahidi hatonigusa mtu zaidi yako!!"
Ujasiri wa binti yule ulinishangaza sana,bado sikuziamini sana hisia zangu.
Nilihisi bado nikimpenda Scola wangu na nilikuwa radhi kumsamehe kwa usaliti wake!!!
Ndiyo,najua unanishangaa lakini siku zote tambua kupenda ni upofu!!!
Mama aliweza kuongea,hali yake iliridhisha nakumbuka nilipata muda wa kuongea naye!!
"Pole mama!"
"Ahsante sana mwanangu!!"
"Kwani ni kina nani mama walikuvamia!!"
"Mmh!mwanangu siwajui Ila walikuwa wanataka hati ya Mali zako!!!!"
"HATIIIIIIIIIIIIII!!!!!?????"
"Ndiyo nilipokataa kuwaonyesha ndiyo wakaanza kunipiga nashukuru polisi walikuwa karibu siku hiyo wangeniuwa mwanangu!!"
Moyo uliniuma machozi yakanitoka kuona kumbe mama yangu alivamiw hawa kwa ajili ya hati za mali zangu!!!!
Picha iliyokuja kichwani ni SCOLA!!!
Nilijua ni yeye tu kafanya vile,maana ni yeye alikuwa anataka kujua hati zangu zilipo!
Siku mama alipokuja nyumbani akajua hati zipo kwa mama akaacha kuniuliza kabisa!!
Nilisimama nikaondoka kabisa maeneo ya hospital,iliniuma kuona mama yangu anajeruhiwa kwa kuendekeza hisia zangu mbele kuliko chochote!!
Nilifanya mpango wa kurudi Tanzania nikiwa na lengo moja tu,nikamfukuze Scola atokomee maishani mwangu!!!
Nilifika Tanzania nikakodi teksi mpaka nyumbani kwangu!!
Niligonga mlango mlinzi akanifungulia ambaye alionyesha mshtuko mkubwa sana kuniona!
Sikujua kwanini alishtuka sana,niliachana naye nikaingia ndani!
Mazingira niliyoyakuta sebuleni yalinishangaza sana!
Lilikuwa na chupa kama mia mbili za pombe mbali mbali zikiwa zimetumika!
Mifupa ya nyama za kuku na mabaki ya vyakula vikiwa mezani!!
Nilisimama nikajiuliza ivi ile ni nyumba yangu au nimepotea!!!
Nilitoka nje nikamuita mlinzi.....
"Naam boss!!"
"Ivi hapa ni kwangu au nimepotea?"
"Kwako boss!!"
"Kweliii???"
"Ndiyo boss!!"
Sikujua kwanini nauliza maswali yale lakini nilijikuta kama akili imecheza kidogo!!
"Mkewangu yuko wapi??"
"Yu...yupo nda..ndani boss!!"
Mlinzi alinijibu kwa kusita sita!!!
Niliingia ndani nikiwa na hasira sana niliapa naenda kumpiga Scola japo bado sikujiamini kama ntaweza!!
Jazba na hasira ilinifanya niingie chumbani bila hodi!!!!
Nilichokutana nacho kilinifanya nishtuke na kutoa macho kama chura aliyebanwa na mlango!!
"MUNGU WANGU!!!"
Jazba na hasira viliniifanya niingie chumbani bila hodi!!
Sikuwa na sababu ya kubisha hodi ndani ya chumba changu kabisa!!!
Waliosema macho hayana pazia hawakukosea!
Macho yangu yalitua kitandani yakanionyesha filamu ambayo ilinifanya nihisi naota!!!
"MUNGU WANGUUU!!!"
Nilitoa sauti mikono nimeweka kichwani!
Scola alikuwa kitandani na wanaume watatu,wote wakiwa watupu kitandani wanafanya mapenzi!!
Sikuwahi kufikiria kama Scola anaweza kufanya uchafu ule!
Mwanaume mmoja alikuwa chini Scola akiwa amemkalia,mwingine alikuwa nyuma yake.
Scola alikuwa anafanya mapenzi kinyume na maumbile tena akionekana mzoefu kabisa wa mambo yale!!
Mwingine aliutumia mdomo wa Scola kujiridhisha kimapenzi!!!
"HUYU NI BINADAMU AU SHETANI!!!??"
Nilijiuliza maswali kichwani siku hiyo Mungu alinionyesha hadharani Scola ni mtu wa aina gani?
Wanaume waliachana Scola wakanisogelea,nilitaka kukimbia lakini waliniwahi wakanikamata!!
"Wewe ni nani unayeharibu starehe za watu?"
Aliniuliza kibabe mmoja kati ya wale wanaume huku kanikaba!!!
Roho iliniuma sana nyumba yangu,chumba changu kitanda changu lakini eti mie naonekana kama mpotea njia!!
Walianza kunipiga sana,kibaya hawakuangalia sehemu ya kupiga!
Sikuwa na uwezo wa kupigana nao nililia japo nionewe huruma lakini si Scola Wala wale jamaa walioniskia!!
"UKOME MWANAUME KING'ANG'ANIZI KAMA NINI,NISHAKUAMBIA SIKUTAKI HUSIKII!!"
Alisema Scola huku ananikanyaga kwenye sehemu zangu za siri nikapiga yowe kubwa!!
"Mamaaaaaaaaaaaa!!!"
"Nani mama yako mbwa wewe,unatuita sisi mama zako umetuona tunanyonyesha eti!!"
Alisema mmoja wa wale jamaa huku ananipiga mateke ya mbavuni!!
"MI NAONA HUYU MKIMUAMBARUTTY ITAPENDEZA ZAIDI!!"
Alisema Scola bila huruma wale jamaa wakaanza kunivua nguo zangu!!
Nilijua nini kinchoenda kutokea nililia sana nikiwaomba wasinifanye vile lakini hawakuniskiliza!!
Sikuweza kukubali kuona nafanyiwa vile huku naona Niliona kulia pekee hakusaidii!!
Nilimpiga teke aliyekuwa ananivua suruali akaanguka pembeni!!
Sijui nilipata wapi nguvu zile,niliinuka nikasimama mwingine akaja kichwa kichwa nikampiga ngumi akaangusha meno kama mawili chini!!
Mwingine alipoona vile akaja haraka aniwahi ila alichelewa nilimpiga teke la sehemu za siri akainama!!
Sikuwa nimeweka mawazo kwa Scola ambaye alikuja ghafla akiwa na chupa akanipiga nayo kichwani!!
Baada ya hapo sikujua kilichoendelea kabisa!!!
**************
Nilikuja kushtuka nikiwa porini nimetupwa huku nikiwa nimefungwa kamba mikononi na miguuni,nilikuwa uchi wa mnyama!!
Nilianza kupiga kelele mpaka wakatokea wasamaria wakanifungua kamba wakanichukua wakanipeleka mpaka kwao!!
"Hapa ni wapi?"
"Kibiti!"
Niliuliza nikajibiwa nilishangaa sana,nikajua moja kwa moja Scola na wenzie walinitupa huku wakijua nimekufa!!!!
Maumivu yalikuwa ni makali sana mwilini,nashukuru nilitibiwa nikawa sawa!!!
Waliniuliza ni nini kilichonikuta lakini sikutaka kuwasimulia kisa changu!!
Siku zote sikutaka kumsimulia mtu sababu najua moja kwa moja watanishangaa.
Wataniuliza niliwezaje kumuamini mtu aliyedhulumu Mali za mjomba wangu!!
Niliwezaje kumsamehe mwanamke niliyemfumania akifanya mapenzi na wanaume tofauti zaidi ya mara nne??
Ni wazi wangeniona mjinga na mpumbavu mkubwa!
Wachache wangenielewa,pengine kwenye mia moja labda wawili au wakose kabisa!
"Mzee mi naomba niishi hapa!!"
Niliamua kuishi kule kule kijijini,nilihisi kuwa mkosaji mkubwa,nilijiona ni binadamu pekee duniani niliyejikosea hata mimi mwenyewe!!
Mzee yule alikuwa anaishi peke yake na mkewe ila hawakujaliwa kupata mtoto!!!
Walitokea kunipenda na kuamua kunifanya niishi nao kama mtoto wao Ila nilikataa katakata kuwasimulia kisa changu!!!
**************
Mama baada ya hali yake kutengemaa aliruhusiwa kurudi nyumbani!!
Walirudi salama na Diana ambapo moja kwa moja walienda mpaka nyumbani kwangu(nilipoishi na Scola)
Walimkuta Scola akawafukuza pale nyumbani akasema ni kwake!!!
Mama kwa kuwa alikuwa na hati zote za mali zangu alipambana hadi akafanikiwa kumuondoa Scola pale nyumbani!
Swali likabaki kwangu wakijiuliza niko wapi?
Simu zangu hazikupatikana na kila aliyeulizwa hakutoa jibu sahihi kuhusu ni wapi nilipo!!
Mama alisimamia Mali zangu na biashara zote kwa weledi akishirikiana na Diana!!!
***********
Baada ya miezi mitatu yule mzee na mkewe walifariki baada ya kushambuliwa na nyoka shambani!
Kwa kuwa hawakuwa na mtoto Mimi ndiyo nikuwa mrithi wa shamba na kijumba like cha udongo kilichoezekwa kwa makuti!
Sikuwa Masu yule anayemiliki magari na kampuni kadhaa mjini!
Nilichakaa,nywele hazikuiona saluni mwili ulipungua kwa kiasi kikubwa!!
Lakini cha kushangaza nilikuwa na amani huku pengine kuliko mjini,nilifurahia maisha yale!!!
Baada ya miezi sita kupita niliamua kumpigia simu mama yangu!!
Simu iliita ikapokelewa...
"Haloo mama!"
"Masuuuuuu!!uko wapi mwananguu!!"
"Nipo mama!!
"Njoo basi baba,njoo mwanangu nimekumbuka Sana!!!!!!"
Nilikumbuka maneno ya mama aliyoniambia kuwa hakuna mwanamke atanipenda kama yeye duniani!
Machozi yalinitoka,niliskia sauti ya mama ni wazi kuwa alinikumbuka sana!
"Ma..ma!!mi ni m..mm..mzima!"
Niliongea huku machozi yakinitoka!
"Masumbuko mwanangu kwani uko wapi baba?"
"Mama nipo ondoa Shaka mama yangu!"
"Kwanini hutaki kuja Masu,njoo nimeshamfukuza Scola kama ndiyo anakuzuia nilishamfukuza mwanangu Mali zako ziko Salama!"
Moyoni niliumia Sana kuona nilishindwa kuzilinda Mali zangu mpaka mama yangu kajitoa kufanya majukumu yangu!!!
"Hizo ni Mali zako mama,tumia upendavyo mimi ngoja nijipe adhabu!!"
"Unamaanisha nini Mwanangu!"
"Namaanisha mimi nipo Ila hamtoniona kwa sasa mama,nataka niishi maisha yangu peke yangu!
"Usiseme hivyo Masu Diana anakulilia!"
Nilikata simu nikimuacha mama ananiita kwenye simu bila mafanikio!
"Masu,Masu!Masuuuuuu!"
Niliamua kuishi maisha yangu,nilijipa adhabu mwenyewe kwa kutokuskia yote niliyoambiwa kuhusu Scola!
Akili yangu ni kama iliingiwa na mdudu,mdudu ambaye hakutamani tena kuishi maisha mazuri nikajikuta napenda kuishi maisha duni ya kijijini tena kwenye kijumba ambacho mvua ikinyesha ni tabu!!!
Nilihisi pengine sikuyajua mapenzi,nikaanza kununua vitabu vya mapenzi kutoka kwa waandishi mbalimbali.
Pia nilisoma hadithi za Eric Shigongo na Jack Mambo ambazo japo zilinipa elimu Ila bado sikupata sehemu niliyokosea!
Kama kumpenda nilimpenda,kumjali nilimjali na kumthamini Sana!
Ilifikia hatua nikamuweka mbele ya mama yangu kosa nalojutia mpaka leo!!!
Alinisaliti katika hali zote,Scola alinisaliti nilipokuwa maskini na hata nilipokuwa tajiri!!!
Nilihisi labda tatizo ni pesa nikatafuta bado nikasalitiwa!
Mpaka leo nimebaki na swali "MWANAMKE ANATAKA NINI!!"
Mwanamke haeleweki,mwanamke ni kinyonga!!
Mwanamke ni nyoka mwenye vichwa viwili huwezi jua atakuuma vipi mkiani au kichwani!!!!
Maumivu,karaha na mateso niliyoyapitia penzini yamenifanya nipate digrii ya mapenzi!!
Sasa nimekuwa mshauri kwa vijana,nikiwashauri kuhusu mapenzi!
Huku sasa wananiita Profesa Masumbuko!
Nayapenda maisha ya huku na bado sijaonana na mama japo ananitafuta sana pamoja na Diana!!
"Nimejiweka kifungoni!!"
***********
Kuhusu Scola baada ya kufukuzwa na mama pale nyumbani aliwachukua bwana zake akaenda nao kule kwenye nyumba aliyodhulumu!
Alikaa nao ila naskia walimdhulumu na kumfukuza!
Scola akabaki mikono mitupu aliua kwa upanga,na yeye upanga huo huo ukammaliza!
Naskia alinitafuta sana japo aniombe samahani,nashukuru nilijificha pengine angeniona ningemsamehe!!!!!!!!
Scola akaanza kujiuza ili walau apate chochote!
Magonjwa yakampitia, Scola akapungua ,uzuri wake wa almasi ukapeperushwa kama vumbi!
Umbo lake likapotea kabisa,hipsi na bambataa aliloringia vikaondoka!
Hata alipojipanga tena mstalini kwenye biashara yake ya kuuza mwili hakupata wateja!!
Nani atanunua ng'ombe aliyekonda na huku anawaona ng'ombe walionona wako pembeni!Hakuna!!!!
Maisha yalimchapa mjini,Scola akarudi kijijini ambako hali yake kiafya ilizorota kabisa hatimaye mauti yakamchukua(apumzike kwa amani Scola)
Taarifa za kifo chake zilinipa simanzi,japo alinikosea ila bado nilihisi hakutakiwa kupitia hali ile!!!
Niliamini malipo ni hapa hapa duniani!
Baada ya kifungo changu kuisha nitakwenda japo nilione kaburi lake!!
Nitamuuliza kwanini alinisaliti?
Nitamuuliza kwanini alininyanyasa??
Nitamuuliza alikosa nini kwangu?
Nitamuuliza kama kumpenda ilikuwa haitoshi??
Najua hawezi kusema Ila kaburi lake litanijibu!!
Sikuwahi kumpiga Ila nitaenda na fimbo nilichape kaburi lake kwa uchungu japo niridhike nafsi yangu itulie!!!
Naimani siku moja ntakuwa huru na ntarudi mjini kuishi na mama yangu!!
Ila siku nilirudi mjini sitapenda tena maishani mwangu,unadhani ntaanzaje???
Maumivu niliyopitia,yote niliyoyaona huwa naamini wanawake wote ni sawa baba yao mmoja mama yao mmoja!!
ILA AMINI NITARUDI MJINI NA NTAKULETEA HADITHI YANGU YA MAISHA YA PROFESA MASU BAADA YA KURUDI MJINI!!!!!
Usikose SEASON YA PILI YA MAISHA YA PROFESA MJINI!!!!
************MWISHOOO***************

0 Comments