Kulikucha,kiza kikaumeza mwanga!Jua likachomoza tena likazama!
Hatimaye ilifika wikiendi,siku hiyo nilikuwa na hamu kubwa kuliko siku zote!
Kwanza nilitaka kumuonyesha Scola kuwa mimi siyo mshamba tena wa mapenzi!
Nilijiandaa kumpa penzi ambalo litamfanya anikumbuke siku zote!
Nakumbuka wiki iyo pia Said alikuja na simu ya Kaka yake anayeishi mjini!
Ndani ya simu ile kulikuwa na video kadhaa za ngono,zilizoniongezea hamu na tamaa ya kufanya majaribio!
"Yani leo namuweka zile staili za kwenye video ngoja aje!",nilijisemea kimoyo moyo!
Mama alienda zake sokoni nikabaki nyumbani peke yangu!
Mara kadhaa nilitazama saa kuangalia muda,niliona Scola anachelewa sana siku hiyo!
Baada ya kusubiri sana,hatimaye alikuja Scola wangu!
Gauni alilovaa lilimpendezesha sana kuliko hivi vimini anavyovaa siku hizi!
Sikutaka kuwa mshamba tena ,nilimpokea kwa tabasamu kisha nikainuka nikamkumbatia nikampiga mabusu kadhaa ya mahaba!
"Mmhhhh",Scola aliishia kuguna tu mapokezi yale kwake yalikuwa mageni,alishazoea kunielekeza pa kushika na cha kufanya!
Lakini Masu leo nilijua pakushika na nini cha kufanya!
Nilimkumbatia huku mkono wangu mmoja ukimpapasa makalioni mwingine ukimbana mbavu zake na kumfanya atoe sauti nyororo ya mahaba!
"Masu una nini leo?",aliniuliza baada ya kuona mashambulizi yamekuwa makali siku hiyo!
Ndimi zetu zilikutana tukaanza kudendeka!
Masumbuko nilimtoa kimasomaso Scola!Hakuamini ni mimi nafanya yale,hakukizoea vile!
Siku hiyo tulifanya mapenzi karibu siku nzima, Scola alionekana kufurahi sana kusex na mimi tofauti na mwanzo!
########
#BANDO_LA_UCHUMI_WA_KATI
Sasa unaweza kusoma hadithi hii WhatsApp na Facebook inbox kwa kulipia kipande kimoja sh 100...
Lipia hapa 0726352102 (tigopesa) na 0744872552 (mpesa) Kisha njoo WhatsApp 0752761388....
#######
Baada ya purukushani za hapa na pale hatimaye tulimaliza mchezo wetu mchafu!
Najua unashangaa kuuita mchezo mchafu, ndiyo ni mchezo mchafu sababu haujahalalishwa rasmi!
"Masu!",aliniita Scola muda huo tuko uchi wa mnyama!
Nilijua pengine Scola anataka kunisifia kutokana na shoo kabambe niliyofanya siku hiyo!
Lakini badala yake Scola aliniambia neno lililovunja moyo wangu!
"Mie naondoka zangu naenda mjini!"
Nilishtuka sikuwahi kutegemea kukutana na jambo kama lile hasa kwa mwanamke ambaye nimetokea kumpenda kiasi kwamba ikipita wiki sijamuona napata shida!
"Unasemaa??"
"Kama ulivyosikia Masu mie naondoka zangu mjini!"
"Na shule??"
"Shule nini bwana mimi nataka maisha mazuri siyo shule nimechoka maisha ya kijijini!"
"Wazazi wako watakubali kukuruhusu uache shule?"
"Ni maisha yangu wakitaka shule wakasome na wao!"
Kauli za Scola zilinipa picha halisi ya maisha na tabia yake!
Scola alikuwa jeuri sana,na sikujua alilelewa vipi na wazazi wake!
"Umeshafikria kuhusu mimi Scola!"
"Sasa wewe mwenyewe hauna hela,unadhani nitaendelea kupauka tu huku kijijini?"
"Basi usiondoke kama ni hela mimi nimelima bustani yangu na wiki ijayo naanza kuvuna naomba usiende nikivuna mi ntakupa hela!"
"Yani mimi nisubiri yale majani?yana hela gani sasa yale?sikia Mimi naondoka na dada yangu kaja kanawiri alienda mweusi tiii,saivi mweupe kama mzungu!Kwanza yeye siyo mzuri kama mimi lakini kapata hela mimi je?"
"Dada yako anafanya kazi gani mjini!"
"Ameniambia anafanya biashara zake tu za nguo katuletea nguo nyingi hata hilo gauni nililovaa leo kaniletea yeye!"
"Mmhh!sawa!"
Sikuwa na jinsi maana hata ningekataa Scola hasingeniskiliza kabisa!
Sasa kama mtu anawafanyia jeuri wazazi wake mimi ni nani?
"Ila Masu ukinisaliti nikajua nakuacha!"
"Siwezi kufanya ivyo Scola!"
"Halafu wewe ushamba utaacha lini?"
"Jamani Scola na leo bado unaniita mshamba??"
"Sasa unadhani kunilamba lamba vile nalegea ndiyo umekuwa mjanja?"
"Kumbe ujanja ni nini?"
"Uko na mimi hapa unaniita Scola!niite majina yenye kuvutia bhana,niite hun,sweet,my love unakalia Scola Scola kwanza silipendi hili jina nikifika mjini nalibadili!!!"
Nilibaki kimya nikimsikiliza Scola,ningefanyaje na ndiyo wahenga washasema mapenzi upofu,chongo kuona kengeza,kipenda roho nakula nyama mbichi yangu!
Tulijikuta tunazama kwenye mapenzi mazito tena, Scola akionyesha kupagawa na mahaba yangu japo alijikaza Ila macho yake yaliongea!
Niliyaona jinsi yalivyokuwa yananishukuru kwa dozi nzito niliyotoa.
Mahaba yalizidi kiasi kwamba tukajikuta tumepitiliza muda bila kujua!
Kilichotushtua ni mlango uliokuwa unagongwa!
"Ngo!ngo!ngo!Masu!"
Nilitega maskio yangu nikiwa siamini kama ni sauti ya mama yangu ndiyo ninayoiskia muda ule!!!
Ngo!ngo!ngo!we Masu fungua mlango!
Naam sasa niliamini ni mama yangu ndiyo anagonga mlango ule!!
Scola aliniingiza kwenye shida kwa mara nyingine!
Mwili ulikuwa unatetemeka,nilihisi baridi na joto kwa pamoja!
Scola alikuwa kimya ananiangalia kama ananishangaa,nahisi yeye kwake aliona jambo la kawaida tu!
"Ivi wewe mama yako sianajua umekuwa!"
"Scola unaongea nini wewe,ningekuwa mkubwa siningekuwa na kwangu,nalishwa navalishwa nasomeshwa ukubwa wangu uko wapi?"
Scola alibetua mdomo akionyesha kudharau kile nilichokisema!
"Scola ingia uvunguni!"
"Weeee!!!koma nikaumwe na nge mimi?Sasa naona unaogopa ngoja nikafungue!"
"Basi nae...."
Kabla sijamalizia Scola alishatoka chumbani huku mwilini kajifunika shuka tu!
Nilishindwa kumzuia kabisa kumzuia nikajikuta namuacha nikabaki chumbani nimeshika kichwa!!!
"Ivi huyu ni binadamu au ni jini?na hizi no akili zake au kaazima?"
Nilijiuliza maswali mengi yaliiyokosa majibu yake!
"Karibu mama!",niliskia sauti ya Scola akimkaribisha mama!
"Hee!na wewe!!!!?"
Alishangaa mama kumuona Msichana yule pale nyumbani!
"Ndiyo ni mimi mama!",alijibu Scola.
"Aya usiku ushaingia nenda nyumbani!!"
"Sawa mama!"
Scola alirudi akanikuta nimejiinamia sina usemi maana kama ni kuyakanyaga nimeyakanyaga kweli!
"Mama kaniona sasa ole wako ulete msichana mwingine humu Masu ntakachokufanya hata shetani ataninihukia".
Sikumjibu kitu nilikuwa nawaza nini naenda kusema nini kwa mama?
Scola alivaa nguo zake akaaga akaondoka zake!
Nilishindwa kutoka chumbani,mpaka muda huo nilikua nawaza imekuaje nimejisahau hadi mama karudi!
Sikutoka chumbani nililala hata sikula asubuhi niliamka mapema kuliko siku zote nikaenda zangu shule!
Masomo hayakupanda kabisa,mawazo yote yalikuwa nyumbani, nikiwaza mama sasa ananifkriaje?
Siku hiyo nilitoroka shule nilipoona sielewi chochote akili yangu haipo sawa!
Njiani nilikuwa peke yangu natembea kichwa changu nimekiinamisha chini!
Nikiwa sina hili wala lile niliskia nikiitwa na sauti ambayo nilihisi kuifahamu!
Nilipogeuka sikuamini!Nilimuona Scola akiwa ananikimbilia alipofika akasimama huku anahema kwa kasi!
"Scola unafanya nini huku!",nilimuuliza kwa mshangao!
"Nimekuja kukuaga mi kesho naenda mjini hapa kama bahati tu maana nilikuwa nakufuata shuleni!"
"Shuleni? Scola unajua hatari ambayo ungeniletea?unataka nifukuzwe shule!"
"Aah!yani we unakuwa kama mwanamke muoga muoga,unatakiwa kuwa mwanaume bhana unaniangusha sana!"
"Lakini ni hata.....!"
"Hakuna cha lakini kwanza mwalimu mkuu wenu hasemi hakooi kwangu!"
"Mmh!kwa kuwa wewe ni nani Scola?"
"Staki maswali njoo hapa!"
Scola alinivutia kichakani,mwanamke yule alikuwa na ujasiri mkubwa sana!
Nami sijui kwanini sikumbishia,Sikuwahi kubishana na maamuzi ya Scola,sijui kwanini huwa nabaki kuangalia tu nakuwa kama kondoo tu!
Scola aliponifikisha kichakani akijua moja kwa moja kwamba hapo hatuwezi kuonekana alinivua begi langu mgongoni Kisha akafungua mkanda na zipu akaitoa bakora yangu!
Wakati najiuliza anataka kufanya nini?Scola aliitia mdomoni akaanza kuimumunya kama pipi ya kijiti!
Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufanyiwa vule,nilihisi mwili ukinisisimka sana, ulimi ule wa moto ulifanya damu yangu kuchemka na kukaza hadi mishipa inaonekana!
Scola aliniweza sikuchelewa kufunga goli langu la kwanza likamwangukia kifuani mrembo Scola!
"Wow!za moto hadi raha!",alisema Scola kisha akatandika kanga yake chini!
Sikupata tabu kujua Scola anataka nini,nami damu yangu ilikuwa imechemka haswa!
Baada ya migusano ya hapa na pale iliyopelekea hisia zetu kupanda maradufu!
Hatimaye tulizama kwenye ulimwengu mwingine,tukazama kwenye tendo lililomfukuzisha Adam na Eva kwenye bustani nzuri ya Edeni!
Baada ya purukushani za hapa na pale hatimaye nafsi zetu ziliridhika,tuliamka tukajifuta vumbi na kujitoa nyasi kisha tukakaa chini ya mti tukipiga story,huku nyingi zikiwa ni kuwekeana ahadi nyingi kati yetu!
"Masu,mi naondoka kesho n dada!"
"Dah! ntakumiss sana Scola!"
"Halafu utaacha lini kuniita Scola?nimekwambia uwe unaniita mpenzi au majina ya mjini yale ya baby,dear na sweetheart?"
"Lakini mbona wewe umeniita Masu!"
"Sawa Ila mimi usiniite Scola!"
"Sawa nimekuelewa!"
"Sawa,mi naondoka Ila nitarudi ila nikirudi nikaskia habari zako na visichana Masu nakuacha na sikupi tena mapenzi yangu!"
"Hapana siwezi Mpenzi,nakuahidi moyo wangu nimekupa mpaka utakaporudi ntakuwa nikikusubiri!"
"Kweli Masu!"
"Kweli baby!"
Scola alitabasamu kisha akasimama nami nikasimama tukakumbatiana!
Tulitoka mpaka barabarani Scola aliniaga kisha akashika barabara ya kwao na kuanza kuondoka akiniacha nimeganda kama sanamu!
Moyo uliniuma sana kumuona Scola wangu anaishia mbele ya macho yangu!
Shingo iligoma kugeuka,nilimuangalia kwa huzuni machozi yakinitoka!
Niligundua kuwa nampenda sana msichana yule,alishaingia moyoni mwangu na kujenga makazi yake!!
Baada ya dakika kadhaa za maskitiko hatimaye niligeuza shingo!taratibu nikajitahidi kunyanyua miguu yangu na kuanza safari ya kuelekea nyumbani!
Siku,wiki,miezi hatimaye mwaka ukatimia bila kumtia Scola kwenye mboni zangu!
Iliniwia vigumu mwanzoni,nilimiss mapenzi yake,nilimiss kumbatio na busu lake kimwana yule mtabibu wa moyo wangu!
Hatimaye nilizoea nikarudi kwenye hali yangu ya kawaida!Nilisoma kama kawaida na kuwa Masumbuko yule mtiifu kwa mama yake!
Sikutaka kujiingiza kwenye mapenzi tena,sio kwamba sikuona mabinti wengine wazuri,hapana!
Niliitunza ahadi yangu niliyoweka chini ya mti kule kichakani nikiwa na kipenzi changu Scola!
Akili yangu niliihamishia darasani!nikasoma kwa bidii na kufanya vizuri zaidi kwenye masomo yangu!
Hatimaye mwaka wa pili ulikatika bila kumuona Scola wangu!
Muda huo niko kidato cha nne,hadi nikamaliza mitihani yangu bila kumuona Scola!!
Ni katika kipindi hicho ndipo niliwaza kuanzisha mahusiano mapya!Nilihisi Scola wangu hatorejea kabisa!
Macho yangu yalitua kwa binti mmoja ambaye alikuwa mtoto wa mwenyekiti pale mtaani!
Alikuwa mrembo sana lakini hakumfikia Scola wangu!Kingine hakuwa mjanja kama Scola bado alikuwa na ushamba mwingi wa kijijini!
Nakumbuka siku moja nilikutana naye kisimani ndipo nilipoanzisha maongezi!
"Mambo Diana!"
"Mmh!Kaka hizo salamu za mjini mimi sizijui!
"Mmmhh!Diana ina maana wewe hujui kusema poa!"
"Hapana Kaka nilishakatazwa mimi!"
"Sawa mi na shida na wewe kesho jioni tukutane uwanjani pale wanapocheza mpira!"
"Mmh!Kaka mi naogopa!"
"Sasa unaogopa nini Diana!"
"Mama anasemaga nyie wanaume mna tabia mbaya mtaniingiza mimi bado mdogo!"
"Mmh!usiogope tutaongea tu!"
Kutokana na usomaji wangu wa vitabu vingi vya mapenzi tayari nilijikuta nakuwa mzoefu!
Nilimsogelea Diana hadi alipokuwa nikamshika mkono wake,Diana alianza kutetemeka nikamvutia kwangu nikamkumbatia!
"Diana usiogope!",alitulia hasa baada ya kuanza kuzipapasa mbavu zake taratibu!
Chuchu zake zilikuwa zimesimama haswa ziliponigusa kifuani nilihisi kuchanganyikiwa haswa!!
Kiukweli moyo wangu haukuwepo kabisa kwa binti huyu,ni wazi kuwa niliongozwa na tamaa tu!
"Kaka Masu niachie!",alilalamika kwa sauti ya puani iliyonipa nguvu ya kuendelea kumchezea binti huyu!!
Niliingiza mkono kwenye tisheti yake nikaanza kuzipapasa chuchu zake!
Diana alianza kutoa pumzi ndefu huku analegeza macho yake!!!!
Kipindi hicho sikukumbuka tena ahadi ya Scola!
Damu yangu ilichemka bakora yangu ikasimama kama mnara wa babeli!
Na vile nilikuwa na siku nyingi sijafanya mapenzi,nilikuwa na msisimko wa ajabu nikajikuta nataka kumalizana na Diana pale pale kisimani!!
"Twende huku!",nilimvuta mkono Diana ambaye hakuwa na kipingamizi tena hata zile kaka zilipungua nadhani ni vile nilimgusa sehemu ambazo haziguswi ovyo!
Nilimsogeza mbali na kisima nikaingia naye kichakani!
Nilianza kumpapasa binti yule nikamvua kanga yake nikaitandika chini!
"Masu mi sijawahi,naogopa!"
"Unasema?Ina maana wewe ni bikra?"
"Ndiyo!"
Nguvu ziliniishia kabisa,sikuwa nimewahi kumtoa bikra mwanamke yoyote ila naskia huwa wanaumia sana!
Na kisimani ni mbali sana angerudi vipi kwao na ndoo ya maji!
Nilichukua kanga yake nikampa ajifunge!
Diana akionyesha kukolea tayari na alihitaji penzi langu,aliipokea ile kanga yake kishingo upande akajifunga kisha akasimama akiniangalia kwa macho yaliyolegea haswa!
"Kaka Masu kwani hunifanyi tena?"
Swali lile lilifanya damu yangu ikachemka haswa!
Bakora yangu iliyokuwa imesinzia ikasimama upya,mate ya hamu yakanidondoka!!
"Kaka Masu mimi nataka tufanye Ila usiniumize siutafanya taratibu eti Kaka Masu?"
INAENDELEA....
Alisema Diana akianza kuvua nguo zake taratibu kanga yake akaitandika tena chini!
Nilishindwa kujizuia kama ni majaribu yalifikia pabaya sasa,maji shingoni!
Diana alivua tisheti yake ,chuchu zake zilisimama bila jeki,kifua chake kilipambwa na embe dodo ndogo mbichi zenye kuvutia!
Nilimsogelea karibu nikaupeleka mkono wangu niziguse embe zile changa zenye uchachu na utamu kwa mbali!
Akili yangu ilifanya kazi ghafla!nikawa kama nimetoka kwenye usingizi mzito,nikaiokota kanga ya Diana nikamfunika kisha nikamwambia!
"Vaa Diana siyo hapa!wahi nyumbani!"
"Lakini kaka Ma......!"
"Stop Diana,jioni njoo uwanjani kama unataka kufanya hili jambo huku ni mbali sana utarudije nyumbani na ndoo ya maji?"
Nilitoka nikaenda kisimani nikajaza madumu yangu kisha nikayaweka kwenye baiskeli yangu nikaondoka Diana akiningalia kwa macho yenye matamanio!
Njiani nilikutana na Kaka yake Diana akiwa anaelekea kisimani!Nikahisi moja kwa moja anamfuatilia dada yake!
Nilivuta pumzi ndefu kwa kujiepusha na msala ule,maana kaka yake anajulikana ni mkorofi sana kijijini!

0 Comments