Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

Chombezo : Kifo Cha Mende Sehemu Ya Kwanza (1)



 IMEANDIKWA NA : MOHAMMED JAY

💸BOFYA HAPA KUPATA MKOPO BILA LIPA

*Kutoka Mombasa*

 *Mwanzoooooooooo*

Asubuhi iliwadia huku jua likiwa lachomoza miyale yake ya kila siku, Halima akiwa na mume wake Rajabu kitandani wakiwa bado wanavuta usingizi. Gafla kuu ya mshtuko wa Halima aliamua kumuamsha mume wake ili awanie kazini, Bwana Rajabu aliamka kwa machovu makuu kisha kumwambia mke wake Halima... "Mke wangu mbona wanisumbua sana wewe, niache nilale"

 Mke wake Halima akamwambia "Mume wangu wachelewa kazini, kila siku hutaki kunielewa basi amka unipe kimoja nina hamu mwenzio". Kwa maneno hayo Rajabu aliyapuuzia kwa mke wake akitikiswa lakini wapi. Hili lilimtesa sana Halima mpaka mwisho kujisemea kimoyoyo "Huyu mwanaume hata sijui nimfanyeje ananitesa sana kihisia lakini sawa". 

Baada ya dakika mbili, kengele ya kwenye simu ya Rajabu ikaita kwa masaa aliyotegea yeye mwenyewe. Rajabu akaamka kutazama upande wa kushoto hakumuona mke wake Halima, akaelekea bafuni kwenda kujiandaa kuoga ili atoke. Kufika bafuni alistaajabu sana kumsikia mke wake Halima akitoa miguno ya ajabu ndani ya bafuni humo, "Aaaaaaaaaiiiisssssss..ooouuuuiiiiiiiisssss....mmmmmhhh....aaaaasssshhh...ooooopppssss... " Halima alikuwa na hamu yenye kunyegeka, lakini Rajabu akamshtua mke wake Halima "Wewe mke wangu nini unafanya sasa, maliza utoke unipishe na mimi nioge" Halima kusikia sauti ya mume wake, aliacha mara moja kisha akamaliza na kutoka hili lilimfanya Halima kuchukia sana na kuanza kujiuliza maswali mengi mengi akilini "Kwanini hataki kunipa haki yangu?". 

Lakini maswali yake yaliambulia patupu Halima aliingia chumbani na kuvalia dera lake lilivyomtoa vyema kabisa. Inasemekana Halima ni mtoto wa kimanga mwenye mchanganyiko wa pemba na uwarabuni na Rajabu ni asili ya mwarabu mazima mazima. Ndoa yao iliingia hadi miezi mitatu sasa na bado hawaja jaaliwa na mtoto hata mmoja, mbali na hayo uwezo wa mali na pesa wako nao na wakiwa ndani ya jumba la kifahari. 

💸BOFYA HAPA KUPATA MKOPO BILA LIPA

Halima, akiwa sebuleni akamuita mfanyi kazi wake wa kike jina akiitwa Husna. 

Halima akimuita... "Husnaa.... 

Husna akaitika "Abee mam nimekuja" Halima akamwambia "Umeshamuandalia mzee wako chai?" Husna akajibu "Ndio mam tayari ndio nataka niilete hapa mezani" Husna akaenda jikoni kuchukua chai na kuiweka mezani. Husna nae sio alikuwa na vitisho ndani ya nyumba hiyo, kwani Halima alihisi kwamba Husna anatembea na mume wake ndio maana anakoseshwa utamu mara kwa mara. Kwani Husna ni mtoto wa kitanga aliyejaaliwa na umbo zuri na lenye kuvutia kuanzia juu hadi unyayoni, mtoto mwenye msambwanda wa kuzaliwa nao na kiuno chake mithili ya kinu na kwa sura tu ilimpa wasiwasi mwingi Halima nadhani walikuwa wanashindana nani anampiku mwenzake lakini wazo hilo kwa Husna halikuwepo akilini mwake. 

Bwana Rajabu kumaliza kuoga na kuvaa mavazi yake sawia, alikwenda moja kwa moja mpaka sebuleni akakuta ameshaandaliwa kila kitu mezani. 

Rajabu hakuwa mtu wa kupakia sana, hadi kuvimbiwa. Aligusa gusa na kuacha kisha akaamuaga mke wake Halima na kuuliza "Sasa mke wangu muda ndio huu wa kutoka, au unataka kuniambia chochote? " Halima huku akijitolea tabasamu na kumjibu "Hapana mume wangu, nakutakia kazi njema". Rajabu kusikia hivyo hakupoteza muda bali aliondoka maeneo hayo, na kupanda gari lake aina ya BMW alilingurumisha kisha akafunguliwa geti na mlinzi na kutoweka maeneo hayo. 

Halima akiwa bado anawaza sana akilini mwake na kujisemea "Ni mwanaume gani atakaye nimalizia hamu yangu mimi jamani". Hii ni ndoto moja ya mwanamke mwenye kutopewa utamu uliokolea. 

Ilipita siku mbili, baada ya siku na masiku Halima akiwa anaendesha gari lake sehemu ya kijijini kunakoitwa MASARARE na ndani ya gari humo akiwa na Husna. Huku mvua kali ikiwa inanyesha, Halima akiwa anaelekea kutazama shamba lake katika kijiji hicho kwa gafla ya kupita pita gari likakwama katika matope yaliofundana kwa nguvu. Halima na Husna hawakuwa na lakufanya kwani wote ni wanawake Halima alililazimisha gari kutoka lakini hakufaulu, matope yalishika kweli kweli. 

Kujaribu kumpigia simu mume wake, hakuwa hewani jasho jembamba lilimtoka kutazama huku na kule hakukuwa na msaada wowote. Kweli Mungu sio Athumani, baada ya dakika kumi kuisha huku Halima akikata tamaa. 

Kulikuja gari aina ya Land cruiser, gari ambalo lapita sehemu yoyote ile wala halisumbuki. Halima kutazama mbele akaona gari inakuja akashukuru sana kujua wazi atahitaji msaada akaanza kunyoosha mkono kwamba anahitaji msaada, na walikuwa hawawezi kushuka kwani gari lilikuwa katikati ya matope. 

Katika gari hilo jengine, ndani kulikuwa na kijana mtanashati akijiita Hemedi. Kijana yule alishuka kwenye gari lake kisha akaeleka ili kumsikiliza asaidiwe na nini. 

Kufika kijana huyo Hemed, Halima akamwambia kwa kulalamika. "Kaka tafadhali twaomba utusaidie kututoa hapa, tumekwama". Kijana Hemed akawaambia "Musijali nitawasaidia tu. 

Kijana Hemed, alirudi kwenye gari lake kisha akuvua shati lake jeupe ili lisichafuke kwa matope. Alichukua kamba ndefu yenye unene wa inchi tano, kwa haraka haraka Halima alianza kumtazama Hemedi kifuani mpaka kwenye tumbo kwa matamanio. Kifua cha Hemedi kilijazana kimazoezi na mkono wa tembo uliojaa vyema kabisa. Wakati Hemedi akiunganisha kamba yake, Halima alizidi kupagawa kwa Hemed na fikra kumpeleka kwa ngono.. 

Lakini Hemedi hakuwa akimuona vizuri Halima, ila alimuonea kwa ndani na kuzibwa zibwa na kioo cha gari. 

Hemedi aliingia katika matope huku jasho likimchuruzika, kwani alikuwa ni mwanaume mwenye nguvu na misuli mikubwa ya kiume. Hili lilimpagawisha Halima na kuanza kummezea mate kijana wa watu. 

Hemedi, baada ya kuunganisha na gari lake, aliingia ndani ya gari lake na kuanza kulivuta taratibu huku Halima akijitahidi. Na hatimaye gari likatoka matopeni, Halima alishukuru sana kisha akashuka katika gari na kumfuata Hemedi. 

Hemedi kumtazama vizuri Halima akiwa anakuja upande wake, Hemedi alivua miwani yake ili amtazame vizuri Halima jinsi alivyoiviana. Halima alipofika kwa kijana Hemedi, akamwambia huku akizitengeneza nywele zake ndefu... "Kaka asante sana, maana nilikata tamaa kwamba sitaweza kutoka pale Mungu akubariki"

Hemedi akamwambia.. "Usijali kila jambo kusaidiana sawa". Kisha Halima akamtolea hela Hemedi kumpatia lakini Hemed alikataa na kusema. "Asante sana, nimetenda wema na sihitaji pesa, samahani lakini" Halima akiwa bado anamtazama vyema Hemedi jinsi mwanaume alivyokuwa imara na mwenye misuli yakumvutia. 

Halima aliamua kumuacha kwani aliogopa kumwambia kile anachotaka kwa Hemedi, na mwisho akamwambia "Ok, but thanks, kwaheri."... 

Halima aligeuka, baada ya kumuaga Hemedi. 

Ila Hemedi aliona mshindo wa msambwanda jinsi unavyotikisika kwa mishindo tofauti tofauti kwa Halima. Kweli Halima alikuwa mtoto laini bado ameiva kuanzia chini hadi juu, kwa sauti ilimfanya akili ya Hemedi kusimama kwanza na kumsikiliza. Hemed hakuwa na haraka hivyo, kwani ipo siku watakutana tena. 

Kisha kila mmoja wakaeleka sehemu tofauti..... 

Kipi kitaendelea.... 

💸BOFYA HAPA KUPATA MKOPO BILA LIPA


Post a Comment

0 Comments