Nilipigwa na butwaa nilipozidi kupekua nikakutana na Passport mbalimbali za kusafiria kwenda nchi mbalimbali ila nyingi zilionyesha anasafiri sana kuelekea Afrika ya kusini. Sura ilikua inaonekana ni ya Jane lakini majina tofauti tofauti.
Nikaanza kujiuliza sasa huyu Jane ni nani? Mbona simwelewi. Nikiwa nawaza nilisikia Jane akija anaongea na simu. Nikarudishia vitu haraka nikafungua mlango na kuanza kutoka.
Jane akasema "Jamani Yuu mbona umechelewa mpenzi wangu hadi chakula kimepoa". Nikamwambia" nilikua siioni jamani mpenzi wangu". Akasema" ko umeiona" nikajibu "ndio"
"hebu tukale basi". Basi tukaenda kukaa pale tukala huku mi nikiwa na mawazo mengi juu ya Jane nikiwa simwelewi hata kidogo.
Baada ya kula tukaenda chumbani kwetu kupumzika. Tulifika Jane akawa ananichezea chezea kichokozi. Nilijua anataka nini lakini kwa kua sikua kwenye "mood'' nikampotezea kwani nilivyoviona vilinichanganya sana. Akaniuliza kwanini nakua vile nikamjibu kua kwa siku ile sikua sawa. Basi tukalala, Asubuhi kulipokucha Jane akaamka akajiandaa na kuondoka zake.
Alipoondoka mi nikaamua kupekua vizuri baadhi ya vitu vyake katika begi lake. ndipo nikaona sura tano za bandia. Niliona barua moja ndefu sana ikiwa imegongwa muhuri wa serikali ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC) nilipoisoma ile barua nikagundua kua Jane aliwahi kufanya biashara ya kusambaza bidhaa zisizoruhusiwa kisheria nchini humo! Kwani sehemu kubwa ya barua ilikua ni onyo kwake huku wakimtambua kama raia wa Afrika ya kusini.
Wakati nazidi kupekua ili nijue kama kuna kingne kipya nikasikia simu yangu inaita. Baada ya kuipokea alikua ni mama yule nilietoka kwake mbeya. Akasema Yani
"Yuu mnarudi lini maana mimi huku nakumiss sana hivi hapa najikaza tuu". Nikamwambia" pole mama nadhani tunakaribia kurudi". Naye akasema" itakua nafuu maana nimemis mambo yako ulikua unanipatia sana yuu hadi najuta kuwa mbali na wewe.
Basi tukaongea vingi sana pale. Kumbuka kuwa vitu vya Jane nilikua nimevisambaratisha sana mle ndani. Mara nikasikia Ngo! Ngo! Ngo!...
ITAENDELEA
ENDELEA
nilishtuka sana hadi nikadondosha simu chini. Nikajua huenda Jane karudi mapema kutokana na kumaliza kazi mapema. Nikavipanga vitu kwa kasi ya ajabu. Kisha nikalifunga lile begi na kuokota simu yangu kisha nikaenda kuufungua mlango huku natetemeka.
Nilipofungua mlango uso kwa uso nilikutana na Angel ambae ndo alikua anagonga. Nikamwuliza
"unataka nini!! Angel hujui huku ni kwa girlfriend wangu alafu wewe unakuja na unagonga tukikutwa itakuaje?" Angel akasema "haaa Yuuu hata salamu hakuna daaaah".
Nikajikuta kwa kweli nimekosea nikamwambia "samahani Angel sio vizuri ulichofanya ndio maana nimekua mkali japo sipendi kumfokea mwanamke". Akasema "usijali basi kama hapa ni kosa njoo huku" akanivuta kwa nguvu na kuniingiza chumbani kwake.
Ikumbukwe milango ilikua imefuatana hivyo ilikua rahisi sana kwake. Mle ndani Angel akafunga mlango na kuanza romance huku akiniramba masikio kwa kuingiza ulimi wake masikioni mwangu. Nilikua naenjoy sana yani.
Nikaona nijibu mashambulizi kama kawaida ya kaka yuu nikampa dawa kutwa mara tatu. Akaridhika nikaona nitoke zangu nikamwacha pale akiwa hoi bin taabani. Nikaingia ndani mwetu nilikokua na kaa na Jane huku nikijiuliza kazi ya Jane ni nini bila kupata majibu.
Nikakaa natafakari huku tv yetu ya mle ndani ikiwa iko on. Ghafla nikasikia "BREAKING NEWS" Maaskari sita wamekutwa wameuawa eneo la Usa river Arusha. Chanzo cha kifo chao ni kurushiana risasi na wanawake wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi. Majambazi hao walikua wametoka kutekeleza kifo cha mkuu wa mkoa wa Iringa aliyekua ziarani huko Arusha. Jitihada za kuwatia nguvuni zimegonga mwamba baada ya jeshi letu kuzidiwa nguvu na majambazi hao. Uchunguzi kuhusu tukio hilo unaendelea na jeshi limeahidi kuwakamata mabinti hao". Ilikua mwisho wa ile taarifa.
Safari hii sikushtuka sana kwakua zile taarifa nilianza kuzizoea. Nikiwa nimeduwaa ghafla mlango ulisukumwa kwa nguvu akaingia Jane huku akihema sana. Kisha akasema yuu tafadhali kuna watu wanakuja humu ndani wapishe nusu saa tuu. Nikiwa sijamjibu niliona Jane anatiririka damu nyingi begani nilipomwuliza akanijibu kwa kuniambia naomba mkasi haraka.
Kwa kua alikua kaumia nikaona si vizuri kumjaza maswali. Nikaamua kumpa mkasi kama alivyoagiza. Akauchukua na kuutia sehemu ya jeraha huku akiwa ameumanisha meno nadhani ilikua ni kwa sababu ya maumivu. Kisha akavuta kwa nguvu kikadondoka kitu chini kikiwa na damdam nilikiangalia kwa makini na kugundua ni kipande cha risasi.
Nilishtuka sana kumwona Jane anajitoa risasi mwilini mwake. Nilitaka kumwuliza imekuaje nikashangaa mlango unagongwa na wakaingia wanawake wawili wakiwa wamevalia sare za jeshi. Nilijua wamekuja kumkamata Jane chaa ajabu wakampigia saluti na kuanza kumhudumia ile sehemu ya bega alipotolewa risasi. Nilibaki nashangaa pale kwani walikua wamejitosheleza kabisa kwa kila kitu.
Baada ya kumaliza waliaga wakaondoka zao. Jane alitoka kuwasindikiza mi nikabaki ndani huku kichwani mawazo mengi yakiwa yametawala nikijiuliza Jane ni nani. Akili ikanituma nichungulie nje kwa kua nlikua ghorofani hivyo mandhari ya nje ilionekana vizuri sana. Ambapo niliona kwa uzuri kabsa nje gari aina ya Landcruizer 110 ikiwa imenakishiwa kwa rangi ya kijani na madoamadoa meusi kama vile sare ya Jeshi. Kisha nikawaona wale wadada wakiingia humo na kumuaga Jane.
Nilikua nimeduwaa tu huku nikihisi ni ndoto ndefu sana ya usiku isiyoisha. Baada ya kumwona Jane anarudi nikaamua kukaa kitandani. Alipoingia "akanambia Yuu haya mambo unayoyaona humu yaishie humuhum". Mimi nikamwambia kwa sauti iliyokata tamaa ikichanganyikana na uoga "lakini Jane kwanini hutaki kuniweka wazi juu ya kazi yako maana sielewi". Leo nimeona wajeda wamekuja kukuhudumia, Umerudi umepigwa risasi begani hivi mi nitabaki gizani mpaka lini?"
Jane akageuka akanijibu" yuu nakupenda sana na sitaki kukupoteza nataka siku moja tuje tufunge ndoa japo maisha yangu huyaelewi. Lakini kama nilivyokwambia kua ipo siku nitakueleza A-Z juu yangu. Ila naomba kwa sasa uvumilie unayoyaona na uwe na kifua cha kutunza siri". Akazidi kusema kua na sababu ya kuja na wewe huku nilitaka ujue dunia kuliko uijuavyo. Hii dunia ina siri kubwa na ina mambo mengi kwani wewe ulijua mimi si mwanafunzi tu? Nikajibu ndio. Kisha akasema by the way kazi yangu imeisha leo ko tutaspend week moja af tutarudi Mbeya nikiwa nataka kujibu nilikatishwa na...
Nilikatishwa na mlio wa simu uliokua unaashiria simu yangu inaita. Nikapokea na kusikia sauti ya kike ikisema "kaka yuu tumekukumbuka jamani". Nikajaribu kuikumbuka ile sauti hatimae nikajua ni Happy. Basi tuliongea mambo mengi na Happy tukacheka sana nikamwambia kua wiki inayokuja ningeweza kurudi Mbeya.
Nlipomaliza kuongea na happy nikamgeukia Jane. Jane akasema "yuu huu mkono unaniuma sana naomba nilale kidogo". Kwa kuwa na mimi nilikua nimechoka kutokana na shughuli ya Angel nikaamua kulala. Basi tulila wote tukapitiwa na usingizi. Wa kwanza kushtuka nilikua ni mimi ambapo nilishtuka baada ya kusikia mlango unagongwa. Niliinuka na kutoka kuangalia ni nani anagonga.
Alikua ni mhudumu ambaye alikua anamuhitaji Jane. Nilimwamsha Jane na kumwambia kuwa anahitajika. Aliamka na kwenda kuitikia wito. Nyuma nikawa najianyosha kwa bahati mbaya nikadondosha mkoba ule ambao Jane alikua anatoka nao kila siku. vikasambaratika baadhi ya vitu pale nikainama kuokota. Pale chini nilikutana na mikanda minne ya cctv camera, bastora ndogo moja, na simu mbili aina ya Huawei Y300 na Nokia x1. Hizi simu sikuwahi kumwona nazo kabla nikaamua kuzificha hee!!! (Mwanadarubini: Acha hiyo yuu akiikosa atakuuwa)
Na ile mikanda nikaamua kuichukua na kuificha ili nijue yaliyomo. Baada ya kujiridhisha nikaanza kurudishia vitu hapo ndipo nilikutana na maajabu mengine. Nilikutana mfuko wa kaki wenye picha baada ya kutoa niliona zote ni za Jane. Ila tatizo nyingine zilikua zinaonyesha Jane akiwa ndani ya sare za Jeshi akiwa anafanya mazoezi ya kijeshi. Zingine zilimwonyesha Jane akiwa anasalimiana kwa mikono na Rais.
Maswali yakazidi inamana Jane ni mtu wa aina gani jamani. Maswali yalikua mengi sana kichwani mwangu. Nikajiuliza huyu Jane ni mwanajeshi? Nikakumbuka pia juu ya bahasha iliyokua na picha za watu. Nikaipekua na kuikuta nikaanza kuziangalia upya. Nilikutana na picha ya mkuu wa mkoa akiwa amewekwa tiki.
Nilishtuka pia nilipoona picha zote nilizoona wakionyeshwa kwenye tv yakua wamefariki niliona wamewekwa alama za tiki.
Nikaanza kujiuliza ina mana hata baba mwenye nyumba atakuja kuuawa? Nikiwa najiuliza simu moja ikaingiza ujumbe ulosomeka hivi. "KAZI IMEKWISHA KWA VIGOGO SASA BADO VIMBWEHA PORI NAJUA HIVYO NI DK SIFURI" Sikuelewa maana ya ule ujumbe nikaamua kurudisha vitu kama vilivyokua halafu zile simu na mikanda nikaona nikaifiche kwa Angel (mwanadarubini, aah baharia Hapo ndo wazama kabisa wazipeleka kwa mchepuko???????).
Nikatoka nikamgongea Angel akafungua nikaingia nikamwambia Angel naomba unisaidie kuhifadhi hivi vitu nitakuja kuvichukua siku yoyote sawa eh...!
Bila hiyana Angel akanikubalia nikaviweka pale na kisha akasema
"ila yuu ujue kama mi nimekumiss sana". Nikamjibu "najua ila sasa hivi girlfriend wangu yupo kwa hiyo subiri atoke nitakutaarifu". Angel hakua mbishi hata kidogo nikatoka ili nirudi chumbani kwangu.
Wakati natoka Angel akaniita nikageuka akanikiss juu ya lips zangu na mashavuni kisha akasema "Yuu,! i real need you" nikamjibu
"usijali Angel, I will be back for you owkey??"
Akajibu " ok never mind kwasababu nakupenda yuu".
(BASI HAPO MZEE MZIMA NLIPIGA UNG'ENG'E KIDOGO SI UNAJUA TENA)
*ung'eng'e=kingereza
Nikatoka ile nageuka nikagongana na Jane aliyekua anaingia chumbani kwetu. Hakunisemesha akaingia ndani na mimi nikafuata nikaingia. Jane alinipokea kwa jicho kali sana huku akionyesha kama kahisi kitu. Kisha akasema
"Yuu nmekuleta hapa unisaliti?"
(Mwanadarubini wetu, si nilikwambia haya Sasa) nilishtuka kisha nikamwuliza " kwanini baby umefikia mbali hivyo wakati mi sijataka tufike huko kote".
Jane akasema "Yuu mi sio mtu mzuri hata kidogo hasa kwa yeyote ambaye anaenda kinyume na mimi nina uwezo wa kukupoteza Sasa hivi, kuwa makini na mimi na moyo wangu ohooo".
Alimaliza Jane kuongea na mimi nikataka kuongea, basi Jane akasema "shiiiii?? hapo kwenye lips kuna alama za lipstick mtu kakubusu na humo mashavuni vivyo hivyo usinione mimi mtoto mdogo eh. Nimekustahi tuu ila kuwa makini usije potea katika dunia hii bila hata kupenda". Maneno ya Jane yalinitisha sana ila kwa kuwa ilikua kweli ikabidi nibaki kimya, nlijikuta namchukia yule dada aliyenikiss
Jane akasema "hebu mpenzi nisaidie kitu kimoja ukitoka hapo nje upande wa pili wa barabara kuna fundi computer yuko pale kanichukulie Laptop yangu. Nampigia simu kuwa namtuma mtu". Nikamjibu " sawa"
wakati natoka simu yangu ilikua inaita nikapokea alikua ni mama yani mke wa boss wangu. Nikamsikia akisema " Yuu ninakuja Arusha kesho hivyo keshokutwa nakuhitaji nitakutaarifu nitakua nimefikia wapi". nikamjibu bila kufikiria "sawa mama nimekuelewa". Basi akakata simu.
Nikafika kwa fundi nikachukua Laptop na kuanza kurudi ndani nilipanda ngazi taratibu hadi nikafika ghorofani na kukikuta chumba chetu yani mimi na Jane. Cha ajabu Jane sikumkuta nikajua atakua kaenda sweeming pool nikaamua kwenda kumchek nilipofika kweli nilimwona Jane ila cha ajabu ni kuwa; Alikua kasimama na Angel walikua wanaonekana wana....
Nikafika kwa fundi nikachukua Laptop na kuanza kurudi ndani nilipanda ngazi taratibu hadi nikafika ghorofani na kukikuta chumba chetu yani mimi na Jane. Chaajabu Jane sikumkuta nikajua atakua kaenda sweeming pool nikaamua kwenda kumchek nilipofika kweli nilimwona Jane ila chaajabu ni kua; Alikua kasimama na Angel walikua wanaonekana wanafahamiana mana niliwasikia wakisema
"Unajua dunia ndo ilivyo lakini ipo siku yatakwisha. Nilishangaa kiasi kwani ni kitu ambacho sikukitegemea". Kwakua wote hawakuniona nikaamua kurudi ndani na kumpigia simu Jane. Nikampigia na kumwita arudi ambapo naye alitii baada ya muda mfupi alifika. Nikamwambia "tayari Laptop nimeileta akasema Ahsante mpenzi wangu".
Basi kwa kua muda ulikua umeenda usiku ule tulilala kwa kuwa Jane alikua na jeraha ya risasi sikutaka hata kumsumbua. Usiku nilishtuka ambapo niliisikia simu ya Jane ikilia kuashiria kuna ujumbe mfupi wa maneno umeingia yaani sms. Nikaichukua na kuona kuna majibizano kati yao. Nadhani Jane alikua anatumiana sms na ile namba ila bahati mbaya akapitiwa na usingizi.
Niliona sms moja aliyoituma Jane ikisema
?? Mimi tulivyomaliza kazi ile mikanda ya cctv camera nilibeba nikawabadilishia. Hivyo usiwe na shaka ushahidi wanaousema mimi ndio ninao. Wajipange hahaha ??
hivyo ndivyo sms aliyoituma Jane ilisomeka.
Mimi nikaamua kuichukua ile namba ili nijaribu kuifuatilia kwa siri nijue ni nani yule. Kichwani pia nilikua nawaza mama anakuja Arusha nitamwambia nini? Kichwa kilikua kimechoka kwa mawazo. Nikaamua kulala.
Asubuhi kulipokucha kwa kuwa Jane alikua ameshamaliza kazi yake hivyo alikua yupo tuu.Tulipata kifungua kinywa pale kisha Jane akasema
"Yuu mi naenda hapo mjini nawahi kurudi. Nisubiri leo nataka tutoke wote badae".
Nikamjibu "sawa laazizi wangu" huku moyoni nikiwa na furaha sana. Furaha yangu ilikua ni kuwa baada ya yeye kuondoka nikaikague ile mikanda.
Basi baada ya yeye kuondoka mimi nikaingia kwa Angel nikamwazima Laptop yake kisha nikaiconnect na zile tape. Nilichoshuhudia kwenye Tape ya kwanza ni kuwa nilimwona Jane akiwa na mwanamke mwenzie wakiingia hotel inayoitwa DIG (nikifupi Cha hotel hiyo). Walivamia chumba kimoja na kumteka Mtu mmoja na kisha kumtoa nyeti zake.
Nikamwona Jane akienda kwenye computer iliyokua inarekodi matukio kisha akabadili kitu na picha zikaishia hapo. Kwa haraka nilijua tu kabadili zile tape. Nikaiweka ya pili hapo nikaona Jane na yuleyule msichana kwenye tape ya kwanza wakitekeleza mauaji ya kinyama kwa mtu mwingine. Ambapo nilipata kumshuhudia Jane akimua mlinzi wa lile eneo na kuchukua tape iliyo record matukio.
Haaaah nilijikuta nashtuka sana, Cha ajabu na kilichonitia wasiwasi ni kwamba Angel nilikua naangalia naye lakini hakuonyesha kushtuka kitu ambacho kilinishangaza. Zaidi nikawa nawaza Angel nimemwona kasimama na Jane wanafahamiana vipi? Na hizi tape ndio nilienda kuzificha kwake uwiii nikaona kichwa kinazidi kuwa kizito. Nikaanza kuona harufu ya damu inaninyemelea maana kila mtu ni adui kwangu.
Kwa kuwa nilikwishamaliza sehemu ya kazi yangu nikataka kutoka Angel kama kawaida hakua tayari nitoke bila kumpa utamu. Akanivuta na kunambia""" tafadhali yuu usije ukaondoka bila kunipa haki yangu". Nikaamua kumtibu kwa kumpa dawa. Nilijongea karibu ya Angel tukafanya romance kwa kupeana ndimi zetu huku Angel akinipapasa huku Akinitekenya sehemu ya kiuno changu nilikua nashtuka kiasi kwani nilifurahia sana kile kitu. Nikawa naminyaminya chuc*u zake na kuhisi akiinuka kama vile anataka kupaa. Nikamgeuza na kuuface mgongo wake kwangu kisha nika mwinamisha Angel na kuinua mlingoti na kuuchimbia kunako. Nikauingiza taratibu sana kwa kua nilikua nimefanya maandalizi ya uhakika wala haikusumbua. Ilikua ikipita kwa raha tuu hadi ikazama yote. Nilianza kuifanya kazi ya nguvu kwa kumpa tiba Angel alikua akilia kwa mahaba
"uwiiii mmmh aaaaah shhhhh daaaah""
nikatumia zaidi ya nusu saa kumfanya Angel afike mwisho wa mchezo.
Baaada ya kumaliza hiyo kazi mimi nikatoka nikarudi chumbani kwetu huku kichwani mawazo mengi yakiwa yametawala. Nilijiuliza ni nani Jane.? Angel ni nani pia? mbona hashtuki kumwona Jane anafanya mauaji? je! hawa ni ndugu katika kazi zao? maswali yalikua mengi sana. Mwisho nikapata wazo ya kuwa nitafute muda nikafanye uchunguzi ndani kwa Angel labda nitapata sehemu ya ukweli wa yanayonisibu.
Nililibariki wazo langu shughuli ikaja jinsi gani nitamtoa Angel ili nijiachie ndani mwake. Pia nilikumbuka kitu kimoja kuna alama niliiona kwa Jane sehemu ya Paja hata Angel alikua nayo. Nikahisi nimebugi sana lakini wazo likanijia niende kwa Angel nimwambie...
Umwambie Nini bwana endeleaaa ukojeee??????
Pia nilikumbuka kitu kimoja, kuna alama niliiona kwa Jane sehemu ya Paja hata Angel alikua nayo, Nikahisi nimebugi sana lakini wazo likanijia niende kwa Angel nimwambie aniazime simu yake.
Lakini hapo wazo liligonga mwamba baada ya kuwa akili haijaafiki. Nikaona niwe mpole nisubiri Angel akitoka, lakini pia nikawaza atanipaje funguo yake? Ulikua mtihani mgumu sana kiukweli ambao ulihitaji akili nyingi na uwezo mkubwa wa kufikiri . Nikawaza sana hadi pale niliposhitushwa na sauti ya mlango Jane akiwa anaingia. Alifika akanikumbatia akanibusu kisha akasema "yuu wangu nilikukumbuka jamani". Nikamjibu "nilikumiss pia Jane wangu" nikambusu na kuanza kunogewa huku tukipeana denda.
Ghafla simu yangu ikaita ?? nikaiangalia na kugundua ni mama mwenye nyumba kule Mbeya ndio anapiga. Nikaipokea nikamsikia akisema "Yuu ndio nipo njiani nakuja Arusha babe kwa hiyo kesho jiandae tukutane sawa eh?"
Sikuwa na chakujibu zaidi ya kusema "ndio nimekuelewa mama".
Jane alionekana kama kasikia yale maongezi ila akaamua kukaa kimya basi tulikaa pale. mi nikatoka nikaingia bafuni kuoga wakati natoka nikamsikia Jane akisema
"Yuu nina dharura natakiwa niondoke sasa hivi".
Sikua na la kusema ila aliniahidi kuwa atawahi kurudi, Nilimkubalia akaondoka zake, muda ulisonga masaa yakaenda usiku ukaingia nikamwona Angel anatoka nikaona niitumie nafasi ile kuingia kwake.
Nikamfuata na kumwuliza
"Angel waenda wapi?" akajibu anaenda bank mara moja ameishiwa pesa. Nikazidi kumwuliza "usiku huu? ?? " akajibu "ndio!"
basi nikamwambia naomba "Laptop ?? yako kuna kazi nataka niifanye". Akasema "bila tabu twende nikakupe"
??KUMBUKA MPENZI MSOMAJI NIA YANGU SIO LAPTOP ILA NATAKA NIINGIE NDANI KWA ANGEL ILI NIKAFANYE UCHUNGUZI??
. Nikajiongeza nikamjibu
"sasa ujue Laptop yako nikikaa nayo umu ndani mwangu italeta noma".
Akaniuliza
" kwa hiyo? nikamwambia niache ndani mwako utanikuta Angel"
Hakua na tatizo akanipa ufunguo yeye akaishia zake. Nikaingia ndani mwake na bila kupoteza muda nikaanza kupekuapekua.
Nilifungua begi lake kubwa nikakutana na vitu visivyo vigeni sana ila siyo vya kawaida. Niliziona sura tatu za badia . Bunduki ?? moja SMG ikiwa imesheheni risasi kama 13 ivi. Nilianza kupata majibu.
Nikazidi kupekua nikakutana na line ya simu. Nikaichukua na kuihifadhi kisha nikaona kwa kuanzia inatosha.
Nikapanga vitu sawia kisha nikakaa kumsubiri Angel. Kikubwa ambacho nilikua nimechukua mle ndani ni line ya simu.
Baada kama ya saa moja Angel alirudi basi mimi nkamuaga haraka kwa sababu tayari nilishamtilia mashaka. Alionekana kutofurahishwa na kitendo changu cha kuondoka mara tu yeye alipofika ila hakua na jinsi. Nikafika ndani kwangu nikaiweka ile line kwenye ?? simu yangu.
Kitu cha kwanza nilianza kuangalia majina. Hapo ndo palikua patamu niliikuta namba ya Boss wangu wa Mbeya ikiwa imeandikwa kwa jina la "WALKING DEAD?? " Yaan (MFU ALIYE HAI) nilikimbiaga darasa la kiingereza ila nahisi nipo sahihi??.
Nilishtuka sana nikazidi kuikagua nikaikuta mpaka namba yangu wakati Angel sikuwahi kumpa namba yangu. ilikua imeandikwa wa jina la "Mfanikishaji" haaah Roho yangu ilidunda dunda kwa kasi ya ajabu.
Na pia nikaiona namba ya Jane ikiwa imeandikwa kwa jina la "Kiongozi wa Operation" hapo ndipo nilianza kuona natafuta kifo kwa juhudi zangu. Nikaona pia namba nyingine niliyokua naifahamu sana si nyingine ni ya Jimama langu yaani mke wa Boss wangu. Hiyo nayo iliandikwa "Jichunge" haaa sikuwahi ona majina ya ajabu vile.
Nikaamua kuingia kwenye ujumbe mfupi wa maneno yaani sms ?? nione kama kuna mpya.
Uwiii huko ndo nilikutana na majanga niliiona sms imetoka kwa Jane ?kuja kwa Angel ikisema "SISI HUKU TUMEMALIZA KAZI SASA BADO PART YAKO'' nilishtuka sana kwa kuwa mle mlikua na line mbili yani yangu na yake basi line yangu ikaita. Nilipopokea nikasikia mtu akisema. Gari la mama yako limetekwa na watu wasiojulikana. simu ikakatika nikajaribu kuipiga lakini ilikua haipatikani. Nikaamua kumpigia mama yaani mke wa boss wangu ambae alikua safarini akitokea Mbeya kuja Arusha. Alikua akitumia gari dogo. Nilipompigia simu iliita bila kupokelewa.
Nilanza kuchanganyikiwa baada ya muda kidogo sms ikaingia kwenye line ya Angel ikiwa imetoka kwa Jane ikisema "KWISHA KAZI NDO NARUDI" Sikuelewa haraka ila nikaanza kupata picha uhusiano wa Jane na Angel.
Nilianza kuona nadata na kupata uchizi kabisa mbona wote ni maadui na kama Angel kamwambia Jane Niliendelea kuficha mikanda kwake itakuaje?
Nikiwa nawaza ujumbe mfupi mwingine ukaingia kwenye simu ukisomeka hivii...
ITAENDELEA

0 Comments