Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

Chombezo: Bambucha sehemu ya ishirini na tano (25). Mwishoo



Hapo nikasema ngoja nigeuke ili tuendelee na mapishi.Wewe nani wa hivyo. Nilishangaa tayari mashine ipo ndani. Nililazimika kujikumbusha kuchuma tembele mwenzenu.Nilijua kabisa kwa ukumbwa wa mshundundu wangu kama nitaendelea kushikilia meza hatoifaidi.Nilichokifanya ni mikono yangu kushika miguu.


Mimi si ni mtu wa mazoezi bwana nimwachie yote. Akafanya ile inayaoitwa jipakulie mwenyewe na kweli alainipakua.. Jamani naomba nikiri huyu mwanaume alikuwa na kiungo kikumbwa ambacho kiliendana na ukumbwa wa Bambucha na kina cha naniliu yangu. Nilimwaga chozi sikuwahi kupakuliwa kama hiyo siku.


Sasa kwa mazoezi niliyokuwa nayo nikajibinua zaidi na kuikunja miguu yangu kwa ndani.Mikono yake kiunoni ndo ilinichangaya kabisa. Mara niliona spidi inaongezeka mpanda farasi alikuwa amefika kileleni.Yaani tulidondoka hapo na kujikuta tukipiga vyombo kule.


Jamani wanaume wana nguvu sana eti mwanaume huyu baada ya hapo alinibeba na kunipleka kitandani.Nikiwa hoi bin taabani. Nilijikuta nikipitiwa na usingizi. Nilikuja kushtuka tayari mida ilikuwa imeenda sana. Niliamka nikaoga huku nikiwaza kuwa tulifanya bila kinga hili hali nipo kwenye siku hatari za kushika mimba.


Siku hiyo kwa kweli sikuweza kwenda nyumabni nilala kwa mwanaume huyu. Usiku kucha kazi ilikuwa ni hiyo ya kufurahia mapenzi.Kila mtu alionesha ujuzi wake.Asubuhi niliamka nikaenda zangu ofisni moja kwa moja.Niliendelea na biashara huku nikiwaza mapenzi matamu nilyopewa na mwanaume huyo.


Nilimpenda mana hata kitandani alikuwa ni mzima sana. Ujue sisi wasichana ambao tumeshapitia wanaume wengi yaani ukinipa mapigo ya kitoo ujue nitakuchukia.Mimi sipendi kupakwa shombo bwana mimi nataka nikunwe nukinuke.

Siku zilizidi kwenda na hatimaye sasa mwezi ulipita bila kuziona siku zangu.


Nilimua kwenda kupima ana nilijikuta ni mjamzito.Sikuwa na jinsi nilimweleza Mudrik hili hiyo na alinambia hiyo ni nzuri maana itaharakisha zoezi letu la kuona. Mimba hii pia sikutaka kuitoa maana nilikumbuka ushauri wa mama yangu.Alafu mimi niliamini kuwa kila mtoto anakuja na Baraka zake.


Maisha yaliendelea na sasa tikuwa tunafanyamapenzi kila tunapojisikia. Nakumbuka siku moja alikuja kwangu na mimi sasa nilitaka kumuonesha kuwa mimi ni mama la mama niliyekubuhu kwenye uwanja wa mapenzi. Nilitaka nimpe penzi ambalo kesho yake lazima angetoka tuende kwao kunitambulisha.


Maana huyu naye alikuwa sijui yatima maana hakutaka kusema ndugu zake wapo wapo. Basi siku hiyo nilimtengenezea Viagra ya asili. Hapa nitabidi nitoe some kidogo ili wote mnufaike wanaume kwa wanamwake. Mapenzi ufundi babuaa kaa hapo nikupe mambo.


“Ujue Kujiamini kwa mwanaume lijali ni pale anapomtosheleza mwenzi au mpenzi wake wakati wa kufanya mapenzi. Na furaha ya mwanamke ni pale anapofikishwa kwenye utoshelevu anaoutarajia kutoka kwa mwanaume au mwenzi wake wakati wa kufanya mapenzi.


Kutokana na uhitaji na shauku ya kutaka kuwafikisha wapenzi wao kwenye utoshelevu imewalazimu baadhi ya wanaume kutumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume ikiwemo Viagra. Madawa hayo licha ya kuwa na athari kiafya kwa wanadamu hususani wanaume wanayoyatumia lakini pia imekuwa ni chanzo cha vifo vya baadhi ya wanaume wanaotumia madawa hayo hasa pasipo kufuata ushauri wa kidaktari.


Si aghalabu kusikia matukio ya vifo vya wanaume kwenye nyumba za kulala wageni na watu wengi wamekuwa wakijiuliza nini tatizo au chanzo cha vifo hivyo. Wengine wamekuwa wakihisi pengine chanzo cha vifo hivyo ni kuzidiwa na dozi za mapenzi wakati wa kungonoka kutoka kwa wapenzi wao.


Leo ngoja nikupe somo ndugu yangu.Watu wengi hawajui kwamba vyakula vyetu vya asili ni Viagra tosha kabisa ambavyo vikitumiwa katika mchanganyiko fulani wanaume wanapata msisimko wa kufanya mapenzi kwa maneno rahisi vyakula hivi vikitumiwa kwa kufuatisha mchanganyiko fulani ni Viagra tosha tena ya asili na iliyo salama kabisa kwa asilimia 100.


Hapa nitakwenda kueleza baadhi ya vyakula au michanganyiko ya vyakula ambayo mwanaume akiitumia jongoo litapanda mtungi sawasawa na kuwafanya wenzi wao kuwa na furaha kwa kufikishwa wanapotaka wafikishwe.Kitu chwa kwanza nilichomtengenezea siku hiyo ni ‘Banana Milkshake’.


Yaaani niliosha matunda ya strawberries kama 10, nikaondoa vikonyo vyake na kukata katikati vipande viwili kila tunda. Kisha nikamenya ndizi mbivu 3 na kukatakata vipande. Nikaweka maziwa glasi moja kwenye blender na pia nikatia strawaberries na ndizi.

CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

Nikaweka asali vijiko 2 vikubwa badala ya sukari. Nikafunika blenda na kutengeneza milkshake yangu.Nikamwekea kwenye glass ili anywe.Hii ni kiboko inoangeza nyege na hamu ya kufanya mapenzi.Kitu kingine ambacho unaweza kutengeneza ni kuchanganya asali na unga wa iliki nan i ung wa pilipili kiasi.


Mwekee mwanaume wako na unaweza kumboreshea kwa kumpa ale na yai moja la kuku wa kienyeji lilochemshwa kiasi(half boiled). Pia ukiwa na mwanaume wako hakikisha huduma ya matunda kama nanasi, tikiti maji na mbegu za mabogo zipo.Vitu hivi huongeza madini zinki ambayo ni muhimu kwa uzalishaji wa shahawa.


Pia kwa wale ndugu zangu wanaopoteza hisia za kufanya mapenzi hebu chemsha na kula mboga iitwayo Asparagus kwa siku tatu tu utaona hisia kali za kufanya mapenzi iwe ni kwa mwanume au mwanamke.Basi siku hiyo ndo nilimuoneshea kuwa mimi ni Bambucha nilimpa penzi ambalo lilimchanganya na yeye kwa kinywa chake alinambia yupo tayari kunipeleka kwa wazazi wake kunitambulisha ili tufunge ndoa.


Alinisihi sana tufunge ndoa kwa maana mwezi mtakatifu wa Ramadhani ulikuwa umekaribia. Kijana huyu alaikwua mwisilamu hivyo alikuwa akipambana na kunilazimisha na mimi nibadili dini. Mimi jamani ukiacha Bambcha jina langu nilolopewa na mama yangu lilikuwa ni Vaileth na hiyo inamaanisha kuwa mimi ni mkristo.


Pamoja na mambo ya maisha utotoni nilikulia kwenye malezi ya dini hii.Mama yangu japo alikuwa hapendi kwenda kanisani na alikuwa akiishi maisha ya kipagani lakini alijitahidi sana mwanaye niwe mfuasi mzuri wa dini.


Kwa kiasi fulani nilikulia kwenye dini na baadhi ya misingi ya dini ya kikristo niliielewa sana. Hapa ingawa ukubwani nimekuwa nikiishi maisha ya kipagani tu lakini bado nilitambua uwepo wa Mungu. Niliamini kuwa mimi ni mkristo na ipo siku moja nitakuja kuujua mlango wa kanisa kama ilivyo kuwa zamani.


Sasa Msimamo wa mpenzi wangu huyu kuwa lazima nibadili dini na tufunge ndoa kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ulikuwa ukiniweka njia panda. Moja ni kwamba nilikuwa sina misingi yoyote ya dini ya kiislamu na mbili nilikuwa bado sijajua ndugu wa huyo mwanaume.


Nilijaribu kuomba ushauri kwa jamaa wa karibu ikiwa ni pamoja na Sabrina juu ya kubadili dini. Sabrina alinambia nisihofu kwa kuwa Mungu ni mmoja ila njia ndo mbalimbali za kufika huko kwake.Pia walisema eti mara nyingi mwanamke hana dini. Walinishauri sana na mwisho wa siku nilikuwa tayari kubadili dini ila kwa masharti kwanzaalazima niwajue ndugu wa mme wangu huyo matarajiwa.


Basi kwa kuwa mwezi mtakatifu ulikuwa umekaribia kabisa maandalizi yalifaywa na tulitakiwa tuende huko mahali ambapo ndugu zake wapo. Kwa nini nilitaka kuwajau ndugu zake kwanza kwa sababu wanaume huyu hakupenda sana kuongelea ndugu zake.Kwa mda wote huo niliokaa nao sikuwahi kumsikia akiongelea kuhusu ndugu zake.


Ingawa mimi nilikuwa wazi nikamueleza kinagaubaga kuwa mimi ni yatima nisiyekuwa na baba wala mama. Pia nilimweza kuwa ndugu pekee ambaye nilikuwa namjua ni mama ambaye naye kwa bahati mbaya alifariki na kuniacha nikiwa mpweke.Yeye kila nikimuuliza habari za ndugu zake hakuweza kabisa kunijbu na zaidi alinambia nisubiri tu.


Basi siku hiyo ya kwenda kwa ndugu zake ilifika na tulindoka kuelekea huko ambapo alikuwa hataki kupataja kwa jina. Hiki kitu ndicho kilichokuwa kinanipa wakati mgumu.Siku hiyo tuliweka gari yake mafuta na akanambia nivae kiheshima tayari kwa safari.


Hakuna safari mbaya huku duniani kama hii.Yaani unasafiri hujui mahali ambapo unaenda. Nikaona tunafuata njia ya Morogoro na tulivyofka mjini tulipitia mahali tukapata kifunga kinywa.Safari ikaendelea na sasa tulifuata njia ya kwenda Mikumi.Hapo nikawa nafikiri labda tunaenda Iringa au Mbeya.


Lakini tulipofika mikumi badala ya kufuata barabara ya Iringa tulikuja na kuingi sehemu hiyo. Iikuwa ni mikumi sehemu ambayo ina historia nzito sana kwenye maisha yangu.



Si unakumbuka nilipotoka Mahenge breaki ya kwanza ilikuwa ni hapa na ndipo ramani yangu yamaisha yangu ilipoanzia.Hapa ndio nilimwibia yule mama na kutokomea.Kumbukumbu za matukio ya miaka mimgi sasa zilikuwa zimetawala ubongo wangu. Nilimkumbuka sana yule mzee aliyenisaidia alikuwa mlinzi ambaye kwa namna moja au nyingine ndiye alinipa akili ya kuiba. Ninakumbuka pia jinsi maisha yao yalivyokuwa yakufurahisha na kuhuzunisha.


Yaani mtu na mkwe waliishi vyumba tofauti na mwanamke ndiye aliyekuwa na nguvu kuliko mwanaume.Niliona pale stend pakiwa pamebadilika kidogo na kuvutia kuonesha kuwa mji unakuwa na watu wanaongezeka. Alikunja kushoto akaenda mbele na alikuwa kama mtu ambaye alikuwa hana uhakaika na sehemu ambayo alikuwa akienda.


Mara hasimame mara ashuke kuangalia angali mazingra.Nilitamani kucheka maana ni kwamba huyu mtu alipasahau kwao. Baada ya kuangalia mazingira aliingia na sasa alinyoosha moja kwa moa mpaka kwenye nyumba Fulani. Hapo aliniacha akashuka na ni kama mtu ambaye alikuwa akienda kuulizia. Baadaye akaja na kuniambai nisiwe na hofu alipita kusalimia jamaa zake. Akawasha gari na tuliekea huko kwao.


Kadri alivyokuwa anaenda ndivyo hivyo nilianza kupata wasiwasi kwa maana alikuwa akinipeleka sehemu ile ile ya mama la mama. Mapigo ya moyo yaliongezeka baada ya yeye kushuka na kuniambia nisubiri hapo kwenye gari. Baada ya dakika kadhaa alikuwa yeye na kijana mwingine ambaye alionekana kama kumuelekeza na kumuonesha wapi tunatakiwa tuende.


“Aise ni miaka mingi sana yaani sisi ulitucha wadogo mpak aleo tumekuwa. Kweli aaisee damu haipotei” aliendelea kusema kijan huyo huku akionesha furaha yake.Tulienda mbali kidogo na naweza kusema ilikuwa ni nje ya mji huo.Huko kulikuwa na nyumba mpya mpaya na hatimaye gari lilipaki sehemu yenye nyumba ambayo ilkuwa ikionekan ni nzuri sana kwa nje.

CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

Nasema ilikuwa ni nzuri kwa sababu nyumba ilikuwa ina hadi geti.Tulifunguliwa geti nakuingia ndani.Nilishuka na hapo sasa nilitamani kuzimia maana mtu wa kwanza kuonana naye ni yule mama la mama ambaye nilimwibia. Nilijikaza na kujifanya kama sijamkumbuka kabisa.mama huyo alienda kumkumbatia mwanaye na wote kwa pamoja walimwaga chozi kuonesha kuwa hawakuonana kwa mda mrefu.


Mara baada ya salamu hiyo nikajua kabisa huyo atakuwa ni mama yake. Mama alinikaribisha kwa furaha sana na alionesha kunishau kabisa. Kwa kuwa hanikumbuka na mimi kimyoyo moyo nilifurahi. Basi Mudrik akanitambulisha kwa mama yake kuwa mimi ni mchumba wake.


Mama aaifurahai sana na akasem hiyo nihatua nzuri sana.Hapo hapo akanyanyua simu na kumpigia mtu. “Baba Muddy nakuomba uje maana leo nina furaha sana mwanetu amekuja”, alisikika mama huyo. “Mnakunywa nini wanangu?” aliuliza mara baada ya kukata simu.


Mama alionekana kuchanganyikiwa maana hiyoo furaha ilpiitiliza mipaka. Akamwita binti mmoja na kumtuma dukani.Basi stori ziliendelea na baada ya kama nusu saa kuna mzee alingia. Hapo sasa ndo nilitaka kuanguka maana mzee huyo alikuwa ni yule mlinzi ambaye alinisaidia kumwimbia huyo mama.


Baba huyo alikuwa amevaa miwani na alipovua aliniona laivu. Hata yeye alionesha kushtushwa maana aliponiangalia tu sura yake ibadilika sana. Akasema Bambucha ni wewe au macho yangu yananidanganya. Hapo sasa akayapikichapikicha macho yake kama vile alikuwa ndotoni. Mama akashangaa imekuwaje tunajuana.


Mudriki yeye alinyanyuka na kwenda kumkumbatia baba yake.Basi baada ya salamu kila mtu alikuwa na hofu moyoni. Na mama sasa baad ya kusikia jina Bambucha ilionekan kuwa ni dhairi kuwa amenikumbuka. “Hata mimi nimekukumbuka ni miaka mingi sana lakini sura yako na umbo lako la Bambucha bado linaonekena”.


Tena hili jina ni mimi nilikupa sasa nasema hapa hakuna ndoa. Mwanangu huwezi kuoa mwanamke mwizi mwanaizaya hasiye na haya”. “Mama ebu tulia kwanza punguza nchecheto yaliyopita si ndwele watu hatuna makucha basi tusiombe upele”,aliongea Muddy kwa sauti ya upole iliyojaa hekima na busara.


Baba naye akaunga mkono hoja hiyo na sasa utulivu ulikuwepo. Baada ya mama kushusha jazba alitamka neno moja ambalo lilimshangaza kila mtu. Hiyo ni mara baada ya mimi kuomba msamaha. Alisema mwanangu dunia ni duara binafsi nimekusamehe ila nasisitiza ndoa hapa haipo”.


“Ujue kuna siri nzito ambayo nilitaka nikuambie mara baada ya wewe kunisimulia historia yako ya amisha siku ile ulipokuja hapa kwangu. Kwa kifupi wewe ni mtoto wa Jenifa ambaye alikuwa ni rafiki yangu”.Hapo nilishtuka kidogo kwa maana Jenifa ndilo likuwa jina la mama yangu.


“Jenifa alikwua ni rafiki yangu sana na wewe ulipatikana mgodini. Kipindi hicho tunafanya kazi huko migodini kama mama ntilie. Kwa bahati mbaya kuna wamnaume ambaye alikuwa na pesa sana alitokea kutuchanganya. Yaani alikuwa akitembea na mimi na pia akitembea na mama yako kwa wakati mmoja.Huyo wamaune ndo ilikuwa chanzo cha mimi na mama yako kugombana. Mwisho wa siku mama yako alikubali kuniachia huyo mwanaume na yeye aliondoka na kwenda huko Mahenge kuanza maisha yake”.


Kila mtu alaikuwa kimya kumsikiliza mama huyo ambaye alikuwa akionge kwa hisia sana. “Mama yako aliondoka akiwa na mimba yako na mimi pia niliondoka nikiwa na mimba ya huyu Mudrick.Sasa kidume kilichotupa mimba ndo huyo hapa”.Hapo alisema huku akimnyooshea kidole mme wake.


“Kwa hiyo wewe na Modrick ni mtu na dada yake”. Hapo nilishindwa kwa kweli nilihisi radi ya masikio ilipiga na kupasua ngome ya masikio yangu na nilijikuta nikianguka na kuzimia.Nilikuja kushtuka nikajikuta nipo hospitali nimetundkiwa dripu za maji. Sikuamini kama kweli ndoa ya mtu ambaye nimempenda sana imeingia mdudu.Niliwaza kuhusu hiyo mimba yangu kwa kweli sikuwa na jibu la kufanya.


Kulikwua na taarifa pia za huzuni kuwa baba na yeye baada ya tukio hilo ambalo lilkuwa na aibu alikunywa sumu na kujiua. Ilikuwa inauma sana maaana kama unakumbuka mimi na baba tulishawahi kufanya mapenzi siku ile ambayo alinisaidia kuiba zile pesa.


Sasa nilianza kuvuta kumbukumbu kuwa ndo maana ile picha ya Bambucha ambayo baba huyo aliichora alikuwa akiifanana na mimi.Kumbe msichana wa ndoto zake alikuwa ni mama yangu. Niliumia sanana na sikutaka hata kukumbuka yaliyotokea.Kwenye msiba kila mtu alikuwa akilia lakini mimi nililia zaidi maana nilimpoteza baba.Tuliombolezwa na baadaye mzee yule tulimwihifadhi kwenye nyumba yake ya milele.


Mpaka nafika kwa Eliado nilikuwa nimeshachanganyikiwa nisije kuwa nifanyaje yaani hiyo mimba niilee au niitoe. Niolewe na kaka yangu au la. Nipo kwa Eliado mshauri najaribu kumsikiliza kwa umakini naamini nitafikia muafaka.Nataka kupona kiroho na kiakili.


Nipo njiapanda na ndo maana niliomba fursa hii ili na nyinyi wafuatiliaji wa story muweze kunishauri..Pia nimeamini dunia ni duara na inazunguka.Hili ni funzo kwa wanaume wanaowachanganya mabinti na kuwaapa mimba bila mpangilio. Jamani kama mwanaume una watoto hata wan je ya ndoa basi watafute maana mwisho wa siku ndo kama haya watoto wanakuja kuona.


Nawashukuru sana naamini kuna vitu mmejifunza kuhusu maisha ya Bambucha.Naombeni ushauri wenu nimekwama mwenzenu.Mudrick na yeye amechangnyikiwa yupo yupo tu kama zuzu hasijue wapi pa kushika. Naamini mwisho wa simulizi hii utatokana na ushauri wa wasomaji na aliyenipa nafasi hii yaani Eliado.


Niwatakie tafakari njema ya jambo hili,Mungu awabariki na kuwalinda.Kweli maisha safari.Nimebaki kama kunguru niliyekimbiza bawa langu na sasa limenidondosha bila kupenda. Mungu nisamehe kwa yote,nifanye kiumbe kipya niendelee kuishi nisijikatili uhai kama baba yangu.


Kalamu inagoma siwezi kuandika tena karatasi imejaa machozi sina mbele sina nyuma.Sioni pa kushika, jua la saa sita limenichoma utosini, mishale yenye sumu yote kwa pamoja imejeruhi nafsi yangu.Sijui mimi nitakuwa mgeni wa nani hakiyanani niombeeni kwa Mungu nipone na kupata faraja ya moyo.

CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

"SIJAKATA TAMAA NAAMINI YUPO MUNGU MSEMAJI WA MWISHO"

Eliado "The Philosopher"


*********MWISHO********



Post a Comment

0 Comments