Kipanta akampigia simu Matrida ambae alipokea mala moja, na kumweleza kula kitu, “sasa baby tutafanyaje maana mimi sina ata ela, na Rose ameenda shambani” alisema Matrida ambae baada ya kujadili kwa muda mfupi, akapata wazo la kuomba msaada kwa Joyce, “ngoja niongee na Joyce akuazime, ila ukitoka tuna enda kulala wote, usimwambie Rose” alisema Matrida na kukubariana na bwana Kipanta.
Lakini ukweli msaada walio utegemea aukupatikana kwa Joyce, ambae alisema kuwa akuwa na fedha kwa wakati huo, lakini Joyce akuishia hapo, akampigia simu Stellah, “dada huu ndio wakati wa kumchukuwa mumeo” alianza kuongea Joyce ambasiyo kwamba akuwa na fedha waliyoomba wakina Kipanta, ila alifanyahivyo ili kumpa nafasi mwana dada Stellah, kumrudisha mume wake nyumbani kwa kumwonyesha upendo wa hali ya juu, asa wa kumtoa polisi. *******
Siku hiyo ni kweli Rose alienda shambani kwake, ambako alimkuta Pross anaendelea na shuguli zake za shamba, ukweli siku ile Rose alionekana kuwa mwenye sura ya upole iliyo jawa na mawazo mengi sana, akionekana wazi kuwa alikuwa anamawazo mazito, “ulimaliza kulima pale nilipo kuambia?” aliuliza Rose mala baada ya kusalimiwa na Pross, huku akielekea kwenye ile sehemu ambayo Pross alikuwa analima mazao yake, ya mihogo na mboga mboga, “bado” alijibu Pross, ambae alitegemea maswali na lawama zaidi, “bado” alisema Rose akiigiza maneno ya Pross, huku akibana pua, “unakiburi sana wekijana, unazani zani fedha unazolipwa zinaokotwa, sijuwi ata huyu babu alikuokota wapi” alisema Rose kwa sauti iliyo jaa hasira, na pasipo kumpa nafasi Pross akaendelea, nasema hivi kama, nikija tena nikute umesha lima hapa pote” alisema Rose, na hapo Pross aka wai kuongea, “samahani boss, kweli mimi sielewi jinsi mambo yanavyo enda” alisema Pross, na kumfanya Rose ashtuke kidogo, “kwahiyo unaona unaonewa siyo?, basi acha kazi nenda zako” alisema Rose ambae alionekana wazi leo ayupo vizuri, asa kimawazo, “Boss, ata hivyo umeniwai tu, nilitaka nikuambie kuwa lengo lango nimalize huu mwezi, ili niondoke zangu” hapo Rose akasimama kabisa na kumtazama Pross, ambae aliona kama vile leo amejawa na kiburi, yani tofauti na siku zote ambapo akimweleza jambo, uitikia kwa heshima, “haaa! kuna mtu anakudanganya siyo, unazani kuna mtu ata kulipa laki moja kwa mwezi, we shauli yako, na utaondoka, tena ukitaka ata sasa hivi, we ondoka tu, nitakulipa mshahara wa mwezi mzima” alisema Rose kwa sauti kari iliyo jaa hasira, na kumfanya Pross ashangae, “lakini moja, nani amesema mnanilipa laki moja kwa mwezi, wakati toka mmechukuwa ilishamba hamja nilipa ata shilingi, tena ni elfu hamsini, alafu unasema laki itoke wapi, mnachukuwa mihogo viazi, na mikaa yangi kila siku amnilipipi ata seti tano, alafu una sema eti nalipwa laki moja, kwa mwezi, unazani mimi ni mjinga mpaka nidanganywe ndio niondoke hapa, mimi nacho taka unilipe ela yangu, kisha nisepe zangu, siwezi kufanya kazi yabule na masimango juu” alisema Pross safari hii kwa sauti ya juu, kama vile walikuwa wanabishana, Rose akaduwaa, “usiniambie huo ujinga, unataka kunifanya mimi mjinga, kwahiyo babu akulipi mshahara?” aliuliza Rose akionyesha wazi anahisi kuwa Pross anadananya, “na yeye anasema wewe ndie mwenyeshamba ndio utanilipa” alisema Pross, nakuzidi kumshangaza Rose, ambae alionekana kufahamu kivingine kabisa, “mimi aliniambia anakulipa laki moja kwa mwezi, na kwamba hii mihogo na viazi nivyakwangu, ata mikaa aunayo choma, ni yeye anakuagiza” alisema Rose ambae nikama aliingia simanzi ya ghafla, asa Pross alipo mweleza kuwa ukweli amaishi maisha ya tabi sana, yeye nafamilia yake, ambayo inaishi kwa kutegemea mshahara wake, “kwahiyo sikuzote ulizokuwa unatupatia mkaa mihogo, nikama nilikuwa na kudhurumu, na akati ata mshahara wako sikupi?” aliuliza Rose akionekana kuingiwa na huruma ya ghafla juu ya kijana Pross, “ndio tena juzi nilipiga simu kwa mzee, nikamweleza akasema wewe ndio unakuja na fedha zangu” alisema Pross, hapo Rose akatulia kidogo, kama anawaza jambo, kisha akasema, “mimi naenda kumwuliza huyu babu kwanini ananidanganya kama mtoto, ila kama unanidanganya we kijana, sijuwi nitakufanya nini” alisema Rose ambae akupata hamu ya kuelndelea kukaa eneo lile, akaingia kwenye gari na kuondoka zake, akipanga aende moja kwa moja kituo cha polisi, kumsimanga Kipanta, kama kweli ajamlipa kijana wawatu fedha zake, na kwanini alimdanya kuwa yale madhao ni yakwake.********
Wakati huo mambo yalikuwa hivi, Stellah alipopigiwa simu nakuelezwa juu ya mume wake kuwepo kituo cha polisi, na zinatakiwa laki mbili na hamsini kumtoa, mama huyu alifurahi sana, akijuwa kuwa mkesha wa sikukuu ya Chrissmass ata jiachia na mume wake, hivyo, alichukuwa fedha haraka na kuondoka kuelekea polisi, akukuwa na wakumuaga pale nyumbani, sababu watoto wake walielekea bagamoyo, na kukundi cha vijana wenzao wakanisani, kwenye sherehe za siku kuu ya Chrissmas, kituo cha kwanza alisimama kwenye duka la vinywaji vya jumla, akanunua wine chupa nne, kwaajili ya kushrehekea na mume wake, kisha akaendelea na safari.
Akiwa mwenye imani kuwa leo anaenda kumchukuwa mume wake, Stellah aliendesha gari mpaka kituo cha polisi Kiluvya, ambapo alifika na kumkuta mume wake akiwa chini ya ulinzi wa polisi, moyo wa Stellah, ulichanua kwa furaha, akiamini mkesha huu wa Chrissmass, atajiachia na mume wake nyumbani, japo aliona huruma sana kwa hali aliyo kuwa nayo mume wake.
Baada ya kumaliza taratibu za kulipia zile fedha mume wake akaitwa na kukabidhiwa vitu vyake pamoja na simu yake, hapo ndipo mambo yalipo haribika, maana ile kutoka tu nje ya kituo cha polisi, “shikamoo mume wangu, pole kwa matatizo” alisalimia Stellah kwa heshima na tahadhima, huku akipiga nusu goti, lakini uwezi amini, bwana Kipantya alipiga kimya, zaidi ya hapo alitoa simu yake na kupiga namba flani………
Huku mke wake akiwa amesimama pembeni anamsubiria mume wake, amalize kuongea na simu, sekunde chache baadae, Kipanta akaanza kuongea na simu, huku mke wake akiwa asikii upande wapili, “hupo wapi….... ok! fanya hivi, chukuwa taxi, alafu nifwate hapa Kiluvya polisi” alisema Kipanta na kuwa amemaliza maongezi, na kukata simu, kisha akamyazama mke wake, kama vile anamshangaa, “weunasubiri nini hapa?” aliuliza Kipanta kwa mshangao, ungesema ndio, kwanza anamwona, kwanza Stellah akatazama kushoto na kulia, kama kulikuwa na mtu anawatazama, akaona kila mmoja yupo busy, hapo akamtazama mume wake kwa macho ya upole na huruma, “nakusubiri mume wangu nikupeleke nyumbani ukaoge” alijibu Stellah kwa sauti ya upole, hapo Stellah ikaiona sura ya mume wake ikibadirika na kukunjika kwa hasira, “we! nenda nyumbani” alisema Kipanta kisha akatulia, akitazama upande mwingine, “samahani mume wangu, naomba twende nyumbani kwanza ukapumzike, alafu baadae utaenda kuchukuwa gari” alisema Stellah kwa sauti ya upole iliyo jaa nidhamu ya hali ya juu, huku akimtazama mume wake kwa macho ya huruma, “hivi unajuwa kama aya yote ulisababisha wewe mwenyewe, umme nisababishia matatizo makubwa, mpaka nime lala mahabusu, alafu una nikorofisha tena, unataka nikutandike makofi, nirudishwe tena mahabusu” alisema Kipanta kwa hasira, hapo Stellah akuwa na lakujibu, zaidi ya kujishika mikono na kuchezea vidole vyake, akibakia ana mtazama mume wake kwa macho ya huruma, akitegemea kuwa mume wake ange badiri mawazo.
Lakini akikuwa hivyo zilipita dakika kumi, wakiwa nje ya kituo cha polisi, Stellah akitamani kumweleza mume wake kubwa ana omba waende nyumbani, lakini akuweza, maana aliona wazi kuwa mume wake amejawa na hasira, hivyo kumweleza jambo lolote ni sawa na kumchokoza, ikabidi abakie kimtazama mume wake, adi lilipo ingia gari aina ya Toyota Spacio, jeupe, lenye mistari wa kijani, lenye vioo vyagiza, vilivyo zuwia kuonekana kwa watu wandani, ambalo lilisimama karibu yao, huku Kipanta akitabasamu, ikionyesha kuwa alisha tambuwa kuwa, ni gari ambalo limembeba mtu alie toka kuongea nae na simu, kioo cha upande wa dereva kikashushwa, akaonekana dereva wa lile gari, “samahani mzee, unaitwa” alisema yule dereva, na hapo Kipanta akalisogelea gari na kuchungulia ndani, alafu akatabasamu, huku anafungua mlango, wa habiria wambele, “kummbe una mambo ya kizungu” alisikika Kipanta, huku akiingia kwenye gari, “nime wai asije kukuchukuwa mtu wako” Stellah aliweza kusikia sauti ya kike, ikitokea ndani ya gari, ikidindikizwa na vkicheko laini vya kivivu toka kwa mume wake na huyo mschana alieko ndani ya gari, ambae aikuwa lahisi kumwona kutokana na vioo hivi vya giza (tinted) ukweli moyo wa Stellah ulishtuka, na kushikwa na uchungu mkubwa, macho yake yali shindwa kuzuwia machozi, yaliyo tililika taratibu, na kulowesha mashavu yake, akasimama akilitazama gari lile aina ya spacio, likiondoka eneo lile la polisi, na kutokomea barabara kuu iendayo morogoro, lenyewe likielekea kibamba, yani upande wa Dar es salaam.
Stella alisimama kwa dakika kadhaa kama mtu alie gandishwa na barafu, mpaka alipo rudiwa na hakiri yake kuwa yupo kituo cha polisi, na alie mfwata ameshaondoka, ndipo yeye aka ingia kwenye gari lake na kuondoka kuelekea nyumbani kwake, njiani akitokwa machozi kwa uchungu mkubwa.*******
Kipanta yeye alipo toka pale kituo cha polisi, pamoja na Matrida, wakitumia lile gari la kukodi, walienda moja kwa moja mpaka Kibamba wilayani, ambako Kipanta alienda kwenye ATM machine akatoa million moja pasipo kujuwa kuwa zinapotoka azirudi tena, kisha akarudi kwenye gari na kuelekea nyumbani kwa Matrida, ambako awa kukaa sana wakaondoka na lile taxi, wakaelekea mbezi, kwenye makuti bar ynte guest house, huku wakiongea ili na lile, pamoja na kupania kuifaidi chrissmas wao wawili, pia Matrida alikuwa akimpondea sana, Rose kwa kitendo chake cha kuto kupokea simu ya Kipanta, wala kwenda kumsaidia kutoka jela.*******
Rosemary akiwa na hasira kali sana, ya kudanganywa na Kipanta juu ya malipo mazao ya kijana Pross, alienda moja kwa moja mpaka Kituo cha polisi, ambako aliambiwa kuwa mahabusu anae muulizia, amesha tolewa na mke wake, na wamesha ondoka, inamaana polisi huyu akujuwa kilicho endelea bada ya wanandoa wale kutoka nje, ukweli Rose alijikuta kama kuna kitu mfano wa wivu ukimchoma moyoni mwake, “mshnzi anajifanya kumfwata huyu kahaba wake wakiume, sasa leo hii anakuja kwangu” alisema Rose kwa hasira, Rose uku anaondoka pale kituoni, na kuelekea nyumbani kwake, akipanga kumpigia Kipanta mala atakapofika nyumbani kwake.
Nikweli alifanya hivyo, mala tu baada yakifika nyumbani kwake na kuegesha gari lake pembeni ya gari la bwana Kipanta, Toyota ist, aka akaingia ndani na kuanza kupiga simu kwa Kipanta, ukweli ni kwamba simu aikupokelewa, alirudia zaidi ya mala tano lakini aikupokelewa, na alipojaribu mala ya sita, simu ilikuwa imesha zimwa, “huyu mshenzi nikizubaa ata niponyoka wakati bado sijamaliza kazi yangu” aliwaza Rose mschana mrembo, huku ana isaka namba ya rafiki yake Joyce, alipoipata akaipiga, hii akuchelewa, ikapokelewa, “hallow Rose, niambie” alisikika Joyce mala baada ya kupokea simu, “hupo wapi Joy” aliuliza Rose, kwa sauti ambayo ilionyesha wazi kuwa anakitu kinachoitaji msaada wa haraka, “nipo nyumbani vipi kuna inshu?” aliuliza Joyce ambae kiukweli ni kwamba, alihisihisi kuwa ni swala la lile lile la mume wake, ambae yeye mwenyewe, alimstua mama huyu akamchukuwe mume wake kule kituoni, “babu anataka kuniponyoka, ebu fanya haraka njoo tupange vita” alisema Rose, na wakakubaliana na Joyce aende kwa Rose, na baada ya kukata simu Rose akapiga simu kwa Matrida, na simu iliita mpaka inakatika bila kupokelewa, “unafanya nini Mat, bwana ebu pokea simu” alijisemea Rosehuku anarudia tena kupiga simu.********
Ukweli nikwamba Matirida aliiona simu ilipokuwa ina ita, alishindwa kuipokea, siyo kwa sababu alikuwa amekaa kwenyemeza moja na Kipanta wana kunywa pombe, hapana, sababu moyo wake ulishtuka baada ya kuona ni Rose ndie anapiga simu, “baby Rose huyooo anapiga simu” alisema Matrida alie kuwa amekaa karibu kabisa na Kipanta wanafanyiana michezo ya kimahaba, “achana nae ata tuvurugia starehe zetu” alisema Kipanta, huku anaendelea kumfanyia michezo ya kimahaba mschana huyu, ambae sikunyingi alisha tamani kumla kitumbua, na keo amesha pata nafasi, hiyo hadhimu.
Matirda aliitazama simu mpaka ilipokatika “acha niizime, kuepuka usumbufu” alisema Matirida huku anaichukuwa simu mezani, na ile anataka kuitoa lock, na ndio wakati Rose anapiga kwa mala ya pili, hivyo Matrida akajikuta anaipokea simu, hapo hapo aka mwonyesha Kipanta ishara ya kuwa akae kimya, “hallow my niambie” aliongea Matrida mala baada ya kuweka loud speeker, “hupo wapi Mat, mwenzio majanga huku” Kipanta na Matrida walimsikia Rose akiongea, wakatazamana kwa mshangao, “naenda kigamboni kusherehekea Chrissmas, kwani kuna nini tena My?” aliuliza Matirda akijifanya kushangaa, huku Kipanta akijizuwia kucheka, “mwenzangu babu si ametolewa na mke wake,hinavyo kuambia, nimeenda kituoni hayupo n anime ambiwa ametolewa na mke wake, nim mpigia amenizimia simu, hapa nataka niende nikamchomoe kwake” alisikika Rise, na hapo nusu Kipanta acheke kwa sauti, lakini aliwai kujiziba mdomo, “weeee! unasema kweli, yani ninge kuwepo tungeenda wote, yani sasa nipo manzese, naenda Kigamboni” alisema Matirda huku anang’ong’a, “namsubiri Joyce tunaenda nyumbani kwake kumchukuwa” alisema Rose, na hapo wakina Matrida wakajiziba midomo ili vicheko vya visisikike, “poa mwaya, utanipa status” alisema Matrida, na kukata simu, haraka, maana tayari Kipanta alianza kuachia kicheko cha wazi.******
Ukweli nikwamba mala baada ya kupigiwa simu na Rose, Joyce kabla ajaenda kwa Rose akampigia simu Stellah, ili ampe hongera, na kumweleza kuwa awe makini zaidi, “hallow hongera sana,” alisema Joyce mala baada ya simu kupokelewa, na Stellah, lakini Joyce sli temea kusikia sauti ya furaha akashangaa kusikia sauti ya upole na unyonge, “ndugu yangu we! najilahumu ata kwenda huko polisi, kwa mambo yaliyo nitokea” alisema Stellah, kwa sauti ya unyonge, “kwanini tena dada yangu?” aliuliza Joyce kwa mshangao, maana alichojuwa yeye nikwamba Kipanta atakuwa nyumbani kwake.
Hapo Stellah alimsimulia jinsi ilivyo kuwa ata maneno ya mwisho kabla awajaondoka , “nime kuwai asije kukuwai mtu wako” mpaka mwisho wa simulizi hii tayari Joyce alisha juwa kuna mchezo unaendelea baina ya Matrida na Kipanta, maana ukachia kuwa Matrida ndie aliejuwa mausiano ya Kipanta na Rose, pia alisha ona dalili za Matrida kumnyapia Kipanta, “dada usiwe na wasi wasi utasikia majibu muda siyo mrefu” alisema Joyce ambae alikuwa njiani kuelekea kwa Rose, ambae anakaa mtaa wapili toka kwake, tofauti nikwamba Rose alikuwa anaka kwake……
amba Rose alikuwa anakaa kwake…… endelea…….…..
Na Joyce yeye alikuwa anaishi kwenyumba ya kupanga, “inamaana Matrida amemuwai babu, ata aibu hana?” aliwaza Joyce huku ana ana endelea kutembea haraka kuelekea kwa Rose, hapana sito kubari mpaka kieleweke, awawezi kumfanyia hivi mzee wawatu” aliwaza Joyce akiendelea kutembea.*******
Lakini taalifa ile ukweli ilizidisha machungu kwa mwana mama Stellah, ambae alichukuwa chupa moja ya wine na kuiingia nayo chumbani kwake, kisha akapembua nguo zake zote, na kusimama mbele ya kioo chake, akajitazama kwa muda mrefu akitumia kama dakika tano nzima, huku machozi yaki mtililika, “mbona sina kasolo yoyote, au amenichoka tu!” alijiuliza Stellah, ambae loho ilikuwa ima muuma sana, “najuwa akiishiwa ata rusi, lakini kwanini ananifanyia hivi?” aliendeleea kuwaza Stellah, ambae sasa alifungua chupa yake ya wine na kuanza kuigugumia taratibu, “mwezi wa sita sasa ajanigusa, utazani mimi nidada yake” aliwaza Stellah, ambaealikumbuka mambo yote aliyo yafanya mbele ya Kipanta kumwonyesha kuwa anampenda.
Nusu saa baadae stela akiwa bado chumbani kwake bado kama alivyo zaliwa, pombe ilicha anza kumchukuwa, nyumba aliiona chungu, akapna bola atoke kidogo akatembee, hivyo aka vaa ki tait flani chepesina kitop , alafu akajifunga kitenge, akachukuwa fedha kidogo, na chupa zake za wine, akaingia kwenye gari lake, na kutokomea kusiko julikana.******
Kumbe wakati Stella anatoka nyumbani, mume wake alikuwa anaendelea kula bata na Matrida, rafiki wa kimada wake, akujuwa watoto wapo wapi na wanaishije, akutaka kujuwa habari za rose, alie mwacha anaozea mahabusu ya polisi, “mpenzi kula maisha, usiwe na wasi wasi, wala usimwazie mtu yoyote” aliema Kipanta alie kuwa ameanza kulewa, “yani babay mi nakushangaa, ujuwe Rose ata akupendi, maana awezi kukuacha unatesema Jela, alafu yeye ana kula laha” alisema Matrida na kwa sauti ya kudeka huku wakifanyiana michezo ya kimahaba.*******
Wakati huo huo, wakina Joyce na Rose ndio walikuwa wanaingia nyumbani kwa Stellah, ambako awakuona dalili ya uwepo wa mtu ndani yake, ata walipo uliza kwa majilani, wakaambiwa kuwa mwenyenyumba ametoka muda mfupi uliopita, na watoto wake awapo tok siku iliyopita, “vipi kuhusu mume wake, ametoka nae” aliuliza Rose, “mume wake anamuda mrefu ajaonekana. “wengine wanasema amesafiri kibiashara, ila wengine wanasema anaonekana mtaani akiwa na waschana wa hovyo hovyo” alisema mmoja wa majilani, na kumfanya Rose apatwe na kitu kama aibu hivi, “aya asante, wacha sie tuende” alisema Joyce ambae alikuwa anafahamu kila kitu juu ya sehemu alipo bwana Kipanta.
Wawili awa waliondoka zao na walipo fika mita kama mia moja, toka nyumbani kwa Stellah, hapo Rose akasimamisha gari, “hivi Joy, unajuwa kuna kitu sikielewi, kama babu ayupo na mke wake ata kuwa wapi, na kwanini hapokei sumu yangu?” aliuliza Rose, na hapo Joyce aka tabasamu kidogo, kiisha akamtazama Rose, “unzani ata kuwa na mwanamke mwingine?” aliuliza Joyce, “nazani atakuwa na mwanamke mwingine tena, ameamua kufanya hivyo sababu nilikataa kupokea simu yake” alisema Rose, na hapo Joyce akacheka kicheko chamguno, “ebu sikia, naomba upige simu kwa Matrida mwulize yupo wapi na umwambie kuwa na sisi tupo karibu na hapo, tuna itaji kuungana nae, alafu msikilize anachosema” alisema Joyce, “unamaana gani, yeye ndie anae mchukuwa babu?” aliuliza Rose kwa jazba, “hapana mimi nime kuambia hivyo we fanya hivyo alafu tutajuwa, maana yeye ni mmoja wawatu ambao walinipigia simu kuwa babu anaitaji ela za kutokea jela” alisema Joyce ambae alipania kuhakikisha wawili awa wanamwachia mzee Kipanta arudi kwa mkewake, “ebu ngoja kwanza” alisema Rose huku anapiga simu, kwa Matrida akiwa ameweka loud speeker ili na Joyce asikie maongezi yao, nayo ikaita, na akikuchelewa kupokelewa, “hallow, Rose vipi, mlifanikiwa kumpata shemeji?” aliuliza Matrida, kwa sauti iliyo ashilia kuwa amelewa na wapo bar, maana kuna kasauti flani ka music kalikuwa kana sikika kwa mbali, “nimeamua ni mache tu apumzike na mke wake, sasa wewe hupo wapi?” aliuliza Rose, huku ana mtazama Joyce, “si nilikuambia kuwa naenda kigamboni, nipo hapa kwenye kivuko naelekea kigamboni” alisema Matrida, wakati Rose alikuwa anasikia sauti na kelele za watu, zikiashilia kuwa yupo bar, “hooo kumbe umechelewa sana, nipo na Joy ndio tunaingia kivukoni, tusubiri ng’ambo, tuna kukuta hapo” alisema Rose na akijaribu kuonyesha kuwa katika hali ya kawaida, “haaaa! hallow, hallow unasema?” aliuliza Matrida, kama vile akuwa anamsikia vizuri, “Hallow Matt, nasema…..” hapo hapo simu ilikatika, “unaona huyu mshnzi alivyo amekata simu, eti anasema yupo kivukoni, wakati yupo bar” alisema Rose huku anapiga tena simu kwa Matrida, ambayo sasa ilisema aipatikani, “si unaona Joy, nilweli huyu mshenzi anatoka babu, kwani ulikuwa unalijuwa hili toka lini?” aliuliza Rose kwa sauti ya mshangao na hasira, “sijasema wanatoka, ila nilisema nahisi, sababu yeye ndie alie kuwa anatafuta fedha ya kumtoababu.*******
Naam ebu turudi shambani kwa rose, ambako kuna lindwa na kijana Prosper, ambae leo alikuwa ametulia pemmbezoni mwa barabara, anasimamia biashara ya mkaa, ambao sasa alikuwa amebakiza roba mbili tu, mala akaliona gari moja dogo, aina ya Toyota Vits lililo chakaa kweli kweli, likipita na kwenda kusimama mbele kidogo, kisha lika rudi nyuma nyuma mpaka usawa wake, yeye akajuwa kuwa ata kuwa ni mteja wa mkaa, lakini dereva wa gari ili aliliehegesha gari la kushuka toka kwenye gari, hapo ndipo Pross alipo shuhudia kitu ambacho alisha anza kukisahau, huku alikuwa ni mwana mama Stellah ambae alikuwa………
Anatembea taratibu kuja pale alipokuwepo Pross, huku anamtazama, kwamacho yaliyo jaa tabasamu, “huyu mama nimzuri” aliwaza Pross, huku nae anatabasamu, “karibu mama” alisema Pross huku anatabasamu, “asante mwanangu, kumbe umenikumbuka?” alisema Stellah huku ameachia tabasamu pana usoni mwake, tabasamu ambalo lilimfanya Pross, ajihisi kama amepewa na safasi flani yapekee na yule mama, akionyesha kumchukilia kama vile kijana wake, au mtu wakaribu, “nakukumbuka mama, shikamoo” alisalimia Pross, wakati mke wa bwana Kipanta akiwa amesha mfikia, na kusimama karibu na viroba vya mkaa, “marahaba mwanangu, naona unachakalika na biashara” alisema Stella, huku anainama kidogo, na kugusa gusa kidogo, moja ya roba la mkaa, huku msambwanda wake, akiuacha unaonekana vyema kwa nyuma, na kumfanya Prosper ashindwe kujizuwia kuyatazama makalio ya mama wa mwenzake, “ndio mama siunajuwa tena kesho siku kuu, nataka niwapelekee nyumbani ela ya mboga” alisema Pross, huku akijichekesha kidogo, “ok! aya maroba mimi nita chukuwa, utanifanyia bei gani?” aliuliza Stellah, huku ana mtazama Pross na tabasamu ameliachia, hapo kidogo ilimpa wakati mgumu Pross, ambae alianza kwa kucheka cheka, “uwa nauza elfu nane moja, lakini wewe nipe elfu kumi na mbili kwa yote miwili” kauri hiyo ya Pross, ilimfanya Stellah, acheke kwanza, “heee jamani mwanangu, sasa unapunguza hivyo, utawatumia nini nyumbani?” aliuliza stellah, kwa sauti flani ambayo wamama wengi, utumia kuongea na watoto wadogo, “itawatosha tu! si elfu kumi na mbili” alisema Pross huku anacheka cheka, “aya kwakuwa unawapelekea nyumbani basi nitawatumia moka kwa moja elfu ishilini, nawawekea ya kutolea, lakini utanitungulia na nazi” alisema Stellah, na hapo wakakubaliana hiwe hivyo.
Hivyo mala moja wakapakiza mkaa kwenye gari, la Stellah, na kisha wakaingia kwenyegari na kuelekea shambani, ambakjo nikama mita mia mbili tu! toka barabarani, wawkienda kutungua nazi kama Stellah alivyo sema.*********
Upande wapili mambo yalikuwa ni mshike mshike, maana baada ya kukatiwa simu na kuzimiwa kabisa, Rose akamshawishi Joyce waende nyumbani kwa Matrida, na sasa, walikuwa wanaingia, nyumbani kwa Matrida, karibu na high way ya zamani, ambako walikuta kimya kabisa, ata walipo liza kwa majilani, wakaambiwa kunwa, “huyu dada alie panga kwenye kile chumba, ametoka muda kidogo, nikama lisaa limepita, alikuja na gari la kukodi, aliongpozana na mzee mmoja hivi” alisema mmoja wa majilani wa Matrida, “huyo mzee yupoje?” aliuliza Rose, kwa sauti iliyo jaliwa na utulivu wa kulazimisha, maana aliona dalili za wazi kabisa, za kuwa Matrida yupo na bwana Kipanta, “mhhhh! ni mtu mzima hivi” alisema huyo, jilani, na kuanza kuelezea jinsi mwanaume aliekuwa na Matrida alivyo, maelezo ambayo yalimfanya Rose azidi kuamini kuwa mwanaume huyo, ni Kipanta, asa baada ya kusikia maelezo ya mwisho, “ alafu ni mzukuma yule mzee, rafudhi yake ni msikuma mtupu” alimaliza Jilani alie kuwa anaelezea jinsi mgeni wa Matrida alivyo, “unasema waliondoka na gari gani?” aliuliza Rosemary, kwa sauti ile ile ya utulivu wa kulazimisha, “walikuja na kitaxi, kwa mwonekano wao, watakuwa wameenda kamasiyo maili moja basi, watakuwa wameenda Mbezi” alisema yule jilani ambae ni kijana flani alie shindwa kujizuwia kuelekeza watu asio wajuwa, kutokana na kumkodolea macho mschana huyu, mrembo, “asante sana kaka yangu” alisema Rose kabla ya kuondoka zao, wakiwa na Toyota alphad.
“Unajuwa nini Joyce?, huyu Matrida tamaha ita mponza, kweli kabisa na kwambia, yeye ajuwi mimi nafanya hivi kwanini” alisema Ros, akonyesha kuchukizwa “lakini bado uja thibitisha, kuwa yupo na babu” alisema Joyce, kwa sauti yenye uzito mkubwa wa busara, “kwanini anatuficha, huyo mtu alie nae, alafu Joy, siyo kwamba mimi nina mzuwia kuwa na Kipanta, mwenzie nimesha sahau mala ya mwisho yeye kuugusa uchi wangu, “alisema Rose kwa hasira, na hapo Joyce akatamani kucheka kwanguvu, lakini akajizuwia, maana aliona ni kama maneno ya mkosaji, “lakini pia kama faida umesha pata, we achana nae tu! asije aka kufia” alisema Joyce, nikama alikuwa anataka kumchota hakili, rafiki yake, “kumwacha hiyo ndio aiwezekani, yani mpaka nihakikishe nime maliza el azote, sababu najuwa yule mke wake na watoto wake awato angaika, wata saidiwa na mama yao, lakini yeye ata zalilika” alisema kwa sauti iliyo jaa hasira, huku anaendesha gari, na sasa walikuwa wanaikamata barabara ya morogoro, na kuelekea upande wa maili moja, ndiko alikoamua kuanza nako, “kwanini sasa da rose, uoni kama unafanya kitu kibaya, maana mtu amekufungulia salon, amekujengea nyumba amekununulia shamba, kwanini unataka umfilisi?” aliuliza Joyce ambae sasa alianza kuona salili za wazi kuwa anacho sema Rose ni cha kweli, na amedhamilia, “kama unataka kujuwa ni kwanini, nitakusimulia mwisho wa mchezo” alisema Rose, akionyesha kuto taka yale maongezi yaendelee, hapo kikapita kimya, huku safari hikiendelea gari likiyoyoma kuelekea kibaha maili moja.*******
Naam baada ya kufika shambani, pamoja Stellah kutuma fedha kwa mama Pross, pia walifanya mambo mengi sana kule shambani, ikiwa na kuvuna nazi chache na mazao na matunda, kwaajili ya Stellah kuondokanayo, huku wanaongea mengi sana, muda wote Stellah alikuwa anakunywa wine yake taratibu, na mwisho wa siku wakajikuta wame kaa chini ya mwembe, Stellah amekaa kwenye mkeka, anaendelea kunywa wine yake, Pross amekaa kwenye kibenchi kidogo, pembeni chini kidogo pale chini ya mwembe, palikuwa na jiko la kuni, ambalo lilikuwa limebandi kwa sufuria lenye kambale wakavu, “Pross ulisha wai kutumia hii” aliuliza Stellah huku anamwonyesha Pross ile chupa ya wine, “hapana sijawai kutumia” alijibu Pross, huku anacheka cheka, “lakini hii ni tamu, unaweza kujaribu kidogo, kalete kikombe nikuwekee kidogo” alisema Stellah, Pross akainuka na kwenda kuchukuwa kikombe huku anacheka cheka, “nisije kulewa mpaka nika zima kabisa” alisema Pross, na kumfanya Stellah acheke kidogo, “wanaume unaogopa kitu kidogo ambacho kipo kwenye chupa” alitania mama huyu ambae nazani alicho kifanya mida hii, ni kwa mwongozo wa pombe.
Pross aliingia ndani na kutoka na kikombe, kisha akamkabidhi stellah alie kuwa amekaa kwenye mkeka chini ya mwembe, “hivi Pross, sikuile mama yako aliniambia kuwa ni wewe ndie unae saidia familia, kwani baba yako yupo wapi?” aliuliza stellah huku anamimina wine kwenye kikombe, hapo Pross aliinamisha kichwa chini kwa uzuni kubwa, sababu ni mwaka wa tatu sasa ajamwona baba yake, wala kusikia habari zake……………
Kikapita kimya kidogo, pasipo Prosper kuongea neno, ukimya huo ukamstua kidogo mwanamama Stellah, “vipi, ,bona unaonekana umenyongea ghafla, au baba alisha fariki?” aliuliza Stellah, huku anampatia Pross, kikambe kilicho jaa wine, “ukweli tujuwi, kama yupo hai, au amekufa, sababu ni mwaka watatu sasa, atujapata habari zake” alisema Pross kwa sauti ya upole na tulivu, na kuzidi kumfanya Stellah ahisi kuwa, kuwa nyuma ya maisha duni, aliyo yakuta pale kwa mama Pross, kuna “kwanini unasema hivyo?” aliuliza Stellah kwa sauti ya mshangao, iliyo jaa tahadhari, hapo Pross akaanza kumsimulia story nzima ya baba yake mzee Feruzi, kuanzia kipindilike alipo, ondoka anaenda kufawatilia mafao yake na kuamua kutoweka moja kwa moja, na yeye kumkuta kigamboni akiwa na wanawake anakunywa nao pombe.
Sulizi hiyo iliypenda sambasamba na unywaji wa wine, ambazo zilikuwa nyingi, zilizo andaliwa na Stellah kwaajili ya kunywa na mume ake mpendwa bwana Kipanta, ilionekana kumsisimua sana Stellah ambae alitulia na kusikiliza kwa umakini sana, pasipo kukijari kitenge chake kilicho jifungua na kuacha ile taiti aliyoivaa ndani ikionekana jinsi ilivyo shika mwiliwake asa sehemu hii ya paja nene la mwanamama huyu.********
Naam Rose na Joyce walienda mpaka kibaha, maili moja, ambako walizunguka kila kona kumsaka, Kipanta, ambae waliamini atakuwa na Matrida, lakini awakufanikiwa kumpata, ndipo walipoamua kusogea mbele zaidi, wakipita kila chochoro yenye gues au bar, walienda mpaka kongowe, bila mafanikio yoyote, na mwisho wakaonelea warudu tena, upande wakibamba, waanze kusaka bar za karibu, ikiwezekana wakavizie nyumbani wa Matrida, “yani Matrida mshenzi sana, anawezaje kutembea na mwanaume ambae rafiki yake amesha tembea nae” alilalamika Joyce muda wote, wakiwa njiani, wanarudi upande wa Kibamba, wakianzia kuwasaka, toka kiluvya kwa madukani mpaka gogoni, bila mafanikio yoyote, ndipo walipo kata shauri watafute sehemu ya kutulia karibu na nyumba ya Matirida wamvizie ataka porudi, ili waone kama ata kuja na Kipanta, hivyo waka tulia kwenye kigrocer flani na kuanza kuagiza bia, bahati nzuri wote ni wanywaji.*******
Stellah na Pross wakiwa wameshaanza kulewa, waliendelea na simulizi ya bwana Feruzi, iliyo chukuwa zaidi ya lisaa limoja, ili muuzunisha sana Stellah, ambae sasa kuna mambo alikuwa anayafanya bila kujuwa kuwa anamweka kijana wawatu katika wakati mgumu, maana wakati simulizi hii inaendelea, kuna wakati Stellah, aliomba Pross asimamishe kwanza simulizi, “mkojo umenibana ngoja nika upunguze kidogo” alisema Stellah huku anasimama toka kwenye mkeka, na kujifunga vizuri kitenge chake, huku Pross ana tazama jinsi mama huyu alivyo jaliwa, mapaja na maklio manene, kumbuka ndani alivaa kiji taiti, kilirefu licho ishia magotini, “choo kipo wapi?” aliuliza Stellah na kumwondoa Pross kwenye bumbuwazi, “nihicho kibanda hapo nyuma” alisema Pross, na hapo akamwona Stellah anaelekea huko alikomwonyesha, huku makalio manene ya mwana mama huyu yakitikisika kwa fujo,
Dakika kama tano baadae Stellah alirudi na simulizi ikaendelea, na baada ya nusu saa, stela akaomba tena simulizi isimamishwe tena, “jamani wanaume nyie mnatutesa, ebu subiri kwanza nika jisaidie” alisema Stellah, ambae safari hii aliinuka bila kuulizia chooni, na kuelekea huko, huku Pross akimsindikiza kwa macho, akishangaa jinsi msambwanda, ulivyo kuwa unafanya fujo, na ata alipo rudi na kukaa, pale kwenye mkeka, sasa akukaa kama alivyo kaa mwanzo, sasa alikuwa anajiachia kama yupo nyumbani kwake, kichwani Pross, alishangaa kitendo cha mama huyu, kumjumulisha, na wanaume wote, wakati yeye alijiona kuwa ni mtoto, ambae akuhusika na uovu wa baba yake.
Simulizi iliendelea, huku wakinywa wine yao, na kushushia kambale, na kila dakika zilivyoenda, ndivyo mama huyu, alivyo zidi kujiachia, na ilifikia wakati ata kile kitenge kili toka mwilini mwa mama huyu, na yeye akukijali kabisa, na baraha likaja wakati anaenda kujisaidia, “hiv huku kuna watu wana pitaga?” aliuliza Stellah huju anainuka toka kwenye mkeka, kile kitenge kikibakia mkekani, na kumpa nafasi Pross ya kutazama moja kwa moja jinsi mama huyu, alivyo umbika, “hapana yani huku inaweza kupita mwazi mzima, usione mtu anapita” alijibu Pross, ambae pombme ilisha mchukuwa kihasi chake, na ukizingatia kuwa ilikuwa ni mala yake ya kwanza, “afadhari, maana iki kitenge, naona kina nikela tu!” alisema Stellah ambae aliondoka bila kitenge, na kumpa Pross nafasi ya kuona makalio ambayo yalipambwa na ilea lama ya mlipo katiza pindo za chupi, kwa makadilio, kama inge kuwa inaweza kuganywa, zinge tokea chupi nne za wakina Pross, “mh! wakubwa wanafaidi” alisema Pross, akimini kuwa ameongea kwa sauti ya chini, ambayo Stellah, asinge iskia, lakini aiku hivyo, maana Stella, ambae safari hii akuingia chooni kukojoa, ila alikojoa kwenye upenu wa kibanda cha Pross, aliporudi na kukaa kwenye mkeka, akamtazama Pross kwa uso wa tabasamu, “umesema wakubwa nafaidi nini?” aliuliza Stellah, kwasauti flani ya kulegea, huku ana tabasamu……
endelea …..
Hapo macho ya kulegea ya huyu mama ambayo kwa haraka ungeshindwa kujuwa ni kwaajili ya pombe au kitugani, yalimfanya Pross ashindwe kumtazama Stellah usoni, na kutazama chini huku nafsi yake ikijisuta na kuhisi kuwa amesha haribu,”sija sema kitu” alisema Pross kwa sauti ya chini, iliyojaa aibu, “mhhhh! Pross, bwana nimekusikia kwa masikio yangu, unasema wakubwa wanafaidi, kwani mimi mzuri sana?” aliuliza Stellah, kwa sauti flani, ya kubembeleza iliyojaa utani mwingi, japo alifahamu kuwa utani kama huu siyo mzuri kwa kijana mdogo kama huyu, japo kwa mwonekano yari alisha kuwa na uwezo wa kula kitumbua.
Pross akaitikia kwa kikichwa kukubari, kuwa Stellah ni mzuri, hapo Stellah akacheka kidogo, “we Pross bwana, yani unaweza kuuona uzuri wa mwana mama mzee kama mimi?” alisema Stellah, japo akuwa na umei wa kujiita mzee, Pross nae akacheka kidogo, “lakini mzuri, kwani wewe ni mzee sana?” aliuliza Pross, ambae alionekana kugundua kuwa mama huyu, alikuwa ni mcheshi mbele yake, “ndio mimi mkubwa, siuliwaona watoto wangu, walivyo wakubwa, kwani wewe unamiaka mingapi?” aliuliza stellah, huku akimtazama Pross, ambae mala kwa mala alikuwa anatazama mipaja ya yule mama, ambayo sasa ilikuwa inanekana vizuri kabisa imeifadhiwa na Taght, “namiaka ishilini na mbili” alijibu Stella, huku akijiweka sawa, na kuzidi kukaa vizuri kwa upande wa awa wawili, lakini ni vibaya kwa jamii, sababu, aliikunja miguu, na kukaa kama amekunja nne, mfano wake, ni vile wanaume wanakaa, kwenye mkeka, wanapojiandaa kula au wanapokula chakula, na hivyo kusababisha, macho ya Pross, yaweze kuona mtuno wa kitumbua cha mama huyu, ambacho kilivimba kweli kweli, kama siyo ule mchoro wa kitumbua harisi wenye mapsuo kati kati, basi ungezeza kusema mama huyu alikuwa amevaa Pad, “mh! ilibakia miaka sita tu, tuwe nusu kwa nusu” alisema Stellah, na wakaendelea kuongea mawili matatu, kabla stellah aja badiri mazungumzo, “ok! ebu nimalizie story ya baba yako” alisema stellah, na hapo Pross akaendelea kusimulia mkasa wa baba yake, japo sasa mambo yalikuwa magumu kidogo, maana pombe ongeza kuona mapaja na kitumbua kile kikubwa kilichotuna, yalimfanya wakati mwingine Pross ajikuta anarudia rudia maneno, kitu ambacho ata Stellah alikiona, na mwanzo alijuwa kuwa ni pombe pekee ndiyo ambayo ilikuwa ina mchanganya kijana huyu.********
Naam masaa yalizidi kwenda, Kipanta na Matrida, wakiwa pale Nyumbani Lodge, waliendelea kunywa na kula kwa fujo, huku wakifanyiana michezo ya kimahaba, Kipanta mzee wakisukuma, akionekana kuzidi kupagawa mbele ya mschana huyu, waki Nyasa, “lakini Baby, unampendelea sana Rose, wakati akupendi sana, kama mimi” kuna wakati Matrida alimwambia Kipanta kwa sauti ya kudeka, huku akipenyeza mkono wake chini ya meza na kuulaza, juu ya dudu yam zee huyu, ambae kwa haraka ungesema ndio kwa nza anabalehe, “nampendelea nini, mshenzi yule, tena sitaki ata kusikia jina lake,” alisema Kipanta huku anausikilizia mkono wa Matirida, uliokuwa una minya minya dudu yake taratibu, “kwanini sasa, wakati ni mpenzi wako ume mnunulia shamba, nyumba na gari zuri” alisema Matrida kwa sauti ya kujidekeza, iliyo ashilia kukasirika, huku ana jiegemeza kifuani kwa Kipanta, na mkono wake wakushoto bado unapapasa shemu ya dudu, ambayo sasa ilisha tutumka, na kujivimbisha ndani ya suluari, “we! unawasi wasi gani, wakati fedha hipo?, tena ngoja nikuhamishie fedha kidogo, ya shoping” alisema Kipanta ambae kiukweli aliona wazi kuwa michezo anayo fanyiwa na Matrida, ni mitamu sana, kuliko anapokuwa Rose, muda wote ukaa, bila kugusana gusana, na ukizingatia pia, ana muda mrefu akuwai kula kitumbua cha mschana huyo, yani mpenzi wake Rose, kutokana na sababu mbali ambali ambazo uwa zinatolewa wakati mchezo unapoitajika kuanza.
Matrida aliweza kumwona Kipanta akitoa simu yake na kuanza kuibofya bofya, “si unaikumbuka account namba yako ya NMB,?” aliuliza bwana Kipanta, huku akiendelea kubofya bofya simu yake, “nisiikumbuke tena, wakati yakwangu” alisema Mtrida, huku akitabasamu, na kumng’ong’a Kipanta alie kuwa busy anabofya simu, “aya nitajie, namba yako” alisema Kipanta, “baby ebu niingize mwenyewe, maana unawea kukosea, alafu tukapata hasara” alisema Matrida huku anatoamkono wake kwenye dudu ya Kipanta, na kuchukuwa simu, kisha akaanza kuingiza namba account yake ya benk, alipomaliza akamrudishia mwenyewe, ambae alimalizia kwa kubofya ok! “aya tazama salio lako sasa” alisema Kipanta, “baby simu nime zima, siunajuwa yule mtu wako alivyo msumbufu” alisema Matrida huku ana rudisha mkono wake kwenye usawa wa dudu ya Kipanta, na kuendelea kuibinya binya, “yani ukiwa na shida yoyote we niambie tu!” alisema Kipanta, huku akijiweka vizuri ili Matirda aweze kuichezea dudu vizuri, huku wingu zito likionekana kutanda angani, likiashilia kuwa mvua itaanza kunywehs muda siyo mrefu.******
Wakati wakina Kipanta wanaendelea kula Bata, zao kule Nyumbani Lodge, Rosemmary na Joyce bado walikuwa kwenye ki grocer kimoja, hatua chache toka kwenye nyumba aliyo kuwa amepanga Matrida, muda wote wakiitazama nyumba hiyo, kuhakikisha wanamwona Matrida akiwa anarudi nyumbani hapo, na lengo ni kumtambua mwanaume alie kuwa nae, ambae waliamini kuwa ni bwana Kipanta, “yani huyu, mshenzi anaanza kunichezea hakiri” alisema Rose kwa sauti ambayo ilishaanza kujawa na hasira iliyo changanyika na ulevi, “lakini Rose we shida yako nini, mimi naona kama yule mzee anakuwekea kauzibe tu! kwanini usiachane nae ukaanza maisha yako, kama ni nyumba unayo, gari ili hapa zuri kabisa, shamba kubwaaaa, lina kungoja, sasa nini tena, zaidi ya kupakazwa shombo na kile kibabu, alafu mvua isije kutukutia hapa, naona kama wingu linatanda” alisema Joyce, huku wakiendelea kunywa pombe, Rose akatazama wingu, akaona kweli lilikuwa lina tanda, lakini hakujari, si wanagari bwana, “we! Joy nilisha kuambia kuwa ujuwi kitu, na mambo niliyo yajuwa leo huko shambani ndio yame nitia hasira kinyama, kumbe mshara wa yule kaka wa kule shambani, siyo laki moja kama alivyo niambia, ni elfu hamsini, na ajawai kumlipa ata siku moja” alisema Rose akionekana kuwa na uchungu wakweli, ata wewe ungeshangaa, kama alivyo shangaa Joyce, maana aliwao kuona jinsi Rose, alivyo kuwa ana mnyanyasa kijana wawatu, alafu leo aonekane kuumizwa na jambo ili, kabla Joyce ajaongea lolote, Rose akaendelea, “ebu ona, ile mihogo, mboga viazi, na mikaa, kumbe ni vya yule kijana, siyo vyangu, yule kijana uwa anaviuza kwaajili ya kuwatumia wazazi wake fedha” aliongea Rose kwa machungu ya hali ya juu, na hapo ndipo Joyce aliposhtuka na kuona kwanini Rose, amechukia juu ya swala la Pross, “inamaana tulikuwa tuna mzurumu kijana wawatu?” aliuliza Joyce kwa sauti ya mshangao, uliojawa na kila dalidali ya huruma kwa Prosper, “ndio maana yake, ebu fikilia sasa, huyu babu ni mtu wa aina gani, kama siyo shetani, na kama nikikusimulia aliyo yafanya huko nyuma, kwanza ungenishangaa kukubari kuwa na mshenzi kama huyu” alisema Rose kwa sauti iliyo jaa uchungu, “sasa kwanini ulimkubari?” aliuliza Joyce, kwa sauti ya mshangao, “ninamaana yangu hipo siku utajuwa tu!” alisema Rose, na mjadala ukaishia hapo, wakaendelea kunywa , huku wana subiria watu wao waje ili wawafumanie, awakujuwa kuwa wenzao leo wamehama nyumba, na kujifanya wageni kwenye nyumba ya wageni.*******
SOMA HAPA SABABU YA BIASHARA NYINGI KUFA
INAENDELEA
0 Comments