Licha ya kupata usumbufu mwingi toka kwa naume mbali mbali, asa wenye wenye fedha nyingi, wakiitaji penzi la mwalimu Stelah, au mwalimu wowo kama alivyo itwa na wanafunzi wasio na nidhamu, au vijana wa mtaani asa boda boda, lakini mwalimu Stelah akuwa tayari kumsaliti mpenzi wake Kipanta, ambae bahati ili mtembelea, na kuweza kwenda kusomea nyota, huko Monduli mkoani Arusha, na kupata nyota moja, ambayo alidumu nayo kwa mwaka mmoja, na kupata nyota ya pili, ambayo alidumu nayo kwa miaka mingi kidogo, na kupata nyita ya tatu, ambayo amstaafu nayo.
Kwakifupi maisha yao ya ndio kuna wakati yaliingia kwenye mogogolo mikubwa mikubwa iliyo sababishwa na bwana Kipanta mwenyewe, kama siyo wivu kwa mke wake, basi ni yeye mwenyewe kutoka nje ya ndoa, ikifikia hatua ya kuto kuchangia huduma muhimu kwa watoto, na kumwachia jukumu ilo mke wake, ambae alizidi kuvulia klo za mume wake, kama vile kuchelewa kurudi nyumbani, tena akirudi amlewa, na wakati mwingine kulala huko huko, kupigiwa simu au kutumiwa jumbe za mapenzi toka kwa wanawake wengine, kama aitoshi alisha mfumania mala kadhaa, akifanya mapenzi na waschana wao wakazi, kiasi cha mama huyu kuamua kuto leta mfanyakazi pale nyumbani.*******
Naam lakini licha hayo yote kutokea, wawili awa waliendelea kuwa katika ndoa, kuna wakati walijisuluhisha wenyewe na kuendelea na maisha yao, huku wakipeana mapenzi moto moto, lakini aikumaanisha kuwa Kipanta amebadirika, wanasemaga kichaa uwa akiponi, uwa kinatulia, tabia yake ili jiibuwa upya, baada ya kununua gari aina ya Toyota Vits, ambalo lilinunuliwa na mk wake, yani mwalimu Stellah, au Stelah wowo, ambae alichukuwa mkopo, kwaajili ya marekebisho ya nyumbao, na bwana Kipanta kumlubuni, wa nunue gari, akidai kuwa lita saidia kwa shughuri za pale nyumbani.
Lakini kwa tabia ya bwana Kipanta, ili mfanya Stellah, ajilahumu kukubari kununua gari ilo, ambalo lilitumika sana kwenye starehe kuliko shuguri muhimu za pale nyumbani, lilibeba sana vimada kuliko familia, huku liki pata hajari ndogo ndogo, za hapa na pale na kulifanya lichoke haraka sana, ukweli siyo kwamba Stellah akujuwa matendo ya mume wake, aliyajuwa sana, ndiyo matendo yaliyo pelekea mama huyu, mwenye umbo la kuvutia, aanze kijiliwaza kwa kunywa wine, kila alipoona yame mzidia, maana alikuwa anajifungia ndani mwake, na kujiwekea music, huku anapata wine, ambayo ndiyo ilikuwa mkombozi wake.
Kituko ni mwaka mmoja kabla ya kustaafu, bwana Kipanta alinunua gari jinginge, safari hii ni kwa fedha yake mwenyewe, ambayo aliipata, baada ya kwenda safari ya kikazi, ya ulinzi wa amani huko nchini sudani, ukiachia kununua gari na nguo chache kwa watoto na mke wake, lakini fedha nyingine yote ambayo zaidi ya million alobain, aikujulikana imeenda wapi, zaidi ya kumwona bwana Kipanta akipata safari nyingi za kikazi, ns dharula za nyingi za kulala kazini, mpaka mke wake alipo baini kuwa akuwa anasafari, zaidi ya kuwa alikuwa anaishi na kimada ambae mwanzo akuwa amemfahamu, kimadahuyo alie itwa Rosemary, ambae alisha jengewa nyumba mitaa ya Kibamba njia panda ya shule, tena siyo nyumba ndogo, ni zinga la nyumba, ikiwa pamoja na kufunguliwa biashara kadhaa, yakiwa maduka mawili makubwa ya jumla na saloon kubwa ya kike.
Stelah alikuja kulifahamu ilo baada ya kuelezwa na rafiki wa kimada huyo, yani Rose, ambae alikuwa anafanya nae kazi kwenye Benki ya NMB, anaitwa Joyce, ambae ni kama aliionea huruma familia hii, lakini aikusaidia maana ilizidisha ugomvi, ndani ya familia ya Stellah na Kipanta, ugomvi uliopungua baada ya bwana Kipanta kuishiwa fedha na kutulia nyumbani kwake.
Angalau sasa Kipanta akatulia, na maisha yakarudi kuwa ya amani, huku stella, akijitaidi kusimamia familia, ukweli kama unge weza kumwona Stellah, ungseshangaa kwanini Kipanta alikuwa anatoka nje ya ndoa, maana Stellah alikuwa ni mzuri kweli kweli, na alikuwa na sifa zote ambazo mwanaume yoyote alie barehe, ange mtamani mwana mama huyu, pasipo kujari umri wake, ukweli Stellah alipitia usumbufu mkubwa sana kwa wanaume lakini, akujari matendo ya mume wake, yeye alitulia na ndoa yake, akutaka kumsaliti mume wake.
Kama nilivyo sema mwanzo, kichaa uwa akiponi, ila kinatulia kwa muda, au waenga wanasema akuna mlevi mple, ukiona kimya ujuwe kafulia, mambo yalianza kuwa mazito kwenye familia ya kipanta baada ya bwana Kipanta, kustaafu na kupokea fedha za mafao yake, ambazo katika million zaidi ya themanini, mke wake akuona ata shilingi moja, zaidi ya kuona mume wake akiingia nyumbni saa saba za usiku, na kutoka saa nne za asubihi, hiyo ni kwa siku chache ambazo alifanikiwa kulala nyumbani, zaidi ya hapo, ange kaa huko ata siku nne au week, akidai kuwa ana safari kufanya utafiti wa biashara gani afanye, toka mwezi wa sita maisha yalikuwa hivyo, bwana Kipanta alikuwa busy na mambo yake, akukumbuka ata kula kitumbua cha mke wake, ambae alikuwa anakiu ya dudu, kwa muda mrefu, japo ata siku za nyuma alikuwa akimbania sana kumpa dudu, na akimpa uwa anatumia muda mfupi na kulala, akidai amechoka na kazi……
Lakini Stelah alivimilia na kuto kukubaliana na vishawishi vya wanaume ambao wengi wao walikuwa ni walimu na wanaume wa pale mtaani ambao wanafedha zao,
Naam ilikuwa likizo ya mwezi wa Kumi na mbili, na maana kwa watoto na mama yao, yani Stellah mwenyewe, ndipo siku moja bwana Kipanta aliondoka pale nyumani na gari lake, kama vile anaenda na kurudi, lakini ikawa kimya kabisa, mpaka ika pita week nzima, siyo kwamba mke wake akumpata hewani, aliwasiliana nae vizurio tu! lakini alimweleza kuwa alikuwa ameenda mtwara kuangalia uwezekano wa kununua korosho, ikiwa ndio biashara aliyo ichagua, lakini jibu la mke wake alikumwingia hakirini, kwanaza uondokaji wake, pili million themaninisiyo fedha ya kutosha kwenda mkoani kununua korosho, na kuzisafirisha mpaka dar es salaam, maana ulikuwa mtaji mdogo sana, ukizingatia lazima fedha hiyo itakuwa imepungua, kutokana na starehe alizokuwa anazifanya bwana Kipanta, laiki Stella, akuwa na la kufanya, akaendelea kuishi na watoto wake, ambao licha ya kugundua mgogoro wa familia yao, lakini waliona maisha ni mazuri sababu mama yao alikuwa na kazi yake na maisha yalikuwa yanaenda vyema, sasa basi week moja iliyo pita mwalimu Stelah alienda benk, ya NMB tawi la kibaha, ndipo akakutana na Joyce, ambae baada ya kumwona tu, japo yeye akumfahamu lakini Joyce alimfahamu, “samahani dada unaweza kunipatia namba yako ya simu, nina inshu muimu sana kwako” alisema yule Joyce na mwalimu Stelah, ambae alisha kutana na watu watu wengi kiasi cha kuto kuwakumbuka wote, akampatia namba ya simu na kisha akamaliza huduma yake, na kuondoka zake, ndipo jioni ya siku hiyo, mwalimu Stellah akasikia simu yake inaita, ilikuwa namba ngeni, akaipokea, lakini akakutana na sauti flani ya music ikionyesha mpigaji alikuwa bar, “habari za jioni” alisalimia mwalimu Stellah, “nzuri tu dada yangu, samahani nazani unani kumbuka tulikutana pale benk, sikia dada yangu, kwakweli nime amua kukusaidia, kwasababu ya watoto nawao waonje matunda ya baba yao, mume wako yupo hapa Full dose pub, mbezi, fanya haraka, usionyeshe dalili kama nilikupigia simu, fanya haraka” alisema yule mpigaji wa simu ambae Stelah alimkumbuka kuwa alimpatia namba ya simu kule NMB.
Hapo mwana mama, au mwana dada Stelah, mwana dada mwenye shep yake, aliingia kwenye gari na kuelekea mbezi, huku njiani akiwasiliana na Joyce, wa sms, na kumwelekeza sehemu walipo na nini kina endelea.******
Nikwamba, upande wapili kule Full dose, bar iliyo kuwa imechangamka mida hii, watu walikuwa wengi sana, wakati huo, kwenye kona mja iliyo jificha kweli kweli, bwana Kipanta, alikuwa amekaa meza moja na waschana watatu, warembo kweli kweli, nao ni Rosemary, mschana Joyce, na Matrida, wakiwa wameizunguka meza iliyo chafukwa kwa viunywaji, yani pombe za gharama, na mapochopocho, kama wasisi kutoka vijijini tunge sema walikuwa wanakula mboga, yani ulikuwa ni mwendo wa mbuzi na kuku wakuchoma, huku ndizi za kuchoma zikiwa chache kabisa, “hivi baby, unakumbuka ulisema Chrismass, tuinaenda Zanzibar?” aliuliza Rose, kwa sauti ya kudeka, huku akijiegemeza begani kwa Kipanta, “nakumbuka sana, ila nikama ulisema na bagamoyo pia” alijibu Kipanta, ambae kiukweli uvaaji wake aukuwa wakupendeza, japo alivaa mivao ya vijana, yan tisht na jinsi, “nikweli lakini mi sijawai kwenda Zanzibar” alisema Joyce, kwa sauti ile ile ya kudeka, ambae kiukweli kwa uzuri wa sura na mwili, aliwashinda wenzake wakina Joyce.
Naam pale walipo kaa, kuna mambo yalikuwa yanaendelea, maana wakati Rose, akiwa anawaza namna ya kuhakikisha ana maliza fedha zote za Kipanta, na kumwacha akidharirika, huku nako Joyce alikuwa anaendelea kuchezea simu yake akiwasiliana na Stelah, yani mke wa bwana Kipanta, ni baada ya kuamua kumpa msaada mwanamke mwenzie, ambae ni sawa na mama yake, akiona kuwa anacho fanyiwa mume wake siyo kizuri, maana ukiachia jinsi Rose mary alivyo kuwa ana mumia vizuri, pia Matrida, nae alionyesha dalili zote za kuwa, kama siyo wana viaziana na bwana Kipanta, basi tayari wapo kwenye mapenzi” maana jambo lililo kuwa linaendelea pale mezani, ni mwasiliano ya macho kati ya Matrida na Kipanta, na licha ya hivyo, siku hizi mbili tayari Joyce ameshaoa dalili za Matrida kuwa na vijiela vya ziada, ambavyo Joyce akujuwa chanzo chake, ni kipi.
“wala usiwe na shaka, tutaenda alafu tukirudi, tuanze ujenzi wa kule shambani kwako, ili week end tuwe tuna beba vinywaji vyetu, na kwenda kupumzika kule shambani toka ijumaa mpaka jumapili jioni” alisema Kipanta, kwa majigambo, kama unge msikia, unge sema kuwa huyu ndie mwaume bora, “yani baby ndio maana na kupenda sana, ata kama ukilewa unakumbuka kila kitu” alisema Rose huku ana chukuwa Glass ya bia, aliyo kuwa anatumia Kipanta, na kumnywesha mpenzi wake huyu, ambae nikama alivimba kichwa akaidaka na kujigugumilisha.
Lakini kabla ata Glass aija shuka, toka mdomoni, mala wakastuka kuona kuna mtu amesimama mbele yao, mwanzo walizania kuwa ni mhudumu, lakini walipo mtazama vizuri waligundua kuwa akuwa mhudumu, na bahati nzuri akuna ambae akumfahamu yule alie wasimamia, alikuwa ni mwana mama , ambae uwezi kumwita mwana mama sababu kwa mwonekano wake ungeweza kusema zinga la dada, maana nazani nilisha waeleza mwanzo.
Kipanta alishtuka vibaya sana, na kuondoa ile Glass mdomoni mwake, ambayo ilikuwa imeshikwa na Rose, huku anamtazama mke wake kwa mstuko mkubwa sana, huku kitu kama haisira kikianza kujaa kifuani kwake, “umefwata nini huku we mwanamke, au kuna mwanaume ulikuwa nae ndio maana hupo hapa?” aliuliza Kipanta, kwa sauti ya jazba iliyo changanyika na hasira na mashangao, huku amemkazia macho mke wake, ambae alikuwa amesimama anamtazama kwa macho flani ya upole, yaliyo anza kung’aa kwa machozi, “nazani unanifahamu vizuri mume wangu, sija wai kukusaliti, mimi nime kuja kukutazama kama huo salama, ili kesho na keshokutwa niweze kujibu maswali magumu, ya walimwengu, siyo kwamba nawaambia hupo mtwara, kumbe hupo mbezi, wataniona wa hajabu” alisema Stelah, na hapo nikama alikuwa amemchokoza mume wake ambae aliinuka kwa fujo zote na kumvamia mke wake kwa kofi moja zito lililo tuwa mgongoni, “mshenzi wewe una nikosea adab, kwa hiyo mimi ni muhongo?” alisema Kipanta huku akiendelea kushusha kipigo, mfululizo kwenye mgongo wa mke wake, ambae alikuwa ameficha uso, na kuachia mgongo ubutuliwe, huku wakina Rose wakishuudia kipigo hicho, “samahani mume wangu” alisema Stellah, ambae alikuwa ana ugulia kipigo kimya kimya, akutaka kulia kwa sauti mbele za watu walio jaa pale bar, japo kipigo akikuwa na siri, kutokana na kelele za kilevi za bwana Kipanta, “mpuuzi wewe, kukuifadhi pale nyumbani kwangu ndio iwe sababu ya kunifwata fwata, kwanza wazazi wako walinilazimisha kukuowa, baada yaw ewe kunitegeshea ujauzito” ilikuwa kauri ya Kipanta, ambayo kama wenzake aliokuwanao kipindi kile wangeisikia hakika wangesema huyu bwana anawazimu, maana kila mmoja alikuwa anatamani kuwa stellah, kwa kipindi kile, na ata yeye alijiona kuw mwenye bahati, mala baada ya kuambiwa aishi na Stellah, ikiwa kama ni salama yake ya kuto kupelekwa mahakamani.
Wakwanza kuinuka na kujaribu kuamria ugomvi ule, alikuwa ni Joyce, ambae aliamka na kwenda kujaribu kumzuwia bwana Kipanta, “shemeji kwani tatizo nini, mbona una mpiga huyu mama?” aliuliza Joyce huku ana jaribu kumzuwia Kipanta, lakini alionekana kuzidiwa, hapo wakaja baadhi ya watu ambmao ni wahudumu, na wateja wachache, ambao walihamlia, kipigo kile na kuanza kumtoa nje Stellah, ambae licha ya kipigo chote kile akuwa ametoa sauti ya kilio ata moja, “kha! unawezaje kumpiga mwanamke mzuri kama huyu, kama ume mchoka si utuachie mwenzio” Kipanta alimsikia mlevi mmoja kati ya ale waliokuwa wanamtoa nje Stellah, akisema kwa sauti ya kilevi, “yani mwanamke mzuri kama huyu, mimi ninge mrudishia mpaka mahari yake, alafu aniachie hule mzigo” alisema mwingine ambae alikuwa anarudi kukaa kwenye meza yake, hapo ikaja hali flani kama ya wivu, moyoni kwa Kipanta, na kuinuka ghafla, ana kuelekea nje, kuona hivyo, Rose nae akainuka, na kumfwata, “baby, unaenda wapi bwana, eburudi, acha nae huyu” alisema Rose huku ana mfwata Kipanta, “lakini Kipanta akiwa amejifanya ajasikia mwito wa Rose, alitoka moja kwa moja nje, ambako aliweza kuliona gari la mke wake likiondoka, na kupotelea upande wa kibamba, huku wale viwachache wakilalamika kwa kumlahumu Stellah, kwakuto wasikiliza, “baby, kwa hiyo unataka kumfwata mkeo?” aliuliza Rose, kwa sauti ya kujifanya ana lalamika kwa kudeka, mala baada ya kumfikia Kipanta alie kuwa amesimama kwenye eneo la mbele la Full doze, “nimfwate wanini yule mjinga, tena ana bahati ninge mtandika kweli kweli” alisema Kipanta, baada yakuona mke wake amesha ondoka, mana hofu yake ilikuwa kubebwa na walevi, “kama ume mchoka nipe namba yake yasimu nikapige show” ilisikika sauti ya kilevi, toka kwa yule mteja alie saidia kuhamlia ugomvi, Kipanta akageuka kwa hasira, na kumtazama yule mlevi, ambae alikuwa anakuja usawa wake, huku anatoa simu mfukoni, tayari kuchukuwa namba yasimu YA Stellah wowowo……
“sifuri sita ngapi…” aliuliza yule mlevi, lakini kabla ajamalizia, alishtukia ngumi nzito ikituwa usawa wa mdomo wake, na kutupwa hatua kasha nyuma, akijibwaga kwanguvu kwenye aridhi, y pale bar, na kujaribu kuinuka haraka, lakini alichelewa tayari bwana Kipanta alisja mfikia, na kuanza kumshushia ngumi za uso, na makeke ya mbavu, mpaka watu walipokuja na kumtoa bwana Kipanta, ambae alimwacha yule melevi akionekana anavuja damu nyingi usoni, pia licha ya kunywa pombe nyingi lakini bado alionekana kuwa anasikia maumivu makali ya mbavu, “jamani hee! mshikilieni huyo apelekewe polisi, mbona anajifanya mbabe sana” alisema mmoja kati ya wahudumu wa ile bar, ambae ni maume, huku anamfwata Kipanta na kutaka kumshika, lakini alikutana na kichwa cha uswa wa pua, ambacho kilimfanya yule mhudumu aanza kupepesuka kama vile mlevi, akionekana kuvulugwa na kile kichwa, yani kilimpa tia kiwewe, hapo wakina rose wakaona huu ni msala, hivyo Joyce na Matrida waka Kipanta, ambae alikuwa anataka kumfwata yule mhudumu iliakamwongezee kipigo, na kuanza kumkokota kuelekea kwenye gari, huku Rose mary, akiwai kwenye gari lake aina ya Alphad na kufungua mlango mkubwa wa nyuma, ambapo walimpakiza Kipanta,na kuondoka zao kwa kasi ya hajabu, pasipo kujari pombe walizokunywa, kwamba zinge weza kuwasababishia hajari.
Huku nyuma, yani pale full dose wakiacha mtafaluku, kwanza awa kulipia bill ya vyakula na vinywaji, pia waliacha watu wakaribu wa yule mlevi alie pigwa na Kipanta, akipelekwa hospital kwa doctor Stellah, (siyo mke wa Kipanta, ni yule shangazi yake Jayden) ambako walikataliwa kupewa matibabu, bila ya Polisi File namba tatu (PF 3) hivyo wakaenda kituo cha polisi, mbezi kwa Yusuph, ambako nikama mambo yaliongezeka, maana licha ya kupatikana kwa PF 3, pia ilibainika kuwa licha ya kumshambulia huyu mlevi mwenzie, ambae anafahamika kwa jina Ngaga, pia bwana Kipanta alikimbia na deni la shilingi elfu sabini za kitanzania, hivyo ikaandikwa RB, maana popote atakapo onekana bwana Kipanta, akamatwe, na kufikishwa kwenye kituo cha polisi cha jilani.*******
Ukweli Tukio lilimuumiza sana Stellah, ambae alienda nyumbani kwake na kujifungia chumbani, akitililisha kilio cha kimya kimya, ili watoto ambao walikuwa likizo, wasisikie kama alikuwa analia, maana akutaka watoto wajuwe kinacho endelea, aliamini ita wa vuluga kwenye masomo yao, lakini Stellah alimini kuwa pengine mume wake angerudi, kama siyo usiku ule ule, basi ata siku inayo fwata, atakama angekuja kumpiga, roho yake inge lidhika, kwa kumwona anarudi nyumbani, maana angeona kuwa yeye bado ni mke wa bwana Kipanta.
Zilipita siku nne toka siku ya tukio, la Stellah kumfumania mume wake, na kupigwa mbele za watu, na vimada, Stellah akuwai kumwona mumewake, akija nyumbani, zilikuwa zime bakia siku tano kufikia suku ya Chrissmas ambayo ilisha karibia, siku ambayo mwalimu Stellah alienda benk kuchukuwa mshahara wake, maana tayari ulisha toka, na kama kawaida alienda tawi la Kibaha, ambako akutaka ata kuonana na Joyce, ukweli mwalimu Stellah aliona aibu, kwa tukio lililo mtokea sikuile full dose pub, lakini licha ya kucjulkuwa fedha kwenye mashine ya ATM iliyopo nje ya Benk hiyo, na kutaka kuondoka zake, lakini sijuwi tuseme bahati mbaya au nzuri, Stellah akastuka akikutana uso kwa uso mschana mdogo Joyce, ambae alikuwaamevalia sale za wafanyakazi wa baki ile ya NMB, “hooo! dada habari za siku” ukweli Stelah alitamani kukimbia, lakini ilibidi ajitabasamulishe tu!, “hooo nzuri yani nilisha sahau ata kukutafuta, maana toka nyumbani nilipanga nikifika hapa nikutafute ili nikusalimie” maneno ayo ya Stelah, yakuwa ni yauongo, lakini kwa jinsi alivyo yatamka usinge juwa kuwa alikuwa anadanganya, “siyo wewetu! dada ata mimi nilipanga nikutafute, eu tusogee pembeni kabla awaja niona awa washenzi” alisema yule mschana mrembo anae julikana kwa jina la Joyce ambae ni rafiki mkubwa wa Rosemary na Matrida, ambao aliwataja kama washenzi.
Wawili awa walisogea pembeni, na kusimama sehemu ambayo wanayo amini kuwa ni salama kwao, “dada ukweli roho inaniuma, japo Rosemary ni rafiki yangu, na mala nyingi tuna kuwa wotena mumeo, lakini ukweli anakoelekea mumeo sasa ni kubaya, siyo kwamba nataka nikuumize roho, hapana nataka nikujulishe ili uweze kufanya juhudi za kumwokoa mume wako, ili na wanao wafaidike na jasho la baba yao” alisema Jiyce kwa sauti ya upole, iliyo jaa hisia kali, hapo Stellah akatega sikio, “ukweli mumeo amesahau kuwa ile fedha aliyo ipata ndio ya mwisho katika utumishi wake, maana anatumia ovyo sana, na mbaya zaidi kwenye vitu ambavyo avina faida na familia yake, eu fikilia, mwaka jana amemjengea nyumba, mwaka huu tena amesha mnunulia shamba na anataka kumjengea nyumba nyingine, amesha mnunulia gari, amemwongezea mtaji wa biashara, sasa unazani wewe na watoto mtaambulia nini, dada japo sijawai kuolewa, lakini naujuwa uchungu wa mume” alisema Yoyce, na hapo wakatumia dakika ishilini nzima, kuongea ili na lile, huku Joyce aki mwelezea Stellah kuhusu, shamba na sehemu lilipo, “wame mweka kijana mmoja anaitwa nani sijuwi, ndie analina lile shamba, na wanampango wa kujenga huko, ila mbaya zaidi, mumeo hana chake, kwenye vitu vyote anavyo mfanyia Rose, kwa hivyo akisha ishiwa ana timuliwa, na kiu kingine mumeo amaesha anza kutoka na yule mwanamke mwingine ambmae ulitukuta nae pale mbezi” mpaka hapo Stellah alichoka na roho yake.
Siku ile ilikuwa nzito sana kwake, maana aliiona ime kuwa ndefu sana, kutokana na simulizi ya Joyce, siyo kwamba aliona wivu kwa mume wake kutumia fedha na wanawake wengine, sababu na yeye alikuwa na mshahala wake, mzuri tu, na ulisha msaidia kufanya mambo mengi sana, ikiwa na kujenga nyumba na kununua gari ambal mpaka sasa lilikuwa linamsaidia kwenye mizuguko midogo midogo, japo mume wake huyo alisha libongonyoa kwa kiasi kikubwa, kilicho muumiza roho ni aina ya mwanaume alie nae, mwanaume ambae yeye anamchukulia kama mume na baba wa watoto wake, lakini huko mtaani wanamwona kama mtu ambae ajielewi, kiasi cha kwamba ata watu wanao tumia fedha hizo, kwa fujo bila kuzitolea jasho wanafikia hatua wanaumia kwa matumizi mabaya, hivi ulisha wai kuona ilo?, mwana mke analionea huruma buzi, ukweli Stella, alijiona kama amevuliwa nguo hadharani, akuna kitu mwanamke hapendi, ni kuona mwanaume wake ana dharaulika.*******
Siku iliyofwata ndio siku ambayo Stellah, aliamua kwenda huko shambani kuliona ilo shamba ambalo mume wake amelinunua, na mbaya zaidi licha yay eye kuto wai kununua ata kijieneo cha kulima matembele, zaidi ya mke wake alinunua eneo la kujengea nyumba, kwa mkopo, lakini eti anaambiwa mume wake amenunua shamba, kwaajili ya mwanamke.*********
Stellah, au mke wa bwana Kipanta, pamoja na familia yake, waliunguka sana ndani ya shamba lile kubwa, huku wakaipata maelekezo na msaada wa kupatiwa vitu mbali mbali, wanavyo viitaji, toka mle shambani, “kwani mama unataka kununua ilishamba” aliuliza Pross ambae bado akuwa anaelewa zumuni la ujio wa familia ile pale shambani, hapo Stelah, akageuka kuwa tazama wanae, akawaona wapo mbai kidogo, kisha akamtazama Pross, na kulazimisha tabasamu, “hapana, ila namfahamu sana mwenye ili shamba, ni jilani yangu, hivyo nikaona nipitie kutazama” alisema Stellah, na hapo Pross akamtazama kwa mshangao wa furaha yule mama au mdada kama alivyoonekana, “afadhari, kumbe unakae nae jilani, basi naomba ukimwona mweleze kuwa nina shida nae kubwa sana, aje au amtume yule mwanamke wake” alisema Pross kwa msisitizo, “mh! sidhani kama nita weza, maana sina maelewano nae mazuri” alisema Stellah, kwa sauti ya upole, hapo akamwona huyu kijana Pross, ana nyongea kidogo, “kwani vipi ajakulipa msharaha, au?” aliuliza Stella, baada ya kuona kijana amenyingea ghafla.
Hapo Pross pasipo kujuwa kuwa huyu ndie mke wa bwana Kipanta, akamwelezea kila kitu, kuanzia, Kipanta alipokuja kununua shambma akiwadanganya wenzake kuwa ana mnunulia binti yake, na mwisho kuja na mwanamke waliokuwa wanaonyesha kuwa ni wapenzi, “tokea hapo wamekuwa nachukuwa madhao yangu, mikaa na kila kitu, na awanilipi, na mbaya zaidi toka wamenunua ilishamba, awajawai kunilipa mshahara” alisimulia Pross, ambae alienda mbali zaidi, “kwani yule mzee, huko mtaani kwenu, anaishi na mke?” aliuliza PPross na swali lile lilimstua sana Stellah, ambae nikama akutaka kabisa kuendelea kusikiliza simulizi yoyote inayo muhusu mume wake, “hapana aishi na mke” alisema Stellah, “kama ni hivyo afadhari, maana inatia uchungu sana, kwajinsi wale waschana wanavyo mfanyia” alisema Pross, na hapo Stellah akaamua kubadili maongezi, “kijana nimeona unabeba ule mkaa, ni bei gani, kiroba?” aliuliza Stellah, “vipo vya elfu kumi na tano, na vya elfu saba na mia tano” alisjibu Pross ambae shida yake kubwa ilikuwa ni fedha ya siku kuu, “”sija tembea na ela ya kutosha ninge chukuwa maana nimeshiwa kabisa” alisema Stellah, “wala usiwe na wasi wasi mama unaweza kuchukuwa ila nitakuomba ukipata fedha peleka kwa mama yangu anaishi pale pale kibamba” alisema Pross, na kukubaliana hivyo, huku Pross akimwelekeza Stellah, sehemu ambayo anaweza kumpata mama yake, lakini muda wote wa maongezi, Pross alijikuta akivutiwa kutazama, umbo la mama huyu, lilivyo amasisha kwa peana dudu, ambae watoto wake ni sawa na umri wake, na kujukuta taratibu akianza kumtamani mama wawatu,
Ilikuwa nifuraha kwa Pross, ambae aliongea na kufanya mambo mengi sana na ile familia kule shambani, pasipo kujuwa kuwa hii ni familia ya boss wake Kipanta, watoto awa wawili walionekana kumzowea kwa haraka sana, sijuwi ni kuzoweana tu, au ni kwaajili ya kujikuta ana mtamani mama yao, japo umri wake ni mdogo, Pross alijikuta ana wa fungashia mzigo mingi sana kiwa ni nzani viazi na mihogo, ambayo licha ya kuwapa wao, pia aliomba bahadhi wapeleke nyumbani kwao, pia alichukuwa na mkaa viroba viwili vidogo, familia hii ilionyesha wazi kujawa na furaha, siyo kwa watoto pekee ata mama yao, ambao alimtazama kwa macho yapekee kijana huyu, ambae maisha yake yalitaka kufanana na maisha ya watoto wake, “hivi kijana uliishia darasa la ngapi?” aliuliza mwalimu Stellah, ambae alishangaza na upendo wa Pross kwa watoto wake, na yeye mwenyewe kwa ujumla, maana aliwafungashia vitu vingi sana, “nimemaliza form six, lakini matokeo aya kuwa mazuri” alijibu Pross, na kumfanya yule mama ashangae kisogo, japo akushangaa sana kutoka na mwonekano wa Pross akuonyesha kuwa mtu alie paswa kufanya kazi ya ulinzi wa shamba na ukulima, hapo akamwuliza baadhi ya maswali ikiwa pamoja na shule aliyo maliza.
Stellah, alifanikiwa kufika nyumba ni kwa kina Pross, na kuacha kila alicho takiwa kuacha, kama walivyo kubaliana na Pross, mama huyu, alikutana na mama Pross, ambae alimpa sifa kadhaa juu ya mwanae, na kuaahidi kuwa ata watembelea siku nyingine.********
Naam Kipanta aliendelea na starehe zake, pasipo kujuwa kuwa alikuwa anasakwa na polisi, mpaka siku ya jumanne, ambapo zilikuwa zime bakia siku mbili ili ifikie siku ya Chrissmas, saa mbili usiku, Kipanta akiwa mnaeneo ya njiapanda ya shule, mita mia tano toka kibamba ccm, kwenye bar ambayo inajulikana kwa jina la Njia panda, kama kawaida yake, Kipanta, alikuwa amezungwa na waschana watatu, yani mpenzi wake Rosemary, pamoja rafiki zake yani, ambapo kesho yake walikuwa wamepanga wa safari kwenye kisiwani Zanzibar, yani yeye na mpenzi wake Rose, ndio siku ambayo polisi wali mwotea na kumkamata, na kupelekwa Kituo cha polisi wilaya, ya Ubungo, kilichopo Kiluvya, “Rose we tulia tu nakuja sasa hivi?” alijitapa bwana Kipanta, huku akifungua wallet yake na kutoa kitita chafedha kama million moja hivi, na kumkabidhi mpenzi wake, akidai kule polisi siyo salama sana kwa vitu kama hivi, pia alitaka, mpenzi wake uyu na rafiki zake, waendelee, kunywa pombe, wakati wanamsubiri, maana aliaminikuwa anarnda kutoka mala moja, ambae baada ya kufika kituoni aliambiwa makosa yake, kuwa moja ni kumpiga bwana Ngaga, na kosa la pili ni kuondo kabila kulipia huduma za vinywaji na vya kula alivyo kula pale full dose, na mbaya zaidi bili aliyo ikuta ilimchanganya, japo kutokana na ulevi akuweza kukumbuka bei sahihi, ila alishangaa kuona deni ni shilingi laki moja nanusu, huku akiambiwa kuwa anatakiwa kulipia Laki moja kwa matibabu ya Ngaga, ambae aliamua kumaliza kwa mtindo huo.
Lakini aikuwa tatizo, kwake, maana aliamini kuwa fedha alikuwa nayo, “sawa niachieni basi nika chukuwe fedha, ili niwalipe” alisema Kipanta kwa tambo za kilevi, “kama uliweza kukimbia deni pale bar, utawezaje kurudi kuleta ela mwenyewe, kama vipi piga simu kwa mtu wako wa karibu akuletee, ulipe ili uondoke” alisema polisi alie pewa dhamana ya kuhakikisha Kipanta analipa hizo fedha.
Kipanta akaomba simu yake ambayo tayari ilikuwa mikononi mwa polisi, na kumpigia Rose amletee laki mbili na nusu, ili atoke pale kituo cha polisi, lakini ukweli simu aikupokelewa kabisa, akarudia mala mbili aikupokelewa, na aliporuia ya tatu, ikasema aipatikani, akajuwa ni mtandao akapiga tena, ikawa aipatikani, ukweli ulikuwa mstuko kidogo kwa Kipanta, ambae alikosa la kufanya, mpaka polisi yule alipo amua kumfungia bwana Kipanta kwenye mahabusu, na kumtaka amtafute mtu ambae anaweza kumsaidia kulipia zile fedha, “we ume amua kumpatia elea yule demu, wakati unakoenda hukujuwi, alisimanga yule polisi, wakati ana mfungia bwana Kipanta ambae alikuwa aachi kulalamika, akiombaachiwe na kwamba ata rudi kesho kuleta hizo lakimbili na hamsini, “jamani mimi mwanajeshi mwenzenu, msinifanyie hivyo” alilalamika Kipanta, na hapo yule polisi aka onkana kuvutiwa na ile kauri yake, “unakitamburisho ?” aliuliza yule polisi, ambae tayari alisha mfungia ndani bwana Kipanta, “nio bwana sema kitamburisho nime kiacha nyumbani” alisema Kipanta ambae siyo kwamba akuwa na kitamburisho pale alipokuwepo, alikuwa nacho sana, tatizo ni cha askari mtaafu, na akuna kitu ataki kueleza ukweli ni kama kuwa amesha staafu.
Unauthibitisho wowote kuwa wewe ni mwanajeshi?” aliuliza yule polisi, “kwakweli sina uthibitisho, maana kwenye wallet kuna card ya benk tu!,naomba uniamini” alisema Kipanta, na hapo yule askari aliwaza kwa dakika kadhaa, kisha akamweleza, “sikia bro, ukweli ni kwamba ile bar ni ya mtu mkubwa sana, na ameagiza usiachiwe mpaka umelipa fedha yake, na ile ya mteja wao, sasa wewe tafuta mtu ambae anaweza akakuletea fedha, mimi nita kupa simu yako uwasiliane nae” alisema Polisi, na hapo Kipanta akaanza kusaka namba za watu ambao aliamini kuwa wanaweza kumsaidia, alipiga tena simu kwa Rose ambayo bado aikupatikana, nakuzidi kumchanganya bwana Kipanta, ambae alipiga simu kwa watu kadhaa, ambao walimweleza kuwa fedha zao zilikuwa matumizi mengine, asa ukichukulia ulikuwa msimu wa kulipia ada za watoto.
Kipanta aliiona namba ya mke wake, lakini akuweza kumpigia kutokana na mambo aliyo mfanyia, na kuamua akomae na roho yake, ata siku yapili ambapo pombe zilikuwa zime mwisha, alipata wazo la kuomba simu na umpigia tena Rose, ambae licha ya simu kuita lakini ilikatwa na kuzimwa kabisa, aka hisi kuwa atakuwa kazini, hivyo asingeweza kupokea simu, lakini wakati huo huo Kipanta akawaza jambo, kwanini Rose licha ya kuona kuwa ameshindwa kutoka polisi ameshindwa kuja kumtazama, na kwanini jana alimzimia simu, hivyo kipanta akapata wazo la kupiga simu kwa Matrida, ambae licha ya kuwa alishamweka sawa kuwa anaitaji kula kitumbua chake, na Matrida kukubari, lakini walikuwa awaja pata nafasi ya kufanya hivyo, kutokana na muda wote kuwa karibu na Rose.
INAENDELEA
0 Comments