Naam, akiwa amevalia nguo zake nzuri, alizo nunua kwaajili ya Chrismass, Pross alifika Kisalawe kwa msaada wa magari ya mchanga, na kuanza kutembea tembea akiwa ana angalia madhari na watu wengine wanavyo sherehekea siku kuu, kila alicho kiona kilimkumbusha jambo, alipo waona waschana wazuri alimkumbuka boss wake Rose, na ukali wake, japo siku ya mwisho kuonana nae alionekana kuingiwa na utu kiasi flani, alipo waona wanawake wakubwa wenye maumbo mazuru walimkumbusha Stellah, na hapo alijikuta ana tamani kuwa na mwanamke, sababu mavazi na ile mtuno wa kitumbua cha Stellah vilimkumbusha kuwa yeye ni mwanaume ana anaitaji mwanamke, na alipo iona familia iliyo kamilika, yani baba mama na watoto, iyo ilimkumbusha machungu, na kujikuta ana mkumbuka sana baba yake, na hivi ajuwi ata yupo wapi, akajikuta anakosa ataraha ya kuendelea kuzulula pale kisalawe, hivyo aka aamua, kuondoka zake, kurudi shamba, na kwa bahati mbaya mida hii ya mchana akukuwa na gari lolote linaloelekea kule shamba zaidi ni magari binafsi au ya serikali, yani madogo mdogo,ndiyo yaliyoonekana yakielekea huko, maana njia hii inaeleka kibaha pia, Pross akaanza kutembea taratibu kwa mguu, huku mawazo yali mchonyota kweli kweli.
Kiwa amesha tembea kilo mita moja na kubakiza tano au sita, tayari alisha ingia kwenye msitu wa visamvu, wenyewe wanauita kazi msumbwi A, Pross akaliona gari moja zuri likipmita na kwenda kusimama mbele yake, akajiuliza kama analifahamu gari lile, na kabla aja pata jibu kuwa ili nigari lile analo lihisi au analifananisha mala akaona mlango wa gari unafunguliwa na akashuka Rose, “twende Pross” alisema Rose katika hali ya uchangamfu, tofauti na alivyo mzowea, ukweli ata Pross mwenye alishangaa, hapo akatimua mbio huku moyo wake ukifurahi, na ulifurahi kwa mambo mawili, moja ni kupata lifti, na mbili ni kumwona Rose akiwa akiwa tofauti na alivyo mzowea, “shikamoo boss” alisalimia Pross mala baada ya kulifikia gari, na Rose aliekuwa amesimama nje ya gari, aka tabasamu, “haaa! Pross, hivi unajuwa kuwa wewe ni mkubwa sana, siyo wa kuniamkia mimi” alisema Rose huku anacheka cheka, lakini nimesha zowea” alisema Pross, huku ana angaika kufungua mlango wa nyuma wa ari, ule uliodanana na wadala dala, “njoo ukae mbele” alisema Rose, huku ana mfungulia mlango wa mbele wa abilia, Pross nae akaingia ndani, na safari ikaanza, “leo umependeza, uliendakumwona demu wako?” aliuliza Rose kwasauti ya ucheshi iliyo changanyika na utani, akionyesha pia alisha anza kunywa pombe, huko alikotoka, “Pross nae akacheka kidogo kabla ajajibu, hapana, nilienda kutembea tu” Rose nae akacheka kidogo, huku anaendesha gari, “unataka kuniambia umeenda kutembea tu! ujakutana na mwanamke wako?” aliuliza Rose huku akimtazama Pross, “sina mwanamke” alisema Pross, “kwanini ume mwacha mpenzi wako?” aliulliza Rose ambae licha ya kuonekana kuwa amelewa kiasi, lakini aliongea kirafiki ata usinge zania kuwa ni Rose yule, “sijawai kuwa na mwanamke” alijibu Pross, huku anacheka cheka kwa aibu, huku macho yake yaki ibia kumtazama boss wake,na kumkumbusha mambo ya jana, “wee! acha uongo, au aunamatatizo?” aliuliza Rose kwa shangao huku akipeleka macho yake kwenye uswa wa dudu ya Pross, na kuona kama kuna dalili ya dudu kuvimba, “matatizo gani, kwani kuto kuwa na mwanamke ni matatizo?” aliuliza Pross huku anacheka cheka, “inamaana unasimamisha vizuri tu!” aliuliza Rose kwa mshangao, hapo Pross akaitikia kwa kichwa kukubali kuwa dudu yake inasimama vizuri, “mmh! aiwezekani, ngoja nikaone mwenyewe” alisema Rose, lakini ……
Alijiosemeakimoyo moyo, huku anatazama mbele, na kuzidi kuongoza gari, na wakati huo akasikia mlio wa sms ya whatsaap kwenye simu yake, aka ichukuwa na kutazama, ilikuwa ni ujumbe wa video kutoka kwa Adellah, “mungu wangu” alisema Rose mala baada ya kuona aina ya video aliyo tumiwa, ilikuwa ni video ambayo, ilimwonyesha akiwa pale makuti bar, ana mfumania Kipanta, ikiambatana na maandishi, “umesha tembeea nae?” ukweli japo Rose alionekana kuvulugwa na ile sms, lakini akuangaika kuijibu, aka iweka simu pembeni, na kuendeleea kuendesha gari, huku mida wote Pross, akijiiba kutazama umbo la mwana dada huyu ambae leo alivalia suruali ya jinsi, iliyo mshika mwili,na kuchora bahadhi ya viungo nyeti vya mwili wa mwanadada huyu, ambae pia aligundua kuwa Pross ana ibia kumtazama, lakini kutokana na kuchanganywa na ujumbe alio tumiwa na Adellah, “jamani wamesha juwa mala hii” alisema Rose kwa sauti ya chini, ambayo ata Pross aliisikia na kujuwa kuwa Rose alikuwa anajisemea peke yake, “Boss kwanini unaongea mwenyew, kuna taharifa mbaya umepokea?” aliuliza Pross, huku akimtazama boss wake usoni, ambae wakati huo nae alimtazama Pross, na macho yao yaka kutana wakatabasamuliana, “ujinga wa yule kibabu ndio ume niletea matatizo”: alisema Rose, na kumfanya Pross ahisi kuwa mausiano ya Rose na mzee Kipanta yana lege lega, unazania kwanini Rosemary alishtuka sana baada ya kuona ujumbe huo, toka kwa Adellah, na Adellah ni nani, nazani tuendelee akuwa pamoja, ili kujuwa zaidi.*******
Naam licha ya kufumaniwa na Rose, lakini Kipanta na Matrida waliokuwepo pal Luguruni, kwenye hotel nyingine, ndio kwanza mapenzi yao yalizidi kupamba moto, na walikunywa kwa fujo bila kujari, kesho itakuwaje, walikunywa kiasi cha anza kulewa kwafujo, huku kila mmoja akimpania mwenzie wazi wazi, kuhusu mchezo watakao ucheza usiku, ilifikia kipindi, walijikuta wanakuwa kivuto kwa wateja wenzao wwaliokuwa jirani, pamoja na mwana dada mmoja mhudumu alie kuwa anawahudumia, na kuwa sikiliza maongezi yao kwa umakini mkubwa sana, “yani baby jiandae, lakini leo sianzi kukunyonya, utani ni chafua mdomoni” alisema Matrida, kwa sauti ya kilevi, sijuwi kwa nini walilewa hivi, sababu siyo kawaida ya Matrida kule kijinga, pengine ni kwaajili ya furaha, “hilo tu, wala usiwe na wasi wasi, leo nitaanza mimi” alisema Kipanta, na kuendelea kunywa pombe zao, na vyakula walivyo itaji, japo ilikuwa kama ni kuchezea, maana waligusa gusa gusa na kuacha.
Licha ya kunywa na kuwa na akiba ya kutosha kwa starehe zao, lakini kuna wakati walienda tena kutoa fedha zaidi, hizo zikiwa ni za Matrida, Kipanta alitazama salio na kulipuuzia, naam muda wote wanayafanya hayo awakujuwa kuwa kuna mtu alisha anza kuwa fwatilia, akiamini kuwa bwana Kipanta anafedha nyingi sana, ambazo akizipata anaweza kufanikiwa kimaisha, mtu huyu anaitwa Waghora, ambae alipewa mchongo huo na mdada mmoja alie kuwa ana wahudumia kwenye hii bar waliyo hamia, yani hapa Luguruni, huyu siyo mwingine huyu anaitwa Sinder, likiwa ni jina lake harisi, lakini hapa bar walikuwa wana mfahamu kwa jina la Janeth, mdada huyu ambae amesha shiriki mala nyingi kutoa ramani za wateja wao, wenye fedha na kuwaibia, akimtumia mpenzi wake wa siku nyingi, bwana Waghora, ambae yupo tayari kumwacha mpenzi huyu, afanye lolote ili wapate fedha, ikiwa ni pamoja na kumruhusu alale na mwanaume yoyote mwenye nazo, na wakati mwingine kuwaibia huko huko chumbani, au Janeth akiwa laghai wanaume hao kuwa wahame guest, na kwenda guest nyingine, kwa kisngizio kuwa pale hawaluhusiwi, kulala vyumba vya wageni, na wakikubari, ana wapitisha kwenye chochoro na mshtua mpenzi wake Waghora, ambae ana jifanya kama kibaka wa kawaida kuwa amewaotea na kukaba, kisha kuanza kumpora mwanaume na kisha kumpora demu wake, vitu ambavyo baadae ange mrudishia.********
Mama Pross akiwa na wanae wawili na mdogo wake, yani mama mdogo, walisherehekea vizuri sana, Chrismass, mama mdogo alisha sahau tukio la kulala kitanda kimoja na mtoto wa kambo wa dada yake, kwa sasa ata wakikutana, akuwa anamwonea aibu tena, upande wa mama Pross, kitendo cha jana kuwa simulia mkasa wake na mume wake, kili kuwa kama kime mtonesha kidonda, maana alishaanza kusahau, habari za bwana Feruz, japoalionekana kuchangamka akishrehekea Chrismass, na watoto wake, lakini ndani ya moyo wake alikuwa ana waza sana juu ya mume wake na akujuwa maisha anayo ishi, japo alijuwa kuwa anaishi maisha mazuri kutokana na fedha azo zipata kama kiinua mgongo chake, “namshukuru sana Pross, huyu mtoto amekuja kwangu kama zawadi” aliwaza mama huyu, ambae ni kama nusu mjane, maana licha ya Pross kuwa saidia uwezo wa kuanzisha genge, lakini pia alikuwa ana watumia fedha za maitajio mbali mbali, ikiwa ni chakula vinywaji na nguo za siku kuu, ungesema yeye ndie baba wa familia, alafu eti ni mtoto wa kambo.******
Safari ya wawili awa yani Pross na Rosemary, iliishia mbele ya kibanda cha Pross, ndani ya shamba la mwana dada Rose, ambapo wote walishuka, na Rose akafungua mlango wa gari wa nyuma kabisa, hapo Pross akaanza kushusha mizigo iliyo kuwepo nyuma ya gari, ikiwepo kiloba cha unga, mafuta ya kupikia, na sukari, na mazaga mengine kibao, na kilicho mshangaza Pross kitendo cha Rose kumsaidia kushusha mizigo, “Boss hapana we acha tu! mi nita shusha” alisema Pross, akimzuwia Rose, “wala usijari Pross, wacha nikusaidie kwani nitapungukiwa nini?” alisema Rose akibeba mfuko ambao ndani yake ulikuwa na sukari, na kuingia nao ndani, ikiwa ni kwamala ya kwanza kuingia ndani ya kibanda kile, ambacho kilikuwa na giza totolo, “mbona kuna giza hivi, alafu mchana?” aliuliza Rose, akimwuliza Pross alie kuwa bado yupo nje, huku ana washa tochi ya kwenye simu yake ya kisasa, “mpaka niwashe taa” alisema Pross huku anaingia na mfuko wa maharage, na kumkuta Rose anatazama tazaa mle ndani, “wahooo! hivi vitu ume umejinunulia mwenyewe?” aliuliza Rose, kwa sauti ya mshangao wa mastaajabu, na zani sana sana alikuwa anaulizia kitanda, sababu akukuwa na kitu cha hajabu mle ndani, ambacho yeye angekiona cha maana, kulinganisha na nyumbani kwake, “nataka nikitoka hapa nikapange” alisema Pross, huku anacheka cheka, “mh! kumbe unakunywa pombe?” aliuliza Rose kwa mashngao huku akiifwata meza ambayo juu yake licha vitu livyo kuwepo pia kulikuwa na chupa ya wine, na alipoitazama ilikuwa na wine kidogo, hapo Pross akajuwa kuwa anaeleka kuaribu, maana kwa ujio wa yule mama na mazaga anayo mfungashiaga, Rose akijuwa ni tatizo, “nakunywaga kidogo” alijibu Pross pasipo kujuwa kuwa jibu la kukubari kuwa anakunywa linge sababisha jambo jingin, ambalo linge zaa matunda, ya ajabu, “umenunua wapi hii wine?” aliuliza Rose, huku ana igeuza geuza ile chupa na mwisho akaiweka mezani, hapo Pross akajuwa akijibu kipuuzi, lita fwata swali la bei, maana bado Boss wake alionyesha kushangaa, “hiyo kuna wateja walifika kuchukuwa mka jana, ndio wakaniachia” aljibu Pross kuepusha maswali mengi, lakini aikuwa dawa, “wateja wenyewe ni wakike au wakiume” aliuliza Rose huku wanaongozana kutoka nje, huku Rose akitazama, nyayo mbele ya eneo la mbele la nyumba hii, ambapo vilionekana viatu vya kile, na matairi ya gari, hapo Pross akaumiza kichwa haraka haraka, “mhhhh! wakike na wakiume, yani mbaba na mmama” alijibu Pross, akiongozana na Rose kwenda kwenye gari, “basi leo Chrismass itakuwa nzuri zaidi” alisema Rose huku anatabasamu, kiasi cha kumfanya Pross ashangae huku ana anashusha pumzi ya afadhari, na alikuja kupata jibu la kwanini Rose anasema kuwa leo Chrissmass itakuwa nzuri, maana alimwona ana toa chupa za wine, na mfuko mmoja mkubwa sana, ambao ulikuwa una nukiavyakula, na alufu iliyo toa kipaumbele ni nyama choma, “washa moto tuipashe nyama, huku tuna kunywa wine yetu” alisema Rose, hapo Pross akajikuta anaanza kukumbuka mambo yajana, yalivyi kuwa, na mwanamama Stellah, kiasi cha kujikuta anawaza ngono kwa muda mrefu, “lakini Boss, mvua ikija utashindwa kuondoka, siunaona ardhi yenyewe ilivyo?” alisema Pross akijaribu kuchukuwa uzowefu wa jana, kwa stellah” Rose akatazama juu, kweli aliona kuna dalili kubwa ya kwamba mvua ungenyesha baadae, “wala usijari, kwani siluhusiwi kulala hapa?” aliuliza Rose huku anacheka cheka, huku anajaribu kukusanya mizigo yake toka ndani yagari, “unaluhusiwa, lakini….” alitaka kusema Pross, huku anampokea mfuko na bahadhi ya Chupa za wine, “lakini nini bwana, weka chini ya mwembe alafu kachukuwe ule mkeka wako, uuweke hapa kimvulini, alafu uniambie lakini nini” alisema Rose kwa sauti flani iliyo jaa utani, nakuto kujari, hapo Pross akiwa anajuwa kuwa leo ni kama jana akaweka ile mizgo karibu na gogo la kukalia, pale chini ya mwembe na kuelekea ndani, akujuwa kama Rose ana mfwatilia kwa macho, “mh! kweli kijana kama huyu awe mzima kabisa, alafu asiwe na demu kwa umri huu?” aliwaza Rose, huku pia akikumbuka kuwa, kuna msala amesha usababisha.******
Naam video za tukio la fumani ka Rose ziliendelea kusambaa, huku watu wengi wanao mfahamu wakimsikitikia Rose na wengi waki shangilia tukio hilo, kutokana na sababu mbali mbali, wengine walisema afadhari, maana anajidai sana, na wengine walisema afadhari maana na yeye aliiba mume wa mtu, video hii ilimfikia mmmoja wa walimu wenzake na Stellah, ambae alishtushwa sana na tukio ilo, na kuamua kumweleza Stellah, kama amesikia lolote juu ya tukio ilo, “kwani kuna nini, mana kwakweli nikama sina mume” alisema Stellah ambae alikuwa amesha maliza chupa moja ya wine, hapo mwenxie akamweleza juu ya video zinazo samba, “we achana nae nachoshukuru nikambahapa nyumbani kwangu ameacha nguo na viatu vyake tu, kama ni nyumba nime jenge mwenyewe, yeye kamjengea mwanamke alisema Stellah akionyesha kuchoshwa na tabia ya Kipanta, “kwa hiyo kumbe mnamgogoro wa muda mrefu, jamani wanaume kwanini anakufanyia hivyo lakini” aliuliza mwalimu mwenzie na Stellah, “niujinga wangu wenyewe, kumpenda na kumweshimu” alisema Stellah, ambae baada ya kukata simu , akajisema, “sijuwi kwanini sikummpa yulle kijana, maana mtu nae mthamini akuthamini” alijisemea Stellah, ambae nikama alimuawa kuwa liwalo na liwe, “maisha yataenda tu, akuna nachoitaji kwake siku zote mimi ndio mama mimi ndio baba, wache abakie huko huko” alisema Stellah kwa hasira, kwamaana alisha choka na kundwa uvumilivu, akujuwa kuwa mbio za mumewe zinakaribia ukingoni, na kwamba yeye ndio msaada wa mwisho uliobakia……
Nakwamba Kipanta japo kwa sasa auoni umuhimu wake lakini hipo siku, ukweli ni kwamba yote aya anayo yafanya, anajuwa anapo pakukimbilia.*********
Aya sasa, tayari Rose na Pross walikuwa wamesha tulia chini ya mwembe, japo kiari flani cha mawingu kilikuwa kina zidi kutanda, lakini awakukijari sana sababu walikuwa na sehemu ya kujiifadhi endapo mvua itaanza kunyesha, wao walikuwa wana endelea kunywa wine taratibu, huku wanapasha nyama ya kuchoma,kwenye jiko la kuni, Rose alikuwa amekaa kwenye mkeka lakini tofauti na Stellah, jana yeye alikuwa ameegemea kwenye gogo, huku Pross akiwa amekaa juu ya gogo, sehemu ambayo ilimfanya aweze kuusanifu vizuri mwili wa boss wake, “uliwai kuni ambia kuwa uliishia form six, kwanini uliamua uache kusoma na kufanya kazi kama hizi?” aliuliza Rose, ambae alishaona katabia kaPross kuutazama mwili wake, asa eneo la kifuani na mapajani, “nilifeli form six” alijibu Pross, ambae alisha anza kucha ngamka na wine, “mh! kwani uwezi kujiendeleza na ukatafuta credit za kuedelea nachuo?” aliuliza Rose huku ana mtazama Pross usoni, na ndipo alipo gundua kuwa, licha ya kijana huyu kukaa huku shambani kwake, lakini pia ni kijana mwenye sura nzuri, “wakunisomesha sina” alijibu Pross kwa sauti ambayo nikama ilianza kuingia unyonge, “kivipi, kwani ulisomaje mwanzo?” aliuliza Rose, na hapo Pross akanza kumsimulia kilicho itokea familia yake, ambacho wewe msomaji unakifahamu, na mwisho nikapata kazi huku shambani, na kuanza kulinda” alimaliza Pross kusimulia mkasa wake uliotumia karibu nusu saa, na hapo alifupisha story.
Mwisho wa simulizi hii ulimstua kidogo Rosemary, maana nikama aliwai kuisikia sehemu, “we Pross, kwani wewe nyumbani kwenu ni kibamba?” aliuliza Rose kwamshangao, “ndiyo lakini tume jenge kibanda kwenye mpaka wa muhimbili, mama na mama mdogo na wadogo zangu wanaishi pale” alisema Pross, akijitaidi kuonyesha uchangamfu, “hapana sitaki kuamini, inamaana wewe ndie una kaa na yule mama yako wakambo, ambae uwa unawatumiaga, fedha za matumizi?” aliuliza Rose kwa mshangao, uliochanganyika na uzuni kubwa, “ndio, wale ni ndugu zangu”alisema Pross akijaribu kujichekesha, jamani pole sana Pross, sikujuwa kama maisha yako ni magumu hivyo, yanihiki kibabu, kinajuwa maisiha uyako alafu kina fanya ujinga kama huu, wakunidanganya amekulipa fedha yako” alisema Rose, ambae alimwakikishia Pross kuwa leo amemletea fedha yake yote, na kwa mwonekano wa Rose leo, ulimfanya Pross aamini kuwa Rose amebadirika, na kuwa mwema kwake, maana ukiachilia kuchangamka kwake pia ame alimbebea mazaga ya kutosha, kitu ambacho Rose au kipata awakuwai kufanya hivyo mwanzo,.******
Naam starehe ziliendelea, pale Luguruni Bar, siyo Kipanta wala Matrida, wote walikuwa wamelewa kweli kweli, na kuzidisha vituko, Waghora aliekuwa amekaa mita chache pembeni, akijifanya anakunywa bia, akiwafwatilia kwa umakini sana, akisaidiana na mpenzi wake Sinder, au Janeth, kama alivyo fahamika, ambae mida hii alihakikisha anaihudumia meza ya kina Kipanta kwa ukaribu sana, unge shangaa ata ilipotimia saa kumi za jioni, akutaka kubadiri zamu yake, na kuondoka, aliendelea kuhudumia, akijidai wateja wale yani wakina Kipanta, anawahudumia kwa bill, hivyo mpaka walipe bill yake, ndio ataondoka kuelekea nyumbani kwake alikopanga, ambako akuna mfanyakazi wala mmiliki wa bar alie kuwa anapafahamu, kumbe kuna mchezo ulisha pangwa na ukapangika, mchezo ambao Kipanta na Matrida wange ujuwa, basi wasinge thubutu kuendelea kukaa maali pale.
Naam licha ya kukaa muda mrefu zaidi, lakini ukweli Sinder akuondoka kazini, na aliendelea kuwa hudumia kwa juhudi zote, huku mala kwa mala akiwasiliana na kwa ishara za macho na sms na bwana wake Waghora, ambae alimsisitiza kufanya linalowezekana ili kuwashawishi waingie chumbani kwao, mapema, na wao wamalize kazi, inayo waweka pale mjini.******
Naam ilisha timia saa mbili kasolo za usiku, Pross na Rose walikuwa bado wapo kule shamba chini ya mwembe, wanaendelea kunywa wine, wakisaidiwa na mwanga wa moto uliowashwa mbele yao, wawili awa yani Pross na boss wake, walisha changaka sana kwa wine waliyo kuwa wanainywa, “boss mbona siku hizi unakuja peke yako, simuoni mzee Kipanta?” aliuliuza Pross, wakiendelea kunywa wine na kushushia na nyama ya kuchoma, kwanza Rose alishusha pumzi kidogo, “njoo ukae hapa nikusimulie kitu ambacho wanakijuwa watu watu wachache” alisema Rose, huku anamwonyesha Pross pembeni yake, yani pale kwenye mkeka, “pasipo kusita Pross aka fwata amri ya Boss wake na kukaa pembeni yake lakini nikama futi moja, toka kwa Rose, “sogea bwana unaogopa nini, kwani mimi sisawa na demu wako, au kuna kipi kinakufanya uniogope” alisema Rose akimshika mkono Pross na kumvutia karibu yake, “lakini Boss, wakati mwingine kukaa karibu hivi uwa….” alisema Pross na kusita kidogo, sasa alikuwa amesha msogelea kabisa Rose na miili yao ilikuwa ime gusana, kama wakaavyo wapenzi,”uwa nini, unatamani? lazima utamani wewe si mwanaume lijari” alisema Rose akipeleka mkono kwenye dudu ya Pross, na kuiona ime jitutuua kiasi flani, na ile kuigusa nikama alikuwa ame ihamsha zaidi, na kuzidi kututumka, “we hacha sifa, subiri baadae, alisema Rose, ungesema tayari alisha kubariana na Pross, kuwa watafanya hivyo, “boss mbona unasema badae…” alitaka kuuliza Pross na hapo hapo akakatozwa na Rose, “utaona hapo hapo, alafu kama auna jina jingine, bola unite Rose, usiniite boss” alisema Rose, na kushangaza Pross, ambae aliona mambo yana badirika kwa haraka, “aya tuyaache yabaadae, ngoja nikusimulie kitu” alisema Rose huku ana egemeza kichwa chake kwenye bega la Pross.
“Najuwa kuna kitu kina kushangaza au kukuchukiza, kwa mimi kutembea na huyu babu, ambae nikama anarudia makosa ya baba yako, na mimi utanishukia kama ulivyo mchukia Khadija, ila ukweli nikwamba kuna jambo ukilijuwa, utajuwa kwanini nimefanya hivi” aliazana kusimulia Rose, “mimi ni mtoto wa mwisho wa familia yetu, ambayo tulizaliwa watatu, lakini sasa tume baki wawili, baada ya kaka yangu kufaliki, na sababu akiwa ni huyu huyu Kipanta, kipindi hicho nilikuwa na miaka miwili, ambapo dada yangu Adellah, alikuwa na miaka 19, ana soma kidato cha nne, huku kaka akiwa na miaka kumi na mbili, akiwa daera la tatu, kipindi hicho Kipanta alikuwa tayari ameshamaliza shule na alikuwa anakaa jilani yetu kwa mjomba wake.
Ukweli sisi familia yetu ni watu wenye uwezo kifedha japo zamani aikuwa sana, kama sasa, ila ukweli nikwamba wazazi na ndugu wa Kipanta awakuwa na uwezo, wakati huo Kipanta alikuwa anatembea na dada yangu Adellah! mausiano ambayo mwanzo wazazi wetu walichukulia ni kama urafiki wa kitoto, lakini wakaona hasara yake baada ya Kipanta kumpatia ujauzito dada Adellah, na yeye akakimbia, wazazi waka msamehe dada ambae alishindwa kufanya mitihani yake ya form four, na kuanza kuitunza mimba yake mpaka alipojifungua, kipanta akuonekana, na ata mtoto alipotimiza miaka miwili, ndipo baba na mama waka mrudisha dada Adellah, form Two, nawao kubakia na mtoto, safari hii wakimpeleka bweni, lakini uwezi kuamini dada akiwa huko shuleni Kipantaakamfwata tena na kuanza kushawishi warudishe penzi lao, kwa nia moja na penzi la dhati dada aka rudisha penzi, na yakaanza upya, nay aka kolea kweli kweli, dada akujuwa kuwa kuna hatari inakuja mbele yake, juu yapenzilao hilo.
wakati huo kaka yetu ambae sasa ni marehemu alikuwa amepata na tatizo la uvimbe mkubwa sana karibu na moyo, naaliitaji upasuaji, ambao uliitaji fedha nyingi sana, japo familia yetu ilikuwa na uwezo kiasi flani, lakini kwa ili wazeeilibidi waangaike sana, na mwisho waka chukuwa mkopo kwa kuweka nyumba kama dhamana, kiindi hicho tulikuwa na nyumba moja tu, sasa basi kilicho tokea hapo ndicho ambacho kilinifanya nimtafute huyu babu na kumfanya alipie kila alicho kifanya……
Alisema Rosemary, huku Pross alie kuwa amekaa ubavuni mwake akimsikiliza kwa umakini, japo bado akuwa anamwelewa, au kuona mana ya yeye kutembea na mwanaume ambae siyo kutembea tu na dada yake, pia alizaa nae kabisa, “ili kuwa ni siku moja kabla marehemu kaka aja fanya nyiwa operation, ambayo ilikuwa inasubiri malipo ndipo ifanyike, siku hiyo Kipanta, alimfata dada na kumwambia kuwa kuna nafasi za kujiunga na jeshi zime toka, na inter vew inafanyika dar es salaam, ambako akuwa na na nauri wala sehemu ya kukaa, na zoezi la inter vew linge fanyika kwa mwezi mzima, ivyo basi huku anajuwa kabisa, kuwa dada akuwa na kazi, na pia kulikuwa na jukumu la kumlea mwanae, alie mtelekezea dada, yeye aka mshawishi dada amtafutie fedha pale nyumbani, uku akimmweleza kuwa ni kwa faida yao, maana akipata kazi, ata kuja kuwachukuwa yeye na mtoto, “wazi wako wanaele nyingi, auwezi kukosa fedha pale nyumbani kwenu, isitoshe nikipata kazi nitakuja kukuchukuwa” hayo ndiyo maneno ambayo dada uwa akiyakumbuka anajuta sana” alisimulia Rosemary, na hapo kidogo Pross akaanza kupata mwanga, wa kisa cha Rose na Kipanta.
“Kweli dada akakubari, na pasipo kujuwa kuwa anacho fanya ni hatari kwa familia, na afya ya kaka, yeye akaenda kuoekuwa chumbani kwa wazazi wetu, na kuzikuta fedha ambazo ilibidi aikalipwe kwenye matibabu ya kaka, akazichukuwa na kwenda kumkabidhi Kipanta, akitegemea maisha mazuri, kipindi hichotulikuwa tunaishi Shinyanga” hapo Rose alitulia kidogo, nikama alikuwa anavuta au kupoteza hisia flani, zenye machungu, kisha akaendelea, “Kipanta akaondoka na kutuachia matatizo, ukweli baba na mama waliingia katika ugomvi mkubwa sana mala baada ya kupotea kwa fedha hizo, kila mmoja mmoja akimshutumu mwenzie kuwa amechukuwa fedha hizo, ambazo zilikuwa muhimu sana kutetea uhai wa kaka, na ukweli ni kwamba kaka alifariki, kwa kukosa matibabu, na swala hilo lilizidisha mgogolo kwenye familia, na kufikia kipindi mama na baba wakatengana, mama aliondoka na mimi na mtoto wa dada Adellah, tukaenda kuishi kwa mjomba, yani kaka yake, na baba akabakia na dada, pale pale kwenye nyumba ambayo ilikuwa ndio dhamana ya mkopo ambao ulitakiwa kulipwa kwa miaka miwili”
Mwaka mmoja baadae dada Adellah akiwa amesha maliza shule na kufauri kwenda kidato cha sita, ambapo alipangiwa Tabora, ndipo alipo kutana na Kipanta, akiwa tayari askari wa jeshi la wananchi, lakini ukweli nikwamba Kipanta alionyesha wazi kuto kuwa na upendeo na Adellah, kama ilivyo kuwa kipindi kile, mwanzo dada Adellah, licha ya kuona dalili za kuondoka kwa penzi lao, lakini alizania kuwa kuwa ni upepo ambao utapita na penzi kao litaendelea vizuri, japo malachache, Kipanta alikuwa anakutana na Adellah, na kupeana dudu, kitu ambacho Adellah baadae akaja kutambua kuwa, Kipanta alikuwa anamfanya kama sehemu ya kupunguzia hamu zake, sababu dalili za kuchezewa na kuachwa zilizidi kuonekana wazi wazi, lakini Adellah akukata tamaa, aliamini kuwa uvumilivu usababisha kula vilivyo iva, lakini akujuwa kuwa anajingezea maumivu, na mbaya zaidi licha ya kumsimulia Kipanta juu ya kilichotokea kuhusu zile fedha, alizo iba nyumbani, na madhara yaliyotokea, lakini Kipanta akuonekana kujari, mambo yali zidi kuwa mabaya, pindi ambapo, dada Adellah alipo ambiwa kuwa Kipanta amempatia ujauzito mwanamke mwingine pale pale tabora, na alipewa sharti la kumuoa, la sivyo ingemletea shida kazini, ukweli tukio ilo lilimuumiza sana Adellah, alilia sana, na kupungua mwili” mpaka hapo Pross alikuwa amesha pata kisa na mkasa, ambao licha ya kumfanya aanze kumwona Rose kuwa ni mschaa mwenye roho nzuri, lakini pia alianza kumchukia Kipanta.
“dada Adellah akukata tamaa, alimtafuta Kipanta, na kumwuliza juu ya jambo hilo, ukweli kilicho tokea ni kibaya zaidi ya kile kilicho tokea, alimpiga sana, kiasi cha dada Adellah kulazwa, huku wenzake waki ficha tukio na kusema alivamiwa na wahuni, baba alitoka shinyanga, kwenda tabora kumwona dada, ambae baada ya kupata nafuu, baba akamwamisha na kupeleka shinyanga, ambako dada alifikia hospital na kuendelea kutibiwa, na alipo luhusiwa kutoka hospital, ndipo alipo gundua kuwa baba alikuwa amesha hama kwenye ile nyumba yetu kubwa, na kupanga chumba na sebule, ni baada ya benk kuuza nyumba, kutokana na baba kushindwa kulipa deni, yani ule mkopo ambao dada alimpatia Kipanta, dada aliumia sana, lakini alijitaidi kubakia na siri yake” alisimulia Rose mary, na akuishia hapo, akaendelea kusimulia.
“miaka mi nne baadae wazazi wetu wakiwa na miaka sita, toka walipo tengana, dada Adellah akiwa amesha maliza shule, na Chuo cha uuguzi, kama nurse, na kupata kazi kigoma, ambako alishikizwa kwenye shirika la umoja wa mataifa linalo simami wakimbizi (UNHCL) kama mfanyakazi wa muda, Adellah alifanya kazi kwa juhudi kubwa sana, akiwa na ndoto ya kulipa japo nusu ya kile alicho kifanya kwa wazazi wake, alitumia robo tatu ya mshahara wake kutuma kwa mama baba na kunisomesha mimi, hapo ndipo alipokutana na mfilipino doctor Mauricio Fernandez, mwanajeshi mwenye cheo cha Major (meja) aliekuwepo hapo Kigoma, kama askari mtaaluma proffesion specialist doctor, wa magonjwa ya ngozi, katika kambi ya wakambizi”
“walianza mausiano, ambayo yalikuwa moto moto, japo yalikuwa ya siri, maana yule afisa wa jeshi la ufilipino, alikuwa anazuiliwa na sheria za umoja wa mataifa, ambazo zinakataza askari anaefanya kazi chini yao kutembea na mfanyakazi, au mkimbizi, au raia wa nchi usika, na ukibainika una shtakiwa na kurushwa mchini kwako, ambako unaweza kushtakiwa na mahaka kuu ya kijeshi ya nchini kwao” alisimulia Rose huku wanaendelea kunywa pombe, “nakumbuka nikiwa bado mdogo, dada aliwai kuja na yule mwanaume ambae tulimtambua kama shemeji, yani Mauricio, mpaka nyumbani kwa mjomba tulipokuwa tunaishi na mama, pia yule mfilipino, alishauri kuwa wote kwa pamoja tumtembelee baba kule tabora, ukweli maisha ya baba yalikuwa ya kusikitisha sana, kwenye ile nyumba ya kupanga, ambayo sasa alikuwa amebakia na chumba kimoja, baada yashindwa kulipia kile chumba alichi kuwa anatumia kama sebule, ukweli ni kama baba alichanganyikiwa kwa jinsi maisha yalivyo badirika, na kuvuluga familia, huku akimpoteza kaka, na mbaya zaidi akuwa amepata jibu, la wapi zilienda zile fedha kwamaana hiyo bado baba alikuwa na hasira na mama, ata sikuile tuliyoenda ilimlazimu dada Adellah na mchumba wake watumie busara zote kumtuliza baba ili aweze kuongea na mama na kujariu kuweka tofauti zao kwa muda, jamo ili lilimuumiza sana mama, “imanaa baba Rose, unaamini mimi nilichukuwa fedha ambazo zinge saidia kwenye matibabu ya mwanangu?” nakumbka kauri hii aliioa mama huku analia, na mimi nikimsaidia”
Sina uwakakika ni kipindi gani ambacho dada Adellah alimsimulia Mauricio Fernandez, juu ya kosa alilo lifanya na kuwatengenisha wazazi, huku akisababisha kaka kupoteza maisha, ila kuna kipindi yule mwanajeshi wa Filipino, alisafiri na dada wenda nchini kwao, kipindi hicho dada alikuwa ana ujauzito wa mwanaume huyo, na waliporudi, tukaanza kuona dada akianzisha ujenzi wa nyumbma kubwa ya ghorofa Shinyanga mjini, huku akitoa fedha nyingi sana kwa wazazi na mimi kwaajili ya shule, wakati huo mwanae wakwanza alisha mchukuwa na kuishi nae Kigoma, na ilipo kamilisha nyumba aliwaita baba na mama, nao wakaitkia wito, atukujuwa wanaitiwa nini, ila pale nyumbani tulikuta magari matatu, moja dogo la kutembelea na mawili ni mabasi mdogo, yani coster, tulikaribisha ndani, ambako kulikuwa na kila kitu, ambacho kilifanya ile nyumba ionekane kuwa kuna tajiri mmoja anaishi, lakini ukweli nikwamba vitu vile vilikua ni vipya kabisa, “baba na mama ukweli siwezi kuwalipa au kulipia dhambi niliyo ifanya, miaka mingi iliyo pita” aliongea dada Adellah, na kumshangaza kila mmoja sababu tukujuwa ni dhambi gani, hapo tuka tega masikio ili kusikiliza, kipindi hicho nilikuwa kidato cha kwanza, kwamaana miaka ilikuwa imesha songa…..
“hapo ndipo Adellah aka eleza kila kitu kilivyo kuwa, kuanzia kuiba ela za matibabu ya kaka, mpaka kukataliwa na Kipanta, kisha kupigwa na huyo huyo Kipanta” bado Rose aliendelea kusimulia, “ukweli ni kwamba pale nikama msiba ulianza upya, ni yule mfilipinoyani Mauricio Fernandez, pekee ndie ambae akutoa machozi, baadae tuligundua kuwa, yeye ndie alie mshauri dada, kujenga nyumba na kununua yale magari, kisha kufanya juhudi za kuwapatanisha mama na baba, kwa kuwaeleza ukweli, maana mpaka siku hiyo akukuwa na ata mmoja alie kuwa anajuwa ukweli, zaidi ya kila mmoja kumwona mwenzie ndie mkosaji, Mauricio Fernandez, ambae ndie shemeji yangu mpaka leo, alidai kuwa akupenda maisha yale ya kuwatenganisha wazazi”.
INAENDELEA...
0 Comments