Kutokana na kupoteza fahamu, na Stellah akuwa mkaidi, maana muda mfupi, baadae alikutana na insp, ambae kwanza alipo mwona ana shuka toka kwenye gari, macho yaka mtoka, “ebu chek mzigo huo” alisema insp akimweleza askari mmoja aliekuwa jirani yake, bila kujuwa kuwa huyo ndie mwanamke ambae Kipanta alimkimbia, “kweli hicho ni kitu, yani kime kamilika kila idara” alijibu yule askari, huku wote wakimtazama Stellah, ambae alikuwa anaelekea kwenye kibanda cha walinzi wa suma JKT, “yani kuanzia sura mpaka mwili” alisema Insp ambae kwa mtazamo wa haraka, unge juwa kuwa ni kweli huyu jamaa amekolea kwa matamanio, juu ya mwana mama Stellah, “unajuwa nini afande, yani hapa hospital kuna muzigo ya maana , unaweza kusahau kama umekuja kutibiwa” walizidi kuongea askari awa wawili, huku wakimtazama yule mwana dada mwenye umbo la ahajbu, na kuvutia, akiongea na wale askari walinzi wa kampuni ya suma JKT.
Lakini kadili maongezi yalivyo kuwa yana endelea, ndipo walipoona mlinzi mmoja anawaonyeshea kidole, nikama alikuwa anamwambia yule mwanamke kuwa, aende pale walipo kuwepo wao, “oya nimekumbuka” alisema insp, huku akipunguza sauti, na kukwepesha macho, kumtazama yule mwana mke, ambae sasa alikuwa anakuja upande wao, “vipi tena afande unamfahamu ?” aliuliza yule askari, huku na yeye akikwepesha macho, na kumtazama yule mwanamke kwa macho ya kuibia, “atakuwa ndie mke wa huyu jamaa, anaitwa mwalimu Stellah wowo” alisema insp, kwa sauti ya chini kabisa, kisha wakatulia na kumtazama mama huyu, ambae sasa alikuwa amesha wakaribia.
“habari, za leo kaka yangu” alisalimia Stellah, akimtazama insp, “salama kabisa dada yangu, nikusaidie” alisema insp kama vile amjuwi wala kumhisi mama yule, “labda nikusaidie wewe kaka yangu, maana ndie ulie niita” alijibu Stellah lakini kwa namna flani ya utani, insp akajifanya kushangaa kwa kuwatazama wenzake, “ok! kaka yangu kwakifupi mimi ndie mzazi mwenzie wa Kipanta, ambae ulinipigia simu muda mfupi ulio pita” alisema Stellah, na hapo insp na wenzake ndio wakajifanya kumwelewa mama huyu, “hooo! kumbe shemeji, afadhari umefika, maana wewe pekee ndie mwenye uwezo wakumkumsaidia mume wako” alisema insp kwa sauti iliyo jaa urafiki, “sahamani kaka mimi siyo mke wa Kipanta, nazani mme weza kujionea wenyewe, aina ya maisha yake, alisha kimbia yumbani kwangu siku nyingi, na mpaka aya yanamkuta, akuwa nyumbani kwangu” alisema Stellah, kwa sauti ambayo aikuwa na na dalili ya utani ata kidogo, “lakini Shemeji, kuna wakati wa kukwaluzana, na kuna wakati wa kusameheana ili maisha yaendeelee, ukuchukulia umesha sema yeye ni mzazi mwenzio” alisema insp kwa sauti ya kushawishi, “kaka naomba nikushauri kitu kimoja, usije ukayafanya ya kuyafanya ukitegemea kusamehewa kisa ume zaa na mwanamke flani, ebu ona toka darasa la kwanza, mimi nime kuwa nikiwalea wanangu, mpaka sasa wapo secondary, nime kaa na mwanamke zaidi ya miaka ishilini, aja nisaidia kwa lolote nime jenga mwenyewe nime somesha mwenyewe, pengine kuna wakati mimi ndie nililazimika kumnunulia nguo, ambazo zilimpendezesha, na kumfanya azidi kutongoza wanamwake” alisema Stellah, lakini bado insp alionyesha kuwa na nia ya kumshawishi Stellah, amsamehe bwana Kipanta, “lakini Shemeji, mmekoseana mala ngapi na mkasameheana, ishindikane leo, ebu rudisha moyo nyuma shemeji, mwenzio yupo katika wakati mgumu” alisema Insp, huku yeye na wenzie, wakitumia macho ya wizi, kuutazama mwili wa mwana dada huyu, ambae kila alipoongea maziwa yake yali tikisika kifuani pake, na kuleta picha moja nzuri sana, yakupendeza machoni pao, “kaka labda nikusimulie habari za huyu bwana, ambae na uhakika, ndie angekuwa shemeji yako, usinge ruhusu dada yako arudiane nae” alisema Stellah na kuanza kumsimulia insp kila kitu, toka maisha ya o yalipo anza huko Tabora, baada ya kumpatia ujauzito, na jinsi aliyo safiri kwenda Sudan kwenye ulinzi wa amani, na kurudi na fedha nyingi, ambazo alizimalizia kwa kumjengea hawara nyumba, huku akimfumania kila leo, pia alivyo toweka nyumbani baada ya kupata fedha zake za kustaafia, akidai anakwenda kutafuta biashara ya kufanya, na jinsi alivyopata habari kuwa yupo mbezi, na yeye kumwata kisha kumfukuza kama mbwa, na ata alipo kamatwa na polisi na yeye kwenda kumtoa, kisha akaondoka na mwanamke mwingine, huku yeye akionekana siyo lolote, “sasa leo amekutwa na ayo yaliyo mkuta mimi ndio niwe wa kuokota mizoga, hapana kwailo aende ata kwenye vyombo ya sheria, kwangu akanyagi, akaishi aliko jenga” alisema Stellah ambae akuonyesha dalili ya kurudisha moyo wake nyuma.
Naam kwa simulizi hiyo, hakika ata insp na askari wake walishusha pumzi ndefu, zilizo ashilia kuwa ile ni ngoma nzito, na awakuwa na ushwishi mwingine kwa mwana mama huyu, ambae walimluhusu, aondoke zake, wakiwa awana la kufanya.*******
Baada ya Joyce kujitambulisha kuwa ni rafiki wa Rose, pale alipoulizwa na Adellah dada yake Rose, basi Adellah na mume wake wakaondoka na Joyce na kwenda kukaa nae sehemu ili awaeleze jinsi mkasa mzima ulivyo kuwa, waliongozana mpaka kwenye bar moja ya jirani, na kukaa wakiagiza soda, kisha Joyce akanza kusimulia, toka alivyo ufahamu urafiki wa Rose na Kipanta ambae ni mume wa mtu, akieleza kila kitu, kuanzia kujengewa nyumba na kufunguliwa saloon na maduka, pia kununuliwa shamba, Joyce alisimulia, na kueleza jinsi, Rose alivyo kuwa anauchukulia uhusiano ule kama kumkomoa, Kipanta, kiasi cha yeye na Matrida kumshangaa, pia alieleza jinsi alivyo mweleza kuwa “yeye akuwa na wasi wasi juu ya Matrida kutembea na Kipanta, ila alitaka kwanza akamilishe mpango wake, ndipo aachane nae” alieleza Joyce, na akihisi kuwa huyu dada na huyu mzungu, (mfilipino) wanaweza kuwa msaada kwa Rose, ambae yeye kama yeye aliamini kuwa Rose akufanya kiu kama hicho, “ok! mimi ni dada yake Rose, naomba twende kwa yule Matrida tukaongee nae” alisema Adellah, na kumshangaza kidogo Joyce, ambae alichukuwa jukumu la kuwapeleka kwa Matarida.******
Baada ya kutoka hospital, na kupitia sokoni kununua baadhi ya vitu vya kupika, Stellah akaona aitokuwa vyema kama asipo pigia mwalimu mwenzie ambae mala kwa mala uwa anawasiliana nae na kumpa habari za mume wake au kushauriana juu ya maisha yake ya kila siku, huyu ni mwalimu Celine, ukweli alifanikiwa kumpata na kumpa ukweli wa tukio, na pia alimweleza kuwa uhamuzi alio uchukuwa ni kuachana na bwana Kipanta, “na kweli wangu, yani utazani kwenu uli uwa sasa uoanaogopa kurudi, watashindwa kukupokea” alisema mwalimu Celine, akikonyesha kuwa amelizishwa na maamuzi ya mwalimu mwenzie, ambae mala kwa mala alikuwa anamsimulia matatizo yake, ndio hivyo wangu nimesha mpelekea kila kitu chake, huko huko hospital, eti akajifanya kuzimia” hapo wakacheka sana, “sasa mimi nipo kwa mwalimu suzie tuna kuja kukupa hongera yako, siutakuwa nyumbani?” alisema mwalimu Celine, akioyesha kuwa mwenye furaha kubwa, “niende wapi tena, wangu, nitakuwa nyumbani naandaa chakula maana jioni natarajia ugeni” alisema Stellah, akimalizia kwa kicheko flani cha kujishtukia, “mh! huo ugeni jamani, au tayari umeshaziba pengo?” ilo swali Stellah aklijibu, zaidi ya wote kucheka, kabla awajaagana, na kukakata simu.
Nikweli Stellah alikuwa amesha ziba pengo, na chakula alicho anza kupika ni kwaajili ya kijana Pross, kijana ambae amemfanya aione radha ya mapenzi, yani radha harisi ya dudu.******
Naam baada ya kugonga kisiki kwa Stellah, insp aliacha bwana Kipanta anaendelea kupata matibabu, yeye akaelekea Luguruni bar, ambako alikutana na Manager, alie mkaribisha kwenye ofisi yake kisha akaitwa mwana dada Sinder, ambae baada yakuingia ofisini tu! na kumwona insp alishtuka vibaya sana, “mh! wamekuja tena, au wamesha nishtukia?” alijiuliza Sinder kimoyo moyo, lakini alijitaidi kujikaza ili wasi wasi wake usionekane machoni pa insp, “habari yako, dada dada” alisalimia insp, huku ana mkazia macho Sinder ambae hapa kazini kwake walikuwa wana mtambua kama Janeth, “salama tu kaka yangu” alijibu Sinder akijikaza asionyeshe wasi wasi wake, juu ya ujio wa insp, pale kazini kwao, “unaitwa nani?” aliuliza insp ambae alikuwa ameshikilia kalamu na kile kinote book chake kikiwa mezani, tayari kuandika mahojiano yake na Sinder, “naitwa Sin…. naitwa Janeth Martin” alijibu Sinder ambae ilibakia kidogo ataje jina harisi, na insp aliona ubabaikaji wa mschana huyu, akaachakuandika jina na kumtazama usoni, kwa macho makali, “binti, siitaji ubabaishaji, naitaji majina yako harisi, na siyo majina uliyo jibatiza hapa mjini” alisema insp kwa sauti ya ukari, uku amemtolea macho, hapoSinder akajuwa kuwa tayari mambo yamekuwa makubwa, “sawa naitwa Sinder Naiso” alijibu Sinder kwa sauti ya uoga, hapo insp akaandika kwenye note book, alafu akamtazama tena Sinder, “wewe ndie mhudumu pekee ulie wahudumia, wale wateja waliowekewa dawa kwenye kinywaji, mpaka wanaingia chumbani, ambako asubuhi walikutwa wame poteza fahamu, nikweli au siyo kweli?” aliuliza insp kwa sauti kavu, uku akimkazia macho Sinder alie onekana wazi kuingiwa na uoga wa hali ya juu, “ndyo ni mimi, ila sijuwi kama waliendelea kuagiza vinywaji vingine mimi nilipoondoka” alijibu Sinder, kwa sauti iliyo jaa wasi wasi, “sikia dada yangu, ubabaishaji unaweza kukuingiza kwenye matatizo, hivyo naomba unieleze jinsi ilivyo kuwa siku ya tukio” alisema insp na kutulia kusubiri simulizi.
Naam hapo ndipo Sinder alipokuwa anapasubiri, maana alitumia uwezo wake wote kuitengeneza simulizi yake, ili kujiodoa kwenye msala huu, ambapo alieleza kuwa yeye aliwapokea saa tano asubuhi na kuanza kuwahudumia mpaka saa mbili usiku, maana walikuwa wanakunywa kwa billy, na walipo mlipa yeye akaondoka zake, huku akipishana na mschana falani akiingia kwenye chumba kile akizania kuwa wanafahamiana nae, “unakumbuka yupoje huyo na alivaaje huyo mschana?” aliuliza insp, huku akimtazama Sinder usoni, hapo sinder haraka akavuta kumbukumbu za picha alio ziona mtandaoni zinazo mwonyesha mwana mke mrembo, mfanyakazi wa benk, alie wawekea dawa za kulevya wakina Kipanta, “ndiyo nakumbuka yupoje, ni mzuri mzuri hivi, alivaa shai jeupe, na suruali nyeusi, alashingoni, alikuwa amevaa kama kitambaa hivi cha rangi rangi” ilibakia kidogo insp acheke, maana maelezo ya Sinder, ni kwamba Rose alikuwa amevaa sale za benk, na siku hiyo ilikuwa ni siku ya chrissmas, “una uhakika Sinder?” aliuliza insp akiwa amezuwia kicheko chake, “ndiyo” alijibu Sinder kwa sauti ya uoga, hapo insp alitulia kidogo kama vile anatafakari jambo kisha aka mtazama Sinder, “ok! mtuhumiwa amesha kamatwa, tuna kupongeza sana kwa kuwa wewe ndie wakwanza kutoa taharifa juu ya uonekanaji wa mwanamke huyu” alisema insp kabla ajaaga na kuondoka zake, hapo Sinder alishushapumzi ndefu na kuachia tabasamu, “yani liliogopa, nilijuwa tayari wamesha nishukia” aliwaza Sinder huku anaelekea sehemu yake ya kazi.*******
Saa tisa ndio muda ambao Adellah alikutana na mdogo wake Rose, kwanza walipokeana kwa kilio, na ata maongezi yao yali ambatana na kilio, cha chini chini, licha ya kutawaliwa na lawama nyingi sana, toka kwa Adellah, kwenda kwa Rose, na Rose kujitaidi kujieleza, lakini mwisho wa siku Adellah akatulia, na kumsikiliza mdogo wake, ambae alimsimulia kila kitu, na mpango wake wa kulipiza kisasi ulio feli mwishoni, “usijari mdogo wangu, nitapambana kwa hali na mali mpaka ushinde hii kesi” alisema Adellah ambae alifikia kwenye hotel moja kubwa sana pamoja na familia yake, na alipomaliza kuongea na na mdogo wake ambae kiukweli ali yake ilimuumiza sana, sababu alishaanza kudhoofika kutokana na kuka kule mahabusu, alianza kufanya mipango ya kumtoa mdogo wake kwa dhamana, mpango ambao mpaka saa kumi za jioni ulikuwa auja fanikiwa, maana aliambiwa kuwa swala la dhamana lina usiana na mahakama, sababu tayari kesi yake ilitinga mahakamani, hapo ukabakia mpango wakuongea mschan Matrida.*****
Mida hiyo ndiyo mida ambayo Kipanta alikuwa amesha luhusiwa kuondoka pale hospital, ni baada ya kurejewa na fahamu zake, ukweli akuwa na uwezo ata wakubeba mabegi yake, kutokana na kuwa mengi alafu mengine makubwa, hivyo alichoamua nikuomba kwa wale walinzi wa suma JKT, wamuifadhie mabegi yake matano, huku yeye akichagua moja dogo, ambalo aliweka nguo na vitu muhimu, kama vile miswaki, hapo ndipo unapo patapicha kuwa Stellah alimpelekea kila kitu ambacho Kipanta alisahau kwake, na bahati ilikuwa upande wa Kipanta, ambae alikuta fungo moja kati ya mbili za gari, aliyo iacha nyumbani kwa mke wake, huku moja ikiwa nyumbani kwa Rose mwanamke alie pania kumfilisi, kila alicho mpatia.
Kipanta angeenda wapi unazania, moja kwa moja Kipanta alikaiza kwenye eneo la stendi ya daladala ya hapa muhimbili ya mloga nzila, na kuelekea mtaa wa kaza moyo, akitumia njia za mkato, ambapo alitembea kilomita kama nne, huku njiani akipishana na watu, ambao ata walipo msalimia, aliona kama wana msanifu, kutokana na kujishuku kwa yale aliyo yafanya, hivyo aliendelea kutembea huku akijishiku, mpaka kutokea mbele ya nyumba ambayo hapo mwanzo alikuwa anajuwa kuwa ni nyumba yake, lakini baada ya kumkuta yaliyo mkuta, ndio ametambua kuwa ile nyumba alijenga mke wake, pasipo yeye kuchangia ata shilingi mia mbovu, Kipanta aalipofika alikuta gari la mke wake ambalo nalo licha ya yeye kulitumia kwa miaka kazaa kabla ajanunua la kwake, pia lilikuwa ni la mke wake na akuchangia ata shilingi, zaidi ya kuliaribu, na kumwachia likiwa hoi hae, lakini Gari ilo lilimaanisha kuwa mke wake huyo yupo ndani, na kingine kilicho mfanya aamini kuwa mke wake alikuwa ndani ni mlango wa nyumba kuwa wazi, hapo kwa hesabu za haraka haraka, Kipanta akaona bola azame ndani, haraka, ili akamalizane na mke wake, huko huko, akutaka chochote kitokee huku amajirani wakishuhudia.
Haraka Kipanta aliingia ndani ambapo alikaribishwa na harufu nzuri ya vyakula, ambayo ilikuwa inatokea jikoni, na ata alipotazama mle ndani asa kwenye meza ya chakula, Kipanta aliweza kuona hot port kadhaa za vyakula zikiwa zime andaliwa, kwahiyo ukiachia chakula kinacho andaliwa jikoni, pia kingine kilikuwa mezani, hiyo ilionyesha kuwa kama siyo ugeni flani ulikuwa unatarajiwa, basi sikukuu ilikuwa inaendelea, ukiachilia mambo ya chakula pia sebule ilikuwa imetulia safi kabisa, yani ime wekwa katika mkao wa usafi wa maana, ikionyesha wazi pale nyumba kuna mambo mawili, kwanza akukuwa na watoto, ambao sasa wamesha funga shule, pia kuna mgeni lazima alikuwa anatarajiwa kuja pale nyumbani, “samahani umeingiaje bila hodi?” alishtuliwa Kipanta naswali toka kwa mke mke wake, hapo Kipanta aligeuka na kumtazama mke wake, alie shikilia hot port ya chakula mkononi, “acha utani basin a wewe nipige hodi ata nyumbani kwangu?” aliongea Kipanta huku akijichekesha, lakini ndio kwanza mke wake alikunja sura, akionyesha ataki mazowea, “we!we!we! ishia hapo, nyumbani kwako wapi?” aliuliza Stellah, kwa sauti ya juu ambayo ungesema ina mshangao ndani yake, huku anaweka hot port mezani, “lakini mke mke wang…” alitaka kubembeleza Kipanta, lakini akadakwa juu kwa juu, “hivi we mwanaume ume kwama wapi kukumbuka mke wako, mpaka unaniita mimi mke wako, ok! labda nikusikilize shida yako, pengine kuna kitu umekisahau humu ndani, ila nacho kijuwa mimi, kila kitu nime lu;etea kule hospital mpaka funguo ya gari lako” alisema Stellah, huku wote wakiwa wamsimama kwa kuachiana mita chache, kipanta akiwa na begi lake dogo, hapoKipanta akaona kuwa akizubaa, anaweza kuzalilika, hivyo akaaamua kujikaza kiume, “hivi, unajuwa mimi sikuelewi, we mwanamke, kwanza umenizalilisha pale hospital, alafu una jaribu kunifukuza nyumbani kwangu, unazani mimi mpumbavu kiasi hicho?, kwanza ngoja nikaweke begi chumbani” aliongea Kipanta akijaribu kuweka sauti ya kiume ili asijilegeze mbele ya mke wake, huku anataka kupiga hatua kuelekea chumbani, lakini aka dakwa mkono, “subiri kwanza, Kipanta, unaenda kwenye chumba cha nani?, kufanya nini?, kama kuzalilika ulisha jizalilisha mwenyewe kweye mitandao” alisema Stellah, kwasauti kavu ambayo aikuwa na chembe ya utani wala kubebembeleza, “ebu acha upuuzi, we mwanamke, huu siyo muda wa utani, unajuwa kama hali yangu siyo nzuri?” aliuliza Kipanta huku akijipapatua mkono toka kwenye mkoni wa Stellah, na kutaka kuelekea chumbani akadakwa tena, “kumbe unajuwa kuwa huu siyo muda wautani, basi nakuomba utoke nje, uende uliko jenga na kufungua maduka” alisema Stellah, namaneno ayo yakaonyesha wakati huo huo, Kipanta akaliachia begin a kumkwida stellah, ile anaandaa ngumu, ili amtandike Stellah usoni, kama alivyo zowea, mala akasikia, “jamani mnatukaribisha na ugomvi tena” ilisikika sauti ya ukari ya kike, toka mlangoni, na walipo tazamana walimwona mwalimu Celine akiingia mle ndani, akiongozana na mwalinu Suzie, wote wame kunja sura zao kwa hasira na mshangao hapo ndipo mwalimu Stellah alipo bahatika kuchomoka mikononi mwa Kipanta, na kusogea pembeni, “bahati yako mshanzi wewe, uwezi kunikosea adabu kiasi hicho” alisema Kipanta kwa sauti iliyo jaa ghazab, “nime kukosea adabu, au ume jikosea mwenyewe, mimi nime kuambia uende uliko jenga, kwani ndio kukukosea” alisema Stellah, kwa sauti ya kupayuka, hapo Kipanta akachomoka tena kumfwata Stellah, “ebulia kidogo baba nani, kwani anacho sema mwalimu Stellah, ni uongo, wewe si ume mkimbia na kwenda kukajengea kale kabinti nyumba sasa una kasirika nini?” alisema mwalimu Suzie, kwa sauti ya kupayuka pia, akionyesha kuchukizwa na kukasirishwa kama mwalimu Celine, “kwani huyu amefwata nini kwako, yani upuuzi wote huo alioufanya bado una mruhusu aingie kwako, hakika mimininge mng’oa pumb..” alisema Celine kwa hasira, “kusikia hivyo mwana jeshi mstaafu akasitisha zoezi la kumfwata Stellah, na kuwatazama wanawake awa walio ingia humu ndani, kwamacho ya hasira, “kwa hiyo, ndiyo kusema nini, kewani mmefwata nini hapa?” aliuliza Kipanta kwa sauti iliyo jaa hasira, “unatuuliza kamanani, kwani hapa ni kwako, muulize mwenye nyumba, wewe si uliona bora kuwajengea malaya” alisema mwalimu Suzie, ambae alionekana kuwa akuwa na subira ata kidogo, kutokana na ujinga alio ufanya Kipanta, maneno hayo yalimchukiza Kipanta, ambae alipiga hatua za haraka kuwa fwata wanawake awa wawili, ambao walipoona vile walikimbilia upande wajikoni, wakiongozana na Stellah, mwenyeji wao, Kipanta akiwa amejaa hasira, aliamua kuwafwata kula kule jikoni.
Lakini kabla ajaufikia mlango wa jikoni, akajikuta anasimama mlango ghafla………
Ni mala baada ya kusikia vurugu ya vitu vikigongana gongana huko jikoni, na ile kutazama vizuri, akawaona wanawanawake wale watatu, wakiibuka kwenye mlango wa jikoni, huku kila mmoja ameshika kitu ambacho kingeweza kutumika kama silaha, na kumjeluhi vibaya, kama siyo kumuuwa, maana wakati Stellah mwenyewe akiwa ameshika kibao cha nazi, huku Celine Suzie mwenye hasira kupita wenzie, alikuwa ameshika mwichi wakutwangia kwenye kinu, Celine yeye alikuwa ameshika kisu flani kikubwa , ungesema nusu panga, walikuwa wanamjia kwa kasi, wakionyesha kuwa awakuwa na msamaha kwake.
Hapo Kipanta akusubiri, filimbi wala ile bastora ya kuashiria mwanzo wa mbio, fupi za mita mia moja, au mia mia nne, aligeuka na kukimbia kwa speed ya mwizi, kuufwata mlango wa kutokea nje, pale sebuleni, huku bado wale wakina mama wakimwata kwa speed, ata pale nje Kipanta akusimama, alikimbia kwa umbali wa mita hamsini, ndipo alipogeuka na kutazama, “mshenzi wewe, si unajifanya kidume, njoo sasa, unakimbia nini?” yalisikika maneno ya kina Stellah, ambao walipoona ameenda mbali kidogo walisimama.
Kiapnta akabakia anathema juu juu, huku akiwatazama, wale wanawake, hofu ime mtanda, macho yame mtoka, akuamini kama kweli huyu ndie yule Stellah, mnyonge wake, sehemu yake ya dharula, mwanamke ambae, upole wake ulikuwa ni zaidi urofa, maana kuna wakati Kipanta alipo wasimulia rafiki zake, juu ya matukio aliyo kuwa anayafanya, juu ya mwanamke huyu, walimweleza kuwa ametumia dawa za jadi, kumpumbaza, mfano kuna siku walikuwa wanaongelea jinsi wanavyo maliza kesi zao na wake zao, “mimi bwana mke wangu, atakama nime mkosea vipi, nikimnunulia chupi, nyekundu au nyeupe, hapo ata mzigo atatoa, muda huo huo” alisema mmoja wao, “mh! mwanangu mimi lazima kwanza simu ipigwe kwa wazee, hapo ata kama sija semwa lolote, yeye roho yake inatulia kabisa” alisema mwingine, hapo Kipanta akacheka kidogo, kabla ya kuelezea yeye anavyo tafuta suluhu, katika kesi zake na mke wake, “nyie mnabembeleza sana, unajuwa wife juzi alinifumania, nika mkunjia sura, alafu nikamweleza twende home tuka yaongee, hapo bado nime kunja sura” anaeleza kipanta, huku wenzie wakimsikiliza kwa umakini, “na tulipofika home nika mlia bati, huku uso wambuzi, mida ya chakula cha jioni sasa, ile anakuja, kunikaribisha chakula, akapiga magoti mbele yangu, alafu akaanza kwakuniomba msamaha” alisema Kipanta, na wenzake wakashangaa, “yani anakuomba msamaha wewe na siyo wewe uombe msamaha?” aliuliza mmoja wao, “sasaje?, tena kwa unyenyekevu mkubwa” alisema Kipanta kwa majisifu, “sasa na wewe una mwambiaje hapo?” aliuliza mwenzie, huku wote wakionyesha mshangao, “nikamweleza kuwa nimeshakusamehe, lakini usirudie tena, huku bado nime kunja sura uso wambuzi kweli kweli” alisema Kipanta kwa majisifu ya kishujaa, wenzie wakastaajabu, “kaka siyo bule, kuna kitu memfanyia” alisema mmoja wao.
Lakini Leo, Kipanta anamwona yule yule Stellah, aliekuwa anamwomba msamaha, ata kwa kosa lake yeye mwenyewe, akisaidiana na wenzake kumtimua pale nyumbani, na watu walishaanza kujaa eneo lile, kama ujuwavyo, kelele za huyo huyo, zilisha anza kusikika, Kipanta akaofia kuonekana mbele ya watoto wake, hivyo akaamua kuondoka zake, na kabla ajaanza kuondoka, akamwona Stellah, anaingia ndani haraka na kutoka na begi lake dogo, alilotokanalo hospital, kisha akamrushia, “kawasalimie, wanao juwa mapenzi, na watoto usije kuwaona apa nyumbani, watakuja kukutembelea” alisema Stellah, wakati Kipanta anaokota begi lake, huku anashangiliwa na watu, mshangilio wa kuzomewa, Kipanta aka chukuwa begi lake na kutokomea mitaani, huku akiiona dunia ina mwelemea, lakini akuacha kujipa moyo, “we! ngoja tu! nikisha mfilisi Rose, ata jileta mwenyewe” aliwaza Kipanta huku anaendelea na safari yake.
Huku nyuma wakina Stellah, walirudi ndani na kuagiza wine kwaajili ya kujipongeza, na kumpongeza Stellah, kwa kujitoa kifungoni.*******
Naam Matrida tayari alisha pewa RB, toka kituo cha polisi, kwa upotevu wa vitamurisho vyake na simu, na akiwa na wenzake, walimpeleka kwenye ku renew line zake za simu, huku akikagua na kukuta kuna kiasi cha million mbili kwenye simu, kama alivyo tumiwa na na bwana Kipanta, ambae alimwacha hospital akiwa amekosa fedha ya kulipia matibabu.
Baada ya hapo saa kumi ndip mmuda ambao aliingia nyumbani kwake, akiwa na wenzake, wakifikia kuanza kupata wine kama kusherehekea mafanikio yajayo, ambapo walikuwa na uhakika wa kujivunia fedha toka kwa Rose, huku wenzie wakimsifia kwa kitendo chake cha kuto kumsikiliza Joyce, “na ukimsikiliza tu umekufa masikini ndugu yangu” aliongea mmoja wao, huku mwingine akiongeza, “tena Rose mwenyewe amekudhalilisha mtandaoni, nani alimwambia hawara ana mufamuniwa, yeye mwenyewe mwizi” alisema mwingine na wote wakacheka kwa pamoja, kabla awaajakatishwa kicheko kwa kusikia hodi kwenye mlango, wote wakatulia ili kusikia na kuhakikisha kama walicho sikia ni mlango ulikuwa una gongwa au wenge lao.
Nikweli wakasikia tena mlango ukigongwa huku sauti ya kike ikifwatia “hodi wenyewe” wote wakatazamana, kama vile wanaulizana ni nani alikuwa anagonga mlango, wote waliofia asije kuwa ni Joyce alie onyesha nia ya kumsaidia Rose na kuwakosesha fedha, nakabla awajapata jibu, wakasikia tena hodi, “hodi wenyewe” hapo walitambua kuwa hiyo sauti aikuwa ya Joyce, ndio mmoja wao, alipoinuka haraka na kuelekea mlangoni akafungua.
Naam ile kutazama nje akaona kuna watu kama watano hivi, na alie mtambua ni mmoja tu, yani Joyce, wengine walikuwa ni mdada mmoja alie onekana kuwa mwenye maisha mazuri, kwa uvaaji wake na ung’aavu wa ngozi ya mwili wake, pia aliweza kumwona mtu mmoja mwenye umri wa ujana unao elekea utu uzima, mwenye hasiri ya watu wa ufilipino, akiwa amewasika mikono watoto wawili, na kingine kilicho mfanya aone kuwa watu awa walio ongozana na Joyce ni mwenye maisha mazuri, gari lililo kuwepo nyuma yao, ni aina ya BMW new model, ya campuni flani ya kukodisha, japo yeye akulitambua ilo, “Joy ume fwata nini huku?” alijikuta ameuliza swali ambalo akutarajia, likiambatana na sauti ya mshangao, wa hasira na chuki, “kwani wewe ni kwako hapa, unaniuliza kama nani, awa ni wageni wa Mart ebu tupishe tuingie” alisema Joyce akionyesha kukasirika zaidi ya mwanamke huyu, wa hapa mlangoni, huku ana pita kwa nguvu pale mlangoni, na kumfanya huyu, mwana mke asigoo pembeni, kisha Adellah akafwatia na mume wake alibakia nje na watoto.
Matrida na wenzake mle ndani wakashikwa na mshangao na mshtuko kidogo, kwanza walizania pengine Joyce alileta kama siyo polisi, basi ni mwanasheria, hivyo wakamtazama kwa macho ya hasira na Chuki, “habari zenu jamani” alisalimia Adellah, baada yakuona awawengine wanatazama kama vile wapo vitani nzuri, sijuwi tuwasaidie nini?” aliuliza mpambe mwingine, na siyo Matrida mwenyewe, mpaka hapo Joyce akajuwa kuwa ushawishi mkubwa wa Matrida kumwangamiza Rose, unatoka kwa wanawake awa ambao anawafahamu vizuri kabisa, sababu wanafanya kazi wote pale benk, “Mart huyu ni dada yake Rose amekuja kuongea na wewe kuhusu Rose, je unaweza kutoka kidogo tukaongee sehemu” alisema Joyce kwa sauti tulivu, huku yeye na Adellah, wakimkazia macho Matrida, wakamwona anawatazama wenzake, ambao walimminyia jicho kumweleza akatae, “hapana siwezi kutoka, bado najisikia vibaya, kutembea mitaani kwa mambo yaliyo tokea” alijibu Jocyce hapo Adellah akatazama mezani, ambapo palitapakaa vyupa vya pombe, kisha akamtazama tena Matrida, “ok! siyo mbaya tukiongea hapa hapa” alisema Adellah, kwa sauti ya upole na tulivu, hapo mmoja kati ya wale waschana wakadakia, “dada mimi naona we umwache Mart apumzike, kwanza alicho fanyiwa na mdogo wako siyo kizuri kabisa,kime mhathiri kisaikolojia, alafu isitoshe kesi ipo mahakamani, ameambiwa aluhusiwi kuiongelea pembeni” alisema yule mwanamke kwa sauti flani ya kusimanga, huku akitazama pembeni na kubetua midomo, hapo Adellah aka mtazama Joyce ambae pia alikuwa anamtazama Adellah, kwa macho ya mshangao, kabla Adellah aja mtazama yule mschana mwongeaji, na kumwambia “lakini akuna mahakama inazuwia kuongea jambo kama ili pembeni, isitoshe sisi atuja fika kuingilia mambo ya kimahakama, ila tunaitaji kufahamu mambo machache juu ya kilichotokea” alisema Adellah kwa sauti ya upole, lakini Matrida akujibu kitu, zaidi ya kutulia akitazama chini, “lakini nimesha waambia Mart ajisikii kuzungumzia swala hilo, mbona amuelewi?” alsema yule mschana kwa sauti ya juu, “mbona wewe una kimbele mbele, au ndio ulio wafanyia hivyo alafu una mshawishi amtaje Rose, sisi tuna taka kujuwa kama kweli Rose aliwafwata hapo Guest, na aliwawekeaje, wekeaje hiyo dawa” alisema Joyce kwa ukali, hapo nikama alihamsha masehetani ya wale waschana, maana nao walianza kuongea kwa pamoja, “we mpuuzi nini, nani afanye ujinga kama huo, tena kwa rafiki yake” alisema wakwanza, na wapili akadakia, “eti kisa mwaume” hapo wakaangua kicheko cha kisngingi, “usikose ata wewe ulikuwa nae wakati anaweka dawa” alisema mwingine, na yule wa kwanza akaongezea, “na ukizidi kujifanya kimbele mbele na wewe unatajwa” waschana awa waliongea kwa dakika nzima wakimshambulia Joyce, huku Adellah na Matrida, wakisikiliza bila kuongea kitu, “jamani yasiwe makubwa, tunaomba tuondoke zetu tuwaache” alisema Adellah, baada ya kuona kuwa wale waschana wanao kunywa pombe, huku anainuka na akifwatiwa na Joyce, ambae pia alisimama, tayari kwa kuondoka, “nendeni kwani tulmewaita hapa?” aliuliza mmoja wao kwa kwejeli, huku wakimtazama Adellah aliekuwa anafungua pochi yake ya mkononi, na kutoa card, “Matrida mdogo wangu, naimani kuna jambo ambalo lime fichika, chukuwa hii card ina namba zangu za simu, ukitulia nipigie” alisema Adellah, huku anampatia card Matrida, lakini mmoja wao ali kuwa karibu akawai kuchukuwa mkononi kwa Adellah, “dada nikuambie ukweli akuna cha kupigiwa la kubipiwa, tukutane mahakamani” alisema yule alie ipokonya card, hapo Adellah akaonekana wazi kujawa na hasira, akamtazama yule mwana mke alie pokonya ile card, kwa macho makali, kisha akaachia tabasamu la uchungu, alafu akamtazama Matrida, ambae muda wote alikuwa kimya, “mdogo wangu, kama kweli mdogo wangu alikuwekea dawa sheria isimame, lakini kasiyo, nakuambia hivi, vyovyote utakavyo shauriwa na rafiki zako, lakini kumbuka, namfahamu Kipanta vizuri kuliko mnavyo mfahamu, na kitu ambacho nataka kukueleza, ajawaikuwa rafiki watu na asimwachie matatizo, lakini nakuhakikishia, safari hii, awezi akafanikiwa uovu na uonevu wake, na kama kuna unachotegemea toka kwa Rose, kutokana na Kessi hii, andika maumivu, nitapambana mpaka mwisho, ukweli ujulikane, na ikibainika ni uongo, basi jiandae, maana sito kuwa na muda wakuongea na wewe, nitakuomba undelee kukaa kimya kama ulivyo kaa leo” alisema Adellah kisha akatoka nje ya nyumba ile akifwatiwa na Joyce, huku wakisindikizwa na kicheko cha kebehi, “maneno ya mfamaji” alisema mmoja wao huku wakifunga mlango, wakina Adellah awakujari wakaondoka zao, wakitumia gari aina ya BMW.
“Anaonekana anafedha yule dada alafu mume wake mzungu” alisema mmoja wao huku wote wakichungulia madirishani, nakuliona BMW likiondoka, “hizo fedha ndio tuna zitaka, siyo anakuja kuomba omba hapa” safari hii aliongea Matrida, huku akichukuwa glass ya pombe na kuinywa kwa fujo.*****
Naam bwana Kipanta baada ya kufukuzwa kwa aibu nyumbani kwa Stellah, alienda moja kwa moja nyumbani kwa Rose, na alipofika pale nje akasimama na kuitazama nyumba ile kwadakika kadhaa, kisha akajisemea, “jasho langu alipotei” alisema Kipanta huku anaelekea kwenye gari lake, na alipo lifikia akaanza kulikagua matairi, kabla ajausogelea mlango wa gari, “kama siyo nyumba kama ilivyo, basi lazima auze ili anipatia mkwanja wangu, siwezi kudhalilika” alisema Kipanta huku anatoa funguo ya gari na kufungua mlango wa gari ilo aina ya Toyota IST, ambalo anasiku kadhaa ajalitumia.
Naam ile kuchomeka funguo na kuweka on, dash board ikasoma, kitu cha kwanza macho yakatua kwenye gage ya mafuta, mshale ulikuwa ume lala kushoto, kwenye ‘E’ hapo aka hema kwa nguvu, “dah! kweli mala ya mwisho sikuweka mafuta” alijisemea Kipanta huku akiegemea stearing, ambapo alishtuliwa na mlio mkali wa honi, na kujiinua haraka, kisha akaegemea kiti.
Alitulia hivyo kwa dakika kadhaa, huku akiwaza ili na lile, ikiwa ni sehemu ya kula na sehemu ya kulala, alikumbuka kwa Matrida, lakini kitendo cha kutoka pale hospital akimwacha yeye anashangaa shangaa pasipo msaada wowote, kiliashilia kuwa Matrida asingeweza kumsaidia kwa lolote, inamana mapenzi yao aliishia usiku watukio, la kuwekewa dawa, mala Kipanta akakumbuka shambani kwa Rose, “yess kile kibanda cha yule shamba boy” alijisema Kipanta, lakini atafikaje huko shamba, maana akuwa na ata shiringi, “dah! kweli maisha ni mzunguko” aliwaza Kipnta kabla ajakumbuka jambo, “yes nime kumbuka” alisema Kipanta, na kuanza kukagua kwenye dash board ya gari lake, haraka haraka, mpaka alipo ikuta shilingi elfu saba, ya buku buku, kwenye kimkebe cha dash board akatabasamu, na kushuka haraka, toka kwenye gari, akafunga milango na kuondoka zake akiwa na shilingi elfu saba, “hii nita itumia kama nauli, chakula nitapata kule kule shamba” aliwaza Kipanta huku anaelekea barabara kuu kwenda kupanda magari ya kwenda Kisalawe, sehemu pekee ambayo anaweza kupata sehemu ya kulala, ambayo aitokuwa na mashriti yoyote, “kesho namtafuta dalali niuze lile gari, nipate kianzio” alisema Kipanta, huku akiendelea kutembea taratibu, kulekea barabarani, huku njaa akimchamanda kweli kweli.*****
Saa kumi na mbili na robo, tayari Stellah na wakina Celine wa walikuwa wamesha agana, na kutawanyika zao, wakimwacha Stellah anaendelea na maandalizi ya kupokea mgeni, ambae wao binafsi awakuweza kumjuwa zaidi ya kumkadilia kuwa atakuwa ni mbaba flani wa maana, sababu Stellah mwenyewe siyo wa pole pole, ni zinga la mama.
Wakati akimalizia maandalizi yake huku anaendelea na wine yake, ndipo alipokumbuka kuwa abado ajamweleza mpenzi wake Pross kuwa aanze safari, akachukuwa simu haraka na kumpigia Pross.****
Nikweli Pross mida hii, alikuwa amekaa kwenye gogo chini ya mwembe, amesha ulamba tayari kwa safari ya mjini, kwa mpenzi wake mwana mama Stellah, hapo kuna wakati alikuwa anamkumbuka sana Rose, boss wake, Pross alikuwa ameweka simu yake pemmbeni yake, yani juu ya gogo, anasubiri simu toka kwa Stellah, kama alivyo ahidia, kuwa anajulishwa muda wakuanza kutoka, na wakati nasubiri simu, mala akashangaa kuona kuna mtu anae mfahamu akiwa anakuja kwa miguu na begi mkononi, “mh! kwani boss anahamia huku, au ananiletea zawadi?” alijiuliza Pross, huku anamtazama bwana Kipanta, alie kuwa anakuja tartibu akionekana amehoka kweli kweli, “unashangaa nini wewe mjinga, ebu njoo haraka, unipokee” aliwaka Kipanta, kwa sauti iliyo jaa jazba, Pross akatoka mbio, na kwenda kumpokea, “shikamoo boss” alisalimia Pross ambae licha ya kushangazwa na ujio wa boss wake, tena wa miguu, pia alishaingiwa na uoga flni, sababu alisha mega tunda la mpenzi wa boss wake huyu, “marahaba, vipi kuna chakula chochote?” aliuliza Kipanta, huku wakitembea kuelekea kwenye kibanda cha mabati, ambacho tumezowea kuisoma kama nyumba ya Pross, “kuna ugari na kambale, niliobakiza mchana” alijibu Pross, na wakati huo walisha fika nje ya kibanda, “ok! weka ili begi ndani, leo nalala hapa hapa, alafu fanya mpango wa ugari” alisema Kipanta, huku ana kaa kwenye gogo, la chini ya mwembe, pembeni ya simu ya Pross, huku njaa ikimtafuna vibaya sana, “dah! huyu mzee anazingua, sasa anakuja kulala huku ili iweje” aliwaza Pross ambae baada ya kuweka begi la boss wake, kisha akachukuwa ugari na kambale, akatoka navyo nje, na kwenda kuviweka karibu na boss wake ambae nusu aanze kula bila bila kunawa, kutokana na njaa aliyo kuwa nayo, “boss ngoja nikuletee maji ya kunawa” alisema Pross huku anaanza kupiga hatua kuelekea ndani, lakini basi kabla ajapiga hatua ata mbili, akasikia simu yake inaita, na wakwanza kuiona alikuwa ni Kipanta, “kumbe una simu bwana, alisema Kipanta huku ana ichukuwa simu ya Pross, iliyo kuwa bado inaita, na kuitazama mpigaji, hapo hapo macho yaka mtoka kwa mshangao……
Ni mala baada ya kuona jina la mpigaji, “hahahahaha na wewe una demu wako” aliuliza Kipanta kwa mshangao, akitanguliza kicheko, cha dharau, “ndio boss ni zinga la demu, ukiliona ata wewe mwenyewe uta mtamani” alisema Pross ambae tayari alisha mfikia Kipanta na kuchukuwa simu yake, akaitazama ilikuona jina la mpigaji, ‘my love’ ndivyo lilivyo someka jina ilo, ambalo Stellah ndie alie andika wakati anasave namba yake kwenye simu ya kijana huyu, Pross akaipokea na kuiweka sikioni, “hallow niambie mama” aliongea Pross kwa sauti flani iliyo tulia kimahaba ya kiume, “ninalo basi mpenzi, zaidi ya kukuitaji” Kipanta aliweza kuisikia sauti hiyo kwambali ikiwa ina ongea kwa mahaba ya kike yenye kujuwa kubembeleza, na kumkumbusha mbali sana, maana aliifananisha na ubembelezaji wa mke wake, asa siku ambazo alikuwa anadai dudu, japo kipindikile alikuwa anaiona kama kelo, lakii kwa sasa alijikuta anaitamani, “kwahiyo nije au?” aliuliza Pross, huku Kipanta akifwatilia maongezi yale, “sijo jambo la kuuliza ilo baby, tena chukuwa pikipiki, nitalipa huku, pita barabara ya mkato” alisikika Stellah akisisitiza, ukweli sauti na ubembelezaji, huu ulizidi kumuumiza kipanta, ambae leo aliiona thamani ya mke wake, sijuwi ingekuwaje kama ange tambua kuwa mwanamke anae ongea kimahaba, na kijana huyu, ni mke wake, “poa nakuja sasa hivi” alisema Pross, kisha akakata simu na kuiweka mfukoni, alafu akaelekea ndani kuchukuwa maji, ya kunawa na yakunywa, kisha akamletea Kipanta ambae alikuta amezama kwenye mawazo, “karibu boss” alisema Pross huku anamkabidhi maji, ambayo bwana Kipanta akayapokea na kunawa haraka, kisha akaanza kula, “sasa bwana mdogo kuna namba nataka unipigie sehemu, si unasalio la kupiga” aliuliza Kipanta huku akiendelea kula.
Hapo Pross akaona kuwa akisema anasalio la kupiga, lazima atacheleweshwa, hivyo ni bola akisema kuwa akuwanalo, ili aweze kuwai safari yake, “boss kifurushi kime isha, lakini nita toka sasa hivi, kama vipi nikununulie vocha nikutumie kwenye simu yako” alishauri Pross, na hapo Kipanta akatulia kidogo na kutafakari, ukweli n kwamba akuwa na simu, na kumweleza Pross kilichotokea, ni aibu kwake, napengine akaacha ata kumweshimu, hivyo ilibidi azuge, “aina haraka sana, nitajiunga kesho” alisema Kipanta, ambae alikuwa anaendelea kula kiporo cha ugari na kambale, alichobakiza Pross, kijana ambae akuwai kumlipa wala kumchukulia kama binadamu mwenzie.
Naam baada ya hapo Pross akaaga naboss wake akamluhusu kuondoka, maana aliitaji kujiachia pale kwenye kibanda, yeye peke yake, ata Pross alipo ondoka na yeye kumaliza kula, akaingia kibandani ambako kabla ya kulala alizungusha macho huku na huku na kujikuta akizidi kuumia roho, maana akutegeea kulala kwenye kibanda kama kile, akiwa amekosa kabisa sehemu ya kulala, mle ndani alikuta chupa kadhaa za wine, ambazo zimesha tumika, “chupa zilimtonesha moyo wake, sababu wine hii ndiyo anayo ipenda sana mke wake, “inamana aka kajank, kama uwezo wa kununua ata wine, basi kesho nita kapiga mzinga ili nipate japo elfu kumi, kisha niende mbezi nika kutane na madalali, niuze gari, kabla sijaenda kuchukuwa RB” aliwaza Kipanta pasipo kujuwa kuwa Pross alikuwa ameenda kukesha na kitumbua cha mke wake, mwana mke ambae yeye mwenyewe alimwona siyo lolote siyo chochote.******
Naam siku ya pili ilianza kwa pilika pilika wakati Adellah, na mume wake wanamalizia kupata kifungua kinywa, iliwaende Kiluvya, kituo cha polisi, kwenda kumtazama Rose na kumtia moyo, bwana Kipanta alie hamka mapema, kutokana na usingizi kuisha mapema, ikisababishwa na mawazo, na kuamua kuanza safari kueleka Mbezi, ambako alipanga angeenda kutafuta dalali wakuliuza gari lake, apate fedha za kumsogeza sogeza, wakati anasubiri kumfirisi Rose, ambae kiukweli alijuwa fika akuwa anausika kwa lolo, juu ya kuwekewa dawa kwenye kinywaji, huku Pross nae alichelewa kuhamka kutokana na kukesha na kitumbua, na wine, maana mpaka saa mbili nanusu, bado Pross na Stellah, walikuwa kitandani, kama walivyo zaliwa, wamechoka kweli kweli, maana kazi waliyo ifanya usiku aikuwa ndogo, “baby, leo umenikata kiu yangu, yani hapa mpaka naisi kitumbua kina waka moto” alisema Stellah, kwa sauti ya kivivu, huku anapeleka mkono wake kwenye dudu ya Pross, na kukuta dudu ikiwa imesimama, akamtazama Pross usoni, “we mtoto, unakulaga nini kule shambani?” alisema Stellah, huku anainuka toka kitandani kama alivyo zaliwa na kumfanya Pross autazame mwili wa mama huyu, na kuufaidi vizuri, maana aukumchosha kuutazama, “ngoja nikaandae supu, iliupate nguvu ya kunitumikia vyema” alisema Stellah, huku akisogelea kwenye kabati la nguo, huku kila alipopiga hatua, makalio yake makubwa yalitikisika, na kuzidikuchochea moto kwenye dudu ya Pross.
Stella alichukuwa kanga moja na kujifunga, kisha akatoka mlechumbani, na kuelekea jikoni, kwenda kuandaa supu, kwaajili ya mpenzi wake, wakati huo mume wake mzazi mwenzie, bwana Kipanta alikuwa mitaa ya mbezi stend, alisha pata supu ya maharage, na sasa alikuwa anaelekea barabara ya chini ambako kuna sehemu wanaosha magari, hapo aijuwa lazima angepata dalali.*****
Naam baada ya kufika kituo cha polisi, leo wakina Adellah walifika kituo cha polisi, na kufanikiwa kuonana na insp ambae alikuwa anafanya uchunguzi wa kesi hii ya Rose, na walifahamu hivyo baada ya kuomba kuonana na Rose, “wewe ni nani wake” aliuliza insp, “mimi ni dada yake” alijitambulisha Adellah, “ok! imekuwa vizuri sana umekuja, mimi ndie ninae fanya uchunguzi juu ya kesi hii, maelezo ya mwanzo ya watu walio tendewa uovu, yana mkandamiza Rose, japo kuna aina flani ya ubabaisha, katika maelezo ayo, mfano huyu binti anaitwa Matrida, mwanzo alisema kuwa akumwona Rose, pale Gues, lakini nasikia jana, ametoa maelezo mengine hapa kituoni, anadai kuwa Rose alifika pale Guest, hivyo bado tuna kazi ngumu sana kuupata ukweli, na upande wa Rose mwenyewe anadai kuwa yeye akuwepo eneo la tukio, na mala ya mwisho kuonana nao, ilikuwa ni asubuhi kule mbezi, allipo wafumania” alisema insp na hapo akamshauri sana, Adellah aweke wanasheria wazuri ili kumtetea mdogo wake, na mwsho wakaruhusiwa kuongea na Rose.*****
INAENDELEA
0 Comments