Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

Chombezo: Kitumbua cha Nani Sehemu Ya Tatu (03)



Miaka mitatu ilipita maisha yakiwa mazuri kabisa, huku wakiwa wamesha sahau kuhusu baba yao, ambae akuku na habari yoyote kumuhusu, biashara ya genge ilishamili, huku Pross akipeleka bidhaa nyingi za shambani, sasa ilifikia kipindi ambachop Pross alikuwa analima na kuuza mihogo na viazi vingi sana, kiasi cha kugiza gari kuja kuchukuwa mazao yake kisha kwenda kuya uza kwa bei ya jumla na leja leja.


Naam kipindi hicho ndicho mambo yalipo mbadirikia, japo siyo sana, lakini ili mweka katika wakati mgumu na kufikilia kuacha kazi, ya ulkinzi wa shamba hili, ni baada ya bwana Lweza ula kuhamishiwa kikazi kwenda Kagera, na kumlazimu auze nyumba yake na lile shambalake, japo aliwaachia vitu vingi sana wakina Pross kule nyumbani, vikiwa vyombo vya ndani, lakini tatizo lilikuwa ni boss mpya ambae nae alimchukuwa Pross kama mlinzi wa shamba lake, huku akiaaidi fedha ya mshahara wa Pross wa mwezi ule, wa kumi na moja, kuwa ayailipa yeye, japo mwezi ulisha fika karibu na mwisho yani walibakiza week moja tu, kumaliza mwezi huo.




Huyu alikuwa ni bwana Titus Kipanta, mwenyeji wa mkoa wa mwanza, ambae alikuwa ana mkadilio wa miaka kama hamasini na sita hivi, akiwa ni mwanajeshi mstaafu, alie staafu, akiwa na Cheo cha nyota tatu, tayari alisha pata malipo ya fedha zake za kustaafia, na ata shamba ili la bwana Lwezaula, alilinunua kwa fedha hizo za kustaafia.




Kiukweli Pross alimsifu sana bwana Kipanta, siku aliyo kuwa anajitambulisha kwake, “unaweza kuniita captain” ndivyo kinavyoitwa cheo alicho staafia bwana Kipanta ambae licha ya kuishi dar es salaam kwa miaka therasini, na mbili, lakini akuwai kupoteza rafudhi yake ya kisukuma, Pross alimsifu sana bwana Kipanta kwa uhamuzi wa kuwekeza kwenye shamba ili kubwa sana, tena lenye minazi mingi na michungwa, ambayo inge msaidia kupata fedha pale anapo kuwa amekwama, kwa mawazo ya haraka, aliwaza kuwa familia ya bwana Kipanta isinge pata shinda, ya fedha ndogo ndogo, ata baba yao akiwa amekosa fedha, maana wange weza kuuza machungwa na nazi, na kujipatia fedha ya kuendesha maisha.




Naam bwana Kipanta baada ya kukabidhiwa shamba lake, mbele ya mashaidi ma wajumbe wa serikali za mtaa huu, ambalo aliandika jina moja hivi, la kike, ambalo kwa kumbu kumbu za Pross binti huyo ambae akuwa amemwona mwanzo, alikuwa anaitwana Rosemary, Kipanta aliondoka akiwa na gari lake aina ya Toyota IST, ambalo kimtazamo lilionekana kuwa lina miaka kama asiyo mitano basi sita, maana lilikuwa lime choka kweli kweli.




Naam, zilipita siku tatu tu!, bwana Kipanta alikuja tena shambani, akiwa na gari jingine aina ya Toyota Alphad, jipya kabisa tena ata namba zake zilionekana kuwa limesajiliwa siku za hivi karibuni, lakini akuwa anaendesha yeye, ili alikuwa anaendesha mschana moja mdogo mdogo hivi, kwa mkadilio alikuwa na miaka kama ishilini na tano au nasita, tena ni mzuri wa sura, kama alivyoonekana kwenye gari kabla ya kushuka, toka ndani ya gari, ambae anaonyesha maisha yake, yalikuwa ya kifahari, ata ungewatazama kwa haraka haraka usinge weza kuwa fananisha na bwana kipanta, kuwa ndie baba wa mschana huyu, yani Rose, ambae moja kwa moja Pross alihisi kuwa ndie mtoto wa bwana Kipanta, kutokana na mwonekano wao kuwa tofauti, yani baba alionekana kupauka kidogo, japo leo bwana Kipanta alionekana kuvaa tishet na jinsi kama wafanyavyo vijana, wa lika la Pross, lakini kwa mtazamo, unge zania ni mtu ambae Rose amemkuta njiani na kumpa rift au ana kuja kumwonyesha kazi ya kufanya.




Ata waliposhuka Pross aliweza kumwona Rose jinsi alivyo mzuri, yani alikuwa mzuri wa kila kitu, kuanzia sura kimo na umbo lake ambalo, licha ya kuvaa gauni pana lakini bado kuna vitu vilishindwa kujificha, na kuonekana wazi wazi, jinsi livyo umbika, mfano hips zake pana, makalio makubwa ya duara, kifua chake kilicho beba matiti yenye ukubwa wastani, na tumbo lake dogo, ungesema ameshikwa na njaa ya siku kadhaa.




“Karibu boss, karibu sana shikamoo” alisema Pross kwa sauti iliyo jaa uchangamfu, akitegemea kuwa boss wake amekuja na mazaga zaga kwaajili ya yeye kutumia, kama vile unga sukari na vitu vingine muhimu, yani kama alivyo kuwa anafanya bwana Lwezahula, “marahaba bwana Pross, nime mleta boss wako, aje aone shamba lake” alisema Bwana Kipanta kwa sauti yake ile ile, iliyo jaa rafudhi ya Kisukuma, hapo Pross akamtazama yule mschana, amba alikuwa anamsogelea bwana Kipanta, na ata macho yao yalipo kutana, Rose akuonyesha kumjari Pross, na moja kwa moja akamsogelea Kipanta, “karibu sana Boss” alisema Pross, ambae akushangazwa na ilo, sababu alisha sikia ata sikuile bwana Kipanta alipokuwaanakabidhiwa shamba alisema ni labinti yake, “baby huyu mlinzi wako anadharau, yani ameshindwa kuniamkia” alisikika yule mwanamke akiongea kwa sauti flani tamu kinyama, nyololo, alafu laini, huku anazungusha mkono wake wa kulia kwenye kiuno cha bwana Kipanta, huku ana jiegemeza kichwa chake, kwenye bega la kushoto la bwana Kipanta, ambae alimtazama Pross kwa jicho kali sana, “kijana kwanini unashindwa kumsalimia mama yako mdogo, au unamwona ni mtoto mwenzio?” aliuliza bwana Kipanta kwa ghazab kubwa, hapo Pross akashikwa na mshangao mkubwa sana, huku akiwatazama kwa zamu bwana Kipanta mala Rose, kiasi cha wao kumshangaa pia, kwanini alikuwa anawatazama vile, hapo Pross akamwona yule mschana mbae kwa mkadilio amemzidi miaka kama miwili tu!… …..…








Akimkata jicho la hasira, “baby si unaona, yani ana dharau, ebu ona anavyo tutazama” alisema Rose, kwa sauti yake nyololo na laini, iliyo jaa mideko, huku ana zidi kujiegemeza kwa mzee Kipanta, ukweli ni kwamba Pross alishangazwa sana na kitendo cha huyu mschana mdogo mwenye sura ya upole inayo ashiria kuwa ni mtoto mdogo mdogo kwaw mzee huyu, ambae yeye Prosper alizania kuwa ni mtoto wa bwana Kipanta, akimwita baby, mala nyingi jina iliuitana watu waliopo ndani ya mapenzi mazito, tena yale mapenzi ya kupeana Kitumbua, na siyo mapenzi ya baba kwa mwanae, “samahani, shikamoo boss” alisalimia Pross kama vile alikuwa amekulupuka toka kwenye usingizi, lakini salamu ile aikuitikiwa na mschana yule mdogo, zaidi aliguna na kubinua midomo ya kubeza, “yani mpaka alazimishwe” alisema yule binti, kwa sauti ya majivuno kweli kweli, “Pross unaweza kupoteza kazi sasa hivi, we leta ujinga tu!” alisema mzee Kipanta, ambae kwa mwonekano amezidiana kidogo na bwana Feruz, yani baba yao wakina Pross, huku mzee huyu, na mschana huyu, ambaesiyo mwanae ila ni mpenzi wake wakianza kutembea kuingia ndani ya shamba, “tufwate huku” alisema Kipanta kwa sauti kavu na iliyoonyesha kuchukizwa, Pross akaanza kuwafwata nyuma, “mpenzi ili ndilishamba ambalo nimekununulia, hii minazi michungwa na migomba yote yakwako” alisema Kipata kwa sauti tulivu ya kubembeleza, huku akiendelea kutembea taratibu, akiwa ameshikana mkikono na Rose, “hooo! baby kumbe kuna viazi vitamu na mihogo, mbona huku niambia, jamani” alisema Rose kwa sauti ya kudeka, huku akimwachia mkono bwana Feruzi, na kusogea kwenye moja ya tuta la viazi na kutaka kuchimba kimoja, “Rose ebu subiri kidogo, utakiwi kuchafuka” alisema Feruz kisha akamgeukia Pross, “ebu chukuwa mfuko alafu iweke vazi, mama yako anataka kubeba nyumbani” alisema Kipanta kwa sauti ya kuamrisha, Pross aka ondoka haraka kwenda kuchukuwa mfuko kule kwenye kibanda ancho kaa, kwenda kuchukuwa mfuko, huku akiwaacha mzee Kipanta, na huyu mschana, ambae kiukweli ukiwatazama ungesema ni mwanae tena kama siyo wa pili basi wa tatu, “hooo!tena kuna mihogo pia” aliwezza kusikia Pross akiwa kule ndani anatafuta mfuko, “usijari mpenzi, yani wewe beba tani yako” alisema bwana Kipanta, na kumfanya Pros ashangae kidogo, maana ukweli ni kwamba, alikuwa anajuwa kabisa kuwa miogo na zile viazi na mazao yote ya muda mfupi, ni vya Pross, lakini Pross akajuwa kuwa anaweza kujipatia fedha kidogo ya matumizi, maana akuwa na kitu chochote mfukoni, na tarehe za kupewa fedha yake ambayo ni kama mshahara wa mwezi huu, ilikuwa bado.


Pross alitoka na mfuko mkubwa ile ya kuwekea unga, ambayo ina uwezo wa kuchukuwa kilo ishilini na tano, na jembe mkononi, “sasa mbona mfuko wenyewe mdogo, nitaweka viazi na mihogo kweli?” aliuliza yule mschana Rose, kwa sauti ya kulalamika, “we kijana ebu kachukuwe mifuko mingine bwana, mbona unakuwa mzito hivyo?” aliamlisha bwana Kipanta, na hapo Pross alie tegemea kujipatia fedha, akakimbilia tena ndani ya banda lake, na kuja na mifuko mingine miwili, kama ile ile, “yani baby, vimifuko vyenyewe vidogo, ebu ona” alilalamika yule mschana, kiasi cha kuanza kumkela ata Pross, “samahani boss, mifuko mikubwa nimewekea mkaa, nah ii midogo, ndiyo hipo mingi uwa boss Lwezaula alikuwa ananileteaga unga” alijibu Pross na hapo nikama alikuwa ametoa mchongo mwingine kwa mschana huyu, “baby kumbe uwa ana chomaga mkaa?” aliuliza Rose kwa sauti ya kudeka, “yani Rose nilivyo kuambia kuwa huku ni kuzuri ulizania kuna maghorofa, hii ndio maana yake tena kule chini kuna mboga mboga za kumwaga” alisema bwana Kipanta, kama vile kalmia yeye, ila kwa upande wa Pross yeye aliwaza kuwa siku ile ange jipatia fedha nyingi sana.




Ukweli masaa mawili waliyo kaa hapa wakina Kipanta, na huyu mschana Rose, yalikuwa magumu kwa Pross, maana alifanya kazi nyingi sana, ikiwa nikuchuma machungwa kuangua nazi, kazi ambayo yeye aliiona ngumu sana, kwasababu akuwa na uwezo mkubwa wa kupanda kwenye minazi, pia alichimba mihogo na viazi, na kuchuma mboga za majani na vitu kama pili pili hoo mbuzi, na vitu vingine ambavyo mwanamke huyu aliviitaji, huku muda wote Prosper au Popa, alikishuhudia mahaba mazito kwa wawili awa ambao mala kwa mala walikuwa waki shikana mikono na kukumbatiana, “kweli fedha ndio kila kitu, yani zee kama ili lina miliki mschana mrembo kama huyu, alafu lina mkumbatia kila mala, eti baby baby” aliwaza Pross, wakati ana bebelea mizigo kuingiza kwenye gari “alafu kademu knyewe ni kazuri” aliwaza Pross, ambae kiukweli mschana yule aliweza kumfanya ahamshe hisia za kuwa na mwanamke, mana ukweli nikwamba akuwai kupata kitumbua ata siku moja, ukiachia ile siku ambayo mama yake mdogo, alimchezea dudu, na kutaka kumpa kitumbua, akuwai kukaribiana na kitumbua.




Lakini Prosper alishikwa na mshangao muda wa kuondoka, ambapo licha ya mschana mrembo Rose, kukumbusha mkaa, ambapo aliitaji viroba viwili vya mkaa, kati ya vitano vilivyo kuwepo, kwaajili ya kuuzwa, lakini waliingia kwenye gari, na kuondoka zao, bila kuacha kitu chochote, yani siyo fedha wala chakula kama alivyo kuwa anafanya bwana Lwezaula, boss wake wazamani, na kutokana na ukari wa bwana Kipanta, ukweli Pross alishindwa kuomba fedha yake japo ya ule makaa pekee, hivyo akalisindikiza gari kwa macho mpaka linatokomea, “hivi huyu mzee, huyu ndie mke wake, au na yeye anafanya kama alivyo fanya baba?” alijiuliza Pross huku anaingia kwenye kibanda chake na kuchukuwa kiredio chake, kidogo, na kutoka nacho nje akafunga na kuelekea barabara kuu ambako ndiko kulikuwa na vijana wenzake wengi sana, na ndiko alikokuwa anashindaga kila siku mida ya jioni, na wakati mwingine alikuwa anawekaga mkaa wake ili kuwauzia wapiti njia wanao elekea mjini dar es salaam au kibaha.******




ulipita mwenzi mzima, pasipo kuonekana bwana Kipanta wala Rose, ambae ndie boss wake, hali ya maiasha kwa Kijana Pross ilikuwa ngumu kidogo, japo kuwa alisaidiwa na fedha za mkaa, mboga mboga, na wakati mwingine mapassion na embe dodo, ambazo sasa zilikuwa katika msimu wake, ambazo alikuwa anazipanga barabarani na kuuza kwa moja moja au ndoo nzima, maana akulipwa mshara wake, wa mwezi uliopita, na mwezi huu unaoisha, ila alijipa moyo kuwa ata pewa laki moja nzima, na kufanyia jambo la msingi.




Siku hiyo Pross alikuwa amejipunzisha chini ya mwembe dodo, maana kulikuwa na kajuwa flani, alijilaza na kutulia kwa muda mrefu kidogo, ambapo licha ya kuchoka sana kutokana na kulima toka asubihi mpaka saa tano, kwaajili ya kulima maindi na kupanda mihogo, na viazi, kwa sababu mwezi huu wa kumi na mbili, ulikuwa na mvua flani hivi za kupandia, mihogo na viazi, lakini kijana huyu pale chini ya mwembe dodo ambao alikuwa nao makini siangikiwe na mahembe, akuweza kupata usingizi, japo kwa dakika tano, maana muda wote alikuwa anawaza juu ya baba yake, ambae ni mwaka wa tatu sasa ajamwona wala kupata habari zake, roho ilimuuma, sana, maana mala ya mwisho aliweza kuona dalili za kuwa baba yake alikuwa na maisha magumu sana, maana ukiachilia maneno ya watu wa pale mivinjeni line polisi, pia majibu ya Khadija, yalionyesha wazi kuwa baba yake akuwa na kitu chochote, na kuonekana kuwa siyo lolote kwa mwanamke yule ambae kitumbua chake ni moja ya biashara zake, ambae alikuwa ameonelea ajipumzishe kidogo, kisha apeleke mkaa barabarani, aliendelea kuwaza juu ya maisha yake na jinsi atakavyo wasaidia wadogo zake kwa kulipia masomo yao, na kuwanunulia nguo nzuri.




Wakati Pross anaendelea kuwaza hayo, mala akasikia muungurumo wa gari, ukiingia pale shambani, akainua uso na kutazama kule linakotokea gari, akaliona Toyota Alpahad ambalo bado lilionekana kuwa jipya sana, na kwamba mtumiaji alikuwa anamatumuzi mazuri sana na gari lake, gari uli lilikuwa ni lile lile la mschana Rose, ambalo alikuja nalo mala ya mwisho akiwa na bwana Kipanta, japo leo nikama Kipanta akuwepo ndani ya gari ilo, maana walionekana waschana wengone wawili wakiwa ndani ya gari ilo, mmoja alikaa seat ya abilia ya mbele, na mwingine alikaa seat ya nyuma, huku Rose akiendesha gari ilo, Pross akatabasamu kwa matumaini ya kuwa leo ameletewa mshara wake.




Pross aliinuka mala moja pale juu ya mkeka, na kujiweka tayari kumpokea boss wake, ambae alikuwa amekuja na watu wengine, ambao yeye kama yeye akuwa na inshu nao, zaidi ya kuwaza laki moja yake, ambayo ni mishahara ya miezi miwili, “waaahoooo, Rose ilishamba lote la kwako?” aliuliza mmoja kati ya wale waschana wawili aliokuja nao Rose, huku wanashuka toka kwenye gari, “ujaona kule nyuma kuna kila kitu, yani mpaka natamani nimwambie babu anijengee kijumba cha kupumzikia week end, alisema Rose kwa sauti yake ile ile tamu, na kumfanya Pross akubari kuwa hii nisauti harisi ya Rose na siyo sauti ya kumdanganya bwana Kipanta, ambae akiwa mbali Rose umwita babu, “tena m’bane mapema kabla ajaishiwa, au mke wake kumbana” alisema mmoja wa rafiki zake, huku wakiwa wamesha shuka tooka kwenye gari, huku Pross akiwaona wote walikuwa wame valia sale za wafanya kazi wa National Miclofinancial Bank, yani NMB, kwahiyo Pross aligundua kuwa Rose licha ya kuishi kwa kumtegemea bwana Kipanta, kama peni wake, pia mwanamke huyu alikuwa mfanyakazi wa benki hiyo ya serikali, na ukwelli yeye na rafiki zake nikama walichaguana, maana walikuwa wazuri kuliko kweli kweli, japo awa wawili awakumfikia Rose, japo kuna mmoja alionekana kuwa na umri mdogo kuliko Rose, na huyu mwingine kama walikuwa wanalingana tu!.

“jamani Rose, utamuuwa babu wawatu, unajuwa ile nyumba ya mjini, siyo ndogo, ebu mwachie akumbuke na familia yake jamani” alisema mmoja wawale waschana kwa sauti ya kulalamika…


Lakini ikionyesha ina utani ndani yake, “lazima alipie, yeye si alikula vya watu” alisema Rose japo kwa sauti nyololo lakini Pross aliiona kuwa imeaa ukatili sababu alijuwa fika kuwa kina chi mkuta bwana Kipanta ndio kile kilich mkuta baba yake miaka mitatu iliyopita, “hivi we mlinzi unajuwa hii tabia yako siipendi, yani toka tumefika wewe unatuangalia, au tuna vutu vya hajabu kwenye miili yetu?” aliongea Rose kwa sauti ile ile nyololo, lakini iliyo jaa ukari, “samahani boss nilikuwa na subiri mmalize kuongea, ndio niwasalimie” alisema Pross kwa sauti ya upole na ya kunyenyekea, huku wenzake na rose waki mtazama Pross kwa macho flani ya huruma, “maongezi yetu aya kuhusu, ata hivyo, umeowea uwezi kusalimia mpaka yule babu yako akuambie, sababu ndie anaekulipa mshahara” alisema Rose huku anaanza kutembea kuelekea nyuma ya kibanda ambako ndiko kwenye shamba kubwa, “samahani sito rudia tena, boss shikamoni” aliamkia Pross na kuwafanya wale waschana wawili waliokuwa wanamfata Rose,wasimame na kumtazama Pross, kwa mshangao mkubwa, “maarahaba ebu chukuwa mifuko kwenye gari, niwekee machungwa mihogo nazi na viazi, alafu pakiza mkaa viloba vitatu kwenye gari” hiyo aikuwa ombi ila ilikuwa amri, toka kwa boss wake, hapo Pross akakumbuka mala ya mwisho alipokuja Rose na bwana Kipanta, maana walichukuwa vitu vyake vingi na awakumlipa ata shilingi ya mkoloni, “Rose mbona huyu kijana mkubwa kabisa ana kuamkia” Pross alisikia sauti ya yule mschana ambae ana umri sawa na Rose, akiuliza hivyo wakati yeye akiwa ndani anaelekea kwenye gari kuchukuwa mifuko kama alivyo elezwa, “alafu kijana mwenyewe hand same” alisema yule mdogo mdogo, na kumfanya Pross ajitazame kidogo, huku anatabasamu, maana kuambiwa handsome na waschana kama wale, inabidi uwe mzuri kweli, Rose akujibu lolote zaidi ya kuendelea kuwatembeza wenzake kwenye lile shamba lake.




Pross akuwa na lakufanya, zaidi ya kufanya kama alivyo ambiwa na boss wake Rose, na ata wakati wa kuondoka pia akupewa chochote, ila mmoja wawale waschana alimwuliza, “eti kaka, umeishia darasa la ngapi?” kwa swali lile walimaanisha shule ya msingi, “form six” alijibu Pross kwa sauti ya kinyonge, uliosababishwa na kugundua kuwa na leo bidhaa zake zime chukuliwa bila malipo yoyote, na akukuwa na dalili ya pewa mshahara wake, jibu lile llilionyesha kumshangaza ata Rose mwenyewe, maana akutegemea kuwa kijana huyu ametumia muda mwingi kusoma, lakini akuongea chochote, mpaka wanaondoka eneo lile.******


Ukweli Pross aliumia sana, moni mwake, na kujikuta anaanza kumchukia boss wake, ambae alionyesha kila dalili ya kukosa utu, ata safari nyingi alipokuja alikuja na wenzake awa na akiongozana na bwana Kipanta, ambapo mambo yalikuwa zaidi ya siku ile, “hivi kwanini umelima sehemu ndogo, na kule chini una mwachia nani?” aliuliza Rose kwa hasira, huku akimtazama Pross, ukweli Pross alishindwa kumwelewa biss wake huyu, sababu yeye analima kwa faida yake, na siyo kwaajili ya boss huyu, na isitoshe awakuwa na mkataba wa kulima, maana yeye uwepo pale kama mlinzi tu! kama kuna swala la kulima au kuvuna, ilimpasa yeye akodi mtu au watu wafanye hivyo na kuwalipa, “usijari mpenzi, ata lima tu, na mfahamu huyu kijana anajituma sana” alijibu bwana Kipanta.




Naam siku ile mambo yalikuwa ni yale yale, Pross alilazimika kuvuna mazao yake na nazi kwaajili ya boss Rose, na kupakiza kwenye gari, huku bwana Kipanta, akiongozana na wale waschana watatu akiwepo Rose, wakionyeshana eneo ambalo bwana Kipanta alitakiwa kujenge nyumba, kuna wakati Pross aliona kitu ambacho akikuwa cha kawaida, nikama alimwona bwana Kipanta akiwa ana mtazama yule mschana alien a umrimdogo kuliko Rose na kumkonyeza pale macho yao yalipokutana, na yule mschana kuishia kutabasaamu, na kutazama chini kwa aibu, “tena wajenzi wata kaa kwenye kile kibanda, atuta kuwa na haja ya mlinzi, mi naona tuna poteza fedha nyingi sana” Pross aliweza kusikia kwambali Rose akiongea ka sauti ya kudeka, “ni wewe tu mpenzi, unavyoona inafaa, basi nita kuhamishia fedha kwenye account yako, ili uanze ujenzi” alijibu bwana Kipanta ambae ukweli nikama alianza kudhoofika, kama siyo kwaajili ya pombe basi mawazo, ndicho nacho kupendea baby, lakini hii ni kwa faida yetu wote” alijibu Rose kwa sauti ya kudeka, na kuzidi kumfanya Pross amchukie.




Na ata wakati wa kuondoka ulipowadia, Pross alipiga moyo konde na kuomba kuongea na bwana Kipanta, maana aliona kuwa akizubaa anaweza kufanya kazi bila malipo, na vile vile mazao yake yana kwenda bule, “samahani mzee naona kila boss akija anachukuwa tu mihogo viazi mkaa, alafu anipi ata ela yangu, alafu mshahara wangu ni mwezi wa pili sasa, sijapata, siunajuwa kule nyumbani wanategemea mshahara wangu niwatumie” alisema Pross kwa sauti ya kunyenyekea, hapo Kipanta akamtazama Rose, ambae alikuwa anaingia kwenye gari pamoja na wenzake, kisha akamtazama Pross, “ok! usiwe na wasi wasi, utalipwa zote kwenye mshahara wako, cha kufanya kaachini piga mahesabu, alafu nikija utaniambia ni kihasi gani, unadai” alisema boss Kipanta, ambae Pross akuwa na namba zake za simu, “nashukuru ana boss, nitapiga mahesabu bahati nzuri nakumbuka vizuri?” alisema Pross akijuwa kuwa muda siyo mrefu atalipwa fedha ndefu sana.

Ukweli siku ile akuwai ata kwenda kutembea, maana alikaa chini na kuandika kitu kimoja baada ya kingine, alicho wai kumpatia Rose, kuanzia mikaa na mboga mboga, na kugundua kuwa ni zaidi ya shilingi Elfu tisini, ikiwa pamoja na punguzo la elfu nne kwa kila kiloba cha mkaa, na kuongeza elfu ishilini za mihogo, aliyo chukuwa malazote, inakuwa lakimoja na elfu kumi, ongeza viazi laki moja na ishilini hivyo basi ilikuwa ni laki mbili na ishilini akiongeza na mshahara wake wa miezi miwili.******




Naam ilikuwa tofauti na matarajio ya Kijana Pross, kuwa angepata fedha nyingi siku za hivi karibuni, maana zilipita week mbili pasipo kuonekana Rose wala Kipanta, akawaza kuwa watu wapo busy na sikukuu za chrissmas na mwaka mpya hivyo lilikuwa ni jukumi lake kumkumbusha, sasa ata mkumbushaje wakati akuwa na namba ya Kipanata wala Rose, lakini wakati mwingine kuwaza kwingi ndio kupata jibu sahihi, maana alipata wazo la kipiga simu kwa boss wake wazamani, bwana Lwezaula, na kumwomba namba za boss wake mpya yani bwana Kipanta.


Prosper alifanikiwa kupata namba ya Kipanta toka kwa Lwezaula ambae alionekana kufurahi sana, mala baada ya kupokea simu toka kwa kijana Pross, ambae baada ya kupewa namba za simu, akampigia bwana Kipanta, na kumkumbusha juu ya malipo yake, akimtajia kiasi cha fedha cha laki mbili na therasini alichokuwa anadai, “sikia dogo, vuta subira kidogo, siunajuwa kuwa unazungumia fedha hapo, na fedha zina tafutwa, hivyo kuwa mpole kidogo” jibu ili lilianza kukatisha tamaha kijana Pross, ambae alianza kuona malengo yake ya kuwasomesha wadogo zake, maana boss alisha onekana kuwa ni mtu wa sound.

Hivyo Pross akaaamua kufanya kazi kwa juhusi ili aweze kufanikisha japo nusu ya malengo yake, hivyo akaingia msituni kukata kuni kwaajili ya kuchoma mkaa, ambao alimini akiuuza ata jipatia fedha ambayo ita punguza baadhi ya mambo nyumbani kwao. *******


Zilikuwa sime bakia siku tatu kabla ya sikukuu ya chrissmass, saa kumi jioni, ndio siku ambayo Pros alikuwa anabebelea mkaa toka toka kwenye tanuli lake kubwa ambalo alikuwa amelichoma kwaajili ya kujipatia fedha za kuwasaidia mama yake mama mdogo, na wadongo zake wapate fedha za siku kuu, akiupeleka pale kwenye kibanda chake, na wakati anamalizia kupakia mkaa kwenye viroba, mala akaliona gari aina ya Toyota Vitz rangi ya silver likiingia pale shambani, mwanzo Pross alizania kuwa ni gari jingine la bwana Kipanta, maana ata siku ile ya kwanza alikuja na dari dogo sana aina ya Toyota Ist, tofauti na ili Toyota vitz nikwamba ili lilikuwa lime choka choka kidogo, tofauti na lile IST, na alipolitazama vizuri akagundua kuwa gari lile lilikuwa linaendeshwa na mwanamke, tena asie mfahamu kabisa, japo kwamwonekano wa mwanamke huyu, akiwa bado kwenye gari, usoni alikuwa ni mzuri, usowake kama vile msomari au mnyarwanda, ila watu kama awa kwa hapa nchini, wanapatikana upande wa kaskazini, hivyo Pross alishindwa kumtambua kama ni mwanamaam au mwana dada.


Gari lile lilikuja na kusimama mbele ya kibanda kile cha bati, na kisha wakashuka watu watatu, wakianza wawili, yani mschana mmoja mwenye makamo ya Pross ila yeye nikama alikuwa na miaka kati ya kumi na tisa, mpaka ishilini na moja, ambae kimtazamo alikuwa amefanana sura na yule mama alie kuwa anaendesha gari, ilakwa umbo alikuwa na umbo flani ambalo, moja kwa moja linge kutoa mate kama wewe ni mwanaume unae penda waschana wadogo, maana alikuwa na umbo flani lililo tanuka kuanzia kiunoni, mapaja na makalio, yaliyoonekana vyema kwenye suruali yake ya jinsi, pia alikuwa mrefu kiasi, alafu kifua chake cha wastani kilicho beba maziwa mazuri yaliyo simama vyema, kama yalivyoonekana kwenye kijinguo chake cha juu wenyewe wanaita kitop, ukwli Pross alijikuta ana kweesha macho, kumtazama abiria wapili, maana aliona akimshangaa sana, ata wachukiza kama alivyo mchukiza boss wake Rose,




Pros akaona anashuka kijana wa kiume ambae licha ya kufanana sura na dada yake, pia alikuwa mwembamba na mrefu, ungesema ni mmasai au msomali, huyu kwa mkadilio alikuwa na umri wa miaka kati ya kumi na tano au mpaka kumi na saba, hiyo ukimtazama usoni, lakini kwa mtazamo wa haraka, alifaa kuongozana na kuwa lika moja na Pross kutokana na kimo chake, kwakifupi watoto awa wawili walionekana wazi kuwa wametoka katika maisha ambayo ayakuwa na shida, japo sura zao zilionekana kujawa na simanzi flani, “mambo vipi?” alisalimia yule kijana wa kiume, huku ana msogelea Pross, alie kuwa amesimama ana watazama, huku amechafuka mkaa kweli kweli, “poa niaje” alijibu Pross, huku ana geuka kutazama kwenye gari, ambako sasa alikuwa anashuka dereva wa gari ili, ambaw alionekana kuchelewa kushuka kutokana na kupekuwa pekuwa kwenye mkoba wake, ambamo aliibuka na kitenge, na baada ya kushuka akaonekana akijifunga, Pross akuweza kuona vizuri sababu mama huyu alizuiliwa na mlango wa gari ili, “dada kumbe shamba kubwa” alisema yule kijana wakiume huku wote wawili wakitazama tazama, kila upande kuangalia lile shamba, la mwana dada Rose, nika juwa kuwa awa kama siyo wamekuja kutafuta ,ashamba ya kununua, basi bwana Kipanta, anataka kuuza ilishamba, kwa upende flani Pross aliombea iwe hivyo, pengine maboss wapya wangerudisha maisha yake, na familia yao, “kwani umeambiwa ndio hili?” aliuliza yule mschana, huku na yeye akitzama kushoto na kulia, ukweli Pross yeye akuwa anafwatilia maongezi yao, zaidi alitazama jinsi mtoto huyu alivyo umbika.

“Ujambo Kijana?” Prosper alishtuliwa na sauti nzuri iliyo jaa upole toka kwa mama wa watoto awa, “sijambo shikamoo mama” alisalimia Pross ambae neno mama yeye kwake lilikuwa ni kwa kila mwanamke mtu mzima, huku anageuka kumtazama yule mama, “marahaba” aliitikia yule mama ambae ukweli Pross alibakia memkodolea macho kwa jinsi mwonekano wa yule mama ulivyo, ukiachia kuwa sura nzuri kama ilivyo kwa mwanae, pia alikuwa ana umbo ambalo, ukilitazama, bila kuuliza unajuwa kuwa huyu mwanae amerithi toka kwake, maana ukiambiwa hips hips kweli, ukitazama kalio, kalio kweli yani japo alikuwa amejifunga kitenge, lakini nikama kilionekana kidogo, sababu kiliacha sehemu ya mbele wazi kidogo, na kufanya Pross agundue kuwa mama huyu ambae umri wake nikama miaka therasini na nane hivi, alikuwa amevalia suluari kwandani, na alifunga kitenge ili kuficha utamu wake, ambao ungeonakana jinsi ulivyo jichora kwenye suruali yake.

“samahani kijana, hapa ndio shambani kwa bwana Kipanta?” aliuliza yule mama, mala baada ya kumfikia Pross, ambae bado alikuwa ana mtazama huyu mwana mama na kusanifu umbo lake, ambalo, lisinge mwacha salama mwanaume yoyote lijari……



Huku watoto wa mama huyu wakisubiri jibu toka kwa Pross, ambae alikuwa kimya kwa sekunde kadhaa, lakini awakugundua kuwa Pross alikuwa ana mshangaa mama yao, ila mama mwenyewe alishagundua, kuwa kijana huyu, amesha changanyikiwa kwa umbo lake, ambalo uwa lina wachanganya wanaume wengi sana, “we kaka mama siamekuuliza kama hapa ni shambani kwa mzee Kipanta?” safari hii Pross alishtuliwa na sauti ya yule binti, hapo Pross akagundua kuwa anaonyesha udhaifi mkubwa sana mbele ya wageni awa, kwa kuwashangaa maumbile yao, “ilishamba siyo la Kipanta, japo yeye ndie alie kuja kununua, ilishamba ni la dada mmoja anaitwa Rose” alijibu Pross, huku akishindwa kuzuwia macho yake kutazama maumbo matamu ya mama na mtoto, hapo Pross aliweza kuwaona wanafamilia awa wakitazamana katika hali tofauti, wakati watoto wakionyesha tabasamu, mama alionekana kubadirika usoni,kwa kukosa amani, alitulia kidogo kizungusha uso wake pande zote, kutazama lile shamba kwa, ungesema kuwa alikuwa anaitaji kulinunua, kisha akamtazama Pross, huku bado uso wake ukiwa ume nyongea, “samahani kijana unaweza kunionyesha kidogo mipaka na madhingira ya shamba lote” alisema yule mama kwa sauti ya upole iliyo nyongea, “akuna tatizo mama na weza kuwatembeza” alijibu Pros, na hapo wale watoto wawili wa huyu mama kwaka tabasamu kwa furaha.




Naam huku akihisi kuwa ni wateja wamekuja kuangalia shamba pengine wana miadi na bwana Kipanta, Pross aliwatembeza kwenye kila kona ya shamba, huku akikabiliana na usumbufu wa hapa na pale, ambao san asana ulitoka kwa watoto awa wawili, maana wakiume akiomba achumiwe chungwa, wakike aliomba dafu, wakiume akiommba hiki wakike anaomba kile, “nyie mbona mnamsumbua anko” ilifikia kipindi mama yao aliwaambia hivyo japo katika hali ya utani na maongezi, “acha tu mama, najuwa mjini vitu hivi ni gharama sana” alijibu Pross, huku anacheka cheka, sijuwi kwanini alitokea ifurahia sana familia hii, ambayo mpaka sasa akuwa anawajuwa ni wakina nani na wametokea wapi, na lengo la kuja pale ni lipi, “nakweli mle kabisa madafu na msinisumbue njiani sijuwi tunataka madafu sijuwi embe, nazani mmeziona wenyewe” alisema mama huyu ambae alionyesha kupendezwa na jinsi Pross alivyo wapokea, “kwahiyo na hizi mboga mboga, viazi na miogo wame lima wao au umelima wewe kwaajili ya maitaji yako?” aliuliza yule mama, wakati wanapita kwenye eneo ambalo Pross alikuwa amelima mboga za majani kama vile mchicha chines kabeg, spinach nyanya, pili pili na nyinginezo, “hizi ni kwaajili yangu, pamoja na ile mihogo, na viazi” alijibu Pross kwa uchangamfu pasipo kujuwa huyu mama ni nani.*****




Naam huyu mama ni mwalimu wa shule ya msingi Luguruni anaitwa Stellah, ni mama wa watoto wawili, mwny umri wa miaka thelathini na nane, uzuri wa umbo na sura yake ndivyo vilivyo mfanya bwana Kipanta avutiwe nae na kuanzisha mausiano miaka ishilini iliyopita, wakati huo Stelah alikuwa anamaliza kidato cha nne tabora girls secondary, huku bwana Kipanta akiwa ni askari anafanyia kazi kwenye kambi la jeshi la mirambo, na kabla Stelah aja anza masomo kwenye chuo cha ualimu, akajikuta tayari mjamzito, ambao alijifungua mtoto wa kike, akiwa ndie mtoto wa kwanza wa bwana Kipanta, ilikuwa kama bahati kwa bwana Kipanta, pale alipo lazimishwa kuishi na mschana mrembo stellah, na wa zazi wa wanamke huyu, ata askari wenzake walimwita mwenye bahati, maana stela alikuwa ni mmoja kati ya waschana wazuri, walio utikisa mji wa tabora.

Maisha ayakuishia hapo, mausino na wazazi wa Stelah yakafanyika, na Stelah akakubaliwa kukaa nyumbani kwa wazazi wake, huku akilea mtoto wake wa kike, ambae baada ya kutimiza mwaka mmoja, Stelah akaenda chuo , ambako ali soma kwa miaka miwili na alipotoka tu, akajikuta anabeba mimba ya pili, ya mtoto wake wa kiume, na hapo ndipo alipo hamia kwa bwana Kipanta, amba miezi michache baadae alipata uhamisho na kuamia kambi moja la jeshi, huko kibaha mkoani pwani, na mke wake yani stelah kupata kazi ya kufundisha shule ya msingi Luguruni, huku wao wakiishi kwnye nyumba ya kupanga maneo ya Mbezi kwa Yusufu, na baadae wakajenga Kibamba Hospital, ambako wanaishi mpaka sasa.

SOMA HAPA JINSI YA KUJITU UGONJWA WA PRESHA

ITAENDELEA



Post a Comment

0 Comments