"Nitakutumia
sikupata pesa, yule jamaa niliyemtegemea kanitumia nusu, nikifika tu
nakutumia" aliniambia hivyo,
Basi tulitoka nje
na kuagana nikarudi nyumbani, kwa kipindi hicho sikuwa na kazi yoyote ya
kufanya, kwani niliacha kazi ambayo ilikuwa ni duka kubwa la kuuza simu,
niliamua kuacha baada ya kuachana na boyfriend wangu ambae alikuwa ndo boss
wangu, hivyo baada ya kunisaliti sikuona sababu ya kuendelea kubaki pale dukani
kwake,
Nilikaa nyumbani
huku nikimuwaza yule mwanaume tu muda wote, ilipofika usiku nilimtumia msg
kumuuliza kama amefika salama, hakunitafuta tena wala kunipa taarifa yoyote
akanijibu ndio
"Sasa kwanini
umefika lakini hujanicheck" nilimuuliza maana kitendo kile kiliniudhi
"Mambo mengi
tu dear"
"Sawa pole na
uchovu"
"Asante
mpenzi"
"Enhee mambo
mengine vipi?"
"Bado hajakaa
poa nikiwa fresh nitakucheck tu" aliniambia
Nilimtakia usiku
mwema na kumuacha apumzike, asubuhi ilipofika hakunitafuta kwenye simu nami
nilikuwa nategea ili kumuona kama atanijali tena, lakini haikuwa hivyo mpaka
jioni ikafika hakunitafuta, niliingia fb nikakuta kapost pic, nikaona nimtumie
msg inbox
"Naona leo
tangu asubuhi umeshindwa kunicheck lakini huku unachat tu"
"Sasa sina
pesa ya kukupa nitakucheck vipi, nimekwambia nikipata pesa nitakutafuta"
alinijibu
"Jamani sasa
si ungekuwa unaniuliza hata hali yangu tu, kwani ndo tulivyokuwa tunaishi
hivyo" nilihisi kupata tabu juu ya huyu mwanaume
"OK
nimekuelewa" alinijibu hivyo tu,
Basi zilipita siku
tatu mimi ndo nikiwa namuanza kumtafuta tu kila siku yeye wala hafanyi hivyo,
nilihisi kuumia maana nilikuwa tayari nishaanza kumpenda vile vile alivyo,
sikujali ufupi wake wala nini
"Lini
utanitumia nauli nije huko"
"Kwasasa sina
pesa kabisa" alinijibu hivyo
ITAENDELEA
HADITHI-
NINGEFANYA NINI
SEHEMU YA 7
"Kwasasa sina
pesa kabisa" alinijibu hivyo
Nilishangaa sana
amebadilika mno, wakati mwingine akiweka picha naona wasichana wakicomment
mume, niliwaangalia ili kuona walichonizidi lakini hakuna kabisa
"Naona watu
wanatuma tu comment mume, nawe unachekelea tu, yule chausiku ndo nani"
nilimtajia jina la mmoja Kati ya walio comment
"Achana nao
wanawake wengine wanapenda kujirahisisha tu, si umeona siwajibu kitu"
alinijibu hivyo nami moyo kidogo ukapoa
"Unajua
nakupenda sana wewe mwanaume lakini sikuelewi"
"Unielewi
vipi mbona hata mimi nakupenda, hapa kwenyewe natamani nikuone mke wangu"
Aliniambia hivyo
nikajisikia raha sana maana tangu tukutane niliona amebadilika lakini leo
amekuwa mkarim kwangu
"Hata mimi
natamani nikuone baby"
"Sawa ila
kwasasa sina pesa Habib wangu ningekupa uje huku, au kama una hela ya akiba
njoo ukae japo siku mbili alafu mambo yakiwa mazuri nitakupatia hela"
"Basi ngoja
kwanza nitakwambia, itabidi nipambane nikipata pesa tu nakuja" nilimjibu
Kweli nilikuwa na
elfu 30 tu akiba lakini sikutaka kuitumia alafu nikawa sina pesa, hivyo
iliniladhimu nipambane kutafuta pesa zaidi,
Nilianza kwenda
kushinda salun kwa dada yangu ili kumsaidia japo nipate pesa kidogo, siku zote
sikuacha kuwasiliana na mwanaume wangu tuliongea vizuri na kuonyesha ananipenda
sana, alikuwa akianza kunipost kwenye akaunti yake nilizidi kufurahi
Siku hiyo
nilipoenda salun kwa dada, aliniambia hatutofanya kazi bali tutatoka out, kuna
rafiki yake alisoma nae hivyo amesema anataka kumtoa, nilikubali tulijiandaa na
baadae tukafuatwa na gari, niliweza kumuona rafiki wa dada yangu, alikuwa
mwanaume Mashallah mrefu pia amejengeka vizuri, kwa haraka umri wake alikuwa
hapungui miaka 35, alitusalimia baada ya kuingia, dada akakutambulisha wote
tukajuana, kisha akatoa gari na kutupeleka south beach iliyopo kigamboni,
palikuwa pazuri Sana
"Hamtaki
kuogelea?" alituukiza yule mwanaume anaeitwa lameck
"Wewe
hukusema kama unatuleta beach tungejiandaa na nguo za kuogelea" Dada
alisema
"Kwani pale
getin si wanauza nguo, twendeni tukanunue muvae, mi nataka muinjoy tu kama
mnataka kuogelea twendeni mkachague"
Basi dada
alikubali, tulitoka na kununuliwa nguo, tukarudi na kwenda kubadilisha kisha
tukaingia kwenye maji, tuliogelea dada alimpa simu atuchukue video, hakika
tulienjoy, baada ya kutoka hapo usiku alitupeleka club bilcanas, alinunua pombe
za gharama nami sikuogopa kunywa nilikunywa kwa umakini sana sikutaka kulewa
nikatia aibu, nilikunywa hata chupa moja sikuimaliza, ilikuwa saa 7 usiku
tulichoka, rafiki wa dada alitupeleka kwake alikuwa na nyumba nzuri ya
kifaharii, tuliingia na kukaa ili kupiga story
"Mwenzetu
anasinzia ngoja nikamuonyeshe chumba alale" alisema Lameck na kumuacha
dada yangu sebuleni, nikaonyeshwa chumba
"Jisikie upo
huru sawa" aliniambia
"Na dada
analala huku au nifunge tu mlango?" Nilimuuliza kwani nilihisi huenda dada
asije na kulala na lameck ambae kanidanganya rafiki yake,
"Anakuja
tunapiga story kwanza"
Basi aliondoka na
kuniacha mimi, niliingia bafuni nikaoga na kujilaza, ilikuwa tayari ishafika
saa nane, wakati usingizi ukininyemelea mlango ulifunguliwa aliingia Lameck
"Nataka
tuongee kidogo Aisha " aliniambia
"Kuna
nini?"
"Nimekupenda
sana natamani kuwa na wewe, nimekuangalia nimeona tunaendana kabisa"
"Nimekupenda
sana natamani kuwa na wewe, nimekuangalia nimeona tunaendana kabisa"
"Mmhh
mwenzangu naogopa"
"Unaogopa
nini, kwani dada yako amekwambiaje, kasema mimi malaya?"
"Hapana
hakuna alichoniambia kuhusu wewe zaidi ya kuniambia wewe ni rafiki yake
tu"
"Ndio mimi na
yule ni marafiki tulisoma wote, nimeishi hapa kwa muda mrefu sina demu,
nilipokuona wewe nikavutiwa nawe"
"Nitakujibu
siku nyingine"
"Hapana kwani
sasa unashindwa nini, nakupenda kweli na nipo tayari kwa chochote
utakachoniambia nahitaji penzi lako tafadhali"
"Tunaonana
leo then unanitongoza na mapenzi unataka umekuwaje wewe?"
"Nimezidiwa
mwenzio wewe ni mzuri, ulipokuwa unaogelea ulinichanganya, usinihisi vibaya
niambie unataka nini nifanye?" Aliniuliza nikabaki kimya
Basi alifungua
kabati na kutoa pesa akaniwekea mkononi, zilikuwa zote ni elfu kumi kumi,
sikujua ni kiasi gani ila kwa haraka hazikupungua laki moja na nusu
"Hizi pesa za
nini?"
"Chukua
nimeamua kukupa kama zawadi hakika umeniteka haswa"
Yaani nilishangaa
yule kaka kanipa pesa zote hizo
"Mi naenda
kulala nipe namba yako ya simu najua kesho naweza nisiipate dada yako akiamka
so nipe sasa hivi tutaongea zaidi"
Nilichukua simu
yangu na kumwambia ataje zake nikaisave, lameck alanibusu na kuninyonya mate
kisha akaondoka
Nilianza
kuzihesabu zile pesa zilikuwa laki mbili, nilishangaa sana pesa zote zile
"Kweli huyu
mkaka ana pesa tena sio za mawazo" nilijisemea na kuweka kwenye mkoba
wakati nikiwa pale niliamua kutoka sebuleni kumuangalia dada,
Ile natoka
ukumbini nilianza kusikia sauti za mahaba kutoka kwa Dada, nilishtuka na
kuchungulia, niliweza kumuona dada akiwa amelala chali kwenye kochi huku lameck
akiwa juu yake akimfanya, nilichukia na kurudi ndani
"Kumbe ni
waongo hawa," nilisema na kuamua kumtumia msg lameck
"Umenidanganya
kumbe unatembea na dada yangu" nilituma ikaonyesha imefika, baada ya
dakika tano lameck alikuja kule chumbani
"Mpenzi usiwe
hivyo, rahma amelewa sana ananiforce kufanya vitu nami nimeshindwa kujizuia
nisamehe, mimi sina mahusiano nae" aliniambia
Nilijikuta
nikihisi wivu, sikumjibu chochote kile, alianza kunibembeleza
"Ipo siku
utaamini ninacgokwambia kama nakupenda wewe tu, nitakupa kila ukitakacho na
usisite kuniambia kitu chochote" aliniambia huku akinipapasa kisha
tukaanza kunyonyana mate
Sikuona hiyana
kwani nilivyoona ule mchezo wakifanya nami nilikuwa kwenye hali mbaya hivyo
nikajikuta nafanya mapenzi na lameck, bila kujali chochote, nilifanya na
kumkatikia miuno ili kumchanganya haswa, mpaka wote tulipovunja madafu, lameck
akatoka ili tusiweze kufumwa,
Asubuhi dada
akiniambia tujiandae kuondoka, kila mtu alijikausha, dada hakujua kama
nilifanya mapenzi na lameck ila mimi nilijua alichofanya, lameck akanitumia msg
"Ukitoka
mtoroke uje tuyajenge basi" aliniambia hivyo nikamjibu ok
ITAENDELEA
CHOMBEZO-
NINGEFANYA NINI?
SEHEMU YA 9
"Ukitoka
mtoroke uje tuyajenge basi" aliniambia hivyo lameck nikamwambia OK
Sikutaka tena
mazoea nae, kwakuwa nilikuwa nishapata pesa ambazo ningefanya nauli za
kunipeleka Moro kwa mwanaume ninayempenda, sikuona sababu ya kuanza kuhangaika
na yule mwanaume, nilijiona nimekuwa Malaya kwa muda mchache niliapa kubadilika
kabisa na kutulia na mwanaume mmoja,
Nilipokuwa
nyumbani nilimfahamisha mchumba wangu kuwa nishapata nauli,
"Basi kesho
uje sawa baby"
Nikamuitikia,
nikatoka chumbani na kuwaaga mama zangu kuwa nasafiri mara moja na sitokaa
sana, waliitikia kwani hakuna hata mtu aliyekuwa na habari ya kunichunga,
niliishi maisha yangu nikitaka kulala popote nalala ilimradi nimeaga tu,
*****
Siku ya pili
nilikuwa tayari nipo ubungo nilipanda basi saa moja asubuhi mpaka saa saba
nilikuwa nipo moro, bin mohd alifurahi kuniona alinichukua na kunipeleka gest
"Mbona
tumekuja hapa si unipeleke kwako"
"Kuna mjomba
wangu mgonjwa amefikia nyumbani lakini analala na mimi, sasa nilishindwa
kukwambia mpenzi niliogopa utashindwa kuja nami nimekumiss" aliniambia
lakini nikichukia sana
"Kwahiyo na
huyo mama yako je itakuwaje nitamuona au?"
"Nitakupeleka
kesho utamuona usijali"
Basi tulioga na
kula, kisha tukalala, usiku kucha tulikuwa tukifanya mapenzi tu, yule mwanaume
alikuwa yupo vizuri sana, hakuchoka ila mimi ndo nilimuomba aniache maana
sikuweza kuendelea, tulipumzika mara akapitiwa na usingizi, nilichukua simu
yake na kuanza kuichezea niliingia fb moja kwa moja na kuanza kusoma msg zake,
nilifanya hivyo kwaajili ya wivu ili kama ananisaliti nijue, niliweza kukuta
msg za yule msichana Leila nilizisoma zote, aliweza kumlalamikia bin mohd kwa
kumpotezea muda wake, alilalamika juu ya pic zangu alizoziona nimepostiwa,
nilicheka kwani nilijua mohd ananipenda sana mimi, nilitoka na kuanza kusoma
msg nyinyine,
Niliona mwanamke
akiwa amemtumia mwanaume wangu pic akiwa mtupu, kisha mwanaume wangu nae
akamtumia sehemu zake za siri,
"Umenitamanisha
baby njoo home basi" iliandikwa hivyo niliangalia ili kujua imetumwa lini,
ilikuwa msg ya siku moja kupita, nikahisi huyo mwanamke yupo kwa mohd bado ndo
maana mimi kanileta pale gest, Mara nikaona msg WhatsApp zimeingia niliamua
kuzifungua
"Rajabu
tambua nakupenda naomba usije kunisaliti" nilishangaa kusikia hilo jina
rajabu,
"Rajabu
tambua nakupenda naomba usije kunisaliti" nilishangaa kusikia hilo jina
rajabu,
Nilianza kujiuliza
huyu mwanaume ana wanawake wangapi jamani, maana nishasoma msg za wanawake sita
tofauti
Nikaendelea
kupekuwa msg nikaona jina la Omar nilikumbuka ndo rafiki yake aliyekuwa
akimwambia kuhusu mimi, niliona nifungue msg zake kwani niliamini lazima
atakuwa amemtumia sauti yangu kama alivyomuahidi siku niliyokutana nae, niliona
audio na kusikiliza, pia nikaangalia msg za muda, zilikuwa hivi
"Unajua Aisha
hajui kama Mimi ndo rajabu aliyeniambiaga hana hadhi ya kuwa na mimi"
"Kwanini sasa
hajui?" Omar alimuuliza
"Kuna akaunti
nilifungua nikajiita rajabu Mohammed alafu sikuweka picha, niliitumia kwaajili
ya kuwatongoza madem tu wa fb hivyo sikutaka wanijue sura yangu, ila ile ya Bin
mohd niliyotumia jina la baba ndo niliweka picha, lakini ndo imefanya demu
akatoa namba, kumbe kuweka picha kuna faida anakusaminisha pale pale"
alijibu hivyo nikaanza kukumbuka lile jina
"Hhahaa, sasa
utamwambia ukweli ukikutana nae?"
"Simwambii
nataka nimto**e maana aliniambia mimi sina hadhi, so nakula mzigo kisha
nasepa"
"Ila demu
mkali unamuachaje?"
"Amenidharau
sasa siwezi kuwa nae, hapa nampanga ili niweze Kuonana nae ikiisha sikukuu
tu" alijibu
Nikajua kumbe mohd
alinitafuta sababu ya kutaka kusex na mimi tu ili kulipiza kisasi kisa
nilimjibu vibaya, kumbe hakunipenda huyu mwanaume
Huwezi amini roho
iliniuma sana, kumbe mtu ambae nimempenda kwa moyo wangu wote ndo yule
niliyemchamba Facebook, alafu tayari nishafanya nae mapenzi na bado nilitoa
nauli yangu kumfuata yeye, kibaya zaidi hakunipeleka anapoishi kanileta gest
kisha ananidharau kwa marafiki zake, machozi yalinitoka sikujua nifanye nini,
Mara simu ya mohd
iliita jina lilisomeka habiba, nikajua kabisa ni mwanamke wake kwanini apige
simu usiku, kutokana na hasira nilizokuwa nazo nilipokea ili niharibu kabisa
yaani
"Hallo mwenye
simu yupo wapi?" Aliuliza habiba
"Kalala
ulikuwa unasemaje kwani?"
"Wewe ni nani
yake?"
"Mpenzi
wake"
"OK poa
vizuri sana utamwambia kuwa nilipiga"
Yule msichana
alikata simu na kutuma msg
"Rajabu
naomba unipotezee kuanzia leo sikutaki, mimi na wewe ndoa basi, bora ife"
aliandika hivyo
"Inamaana
Rajab alitaka kumuoa huyu" nilijiuliza na kuamua kumpigia simu ikapokelewa
"Mbona
sielewi msg yako?" Nilimuuliza
"Huwezi
kuelewa kwasababu wewe sio mlengwa, akiamka raj mpe hiyo msg na umwambie
asinisumbue tena" aliongea huku akilia
"Sasa si
uniambie wewe nani yake kwani"
"Mimi ni
mchumba wa roja baada ya miezi miwili tulipanga kufunga ndoa na taratibu zote
zinaendelea mahari pia ameshatoa nusu, kumbe ananidanganya ana mke"
alilalamika mara rajabu aliamka na kunipokonya simu
"Mimi ni
mchumba wa roja baada ya miezi miwili tulipanga kufunga ndoa na taratibu zote
zinaendelea mahari pia ameshatoa nusu, kumbe ananidanganya ana mke"
alilalamika mara rajabu aliamka na kunipokonya simu
"Unafanya
nini sasa?" Aliniuliza akiwa amekasirika na kukata ile simu
"Habiba
alipiga, kumbe unataka kuoa alafu mimi unanidanganya kwanini lakini?"
"Kwahiyo
umemwambia nini?"
"Nimemwambia
ukweli wote kuwa wewe ni mchumba angu"
"Hivi wewe
una akili kweli? Ulichokifanya unaona ni sahihi? Mimi mchumba wako nishawahi
kukutolea barua, unanijua vizuri mimi? Nishawahi kuja kwenu kujitambulisha au
kukupeleka kwetu kukutambulisha? Kwanink unafanya vitu vya kipumbavu? Huyu
uliyempokelea simu ni mke ujue natarajia kumuoa kwanini unaniharibia"
aliongea akiwa amekasirika kabisa
"Kwanini na
wewe ulinidanganya, nishajua ukweli wote wewe ni rajabu, umenidanganya kwanini?
Nimetoa nauli yangu nakufuata wewe lakini unajifanyia hivi mimi?"
"Hiyo utajua
mwenyewe, usiniambie upuuzi wako, napiga simu nataka uongee nae umuombe msamaha
na umwambie kuwa mimi ni kaka yako binam hivyo ulikuwa ukimtania"
Aliniambia hivyo,
nilikataa na kuanza kulia, niliona ananionea alipaswa aniombe msamaha lakini
ndio kwanza ananitolea ukali
"Halo, habiba
nisikilize tafadhali... Sikia basi mke wangu... Huyu Dada yangu anakutania tu
mpenzi ... Embu sikiliza nakupa simu uongee nae..." Aliongea akiwa
amechanganyikiwa hapakuwa na maelewano kati yao aliponipa simu nilikataa
kuongea, alikasirika na kuvaa nguo kisha akaondoka,
Nilibaki pekee
yangu nikilia tu sikujua nifanye nini, nilijaribu kumpigia simu alinikatia na
mwisho akaniblock kabisa, sikumpata tena, hiyo siku sikupata usingizi hata
kidogo palipokucha nilijaribu kumtafuta rajabu lakini alikuwa bado ameniblock
niliamua kumcheck fb, nikakuta kote kaniblock,
Basi sikuwa na
jinsi niliona nianze safari ya kurudi dar, kiukweli nilijuta kwanini nilimfuata
rajabu safari yangu haikuwa na maana tena zaidi ya maumivu tu,
Nilisafiri mpaka
dar, nikiwa sipo sawa, nilikumbuka nilimblock lameck baada ya kunisumbua hivyo
nilivyoenda Moro niliona anaweza kuniharibia tu, nikaitoa namba yake kwenye
block, siku ya pili alinipigia
"Aisha vipi
Mbona ulikuwa hupatikani nikipiga simu yako inakata tu shida nini?"
Aliniuliza baada ya kupokea
"Simu yangu
iliharibika hivyo nimeazima simu ya mtu na kuweka laini yangu"
"Sasa baby
unakaaje kimya ungeniambia, basi naomba leo tuonane"
Aliniambia lakini
sikutaka kuonana nae, bado nilikuwa na maumivu ya mapenzi toka kwa rajabu,
hivyo sikuhitaji kuonana na mwanaume yoyote yule
"OK
nitakutafuta" nilimwambia lameck kumtia moyo
"OK
nitakutafuta" nilimwambia Lameck kumtia moyo
Zilipita siku
mbili sikuonana na Lameck, bado nilikuwa mtu wa mawazo, nilikuwa nikiingia kila
siku Facebook ili kuona kama tayari rajabu amenitoa kwenye block lakini ilikuwa
bado, basi niliamini ndo basi hanitaki tena,
"Kumbe
alinitamani tu, hakunipenda kabisa, niliamini nimepata mwanaume wa kutulia nae
lakini hanitaki alinichukulia chombo cha starehe, anitumie kwa mara moja kisha
anibwage" niliwaza na huzunika sana
Mara simu iliita
niliangalia na kugundua Lameck
"Jamani eeh
usinisumbue sikutaki kwanza wote ni wale wale tu" nilisema kabla sijapokea
simu kwani nilianza kuhisi kuwachukia wanaume
Kila
nitakayempenda lazima tu ataniumiza, huyu nae kaniumiza sana, lazima nami
nilipe kisasi nitawaumiza wanaume wote sasa hivi"
Nilisema nikiwa na
hasira sana, niliamua kuchukua simu na kumpigia Lameck kwani mwanzo sikuipokea
"Hallo...
Simu si nilikwambia sina? nimeweka laini kwenye simu ya mtu ndo sasa hivi
ananiletea" nilimwambia baada ya kuniuliza kwanini sipokei simu yake
Basi aliniambia
tuonane, nilimwambia poa, nilijiandaa na kwenda buza kule kwa dada saluni
niliposhuka kwenye gari nikasikia mtu akiniita niligeuka na kumuona mwanaume
mmoja nikajiuliza nilimuona wapi, baadae nikakumbuka ni yule mwanaume ambae
Dada aliniacha nae siku tuliyotoka club kwa mara ya kwanza kisha akaniingilia,
aliitwa juma alinisalimia nikaitikia
"Za siku
nyingi, Mbona huonekani?" Alinuliza
"Nipo
tu" nilimjibu sikutaka story nae sana
"Alafu
nilikuwa nakutafuta ujue nilimuomba dada yako namba akasema huna simu lakini
najua alininyima tu"
"Ndio sina
simu wala hajakunyima" nilimjibu vile ili asiweze kuniomba namba yangu
"Basi sio
mbaya twende home basi tukaongee"
"Tukaongee
kuhusu nini? Mimi sina muda huo kabisa"
"Kwanini huna
muda mbona mimi unavyovihitaji vyote nafanya nikiambiwa tu"
"Vitu gani
ambavyo nahitaji mimi, unavyovifanya"
"Sikukuu ya
idd dada yako kaniambia unataka pesa ya nguo nikampa laki moja na nusu alafu
kasema unakuja sijakuona, akaniambia unaumwa umelazwa nikampa elfu 70
akuletee"
"Wee vipi
jamani, lini mimi nilimwambia Dada unipe pesa, atakuwa amekudanganya tu nawe
unamuamini"
"Lazima
nimuamini kwasababu ile siku tuliyo onana mimi na wewe nilikuwa nishamtumia
elfu 50 akasema atakuleta na ulikuja kweli"
"Unasemaje
mbona sikuelewi, mimi ulinijuaje mpaka ukaagana na dada anilete kwako?"
"Nilikuwa
namuonaga akikuweka status nikamwambia nimekupenda akasema nimpe elfu 60 ndo
akulete, nikampa ile elfu 50, ndo ukaja lakini lengo lilikuwa kuongea n wewe
kwanza nikutongoze, Ila tulivyofika ndani nikatamani pia penzi lako, kweli
nimenogewa ndo maana alipo kuwa akiniambia unataka pesa nilitoa kwa kuamini
ushakuwa wangu"
Aliniambia hivyo,
yale maneno yalinifanya nichoke, Kumbe Dada yangu kaniuza kwa yule mwanaume
pasipo kujijua, alafu pesa nyingi anachukua
"Yaani yule
ana akili kweli? mimi hajawahi kunipa hata pesa iliyotoka kwako na sikubali
atanikoma leo"
Niliondoka kwa
hasira mpaka saluni kwa dada
ITAENDELEA

0 Comments