"Yaani yule
ana akili kweli? mimi hajawahi kunipa hata pesa iliyotoka kwako iliyotoka kwako
na sikubali atanikoma leo"
Niliondoka kwa
hasira mpaka saluni kwa dada
"Hivi wewe
unanichukuliaje mimi? Unaniona mimi Malaya sana eeh, kwanini unaomba pesa kupitia
jina langu mimi? Unaniuza au sio?" nilianza kumtolea maneno nae akawa
anajibu vibaya
Hasira zilinipanda
tukaanza kupigana, nilijikuta navunja vioo vyote vya saluni yake kisha watu
wakanishika nae wakamshika, alinitikana matusi kibao mpaka mama yangu nami
nikamrudishia, bila kujali kama mama zetu walizaliwa tumbo moja, niliondoka
mpaka nyumbani, nilikuta tayari alishapiga simu na taarifa zilimfikia mama
mkubwa ambae ni mama yake, alianza kunisema nilimuhadithia ili kujitetea lakini
hakunielewa ilinibidi niondoke na kwenda nyumbani kwa rafiki yangu lakini
sikumkuta
Nilikaa barazani
kwao pekee yangu nikimsubiri, huku nikiwa na huzuni, mara simu yangu ikaita
alikuwa Lameck nikapokea, tulianza kuongea
"Vipi mbona
kama haupo sawa unaumwa?" Aliniuliza Lameck
Hapo nilijikuta
machozi yakinitoka na kulia sana, roho iliniuma dada yangu amemtukana mama
yangu, nilijikuta nikimkumbuka sana mama, pamoja na makosa aliyonifanyia bado
yeye mama yake anamtetea mimi nani atanitetea tena na kuniamini, nani atakuwa
upande wangu, hakika niliumia kufiwa na mama ni ukiwa, nilimwambia Lameck kila
kitu kilichotokea,
"Kuna
mwanaume anamuomba pesa na kumdanganya mimi ndo nazitaka, leo nilikutana nae
akanisumbua na kuniambia kuwa alikuwa akituma pesa, nilipatwa na hasira nikaenda
kwa dada tukagombana na kuvunja vitu, lakini mama yake ana mtetea"
niliongea huku nikiendelea kulia kwa uchungu
"Basi usilie
niambie upo wapi nikufate"
Nilimuelekeza,
baada ya saa moja kupiga alifika na kuniambia niingie kwenye gari yake,
niliingia tukaondoka mpaka kwake
"Pole sana,
mimi najikuta nakupenda tu Aisha sipendi kukuona ukiwa na simanzi,
nilishakwambia ukiwa na chochote niambie mimi nipo kwaajili yako" alisema
hivyo na kunikumbatia, nilifarijika sana
Alipika chakula na
kuniletea nilikula, tulipigi story ilipofika usiku nikamwambia naondoka, basi
alinichukua na kunirudisha nyumbani
"Kesho
nitakununulia simu leo sikuwa vizuri kipesa" alisema na kutoa elfu 60
aliniambia ya matumizi kisha akanikiss, nilishuka kwenye gari na kuingia ndani,
Nilimsalimia mama
mdogo lakini hakuitikia, sikujua tatizo ni nini, maana mimi na yeye hatuna
ugomvi, bali ulikuwa kwa Dada na mama mkubwa baada ya kumtetea mwanae, yeye
ananunia nini, niliamua kutomuuliiza na kuingia chumbani kwangu
Sikukaa sawa
niliona mamdogo akinigongea mlango nilitoka
"Yaani wewe
mtoto mbaya sana, unamuonea mwenzio gere ukaamua umtie hasara eeh?"
Alisema kwa kufoka
"Sasa ma
mdogo unajua sababu nini au? Mbona hadi wewe unanikandamiza, nilijua ma mkubwa
ndo haniamini mimi kwaajili ya kumtetea mwanae lakini hadi wewe?"
"Kelele huko
tena mimi ndo sikupendi utaondoka hii nyumba"
"Hapa
kuondoka itakuwa ngumu, maana hii nyumba ni ya urithi na katika urithi huo mama
yangu pia ni mtoto, hivyo nafasi ya mama ndo naichukua mimi, si nyinyi ndo
mlimuahidi marehemu mam kuwa mtanilea mimi? Leo mnavunja ahadi zenu kwanini
hamnipendi?" Nililalamika na kuanza kulia
Mara tukaona mama
mkubwa dada na wanaume wawili wakiingia, walijitambulisha kuwa hao ni mapolisi,
hivyo nikawekwa chini ya ulinzi, nilijua sababu ni ule ugomvi wameamua
kunipeleka polisi, nilitolewa nikiwa nalia, hakuna aliyenijali
Mara tukaona mama
mkubwa dada na wanaume wawili wakiingia, walijitambulisha kuwa hao ni mapolisi,
hivyo nipo chini ya ulinzi, nilijua sababu ni ule ugomvi wameamua kunipeleka
polisi, nilitolewa nikiwa nalia, hakuna aliyenijali
********
Basi nililala
polisi siku tatu huku nikiwa sina msaada sikujua nani atanisaidia, hakuna hata
wa kunitolea dhamana, polisi waliniambia ikifika kesho napelekwa segerea huko
lazima nitasimamishwa mahakamani la sivyo niwatajie namba ya mtu ambae nahisi
anaweza kunisaidia, nilimkumbuka Lameck lakini namba yake kichwani sikuwa nayo
na simu niliacha kitandani baada ya kukamatwa, ilibidi nitulie tu na kumuachia
Mungu kila kitu,
Usiku ulipoingia
nilisikia afande akiniita, alinifungulia mlango na kutoka, aliniuliza kama
namfahamu Lameck nikamwambia ndio, aliniambia amekutolea dhamana, nilitoka na
kumuona nilijikuta namkumbatia, sikujua amejuaje kama nipo pale,
Alianza kuongea na
wale polisi na kuambiwa kuwa Dada yangu anahitaji alipwe vitu vyake
vilivyovunjwa, Lameck alitaka kujua kiasi gani aliambiwa laki 6 vyote, akasema
sawa atafanya hivyo, alikuwa akiongea vizuri na yule polisi nikagundua kuwa
wanajuana aliniingiza kwenye gari tukaondoka mpaka kwake
"Pole
sana"
"Asante
ulijuaje kama nipo polisi"
"Nilipiga
sana simu yako, hatimae ikapokelewa ndipo nikambiwa kuwa upo polisi, tena leo
ndo nimeambiwa hivyo na huyo mtu alijitambulisha kuwa ni mama yako mdogo,
akasema ulivunja vitu vya watu, nikaamua kuja"
"Dah asante
sana Lameck hakika sikuwa na matumaini ya kutoka kabisa, Mungu akubariki
Lameck"
"Usijali
nilikwambia nakupenda sana, umesema hu na mtu wa kukufariji ukiwa na tatizo
mama zako wote wanakukandamiza na kukutenga, sasa mimi nitachukua nafasi ya
mama, baba na wote uliokuwa ukitamani upate faraja kutoka kwao, nifanye mimi
rafiki wa kudumu, nifanye baba, nifanye mama, nakupenda sana"
Yale maneno
yaliniingia haswa tangu nianze mahusiano na wanaume, hakika huyu alikuwa wa
tofauti kwanza ana huruma, anajali sana pia ananionyesha upendo wa kweli,
"Kama
angekuwa hanipendi basi asingekuwa ananifuata mpaka leo kama mapenzi tayari
tulishafanya mbona bado kaniganda na kunisaidia" niliwaza
"Kama
angekuwa hanipendi basi asingekuwa ananifuatilia mpaka leo, kama mapenzi tayari
tulishafanya mbona bado kaniganda na kunisaidia" niliwaza
Basi nilikaa kwa
Lameck kwa muda wa siku mbili, aliweza kumpa yule polisi pesa ili kesi yangu
ifute na kulipa fidia nilizodaiwa,
Wakati nipo jikoni
napika mara nilisikia hodi, nilienda kufungua mlango na macho yangu yalishtuka
baada ya kumuona dada yangu
"Nakuona mama
mwenye nyumba, unajitia mjanja sana wewe si ndio?" Aliniambia hivyo
"Kivipi?"
Nilimuuliza lakini nilishtukia kofi moja tu,
"Wewe Malaya
unamchukua mwanaume wangu na kuamua kuja kuishi hapa? Unataka vita na
mimi?" Aliniuliza kwa bahati nzuri Lameck alikuwepo aliposikia akatoka
"Kuna
nini?" Aliuliza
"Kwanini
unatembea na ndugu yangu, tena nimepata habari zako zote, wewe ndo umemtoa huyu
polisi na umelipa fidia niliyokuwa namdai ukajiona mjanja umemtuma mtu wa
kufanya hivyo ili nisijue uchafu wako,, lakini leo nimeenda nyumbani nimechukua
simu ya huyu Malaya mwenzio na kuona namba yako pamoja na msg zako"
aliongea kwa hasira
"Mimi
sijakuibia mwanaume si umesema Lameck ni rafiki yako wewe" nilimwambia
Dada akakasirika na kutaka kupigana, Lameck akamshika
"Embu tulia
sitaki fujo nyumbani kwangu, ndio mimi ndo nimemtoa polisi wewe ulitaka
nimuache tu, hivi kama una uchungu sana kwanini umfanyie mabaya ndugu yako?
mimi na wewe kwanza hatujawahi kuwa wapenzi ni urafiki tu kama ulivyomwambia
ndugu yako, sasa kwanini roho ikuume?" Lameck alianza kumpa maneno yake
"Anhaa vizuri
sana, nakuahidi umeanza vita na mimi hapa hutokaa kwa amani lazima
nikuonyeshe" Dada aliondoka kwa hasira akatuacha
"Usitishike
na maneno yake mimi nakupenda na nitakulinda" Lameck aliniambia na
kunikumbatia
Basi nilienda tena
kupika na kumaliza tukala, kumuaga Lameck kuwa naenda nyumbani, hakutaka
niondoke lakini nilimwambia lazima niende, akakubali na kunipa simu nyingine ya
kutumia, alinichukua na kwenda kununua laini nyingine kisha akanisindikiza
mpaka nyumbani nae akageuza gari na kuondoka
Niliingia ndani na
kumkuta mam mkubwa na mam mdogo wakiongea, niliwasalimia lakini wakanipa sonyo
hilo kisha wakacheka
"Umerudi
kufanya nini wewe malaya? Hivi huoni aibu mambo uliyoyafanya mpaka leo unarudi
tena hapa?" Alisema ma mdogo
"Nimefanya
nini?" Niliuliza ikiwa najua sababu ya yote ni nini
"Unajitia
hujui, mtoto kahaba wewe yaani umeona mwenzio ana mwanaume mwenye pesa ukaamua
kumchukua wewe"
"Unajitia
hujui, mtoto kahaba wewe yaani umeona mwenzio ana mwanaume mwenye pesa ukaamua
kumchukua wewe"
"Sasa mama
zangu nyinyi mnajua ilikuwaje mpaka mnaanza kunisema? Dada mwenyewe aliniambia
kuwa yule mwanaume ni rafiki yake"
"Kelele huko,
kwanza sisi sio mama zako ukae ukilijua hilo" ma mkubwa alisema
"Kwanza
kwanini tusimwambie ukweli akae akilijua hilo ili aache kutushobokea"
alidakia ma mdogo
"Ndo
tunakupasha leo, sisi hatujazaliwa na mama yako upo? Mama yako alikuwa rafiki
yetu tu, tena alikuwa malaya kama wewe baada ya kupewa mimba yako na
kutelekezwa tukaona tumsaidie tuishi nae tulimpenda kama ndugu ulipozaliwa wewe
baada ya miaka 10 ndo mama yako akafa, tukaona tukusaidie kwaajili ya heshima
ya mama yako" alisema ma mkubwa kiukweli niliwashangaa sana maneno
wanayoyaongea
"Ila kweli
mtoto wa nyoka ni nyoka, umalaya wa mama kamuachia mtoto, sasa hivi
hashikiki" ma mdogo alisema nikachukia
"Naomba
usimtaje mama yangu, usimwambie hivyo kabisa, kama hamna cha kuongea
nyamazeni" niliongea kwa hasira huku machozi yakianza kunilenga sikupenda
kabisa mama yangu asemwe
"Ukweli
lazima tuseme, nenda hapo nyuma kaulize kuhusu mama yako utaambiwa, hivi nani
alikuwa hamjui mama yako, ndo maana alitelekezwa nawe umerithi tena utakoma,
sisi yule sio ndugu yetu tumewastiri tu" ma mdogo aliendelea
Basi nilimsogelea
kwa hasira nikampa bonge la ngumi likaenda mdomo
"Aah
unanipiga mimi?" Alisema kwa hasira na kutaka kunirudishia
Sikuchelewa
nilichukua mwiko pembeni na kumpiga nao kwa nguvu mdomoni, damu zilianza
kumtoka, akawa analia na kusema hakubali, wakataka kunichangia mtu na ndugu
yake
"Niguseni
muone leo ndo mtanijua vizuri akili yangu ilivyo, kuwaheshim ndo imekuwa shida
eeh? Kwanini mnamsema mama yangu kawakosea nini? Mama yangu si alishakufa
kwanini bado mnamsema vibaya na kutaja mabaya yake?" Nilikasirika watu nje
wakajaa, ukawa mshike mshike, tulipigana vizuri
Basi ma mkubwa
akaenda kwa mjumbe na kurudi wote, tuliwekwa kikao na kuongea
"Wamesema
mimi sio mtoto wao sasa nataka waniambie ukweli, kama hawanitaki bora waseme tu
nishachoka kila siku vituko" nilisema nikiwa nimekasirika
Mjumbe akawauliza
kama kweli waliniambia hivyo wakakubali, ndipo wakatoa historia yote hadi ya
mama yangu, kiukweli nililia sana, yaani zaidi ya sana nilijiuliza nitafanya
nini Aisha mimi, Kumbe sina ndugu mimi
"Basi waombe
msamaha mama zako ili uweze kuishi nao hapa kwa amani" mjumbe alisema
"Haina haja
hata akiomba msamaha sisi hatumtaki tena, katudhalilisha sana leo, yaani
anatupiga sisi" alisema ma mkubwa
"Siwezi
kuwaomba msamaha hata iweje maana wamemdhalilisha marehemu mama yangu, wao ndo
wanatakiwa waniombe msamaha" nami nilisema nikiwa bado Nina sauti ya kulia
"Ndo uondoke
hapa, na usichukue hata kitu kimoja hii ni fidia kwa kumuumiza mama yako
mdogo" alisema mamkubwa
"Nitachukua,
kama polisi nenda hata sasa hivi" nilijibu nikiwa siogopi mtu, nikajiapiza
kama liwalo na liwe
"Nitachukua
kama unata kwenda polisi, unaweza kwenda hata sasa hivi" nilimwambia ma
mdogo nikiwa siogopi kitu
Basi mjumbe
alimwambia ma mdogo asinipeleke polisi, pia akaniomba nitoe japo pesa nimpe ili
akatibiwe pale nilipompasua,
Nami nilikaa
nikafikiria kama ma mdogo akienda polisi Lameck atanitoa tu lakini sikutaka
kumsumbu tena mwanaume yule, nitakuwa mwanamke wa aina gani kila siku polisi,
nilikubali kumpa kitanda na kumwambia auze achukue pesa kisha nami nikaondoka,
sikujua nitaelekea wapi,
Nilimfikiria
Lameck lakini nikajiona kama nitampa mzigo tu, nilijikaza na kuamua kwenda
kwake nilipofika nilimwambia kuwa nimefukuzwa baada ya dada kuwaambia mam zangu
kuwa natembea na yeye, pia nilimwambia jinsi ma mdogo na ma mkubwa walivyo
nikana na kusema mimi sio mtoto wao, niliongea huku nikilengwa na machozi mara
yakaanza kutiririka mashavuni, hakika nilipitia maisha magumu sana, hata ndugu
zangu wa upande wa mama sikuwajua mimi ni yatima, kama nitakosa msaada basi
naweza kuwa chokoraa au hata kujiuza ili niweze kujikim,
Lameck
alinibembereza na kuniambia niishi pale na yeye, lakini nilikataa kabisa kukaa
nae sababu ikiwa ni Dada anaweza kuja na kuniletea fujo
"Sasa
unatakaje isha? maana kukaa na mimi hutaki, niambie wewe ili nijue
nafanyaje" aliniuliza lakini nilikaa kimya
"Basi
nikupangie chumba" aliniambia nami nilikubali kwani ndo jambo nililokuwa
nataka japo kusema niliogopa,
Basi akasema
ataanza mchakato ndani ya wiki moja atakamilisha, nilifurahi sana tulianza
kunyonyana midomo mwisho tukajikuta tukiwa watupu tayari kwa kuingiliana,
Akili yangu yote
ilihama mawazo yalipotea niliwaza mapenzi tu kwa muda ule, ukizingatia
nilifanyaga mapenzi na Lameck mara moja tu tangu tulipokutana siku ya kwanza,
tangu hapo hakunifanya kitu mpaka nilishangaa mwanaume wa aina gani, basi siku
hiyo niliapa kumuonyesha kazi ili anijue mimi nani,
Nilianza kumpa
mahaba ya kufa mtu akawa analalamika tu na kutaja jina langu
ITAENDELEA
CHOMBEZO-
NINGEFANYA NINI?
SEHEMU YA 18
Basi nilivyohisi
ankaribia kuvunja dafu, nilijitoa haraka na kupeleka mdomo wangu kwenye mashine
yake ili tui niweze kulinywa lote, sikuona kinyaa chochote kile, alipomwaga
tukapumzika basi hatukurudia tena, tulioga na kulala
**********
Baada ya mwezi
mmoja kupita tayari nilikuwa na kwangu, Lameck alinipangia nyumba nzima, yenye
chumba, sebule, dining na jiko, kisha akaniwekea fenicha za maana, kiukweli
alinipenda sana haipiti siku bila kuniona na kuniletea pesa za matumizi,
nilianza kupendeza nilivaa mawig ya gharama, nguo za gharama, hata nikitoka na lameck
hakuna mtu yoyote asiyeningalia n kunisifia, Lameck alinifundisha kuendesha
gari nikajua sasa ilibaki kumiliki tu gari yangu mwenyewe
Nikiwa nipo kwangu
nachezea simu, niliingia fb na kukuta msg inbox nyingi, nilifungua na kuona msg
kam 4 ametuma mtu mmoja ambae ni Rajabu, mwanaume ambae aliniumiza sana lakini
nilifanikiwa kumsahau baada ya Lameck kuonyesha mtu anayenijali sana, asikwambie
mtu ukiumizwa na mwanaume alafu ukawa unamuwaza akitokea mwingine anayekujali
na kukuthamini basi yule unamsahau tu
"Mambo
Aisha?"
"Jamani baby
nakusalimia?"
"Ndio
umeninunia"
"Naona siku
hizi unapendeza hata salamu yangu hutaki"
Hizo zilikuwa msg
zake sikumjibu kitu, nilijikuta nimechukia nikaona nimblock moja kwa moja kama
alivyofanya yeye,
ITAENDELEA
CHOMBEZO-
NINGEFANYA NINI?
SEHEMU YA 19
Basi baada ya
kumblock Rajabu hiyo siku nilikaa nikiwaza, kwanini yule mbwa alinitafuta, nikakumbuka
alivyosema anaona napendeza ndo maana hata salam sitaki, hapo hapo nikapata
wazo, nimtoe rajab kwenye block ili aweze kuniona na kuteseka na mimi, kweli
niliingia fb na kumu unblock kisha nikamtumia msg
"Kwani salam
yako ina faida gani kwangu?"
Kwa bahati nzuri
alikuwa online aliweza kunijibu hapo hapo
"Aisha bado
unanichukia kiasi kwamba unaona salam yangu haina umuhimu?"
"Yaani saana,
kwanza wewe si uliniblock? Sasa kilichokurudisha nini?"
"Naomba
unisamehe kwa hilo zilikuwa hasira tu, nimetambua nimekukosea ndo maana
nikakutafuta"
"OK bye"
nilimwambia
Kisha nikampotezea
nilipost pic nikiwa na Lameck na kuweka maneno ya mahaba
"Wewe ndo
furaha yangu, hakuna kama wewe hakika nitakupenda mpaka kufa" niliandika
hivyo japo najua Lameck hawezi kuona kwa sababu alikuwa hapendi kutumia fb,
yeye alitumia Instagram na WhatsApp tu lakini nilifanya hivyo ili kumrusha roho
yule mbwa Rajabu
Kama
nilivyotarajia ndo ilikuwa hivyo hivyo, nikaona kacoment "nice" nami
nikamjibu "thank u bro" basi akatuma msg inbox
"Kwahiyo mimi
nishakuwa kaka yako si ndio?" Aliuliza
"Kumbe wewe
nani yangu? Ulitaka nikuite mjomba au shangazi?" Nilimjibu kwa dharau
nikionyesha chuki,
Alituma tena msg
nyingine lakini sikuifungua, maana Lameck alifika nyumbani kwangu,
Nilimpokea kwa
tabasam zito na kumkumbatia, akanibusu nami nikambusu, tuliongea kidogo
nikampeleka bafuni tulioga kisha nikampikia alikula na kupumzika, nilijikuta
nikianza kumchokoza chokoza kimahaba, nikawa najitia kumng'ata kwenye sikio
lake taratibu ili kutomuumiza, mara nikainuka na kumkalia juu anipakate, yaani
nilikuwa mtundu haswa kiukweli nilikuwa nikitamani kufanya mapenzi tu, lakini
Lameck hakuwa tayari, alininyonya mate na kuniacha akasema anawahi kazini
lakini atarudi kwaajili yangu,
Basi sikuwa na
pupa mtoto wa kike nikasema nitamsubiri tu, ilipita hiyo siku nikawa namsumbua
kwenye simu, namuuliza yupo wapi kila wakati, basi wivu ulinijaa haswa nikahisi
labda Ana mwanamke mwingine, nilimwambia ukweli jinsi hisia zangu zinavyonituma
"Kwahiyo
unahisi mimi nakusaliti?" Aliniuliza
"Ndio
umenidanganya unakuja mpaka sasa kimya"
"Si
nimekwambia nipo na majukumu mengi tutaonana kesho? Mbona unakuwa na wivu
mpenzi?" Alisema
"Bwanaee wewe
endelea tu na hizo kazi zako mimi nidharau tu" nilimwambia
"Sasa
nakudharau na nini? Ukisema hivyo unajua unaniudhi Aisha?" Alilalamika
nikakata simu yenyewe
"Sasa
nakudharau na nini? Ukisema hivyo unajua unaniudhi Aisha?" Alilalamika
nikakata simu yenyewe,
Basi Lameck
hakunitafuta tena siku hiyo, nikahisi amekasirika, lakini siku ya pili alikuja
kwangu na kuniambia nijiandae
"Tunaenda
wapi?" Nilimuuliza
"Wewe vaa
tuondoke" alisema hivyo nami nikatii, nilivaa na kuingia kwenye gari
tukaenda hadi mikocheni kazini kwake,
"Nimeamua
nikulete ofisini leo ili kila kazi ninayofanya uone, nadhani utaniamini
nikikwambiaga niko na kazi nyingi haya shuka tuingie ndani" aliniambia
nilishangaa
"Jamani
Lameck Mbona hivyo lakini"
"Nakupenda
nataka uniamini Aisha mimi wewe ndo chaguo langu siwezi kukusaliti"
aliniambia hivyo nilijikuta namkumbatia tu na kumwambia namuamini ila wivu tu
ndo ulinifanya niongee vile,
"Kwahiyo
unashuka au?" Aliniuliza
"Hapana nenda
tu mume wangu nitakusubiri kwenye gari ukitoka tutarudi nyumbani wote"
nilimwambia Lameck kanipa pesa nikisikia nja nikatafute chakula aliniachia na
funguo za gari yake, Basi nilipiga picha na kujichukua video, kisha nikaongia
fb kupost zile picha
Nikaamua kufungua
na msg za mbwa Rajab nilipenda kumuuita hivyo
"Mimi sio
kaka yako bana, Mimi ni mume wako mtarajiwa, najua nilikukwaza sana lakini
nisamehe" aliandika hivyo kumbe
"Huwezi kuwa
na mke kama mimi, yule uliyemuoa ndo mke wako" nilijibu ilipita saa moja
kimya nilienda kula na kurudi nikakuta msg yake, alikuwa ameshaingia online
"Hapana
sijaoa tena, naomba nipe namba yako nikwambie kitu maana kuchat tu
hutonielewa" alisema hivyo nikanyamaza kimya
"Aisha
nitumie namba Nina jambo kubwa unapaswa ulijue, usikatae usikatae kusikiliza
bali kataa neno nitakalo kwambia, nakuomba ni jambo la msingi sana" basi
niliamua kumpa alinicheck WhatsApp na kusema atanipigia baadae, basi nikaweka
status zangu zile naendesha gari, aliziona na Ku reply "mambo si
mabaya" sikumjibu kitu
Ilipofika usiku
basi yule mbwa akanipigia simu, kwa kuwa nilikuwa nimelala pekee yangu baada ya
Lameck kunirudisha basi nilipokea
Aliniambia
ananipenda bado pia anaomba msamaha na kutaka kurudiana na mimi, akasema hawezi
kuniumiza tena yupo tayari kuoa kabisa endapo nitampa nafasi nyingine,
"Mimi nina
mtu wangu nawe unajua maana nilishampost ukaona kwanini usinipotezee tu"
"Siwezi Aisha
nakupenda mimi, nipe nafasi nikuthibitishie, safari hii ukiniambia chochote
nitafanya hata kwa mama yangu nitakupeleka, wewe unadhani ningekuwa sikupendi
ningekutafuta tena, si ningekuacha tu kwani mapenzi si tulishafanya"
alisema, nilimsikiliza na kumwambia aniache kwanza
*********
Baada ya wiki
kupita Lameck aliweza kunipa gari ambayo aliiagizia, kiukweli nilifurahi mno
"Asante sana
mume wangu nakupenda jamani" nilisema
"Hata mimi,
niambie nini tunataka mama nitafanya tu"
"Nahisi ni
ndoa tu hakuna kingine" nilimwambia Lameck akafurahi
ITAENDELEA
CHOMBEZO-
NINGEFANYA NINI?
SEHEMU YA
"Nahusi ni
ndoa tu hakuna kingine" nilimwambia Lameck akafurahi
"Hakuna shida
lazima nikuoe, nipo tayari hata kesho, lakini kwanza nikupeleke kwa pastor
ukabadilishe dini sawa baby" aliniambia nikakunja uso
"Mimi siwezi
kubadilisha dini kabisa, nishazoea uislam, badilisha wewe si unanipenda?"
Nilimwambia
"Nakupenda
ndio, lakini Mbona mimi nafanya mengi juu yako ya kukufurahisha kwanini wewe
usifanye hili moja tu mke wangu? Nakuomba Aisha kubali tufunge ndoa mimi nataka
kuzaa na wewe tena nikiwa nimekuoa" aliongea kwa upole huku akinibembeleza
ila sikutaka kumuelewa
"Basi nakupa
nafasi ujifikirie sawa" alisema
Siku hiyo tulilala
na Lameck nyumbani kwangu, sikuwa na furaha hata kidogo juu ya jambo la
kubadilisha dini yangu,
Ilipofika asubuhi
alioga nikamuandalia kifungua kinywa kisha akaondoka, nami nilifanya usafi na
kupata kifungua kinywa, nilitoka nje na kupiga picha ile gari nikaweka status
na kusema alihamdulillah asante kwa zawadi,
Rajabu aliona na
kuniambia hongera nikamwambia asante
"Ila mimi
nipo dar, nimekuja nina siku nne kama hutojali tuonane" alisema hivyo
"Upo dar
sehemu gani?" Nilimuuliza
"Magomeni kwa
ndugu zangu"
"OK"
"So tunaonana
au?"
ITAENDELEA

0 Comments