Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

Chombezo: Sharobalo wa Tandale sehemu ya pili (02)



 “ Ndiyo huko ambako Diamond Platnumz kajenga mjengo wake?” Dullah alimwuliza fundi Yassin.

“Yap! Ila Kisauke ipo kwa mbele lakini hatutafika mwisho,” fundi Yassin alimwambia Dullah .

Kwa kuwa walikuwa wanazungumza huku wanatembea walifika kituo cha mabasi ya Kisauke wakakuta kuna hiace inakaribia kujaa wakaingia na baada ya dakika chache gari likaondoka.

Njiani Dullah ambaye alikuwa hajawahi kufika Tegeta akawa anashangaa jinsi watu walivyojenga nyumba na walipofika Kiwanda cha Twiga Simenti alishangaa sana kwani aliakuwa akikisikia tu!
“Hiki ndiyo kiwanda cha simenti cha Wazo?” alimwuliza fundi Yassin ambaye alimjibu ndiyo.

Baada ya kutoka Wazo gari liliendelea na safari hadi walipofika sehemu waliyopaswa kushuka, walipoteremka Dullah alishangaa kumuona kijana mmoja akija kumpokea fundi Yassin ule mfuko wa kazi.

“Shikamoo bro?” yule kijana alimsalimia kisha akanisabahi kwa kusema vipi mambo?
Baada ya kuitikia salamu, fundi Yassin alinitambulisha kwamba yule kijana alikuwa ni mmoja wa vijana waliokuwa wakimsaidia kazi na kuniambia alikuwa anaitwa Zakayo.

“Aliponitajia jina hilo na jinsi kijana huyo alivyokuwa mfupi najikuta natabasamu.
“Zakayo, huyu anaitwa Dullah tutakuwa pamoja kwenye kazi zetu,” fundi Yassin alinitambulisha kwa Zakayo.

“Yaani naye atakuwa anakoroga zege kama sisi?” Zakayo alimwuliza fundi Yassin.
“Ndiyo tutakuwa naye,” fundi Yassin alimwambia.

Baada ya utambulisho huo, fundi na vijana wake waliendelea na safari ya kwenda site lakini Zakayo alikuwa bado aamini kama Dullah aliyeonekana sharobaro angefanya kazi ya kubeba zege.

Walizidi kupiga stori za hapa na pale huku Dullah akistaajabu majumba makubwa ya kisasa yaliyojengwa ambapo fundi Yassin akawa anamuonesha majengo kadhaa ambayo alikuwa amechangia kuyajenga.

Baada ya kutembea kama dakika saba hivi, Dullah alishangaa wakiwa wapo kwenye bonge ya jumba lenye geti kubwa jeusi, fundi Yassin akamwambia walikuwa wamefika site.

Kauli ya fundi huyo ilimshangaza Dullah kwa sababu hakuona nyumba iliyokuwa ikijengwa lakini hakumwuliza hadi fundi Yassin alipobonyeza kengele ya getini ndipo alitokea binti mmoja mrembo akafungua, Dullah alipomuona moyo wake ulipiga paa!

“Kumbe ni wewe fundi umekuja, karibuni!” mrembo huyo alimwambia fundi Yassin huku akimtupia macho Dullah .
“Asante Doreen, vipi bosi yupo?” fundi Yassin alimwuliza Doreen.
Baada ya kuulizwa hivyo, msichana huyo ambaye alikuwa akimwangalia Dullah kwa kuibia alimfahamisha kwamba baba na mama yake walisafiri alfajiri ya siku hiyo kwenda Arusha.

“Eh! Mbona jana hakuniambia na vipi kuna maagizo aliyokuachia?” Fundi Yassin alimwuliza Doreen.
“Kaniambia kila kitu mtazungumza kwenye simu,” Doreen alimfahamisha fundi.
Baada ya kuambiwa hivyo fundi alimtambabulisha Dullah kwa Doreen na kumwambia watakuwanaye pale kazini kisha akamtambulisha Doreen kwa kijana huyo mwenye dimponsi.

“Yaani naye ni fundi au amekuja kutembea ni ndugu yako?” Doreen alimwuliza fundi kwani kwa jinsi alivyomuona Dullah hakufanana kabisa na kazi za ujenzi alizokuwa akizifanya fundi Yassin.

“Yeah! Atakuwa ananisaidia kazi kama wanavyofanya akina Zakayo na wenzake,” fundi Yassin alimfahamisha Doreen bila kujua ni namna gani Dullah aliumia moyoni.

“Da yaani fundi badala ya kusema mimi ndugu yake nimekuja kutembea anaweka wazi kila kitu kwa huyu mtoto mkali, kaharibu kinoma!” Dullah alizungumza kimoyomoyo.

Baada ya fundi kutoa kauli hiyo, Doreen ambaye hakuamini kama ni kweli Dullah alikuwa fundi alifunga geti kisha alimwambia fundi Yassin alikuwa ndani na kama watahitaji kitu wamwite Anne ambaye alikuwa msichana wao wa kazi.

Wakati fundi Yassin akitoa utambulisho huo, Zakayo alikuwa amekwisha zunguka nyumba ya nyumba hiyo ambako kulikuwa na jengo lingine lililokuwa likijengwa.
“Dullah hapa ndipo site ninapofanya kazi mwezi wa pili sasa, nyumba yah ii nyumba bosi wangu anaangusha mjengo mwingine,” fundi Yassin alimwambia Dullah .

Fundi alimwongoza Dullah hadi eneo hilo ndipo kijana huyo mwenye dimponsi ambaye akili yake ilikuwa kwa Doreen alibaki akishangaa ukubwa wa jumba la yule bosi na ingine aliyokuwa akijenga kwa nyuma yake.

“Kweli kuna watu wana fedha jamani, mijengo yote hii ya mtu mmoja?” fundi Yassin alimwuliza fundi.
“Wewe unashangaa nyumba hii, ukienda huko mbele ndiyo balaa watu wamefanya kufuru balaa,” fundi Yassin alimwambia Dullah .
Walipofika kwenye nyumba ya pili ambayo ilikuwa ikiwekwa malumalu, walimkuta kijana mwingine akipanga malumalu, alipomuona fundi Yassin alimwamkia.

Baada ya kumwamkia, alimtazama kwa makini Dullah na kumwambia; “Vipi Mambo?”
“Poa, za kazi?” Dullah alimsabahi.
“Nzuri, karibu!” kijana huyo alimkaribisha Dullah aliyesema asante.
“Hatuni, huyu hapa anaitwa Abdallah Nzamba lakini tunapenda kulikatisha jina lake na kumwita Dullah, ni jirani yangu tutakuwanaye pamoja kwenye kazi zetu,” fundi Yassin alimtambulisha Dullah kwa Haruni.

Kufuatia utambulisho huo, kama ilivyokuwa kwa Zakayo, Haruni hakuamini kwa muonekano wa Dullah kama alifanana na kazi za kukoroga zege, akamwuliza:
“Fundi bwana kwa masihara umezidi, yaani atakuwa akikoroga zege na kukubeba matofali, malumalu kama sisi?”
“Ndiyo, kwani unamuonaje?” fundi alimwuliza Haruni.
“Hata mimi nimemuuliza kama wewe kaniambia hivyohivyo,” Zakayo akadakia.
“Kama nilivyowaleza naye tutakuwa tunafanya naye kazi,” fundi Yassin aliwaambia.

Kule ndani, Doreen kama ilivyokuwa kwa akina Harunu na Zakayo, akawa haamini kabisa kama Dullah ni fundi.
“Huyo kijana piga ua garagaza siyo fundi, nahisi atakuwa kaja kumpeleleza baba yangu, sijawahi kumuona sharabaro tena anayevaa miwani na mwenye dimponsi anafanya kazi za ujenzi,” Doreen aliwaza.

Zakayo na Haruni walivyokuwa hawaamini kama kweli sharobaro Neely angeweza kufanya kazi ya ujenzi, Dorren naye kushangazwa na jambo hilo ambapo moyoni alisema:
“Huyu kijana piga ua garagaza siyo fundi, nahisi atakuwa kaja kumpeleleza baba yangu, sijawahi kumuona sharabaro tena anayevaa miwani na mwenye dimponsi anafanya kazi za ujenzi.”

Wakati Doreen anawaza hayo, fundi Yassin na Dullah walibadilisha nguo na kuvaa za kufanyia kazi kisha fundi huyo alimwambia Zakayo amwelekeze Dullah kazi ya kufanya.
Baada ya Zakayo kuambiwa hivyo na kumuona Dullah akiwa kabadili nguo na kuvaa za kazi ambazo hata hivyo hazikuwa chakavu kama walizokuwa wakifanyia yeye na Haruni, kidogo aliamini kwamba Dullah pia alikuwa pale kikazi.
Kufuatia fundi kumwambia amwelekeze Dullah kazi ya kufanya, hakutaka siku hiyo ya kwanza kumpa kazi ngumu akamwelekeza ya kuzoa mchanga uliokuwa pembeni ya nyumba kubwa waliyoishi akina Doreen.

“Kaka wakati sisi tunaendelea na kazi ya kuweka malumalu ndani, wewe zoa huu mchanga na kuusogeza pale kwani kesho tunataraji kuanza kuweka malumalu hapa pote,” Zakayo alimwambia Dullah .

Kwa kuwa eneo ambalo ulikuwepo mchanga ambao Dullah aliambiwa hauzoe lilikuwa karibu na chumba alichokuwa akilala Doreen, msichana huyo mrembo alisikia maongezi yao.

Baada ya Zakayo kumwelekeza Dullah kazi ya kufanya akaingia nyumba kubwa walikokuwa wakiweka malimalu na kumkuta fundi Yassin akimwelekeza kazi ya kufanya Haruni.
“Vipi umemwelekeza?” fundi Yassin alimwuliza Zakayo.
“Tayari bro ila mpaka dakika hii siamini kama huyo kijana anaweza kufanya kazi hii ngumu tunayofanya, yule amekaa kimayaiyai,” Zakayo alimwambia fundi Yassin, wakacheka.
“Kwa kuwa kapigika kimaisha, kwa hiyari yake kanifuata na kuniambia anataka kuja kunisaidia kazi ili aweze kupata fedha, si unaelewa maisha ni fedha?” fundi Yassin aliwaambia.
“Ni kweli bro lakini kwa huyo kijana akimaliza siku tatu hapa nitajua kweli amedhamirilia,” Haruni alichagiza, wakacheka.
Wakati fundi Yassin akizungumza na wasaidizi wake hao wa kazi, kule nje Dullah alianza kuchota mchanga kwa kutumia chepe na kuurushia eneo aliloelekezwa na Zakayo bila kujua Doreen alikuwa akimchungulia kupitia dirishani.

“Yaani siamini, huyu kaka na uhandsome wake wote huu na miwani juu anafanya kazi hii, lazima kaja hapa kumpeleleza baba yangu tu maana watu wa usalama wa taifa ni balaa,” Doreen aliwaza.

Wakati mrembo huyo anawaza hivyo, Dullah aliyechota mchanga kama chepe ishirini hivi alipozi na kujinyoosha mgongo kutokana na ugumu wa kazi aliyokuwa akifanya.

“Huyu siyo fundi mbona anaonekana kuchoka haraka,” Doreen aliyekuwa bado anamchungulia Dullah pale dirishani aliwaza.
Baada ya kupita kama dakika arobaini hivi tangu aanze kazi, Dullah alihisi kiu akaingia ndani walikokuwa wakifanya kazi fundi Yassin na akina Zakayo.
“Vipi Dullah , unaendeleaje? Hii kazi yetu haina udogo lakini utazoea kadiri siku zinavyokwenda,” fundi Yassin alimwambia.

“Sawa bro, ila nimebanwa na kiu sijui nitapata wapi maji ya kunywa?” Dullah alimwambia fundi Yassin.
Kwa kuwa mafundi hao walipokuwa wanahitaji maji ya kunywa waliwasaliana na Anne msichana wa kazi wa akina Doreen, Haruni alitoka na Dullah , akaanza kumwita Anne.

Licha ya kumuita mara kadhaa, Anne hakuitika ndipo Doreen alifungua dirisha na kumfahamisha kwamba Anne alikuwa ametoka kidogo.
“Poa dada, huyu fundi mgeni anahitaji maji ya kunywa,” Haruni alimwambia Doreen.

Baada ya kuambiwa hivyo, Doreen alimwambia sawa na kumtaka Dullah apite mlango wa uani kisha aingie jikoni.
Kwa kuwa Dullah hakufahamu mlango huo, alimuomba Zakayo ambaye alikuwa mwenyeji amuoneshe ndipo fundi huyo akamuonesha.

Dullah alizunguka nyuma ya nyumba hiyo na kuuona mlango wa kuingia jikoni alipotembea hatua kama mbili hivi mlango ulifunguliwa na Doreen, macho yao yalipogongana, kila mmoja akaachia tabasamu bila kujua sababu za kufanya hivyo.
“Samahani unataka maji ya baridi au ya moto?” Doreen alimwuliza Dullah ambaye tayari akili yake ilihama baada ya kuona shepu nzuri ya Doreen.
“Kwa hiki kijoto yabaridi yatakuwa mazuri,” Dullah alimwambia Doreen.
“Karibu usubiri ndani wakati nakuandalia,” Doreen alimwambia Dullah .
“Hapana sista wewe niletee tu hapa nje,” Dullah aliyekosa kujiamini alimwambia Doreen.

“Jamani wewe kaka ingia ndani unaogopa nini?” Doreen ambaye alikuwa akilindwa sana na wazazi wake asitoke nyumbani kuhofia wanaume wakware alimwambia Dullah .

Kutokana na sauti nyororo ya kuhamasisha aliyoitoa Doreen, Dullah alijikuta akiwa jikoni mwa akina Doreen ambapo msichana huyo alimuongoza mpaka sebuleni kwao, kutokana na nguo aliyovaa kuchafuka kwa mchanga akawa hajui aketi wapi.

“Karibu ukae kwenye kiti,” Doreen alimwambia Dullah .
“Hapana sista wewe nipe nitakunywa wima, si unaona nilivyochafuka!” Dullah alimwambia Doreen.

Licha ya Dullah kutoa jibu hilo, Doreen ambaye ghafla alitokea kuvutiwa na kijana huyo kimapenzi kutokana na kupita muda mrefu bila kuduu alimlazimisha Dullah kukaa na kusisitiza kwamba hata sofa zingechafuka angemwambia Anne azifute.
Kitendo cha kubembelezwa kukaa na mtoto huyo ‘mtamu,’ Dullah alikaa sofani kitendo kilichomfurahisha sana Doreen ambaye alikwenda sehemu ya kulia chakula palipokuwa na jokofu na kuchukua jagi pamoja na glasi.

Alipofika alipoketi Dullah alizogeza stuli iliyokuwa pembeni ya kochi na kuiweka glasi, akafungua jagi na kumimina juisi nzito ya embe, akachukua glasi na kumkabidhi Dullah aliyebakia kaduwaa.

“Wewe si ulitaka maji, mimi nimependa unywe hii juisi,” Doreen mtoto aliyeumbwa haswa na kujaliwa kuwa na makalio f’lani hivi ya kiukochozi alimwambia Dullah .

“Da! Sikutegemea kama leo nitakutana na sapraizi ya namna hii, sina cha kuongezea zaidi ya kushukuru kwa ukarimu huu ambao sijapata kuuona,” Dullah alimwambia Doreen.

Wakati Dullah na Doreen wakipiga stori ndani, si fundi Yassin, Zakayo wala Haruni aliyekumbuka habari za Dullah kwani wakati huo walikuwa bize kwa kazi ya kuweka malumalu.

“Kuwa huru tu kaka, hapa nyumbani tumebaki wawili tu mimi na dada,” Doreen alimwambia Dullah huku akiwa anakwenda sehemu ya kulia chakula palipokuwa na kabati kubwa la vioo lililokuwa na vyombo.

Kwa kuwa muda huo, msichana huyo alivaa pensi iliyombana vyema na kusababisha wowowo lake la kiuchokozi kuonekana na bla nyepesi mfano wa singilendi iliyoonesha viembe sindano vyake, Dullah akachanganyikiwa kabisa.

“Aaa…duuu…aaa…,” Dullah alijikuta akiguna akiwa amelitumbulia macho eneo la nyuma la Doreen na kushindwa kuendelea kunywa juisi.

Doreen ambaye hakuwa na habari na kilichokuwa kikijiri nyuma yake, alipolifikia kabati la vyombo alisukuma vioo vya kusilaidi na kutoa glasi lakini ile anageuka Dullah alijifanya anakunywa juisi.

“Ngoja na mimi nikusaidie,” Doreen alimwambia Dullah wakati akimimina juisi juisi kwenye glasi yake kisha akaketi kwenye sofa aliloketi Dullah .

Kitendo cha msichana huyo kuketi karibu na sharobaro wa tandale Dullah , kijana huyo alizidi kuchanganyikiwa ndipo Doreen alimwuliza kama kweli alikuwa fundi au alikuja pale kumpeleleza baba yake.

“Hapana sista, mimi nije kumpeleleza baba yako ili iweje wakati simfahamu na ndiyo mara yangu ya kwanza kufika hapa,” Dullah alimwambia Doreen.
“Ulivyo na kazi unayoifanya vitu viwili tofauti lazima nikutulie shaka,” Doreen alimwambia Dullah .

“Naomba usinifikirie hivyo, mimi siyo mpelelezi,” Dullah alimwambia Doreen.
Baada ya Dullah kumhakikishia hivyo Doreen, msichana huyo alitabasamu na kumwambia kama ni kweli itakuwa vizuri ndipo alimwuliza sababu za kuchagua kazi ya ufundi.

“Maisha tu dada, ila nilitamani sana kukaa ofisini niwe nafanya kazi kwa kutumia kompyuta lakini ndiyo hivyo,” Dullah alimwambia Doreen.

Kufuatia kijana huyo kumwambia hivyo Doreen, msichana huyo alimwuliza alifika kidato cha ngapi, Dullah alimwambia cha nne na kumweleza kila kitu hadi kufikia hatua ya kuwa pale.

“Unataka kuniambia leo ndiyo kwa mara yako ya kwanza kufanya kazi ya ufundi?” Doreen ambaye alimuonea huruma Dullah alimwuliza.
“Ndiyo hivyo,” Dullah alimjibu.

Baada ya kijana huyo kujibu hivyo, Doreen alikubaliana naye kwani alimuona jinsi alivyokuwa akijinyoosha kila alipochota mchanga na kuutupia eneo aliloelekezwa na Zakayo.

“Oke, sasa sina shaka na wewe, naomba nikuongeze juisi,” Doreen ambaye alipania kufikia hatua f’lani na Dullah alimwambia.
“Nashukuru sista inatosha,” Dullah alimwambia Doreen.
Licha ya kukataa, Doreen alimimina juisi na kujaza glasi aliyokuwa akitumia Dullah , lengo lake lilikuwa kumchelewesha kwani aliamini kitendo cha kuwa pamoja na Dullah angemtongoza tu!
“Ila wewe dada ni mkarimu sana, nashukuru kwa kunijali,” Dullah alimwambia Doreen.

“Usijali kaka fundi, kuwa huru tena nilisahau kukuuliza, hivi ulikunywa chai?” Doreen alimwuliza.
“Kwa kuwa nimekunywa hii juisi nzito nimeshiba sihitaji chai,” Dullah alimwambia Doreen.

“Hakuna kitu kama hicho ngoja nikuandalie maziwa na sambusha ili utakapokwenda kuendelea na kazi uwe na nguvu,” Doreen alimwambia Dullah akainuka na kuelekea jikoni.

Kwa kuwa alipania kumpagawisha kijana huyo, wakati akielekea huko aliyatingisha kimitego makalio yake mapana kitendo kilichomchanganya kabisa sharobaro Dullah .

“Hakika nikiondoka hapa bila ya kumsomesha huyo mtoto mkali dhamira yangu itanisuta sana, siwezi kufanya upuuzi huo hata siku moja ukinzingatia wanawake wameletwa duaniani kwa ajili yetu wanaume,” Dullah aliwaza.

Wakati akiwaza hivyo, Doreen alirejea akiwa na sahani iliyokuwa na sambusa tatu na katika mkono wake wa kulia alibeba chupa ya wastani akajua ilikuwa ya maziwa.

“Huyu mtoto ninavyomuona kanikubali hata nielewa kabisa kama na mimi sitaonesha uanaume wangu, tena akizubaa tu analambwa bakora leo hiihii,” Dullah alijisemea moyonii.

“Ukila hizi sambusa na maziwa ndiyo nitakuruhusu ukaendelee na kazi lakini kinyume chake sitajali cha fundi Yassin wala cha nani nitakufungia humu ndani hadi jioni,” Doreen alimwambia Dullah .

“Sista bwana unaonesha una vituko sana, haya ngoja nile sambusa kisha nikawajibike, jamaa wasije kusema nategea kazi,” Dullah alimwambia Doreen.
Dullah akiwa anatafuna sambusa ya kwanza kwa kutumia staili yake ya kuwalainisha mademu, alimwangalia Doreen kisha akamkonyeza kimtindo, si Doreen akaachia tabasamu.

Kufuatia Doreen kufanya hivyo, Dullah alimsifia kwamba alikuwa mzuri na alijaaliwa kuwa na shepu ya usumbufu ambayo ni wanawake wachache wanazo.
“Jamani shepu ya usumbufu ndiyo shepu gani hiyo?” Doreen alimwuliza Dullah kwa kumtega japo alijua alichomaanisha.

Baada ya kuambiwa hivyo, Dullah alimwambia Doreen asimame ili amuoneshe si mrembo huyo alisimama ndipo Dullah naye akasimama akazishika nyonga zake na kusema:

“Unaona kiuno kama hiki kilivyo? Hebu angalia na hipsi kama hizi, hakika Doreen umeumbika mno, nikutajie vingine?”
Kijana huyo ambaye wakati huo damu zilianza kumwenda mbio na kusahau kabisa kilichompeleka kule site alimwuliza Dorren ambaye alimwambia aendelee kwani hicho ndicho alichokuwa akikihitaji.

“Kingine ni hayo matiti yako, mwanaume yeyote aliyekamilika akizigusa au kuyashika kabisa, atachanganyikiwa na hayo macho ni balaa tupu!” Dullah alizidi kumfagilia.

“Hivi kwa mfano nikikuruhusi ushike matiti yangu utanganyikiwa?” Doreen alimwuliza Dullah .

“Siyo kushika tu, kwa kuyatazama tu hapa sipo sawa,” Dullah alimweleza Doreen na msichana huyo alipotupia macho kwenye eneo analokaa ‘mkuu wa kaya’ wa Dullah, alitabasamu kwani mkuu huyo alikuwa ametuna ndani ya zipu.

Kufuatia hali hiyo, Doreen aliyegundua tayari Dullah alipagawa, kumchanganya kabisa alimruhusu ashike embe bolibo yake ya kushoto aone kama kweli atachanganyikiwa.

Baada ya sharobaro Dullah kuambiwa hivyo, ilikuwa sawa na mbuzi kwenda kujilaza miguuni mwa mpika supu au embe dodo kuangukia miguuni mwa mtu, hakuchelewa hata sekunde moja.

Dullah alivamia chesti a.k.a kifua kitamu cha mrembo huyo na kuishika vizuri titi la kushoto akaanza kuiminyaminya taratibu kwa staili ya nataka staki, Doreen akaanza kuhema na macho yake kumlegea.

Mpenzi msomaji, si unajua inavyotokea kichaa akiwa amepewa rungu kitakachofuatia, licha ya Dullah kupewa ruhusa ya kuishika titi moja la Doreen, si akayatoa yote matiti saa sita yakawa yanamtizama kama vile yalimwambia ‘shindwa mwenyewe.’

Kijana huyo aliyejaaliwa utundu wa malovee, mkono wake wa kushoto akawa anachezea titi moja na kwa kutumia kinywa chake akawa anaifyoza nyingine, acha Doreen achachawe.

Kwa kuwa msichana huyo naye alikuwa amemisi sana mambo yetu yale, naye si akayavamia makazi ya mkuu wa kaya wa Dullah , sijui akawa anayafanye bwana, Dullah akaanza kuhema kwa kasi.

Wawili hao ambao wakati huo walikuwa wamehamia kwenye ulimwengu mwingine, waliendelea kufanyiana vurugu zote za mambo ya chumbani zaidi kwani Dullah alimpogusa hapa Doreen alimgusa pale.

Dullah alipogundua ile ilikuwa ni nafasi ya dhahabu ambayo hakuitegemea alimvutia Doreen kwenye sofa walilokalia awali lakini alipotupia macho kwenye stuli akaaishia kucheka baada ya kuona sambusa mbili na maziwa yakiwa nusu kwenye glasi.

“Kweli kila kitu na wakati wake, maziwa yatabaki kuwa maziwa, sambusa zitabaki kuwa sambusa, hapa ni kupeana raha tu na mtoto mkali,” Dullah alijisemea moyoni wakati huo alikwisha inyonyoa pensi ya Doreen na kumuacha mtoto huyo chupi tu.

Kwa kuwa nyumba hiyo ilikuwa kimya, Dullah aliamua kumchinjia baharini mtoto huyo mzuri palepale sofani lakini ile anamalizia kutoa boksa yake ili alitoe uboo wake mara, akasikia akiitwa na Zakayo.

Ayaaa!!!

ITAENDELEA

Post a Comment

0 Comments