Fundi Yassin alitoa kauli hiyo kuwazuga abiria wengine wasiushtukie mpango wake na Dullah , kisha alimnong’oneza Dullah kwamba kama kweli alitaka teni ya fasta kazi ilibakia kwake.
“Kabla ya kufika Mwenge ndiyo utabaini mimi ni Abdallah Nzamba a.k.a Dullah ,” Dullah alimwambia fundi Yassin kwa sauti ya kunong’ona.
Basi likiwa limefika Tangi Bovu, Dullah alimgusa yule mrembo mgongoni ambaye wakati huo alikuwa kasimama pembeni yake na kumwambia aketi, kwa kuelewa Dullah alitaka kushikia kituo cha Bondeni yule mrembo aliketi na Dullah akasimama.
“Asante kaka yangu!” mrembo alimwambia Dullah .
“Usijali, ingawa bado sijafika mwisho wa safari nimeona nawe ukae japo kidogo,” Dullah alimwambia yule msichana.
“Asante sana kaka kwa kunijali,” yule mrembo alimwambia Dullah bila kujua lengo la kijana huyo.
Wakati Dullah akizungumza na mrembo huyo, fundi Yassin alikuwa kishamvulia kofia na kujisemea moyoni:
“Kweli huyo dogo ni balaa hadi kufika Mwenge atakuwa kamuweka sawa huyu kiumbe,” fundi Yassin alijisemea moyoni.
Gari lilipofika Makongo, Dullah alimtania yule dada kwamba jioni ile alikuwa akielekea wapi, mrembo akamwambia Keko.
“Keko ndiyo unakoishi au unakwenda kazini?” Dullah akamwuliza.
“Nyumbani!” mrembo akamjibu.
Baada ya mrembo huyo kumfahamisha hivyo, Dullah alimwuliza alikuwa akiishi Keko ipi maana kuna Magurumbasi, Keko Mwanga, Keko Machungwa, Keko Madawa au Keko Akida?
Kufuatilia Dullah kumtajia mrembo huyo vitongoji vya Keko akajikuta akicheka na kumwuliza kama kote huko alikuwa akikufahamu, Dullah akasema ndiyo maana kamtajia.
Wakati maongezi yakiwa yamepamba moto, walishtukia gari limefika Mwenge ambapo wote walishuka na kwenda kupanda basi la Tandale uzuri liendalo Temeke ambalo lilikuwa likijaza abiria.
Kwa kuwa basi hilo lilikuwa na viti vilivyokuwa wazi, Dullah alimpa ishala fundi Yassin akae siti iliyofuata ambapo yeye na yule mrembo wakaketi siti ya watu wawili.
“Daa, leo imekuwa bahati tumepata usafiri kirahisi namna hii?” Yule msichana alimwambia Dullah .
“Yaani huwezi kuamini kwa jinsi usafiri wa hapa unavyosumbua, mfano jana ilikuwa kasheshe tupu!” Dullah alimdanganya yule mrembo jambo lililomfanya fundi Yassin kutabasamu.
“Kweli huyu dogo ni balaa, kisha mpiga changa la macho dada watu, kweli ukitaka kumpa mrembo yeyote lazima uongo utumike,” fundi Yassin aliwaza.
Hawakukaa muda mrefu basi lilianza kuondoka, Dullah alifurahi sana kwani alijua mpaka kufika Keko atakuwa tayari kishamuweka sawa yule mrembo.
Wakiwa wanaendelea na safari Dullah alimwuliza tena yule mrembo alikuwa akiishi Keko ipi kati ya alizomtajia, mrembo alitabasamu na kumwuliza mbona alihitaji sana kujua alikokuwa akiishi.
“Jamani kwani kuna ubaya gani ukinifahamisha, halafu unaweza kushangaa kukuta wewe ni ndugu yangu au unaishi jirani na ndugu zangu,” Dullah alimwambia yule mrembo aliyeishia kucheka.
“Haya bwana, mimi naishi Keko Juu ambayo hukuitaja,” yule mrembo alimwambia Dullah aliyeishia kucheka.
“Keko Juu karibu na Twiga Hoteli au Shule ya Msingi Mgulani?” Dullah alimwuliza.
“Du! Wewe kaka kweli unalifahamu hili jiji, mpaka Keko Juu unapafahamu?” yule mrembo alimwuliza.
Dullah alimfahamisha kote huko anakufahamu ndipo yule mrembo akamwambia alikuwa akiishi karibu na Twiga Hoteli.
Dullah alifurahi sana na kumwambia alikuwa akifika mara kwa mara katika uwanja wa mpira uliokuwa eneo lile kucheza mpira Wawili hao waliendelea na maongezi ambapo Dullah alimwomba yule dada kama hatajali ampatie namba yake ili siku atakayorudi hewani wawasiliane.
“Kwani hauna simu?” yule mrembo alimwuliza.
Kufuatia Dullah kupenda kujipaisha, alimwambia alikuwa na simu yake ya kisasa ‘smartphone’ ambayo aliibiwa na dogo mmoja aliyeingia chumbani kwake akiwa anaoga.
Yule mrembo bila kujua akadanganywa, alimpa pole kisha alimwambia hata akimpa namba yake isingesaidia kitu kwa kuwa hakuwa na simu, Dullah akamwambia pale alikuwa na fedha za kununua simu na siku ilifuata angekuwa hewani.
Kitendo cha mrembo kuambiwa na Dullah kwamba alikuwa na fedha za kununua simu nyingine akajua kumbe alikuwa mambo safi na kwamba kwa kama alihitaji kununua simu ya kisasa hakukosa laki mbili.
“Kama ana laki mbili yupo vizuri ngoja nimpe namba yangu najua tukizoeana nitakuwa nampiga mizinga mpaka akome,” yule msichana akawaza.
“Sasa hiyo namba utaindika wapi?” yule mrembo akamwuliza Dullah .
Dullah alicheka na kumwambia amtajie ataikariri, ndipo mrembo akamwuliza kama kweli anaweza kuikariri Dullah akamwambia amtajie tu wala asihofu angeiweka kichwani.
Baada ya yule msichana kumtajia Dullah alimwambia alishaidaka na asingeisahau, mrembo alipomwambia amtajie Dullah akaitaja bila kukosea, mrembo akaishia kumpongeza kwa kuwa na kichwa chepesi.
Safari iliendelea ndipo fundi Yassin alibaini huko mbele ya safari dogo ambaye hakuwa na fedha kabisa angeumbuka, akageuka na kumwambia Dullah kwamba akifika Tandika atakwenda kumuona yule Mwarabu aliyemletea simu yake.
Dullah alijua nini kilikuwa kikiendelea baina yake na fundi wake akamwambia sawa ndipo fundi akafungua pochi yake akachomoa wekundu watatu wa msimbazi na kumwambia aweke mfukoni.
Dullah alichukua fedha hizo akiwa anatabasamu na kuzisunda mfukoni huku akimsifia sana fundi wake kwa kujiongeza, basi lilipofika taa za Veta yule mrembo alimwambia Dullah kwamba anasogea mbele kwani alikaribia kufika.
Baada ya kusema hivyo, sharobaro Dullah alimwambia asiwe na wasiwasi naye atashukia hapo kwani alikuwa akihitaji kwenda kumuona rafiki yake mitaa ya Keko, fundi Yassin alipomsikia Dullah akitoa kauli hiyo akajisemea moyoni;
“Mrembo kishaumia leo, sharobaro ana wekundu watatu mfukoni?”
Kweli gari lilipofika kituo cha Keko Bora, Dullah alimuaga fundi Yassin kwamba anakwenda kumuona jamaa yake watakutana nyumbani kisha wakateremka na yule mrembo.
Wakiwa wamesimama kituoni, Dullah alimwuliza yule mrembo kama alikuwa na haraka sana ya kwenda nyumbani, mrembo akamwambia siyo kivile kwa sababu dada yake alikuwa kasafiri.
“Yap! Habari kama hizi ndiyo napenda kuzisikia,” Dullah alijisemea moyoni.
“Kwa hiyo tunaweza kutafuta sehemu japo tupate kinywaji kisha kila mmoja aendelee na safari zake?” Dullah alimwuliza yule mrembo.
Kufuatia yule mrembo kumuona Dullah alikuwa yupo vizuri kifedha, alimwambia hakukuwa na ubaya ndipo kijana huyo ambaye alikuwa na usongo wa yale mambo hasa baada ya kumkosa Doreen akamwambia amfuate.
Wawili hao walivuka barabara na kuanza kurudi walikotokea kisha wakakata kulia na kuingia kibarabara cha mtaani ambapo hawakutembea umbali mrefu wakatuka baa, wakazama ndani.
Msichana huyo ambaye mpaka muda huo Dullah hakulifahamu jina lake hakuelewa kama baa waliyoingia kwa nyuma ilikuwa na vyumba a.k.a machinjio, walipoketi tu mhudumu alifika na kuwauliza aliawahudumie nini!
Dullah aliagiza kilevi yule mrembo aliagiza soda, kabla mhudumu hajaondoka Dullah alimwuliza kama alikuwa hatumii kilevi mrembo akamwambia huwa anatumia lakini kwa siku ile hakujisikia tu!
“Kufuatia kauli hiyo, Dullah alimwambia anapojisikia vizuri anakunywa kilevi gani akamtajia ndipo akamwambia mhudumu amletee kilevi hicho na kuachana na soda.
“Yaani best mimi ninywe kilevi wewe unywe soda wapi na wapi? Wewe leo kunywa tani yako suala la fedha siyo tatizo,” Dullah alimwambia yule mrembo kisha akamwita mhudumu wa jikoni.
“Mimi niletee mchemsho wa kuku, wewe utapenda kula nini?” Dullah alimwagiza mhudu na wakati huo huo kumwuliza mrembo wake alihitaji kula nini.
“Kama ulivyoagiza wewe,” mrembo akamwambia Dullah ambaye alifurahi sana kwani alijua jioni ile ya saa moja angemuua tembo kwa ubua.
“Mimi nafikiri ungeagiza tofauti na mimi ili kila mtu aonje chakula cha mwenzake, unaonaje?” Dullah alimwuliza yule mrembo.
“Oke, basi mimi niletee ulimi na ndizi mbili, ndimu na pilipili weka pembeni,” yule mrembo aliagiza.
Baada ya kutoa oda hiyo Dullah alimwambia alifanya vizuri, wakaendelea kunywa pombe waliyoagiza na kuendelea na stori za hapa na pale ndipo mhumu wa jikoni akalea msosi.
Alipowanawisha wakaanza kula na kupiga stori huko moyoni Dullah akisema: “Wewe leo lazima nikugaragaze kwani mla vya watu na vyake huliwa.”
Dullah alikata kipande cha mnofu wa kuku na kutaka kumlisha yule mrembo ambaye alikwepesha mdomo na kumwambia ampe mkononi, kijana huyo akafanya hivyo.
“Lakini unajua umenikosesha raha, mimi nilitaka kukulisha wewe umekwepesha mdomo,” Dullah alimwambia.CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Sijapenda tu si unajua mambo hayo hufanyiana wapenzi na si kila mtu?” yule mrembo alimwambia Dullah bila kujua kama kauli yake ilimuumiza sana.
“Najua sana ila sioni kama kuna tatizo mimi kukulisha si namna ya kupoteza mawazo baada ya kazi,” Dullah alimwambia.
Wakati wawili hao wakizungumza, mhudumu wa vinywaji alifika na kuchunguza chupa zilizokuwa na kilevi na kubaini vilibaki kidogo akavimimina kwenye glasi na kumwuliza Dullah kama aongeze.
“Hicho ndicho kilichotuleta hapa, kuepusha usumbufu leta mbili kwa kila mmoja na zote ziwe za moto kama za mwanzo,” Dullah alimwambia.
Yule mrembo aliposikia Dullah kaagiza aletewe bia zingine mbili na kwa vile alikaa muda mrefu bila kupata ‘gambe’ akafurahi na kujisemea moyoni akimaliza kinywaji alichoagiza asingeendelea.
Bia zilipoletwa wakaenda kula na kukata maji, kwa kuwa mlo walioagiza ulikuwa tofauti Dullah kila mmoja akawa anachanganya, Dullah akichukua kipande cha ulimi, yule mrembo naye akawa ananyofoa mnofu wa kuku, ikawa burudani ya aina yake.
Walipomaliza kula, wakaendelea kukata maji ndipo bia za moto walizokuwa wakinywa zikaanza kupanda kichwani kwani mrembo akaongeza spidi ya maongezi na kuchekacheka hata kama Dullah hakuongea ishu ya kuchekesha.
“Yapu! Chezea bia wewe, hivyo ndivyo nilikuwa nataka lazima ulipe fadhila za mfadhiliwa, mimi ndiyo Abdallah a.k.a Dullah ,” Dullah alijisemea moyoni.
Kijana huyo alipobaini mrembo maji yameanza kuchanganya kichwani alimuomba asogeze kiti chake karibu yake kwani alitaka kumwambia jambo flani.
“Wewe si niambie tu jamani hilo jambo kwani mpaka tusogeleane?” msichana huyo aliyeitwa Atuganile aliyependa kukatisha jina lake na kujiita Atu alimwambia Dullah kwa sauti iliyozidiwa kwa kilevi.
“Kwani Atu kuna tatizo gani ukisogea hebu sogea bwana,” Dullah alimwambia msichna huyo mwenye shepu f’lani hivi ya kiuchozi.
Atu alipoambiwa hivyo akasema isiwe tabu akasogeza kiti chake na kukigusanisha na cha Dullah ndipo Dullah akampiga kibao cha mahaba shavuni ambacho kilimfurahisha Atu.
“Ila wewe unajua ni mchokozi sana, sawa tu!” Atu alimwambia Dullah .
“Mimi wala siyo mchokozi ila ukitaka nikuchokoze nitakuchokoza, unaniruhusu?” Dullah alimwambia Atu.
“Hebu nichokoze niuone huo uchozi wako,” Atu alimwambia Dullah na kuanza kucheka.
Dullah aliyekuwa amebanwa na haja ndogo aliinuka na kumwambia ngoja akajisaidie kwanza akitoka huko ndiyo atajua uchokozi wake, akaenda uani.
“Hana ujanja, ngoja nifanye fasta asije akatokea mtu akaenda kumsomesha nawaelewa sana wanaume wakaware wa hili jiji,” Dullah aliwaza.
Baada ya kumaliza kupunguza maji alirejea walipokuwa wameketi na kusimama nyuma ya Atu aliyekuwa na kifua kilichobeba viembe bolibo vitamu sana, si akamwinamia mabegani na kuingiza mkono wake wa kulia ndani ya kitopu alichovaa Atu na kuishika embe bolibo ya kulia.
Kutokana na embe hiyo kuwa ya moto, Atu alipata raha sana na kwa upande wa Dullah ilikuwa hivyo, kijana wa Kisukuma alilitumia vyema giza lililokuwepo kuichezea embe hiyo hasa ncha yake, Atu akaanza kutoa mhemko wa raha!
Dullah alipogundua mashetani ya Atu yalikuwa eneo hilo, kwa akaingiza mikono yake yote kifuani kwa mrembo huyo ambapo kila mmoja ulishika embe bolibo ya upande wake akawa anazipekecha, mara kuzifinya na sijui kuzifanyaje bwana, Atu akapiga yowe!
Kufuatia uyowe alioupiga Atu, Dullah aligundua kwamba mashetani ya dada huyo yalikuwa jirani hivyo kama angeendelea kumpagawisha, angweza hata kuangua kilio na watu kupigwa na butwaa!
Alichokifanya kijana huyo sharobaro, alichomoa mikono yake kifuani kwa Atu ambaye licha ya kuwepo kigiza Dullah aliweza kuyaona macho yake yalivyokuwa yamelege na kwenda kukaa kwenye siti yake.
Baada ya kukaa aliupitisha mkono wa kushoto maungoni mwa Atu na kumpa pole kwa alichomfanyia ndipo msichana huyo akamwambia muda ule alikuwa yupo katika hali mbaya.
“Hali mbaya kivipi?” Dullah alimwuliza swali la kizushi.
“Eti unaniuliza hali mbaya kivipi, kwani ulikuwa unafanyaje na kifua changu
u?” Atu alimwuliza.CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Kufuatia dada huyo kutoa kauli hiyo, Dullah naye alimwambia hata yeye alikuwa katika wakati mgumu ndipo aliuchukua mkono wa Atu na kuupeleka kwenye makazi ya ‘mkuu wa kaya’.
Mtoto wa kike alipomgusa mkuu huyo wa kaya, akapatwa na hali ambayo nashindwa kuilezea kwani alipitisha muda mrefu bila ya kukutana naye, akaishia kusema; “jamani wewe mbona mtundu namna hiyo.”
Dullah alipigundua kwamba hata kwa namna gani kwa atua aliyofikia Atu asingeweza kumchomolea kama angehitaji mkomboti, alimuaga kwamba anakwenda msalani na kwenda moja kwa moja upande uliokuwa na vyumba a.k.a machinjio ambako alilipia rumu moja.
Baada ya kufanya hivyo alimfuata Atu na kumuomba msamaha kwamba wahamie eneo la ndani ambalo lilikuwa tulivu kwa wao kufanyiana chochote kuliko pale walipokuwa wamekaa.
Kutokana na pombe kumpanda kichwani, kujumilisha na jinsi mwili ulivyomchemka kihisia, dada wa watu hakubisha alinyanyuka na kumfuata nyuma Dullah kama mwanakondoo aliyekuwa akipelekwa malishoni.
Baada ya kuingia chumbani Dullah aligundua kwamba alibaki na fedha kidogo ambazo zisingetosha kulipia chumba, akamuacha Atu akiwa kajibwaga kitandani akamfuata mhudumu wa pokezi.
Alipofika aliomba amwazime simu yake akampigia simu fundi Yassin na kumuomba amuongezee shilingi elfu kumi na tano kwani bila kufanya hivyo angeumbuka mtoto wa kiume.
Kufuatia ombi hilo, fundi Yassin aligundua Dullah alikuwa amepungikiwa na fedha ndipo akamwuliza hizo fedha angemtumiaje wakati hakuwa na simu akamwambia atume kupitia namba ile ya mhudumu wa gesti.
Baada ya kuhakikishiwa atatumiwa fedha hizo, Dullah alifurahi na kupata nguvu za kwenda kumuumiza kiumbe wa watu, alipomaliza kuzungumza na fundi Yassin alimfahamisha mhudumu kwamba fedha hizo zikitumwa akate shilingi elfu saba ya rumu kisha zingine atazichukua akimaliza kazi iliyokuwa mbele yake.
Alipotoa kauli hiyo, mhudumu aliishia kucheka ndipo sharobaro Abdallah a.k.a Dullah alikwenda chumbani alikomuacha mtoto mzuri Atu ambapo alimkuta akiwa kajibwaga kitandani akisubiri kukabiliana na chochote ambacho angeambiwa na Dullah .
Kitendo cha sharobaro Dullah kumuona Atu akiwa kajibwaga kitandani kilimpa raha
sana akajisemea moyoni:
“Umekwisha kiumbe wewe, kumbe wala siyo msumbufu!”
Kufuatia nafasi hiyo ya dhahabu aliyoipata Abdallah Nzamba a.k.a Dullah si naye akamfuata mtoto huyo wa kike, kwa utaalam wake akaanza kugusa kila eneo la hatari la Atu.
Kutokana na mautundu aliyofanyiwa na Dullah , Atu alikosa utulivu akawa anahema, kijipinduapindua huku na kule kama nyoka aliyemwagiwa mafuta ya taa jambo lililompa burudani ya aina yake Dullah .
Dullah alipomuona mtoto kisha lainika kama mlenda na anahema kwa fujo na yule hakuwa dada yake, akamnyonyoa manyoya yote naye akanyonyoa yake, akamchumu shavuni Atu kisha wakaanza kula mua a.k.a denda.
Walikwenda sambamba na zoezi hilo na kujikuta wapo katika ulimwengu mwingine, si sharobaro Dullah mpenda sifa sijui alimbanaje bwana mtoto wa watu, Atu akajikuta akipiga kigelegele cha raha na kupasua dafu lake ndipo naye Dullah akapasua lake na kumnywesha dada wa watu maji matamu.
“Ila wewe mkaka ni balaa!” Atu alimwambia Dullah .
“Balaa la nini?” Dullah alimwuliza kwa kumtega.
“Sijapata kuona, yaani mh!” Atu aliishia kuguna.
“Kwani nimefanyaje si kawaida tu?” Dullah alimwuliza Atu.
Msichana huyo ambaye tangu aanze malovee hakuwahi kukutana na mwanaume mtundu akama alivyo Dullah , alimfagilia kwa namna alivyomfanyia na jinsi alivyoweza kupasua madafu mawili kabla hata ya mtanange na la mwisho lililokwenda sambamba na la Dullah .
Dullah aliishia kucheka na kumsifia msichana huyo kwamba naye alikuwa mjuvi wa malovee kisha akazivamia tena embe bolibo zake za mvilingo na ndogondogo akaanza kuziminya atakavyo na kumpagawisha kabisa mtoto wa watu akaibugia moja mdomoni na kuanza kuifyonza.
Kufuatia Dullah kumfanyia hivyo Atu, msichana huyo alikosa utulivu kabisa akawa anahema na kuyazungusha macho yake pande zote za dunia huku kidole chake kimoja akiwa kaking’ata mdomoni kama mtu anyonyaye pipi ya kijiti.
Sharobaro Dullah ambaye kitabia alikuwa hatofautiani na masharobaro wengine wanaopenda mambo ya mademu na kuvaa pamba za kijanja, alifurahishwa sana na mapozi ya Atu aliyekuwa kamdhibiti vilivyo.
Kijana huyo alipogundua angeweza ‘kumuua’ mtoto wa watu aliyekuwa kazidiwa kupita kiasi kwa utaalam wake wa malovee sijui alifanyaje bwana, si Atu akajikuta akilia kufuatia mziki mnene aliopewa na Dullah
Dullah ambaye alijua kulicheza kandanda kwa mwendo kasi na wa haraka alimpeleka Atu wa watu mpaka binti wa watu akajikuta akipasua dafu ndipo naye kalipasua lake na kumwenyesha maji matamu yaliyomfanya avute pumzi na kuzishusha kisha akajilaza huko baada ya kuishiwa nguvu.
“Ila wewe mkaka mh!” Atu aliyekuwa kachoshwa kwa maji ya dafu aliyonyweshwa kitaalam na Dullah alimfungukia sharobaro huyo.
“Kwa nini unasema hivyo?” Dullah alimwuliza Atu.
“Da! Sijapata kuona, wewe ni balaa!” Atu alimwambia Dullah .
Kufuatia kauli hiyo, Dullah alimwambia balaa lake lilikuwa nini ndipo Atu akamwambia alikuwa anayaweza bila kufafanua kuyaweza nini!
“Jamani unaongea kwa mafumbo, kuyaweza nini?” Dullah alimwuliza Atu kwa kumtega.
Alipoulizwa hivyo, Atu alimsifia jinsi alivyokuwa anajua kufanya maandalizi na alivyompelekesha puta na kumtegea mpaka wakafika pamoja mwisho wa safari tena mara zote mbili.
“Kumbe umeinjoi eh?” Dullah alimwuliza Atu.
“Sana tena sana, yaani tangu nilipoanza haya mambo wewe ni mtu wa pili kunipa raha hiyo, da! Unayweza kwa kweli,” Atu alizidi kumfagilia sharobaro Dullah .
Kufuatia burudani aliyopewa alimuomba Dullah kama hatajali awe mtu wake wa kudumu ambapo sharobaro huyo alimwuliza itakuwaje kwa jamaa aliyekuwanaye.
ITAENDELEA

0 Comments