Nilirudi darasani nikiwa na furaha hadi Side akaniuliza!
"Vipi mwenzangu mbona una furaha sana!"
"Kawaida tu vipi ticha kaingia?"
"Hamna!"
Sikutaka kumshirikisha kabisa Side na mambo yangu nilijua lazima atanipinga tu,maana tangu tufike shule mwenzangu alikuwa msongo haswa!anasoma kama anasomea Kijiji!
Siku hiyo ilikuwa ndefu sana kwangu,masaa sijui nani aliyakamata.
Kila nikiangalia mshale wa saa nauona uko palepale!
Hatimaye usiku ulifika,baada ya chakula cha jioni tulisubiri muda wa kujisomea ambao mimi na yule jamaa tulipanga kutoka!
Sikucheza mbali na yule jamaa,nilikuwa naye bega kwa bega!
"Oyah,muda wa kutoka huu ushajiandaa!"
"Mi niko poa!"
"Nifuate!"
Sikuamini kama ndiyo naenda kumuona Scola wangu!
Moyoni nilikuwa na shauku kubwa Sana!
"Tunapitia wapi jamaa!"
"Naitwa Joseph au Jose tusiitane jamaa,halafu usiongee nifuate!"
Nilimfuata Jose ambaye alinipitisha njia ambazo sikuwahi kupita pale shule hatimaye tukajikuta nyuma ya shule!
Mbele yetu kulikuwa na ukuta mrefu kiasi nikamwangalia mwenzangu ambaye hakuonyesha wasiwasi!!
Pembeni kulikuwa na matofali,kumbe ndiyo ilikuwa ngazi ya kutoka nje!
Ukiyaona Yale matofali kama vile yamehifadhiwa pale ila kumbe yana makusudio yake!
Tulipanda na cha kushangaza eti kule nyuma kuna tofali pia zinazosaidia kushuka!
"Duh nani aliweka haya matofali?"
"Usiulize jali mambo yako!"
Tulitoka nje ya ngome,Jose akanipa simu!
"Ongea na demu wako mi niende kwa mchumba wangu kumbuka ni masaa mawili tu tunarudi ngomeni!"
Nilimpigia Scola akapokea,nikamuuliza yuko wapi akasema ndiyo anafika!
"Njoo huku nyuma,usiende getini!"
Sikuamini kama kweli naenda kumuona Scola wangu!
Kwa mbali niliona pikipiki inakuja nilipokuwa nimesimama!
Japo kulikuwa na giza Ila aliposhuka nilimuona Scola wangu!
Nilimpa simu Jose kisha nikamkimbilia Scola nikamkumbatia kwa hisia,sikuweza kuyazuia machozi yangu!
Jose aliondoka kwenda kwa mchumba wake ambaye anaishi karibu na shule!
"Bushman mbona unalia!"
Aliniuliza Scola huku anafuta machozi yangu!
"Nimekumiss!siamini kama nimekuona tena mpenzi!"
"Sasa ndiyo ulie?huo ushamba utaacha lini ushamba wewe!"
Kauli ya Scola iliniumiza moyo yani kumkumbuka eti ni ushamba,mwanamke hajui hata kupendwa dah!
"Sikia mi sikuja kuona machozi yako,nimekuja unipe hii kitu basi!"
Mkono wa Scola ulipenya kwenye suruali yangu akaishika bakora yangu ikasimama ghafla!
"Scola kwani tunafanyia hapa?"
"Kwani ajabu tulifanya porini kule kijijini sembuse hapa!"
Pikipiki iliyomleta ilikuwa imeshaondoka, Jose naye alikuwa ameshaondoka zake!
Tulikuwa wawili tu mimi na Scola,nadhani ndiyo maana Scola alijiamini kupita kiasi!!
Nilipata nafsi ya kumwangalia Scola wangu,nguo alizokuwa amevaa zilikuwa zimeacha sehemu kubwa yaw mwili wake!
Alikuwa amevaa kimini kilichoacha nje mapaja yake yaliyonona!Na juu alikuwa amevaa top iliyoacha kitovu chake nje!
Japo ilikuwa usiku ila haikufanya nisiuone uzuri wa Scola!
Weupe wake ulizidi na kichwani alivalia wigi lililomfanya azidi kuvutia machoni!
Kiukweli Scola alikuwa ameshakuwa mwanamke wa mjini haswa,tofauti kabisa na yule Scola wa kijijini!
"Mbona unanishangaa?changamka mi nataka kuwahi kazini!"
"Kazini usiku huu Scola!kazi gani hiyo!?"
"Una maswali mengi kwani we polisi?"
Scola aliona kama namchelewesha alipiga magoti akaitoa bakora yangu kwenye suruali!
"Shukuru sana hii bakora yako,bila hii nisingekuwa hapa saivi!!"
Sikuelewa Scola ana maana gani?aliishika bakora yangu akaitia mdomoni akaanza kuimumunya kama anaming'inya ubuyu wa Zanzibar!
"Ooohhhooohhhh!"
Nilishindwa kujizuia,ulimi wa Scola ulinipatia kitu roho inapenda!
Macho yangu yalifumba yakapoteza uwezo wa kuona kwa dakika kadhaa!!
Ilinichukua muda kurudi kwenye fahamu zangu,nikamuua siafu kabla hajaingia kwenye suruali yangu!
Maana akishaingia huwezi jua ataweka kituo sehemu gani na atashambulia muda gani!
Japo hatukuwa na muda mrefu wa kufanya jambo lile lakini niliumia muda wangu vizuri!
Nilihakikisha kila risasi inayotoka inalenga kichwa!
Kwa ufundi wangu mdogo macho ya Scola yalivaa mlegezo, yakalegea legelege!
Scola alikivuta kimini chake juu,nguo ya ndani akaishusha chini kisha akashika ukuta akainama!
Sikuwa Masu yule mshamba mshamba tena,nilijua ni nini kinachofuata!
Nilisimama nyuma yake nikiwa na uchu wa tunda,tunda linalopendwa kuliko matunda yote ulimwenguni!
Starehe tamu kuliko starehe zote,ujanja popote lakini hapa hakuna mjanja!
Scola alikuwa taabani kama mgonjwa wa corona anayehitaji mashine ya kupumulia!
Mimi ni nani nisimpe kipenzi changu pumzi?Ashindwe kupumua nami nipo hapana siwezi kwa kweli!!!
Niliushika mwiko nikautia chunguni,nikaanza kusonga taratibu Moto ukinibembeleza!
Safari ilikuwa ndefu sana lakini tulifika Salama!
"Scola!",
"Abee!"
"Nakupenda mpenz!"
"Hahahaha!Soma Masu maisha ni magum usinogewe na Scola mi nipo tu!"
"Scola mbona hujawahi hata kuniambia unanipenda jamani,kwani mi sikuvutiii nambie ukweli!"
"Heee!Masu!!umeanza lini kuniuliza mambo kama hayo umeingia mjini juzi tu unajikuta mjanja!"
Nilishangaa sana,Scola alinijibu mambo ambayo hayako ndani ya swali langu!
"Lakini Scola mbona mi nimeuliza tu si kwa ubaya!"
"Usiniulize upumbavu mimi,mapenzi unayajua wewe!mjini pesa kama hutaki nije useme mi nikikumiss nakuja unanipa bakora nasepa zangu upo!"
Scola alivaa nguo zake akajiweka vizuri muda huo nimesimama nimeegemea ukuta nikiwa na maswali mengi!!!
"We bushman tutaonana,naomba ujitajid wiki ijayo siku kama ya leo tukutane hapa hapa!"
Scola aliondoka akaniacha nimesimama kama mlingoti!
Nilikuwa mtumwa wa penzi la Scola,sihemi wala sikohoi!
"Oi Masu mbona kinyonge!"
Jose ndiye aliyenishtua baada ya kunikuta nimeinama nikimuwaza Scola,kichwani nilijiuliza nini hatima yangu ya Scola?
"Ooh!umerudi mzee!nakuona mwepesiiiiii!",nilijitahidi kuchangamka!
"Ah!wapi!sema mwanangu kama yule demu wako dah unamiliki chombo kweli!"
"Hahahaha! kawaida!"
"Unajua nilikua nakuona bush boy mzee Ila kwa kile chombo mwanangu dahh saluti!"
Moyoni nilijisemea,"ungejua anavyonitesa huyu mwanamke usingesema!"
Tulivuka tukarudi ngomeni,Jose alienda bwenini mi nikaenda darasani kumuona rafiki yangu ambaye nilijua ntamkuta tu huko maana ni tabia yake wenzake wanasoma wanaondoka lakini yeye anabaki peke yake kujisomea!
"Dah!Side bado upo!"
"Masu!ulikuwa wapi?"
"Nilikuwa bwenini!"
"Masu nimekuja bwenini sijakuona,mbona mapema sana ndugu yangu umeanza kubadilika!umesahau hata machozi ya mama yako siku ile pale stendi!"
"Usiku mwema Side!",niliubamiza mlango nikatoka zangu!
Niliondoka baada ya kuona Side ananiletea Mambo ya ushauri nasaha!Angejua hata mama hakuweza kunizuia kuwa na Scola wangu sembuse yeye!Nilikasirika sana!
Haba na haba hujaza kibaba,bandu bandu huisha gogo na lini asali ikaonjwa mara moja??haiwezekani!!
Ulianza kama mchezo tu lakini kadri siku zilivyozidi kwenda ndivyo mchezo wetu ulikolea!
Ikawa ni kila wiki tunatoka mimi na injinia wangu Jose kwenda kuonana na mademu zetu!!!
Ilikuwa mara moja moja lakini mimi nikajikuta naanza kutoka hata mara mbili au tatu kwa wiki!
"Masu!"
"Naam!"
"We ni mshikaji wangu,na mimi ndiyo nimekufundisha kuruka gola lakini bro hii ni too much umezidi Karibu kila siku unaruka ngome utaniharibia ukikamatwa tukishtukiwa itakuwaje?"
"Jose,kila mtu na hamsini zake tusipangiane ratiba!"
Nilimjibu huku naondoka zangu,sikutaka stori utaniambia nini nikuelewe kwa Scola!
Na kingine Scola aliniletea kisimu cha batani sitegemei mawasliano kutoka kwake!
"Masu!Masu!Masu unapotea mwanangu!"
Huku nyuma Jose aliniita lakini sikugeuka,kipindi kile niambie chochote ntakuelewa lakini kisimhusu Scola wangu!
Hata Side nilishamkaushia sikuwa Karibu naye tena sababu alikuwa anaingilia mambo yangu!
Niliingia bwenini nikakaa kitandani nikaanza kucheza gemu la nyoka!
Simu iliita,hakuwa mwingine zaidi ya Scola wangu nilikohoa kurekebisha koo langu Kisha nikapokea!
"Masu!"
"Yes baby!"
"Uko wapi?"
"Niko bwenini!"
"Njoo nipo nje huku!"
"Scola usiku saivi lakini mpenzi!"
"Kwani huwa tunaonana mchana?"
"Hamna lakini...!"
"Lakini nini kama hutaki useme mi niondoke zangu!
"Sawa nakuja!"
ITAENDELEA

0 Comments