Mpaka jua linazama bado sikuwa na majibu kama naonana na Scola au lah!!
Siku hiyo nilitoka darasani mapema hadi Side akanishangaa haikuwa kawaida yangu kufanya ivyo!!!
Nilifika bwenini nikaanza kuwaza muda huo ulikuwa saa tatu usiku!
Mwisho niliamua kuonana na Scola wangu,ndiyo sikutaka kuidhulumu nafsi yangu!!
Nilijiandaa tayari kwenda kuruka ngome kuonana na Scola wangu!
Nilipofika pale tunaporukia nilishangaa baada kukuta watu wengi na siyo kawaida!!
Nilisogea nikaone kuna nini,sikuamini Jose alikuwa amekamatwa akitaka kuruka ukuta!
Alikuwa amezungukwa na walimu na baadhi ya wanafunzi huku wakiwa wanamuuliza aseme anarukaga pale na kina nani?
Niliogopa nilijua nikitajwa tu nimekwisha kwa sheria ya ile shule ni kufukuzwa kabisa!!
Nilitetemeka kijasho chembamba kikinitoka!
"Sema hapa unapitaga na nani?"
Aliulizwa Jose huku viboko vingi vikimshukia mgongoni!
Jose aligeuza macho yake yakakutana na yangu!
Aliniangalia kisha kwa sauti kasema!
"Nasema,mwalimu nasema!"
"Wataje wote!!"
Jose aliniangalia kisha akasema
"Hapa tunapitaga na Masu!!"
Nilishtuka miguu nillihisi imekosa nguvu,ni kweli nilipita pale lakini ilikuwa zamani!
Nilivuta picha ndiyo nimerudi nyumbani na barua yangu ya kusimamishwa shule,au kufukuzwa shule!
"Nitamwambia nini Mama Masumbuko Mimi?"
Nimwambie nimefukuzwa sababu ya kuruka ngome?
Ataniuliza nilikuwa naenda kwa nani?eti ntamjibu!
"Kwa Scola!!"
Kwa mara ya kwanza nilijiona mpumbavu mkubwa nisiyejua thamani yangu kabisa!!
Nilihisi kumchukia Scola,japo moyo na nafsi vilinipinga vikisema ni kiherehere changu!!!
"Pumbavu!!!unahisi hapa shule kuna wanafunzi wangapi?mtaje jina lote!!!"
Alifoka mwalimu huku anamchapa Jose viboko vya mgongoni!!!
Jose alinyanyua shingo akaniangalia kwa jicho linaloonyesha wazi kuwa alinihurumia!!!
"Anaitwa....anaitwa.....!"
Muda huu anasitasita mapigo ya moyo wangu yalidunda hasa!!
"Anaitwa Masunga Lameck yupo kidato cha tatu mwalimu!!"
Sikuamini kama kweli Jose kaniacha Salama kwenye msala ule!!
Nilirejesha tabasamu huku moyoni nikimshukuru sana Mungu kwa kuniepusha na msala ule!!!
"Hauna wenzio wa kidato cha sita?"
"Hapana mwalimu ni huyo tu!!"
Jose alichukuliwa akapelekwa ofisini ma mimi safari yangu ikawa imeishia hapo!!
Sikumuwaza Scola tena,mawazo yangu hayakuwa hapo tena!!
Nilirudi darasani nikamkuta Side anasoma nikajiunga naye!!!
Ilipita wiki nzima nikiwa najitahidi kumtoa Scola kwenye akili na mawazo yangu!!
"Kaka unaitwa getini!"
Nilishangazwa na kauli ile ya yule mwanafunzi mwenzangu!
"Na nani?"
"Kwani wewe si ndiyo Masumbuko!"
"Ndiyo!"
"Basi una mgeni wako mlinzi kaniambia nikuite!"
Nilienda getini nikiwa na shauku ya kumjua huyo mgeni aliyekuja kuniona!!
"Mlinzi nimekuja naskia unaniita getini!!"
"Siyo mimi ni yule aliyesimama kwenye lile gari!"
Niligeuza shingo yangu sikuamini,nilimuona Scola akiwa amevalia suruali iliyombana na na kumkaa vzuri mwilini!!
Juu aliitupia kibode cheupe na mkoti wa suti kiufupi alipendeza Sana!!
Nilimsogelea karibu,Scola alikuwa amezidi kuwa mzuri zaidi ya mwanzoni!!
"Scola!"
"Masu,Bushman!"
Alifungua mlango akanipa ishara niingie kwenye gari nikaingia!!
Tulikaa siti ya nyuma,moyoni nilikuwa na shauku ya kutaka kujua nini kimemleta pale!!
"Masu nimekumiss!!"
Alisema Scola huku mkono wake akiupeleka kwenye zipu yangu!!
"Unataka kufanya nini Scola!?",kauli ile ilimshangaza sana Scola!
"Bushman,unaniongelesha hivi leo mimi?"
"Scola niko shule hapa kwanza dereva yuko wapi mbona nakuona wewe tu!"
"Hili gari langu Masu!!"
"Hongera!"
Scola bado mkono wake ulionyesha nia ya kutaka kuifungua zipu yangu!!!
"Scola stop!"
"Masu ivi unanipazia sauti mimi?unaona nakushobokea siyo!"
"I don't care!"
Nilimjibu kisha nikafungua mlango nikatoka nje ya gari huku nikimuacha Scola ananiita!!
"Masu!Masuuu!Masu!!"
Sikujua nilipata wapi ujasiri wa kumjibu vile Scola!
Kwangu ilikuwa hatua kubwa sana,nilishuka kwenye gari!!
Sauti ya Scola akiniita ndiyo iliyonisimamisha!
"Masu please rudi ndani ya gari!!"
"Narudi ila usiniguse!"
"Sawa Masu!!"
Nilirudi ndani ya gari nikiwa na shauku ya kutaka kujua Scola anataka kuniambia nini zaidi ya upuuzi aliyokuwa anaufanya dakika chache zilizopita!!
"Masu,kwani ulikasirika sana?"
"Ongea mambo ya maana acha maswali ya kipuuzi!"
"Okay,nasikia mnakaribia kumaliza shule kwa hiyo ukimaliza unarudi kijijini?"
"Unataka nije kwako?"
Nilimuuliza kwa hasira huku nimemkazia macho!
"Sina maana hiyo nilitaka kujua tu acha hasira Masu?"
"Ninapoenda hapakuhusu Scola,nirudi kijijini nibaki mjini nife haikuhusu!"
Niliongea nikafungua mlango hili nitoke maana sikuona vya maana!
Scola alinishika mkono akinizuia nisitoke kisha akaniambia!
"Masu wangu,ina maana hunipendi tena!"
Kauli ile iliingia mpaka moyoni nikabaki nimeganda kama sanamu!
Nikageuza shingo,nikamuona Scola ambaye macho yake yalitengeneza wingu zito,ishara ya kuwa si muda mrefu mvua kali ya machozi itanyesha!!
"Masu hunipendi?"
Jibu lilikuwa rahisi sana,sijawahi kuacha kumpenda Scola,lakini sio kipindi hiki!
Sikuhitaji kuwa Karibu na Scola najua madhara yake hasa katika kipindi hiki cha mitihani!
Scola alipoona nipo kimya alinisogelea akautoa ulimi wake akaupitisha kwenye sikio langu,nilisisimka sana nikafumba macho yangu kwa hisia kali!
Kufumba kwangu macho hakukunifanya nipoteze akili yangu,lingekuwa kosa kubwa kumruhusu Scola azitawale hisia zangu!
Kwa Scola aliona kama amenipatia,akaanza kuinyonya shingo yangu kama analamba ice cream.
Mkono wake mmoja akauleta kwenye zipu yangu,hapo ndipo alipoharibu!!!
Nilizinduka nikamsukumia pembeni kisha nikafungua mlango nikatoka haraka nikaingia getini!
"Vipi mshamalizana?"
Aliniuliza mlinzi,moja kwa moja nikajua itakuwa Scola kamhonga pesa ili anione!
"Kumaliza nini?"
"Mtoto una balaa wewe,lile lote zigo lako?"
"Achana na mimi!"
Niliingia darasani nikiwa najilaumu kwa kumfanyia vile Scola,lakini pia nilinisifu kwa kutokuwa dhaifu mbele take!!
Scola alikuja tena Mara kadhaa akitaka kuonana na mimi,lakini sikukubali.
Nilifanya mitihani yangu salama nikamaliza nikajiandaa na safari ya kurudi kijijini!
"Hallo mama tumemaliza mitihani,kesho nakuja huko!"
"Mwanangu kuna mjomba wako yule anayefanya kazi mgodini unamkumbuka!!"
"Mmh!mama unamuongelea mjomba John?"
"Ndiyo mwanangu alikuja kunitembelea!nikamwambia uko shule nikamuonyesha na matokeo yako kaacha namba kasema ukimaliza umpigie kuna kazi akakupe ujishikize mwanangu uko mgodini!!"
"Kwa hiyo mama unanishaurije?"
"Mwanangu mi naona huku utakuja tu cha msingi ni kutengeneza maisha yako mwanangu kuna watu wamesoma na mpaka leo hawana kazi mwanangu!"
"Sawa mama japo nimekumiss mama!"
"Nami pia mwanangu nenda tu ngoja ntampa namba huyu mwenye simu akutumie uongee naye!"
Niliongea na mjomba ambaye alisema atakuja kunichukua kesho yake mapema kabisa!!
Scola naye alinipigia simu akinishawishi nisiende kijijini niende kwake ila nilikataa!
Kesho yake mjomba alikuja kunichukua akanipeleka kwake mikocheni!
Mjomba alikuwa anajiweza sana,alikuwa na nyumba kubwa tu na nje yamepaki magari manne!
Ila moja kati ya magari yale lilifanana na lile gari ambalo Scola alikuja nalo shuleni,sikushtuka maana najua mjini magari yanaweza kufanana pia!!
"Karibu ndani,Karibu sana mjomba!!"
"Ahsante sana mjomba!"
"Karibu mjomba hapa ndiyo kwangu jisikie huru,sijaoa Ila kuna mwanamke naishi naye ambaye kama Mungu atajalia basi tutafunga ndoa hivi karibuni!!"
"Ahsante sana mjomba!"
Tuliingia tukakaa sebuleni tukiongea mambo mawili matatu!!
"Unajua mjomba nimependa sana matokeo yako,yani wewe umefuata akili zangu kabisa,hata mimi shuleni nilikuwa Moto wa kuotea mbali!"
"Ahsante sana mjomba!"
"Sasa kuna nafasi ipo kule mgodini nataka nikuchomeke kwa muda hili ujipange na maisha ya chuo,maana kwa akili zako sina shaka hata chuo utaenda!"
"Ni kweli mjomba!"
"Ngoja nikuangalie mjomba wako huku ndani,naona hajatoka nimeona gari lake pale nje!!"
Mjomba alitoka akaniacha sebuleni nikiwaza mambo mawili matatu,moyoni nikifurahi kupata nafasi ya kufanya kazi mgodini,nikiamini nami ndoto yangu ya kumiliki nyumba na gari langu inaenda kutumia!
Macho yangu hayakuacha kutalii kwenye pambo mbalimbali zilizopo pale sebuleni!
Mjomba alionekana kayapatia sana maisha!
Mjomba alirudi akaniambia mkewe alikuwepo chumbani anakuja ili anitambulishe!
Tuliendelea kupiga stori za hapa na pale tukimsubiri huyo mke wa mjomba!!
Macho yangu hayakuamini,mapigo ya moyo wangu yaliongezeka,kijasho chembamba kikalowesha nguo zangu!!
Mbele yangu alisimama mwanamke ninayempenda kuliko wanawake wote duniani,mwanamke ambaye alishajenga makazi yake moyoni mwangu!
Nilifikicha macho nikiamini siyo kweli ninayoyaona.
"Yani Scola anatoka kimapenzi na mjomba wangu??na anataka kumuoa kabisa!"
Scola naye alishtuka akajikuta,hakuamini kama mimi ndiyo Niko pale na huyu John ni mjomba wangu!!
"Masu huyu ni mjomba wako,anaitwa Princess,ndiyo atakuja kuwa mkewangu siku si nyingi!"
Utambulisho wa mjomba ulinifanya akili yangu ikae sawa,nisingeweza kuonyesha kumfahamu Scola, ingekuwa picha mbaya yenye kuleta maswali mengi na taswira nyingi!
"Nafurahi kumfahamu!",nilijibu huku nalazimisha tabasamu!!
"Mkewangu huyu anaitwa Masumbuko ni mtoto wa dada yangu,ana akili sana nataka nimpeleke mgodini akafanye kazi!!"
"Karibu sana Masu jisikie huru hapa ni kwako!"
Alijibu Scola huku naye akiwa anajilazimisha kutabasamu!
"Umeona Mjomba huyu mwanamke nampenda anajielewa sana,sikumtaarifu kuwa ntakuleta lakini kakupokea!"
"Namshukuru sana mjomba!"
"Basi mi niwaache nikufanyie maandalizi kidogo mjini nadhani ndani ya siku tatu kuanzia sasa utakuwa kazini?"
"Sawa mjomba!!"
Mjomba aliondoka akaniacha ndani na Scola,nilipata hofu sababu najua hawezi niacha Salama!!
Baada ya mjomba tu kuondoka Scola alinivamia akanikumbatia kwa nguvu!!
"Masu!!Siamini!!"
Nilimsukuma pembeni sikutaka mazoea naye,sikutaka kushare penzi na mjomba wangu!!
"Hivi Scola una akili wewe?una pepo au ni nini?katika hali hii bado unapata nguvu ya kunikumbatia kweli??"
"Masu!! tena usintanie usijikute umepata videmu demu vyako vinuka mikojo unaniona mimi sifai,mimi ndiyo nimekufundisha mapenzi!!"
"Hapa singelei videmu wala kufundishana mapenzi,naongelea saivi wewe ni mke wa mjomba wangu mipaka iwepo na heshimapia!!"
"Nini usichokijua kwangu Masu!"
Scola aliongea huku anavua kanga yake na ndani hakuvaa hata chupi!
"Scola ivi una akili,vaa nguo zako utanipa laana!"
"Laana hiyo kwiyo!!"
Scola alikuja akanikalia mapajani akavua tisheti yake chuchu zake zilizosimama zikawa zinanigusa kifuani!!!"
"Scola niache bwana!!"
Nilijaribu kumsukuma lakini mikono yake aliizungushia shingoni mwangu!!
"Usinisukume,na ukileta ubishi nakuambia hata iyo kazi huipati mjomba wako akirudi namwambia ulitaka kunibaka!!"
Nilikuwa mnyonge haswa!!kazi niliitaka unadhani ningefanyaje?nilikaa kimya kuona ni nini kitatokea!!
"Scola kwani ni lazima ufanye mapenzi na mimi?"
"Ni lazima sababu ulishanilogea bakora yako zingine siziskii kabisa!!"
Scola alisimama akaniishika suruali yangu akitaka kunivua,nilitaka kubisha lakini akanitishia!!
"Weeeehh!!yani ukiitaka hiyo kazi bora utulie kabisa ufanye ninavyotaka!"
Aliivua suruali yangu akaishika bakora akaanza kuinyonya ikaanza kuvimba taratibu!!
Scola alipoona tu mnara umeshika mtandao umejaa akaingia laini akaanza kubonga!
Wanasemaga hakuna mkate mgumu mbele ya chai na ugali na mlenda haukwami kooni!!!
Sauti zake na viuno vyake vya twanga pepeta ndiyo vilivyonipa hamasa ya kukishika kiuno chake,nikampa ushirikiano kuitimiza ile dhambi!!
"Masuu!Masuuuu!!ohhh!oohh!!"
"Ooohh yesssss!!kata kataaaa!!"
Ilikuwa ni kulia kwa kupokezana,hatimaye tukatimiza tendo lile lililoiteka dunia!
"Kwa utamu huu eti usinipe kisa mjomba,mjomba hiyo kwiyo!!"
"Lakini Scola huoni hatari,mjomba akijua unadhani itakuwaje?"
"Utamwambia wewe??kama utamwambia sawa!!"
"Lakini hakuna siri Scola lazima itafika mwisho mi naona tuache kabisa huu mchezo!"
"Usinitanie wewe Bushman,kwanza mimi bado nina hamu!"
Scola aliamka akayaamsha tena maruhani tukajikuta tumezama penzini kwa mara nyingine tena!!
Hiyo ndiyo ikawa tabia yetu,mjomba akitoka tu Scola ananiganda tunafanya mapenzi!
Kibaya zaidi Scola alimuomba mjomba aniongezee wiki nzima ya kukaa pale hili nipumzike eti kisa nimetoka shule!!
"Masu,kila kitu kiko tayari ila mkewangu ameshauri ubaki nyumbani hapa kwa wiki nzima hili upumzike kwanza maana umetoka shuleni bado hujapata muda wa kuvuta upepo!!"
"Lakini mjomba mi naona niende tu ntapumzika huko huko!"
"Na wewe mjomba ebhu punguza haraka,utaenda tu kazi ipo tu,pumzika tu!!"
Scola aliingilia kati na kupinga suala la Mimi kuondoka mapema!!
Mjomba naye bila kujua picha iliyopo nyuma ya pazia akamuunga mkono!!
Ilikuwa ni kama Scola ananiaga Sasa,ilikuwa ni kila siku anataka tufanye mapenzi!
Akipata upenyo kidogo tu mjomba akitoka anataka penzi!!
Udhaifu wangu ulikuwa ni kazi,lakini na mimi nilinogewa na penzi la Scola nikajikuta nimeanza kurudisha hisia kwake kiasi kwamba hata mjomba akiwepo nilikua naona wivu sana!!
Tabia zetu zilikithiri sasa siyo Scola tu hata mimi nilikuwa namfuata Scola!
Scola akawa hadi anatoroka usiku anakuja chumbani kwangu tunafanya mapenzi!
Ilikuwa ni hatari lakini nashukuru wiki iliisha Salama bila mjomba kushtukia mchezo wetu!
"Ivi Scola kweli unafunga ndoa na mjomba wangu!!"
"Mi nimefuata hela hapa nikichuma za kutosha naondoka zangu?"
"Kwa hiyo Scola wewe kwako pesa ni Bora kuliko mapenzi?"
"Sasa kama sielewi shoo nifanyeje?"
"Kwani Scola we ulishawahi kupenda kweli?"
"Masu kupendana ni zama za kale,saivi kila kitu pesa hauna pesa unajua mapenzi sikuelewi lakini pia kama una pesa hujui mapenzi kuniridhisha sikuelewi vilevile!"
"Kwa hiyo Scola mi nikiwa na pesa utanipenda?"
"Kidogo ntafikiria sababu naelewaga shoo zako!"
"Wiki imeisha nadhani kesho ninaondoka!"
"Nina mpango wa kumwambia mjomba wako akuongezee wiki moja nyingine!!"
"Whaaaat!!!"
Nilishtuka kusikia kuwa Scola alikuwa ana mpango wa kuniongezea wiki nyingine ya kukaa pale!
Kwa hatua tuliyofikia ilikuwa ni lazima nikamatike tu hakukuwa na jinsi ya kujiepusha!
"Whaat!!yani niendelee kukaa hapa!!"
"Hahahahaaa!nakutania bhana hata mimi najua hatua tuliyofikia we nenda japo nikikumiss inabidi uje!"
Safari yangu ilifika,japo iliniuma kumuacha Scola ambaye sasa siyo mpenzi wangu tena bali ni mchepuko wangu!!
Kutoka kuwa mpenzi wake,Sasa Scola kanishusha cheo,kwa lugha nyingine Masu nachepuka na mke wa mjomba wangu!!
Nilisafiri na mjomba mpaka Geita ambapo ndipo alipokuwa anafanyia kazi!
Nilifika nikakabidhiwa ofisi yangu,sikujua kama ni kazi yenye hadhi namna ile!
Nilipewa mkataba wangu,ambao mshahara wake ulikuwa milioni tatu na marupurupu kibao!
Nilisaini mkataba bila kupepesa macho,nikaanza kuchapa kazi!!
Bidii na maarifa niliyokuwa nayo katika kazi ndivyo vilizidi kunipandisha chati!!
Marupurupu niliyokuwa napata sikuyatumia yote,nilihifadhi pesa zangu benki ambapo ndani ya miezi miwili nilikuwa ninamiliki milioni nane benki!!
Scola ndiye aliyenifanya nichape kazi kwa bidii,nilikuwa na ndoto kubwa!
Nilitaka kumiliki kampuni yangu siku moja,niwe na nyumba yangu nzuri na gari kadhaa!
Lakini pia vyote visingekuwa na maana kama sitaweza kuishi na mwanamke ninayempenda!
Ingekuwa na maana gani kuwa tajiri bila furaha,kuishi pazuri bila kuishi na mwanamke mzuri unayempenda ni upumbavu!
Scola alikuwa akilini mwangu,aliishi kwenye ndoto zangu!
Matokeo yalitoka nikiwa nimepata alama za juu sana,kwa pale shuleni niliongoza kwa ufaulu wa daraja la juu zaidi ya wote!
Sasa ikabidi nichague moja kazi au kusoma!
"Mjomba matokeo yako nimeyaona,umefaulu vizuri sana!"
"Ahsante sana mjomba!"
"Sasa vipi mjomba nikufanyie mazingira uende chuo?"
Niliinama nikafikria kwa makini,hapo nina miezi mitatu lakini benki ninamiliki kama milioni kumi na tano!!
"Mjomba mimi naona nifanye kazi tu!"
"Kweli mjomba?"
"Ndiyo mjonba sababu naona hata shule tunasoma hili tupate kazi,mi ntasoma tu hata baadae!"
"Sawa mjomba nami nasimama na wewe!"
Suala la kwenda chuo nililikataa,kitu ambacho wengi hawakuamini hasa rafiki yangu Side!
"Masu kweli hauendi chuo?",aliniuliza Side kwenye simu!!
"Mi siendi chuo Side!"
"Masu utajutia maamuzi yako!"
"Side kama maamuzi haya yataharibu maisha yangu sawa tu,Ila mi binafsi najiona niko sawa!"
"Masu tengua maamuzi yako!"
"Niko bize Side baadae masomo mema rafiki yangu!!"
Nilikataa kabisa kwenda chuoni,nilifanya vile ili nitafute pesa niweze kuishi na Scola wangu!!
Maana japo nilikuwa mbali tulikuwa tunawasliana kisirisiri!!
ITAENDELEA

0 Comments