Ikumbukwe pia Sikua naruhusiwa kutoka nje kwa sababu sikutakiwa kuonekana hata na mtu zaidi ya Amina. Hivyo shughuli zangu zote nilifanyia ndani mwa Amina. Siku zikasonga na kwenda, Nakumbuka siku hiyo nilikua naoga mle ndani na Amina Akiwemo nilikua naingia ndani ya Beseni kama mtoto.
Nikiwa naoga Amina akanitania kwa kusema "sugua masikio vizuri".
Nilikua naona aibu sana lakini ndio yalikua maisha ya wakati huo.
Muda ulisonga nakumbuka ilikua usiku wa manane wa siku hiyo ndipo nikiwa kama naota. Nilihisi kama kuna mtu anaingiza vidole masikioni mwangu. Baada ya kushtuka ndipo nikagundua siyo ndoto ni ukweli kwani nilikua nimebanwa na Amina.
Nikajisemea moyoni "inamana amina ashaingiwa na tamaa. Nikasema sasa si angesema tu ndio maana alisema nisafishe masikio kumbe alikua na yake.
Nikiwa naanza kujiandaa Amina akaninong'oneza "kuna watu nje fichama chini ya uvungu wa kitanda".
Mungu wangu nilijikuta nashtuka. Nikaingia uvunguni haraka kisha Amina akatoka alivyotoka tu nikasikia "wewe ndoo unatusaliti eeh". Mara akaanza kupigwa huku akikataa kutaja kama niko mle ndani. Nikasikia mmoja akisema "muueni tu" mara ikasikika sauti ya mlio wa bunduki paaaah!
Kisha wakafungua mlango na kuingia mle ndani huku wakisema yumo humu ndani basi nikamsikia mmoja aliyekua kafika karibu nami akisema
"Humu ndani inaonekana hayupo sijui kamficha wapi? Basi mwingine akajibu hebu vuta huu mzoga uweke ndani tusepe. Mara nikaona Amina kasukumiwa ndani mle na wao wakaondoka.
Baada ya kuhakikisha wameondoka nilitoka chini ya uvungu na kumwangalia Amina kiukweli alikua anaonekana ameshapoteza maisha. Baada ya kuona vile nikajua pale si salama tena nikaichukua simu yake na kuwatarifu baadhi ya watu juu ya msiba ule kisha nikaondoka.
Nilitembea usiku ule wa manane hadi nilifanikiwa kuipata lami. Nikaona kuna limepaki nikafika pale na kumwuliza anaelekea wapi akanijibu Zambia. Nikamwomba anichukue na kunifikisha Mbeya. Akakubali bila tatizo ila akasema mda wa kuondoka bado.
Nilimkubalia ila nikamwomba nilale ndani ya Lori. Hii ilikua ni kwa ajili ya Usalama. Nikaingia na kukaa humo.
Mida kama ya saa tisa usiku safari ikaanza nakumbuka tulifika Mbeya saa nne asubuhi. Nilienda kwa mama mwenye Nyumba na kumweleza shida na mateso niliyopata huko. Alinihurumia sana. Kisha akasema afadhali hata umerudi maana tulikukumbuka sana. Basi nikaingia kuoga kisha nikalala kutuliza akili ili nijipange upya kukabiliana na Jane.
Usiku ulifika tukala na kulala. Lakini tukiwa tumelala tulishitushwa na kelele za mbwa.
Kwa kua mimi ndo nilikua niko karibu na Geti nikatoka lakini wakati natoka nikamwona mlinzi kaanguka pale chini. Baada ya kumkagua niligundua kua kapigwa risasi na Kufa. Nikataka kwenda kuwaamusha Boss na mke wake. Wakati naenda kuwaamsha alitoka mtu mle ndani kwa kasi kubwa akanipiga na kitu kichwani nikaanguka. kisha yeye akaruka ukuta na kupotea.Nikainuka mara nikaona mama anatoka akiwa analia huku akisema baba yako amekufa.
Nilishtuka kiasi kisha nikaanza kumtuliza mama pale huku nikilaani kurudi kwangu maana ilionekana kama mimi nimerudi na mkosi vile. Wakati namtuliza mama alizidi kulia sana. Basi hali ile ukizingatia na kelele za mbwa watu wakawa wamekuja na kujaa pale.
Wengi walionekana kushtushwa na tukio lile. Basi hatukua na Jinsi baada ya taratibu zote kufuatwa ikiwemo kutaarifu polisi nao wakaja kufanya uchunguzi. Tukaruhusiwa kuzika.
Baada ya mazishi na siku kadhaa kupita ndipo kuna siku Jane akanipigia simu na kusema
"pole yuu ila maisha ndo yalivyo chagua moja uache kunifuatilia au niue jamaa wanaokuzunguka wote."
Maneno ya Jane yalikua yanakera sana. Nikaamua kukata simu. Basi siku zikasonga nikiwa najipanga kwa mbinu mpya za kumuua Jane kisha nimtafte Dada yangu. Kuna siku nikiwa chumbani mara mama ambaye ni mke wa boss aliyeuawa akanifuata. Alianza kusema
" yuu mwanangu mwenzio nilikukumbuka hebu nifanyie hisani". Kiukweli akili yangu haikua pale nikamjibu mama tafadhali naomba niache kwa sasa sipo sawa.
Alionekana kuelewa na kuamua kuondoka. Basi nikabaki pale ndani. Simu yangu ikaita ilikua namba ngeni. Nikapokea na kuisikia sauti ambayo nadhani nilikua nimeikumbuka sana nilikua sijaisikia mda mrefu. Sauti hii iliukonga moyo wangu vilivyo. Chaajabu ni kua ile sauti ikaanza kunifokea kwa kusema "Ni nini kinachokufanya ufuatilie mambo ambayo hayakuhusu".
Nilishtuka sana. Kwani sauti ile nilihisi ni sauti ya Baba yangu mzazi hivyo nilianza kuingiwa na imani ya kua baba yangu ni kweli hakufa.
Lakini baada ya kusikia sauti ikifoka nikajua itakua siyo yeye. Ila kuna wazo likanijia "nimtrace'' kwenye GPs Kama nilivyofundishwa ili nijue yuko wapi. Baada ya kuangalia nikagundua yupo Arusha. Nikajiuliza hivi kama baba yangu ndo huyu mbona inaonekana ana mambo ya Ajabu. Nikaamua kumcheki na Jane Kwenye GPRs Nayeye ikaonyesha Yuko Arusha. Nikaajiuliza maswali mengi sana. Lakini majibu sikupata kabisa.
Niliamua Jambo moja ya kua niombe msaada wa polisi kumtafta Jane na kisha mimi nimtafute baba yangu na dada yangu. Roho yangu ilikua inanishuhudia kua Baba yangu hakufa. Nikawa najiuliza ikiwa baba yangu yu hai kwanini alitutelekeza? Na je yule waliemzika ni nani? Nilikua nahisi kichwa kinakua kizito kutokana na maswali mengi.
Nkkaamua kukaa vizuri na mama yani mke wa marehemu boss wangu na kumwomba ushirikiano wa kufanikisha swala lile. Lengo kubwa ilikua ni kupata uhakika ikiwa baba yangu yu hai au alikufa? Na kama yuko hai kwanini hakututafuta? Pili ilikua ni kumtafuta Dada yangu. Ambaye nilikua sijui hata alipo. Lakini wakati naongea naye juu ya yeye kuniwezesha kipesa na vingine vya ziada. Kwa kua tv ilikua imewashwa nakumbuka vizuri ilikua ni baadhi ya wanajeshi wa jeshi letu wanapandishwa vyeo. Nilishthka kumwona Mtu ambaye niliambiwa na kuonyeshwa kwenye picha kua ndie dada yangu akiwa anapongezwa na mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Nilishtuka zaidi baada ya kuona nyuma yake yupo Jane naye akiwa katika sare za Jeshi. Nilimshtu na kumwonyesha mama Ambapo naye alishtuka zaidi na kusema
"Jane ni mwanajeshi!!!!! Mungu wangu""". Maneno ya mama yaliniacha mdomo wazi nikaamua kuinuka na kuelekea nje. Mara simu yangu ikawa inaita kucheki alikua ni...
Share
Mzee yule aliyenipa stori ya wazazi wangu basi nikaipokea na kumsikia akisema. "Mjukuu wangu nimemwona dada yako kwenye telefisheni ya taifa" Alimaliza yule mzee na nikamjibu mimi pia nimemwona mzee basi akasema. "Sasa ndiyo umtafutage nduguyo sasa maana umesapata pakuansia mwanangu si eti" Aliniuliza yule mzee kwa rafudhi ya kijijini kwetu na mimi nikamjibu hilo niachie mzee.
Baada ya kumaliza pale nikamwomba tena mke wa boss kiasi cha pesa ili nianze kazi mara moja. Akasema "yuu pesa siyo tatizo ila huwezi pata wakati hunielewi. Basi nikasema kwani "shida ni nini mama". Akajibu Yuu "nimekumiss" sana basi kwa kuwa nilikua nahitaji pesa nikaamua nimpe yule mama kitu anataka halafu nipate pesa.
Basi nikaanzia palepale sebuleni. Kwa kuwa Happy kwa kipindi hicho alihamishiwa hosteli kutokana na wenzie wawili kuuawa na Jane kuacha shule. Basi tulikua hatuna wasiwasi nilimwandaa mama yule alionekana kuwa na nye*e sana. Uke wake ulikua wa moto sana. Joto la mwili wake lilitosha kunifuta mawazo ya Jane na kusahau kwa muda. Nilimchezea mama yule kwa ujuzi sana. Nilitumia kidole na ulimi wangu kumfanya akojoe mara mbili mfululizo huku akilia na machozi. Baada ya kuona hivyo nilikwea mlima na kuutendea haki vilivyo. Alilia yule mama kwa maraha tele.
Baada ya kumaliza mchezo alifurahi sana. Tulipo pumzika akanambia
"Yuu ahsante sana sasa natangaza wewe ndo baba wa nyumba hii na hizi mali tunaziandika kwa jina lako zote ili usiniache". Uamuzi wa mama ulikua mbaya kwake lakini mzuri kwangu. Aliongea kama utani lakini baadae taratibu zikafanywa zoezi likakamilika. Baada ya hayo yote mimi nikajipanga na kurudi Arusha ili nimtafte baba yangu kisha nikimaliza nitafute kujua dada yangu anafanyia kazi kambi gani. Ilikua ni kazi ngumu na inayohitaji moyo.
Kwa kua niliamua mwenyewe sikua na jinsi.
Baada ya kufika Arusha nilianza kwa kwenda ofisi za mtandao wa simu na kuangalia ile namba niliyopigiwa na mtu niliyehisi ni baba yangu imesajiliwa kwa jina gani. Baada ya kuangalia ilikua imesajiliwa kwa jina ambalo sikuwa nalifahamu. Nikamwomba yule Engeneer wa pale aniangalizie ile namba maeneo ambayo huwa inakua mara nyingi.
Baada ya kuiangalia akanambia mara nyingi ni Arusha na Morogoro japo pia inaonyesha hata minara ya Dar es salaam inasoma kua amewahi kuwa huko mara nyingi.
Akanambia kwa sasa inaonyesha yuko Arusha maeneo ya kanisa la St Tereza kwenye Casino moja. Kwa kuwa nilikua naifahamu vizuri ile casino kwa kuwa warembo wengi hufanyia umalaya humo. Nilitoka na kuamua kwenda pale.Baada ya kufika nikaingia mle ndani. Baada ya "kuzugazuga" kiasi nikahisi nimemwona nikamfuata na kumwona akirushiana matusi na wahindi wawili.
Hakika bila kubisha japo kumbukumbu ilikua imepotea ya utotoni lakini yule alikua ni baba yangu. Nikamfuata na kumwomba kidogo pembeni japo tuongee.
Alinisukuma na kunambia
" kijana kuwa makini na watu usiowajua". Nilifarijika sana kumsikia baba yangu ambae nilidhani kafa kumbe yu hai. Nikasogea bila kujali maneno yake. Nikamwambia
"sawa mzee lakini nina shida na wewe". Wakati nazidi kuongea ghafla bila kutalajia ulitokea uvamizi mle ndani. Majambazi walikua wanamimina risasi bila kikomo na kuua mamia ya wa watu mle ndani. Kila mtu alitafuta namna ya kuponya nafsi yake.
Tukiwa tumelala chini ndipo baba yangu akajeruhiwa na risasi mgongoni. Niliumia sana kiukweli kwani nilijua baba yangu huenda akafariki na nisipate kujua alijiokoaje na maswahibu mengi yanayonisibu. Baada ya kama saa moja hivi kupita majambazi waliiba pesa zote na kutokomea.
Tuliinuka nikambeba baba yangu ili kumuwahisha hospitalini. Baba alikua kazimia. Nilikuwa nalia sana Sana tena Sana, sikuwahi kumshika baba yangu kwa kipindi kirefu sana hivyo kwa wakati ule ilikua napata uchungu wa moyo. Alilazwa na kuhudumiwa vizuri sana hospitali ya Seriani. Baada ya siku kadhaa hali yake ikawa nzuri kiasi. Alinishukuru lakini akasisitiza hanijui na niache kumfuatilia tena niondoke kabsa pale hospitalini akiniona anapatwa na hasira.
Niliumia sana kwani akiwa amevuja damu nyingi mimi nilimwongezea na kuokoa uhai wake kisha ananifukuza....?? Hakika niliumia sana nikatoka japo nilijisemea moyoni kuwa nitarudi na kuzidi kuongea naye. Kwa kweli yule alikua ni baba yangu haswaa. Nilirudi pale nilipofikia na kuanza kupanga mipango ya kumtafuta dada yangu. Kwakua siku anapandishwa cheo magazeti yalikuwepo. Nilichana kipande cha picha ambayo dada yangu yupo.
Nikasema nitaanza kuzunguka kwenye kambi za jeshi huku nikimuulizia. Lakini kingine ilikua ni Jane namna ya kumdhibiti kabla hajamuua dada Yangu. Niliona kama kazi yangu ni ngumu mno kwa sababu Jane alikua yupo jirani na dada yangu kwa jinsi nilivyoshuhudia siku wanapandishwa vyeo kwani walikumbatiana na kufurahi pamoja wakiwa wanacheka.
Hali ile ilinifanya nianze kukata tamaa kwani mtu kama Jane ambaye nilikua simwelewi hata kazi yake. Niliona ameweka alama ya mkasi kwenye picha ya dada yangu. Nikiwa nawaza Mara simu yangu ikaingiza ujumbe mfupi wa maneno yaani sms kutoka kwa mama yani mke wa marehemu boss wangu.
Nikaufungua na kuanza kuusoma ulinishtua sana tena sana maana ulikuja ukiwa unasomeka hivi...
TUENDELEE.....
??"HABARI BABY, NAHISI NINA MIMBA YAKO teh teh UNAKUA BABA SIKU SI NYINGI"??
Ujumbe ule ulinishtua sana, kwani mimi yule nilimchukulia kama mama yangu hivyo nilijua jamii itaniangalia vibaya sana. Nilitamani kumjibu lakini nikaamua kuvuta subira kidogo kwa muda.
Niliupuuzia ujumbe ule na kuendelea na mambo yangu. Nikajiandaa na kuanza kuzunguka kambi za jeshi ambako siyo siri niliishia kupata mateso na udharirishwaji wa hali ya juu sana. Nakumbuka kambi moja niliambiwa niogelee kwenye dimbwi la maji machafu. Kisha wakanitelekeza bila hata msaada. Nyingine nilipewa mche mzima wa sabuni na kuambiwa niumalize kwa kuoga na ndoo moja ya maji. Kwa kweli niliteswa sana kama mjuavyo ukipita kwenye kambi za wanajeshi bila kuwa na sababu za msingi.
Hatimae nilikata tamaa, nikaona nijipange upya. Mke wa boss alikua akinitumia sms nyingi sana huku akiniita baba kijacho. Nilikua sijisikii vyema sana kwa kweli. Nikaamua kuendelea na "mission" yangu nikiwa sasa makazi nimehamishia Dar kwa sababu nilitaka kumpata Dada yangu. Siku moja nikiwa Mlimani city naangalia bidhaa mbili tatu. Nilishtuka sana kumwona Jane akiwa ameongozana na dada yangu.
Nilichezesha akili kwani Jane tayari alikua ni Adui yangu. Na pia dada hakua ananifahamu hivyo angehitaji utambulisho. Na kwa kuwa Jane alikua ananitafuta angeniona tu bila hata kunisikiliza angeanza kuniadhibu. Nikaona sio tabu wacha niwafuatilie nyuma nyuma ili nione mwisho kama wataachana. Nikiwa nawafuata kwa kujifichaficha ghafla kuna mtu akanishika nyuma na kunizuia.
Nilimwangalia sana na mimi sikua namfahamu. Chakushangaza akatoa kitambulisho na kunionyesha, Nilikipokea na kukiangalia kwa makini. Mungu wangu alikua ni usalama wa taifa. Akachukua kitambulisho na kusema "kijana mbona unafuatilia wale watu una shida nao gani?" Kwa kuwa shida yangu haikua rasmi nikaamua kupoteza boya na kusema. "Hapana sikua nawafuatilia mimi nilikua ninapitapita tuu". Hakuniacha hivi hivi Alinipa onyo na kunitaka nibadili njia.
Basi ikanibidi nitii na kutafuta njia nyingine ila moyoni nijilaumu sana, na kumtukana matusi mengi Sana yule mtu kimoyo moyo. Kwani nilikuwa nikawaza je! Jane sasa ni nani hadi usalama wa taifa wanamjua...? Dada yangu nilianza kumjua na kuwa na uhakika ya kua ni Mwanajeshi ila kwanini Jane ambaye pia nilianza kuona ya kua ni Mwanajeshi atake kumwua dada yangu. Na je! kwanini wawe wote? Maswali yalikua mengi sana.
Nilikua sina majibu kabisa ya maswali yangu.Niliona kwa kua nimeanza kujua ya kuwa Dada yangu nimemwona Dar es salaam. Hivyo kwa vyovyote ndipo anapofanyia kazi. Nikaanza kupanga mikakati ya jinsi ya kumpata. Ilikua kazi ngumu sana. Kwani ilionyesha wanafahamika sana.
Lakini siku moja katika pitapita mara nikawekwa chini ya ulinzi. Walikua ni polisi wa usalama kanda maalumu ya Kinondoni. Sikujua kosa langu hadi pale nilipofikishwa kituoni.
Nikiwa kituoni walianza mahojiano wakisema "kijana unajishughulisha na shughuli gani hapa mjini". Nikajibu " sina kazi yoyote" kwani ilikua ni ukweli.
Wakazidi "sasa hapa unaishi kwa nani?" Nikajibu "nimefikia gest". Wakasema "ulitokea wapi?" Nikajibu Arusha.
Wakadakia hapo hapo.
"Wajua nini juu ya tukio lilitokea kwenye kasino moja iliyo mkabala na kanisa la St Tereza?"
Basi nikawajibu "najua ulitokea uvamizi wa majambazi". Wakazidi kusema "siku ya uvamizi ulikua wapi?" Nikajibu
"nilikua kwenye kasino". Wakasema
"ni nini kilikupeleka?"
Nikajibu "ile ni sehemu ya starehe jamani".
Wakasema "sasa katika uchunguzi wa jeshi la polisi kikosi cha upelelezi wewe ni mtuhumiwa namba moja wa kesi ile".
Likaletwa file la watuhumiwa wa kesi ile kisha nikaonyeshwa ya kuwa mimi ndio mtuhumiwa namba moja. Cha ajabu na picha yangu walikua nayo. Basi wakasema sasa una machaguo mawili. Utusaidie kuwapata wenzako kwa amani au usaidie polisi kwa mateso hadi kufa...?
ITAENDELEA

0 Comments