"Washa washa wana washawasha....washawashaaaaaaa.....! washawasha wanawasha moto washawashaaaaa.... Haya chini mamaaaaa!.....! Nipe tenaaaaa.......! Kamaa churaaaaaaa......! Tekenya tena tenaaaaaaaa...! Kamatia chini kwa chini na washawashaaa! aaaiiii.... shikilia jikune na washawashaaa.....! weeeeeekaaaaaaaaaa!....maaamaaaaaaaaa....cheza sasa kidukuuuuuuu....haya kidukuuuuu..masela wangu kidukuuuu..kama kidukuuuu washaaaaa"
Mc Jaba alizidi kufanya yake shughulini. Watu walichizika na kupagawa vilivyo huku kundi la washawasha wakifanya maajabu ya kupigiza nyama za makalio huku wakinyonga kisharishari. Wahuni walibambia kama kawaa. Mchakamchaka wa Jaba ulikuwa usipime si wa kitoto.
Kipindi burudani ikiendelea miongoni mwa watu waliosimama wakitazama show alikuwa bwana mmoja aliyeitwa Kimata. Yeye ndie alikuwa mmiliki wa mziki uliokuwa unapigwa pale shughulini. Alisimama jirani na dj sambamba na nduguye wa kiume aliyekuwa na muonekano nadhifu sana.
"Kimata! haya mambo yameanza lini huku kwenu?" Nduguye Kimata aliuliza huku akishangaa watu walivyozika na mziki wa muda huo.
"Daah! ndio hivyo P, haya mambo huku kwetu kama unavyoona." Kimata alijibu huku akicheka.
"Inaonekana kama huu mziki wa huyu jamaa ni watofauti sana na yule wa kwanza na kama ataamua kufanya kweli hata kwa kujirekodi, basi naamini atapiga pesa sana kwa mwendo huu. uswahilini utakuwa na nguvu sana."
Walizidi kujadiliKimata na nduguye aliyeitwa P huku wakimshangaa dj Dudukila alivyokuwa anatia pitch nyimbo za watu.
"Hii style ya mziki inaitwaji ? kama rap katuni eeh! kweli uswazi wabunifu." aliuliza P.
"Hii style wa huyu wanaiiita kiduku ila bado ngeni na wanaifanya wachache sana na huyu ndie mkali wao. Ila zaidi style zao kama yule aliyepita ila nae sio mtaalam sana kwenye style za uimbaji huu wa uswahilini... mziki huu P unaitwa mziki wa radha. na kuna madogo wengio wanafanya mtaani ila kwasasa Jaba na mziki wake wa kiduku anakuja kasi sana nae." Kimata alimuhabarisha P.
"Inaonesha Kimata ndugu yangu uko makini sana na radha za uswazi. Sasa mi nataka tufanye kitu kabla sijaondoka. Nishaona kuna fulsa za kupiga hela nyingi huku uswazi."
"Kitu gani hiko P"
"Mashindano ya kucheza na kuimba mziki huu kwenye ukumbi na sio kwenye shughuli za watu kama hivi! halafu kuwe na kiiingilio cha bei ya kawaida sana kama buku hivi ili watu waingie wengi kuona mashindano hayo." Alitoa wazo P lililoungwa mkono na Kimata.
"Daaah! hapo umeongea kitu kikubwa sana. Tena kuhusu kucheza kuna dogo anaitwa Mandondo huyo ni noma kaka hapaTandale mpaka Mabibo wanamjua na kuna mwengine anaitwa Kisingeli yuko Mburahati huyo hatari nae."
"Ndio hivyo, sasa itabidi ujichomeke vichwani mwao na uwakamate hawa vijana wote wanaoimba mziki wa radha na hao wachache wanaoimba kiduku kama Jaba pia hao madogo wanaocheza ukijumlisha na hawa mabinti ni kivutio kikubwa sana. Tafuta ukumbi uliokuwa sehemu nzuri mimi nitakupa fungu la malipo ya kuanzia. Mziki kama hivi tunao, simama kama Promota kwenye mziki huu nina imani kwa upeo wangu tutatoboa maisha Kimata." Alisisitiza P.
"Sawa! nipe siku tatu nihangaikie ukumbi. Hawa madogo hawana tabu kuwakamata." Alikubali kimsisitizo Kimata.
Wakati huo katikati ya kigodoro vumbi lilizidi kutimka watu wakinengua na kumwaga lazi.
*******
Hakuchi hakichi kunakucha! Siku ikaisha, siku nyengine ikaanza tena. Masaa yakasogea jua likawaka, pilikapilika kutwa nzima hatimae jua likazama tena.
Saa tano usiku maeneo ya Rambo night Club. Alionekana Jerida akiwa amevaa nusu utupu. akijipitisha pitisha na kujichezesha mbele ya wanaume. Mabinti walikuwa wengi sana. Upande wa kuchezea 'pooltable' nako walimwagika. Wengi wao walivaa kimitegotego kama Jerida. Kwa jinsi walivyojipodoa waling'aa kwenye mataa ya club kila walivyojipitisha na kucheza. Mziki mzito ulirindima na kukonga nyoyo za wapenda burudani usiku huo.
Ingawa wengi walionesha kufurahia maisha mahala hapo, shida ilikuwa kwa binti mmoja aliyekaa pembeni kidogo na sehemu ya kucheza kulipokuwa na kigiza cha wizi. Huyo hakuwa mwengine bali Tausi. Ingawa hakuwa amevaa nusu utupu kama mabinti wengi waliokuwa club usiku huo ila bado hakuwa na amani hata kidogo. Macho yake hayakutulia kwa wasiwasi aliokuwa nao. Moyo ulimuenda mbio sana. Hakupenda hata kidogo kuwa pale ingawa hakuwa na chaguo zaidi ya kukubali kuwa pale.
"Kukataa kwako Tausi ni sawa na kuniua dadaako! Na si mimi tu bali hata mama kijijini unajua fika mimi ndiye natuma hela kila mwisho wa mwezi. Kumbuka hata pesa niliyokuwa nakutumia ukasoma kidato cha kwanza hadi cha nne ingawa hukufaulu lakini pale ndipo nilipopatia pesa hizo zote. Tayari nina wateja wangu wengi ambao sitaki kuwapoteza sababu yako. Sikulazimishi uwe kama mimi utajua mwenyewe utaufanyia nini uchi wako. Ila nakusihi twende club ukakutane nae. Namjua vizuri Ndangala sio mtu wa kulazimisha mambo! ila wewe umemkosea sana heshima hata kutupigia simu na Tunu akitukataa sababu yako? Tausi wewe?...! Hapana labda unatamani kuniona nakufa."
Aliisikia tena sauti hii ikijirudiarudia kichwani mwake Tausi. Sauti ya dadaye jioni ya siku hiyo alipokuwa anamsisitiza uwepo wake pale. Ni mara baada ya Ndangala kupiga simu na kuwachimba mkwala kuwa pasipo Tausi kuja nae basi wasije tena kwenye club yake na atawafuta kwenye hesabu za mabinti wa pale. Chozi lilimdondoka na kulifuta huku akishindwa kuinywa soda aliyoagiziwa na Jerida toka alipomuacha amekaa pale. Alijua hakuna anachosubiri zaidi ya kwenda kuhondomolwa na mtu asiyemjua wala kumpenda. Alimkumbuka mpenzi wake wa Bukoba ambae alitaka kumuoa lakini ilishindikana baada ya kukataa kwa ushawishi wa dadaake ambae wakati huo alikuwa akisarandia vidume vya kunyemuka navyo kama mtaji wa kupatia pesa.
Upande wa ndani ya vyumba vya kulala pale Rambo. Alionekana Tunu akiwa chubani na kijana mmoja wakivunja amri ya sita.
"Hee!bwanaaa wee bado tu? utaongeza hela sasa!" aliwaka Tunu kumuwakia yule kijana aliyekuwa anajituma kupiga makasia juu yake.
"Oooossssh..nakojoaaa aah! subiri kidogooo aaah" Aligumia kijana wa watu.
"Changamsha bwana? pesa zenyewe za mawazo mawazo hebu nipishe huko.." Alimtoa kinguvu na kujinasua kwa yule kijana ambae alikuwa anakaribia kilele cha mlima lakini alijikuta akiporomoka ghafla kwa kusukumwa na Tunu.
"Sasa mbonaaaa..?"
"Mbona nini? muda umeishaa.. we kila mara ng'wii nakojoaaa.. kukojoa hukojoi kidudu kimesinyaa... ongeza hela upigwe jeki acha ubahili lool!"
Aliyatapika maneno Tunu huku akijifuta ikulu kwa karatasi maalum za chooni akimuacha kijana akiwa amesimama akimkodolea.
"Kwahiyo unataka nikuongeze shin-ngapi?" Aliuliza kijana yule huku akimshika njomba nchumali wake aliyeanza kunywea kwa fadhaa ya maneno makali ya Tunu.
"Sio nataka sh ngapi wee kama unataka kufikishwa kileleni kiufundi toa ishirini hapo upewe mapenzi."
"Ishirini? daa basi bora kupiga puchu tu."
"Puchu zitakuua dogo ndio maana kidubwana chako hakina nguvu. Hata nikikohoa tu kinachomoka! haya leta hiyo kumi nikukojoze usije fia bafuni na sabuni za watu."
Kishingo upande kwa nguvu ya ibilisi ingawa mkuki wake ulishasinyaa lakini kijana alijikuta anaisogelea suruali yake na kuchomoa noti pekee iliyosalia mifukoni mwake. Noti ya shilingi elfu kumi na kumkabidhi Tunu.
"Sogeaaa sasa! kaa hivi..subiri!" Aliuongoza mchezo Tunu huku akiushika kimadaha mtarimbo wa kijana yule ulioanza kulala doro na kuutingisha tingisha huku akiuchezesha na kuusugua karibu na mlango wa ikulu yake ili uweze kuamka. Kilikuwa ni kitendo cha dakika chache sana kwa ustadi wa Tunu mtarimbo wa kijana ukasimama tena. Kwa mikono yake Tunu akauvisha soksi na kuusongomeka ikulu huku akiukatikia viuno vya kuibiaibia.
Kama anapanda nusu kama anashuka, kidogo kama anaukubali mara kama anaukataa. Alihakikisha anaubana vizuri kwa style aliyomuweka kijana yule aliyeonesha wazi hakuwa fundi wala mzoefu kwenye uwanja ule wa kuchania mbao.
Alicheketua Tunu ile cheketu cheketu huku kijana nae akijitahidi kusukuma mashine kutwanga nyama mpaka alipoanza kuona sayari ya tatu ikibadilika kichwani mwake na kuhisi yuko sayari ya saba mbinguni pindi wazungu walipoteleza mwilini mwake na kumwagika.
"Oooohhhhsssss!" Mapigo ya moyo yalizidi kasi baada ya mshindo mkuu.
Alishusha pumzi kijana wa watu baada ya mtanange uliochukua dakika kumi na ushee.
"Daah! ishirini yangu ndo ishaliwa hivyo." Alisema kama utani huku akijichekesha kijana kipindi akivaa.
"Ishirini unaona bongo? Ndio maana hujui mapenzi kwa ubahili wako. Watu tunafanyaga nao show time hadi hamsini, laki, wanafaidi nyama za hamu zisizoisha utamu. Kalaga baho na ubahili wako ufunge ndoa na sabuni." Alitapika yake kama kawaida Tunu na kuvaa kufuri lake la pinki na sidilia huku juu yake akitupia nguo ya nyavunyavu iliyomuonesha vizuri maungo yake. Alifungua mlango kurudi club kuendelea na makamuzi. Kipindi akitoka ukumbini alikutana na Jerida akiwa ameshikwa kiuno na mzee mmoja mwenye kitambi aliyeonesha yuko tungi mbaya wakiingia eneo lile la vyumba.
Waligongana macho Jerida na Tunu na kukonyezana kiaina kama kawaida yao. Ilikuwa ni salamu ya mtindo wao wa kuhamasishana kufanya kweli kwa wateja wao. Makamuzi yaliendelea ndani ya Rambo Night Club.
"Daah! ishirini yangu ndo ishaliwa hivyo." Alisema kama utani huku akijichekesha kijana kipindi akivaa.
"Ishirini unaona bongo? Ndio maana hujui mapenzi kwa ubahili wako. Watu tunafanyaga nao show time hadi hamsini, laki, wanafaidi nyama za hamu zisizoisha utamu. Kalaga baho na ubahili wako ufunge ndoa na sabuni." Alitapika yake kama kawaida Tunu na kuvaa kufuri lake la pinki na sidilia huku juu yake akitupia nguo ya nyavunyavu iliyomuonesha vizuri maungo yake. Alifungua mlango kurudi club kuendelea na makamuzi. Kipindi akitoka ukumbini alikutana na Jerida akiwa ameshikwa kiuno na mzee mmoja mwenye kitambi aliyeonesha yuko tungi mbaya wakiingia eneo lile la vyumba.
Waligongana macho Jerida na Tunu na kukonyezana kiaina kama kawaida yao. Ilikuwa ni salamu ya mtindo wao wa kuhamasishana kufanya kweli kwa wateja wao. Makamuzi yaliendelea ndani ya Rambo Night Club.
"Eeeeh choma nyama..shusha nyagi..kama kawa furahia maisha ndani ya Rambo Club hapa ni burudani mwanzo mwisho mpaka kucheeeeeeeee! sasa ndio muda ule uliosubiriwa kwa hamu sana...muda wa kumkaribisha kwenye stage mkali wa r'n'b anayesumbua hapa town. Wengine wanamwita mfame wa swaga....Kaa tayari sasaaaaa kwa bonge moja la shooooow kutoka kwa ROOOONKIIIIIIIII"
Sauti ya dj ilisikika akiwa kashika kipaza na kumkaribisha msanii aliyeteka vichwa vya watu kwenye upande wa muziki wa kizazi kipya. Shangwe lililipuyka na kila mmoja alikuwa anasubiria kumuona kwa hamu kijana huyo ambaye nyota yake sasa ilikuwa inang'aa vilivyo.
Akiwa ametinga jinzi nyeupe chini akiwa na simpo nyekundu zilizomatch na fulana nyekundu huku kichwani akiwa na kofia mchepe mweupe wenye maandishi mekundu,, alinoga machoni Ronki huku akiimba kwa ustadi na kutembea kwa madaha.
"Penzi la dhaaati ndilo ninalohitaaajiiii... siitaji msululuuuu mimiiiiii......
Siihitaji msululuuuu iiiiiiiiii..... Penzi la dhaaaati ndilo nalihitaaajiiiii....
siihitaji msuluuluuu maamaaaa....
siihitaji msuluuuluuu mimiiiiiii..... oooooooh maaaaaaaa looovee!"
wi,bo huo ulizidi kuwainua watu kuingia kati na kucheza. Hata Tausi alijikuta anasimama na kucheza. Ulikuwa ni wimbo alioupenda na kuujua tokea yungali Bukoba. Lakini hakuwahi kumjua muimbaji wake na hapo ndio ikawa mara yake ya kwanza.
Mziki ndicho kitu kilikuwa kwenye damu ya Tausi. Aliupenda sana ingawa hakuwa muimbaji lakini aliumudu vizuri kuucheza. Kiuno chake laini alikinyongesha pale ilipobidi kulingana na midundo ya wimbo. Alicheza kwa madoido na kuligusa kila jicho lililomuona Tausi hata kufikia wengtine kumshangilia kwa jinsi alivyoonesha staili ngeni kabisa.
Hiko ndicho kilikuwa kipaji cha Tausi kilichojificha. Kipaji cha kuucheza mziki.
Ronki akiwa anaimba alimuona Tausi aloichokuwa anakifanya. Hata yeye alivutika na zaidi uzuri wa Tausi ilikuwa ni chachu kubwa ya Ronki kumsogelea huku akiimba na kuanza kucheza nae.
"Waaaoooh! kumbe Tausi nae fundi wa mziki namna hii?" alistaajabu Tunu kwa kile alichokiona. Tausi alicheza hata akawa anafumba macho kwa kuyapoteza mawazo aliyokuwa nayo muda wote na kuzifungua hisia zake zitawaliwe na mziki wa Ronki ambae alikuwa anacheza nae kana kwamba walikuwa wanashuti video na yeye ndiye mrimbwnde wa video husika.
Bosi kubwa Ndangala Ndangala muda huo alikuwa kashafika na ndo alikuwa anaingia huku akiwa na mabaunsa wawili kila upande kwa niaba ya usalama wake.
Alifika sehemu ya burudani na kushuhudia watu wakiselebuka huku kivutio zaidi kikiwa ni Tausi aliyekuwa amechizika kwa kuselebuka na Ronki.
Kama kawaida yake na walivyomzoiea wamjuao Ndangala pindi akiona jamba la kumfurahisha basi hakuwa na hiyana ya kutunza.
Alisogea na kuchomoa kibunda cha pesa na kuwamwagia noti za elfu kumi kumi Ronki na Tausi ambae muda mwingi alikuwa amefumba macho ingawa hakukosea 'step' za kucheza. Haikujulikana kwa haraka ilikuwa shilingi ngapi alizotunza Ndangala lakini kwa ufupi zilikuwa ni pesa nyingi. Na nyengine aliwamwagia madada waliokuwa wanacheza ambao walizigombania na kuzidisha shangwe. Show iliisha na mziki kuzimwa. Ronki aliondoka eneo la burudani huku pesa alizotunzwa zikikusanywa na wapambe wake. Na hapo ndipo Tausi macho yake yaligongana tena na Ndangala. Moyo wake ulipasuka tena na kuyarudisha yote aliyokuwa anajitahidi kuyapoteza akilini mwake kwa mziki mzuri wa Ronki. Aliona sasa ule muda ambao hakuutamani ufike ndio umewadia.
Ndangala huku akiwa amejawa uso wa tabasamu alimuashiria Tausi hali ya amani na upendo kumtoa wasiwasi aliokuwa nao. Huku akimsogelea Ndanga alinyoosha mkono na kumshika kiganja Tausi kabla hajapiga nae hatua mdogomdogo kutoa eneo lile. Tausi alitembea kishingo upande akikokotwa na Ndangala. Machoni alitabasamu ila moyoni aliumia sana. Lakini alijua yote hayo yalishaandaliwa na dada yake. Aliwatazama watu wa pale wakiendelea kuchizika na maisha huku wengine wakimkonyeza pindi walipomuona anaondoka na bosi wao.
"Usiogope Tausi, kichwa changu hakifikirii kukulazimisha chochote kama jana. Ila nina mpango mzuri kwaajili yako. Kuwa na amani mamaaa." Aliongea Ndangala pindi walipotoka eneo lenye kelele za mziki. Tausi hakuwa na jibu lolote zaidi ya kunyamaza tu. Alikuwa mithili ya kuku aliyekamatwa siku za sikukuu na mchinjaji aliyekuwa na moyo wa huruma na haki lakini havikutosha kumfanya amuhurumie kuku huyo wala kumpa haki yake ya kuishi.
Alijua maneno ya Ndangala ni danganya toto lakini lengo lake ni kula mautamu yake.
Waliuelekea mlango wa kutokea pale club huku siri ya wapi wanaelekea ilikuwa kwa Ndangala pekee.
ITAENDELEA

0 Comments