upande wapili akajibu mamaa !mamaa !!mamaaa!! nakufaa na mimi
kama kweli wamemuua ile sauti iliongea huku akilia
.mama jeni akiwa ana hofu akauliza mwanangu kuna nini ? ,jeni
jeni jeni aliita ila sim ya upande wapili ilikua imeshakatwa mama jeni aligeuza
gari upesi akazamisha mkono kwenye pochi akatoa kifungu cha pesa akampa babu
ili ziwasaidie kumuuguza mgojwa kisha yeye akaondoka.
Musa akaendelea kuwaza je huyu ni mama yake jeni mbona kama vile
alikua ana ongea na jen musa aliwaza akashitushwa na babu baada ya kumwita na
kumwambia aingie ndani basi aliingia kwenye hio nyumba ukweli babu alikua
anaishi maisha ya hali ya chini musw aliweza kuona chumba cha babu ambacho
alikua katandika godoro dogo chin .
musa kwa kuwa hakuwa na mahali pa kulala basi Hapo ndipo maisha
yalianza kuishi na yule babu.
tukija upande wa pili tunamwona bibie amina na subira wakiwa
wamekaa hakika hawa watoto ni balaa amina kavalia ki gauni kifupi kinaishia juu
ya magoti huku subira kavaa kimini hatari walikua maeneo ya kp ni baa kubwa
tabata bima .
sikia shoga yangu nikuambie leo nikifanikiwa kuondoka na twalibu
ntahakikisha namwibia pesa zake zote mimi ndio amina cha utundu ntamfilisi
amina aliongea akimwambia shoga yake subira.
subira nae akacheka kisha akasema mimi yeyote akijitokeza ninae
chamsingi pesaa asa sikia hapa nilipo sijavaa hata nguo ya ndani asa subiri
unawaona wale vijana masharo wale subiri niwatege tuwachune pesa sasa hivi
.subira akiwa na kimini chake aliinama akageuzia makalio yake yaliyo nona
mahali waliko wale vijana .
subira kajifanya anafuta miguu wakati huo wamesimama kwenye
maegesho ya magari hakika subira ni shida kile kimini kilipanda kwa juu makalio
yakaonekanika .we juma cheki yule mtoto hajavaa kitu hakika simwachi upaja
mweupee ivi wale vijana waligeukia mahali wamesimama amina na subira.
hamisi we tulia mi niwatokee hapa mfukoni nina laki wakitaka
vinywaji tutaruka nao mpaka kieleweke ni maneno aliyoongea hamisi ambae tayari
washaingia kwenye mtego hamisi alijijamba midomo baada ya kumwangalia amina
aliyevalia gauni na kufanya saa sita zisimame vyema. Hamisi na juma masharobaro
wakaamua kuwatokea amina na subira ambao biashara zao wanajiuza.
Hawakua mbali waliweza kuwafikia.mambo zenu warembo "hamisi
alianza kusalimia"
"poa" amina alijibu huku akiweka mapozi ya kuwateka
wale wakaka ili wapate pesa subira nae akaitikia .
Jamani watoto wazuri kama ninyi kwanini mmesimama huku mbali
mnaonaje tukapate vinywaji wote pamoja tupeane kampani na warembo kama ninyi
,hamisi alizidi kuwapa swaga ,juma macho yake yàlikua yametua kifuani mwa amina
akiangalia chuchu zilizo simama vyema na kumfanya juma mate yamjae mdomoni.
Hiii we mkaka mbona unaangalia sana chuchu zangu umezipenda ee
sema basi kama umezipenda amina alimwambia juma tu baada ya kukutanisha macho
na kukuta anaangalia chuchu zake amina alivyo na makusudi hakuvaa sidiria
akatoa ziwa moja nje,pale pale juma akachanganyikiwa na kujikuta anamkumbatia
amina .
wakati subira kashikwa mkono wanaelekea akaunta wakanywe bia
wote walifuatana ,waliagiza vinywaji wakaanza kunywa yote hayo yanafanyika
mchana kweupe saa tisa hakika dar es salaam kuna mambo. Baby nisindikize
nikakojoe ni sauti ya amina alimwambia hamisi baada ya pombe kuanza kumkolea
,hamisi wala hakuleta kipingamizi ikabidi amsindikize ,amina akiwa katangulia
alianza kutingisha makalio yake maksudi na kumfanya jongoo wa hamisi asimame
ile wanafika toileti hamisi alimshika amina kiuno na kufanya mwili wa amina
usisimuke
aasssssssh jamani beby mmmmmh amina aliguna kimahaba ,tayari
hamisi ashapeleka mkono kwenye sehemu nyeti bibie akaanza kupekenyua maeneo ya
ikulu "ikulu ya bibi imenona hamisi alijisemea huku akionesha akiwa na
uchu mno mmmmmmmmmmh amina alianza kuguna hamisi alipandisha kimini cha amina
na kumwinamisha style ya chuma matembele hamisi akagungua zipu ili afanye
alichokusudia maana akili yake ya kilevi inawwza kufanya mapenzi ,kutokana na
kumtamani sana amina basi hata ungemchanja hamisi mwili mzima hata asingesia
maumiwu yeye anachotaka kufanya mapenzi ,fasta amina akaziba eneo lote la ikulu
na kumwwmbia hamisi " mi staki nipe elfu kumi kwanza ndio nikupe uwanja
ufanye show yako na unafunga goli moja tu.hamisi akiwa kachanganyikiwa akauliza
elfu kumi? ndio.wataka?
Amina akatabaswmu na kusema akininionesha pesa nyingi huyu
kaenda na maji mimi ndio kahaba nioiyekubuhu .
Basi amina alibinua makalio kwa ustadi wa hali ya juu na kufanya
uwanja uonekane wazi na kumfanya mchezaji kuanza kucheza amina nae ni fundi
haijalishi yupo mwzingirw gwni nae hakuwa kama gogo alijishughulisha kweli
,Baby suguuuuuuuuuuua ni kelele za bibie amina akilalamika kwa utamu ,ile amina
na hamisi wanamaliza kupeana mapenzi walivyotoka tu pembeni kulikua na ua kubwa
basi juma na bibie subira nao walikua wwnajishughulisha kweli hakika amina na
subira wanamichezo michafu.
Juma kaweka mguu wa subira begani na kufanya apate nafasi nzuri
za kumchezesha sebene sauti za miguno ya chini chini ilisikika eneo lile
kugugumia utamu mwendo wa dakika tano tayari juma ahamalizw
kinyama chake cha bamu bao lake la kwanza subira alishusha kigàuni na
kushikilia nguo yw ndani mkononi basi wakarudi tena akaunta ili wakaendelee na
pombe .
bas waliongozana juma na subira wakati amina na hamisi nao
washafika akaunta lakini amina alimwambia baby wake hamis "baby subiri
" amina aliongea na kubeba pochi yake ndogo.
amina alivyotoka tu nje ya baa alimpigia subira simu ,subira uko
wapi njooo fasta nishamaliza kazi
subira akaulizw upo wapi.nipo nje amina aliongea huku akiwa
anawasiwasi upande wa pil subira alijibu ñakuja nisubiri , subira alitoka fasta
na pochi yake bila kuchelewa. Alikutana na amina wakapeana ishara waondoke.
Basi fasta wakapiga hatua upesi wakachukua boda boda na kuelekea nyumbani
kimanga.
Tukirudi baa tunamwona hamisi anajisachi walet yake yenye hela
haipo mmmmmh mbona mfuko huu hamna eeeeh mbona sina waleti yangu hamisi
aliongea huku akijisachi na kuelekea chooni alikotoka na bibie amina chooni
kucheki hamna kitu hamisi akaanza kuchanganyikiwa ,juma nae anajisachi haon
pesa zake. Hakika ni kizungu mkuti wote tayari washaibiwa waleti zao juma na
hamisi walitoka nje ya baa ila hawakufanikiwa kuwaona amina na subira
washaondoka kitambo .
hamisi ikabidi warudi. Nyumbani kwa mguu saa sita usiku toka
tabata hadi kiwalani bahati nzuri akauntà waliku washalipa wee ulikua na
shilingi ngapi hamis alimuuliza juma , juma kwa masikitiko makubwa akajibu laki
mbili na arobain elfu
baada ya amina na subira kufika kwenye geto lao walizimwaga pesa
walizowaibia. Juma na hamisi na kuzihesabh jumla ilikua laki nne na elfu kumi
na mbili .
Amina alicheka na kujilaza kitandani na kufanya kigaun chake
kipande juu na kufanya ikulu kikaonekana maana haku vaa chupi sikia shoga yangu
wakati yule boya anahangaika kunisugua niliingiza mkono kwenye suruali yake
mfuko wa nyuma nikaichomoa waleti kiulain maana alikua ashalewa nilivyo ichomoa
nikaiweka kwenye maziwa nikaibana na sidiria nikakausha na kuendelea kumkatia
viuno hadi akalainika ni maneno ya bibie amina akimsimulia shoga yake jinsi
alivyoiba pesa.
Subira alitabasamu na kujisemea acha nichekage mwenzangu yule
mwanaume alinipa vitu vitamu kwanza alichukua mguu wangu na kuupandisha begani
mwake sasa ili mimi nisianguke nilimshikilia suruali nimazamisha mkono mfukoni
twaa nikachomoa tukaendelea kupeana mavitu. Hakika amina na subira usiosmbe
ukutane nao utajutaaa basi walilàlia hela walizo iba hadi asubuhi na hio ndio
tabia yao ,
Siku ilianza upya tukirudi kwa akina jeni ,asubuhi jeni aliamka
mapema na kuwaza hivi niliyeona kwenye tv musa amepigwa maeneo ya mwenge ni
yeye au nimefananisha.
Lakini kwanini wamempiga mkaka wa watu au itakua ni yeye ?
jeni aliwaza na kupelekea machozi yanamdondoka haiwezeken wamuue
watamuuaje ???????
Jeni aliongea kwa nguvu huku akilia kwa uchungu ,jamani kweli
wamekuua musa? jeni alijiongelesha mwenyewe eti kaangalia tv jana na kujionea
mwizi kapigwa maeneo ya mwenge hadi kupoteza maisha .
hapana hapana hapana musa hajafa jen alizidi kuwaza mara mama
yake jeni katokea sebuleni na kumkuta jeni analia.
Mwanangu kunanini mbona sikuelewi toka jana umenipigia cm
ukasema haiwezekani kama kweli wamemuua na wewe unajiua nimerudi nakuambia
ukaniambia eti ulikua unaota mwanangu najua kunatatizo naomba uniweke waz
Mama limwambia hivo mwanae jeni alifuta machozi akafikiria
nikimwambia mama kuna mwanaume nilikutana nae jana mchana alafu jion nimemuona
kwenye tv kapigwa hadi kufa kisa mwiz mama hatonielewa.
Wewe unanini? Sauti ya mamayake ikamshitua jeni akaamua
amdanganye mama yake ili mambo yaishi ibaki siri yake mwenyewe.
Jeni alianza kumweleza mama yake mama mimi kweli nahitaji
unishauri kuna mkaka nimetokea kumpenda sasa nilikua nataka anioe sasa najua
nikimwambia baba atanichapa ndio maana nakosa raha mama.
jeni alidanganya ivo mama yake alishusha pumzi kisha akaanza
kuongea mwanangu kweli sasa hivi kuolewa bado kwanza unatakiwa uende uingereza
ukamalizie kozi yako na ukisha maliza hapo tutakuruhusu uolewe .ila mwanangu
nakuomba vumilia kidogo tyu mama alimsihi mwanae ,jeni hakutaka kubishana
kwakua alimdanganya basi alimwambia mama nimekuelewa nitavumilia miaka miwili
sio mingi ,jeni àlimjibu Mama yake na kumfanya atabasamu basi walikumbatiana
kisha wakaelekea jikoni kuandaa kifungua kinywa.
Jeni akiwa jikoni akipika chapati ile video ya tukio aliloliona
kwenye television kua mwizi aliyepigwa mwenge lilimjia kichwani na kumfanya
asahau kama kaweka chapati kwenye jiko mawazo yakatawala
"weeeee jeni mbona chapati inaungua halafu umesimama
hapo?" Ni sauti ya mama ndio ilimshtua jeni na kuangalia jikoni alikuta
chapati ishaungua.
Basi siku hio jeni alishinda hana amani ilipofika saa tisa jeni
alishidwa kuvumilia alikumbuka kua musa alimwambia anakaa maeneo ya tabata mtaa
wa ubaya ubaya jeni alitoroka nyumbani hadi mtaa wa ubaya ubaya aliweza kukuta
vijana wengi wamekaa kijiweni. Wakicheza drafti jeni aliwasogela kwa kujiamin
akiwasalimia , habari zenu jamani wale vijana walivyosikia sauti nyororo ya
bibie jen kila mmoja alinyanyua kichwa kuangalia nani kasalimia alikua ni
mrembo jeni
"nzuri mtoto mzuri adrano aliitikia "ambae ndie alikua
rafiki yake musa ila jana kamfukuza arafati aliacha kucheza drafti akasema hawa
watoto wazuri wazuri ndo sisi ,tumeumbiwa kisha akamsogela jeni nambie mrembo
,"jeni hakupenda kupoteza muda aliwaambia samahani kuna kijana mmoja
anaitwa musa aliniambia anaishi mitaa hii sijui mnamjua jen alivyouliza vile
vijana wote waliangaliana adrano akadakia "usiseme mudy sema mwizi maana
yule jamaa alikua mwizi najua kama hajakuibia pochi basi kakutapeli huyo mudy
leo ni marehemu jana kaiba hela mwenge kapigwa hadikufa hujaangalia tv?
"Adrano alimwambia jen"
Jen alijihisi mwili wake kukosa nguvu akauliza ni kweli ndio
yeye alipigwa hadi kupoteza maishaa ?
"ndio vijana wote walimjibu"
"ok", nashukuru jeni aliongea huku machozi yanamtoka
akaondoka zake na kurudi nyumbani
Jen alipitiliza hadi chumbani mwake na kujifungia akaanza
kumuwaza musa haiwezekani yule kijana mpole ivo awe mwizi haiwezekaniii jeni
alilia sana mwishowe usingizi ukampitia.
Hatimae wiki ilikatiaka musw akiwa anaendelea na dozi yake
wakiwa pamoja na babu ,musw alianza kupona baadhi ya majeraha siku hio mida ya
mchana kuna gari mbili zilikuja walishuka wanaume wawil kisha wakaanza kupanga
bei ya lile jengo ambalo babu na musa ndio wamefanya sehemu ya makazi lile
jengo mwenye nalo akaliuza kwa tajiri mwenye pesa zake ,babu inabidi leo mhame
kesho tunakuja kuvunja hili jengo lote ili nijenge nyumba mpya yule tajiri
alimwambia babu kisha wakaondoka.
Babu na musa wataenda wapi hawana ndugu wala rafiki usiku huo
walilala ambapo pakipambazuka tu jengo litakuja kubomolewa .siku hio musa
alipitia na usingizi wa ajabu musa aliota yupo kwenye pori nene huku sauti ya
binti àkilia akiomba msaada
musa kwa ujasiri alikimbilia kunako zile kelele zinatokea musa
baada ya kufika lile eneo alihamaki akaona msichana akiwa kàviringishiwa mwili
mzima na nyoka mkubwa nyoka akapanua mdomo ili ammeze yule msichana musa kwa
ujasiri aliwai na kuchukua jiwe kubwa alirusha haraka likaenda moja kwa moja
kuzaba mdomoni puuu yule nyoka aliruka hewani na kumwachia yule binti musa akawai
fasta ili akamchukue yule msichana waondoke eneo hilo upes , alivyomwangalia
uson ile sura haikua ngeni alikua ni bibie jeni .
musa kwa mshangao akaita jeni jeni mara gafla yule nyoka
akapotea musa akashtuka akawai kumkumbatia jeni ile anapeleka mikono jeni nae
akapoteaa.
Wakati musa kapitiwa na usingizi mzito kumbe nje pameshakucha
tayari gari ya kubomoa nyumba ishagika babu alistuka toka usingizini akajaribu
kumuamsha musa hakuamka wale walokuja kubomoa wala hawakuwa na mda ya kucheki
kama watu ndani wamelala wao waliwnza kazi yao ya kubomoa tena mahali aliko
lala musq gari la bomoa bomoa lilianza kazi ya kubomoa huku ndani musa kapitiwa
na usingizi mzito babu aliona nyumba inatikisika akatoka mbio na kumwacha musw
bado kalala yaani kalala usingizi wa ajabu babu ile anatoa mguu mlangoni tayari
ukuta ukamwangukia babu puuu kichwa kikapasuka pale pale ukuta mwingine
ukadondokea mahali aliko lala musa puuu.
Haa wale wabomoaji ndo wakagundua kua watu ndani walikuemo baada
ya kumwona babu alivyodondokewa na kupasuliwa kichwaa paaa.ukuta mwingine
umemdondokea musa
Je nini kitaendelea?
Tulipoishia jana baada ya kuona wale wabomoaji wa lile jengo
kudamka mapema saa kumi na moja alfajiri na kuanza kubomoa jengo kiholela bila
ya kuangalia ndani kama kuna watu.
Wabomoaji wakiwa bize na kaz yao ya kubomoa ndani musw na babu
wanaendelea kuuvuta usingizi wa alfajiri mara babu àlinyanyuka baada ya kusikia
kelele za gari (pawa tila ) babu akamwamusha mogy sema mogy akawa bado amekolea
usingizi babu akawa anajiandaa atoke nje ili akaangalie ni akinanani hao
wanaongea huko nje
Babu kufika tu mlangoni ukuta mkubwa kuamdondokea puuuh! Tofali
la block likachomoka juu kwenye ukuta mwingine ulio salia na kutua kichwani mwa
babu paaa pale pale ubongo ukaruka juuu damu ikamwagika tayari babu kichwa
kimepasuka ibaya mno hatamaniki.
Ukuta mwingine ukadondokea mahali aliko mogy puuu chumba kizima
pakawa kimya .Gafla wale wabomoaji walipigwa na butwaa baada ya kuuona ule
mwili wa babu .haa kumbe kulikua na watu humu.
Ni kauli ya mkandarasi aliongea huku akiwaamuru wabomoaji
watulie waje washuhudie kua wameshaua mtu wale wabomoaji wakaenda na kumwona
babu hatamaniki.
Wakiwa bado wanamshangaa babu mara kelele zikasikika nakuufaaa
nisaidieniii wote waligeuka mahali zinakotoka zile kelele, ashii alikua na musa
kabanwa na ukuta balaa anàhangaika kujiokoa ni kichwa na kifua ndo kimesalia
mwili mzima umebanwa na matofali .
Wale wabomoaji waliwai na kuweza kumsaidia musa akatoka alikua
hatamaniki kabondwa kichwa na kutoneshwa vidonda vyake
Baada ya wale wabomoaji kumtoa nje alijaribu kumsimamisha bahati
mbaya hakuweza kusimama alikua kateguka kiuno mguu na mkono ikabidi wamlaze
chini.sijui balaa ama mkosi gani unamwwndama musa na kuna wakati akizidiwa sana
huwa anaongeo lugha isiyoeleweka ,sijajua musa ni mtu ama kiumbe gani ndugu
msomaji.
Babuuuuu babuu uko wapi nakufa "musa alimwita babu huku
analia kwa maumivu anayoyapata "
Musa aliyang'amua macho na kubaki kakodoa alipigwa na mshituko
usio wakawaida baada ya kuuona mwili wa babu ukiwa umelala na kukandamizwa na
ukuta kichwa kimepasukaaa,yaani mtu ambae hamfahamiani amenitolea kuishi nawe
hata siku tatu hazijapita anapoteza maisha mbele ya macho hako ,hakika unatia
huzuni mno.
Musa aliita "babuuu" japo sauti yake ilitoka kwa shida
pale pale musa akawa kimya akapoteza fahamu kabisa.
Mkandarasi aliwaita wafanya kazi wajue namna ya kufanya ili
wajiepushe na maada ya mauaji. Makandarasi aliwaza upesi sasa hapa bila
kupoteza mda chimbeni shimo hapa hapa tuwazike hawa watu kabla watu hawajaamka
maana huu utakua msala ,mkandarasi aliongew huku akiweka kofia yake ngumu vyema
kwenye kichwa chake.
Wabomoaji waliunga mkono wazo la mkandarasi mkuu
hawakuchelewasha sana wazo lao la kuwafukia babu na musa bila ,walichimba shimo
walimchukua babu wakamrushia ndani ya shimo kama mtu anatupa kuku aliyejifia
kwenye banda lake .
Mleteni nahuyo sijui kazimia au kafa mdumbukizeni humu tuwafukie
tupoteze kesi mkandarasi aliwaamuru wafanya kazi wake ,musa akabebwa mkuku
mkuku akiwa hajitambui walikaribia kwenye shimo kabwa hawaja mrushia jamaa
mmoja akatoa wazo bosi huyu tusimfukie kwakua mimi naenda bagamoyo kucheki ile
gorofa sasa inabidi huyu nikamtupe kwenye msitu wa bagamoyo jamaa mmoja mwenye
asili ya kiarabu sijui ndio shombe shombe basi wazo lake waliliunga mkono fasta
musa aliingizwa kwenye gari akiwa hajitambui .
Gari ikatekenywa kitu kikawaka safari ya kuelekea bagamoyo
ikaanza palikua pashaapambazuka toka tegeta hadi bagamoyo msituni alichukua
lisaa limoja na nusu yule jamaa aliingia ndani ndan msituni kwakua palikua na
uwazi wa kuweza kupenya na gari .
Alifika mahali dereva huyo alishuka upesi akageuka kulia kushoto
mbele na nyuma alivyobaini hamna mtu ,alimteremsha musa na kumwaga kama gunia
la mahindi puu !!!!! ,wala hakujali kama ni binadamu mwenzio kisha akapanda
kwenye gari yake na akaondoka kwenye eneo hilo na kumwacha musa akiwa katika
ile hali . Vile vile kazimia sijui ndio kapoteza maisha mie sijui.
Tukirudi tegeta mahali alikozikwa babu kwenye hilo jengo
lililobomolewa wale wabomoaji wala hawakua na wasi wasi tena wakawa
wanajipongeza kwa kazi nzuri waliyo fanya kwa muda ule.
Sasa hii nyumba tushafanya zindiko la babu atakae kaa hii nyumba
kuna mawili kutokewa na mzimu wa babu au kutokewa na vitu vya ajabu labda huyu
babu, kama hàkua mchawi watapona ila kama mchawi wanalo ni maneno ya mkandarasi
alikua akiwaambia wenzake basi wote walicheka huku wakiendelea na shughuli zao.
Tukirudi maeneo ya bagamoyo ndani ya msitu mahali aliko tupwa
musa bado alikua kalala vile vile huku akiwa na bandeji zake alizopigwaga
maeneo ya mwenge alivyosingiziwa yeye ni mwizi halafu bado haitoshi kadondokewa
na ukuta.
Hadi mida ya saa saba bado kazimia mapigo ya moyo yakipiga kwa
mbal siku hio palikua pametanda wingu zito mda wowote mvua inaweza kunyesha
hadi mida ya saa nane anga lote lilifungwa na mawingu mazito pyaaa pyaaaaah!
Musa alipiga chafya mara mbili alifungua macho ila hakuweza kuona chochote
zaidi ya kuona marue rue alijitahidi kufumbua macho ila bado alikua haelewi
yupo sayari gani ,alipoteza kumbu kumbu kabisa aliweza kupata nguvu akajaribu
kujinyanyua walau asimame ila hakufanikiwa kwakua hapo alipo kateguka kiuno
mguu na mkono wa kushoto ,mtihani anaoupitia musa ni mgumu mno, alisikia
maumivu makali mwilini, kilikua kilio chake peke yake dhidi ya mateso na
mitihani inayomkabili .
Musa akiwa hajielewi yupo wapi mbona hawezi kunyanyuka mara mvua
ikaanza kunyesha mvua kubwa iliyoambatana na upepo ilianza kumnyeshea musa,
alijaribu kupiga yowe walau kuomba msaada kwa alie karibu na lile eneo ila
hakufanikiwa kabisa ,sauti yake ilikua inatoka kwa shida, mvua iliendelea
kumnyeshea huku mwili wake ukiwa namajeraha makubwa , kila akikohoa lazima
anatema damu yote sababu alipigwa sanaa pia ukuta nao ulimdondokea .musa
alivyoona mvua inazidi kuongezeka na kuzidi kuumia kwa maumivu aliyokua nayo
alianza kujiburuza na makalio hadi kwenye shina kubwa la mti , alijibanza huku
akiwa kaloa chapa chapa , alianza kulia taratibu kwa maumivu ya kuteguka kiuno
miguu na mkono pia majeraha yalikua yanauma pia .
Musa akaanza kutetemeka na baridi mithili ya vifaranga Vya kuku
vilivyopitiwa na mdondo , mvuà ilinyesha masaa mawili kisha ikakatika
Kumbe mahali musa kajibanza kwenye shina la mti pembeni yake
palikua na shimo na hilo shimo palikuwemo nyoka mweusi mkubwa baada ya mvua
kunyesha maji yaliingia kwenyelile shimo .na kufànya yule nyokà ashidwe
kustahimili uwepo ma waji ndani ya shimo ,nyoka alianza kutoka taratibu musa
akiwa amejiinamia alipigwa na machale kuna kitu cha hatari kinakuja musa
aligeuka yalaaa !!! uso kwa uso wakakutanisha na lile Joka ,kawida ya huyo
nyoka ukikutana nae mda wote anajihami mapema kama hata kuuma basi atakutemea
mate na anasumu kali hatari.
Maskini wa mungu yule ,nyoka akamtemea musa mate usoni,musa
hakuweza kunyanyuka akimbie musa alijiburuza na makalio walau kuokoa nafsi yake
nyoka nae alivyomtemea mate alikimbia na kupotelea mbali.
Daa hakika yale mate ya yule nyoka ni sumu tupu macho ya musa
yalianza kutoa machozi na kuwa mekundu makamasi nayo yalitoka
Musa akajihisi ukakasi kwenye mdomo mate yote alivyotemewa na
yule nyoka mweus musa akaanza kutokwa na povu mdomoni macho yakaanza kumvimbia.
Haikuchukua mda mrefu hali ya musa ikawa mbaya kuongea hawez
kuona haoni macho yamevimba yote ,akawa anahaha hajui wapi mashariki wala
magharibi akajikuta anagara gara chini Kilikuwa ni Kilio cha aina yake ,kilio
pasina msaada ,nani ataniokoa hiki ni kilio changu?,swali gumu musa hakupata
jawabu kabisa.
Kwa mbali kuna binti mmoja kavalia nguo za ki mjini suruali na
blauzi yuko na bib wakiwa wanatembea huku nguo zao zimeloa bila shaka
wamenyeshewa na mvua na wao yule binti alianza kumuongelesha bibi yake .Sasa
bibi huwa unakuja peke yako humu msituni kutafuta dawa?
"Ndio nakujaga mie bado ninanguvu za kutembea japo
nishaanza kuzeeka sasa nisipo kuja peke yangu ntakuja na nani na unajua kua
nipo peke yangu " bibi alimjibu mjukuu wake.
Mara gafla waliweza kufika mahali aliko musa yule bint aliogopa
bibiii bibii hiki kitu gani huyu ni mtu ,kafa au mzima ,ni maswali aliulisw
mfululizo yule binti
Bibi aliweza kumwambia hebu twende tumsogelee tuone kakubwa na
nini bibi na mjukuu wake walisogea na kumwona musa akigara gara uso umevimba
mdomoni anatoa povu ,yule bint akiwa anaogopa alisema "bibi tuondoke
anakufa huyuuu".
Bibi akamwambia mjukuu wake huyu katemewa mate na nyoka weusi
maana unaona hili povu na macho yalivyomvimba.
Yule binti alimwangalia musa,lakin alishtuka ,alisema hii sura
kama naijua bibi .akajisemea kimoyomoyo ,inamana yule ambae niliambiwa kauliwa
mwenge kisa kaiba mmmh, hapana huyu sio musa kweli, yule bint aliwaza baada ya
kumwangalia musa usoni na kumwona anabandeji .
Alianza kuita musaaaa musaaaa musaaa ,Mimi ni jeniiii kulikoni
umepatwa na nini kumbe yule binti ni jeni sijui kafikaje ,ila mungu akiamua
kukuoatia msaada mwa hali yeyote ile atakusaidia hatima yao inaomekana ,basi
aliweza kumtambua musa.
Jeni alizidi kuita jina la musa ,ila musa hata hakuwa na sauti
hakuweza kuongea tayari ulimi ilikua umevimba na sumu ya nyoka.
Bibi wewe si mtaalamu wa tiba za asili mitishamba huyu mkaka
wawatu tutamsaidiaje jeni aliongeaa huku akiwa anaonesha kuogopa na hofu hali
ya musa aliyokuwa nayo.
Hu hu hu ha ha ha hi hi "haa bibi alicheka " ,na
kumwambia mjukuu wangu jeni dawa yake mkamulie maziwa yako usoni kwenye macho
na mdomoni atapona bibi alimwambia hivyo .
Jeni wala hakuchelewa alivua blau na kutoa maziwa yake yaliyo
simama vyema saa sita kama wanavyoita vijana wa siku hizi .
Jeni alijaribu kukamlia maziwa yake machoni mwa musa hayakutoka
maziwa hata chembe bibi alicheka kisha akasema lini umesikia mtu ambae hajazaa
maziwa yanatokaga hebu nipishe mimi nimkamilie bibi alimwambia jen.
Bibi alisogea mahali musa anagara gara kwa maumivu alitoa ziwa
lake alimkamulia musa machoni kwakua bibi ashazeeka maziwa yake yalitoa kidogo
mno tena si maziwa ni maji maji meupe .
Mjukuu wangu mi nishazeeka maziwa hayatoki
Tutafute njia nyingine jeni alimwambia bibi yake naenda nyumbani
kuchukua gari nije nimchukue nimuwahishe hospitalini jeni aliongea hivyo huku
akimalizia kuvaa kiatu chake alitimua mbio kutwfuta usafir.
We jeni utapotea mjukuu wangu sasa nyumbani unakujua "bibi
alimwambia mjukuu wake" sema jeni alikua ashafika mbali jeni alikimbia nà
kukatisha msitu.
Bibi alibaki na musa mmh tunahangaika sana kuna mti unaitwa
msanja matree huu mti nikiupata halafu nikampa atafune atapona haraka bibi
aliwaza kwakua yeye ni mtaalamu wa miti shamba basi bibi alinyanyukà ili
akautafute huo mti aje ampe musa aweze kupona kwakua wapo msituni bibi alipiga
hatua kadhaa wala hakufika mbali alipiga kelele za kuomba msaada nakufaaaa
mungu wangu bibi aliruka akadondoka na kuinuka upesi baada ya kumkanyaga nyoka
aliyemtemea musa mate kumbe hakua mbali safari hii bibi aling'atwa mguuni kisha
nyoka akakimbia na kuondoka kabisa eneo lile ,bibi alirudi upesi aliko musa
alivua kitambaa akakichana na kutengeneza kamba ndogo aliufunga mguu ulio
ng'atwa juu ili kuzuia sumu isipande mwilini na kusambaa bibi alichukua kijiti
alichokonoa sehemu aliko umwa bibi na nyoka akafanikiwa kutoa meno mawili ya
nyoka.
Licha ya bibi kuwai kupunguza sumu ili isipande lahasha sumu
ilianza kusambaa mwilini taratibu mwili wa bibi ulianza kulegea baada ya mda
bibi alianza kutokwa na povu mdomoni hali ya bibi ikazidi kuwa mbaya na yeye na
wako msituni.
Mda ukazidi kuyoyoma jeni hakutokea hali ya musa inazidi kuwa
mbaya bibi nae inazidi kuwa na hali mbaya zaidi ioichukua muda ndipo jeni
aliweza kuwadia na gari ili kutoa msaada ,aliweza kufika mahali waliko. akakuta
bibi povu linamtoka mdomoni .
Bibi bibi nini kimekupata jeni alimuuliza bibi yake .mjukuu
wangu nimengal'atwa na nyoka bibi alijibu kwa kubabaika
"Sheeeet" , jeni alijisemea akafungua milango ya gari
akaanza kuhangaika kuwapandisha maana wote ni mahututi jeni alifanikiwa
aliwasha gari ili kuwawahisha hospitalini gari ilipigwa mwendo na jeni huku
akikwepa miti
Dakika chache jeni aliingia barabara kuu ile anafika tu lami
gari ikaisha mafuta ikawa haiwaki gari ikazimika na bado kuna kaumbali hadi
kufika kituo cha mafuta.
Jeni alimtazama bibi yake ameshaanza kubadilika rangi kamtazama
musa mapigo ya moyo yanadunda kwa mbali jeni akapiga usukani ngumi na kuanza
kulia nitafanyeje mimiiiii
Jeni alimtazama bibi yake ameanza kubadilika rangi na kuwa
mweusi kama yule nyoka musa nae mapigo ya moyo yanapiga mbal yote kutokana na
sumu ya nyoka kutambaa mwilini
Jeni alizidi kuchanganyikiwa gari imeisha mafuta
Songa Nayo....................
Jeni alijaribu kusimamisha gari ili aombe msaada ila gari
zilimpita kama vile hazimuoni .kunaboda boda moja inakuja kwa kasi jen
aliipungia mkono cha ajabu ilimpita kama upepo
Siku zote katika kundi la watu wabaya mmoja wapo lazima awe na
roho ya huruma jeni kwakua alikua msichana mrembo na anavutia alijaribu
kupungia magari mkono yasimame ili awaombe msaada lakini alipitwa kama vile
hawajamuona sio kwamba watu wanashidwa kumsaidia jeni hapana watu walikua
wanaogopa gari ya jeni ilipaki vibaya kando kando ya msitu watu walishidwa
kumsaidia wakihiisi huo ni mtego wanaufanya majambazi wameamua kumuweka
msichana mrembo ili kama mtu yeyote mwanye gari angeshuka ili amsaidie basi wangempora
gari lake ndio kitu walichohofia kutoa msaada ,bahati nzuri kunakijana mwenye
baiskeli alipita karibu na gari la jeni jeni akamwomba msaada ili akachukue
mafuta ya gari yake yule kijana alikubali na kumwambia jeni apande kwenye
baiskeli yake ili ampeleke kwenye kituo cha mafuta hakikua mbali sana kivile
,kwa mguu ungetembea nusuu saa.
jeni aliridhia ule usafiri akapandishwa kwenye kiti cha nyuma
yule kijana nae alianza kuendesha hawakuchukua muda saana chache ni dakika
baiskel ikakatika mnyororo .kwahio safari imekwama jeni kwa uchungu akaanza
kulia akijua fika bibi yake na musa watafia mikononi mwake .
Jeni hakukubali kukata tamaa lilikuja lori kubwa akalipiga mkono
likashuka jeni alizunguka upesi upande wa pili ambako dereva aliko jeni akiwa kajaa
simanzi na majonzi jeni alimweleza yule dereva kila kitu yule derevà hakuwa na
kinyongo alikua na mafuta ya petroli lita tano kwenye dumu dogo yule dereva
alimpatia yale mafuta na kumwambia wawahishe hao watu hospitali upesi .
Jenj alifurahi aliwai kwenye gari yake akaweka yale mafuta na
kufunga vizuri gari ,jeni alichomoa elfu kumi kwenye pochi alimpa yule kijana
wa baiskeli ambayo ilikatika mnyororo pia jane alitoa elfu 10, akampa yule
dereva wa lori .
Dada yangu mimi mafuta nimekupa bure kabisa wawahishe tu
hospitali yule dereva alimwambia jeni hivyo jeni akarudisha pesa kwenye pochi
jeni hakupenda kuchelewesha aliwasha gali akapiga honi pipi pipi kumaanisha
asante jeni aliondoka na gia zote na kufika bagamoyo mjini aliwawahisha
hospitalini .
Bibi na musa walipokelewa hospitalini ila hali zao zilikua mbaya
sana jeni hajui afanye nini jeni alichanganyikiwa
Wote waliwahishwa kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi wàlianza
matibabu ,Hadi saa moja jion hakuna alie pata nafuu
Dokta alimwita jeni ofisini kweke ,"dokta nimekuja
"jeni aliitikia wito.
Aaah hawa wagonjwa wako imeshindikana kabisa kuwatibu maana
inaonesha nyoka aliyemuuma bibi anasumu kali na sumu ishatambaa mwili mzima na
tumeangalia moyo ushakua mweusi kwahio bibi yako kabakisha dakika 20 tu apoteze
maisha cha msingi kama utapata waganga wanao tumia dawa za miti shamba bibi
ataweza kupona au ukipata jiwe la nyoka hilo jiwe linanyonyaga sumu zote bibi
yako hapo ataweza kunusurika lasivyo tutampoteza ila yule kijana hajadhurika
sana atapona "yule dokta alimweleza jeni hivo".
Jeni akiwa analia alichekecha akili yake upesi na kukumbuka bibi
yake ni mtaalamu wa tiba za miti shamba lazima atakua na hili jiwe la nyoka
sasa nitamuulizaje hali ya kua hawezi kuongea jen aliwaza haraka.
Basi alitoka chumba cha daktari na kwenda moja kwa moja kwenye
gari yake aliwasha na kuelekea nyumbani kwa bibi mwendo wa dakika nane ashafika
bibi alikua kafunga nyumba jeni alihisi kuchanganyikiwa alichukua jiwe kubwa na
kwenda kuipiga kufuli na kuuharibu mlango jeni aliweza kuingia ndani ya nyumba
lengo lake apate jiwe la nyoka .
hilo jiwe ni kiboko ukilipata ukishaumwa unaweka tu lenyewe
linavuta sumu yote
Jeni alipekua makopo ya bibi hatimae alikutana na kopo lina mawe
matatu moja la daki blue lingine jeupe na jeusi jeni aliyabeba yote fasta
akatoka na kuwasha gari alitudi kwa mwendo kasi aliweza kufika hospitalini na
zilikua zimesalia dakika chache bibi aage dunia jeni alimwita dokta na kumpatia
yale mawe matatu dokta na yeye hakua mtaalafu wa kuweza kugundua lipi ndio jiwe
sahihi alichokifanya yale mawe aliyaweka kwenye jeraha ambalo ndio sehemu
aliyong'atwa na nyoka mguuni.
Jiwe moja jeusi lilinasa mengine yalidondoka basi dokta
alitabasamu hili jeusi ndio lenyewe "alisema hivyo" jeni akauliza na yeye
"ni kweli hili jiwe linaweza kuokoa maisha ya bibi?
Dokta akasema "ni kweli kabisa bibi yako atapona".
Maana hilo jiwe ukiweka tu linanasa basi taratibu lilianza
kuivuta ile sumu
Asikuambie mtu ,uking'atwa na nyoka haufi pale pale unaweza
ukakaa siku saba kama atapatikana mtaalamu anaejua kutibu ukiumwa na nyoka basi
ataweza kukutibu na kupona kabisa ila daktari anaweza kukupima na kusema tayari
ushapoteza maisha kumbe ni moyo ndio umefunikwa na sumu tu na kushidwa kusukuma
damu.
Ndio inavyokuwaga ,Chumba alichokua musa alikua ashaanza kuona
japo kwa mbali na kuongea alikua bado hawezi ila mapigo ya moyo yasharudi vyema
musa aliwekewa dawa machoni kisha akadugwa sindano ya usingizi moja kwa moja
akaillala fofofo.
Lile jiwe la kutoa sumu ya nyoka lilifanya kazi yake vyema hadi
saa tano usiku bibi alikua ashapona anaongea vizuri kabisa ila jiwe lilikua
bado halijadondoka.
Jeni alitabasamu baada ya kuona hali ya bibi imetengamaa ndipo
akampigia mama yake na kumueleza kila kitu mama yake jeni alifurahi kwa
alichokifanya jeni .
Mama nitumie laki tano za matibabu jeni aliweza kumwomba mama
yake hela kwakua maisha ya kwa kina jeni sio mabaya sana basi alitumiwa hio
hela upesi tu ,kutokana na uaminifu wa jeni na wwzazi wake ,si kama akina sisi
ukiomba hata elfu mbili mzazi anakuuambia sina hela ya kuchezea nikupe
elfumbili haoafu uka BET mmmh sahau.
Bibi alilala hospitalini na musa alilala hospitalini jeni nae
alikaa karibu na bibi yake hadi asubuhi
Dokta asubuhi alienda chumba cha musw alikuta amekaa kitandani
akiwa anaona vizuri.
"Vip kijana dokta àlimwongelesha musa"
Poa we musa alijibu na kumwangalia dokta usoni ,dokta
alitabasamu na kumwambia ,saivi unaona vizur?
musa aliitikia "ndio naona vizuri wewe ni nani na niko wapi
hapa?"
"dokta akashusha pumzi na kugundua musa hana kumbu kumbu
maana vazi alilolivaa ni rahisi mtu kutambua kuwa ni dokta ila kwa musw imekuwa
tofauti hatambui kitu.
Musa alijaribu kunyanyuka alishidwa kutokana na kuteguka kiuno
na mguu alivyodondokewa na nyumba dokta aliweza kuona hali ya musa akamuuliza
kulikoni mbona unashidwa kuinuka.
Musa alimwambia hata mimi sijui naona kiuno na mguu umeteguka
ITAENDELEA

0 Comments