Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

Chombezo: Singeli Kitaa sehemu ya pili (02)

 


“Tausi! Una wasiwasi gani? Njoo nikufanyie usaili ili nijua kama unastahili V.I.P ama nikuache kwenye levo moja na wengine.” Kwa sauti ya kumaanisha Ndangala alisema na kumfanya Tausi apige hatua fupi kuingia chumbani huku kichwani sasa akijenga maswali kadhaa.


“Bosi, sasa mbona humu chumbani? Si ulisema tunaenda kwenye usaili?”


Aliuliza kwa mshangao Tausi akiwa amesimama mlangoni baada ya kuingia.


“Tausi mbona unataka kucheza na akili yangu? Ina maana wee kazi unayotakiwa kuifanya huijui?” Swali la Ndangala lilimchanganya zaidi Tausi.


“Ndio! dada alinambia tu kuna kazi lakini bado sijafahamu kazi gani!”


Jibu la Tausi lilimfanya bosi Ndangala ashushe pumzi.


“Ina maana hata dada zako hawajakwambia wanafanya kazi gani?”


“Ndio bosi!”


“Basi sawa, hupaswi kuogopa sogea kaa kitandani nikueleze moja baada ya lengine.” Aliongea Ndangala huku akifungua vifungo vya shati lake.


Hali ile ilimtisha zaidi Tausi na kuhisi huenda Ndangala anataka kumbaka na si vyenginevyo.


“Bosi naomba nirudishe nyumbani kwa dada!” Tausi aliongea kwa aibu huku akimpa mgongo Ndangala kwa nia ya kutoka chumbani.


Hamad! Ile ghafla bin vuu! Ndangala alimuwahi na kumkamatia kiuno kumvutia tena ndani hali iliyopelekea mbambiano baina ya msambwandanga wa Tausi na mkuki wa Ndangala uliokuwa ndani ya suruali nyepesi ya kitambaa.




*********




Wakati yakitokea ya kutokea kule Rambo kati ya bosi Ndangala na Tausi. Kwa upande wa kina Jerida muda huo walikuwa wanakunywa chai chumbani kwa Tunu.


“Shosti kumbe bwana kweli! Kuhusu Dudukila.” Aliongea Jerida


“Enhee! Amekukwea nini?”


“Aaah wapi, jana wakati natoka chooni si nikagumiana nae! Nikajichetua na kumtia mtegoni basi eeeh si akatoa dudukila lake!”


“heheheee enhee ukamsitiri ama?”


“wee! Hivihivi bila senti nijiuguze burebure? Nikamkimbia”


“mi si nilikwambia Jeri! We unajifanya umekutana na madude! Kitu kile sasa ukiweza kuimeza yote basi ujue fika kizazi huna shoga.”


“Mh! Hatari..maana kama unakutana na wateja watatu kama Dudukila kwa siku unaweza kuikinai kazi ukarudi shamba bila kufukuzwa!”


“teeeeenaaa! Ila Tausi kama atajanjaruka atapiga sana pesa..mh!”


“Mi namngojea kwa hamu niuone huo uso wake leo akitoka kuuchezea mpingo wa Ndangala maana nae mmh! Si wa spotispoti. Mi siku uliyonipeleka akanifanyie usaili mmh hadi leo siisahau.”


Maongezi yakiwa yamepamba moto mara walisikia vishindo vya mtu kwa nje akikatiza mbio usawa wa dirisha lao eneo la uwani.


“Nisaidie Jaba nitakufa!” waliisikia sauti ya mtu akihema sana na kuwafanya wachungulie dirishani kuona kulikoni. Lakini punde vishindo vyengine vilisikika na kelele za watu.


“MWIZII..MWIZIIII..”


“Oyaaaa! Mwanetu hajapita huku kweli?” umati uliokuwa unamfukuza mwizi husika ulimuuliza Mc Jaba aliyekuwa nje muda huo ameshika kopo la maji akipiga mswaki.


“Aaaah, mi sikujua kuna dogo kakatiza mita hapa kaelekea kulee..kumbe mwizi?”


Alijibu Jaba huku akiwaelekeza kwa ishara ya kidole wale raia wenye hasira kali sehemu ya makaburini ambapo alidai amekimbilia huyo mwizi. Shazi lote lilitimka kumuwahi kabla hajawapotea kabisa. Jaba aliwatazama hadi walipoishia ndipo nae haraka akarudi ndani.


“Wee! Kum* utadanja unakwala kiboya boya kweupe hivi?” aliwaka Jaba na pembeni yake kuta ya chumba alionekana dogo mmoja wa makamo akiwa kajikunyata kwenye kona. Akiwa kitumbo wazi amevaa kipensi kichafu chini pekupeku. Dudukila yeye alikuwa bado kalala.


“Toka sasa unatetema nini kama umebakwa! Hebu umekwala nini dogo!” Alibana mlango kwa ndani Jaba na ndipo dogo aliposogea kumuonesha Jaba kitu alichokiiba.


“Haaaaaa!” Jaba alistuka na kuhamanika kwa shangwe la juu hata kumstua Dudukila ambae nae alipokiona kitu kilichomstua Jaba ambacho ndicho alikuwa anafukuziwa yule dogo, nae alistuka sana na wote hawakuamini.








“Wee! Kum* utadanja unakwala kiboya boya kweupe hivi?” aliwaka Jaba na pembeni yake kuta ya chumba alionekana dogo mmoja wa makamo akiwa kajikunyata kwenye kona. Akiwa kitumbo wazi amevaa kipensi kichafu chini pekupeku. Dudukila yeye alikuwa bado kalala.


“Toka sasa unatetema nini kama umebakwa! Hebu umekwala nini dogo!” Alibana mlango kwa ndani Jaba na ndipo dogo aliposogea kumuonesha Jaba kitu alichokiiba.


“Haaaaaa!” Jaba alistuka na kuhamanika kwa shangwe la juu hata kumstua Dudukila ambae nae alipokiona kitu kilichomstua Jaba ambacho ndicho alikuwa anafukuziwa yule dogo, nae alistuka sana na wote hawakuamini.




“Hebu leta kwanza” aliongea Jaba huku akitaka kuchukua kitu kilichoshikwa na yule dogo. Ilikuwa ni pete. Pete yenye kito cha kung’aa kupita kawaida.


“Hii pete ya almasi kum**ake! Wee dogo Cholo umeikwapuaje hii daaah!”


Aliitazama hata Dudukila nae aliitamani. Ni kweli ilikuwa pete yenye kito cha almasi. Iling’aa sana katikati kwa mng’ao wake wa ajabu.


“Sikia Jaba kaka, mi nashukuru umeniokoa. Sasa ka vipi midamida tumuibukie sonara tukachukue mchele.” Alishauri dogo Cholo


“Sonara? Sonara gani atakuwa na mpunga wa kutupa? Dogo umecheza kama Messi haya mapigo hayajagi mara mbili yakipotea yamepotea. Wee tia tege kwanza nje bado noma.”


“Kwahiyo tufanyaje sasa Jaba! Mi sielewi ujue nimeuza roho kwenye gari ya watu!” dogo Cholo aliongea huku akikaa kwenye godoro. Jaba nae alichutama na kuongea kwa sauti ya chini.


“Hapa hakuna boya yeyote wa kutoa mchele wa kutosha fasta zaidi ya mtu mmoja tu.”


“Nani huyo jibaba?” Aliuliza dogo Cholo huku akikunja miguu vizuri kama ostadhi anayejiandaa kusoma dua.




ITAENDELEA

Post a Comment

0 Comments