ILIPOISHIA
Baada ya sekunde
kadhaa akafanikiwa kunifungua shati langu na kulitupia mbali. Baadaye sasa
akaja katika suruali yangu ambapo aliutoa mkanda wa suruali na kisha kuifungua
zipu ya suruali taratibu na wakati huo wote mjomba aliendelea kututumka mle
ndani ya mkwego utadhani amelishwa hamira.
CHANZO:
https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
SASA ENDELEA
“Woooooooow!”.
Yule mrembo alipiga ukulele mara baada ya kunivua suruali na kumwona mjomba
jinsi alivyo mkubwa mithili yam chi wa kinu.
“I like it”.
Aliongea yule mrembo huku sasa akianza kumsukasuka huku mimi nikiwa nazichezea
nywele zake.
Yule mrembo
alimsuguasugua mjomba kwa muda na kisha akamtumbukiza katika kinywa chake.
Akaanza sasa kummung’unya mithili ya koni. Nilihisi raha ambayo nashindwa hata
kuisimulia.
Mrembo akaendelea
kummung’unya mjomba huku mjomba naye akizidi kututumka na kujaa vyema katika
kinywa chake. Alinipa raha huyu mrembo mpaka nikahisi kutokwa na machozi.
Baadaye nami
nikamchukua na kumlaza taratibu juu ya kitanda. Nikataka nami nimwonyeshe
ufundi wangu na ajue kwamba nami ni mojawapo wa wataalamu wachache sana katika
fani hii ya mahaba waliopo duniani.
Nikaanza
kuyatomasatomasa matiti yake taratibu kitendo kilichomfanya afumbe macho na
kuanza kutoa miguno ya taratibu ikiashiria kwamba alikuwa akijisikia raha isiyo
kifani.
Nikaanza
kuyamung’unya maziwa yale taratibu huku mkono wangu wa kulia ukiwa umefika kwa
shangazi na sasa ulikuwa ukimchezea taratibu na kwa umakini wa hali ya juu.
Nilizidisha utundu
wangu katika kumchezea na kwa wakati wote huu alikuwa akipiga kelele za mahaba
mithili ya mtoto mdogo aliyenyang’anywa pipi.
Nikaanza sasa
kumlamba mwili wake taratibu mithili ya chatu anavyomlamba mwanakondoo kabla ya
kummeza. Kitendo kile kilimfanya asisimkwe sana.
Niliendelea
kumlamba kuanzia shingoni, masikioni mdomoni, tumboni na kisha kitovuni mahali
ambapo alionesha kwamba alipenda nipalambe zaidi kwani alipiga ukulele mkubwa
pindi nilipofika hapo.
“Ooooooh!
Aaaaaashhh! Please give me!”. Yule mrembo alilalama.
Nami nikaona isiwe
CHANZO:
https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
shida. Nikachukua
kondomu na kuivaa. Baada ya hapo nikamfuata pale juu kitandani. Hapo nikamwacha
mjomba aende kumsalimia shangazi. Hakika nilimnyoosha sana yule mrembo kahaba
mpaka mwenyewe akashangaa.
“Ahsante, bill
yako imeisha”. Yule mwanamke alishukuru.
“Usijali tutaonana
siku nyingine”. Nami nilimjibu huku nikiamka kutoka kitandani.
“Hivi waitwa nani
vile?”. Nilimwuliza jina yule mrembo maana alikuwa amenipa mahaba
yaliyonipagawisha sana.
“Jina langu halina
haja kulifahamu. Mimi nakupa huduma ya ngono tu basi”. Yule mwanamke alijibu.
“Basi naomba namba
yako ya simu”. Nilimwambia yule mrembo.
“Namba yangu ya
simu waitakiani?”. Aliuliza.
“Wajua umenipa
huduma bora sana hivyo nilikuwa nataka kila nikija niwe nakupigia simu ili
kukupata kwa urahisi”> nilimwambia.
Maneno yangu
aliyaona yana mashiko ndani yake. Kwake ilikuwa ni muhimu sana kumtunza mteja
asipotee.
“Namba yangu ni 0744
970447”. Aliongea yule mrembo.
“Ahsante sana
nashukuru”. Nilishukuru mara baada ya kuisevu ile namba.
Niliachana na yule
mrembo kahaba nikaanza safari ya kurudi nyumbani kwangu. Kwa upande wa wakati
ilikuwa inakaribia kabisa saa nne ya usiku. Moyoni nilikuwa nina amani ya
kutosha sana kwani yule mrembo kahaba alikuwa amenisuuza na kuniondoa stress
zote.
Nilijua nikifika
nyumbani tu ni lazima kutakuwa na kitimutimu kwani muda ulikuwa umekwenda sana.
Nilimfahamu sana mke wangu mama Careen, Alikuwa ni mwanamke mwenye hasira za
karibu sana na yuko radhi kufanya maamuzi yoyote yale.Ilikuwa yataka moyo sana
kuishi na mwanamke huyu.
CHANZO:
https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Niliwasili
nyumbani kwangu kama majira ya saa tano kasoro robo hivi. Hali niliyokutana
nayo pale ilinitisha kwa kweli. Mke wangu alikuwa amesimama mlangoni huku
mkononi akiwa ameshika upawa wa kusongea ugali.
“Haya niambie
mwanaume wewe. Usiku wote huu unatoka wapi?”. Mama Careen aliniuliza.
“Sasa ndiyo
maswali gani hayo mke wangu?”. Nami nilimjibu kwa swali.
“Mimi ni mke wako
hivyo ninapaswa kujua umetoka wapi saa hizi”.
“Hivi humu ndani
nani ni mwanaume hasa? Mbona unataka kunipanda kichwani wewe mwanamke?”.
Nilimjibu kwa fedhuli.
“Anhaaaa!
Unaniletea dharau siyo?”. Mama Careen aliongea huku akionesha wazi alikuwa
amekasirika.
Ghafla ule upawa
wa ugali ulishuka juu ya shavu langu na kunifafanya nianguke chini huku makalio
yakiwa juu. Nilihisi kama nyotanyota zikimwetamweta hivi.
Sikupewa hata
nafasi ya kutafakari. Upawa ukaanza kushuka juu ya makalio yangu kwa mapigo ya
maana. Nilipiga kelele za maumivu. Mama Careen alinikung’uta kweli siku ile.
Baada ya
kuhakikisha nimekung’utika vya kutosha mama Careen aliingia ndani huku
akiniacha nikiugulia maumivu makali sana yaliyosababishwa na mkung’uto mwanana
kutoka kwa mama Careen.
***********
“Hivi kwa nini
hujaolewa mpaka wakati huu wakati vigezo vyote vya kuwa mke wa mtu unavyo?”.
Lilikuwa ni swali ambalo nilimwuliza mwanamke huyu mrembo kahaba ambaye siku
kadhaa hapo nyuma tuliwahi kufanya mapenzi.
Leo hii tena
nilikuwa nimekutana naye kwa mara nyingine. Tulikuwa tumepeana mahaba motomoto
katika nyumba hii ya kulala wageni. Na kwa sasa tulikuwa tumemaliza kupeana
mahaba motomoto na tulikuwa tukiongea.
“Hivi wewe
unafikiri mimi nikiolewa hii biashara nitaifanyaje?”. Yule mrembo alinipachika
swali badala ya kunijibu swali langu ambalo nilimkandika hapo awali.
CHANZO:
https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Sasa ni kwanini
waifanya biashara hii ya kuuza mwili?”. Mtindo wa kuulizana maswali badala ya
majibu uliendelea.
“Hivi nisipoifanya
biashara hii wewe unafikiri nitakula wapi na msoto wa maisha wa hapa Kano?”.
“Sasa mimi nataka
uache kuifanya hii biashara na nitakutimizia mahitaji yako ya kila siku”.
Nilimwambia yule mrembo.
“Hebu achana na
mimi bwana, si tumeshamalizana? Nimekupa ulichokuwa ukikihitaji sasa niache
mimi niende. By the way umenipa mambo matamu. Nashukuru”. Aliongea Yule mrembo
na kutoka nje ya chumba kile cha gesti.
Yaani mpaka muda
huu nilikuwa simfahamu huyu mrembo kahaba alikuwa akiitwa nani. Kila nilipokuwa
nikijaribu kumuhoji jina lake, alikataa katakata kunitajia.
Pia kwa mbali
nilianza kuzihisi dalili za upendo wa dhati kwa huyu kahaba. Niliona kabisa
kwamba nilikuwa
nimezimika na nimekufa juu yake. Nilikuwa natamani muda wote niwe naye.
Nikavaa ngio zangu
na kasha nikaondoka kutoka katika chumba kile cha gesti. Kwa upande wa wakati
ilikuwa ni majira ya saa mbili usiku. Niliona leo niwahi kurudi nyumbani kwani
nikichelewa yaweza tokea vita kuu ya tatu ya dunia ambayo itakosa msuluhishi.
**********
“Hello! Niambie
mdogo wangu”. Ilikuwa ni sauti ya mama Careen akiongea na simu mchana huu wa
leo.
“Safi tu sista”.
Upande wa pili wa simu ulijibu.
“Vipi, mbona kimya
sana? Yaani uko kimya utadhani hauko katika jiji hili!?”. Mama Careen aliongea.
“Nipo dada yangu.
Nitakuja siku moja kukutembelea”. Upande wa pili wa simu uliongea.
“Sawa tu bwana.
Yaani tunaishi utafikiri si ndugu?”. Mama Careen alilalama katika simu.
CHANZO:
https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Kwa nini wasema
hivyo dada?”. Uliuliza upande wa pili wa simu.
“Sasa ni mwaka wa
ngapi hatuonani? Humjui shemeji yako wala mwanangu. Kila nikikuuliza, waniambia
uko katika jiji hilihili la Kano. Hivi hii ni haki kweli mdogo wangu?”. Mama
Careen aliongea.
“Punguza moto dada
yangu. Natambua nimekosa. Safari hii wala sitakuangusha. Nitahakikisha kwamba
ninakuja kukutembelea wewe pamoja na familia”. Upande wa pili wa simu uliongea.
“Lakini hayo si
ndiyo maneno yako kila wakati? Mara oooh! Nakuja kesho halafu ooooh! Nimepata
udhuru nitakuja wiki ijayo. Hebu jifunze adabu wewe mtoto. Yaani unavyonikera
natamani mpaka kukutapika!”. Mama Careen aliendelea kuongoa huku sasa akionesha
dhahiri kwamba alikuwa amepandwa na jazba.
“Dada yangu
nisamehe. Amini safari hii sitakuangusha nitakuja kukutembelea”. Upande wa simu
uliongea.
“Haya wewe ndiye
mwamuzi. Ukipenda njoo na usipopenda usije. Mimi sitakuwa na neno nawe kuanzia
sasa. Wewe si mtoto mdogo wa kushinda tunakumbushana mambo madogo kama haya
wakati waelewa wazi ni jambo la msingi”. Mama Careen aliendelea kufoka.
“Vipi mama Careen,
mbona wazozana na simu?”. Nilimwuliza mama Careen mara baada ya kuwa ameacha
kuongea na simu. Na kwa wakati huo mimi nilikuwa nimetoka chumbani ambako
nilikuwa nikijiswafi mwili wangu.
“Nilikuwa naongea
na mdogo wangu”. Mama Careen alijibu kwa kifupi huku jazba ikiwa bado
haijapungua.
“Anhaaaa! Yule
ambaye ulishawahi niambia kwamba yupo hapahapa Kano?”. Nilimwuliza mama Careen
huku nikimtazama usoni.
“Ndiye huyohuyo.
Yaani mimi ananikera sana huyu mtu. Yaani mambo yake ni ya kitoto utafikiri ni
mtoto mdogo”. Mama Careen aliongea.
“Mh! Yakupasa
umsamehe kwani ndiye nduguyo wa pekee”. Nilijaribu kumtuliza.
“Ushaanza na wewe
mambo yako. Yaani wewe ndiye unayefuga ugonjwa!”. Mama Careen alinigeuzia
kibao.
CHANZO:
https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Mh! Basi mama
yaishe. Mimi natoka kidogo. Nitarejea baadaye”. Niliaga ili kuepusha shari
kwani namfahamu fika huyu mwanamke.
“Sasa ole wako
uchelewe kurudi leo. Utanieleza kwa nini jogoo hatagi”. Ilinipata hiyo nikiwa
navuka kizingiti cha mlango.
Yaani mwanamke
alikuwa na shari huyu balaa! Hakuna siku ambayo tungekaa kwa amani na kufurahi
kwa pamoja kama mume na mke.
Muda wote ilikuwa
ni kuzozana na kutoleana maneno ya kashfa ambayo muda mwingine yaliambatana na
vipigo vya hapa na pale. Vipigo vya aina zote vidogo na vikubwa ambavyo mara
nyingi vilikuwa vikihatarisha uhai wa ndoa yetu.
Ama kweli mke
nilikuwa naye. Na sikuwa na ujanja juu ya mke wangu kwani alikuwa ni mwanamke
ambaye nilimchagua mwenyewe na kumwoa wala sikuchaguliwa na mtu yeyote.
Sikulazimishwa na
mtu yeyote kumwoa mwanamke huyu bali ni kwa mapenzi yangu mwenyewe. Niliamua
kuingia mkataba wa maisha kwa kula naye kiapo cha ndoa takataifu tena ya
kanisani ambayo ilishuhudiwa na mashuhuda wengi sana.
Kwa wakati huo
mawazo yangu yalikuwa juu ya kahaba wangu mrembo. Niliamua siku ya leo
niipitishe nikiwa naye kwani sikuwa na shughuli nyingine ya kufanya. Niliamua
niende nikampe mapenzi motomoto nami nipate burudani tamu ambayo huwa naikosa
kutoka kwa mke wangu kutokana na kisirani chake.
“Hello! Mambo”.
Niliongea katika simu mara baada ya kuingia katika sehemu nilipohifadhi namba
za watu wangu mbalimbali na kulichagua jina la kahaba mrembo ambalo nilikuwa
nimelisevu likisomeka PATRICK.
Niliamua kuisevu
namba ya kahaba kwa jina la Patrick ili kuepusha maswali kutoka kwa mama Careen
endapo angeamua kuipekua na kuifukunyua simu yangu.
Niliamua kuichukua
tahadhari hiyo kwani nilimfahamu fika mama Careen kwamba alikuwa ni mwanamke
ambaye alikuwa akipenda sana udambwidambwi.
“Poa vipi mzima
wewe?”. Upande wa pili wa simu uliongea kwa sauti ya kumtoa nyoka pangoni.
CHANZO:
https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Mimi niko fresh
kabisa”. Nilijibu.
“Eeeeeenheee! Lete
maneno”. Upande wa pili wa simu uliongea.
“Maneno yatoke
wapi zaidi ya kukumiss tu”. Nilijibu huku nikiendelea kutembea.
“Ha ha ha ha
haaaaaaa! Yaani wewe unimiss mimi badala ya kummiss mkeo!”.
“Aaaah! Najua
huwezi kuamini lakini ukweli wenyewe ndiyo huo”. Nilijibu.
“Haya unanimiss
kwa lipi sasa?”. Alihoji Yule mrembo katika simu.
“Nakumiss kwa yale
mambo matamu sana ambayo huwa unanipa. Mambo haya huwa siyapati kwingine kote
zaidi ya kwako”. Niliongea.
“Acha kunichekesha
bwana. Ina maana kwa mkeo huwa hupati?”.
“Amini hebu
nielekeze nyumbani kwako nije sasa hivi maana ugwadu nilionao ni balaa!”.
Nilimsisitiza Yule mrembo.
“Heeeeee! Uje kwa
nani?”.
“Jamani si nakuja
kwako? Kwani kuna ubaya gani? Mi wala siyo simba kusema huenda nikakung’ata
ukafa!”. Nilimchombeza Yule mrembo kwa maneno matamu na laini.
“Ila una vituko
wewe mwanaume sipata ona. Huwa unanipa raha sana kwa maneno yako. Haya basi njoo
mtaa wa Jalawa ukifika hapo nipigie nami nitakuja kukuchukua”. Hatimaye yule
mrembo alikubali kuniruhusu niende kwake.
*************
CHANZO:
https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
ITAENDELEA

0 Comments