Yule kiumbe alicheka kwa nguvu saut yake
ilikua kali sana hadi dula akaziba masikio hakika watu wote waishie maeneo ya
kawe waliweza kusikia kile kicheko Cha yule kiumbe wa kutisha ,kila mtu alijiuliza
kicheko cha nani huyo mbona kikali hivyo?.
Mimi nimetumwa na bibi kanambia maneno
haya kwa sasa umepata msaidizi mwenye uwezo mkubwa kukuzidi wewe na huyo
msaidizi unatembea nae pia huyo msaidizi wako ana alama "m" mgongoni
kama ilivyokuwa wewe sasa tayari leo usiku tutampandikiza nguvu za kupambana na
tutamrudisha kumbu kumbu za utoto wake pia atamkumbuka mama yake aliko .
Maana huyo kijana tulimwiba angali
mchanga tulimchukua na kumpeleka chini ya bahari kwenye jeshi la majin weupe
ambao hilo jeshi lilikufunza wewe namna ya kupigana hivyo sasa tunakupa kazi
kamfundishe musa kupigana ndio atakua msaidizi wako kwenye mapambano ya
kusaidia wanyonge .
Yule kiumbe kiliongea huku kikifuka moshi
mzito kwenye masikio na mdomo dula wala hakuogopa .
Gafla kile kiumbe kilipotea dula.alicheka
na kusema yule musa hawezi nizidi nguvu mie kwenza mie nina utalam mwingi dula
aliongea na kurudi nyumbani.
Ilikua tayari ishafika saa tano usiku
musa alikua ashalala tena alipitiwa na usingizi mzito si wa kawaida.
Musa alianza kurusha rusha miguu
kitandani huku akishikilia kifua alijaribu kuita lakini sauti haikutoka.
Musa alikua akiota ndoto mbaya sana
Yupo kwenye makorongo huku kafugwa kamba
na viumbe wa kutisha wenye pembe alijaribu kuitoa ile Kamba lakin hakuweza
Musa alitazama chini ya hilo korongo
aliona kisima chenye maji ya blue musa akiwa amefugwa kamba mara ile kamba
ikakatika alishuka na kudumbukia kwenye kile kisima puuu.
Kisha akazama hadi chini cha ajabu alikua
bado anaona vizuri tu, kuna nyoka mkubwa anaeishi kwenye kisima hicho alipanua
mdomo huku akionekanekanika mwenye njaa kali musa aliziba macho yake na viganja
vya mikono hakutaka kushuhudia akimezwa na lile joka.
Yule nyoka alirusha ulimi wake mrefu na
kuuzamisha kwenye matundu ya pua za musa ,
Musa alizidiwa nguvu akiwa ndani ya maji
alikosa pumzi yule nyoka akaanza kufyonza ubongo pale pale musa akapoteza
fahamu.
Alikuja kuzinduka akajikuta yupo kwenye
pango la kutisha kuna mwanga hafifu pembeni yake alikaa msichana mrembo
aliyevalia gauni refuu
Musa akihisi maumivu makali kwenye
matundu ya pua , alikohoa akatema damu yule msichana mrembo akatabasamu baada
ya musa kutema damu
Yule msichana alinyoosha mkono wake na
kuchovya ile damu na kidole kisha akailamba ,lips zake nene na za kuvutia
Musa alitoa macho ,akishangaa yule
msichana mrembo iweje alambe damu yake na kuimeza tana akitabasamu wakati wote
huo wala hakuniongelesha.
akamuuliza "wewe nani "? yule
msichana hakujibu kitu alianza kubadilika baada ya kulamba ile damu sura ya
usichana ilitoka na kuwa bibi kizee
Musa alijaribu kuinuka walau amkimbie
yule kiumbe anayemtesa hakuweza musa aliishia kurusha tusha miguuu.
Yule bibi hakuwa mgeni kwake ndio yule
yule aliyemwota jana mara kachomwa na msumari mguuni mara kachomwa na kisu
shingoni
Safari hii alikua mzima.
Yule bibi aliongea maneno kwa lugha ambae
kwa musa haikua rahisi kuielewa macho ya yule bibi yalibadilika yakawa mekundu
kama kaa la moto muew aliogopa sana.
Musa akiwa anawasi wasi. Yule bibi
alimtemea damu usoni puuuh!
Kisha yule bibi akatoweka gafla.
Mara musa alizinduka usingizin kumbe yote
hayo alikua akiota musa alikua akihema kwa kasi huku jasho likimtoka mara dula
nae akafika kwenye geto lake akakuta mlango upo waz dula aliingia akawasha taa
dula alishtuka baada ya kumkuta musa uso
umejaa damu ,"we musa mbona uso unadamu dula wliuliz".
musa alipeleka mkono wake kwenye uso wake
Huku akitetemeka ukweli alikutana na damu tena mbichi ametemewa ,akasema hii
inwkuweje ndoto niliyoota iwe kweli.
Musa alijawa na woga ,dula alimwambia
tuliza presha hayo ni mambo ya kawaida cha msingi chukua maji ukaoge .
Kaka mie siwez enda kuoga maana maisha
yangu mkosi sikuizi naota ndoto ya ukweli nimeota nasumbuliwa na majin kuna
kibibi kimenitemea hii damu musw aliongea huku analia, aliendelea kuongea.
twende tukamtafute shekhe aje asome dua
kuondoa haya mapepo yanayonikabili musa wlisema
dula alikua akijua kila kitu alimwambia ,
ondoa hofu tutamleta shekhe kesho.
Musa alikubali akachota maji kwenye
kikombe alitoka nje akaosha ile damu ambayo ipo usoni.
Kisha walipiga story kidogo wakalala
Zile ndoto hazikumrejea musa asubuhi
palikucha alfajiri dula alimwamusha musa na kumwambia amsindikize mahal musa
hakuwa na kipingamizi alikubali waliongozana hadi maeneo ya ufukwe wa bahari
dula alimweleza lengo la mumleta hapa ufukweni ni kumfundisha kupigana.
kwa upande wa musa ilikuwa kichekesho mtu
dhaifu kama yeye ajue kupiganq ila aliwaza endapo atajua kupigana basi utakuwa
mwisho wa mateso yake hapo ndipo
alitabasam na kuruka ruka na kusema ,
kaka leo ndio umezungumza neno tam ukweli natamani kujua walau kurusha ngumi
maana me kila hatua naambulia kipigo nifundishe niwe kama wewe .
Basi mazoezi yalianza musa alifundishwa
njinsi style za kukabiliana na adui namna ya kumkwepa adui hakika musw alikua
shapu kuelewa wakaanza kurusha ngumi musw alikua yupo shapu kukwepa ngumi za
dulq ,hata lile wazo la kutafuta shekhe wakusoma ili kuondoa mapepo kwenye
njozi halikuwepo tena.
dula alirusha mateke akaruka kila stlye
lakin musw vyote alivikwepa
dulq aliamini maneno ya yule kiumbe kua
musa atakua hatari kupigana zaidi yake. Sababu nguvu alizonazo ni nyingi ,dula
hakutaka kukubali waliingia tena ulingoni.
dula alimwambia musa uko tayari ? ,musa
aliitikia yaa nipo tayari
dula aliruka hewani akadunda na kumkwatua
musw mateke ya tumbo musa alirushwa mbali na kudondoka chini dula alitabasamu
na kusema hamna kiumbe atakae nizidi uwezo mie wakupambana .
Musa alipigwa vibaya alilala pale pale
dula alienda akamwinua na kumwambia upo vizuri kila siku nitakufunza hadi
utakapo iva.
Musa aliitikia kwa unyonge kisha wakarudi
nyumbani ikawa kila siku alfajiri wanaenda kwenye mazoezi mwendo wa wiki mbili
musa akawa balaa yaani anapiga si mchezo dula alifurahi kupata msaidizi.
bado nyuma ya pazia inaonesha kuna
mrorongo mrefu hadi dula kumiliki hizo nguvu na hicho chama chao cha kishetani
kwa nini kinapandikiza nguvu zisizo za kawaida kwa musa ,labda unyonge aliokuwa
nae ama kitu gani, ndugu msomaji tuendelee kufuatilia.
Ilikua siku njema kabisa mida ya saa saba
bibie jeni alimtembelea musa siku hiyo hakuja na gari alitaka watoke na musa
wakazungumze mambo flani musa hakuwa kabisa na kipingamizi alikubali akavaa
nguo safi waliondoka na kumwacha dula na nasra wakipeana utamu.
Musa walitembea na jeni taratibu walipita
karibu na kwa akina irene walikuta irene nae alikua anatoka aende kwa musa
"Musa nilikua nakuja kwako kumbe leo
jeni kaniwai " aliongea irene ,
jeni alitabasamu na kumwambia basi twende
tukapoteze masaa irene wote ,irene nae aliunga msururu wakawa watatu, alikubali
wote wakaanza safari sijui wanaenda wapi.
Jeni na irene wakiwa wanabonyeza simu zao
za tachi musa hakuwa hata na kisimu cha batani yeye aliingiza mikono mfukoni
mdogo mdogo wako wanatembea .
Mara irene anapiga self na mogy mara jeni
hakika musa alipata bahati ya kutembea na wasichana warembo na wenye pesa,kwa
imani zetu ,basi naweza sema mzizi anaoutumia muss sio wa kawwida .
Kila wakipita vijana waliwatolea macho
irene na jeni kwa uzuri walio nao
Musa kichwani ,alikua anawaza maneno
aliyoambiwaga na irene huenda jeni sio binadamu wa kawaida akawa ni jini musa
alimwangalia jeni sana siku hio nafsi moja inasema jeni yaweza kuwa ni jini
nafsi nyingine inasema hapana jeni sio jini.
walizidi kukata mitaa ya sinza mara
wakatokea baa moja inaitwa kona baa,Tayari ilishatimu saa kumi watu walianza
kujirusha musw alikatiza warembo wakali wamemshikilia bega mwingine mkono kwa
upande wa musa ilikuwa ni sawa kutamba hata kama hujafanya nao mapenzi kutembea
nao tu ni ushindi bas ,aliringa mbaya.
Oya suma mwone yule boya anatembea na
warembo wakali wakati sie leo tupo singo kama vipi twendeni tukamletee noma
tuwachukue wale warembo ni maneno ya vijana flani walikua wamesimama sehemu ya
kupaki magari walikua saba walipanga wakamnyang'anye musa madem ambae ni jeni
na irene.
Hawakuchukua mda wale vijana
wakijikusanya na kuungana wakawachukue akina jeni .ubabe upo kila mahali ukiwa
na kitu kizuri basi watu hutamani kiwe cha kwao.
Musa akiwa haelewi chochote wamesimama
kwenye barabara wanasubiri magari yapite ili wapate upenyo wakuvuka barabara.
Mara wakaja vijana saba wakiwa wamekunja
sura ya kibabe wawili waliwashika irene na jeni mikono kila mmoja.
Kuna kijana mmoja sijui ndio suma alienda
kumpiga musa kibega ama kikumbo cha ajabu badala Ya musa apepesuke yule jamaa
alipepesuka na kuyumba kidogo agongwe na gari.
Wale jamaa wengine walimwambia musa
,"we boya potea kabla hatujakufanya kitu mbaya".
Musa hakujibu alimshika jeni na irene
mikono ili awachukue ,kuna jamaa mmoja alirusha ngumi ili ampige musa
Bahati mbaya kwake ,musa alikua shapu
alikwepa yule jamaa alienda mzima mzima na kukitwanga kioo cha gari ngumiii
puuuh!.
Kikapasuka kila mtu alishangaa na kusema
piga huyoo
Musa aliwaambia wale vijana msijitafutie
balaa sasa ivi
Hali iliyopelekea watu wajazane na
kuangalia nini hiko
Yule jamaa alikatwa mkono na kioo mbaya
musa aliongea kwa upole naombeni muondoke msijitafutie matatizo bure ,yaan musa
kujua kupigana imekuwa shida na anajibu kwa kujiamin.
Jeni na irene walianza kulia hofu yao
wakijua musa hataweza kupambana na wale vijana
Mungu wangu mkosi gani huu naomba
uniachie bibie jeni aliongea na kujinasua mikononi mwa kijana mmoja mwenye
rasta zilizofubaa kwa jasho jeni alitoa simu ili ampigie dula, maana anajua
dula ni hatari aje atoe msaada.
Kitendo cha kutoa simu yake kubwa
ilinyakuliwa na kijana mmoja mfupi kama kisiki ila kajazia balaa sijui
anasukumaga mkokoten
Kitendo tu cha yule kijana kuchukua cm ya
jeni kilimfanya musa apandwe na hasira.
Musa alimwambia yule kijana rudisha hio
sim kwa sauti ya juu,
Yule kijana si akatoa panga ili amtishe
musa ,kumbe musa alishabadilika hataki tena masihara alimwendea yule jamaa
aliyechukua simu ,ile anamkaribia yule jamaa alirusha panga alitaka kumkata
musa.
Musa aliruka ,juu akarusha teke panga
lilitua kwenye kisigino cha raba ya musa bahati nzuri lilikua butu .
Musa aliruka kwa manjonjo akadunda kwenye
gari akaachia mateke mawili ya double kiki yule shotii alirushwa hewani
akaachia simu musa aliruka na kuidaka yule jamaa alienda kudondokea kwenye lami
puu akawa kimya..
Vijana wote si wakamvamia musa dozi
ilitembezwa pole pole mmoja alitoa nondo akarusha musa alikwepa ile nondo
ikaenda kutua mdomon mwa sumaa Paaaaaaah meno yote akayatema pwaaah akabaki na
damu zinachuruzika musa alipiga sarakasi ya kizembe akaachia mateke ya double
double vijana wanne walipigwa vifuani wakarushwa mbali mmoja alijibamiza kwenye
ringi la gari taya zikapishana mwingine alidondoka mkono ukavunjika
Musa alimwendea kiongozi wao akawa
anapangua kila akirusha, jamaa si alichoka
musa alichokifanya ni kumalizia mchezo,
alirusha makonde mawili yaloshiba ya ngumi yalimpata usoni paa paa
Kwa kweli sura ya yule jamaa
haikutamanika tena uso wote damu tyu pua nayo ilipinda.
Sijui itaenda kunyoshwa wapi Vijana wote
walikua wanagara gara chini jeni na irene hawakuamini kitu alichokifanya musa,
Musa aliwashika mikono jeni na irene
akavuka barabara kila mtu alimshangaa musa.
sio watu tu peke yake hata musa
alijishangaa uwezo wake wa kupambana miaka yote alikuwa mtu wa kuonea lakin kwa
sasa anaweza kumpiga mtu yeyote
.
Kila mtu alisema lake ooh huyu jamaa
hajazaliwa tanzania maana anavyopiga kama tunaangalia muvii ,ni maneno aliyekua
anaongea muuza maji barabarani.
Hakika musa aliweka heshima watu
walimpongeza na kuwaponda wale vijana maana ndio kazj yao kupora watu cm
wakilewa pale baa leo wamenyooshwa .
Jeni ilibidi akodi bajaji walipanda wote
watatu safari yao hadi mlimani city jeni akiwa na furaha kuona uwezo wa musa
kujua kupigana
Kabla hawjnashuka kwenye bajaji irene
alimuuliza musa "ni nani kakufundisha huo ujuzi wa kupigan"?
musa hakuficha aliwaeleza kila kitu kua
mwalimu wake ni dula ndio kamfundisha kupigana .
Jeni alifurahi kila mara kamshika musa
mkono waliingia mlimani city moja kwa moja hadi sehemu wanako uza simu.
Jeni alimwambia musa chagua cm unayotaka
,unaambiwa jeni mtoto wa kishua na irene ni mtoto wa kishua sasa wamekutana
Musa aliangalia simuu Kiukweli hakuwa
mzoefu wa simu alichagua nokia ya tochi .
Hakika kitendo cha musa kuchagua nokia ya
tochi jeni na irene walicheka mbaya "We musa acha ushamba sasa hii nokia
utaifanyia nn?"
Musa alitabasamu akajibu nitatumia kwenye
mazungumzo irene alimwambia chagua sim ya wasapu tuwe tunakuona bana hizi simu
zilipedwa
Musa alisema yeye hawezi kutumia simu ya
wasapu ivyo hataki hizo simu wala hazipendi
Japo irene na jeni walimlazimisha ila
musa alikataa kata kata ikabidi wamnunulie simu anayoipenda
Wakivyomaliza kununua simu waliingia shop
ya vipodozi
Jeni alimtafutia musa mafuta mazuri ya
kupakaa ili atoe makovu mwilini
Ki ukweli mwili wake ulikua una makovu
yote sababu changamoto na mateso waliyopitia.
Wifanya manunuzi kibao kisha wakarudi zao
nyumbani ,Wakiwa wapo kwenye bajaji wakikatiza maeneo ya sinza walisikia kelele
za mtoto mchanga akilia tena akilia hadi sauti imejikaukia .
Musa akisema anaombwa ashushwe kichwa
chake kimemcheza machale akacheki kwanini huyo mtoto analia ,mama yake yuko
wapi.
Ukweli hio nyumba ilikua na geti
waligonga ila hawakufunguliwa
Jeni na irene wao walibaki kwenye bajaji
wakiendelea kuchati.
Musa hakupenda yule mtoto mchanga
anavyolia vile alitaka akaangalie nini chanzo .kujua kupambana kww musa anaanza
kutoa msaada.
Musa alivyogonga geti akaona hamna anae
fungua ,alisema liwalo na liwe naruka ukuta wakiniitia mwizi wakinipiga nikafa
nitakuwa nimekufa kishujaa musa alijisemea huku akirudi nyuma aliliendea lile
geti alikanyaga ukuta akajiviringisha juu na kwenda kutua ndani ya ile nyumba
bila hata kuumia .
Musa ikabidi atazame lile geti akasema
"hapana kweli mie nimeruka hili geti "? ,ama naota mbona
sikufundishwa hii style ukweli musa alikua na uwezo wa ajabu.
Aliingia kwenye ile nyumba cha ajabu
alivyofika mlangoni musa alikuta damu mbichi imemwagika musa ikabidi akawa
makini.
Aligonga mlango ila hakuna aliyefungua
lakin yule mtoto mchanga aliendelea kulia musa kengele ya hatari ikamgonga
kichwani musa aliusukuma ule mlango kwa tahadhari uoe mlango ukafunguka
taratibu.
Musa ,akajikuta anatumbua macho baada ya
kukuta tailizi zikiwa zimeloa damu musa akabidi atembee kwa uangalifu .Alitupa
jicho kwenye meza ya kulia chakula.
Musa alikuta kanga nyeupe ikiwa imeloa
damu,Tena damu bado mbichi aliangaza macho kwa hofu yule mtoto aliacha kulia
mogy akaita wenyeweee mpoo? kimya kilitawala
mara mtoto akalia chumbani musa aliwai
kwenye hicho chumba alikuta mlango umefugwa musa aligonga ule mlango lakin
haukufunguliwa na mtoto aliendelea kulia.
Musa alicheki akakuta funguo ipo kwenye
kitasa lakin mlangoni kulikua na michirizi ya damu.,Moyyo ukaenda kasi ,Hii
nyumba kuna nini au nimeingia nyumba waishio viumbe wa kutisha ? musa
alijisemea huku hofu kubwa imetanda .
wazo lilimjia atoke kwenye hio nyumba
maana hapana usalama musa taratibu akaanza kurudi nyuma
Mara tena mtoto machanga alilia sauti
yake ilikua imeisha inafifia naweza sema.
Ile hali ilimuhuzunisha musa na kujipa
moyo acha nifungue mlango nijue kuna nini
Musa alishika ile funguo ambayo ipo
kwenye kitasa alinyonga taratibu mlango ulifunguka.
Masikini ooooh!!! , akajikuta anatamka
hivo huku akitumbua macho
Alichokiona ni heri ingebaki siri lakini
si vyema ikabaki siri .
Musa alichokiona alishidwa kuvumilia
kutazama maajabu ama maovu yaliyokuwemo kwenye hicho chumba.
Musa alitoka mbio kwenye hio nyumba huku
machozi yakimtoka alifungua geti upesi aliwaita akina jeni na irene waje
kushuhudia.
Jeni na irene hawakubisha walitoka kwenye
bajaji upesi wakaingia kwenye kwenye Nyumba ile michirizi ya damu mbichi ili
washtua sana akina jeni ,musw alitembea haraka haraka na kuwapeleka kwenye kile
chumba.
Irene na jeni walishidwa na wao kujizuia
wakaanza kulia
Kitandani kulikua na mtoto mwenye umri wa
miaka tano akiwa amechinjwa shingo kichwa kimewekwa pembeni na kiwili wili kiko
pemben damu zimetapakaa chini.
Chini alikuwepo mama mmoja aliyefanyiwa
unyama sijui na nani
Kisu kulikua kimekitwa kifuani, kisu
kikubwa tena
Mama huyo alikua kalala chini kwenye
tailiz damu zikimtoka mdomoni alikua yupo kimya.
Kibaya zaidi alikua na mtoto mchanga
yawezakana ana wiki moja huyo mtoto.Masikin kale katoto kalikua kamevunjwa mguu
halafu kakawekwa kifuani mwa yule mama.
Kalikua kananyonya
Mguu wa huo mtoto mchanga umevunjwa
Musq alivimba kwa hasira na kuapa aliyefanya
huu unyama atakula nae sahani moja
Musa alimwangalia yule mama kwa mbali
aliona bado akihema musa hakusubiri kale katoto kachanga ambacho kalikua
kamechafuka na damu iliyokua ikitoka kwa mama yake alimpa jeni na yeye alimbeba
yule mama wakaanza kutoka kwenye ile nyumba ili wawahishe hospitali
Ile wanafika getin.
Kuna gari nyeusi ilikuja kwa kasi
ikafunga breki zikashuka njemba tatu wanaume washoka
Uso kwa uso musa akakutana na hao watu
akiwa kamubeba yule mwanamke aliyechomwa kisu mkifuani huku irene kabeba kile
kitoto kichanga kilikua bado kina lia yote sababu ya maumivu ya kuvunjwa mguu.
Nyie nani kawapa mamlaka ya kuingia
kwangu yule jamaa aliongea na kumnyoshea musa bastola.
NJembo nyingine ilidakia na kusema niga
hapa hatuna mda wakupoteza piga shaba wote wamejitakia wenyewe kuingia choo cha
kike,
Musa aliona hapa nikizubaa tunaangamia
wote
Musa aliwaambia jeni na irene kaeni mbali
kisha alimshusha yule mwanamke taratibu na kusimama bila shaka .
yule njemba ambae alikua kamnyoshea bastola
sindano alimdharau musa kwa udogo aliokua nao akamwambia siwezi kuharibu risasi
zangu ili nikuue wewe ninacho fanya nakunyonga na mkono mmoja wewe dagaa shenzi
kabisa .
Yule jamaa aliongea na kumwendea musa
alifika akiwa na hasira alirusha ngumi nzito musa alijitahidi kuikinga ila
ilimzidi uzito musw alipigwa na kupepesuka, kablaa hajakaa sawa jamaa
alimsukumiza kwa teke musa alichukua makonde ya ngumi hadi akadondoka chini .
Musa aliuma meno na kujipa moyo lazima
huyu mwanaharamu nimpeleke polis akiwa hai siwez muua .
Musa aliinuka akapiga sarakasi za tufua
tufua kisha akasimama na mguu mmoja wale njemba wakacheka kisha mmoja akasema
we dogo jinga kabisa yaani vikareti vyako vya kukopi kwenye mabanda ya video
unaonesha kwetu .
Niga ua hio takataka amri ilitolewa musw
apigwe Niga si akaenda kwa musa akaruusha ngumi musa anakwepa mara alijinyonga
kwa style zake akamtwanga kichwa niga tena kampiga kwenye jicho la kushoto damu
ziliruka juu .
Niga alijishika kichwa akachuchumaa maana
alitwagwa kichwa ya aina yake kabla hajakaa sawa musa aliruka akadunda akapaa
hewani alinyosha vidole viwili na kwenda kuvikita machoni mwa niga puuu.
Pale pale niga alipiga yowe la maumivu
akalala chali ,Tayari musa alishamtoboa macho yote mawili tayari keshakua
kipofu musa alichukua ubao mmoja ulikua upo pale getini alimponda yule niga
magoti puu
Miguu yote miwili akaivunja .
Wale njemba wawili walobaki si wakatoa
sime walimwendea musa ni kosa kubwa walilofanya musa aliwaweka kati .
Akazunguka chini akajibinua kwa style
yake na kuwapa mateke matakatifu tumbon wale jamaa waliyumba bala kabla
hawajakaa sawa musa aliruka hewani akadunda chini alimtandika jamaa mmoja ngumi
ya shavuni jamaa alitema makonde ya damu na baadhi ya magego yalitoka .
Yule jamaa alichukia alinyanyua sime ili
amkate musa halafu na jamaa mwingine kajiandaa amkite musa sime ya tumbo.
Musa alisoma mchezo aliwazingua kidogo si
wakaja wote kwa pamoja musa alilala chali .
Wale jamaa wakafyekana wenyewe kwa
wenyewe na mapanga mmoja alimkata mwezio shingo na mwingine alimkita mwenzio
tumboni
Walidondoka wote chini puuh! Kama gunia .
Ndio ikawa mwisho wao ,musa alimaliza kaz
akawaacha wanafurukuta kwa maumivu ile musa anamnyanyua yule mama ampeleke
hospitalini gafla maaskari polis walimuweka musa chini ya ulinzi .
Musa alitii amri alimshusha yule mama kwa
heshima tena taratibu polis walimsachi mogy wakakuta hana silaha .
Wakaanza kumuhoji hawa watu nani kawapiga
maana ni hatari sisi wenyewe tumewashidwa musa alijibu mimi nimewapiga polis
walimdharau musa, kwamba kwa udogo aliokua nao hawezi kuwapiga wale wahalifu
.gafla polis alimtandika musa kofi na kumwambia aseme nani kawapiga hawa watu .
Polisi walihisi musa anaficha ushahidi
kwa udogo wake na kazi aliyofanya kuwapiga hao watu haiendani nae,basi musa
alipakiwa kwenye difenda yule mama ambae bado kisu kipo kifuani nae
akachukuliwa
Na wale njemba walipelekwa hospitali
wakatibiwe ili waje wahojiwe.
Jeni na irene wao waliachwa wala
kusumbuliwa ila mtoto alichukuliwa
Musa hakupenda kuanzisha vita baina yake
na polic
Alipelekwa kituo cha polis pale sinza
mabatin kumbe huku nyuma irene na jeni walimfuata musa kwa nyuma na ile bajaji
yao waliyokuwa nao nyuma
Musa aliingizwa polisi huku akipigwa
virungu musa alivumilia tu sio kwamba hawez kuwathibiti ila yeye alijua ipo
siku watamwelewa yeye ni nani.
Ile anaigizwa kituoni jeni na irene
waliingia kumbe dereva wa bajaji wakati musa anawapa kisago wale njemba yule
dereva alirekodi video kama ushaidi.
kabla musa hajahojiwa jeni walienda kwa
mkuu wa kituo hicho walimweleza kila kitu wakampa na ile video
iliyoliyorekodiwa na dereva wa bajaji
Mkuu wa kituo aliita polis waliyeenda
kumkamata musa na wale wahalifu akiwawekea ile video.
Walianza kuangalia jinsi musa kawapiga
watu wenye silaha kali bila ya kutumia hata kisu baadhi ya askari walitokwa na
jasho baada ya kuona style za ajabu musa alivyozitumia baada ya ile video
kuisha kuna afande alianza kuongea kwa huzuni.
Sasa sio tulijifanya wababe tunampiga
huyu kijana virungu kumbe ametochora na vigobore vyetu angeamua na sie leo
tunge uonja ufalme wa kuzimu maana anavyopiga kwa sisi polis level zetu za
kupiga wala hatujamfikia.
Hakika yule polic alijilaumu kumpiga musa
virungu bila ya hatia
Amri ilitolewa musa aachiwe haraka sana
basi kwa heshima aliachiwa ili aondoke lakin musa kabla hajaondoka .
Aliwaambia polic nionesheni yule mama
mmempoleka hospitali gani polic hawakumficha walimwambia ukwel kua tumempeleka
lugalo kambi ya jeshi ila yupo kwa usalama zaidi musa aliwaambia polis nendeni
mkachukue mwili wa mtoto kwenye nyumba ya yule mama kuna mtoto nilimwona
amechinjwa yupo kitandani.
Musa alitoa maelezo polis walijigawa
wengine wakaufuata huo mwili wa mtoto alochinjwa kwa ajili ya uchunguzi
musa , ireni na jeni walirudi
majumbani,Jeni alienda kwao tabata na irene nae alienda kwao musa taratibu
alitembea kwa unyonge akiwa na hofu juu ya yule mama aliyechomwa kisu alitaka
kujua kwa nini hadi kuwa katika hali ile musa alifika geto alikuta Dula
amefunga na yeye hakuwa na funguo ikabidi akae pale mlangoni.
Akiwa kajiinamia ,Siku hio hapakuwa na
wapangaji nyumba ilikua kimyaa yote sababu kwa jiran kulikua na sherehe watu
walienda kuburudika pale
Musa alikaa kibarazan akajiinamia kichwa
kikiwa na mawazo
Kuna msichana mrembo balaa ni mpangaji
mwenza alivyomwona musa kajiinamia alitaka kujua musa labda anaumwa .
Huyo mrembo akiwa kajifunga kanga moja tu
tena laini alienda kwa musa. alimgusa kichwa musa ,kisha musw aliinuka taratibu
"Mambo kaka yule mdada
alisalimia"
musa akaitikia " poa"
"Vp kaka kila siku twapishana hapa
lakini sijui hata jina lako"
musw hakupenda maneno mengi alimtajia
jina lake .
"waoo yule mdada alikipenda jina
musa na yeye alisema anaitwa "salma ".
Musa alimjibu poa lakin yule dada
aliendelea kumwongelesha musa.
"Samahani musa" naomba
unanisaidie kushusha beseni juu ya kabati nimeshidwa kulishusha ni zito halafu
kuna kitu nataka nichukue kwenye hilo beseni,ni mtihani ambao huho dada alianza
kumtega musa,sijui kwa ni i musa ana nyota ya kutamaniwa na wanawake hana mwili
wa mazoez kama watu wa gym.
basi Musa alikubaliana aliongozana hadi
kwenye chumba cha yule dada waliingia ndqni "ukweli musa alioneshwa lile
beseni ,alilishusha ila beseni halikua na kitu kama awali salma alivyosema kuna
kitu.sijui alimaanisha kitu gani.
"Salma mbona wasema besen zito
halafu halina kitu "?musa aliuliza.
Salma alicheka na kumwambia hamna kuna
kitu nataka unisaidie ila ilikua sio hili biseni.
"Musa akauliza kitu gani?"
Salma alisimama akamwambia musa nisaidie
kufungua hili fundo la kanga nilofunga rubega nimeshidwa kulifungua.
Musa aliguna akajua huyu mdada anamtega
anataka ampe mambo.
Fasta yule mdada alisimama na musa
akasimama akaanza kufungua lile fundo
Salma alikua na makusudi alibinua makalio
yake na kuyasogeza kiunoni kwa musa
musa alifungua ile kanga cha ajabu yule
salma aliiachia ikadondoka chini yote,ni mtego mgumu sana kwa wanaume kama huna
msimamo basi dhambi inakuhusu.
hivyo ndivyo inamtokea muss , akabaki
anatumbua macho tu.mtoto salma alikua uchi kumbe hakuvaa kitu hata kimoja.
Taratibu mtalimbo wa musa ukaanza
kusimama taratibu hakuwa na uvumilivu ukiangalia salma kabarikiwa kila kitu.
swlma akamgeukia musa akamwambia
"plz nisaidie nina hamu ya kufanya mapenz nisaidie yule dada aliongea huku
kamkumbatia musa uso wake ukionesha mtu aliyekolea mahaba hajiwezi kazidiwa na
bamu.
Musa akaguswa na chuchu saa sita za salma
,2anasemaga mkate kwenye chai haunaga uvumu wowote, basi musa alisisimuka mbaya
na kumfakamia salma na kuanza kuzinyonya chuchu ,huo ndio ugonnjwa wa wake
Aaaaaaaaaaaaaaah
Asssssssssss oooooooooooh
mmmmmmmmmmmmmogy salma aliguna huku akijinyonga nyonga kwa utamu.
Musa taratibu aliendelea kucheza na
vichuguu kwa ustadi huku mkono ukitalii baadhi ya maeneo ya mwili wa salma.
Musa alishusha mkono chini ya kitovu
alikigusa mahali patakatifu tayari kisima hakina tena ukame ,kimefurika maji ,
kwa utamu huku kikitema majimaji.
Musa alikipekenyua kisima taratibu na
kuanza kuchezea maji hakutaka maji yatuame yatulie basi vidole vilichezea
kisima mno miguno ilionesha kipimo tosha wawili wote wameshachemka kwa
mihemko.sauti za mahaba mchana kweupe zilitawala chumba kile
Aaaaaaaaaaaaah oooooh
Mmmmmmmmm assssssssss
Musa alivyoona salma kalainika hata macho
yamebadilika yanaonesha ishara yanataka tu nyoka mtukutu aingie pangoni ,basi
alimtupa kitandani
Akaanza kufungua suruali yake ili ampe
kitu roho inapenda.
Musa aliutoa mguu wa mtoto ile anataka
kuuzamisha kwenye kisima kilichojaa utelezi wa kutosha ,bibie salma nae akizidi
kulamba lipsi zake na kuhema kimahaba ,salma alivyoona musa anazamisha mtwlimbo
kwenye kisima akafumba macho akapanua wanja aache mtalimbo uzamishwe kisiman
Go go go go!!!!!!sauti ya mlango
uligongwa na sauti ikisema "we salma fungua mlango unieleze upo na malaya
gani mpuuzi wee ilikua ni sauti ya mama yake salma "
amewakuta ndani ya chumba leo mama yake
karudi , naua mtu ni sauti ya kiume ilisikika ikiongea bila shaka atakua baba
yake salama
Musa akiwa na hofu alimtizama salma ambae
alikua hajui nini cha kufanya.
Salma machozi yakamtoka alimning'oneza
musa baba yangu mkali atakuua.show hajafanya na wamekutwa sijui itakuweje
**********MWISHO***********

0 Comments